Home → ushauri
→ AINA 5 ZA WANAUME WA KUWAEPUKA KWENYE MAHUSIANO.
Wanaume kama ilivyo kwa wanawake nao wana saikolojia yao ya maisha. Usipowaelewa unaweza ukawachukia wanaume wote duniani kwa sababu ya mwanaume mmoja au wawili uliowahi kuwa nao kwenye mahusiano. Niseme tu jambo moja kwamba wanaume ni watu wazuri sana, lakini unapaswa kuwaelewa angalau kwa uchache ili kwenda nao sawa.
Katika mahusiano wapo wanaume wanaomaanisha kuwa na wewe hadi ndoa na pia wapo wababaishaji tu. Leo nataka kukuonesha aina 5 za wanaume ambao unapaswa kuwaepuka endapo una lengo la kuwa na mahusiano bora ya furaha.
1. Wanaume wapenda ngono.
Wapo wanaume wanaoamini kwamba hakuna upendo wa kweli bila kufanya mapenzi. Hili nikundi ambalo kwa mantiki ya haraka hawana lengo la ndoa bali wanalenga kutimiza tama za mwili. Japokuwa wapo wanaojihusisha na ngono kabla ya ndoa na kufanikiwa kuoana, hilo halitakiwi kusifiwa au kupendekezwa kwa namna au sababu yoyote ile na jamii ya Kikristo. Wanaume wapenda ngono wana mbinu kali za ushawishi, huanza taratibu kwa mambo madogo madogo, huonesha uaminifu mwanzoni lakini kwa namna ya masihala hujikuta wamekuangusha kwenye uzinzi. Watu wa namna hii wanajua kujali, hawajui kuonya ukikosea, ni wepesi kuitikia hitaji lako, anaweza kuahirisha kazi ili tu achati na wewe anapogundua u mpweke. Wana kila mbinu za kukupeleka dhambini. Ukithubutu kumpa penzi basi yote aliyokuwa anafanya mwanzoni yanapungua na baadaye kuisha na kukuacha kabisa. Usipompa penzi utakuja kugundua (ukiwa mdadisi) kwamba ana michepuko au baada ya muda atatafuta sababu za kuvunja mahusiano.
2. Wanaume “watoto”
Wanaume ambao wanaanza mahusiano lakini wana akili za kitoto. Si ajabu kumkuta mwanaume ambaye hawezi kufanya maamuzi bila mchango wa wazazi wake. Ukiwa na mwanaume kama huyo ujue dakika yoyote atakapoambiwa we humfai utaachika bila sababu. Wanaume wa aina hii mara nyingi wanapenda mambo ya kijinga, hawana muda wa kuwaza juu ya future yenu, hawako tayari kupoteza gharama au muda kwenye mambo muhimu isipokuwa kwenye starehe tu. Kifupi hawapendi kuzungumzia ndoa. Kuna tofauti kati ya wanaochelewa kuoa na wasiopenda ndoa, hapa nazungumzia wasiopenda kujadili kuhusu ndoa. Hukwepa kwa sababu kisaikolojia wao bado ni watoto.
3. Wanaume “wapenda ukamilifu”
Lugha nzuri tunaweza kuwaita “perfectionists” na sio vibaya ukawajumuisha na “judgementalists” kwenye kundi hili. Hawa ni wanaume ambao wanataka kila kitu kiende sawa sawa na kilivyopangwa. Judgementalists ni wanaume wanaopenda kujudge kila kitu, yaani hakuna kitu utafanya wasiulize maswali. Hawajui kutia moyo, kusifia au kupongeza. Kuishi na wanaume wa namna hii ni lazima ujipange. Ni wepesi kubadili maamuzi bila kujali muda na rasilimali mlizotumia kwenye mahusiano yenu. Hawajali hisia za mtu mwingine, wanatumia “logic” zaidi, na kwa kweli ni wabinafsi kwa asili. Kwa wanaojua saikolojia ya ndoa ambayo huhitaji maelewano, kujaliana, kusikilizana, kuvumiliana na kuchukuliana watakubaliana nami kwamba kundi hili la wanaume ni mzigo katika mahusiano. Mara nyingi wanaume wa namna hii huoa wanawake wadogo sana ili wawatawale kisaikolojia na kuwafanya watumwa.
4. Wanaume wenye mtazamo hasi (Negative minded men).
Japokuwa tabia hii ni mbaya kwa wote yaani wanaume na wanawake lakini inaweza kuleta athari kubwa kwa wanaume kwa sababu si wanaume wengi walio tayari kubadilika kitabia. Mara nyingi wanaume wanapenda wanawake wabadili tabia ili kuwafaa wanaume na sio kinyume chake. Sababu za kuwa na mtazamo hasi ni nyingi kutokana na mtu mmoja na mwingine. Wengine ni kwa sababu ya kutojiamini, wengine ni kutokana na mambo ambayo umewahi kumfanyia kwenye mahusiano yenu, wengine historia za maisha yao ya utotoni na wengine ni kwa sababu ya wivu uliopitiliza kwa hiyo anawaza kuibiwa tu na mengine mengi. Kwa nini watu hawa sio potential kwa wanawake? Ni kwa sababu wanawake wanapenda mwanaume anayejali, anayepongeza na kusifia, mwenye mtazamo wa kutoshindwa, lazima mwanaume ujue kwamba mwanamke hujihisi hayuko salama (insecured) endapo kila anachofanya unaonesha kukitazama kwa ubaya. Badili mtazamo wako utaanza kuona uzuri wa mwenzio kwenye mahusiano.
5. Wanaume wanaoigiza maisha (pretenders)
Hawa ni wanaume ambao hawajakubali hali zao za maisha. Kama ni maskini atataka aonekane tajiri. Akijuana na mtu maarufu basi na yeye anataka aonekane maarufu. Wanaume wa namna hii ukiwagundua hawaoni shida kuvunja mahusiano ili kuficha aibu yao. Wanataka kufanana na wanaume watoto. Kifupi hawa ni wanaume ambao hawana mikakati thabiti ya maisha yao, hufuata upepo na mara nyingi hawana uwezo wa kweli wa kutunza familia. Ili kuolewa na mwanaume wa jinsi hii mwanamke anapaswa kumfahamu kabla ili ajue hatua muhimu za kumbadilisha.
MWISHO
AINA 5 ZA WANAUME WA KUWAEPUKA KWENYE MAHUSIANO. Wanaume kama ilivyo kwa wanawake nao wana saikolojia yao ya maisha. Usipowaelewa unaweza ukawachukia wanaume wote duniani kwa sababu ya mwanaume mmoja au wawili uliowahi kuwa nao kwenye mahusiano. Niseme tu jambo moja kwamba wanaume ni watu wazuri sana, lakini unapaswa kuwaelewa angalau kwa uchache ili kwenda nao sawa. Katika mahusiano wapo wanaume wanaomaanisha kuwa na wewe hadi ndoa na pia wapo wababaishaji tu. Leo nataka kukuonesha aina 5 za wanaume ambao unapaswa kuwaepuka endapo una lengo la kuwa na mahusiano bora ya furaha. 1. Wanaume wapenda ngono. Wapo wanaume wanaoamini kwamba hakuna upendo wa kweli bila kufanya mapenzi. Hili nikundi ambalo kwa mantiki ya haraka hawana lengo la ndoa bali wanalenga kutimiza tama za mwili. Japokuwa wapo wanaojihusisha na ngono kabla ya ndoa na kufanikiwa kuoana, hilo halitakiwi kusifiwa au kupendekezwa kwa namna au sababu yoyote ile na jamii ya Kikristo. Wanaume wapenda ngono wana mbinu kali za ushawishi, huanza taratibu kwa mambo madogo madogo, huonesha uaminifu mwanzoni lakini kwa namna ya masihala hujikuta wamekuangusha kwenye uzinzi. Watu wa namna hii wanajua kujali, hawajui kuonya ukikosea, ni wepesi kuitikia hitaji lako, anaweza kuahirisha kazi ili tu achati na wewe anapogundua u mpweke. Wana kila mbinu za kukupeleka dhambini. Ukithubutu kumpa penzi basi yote aliyokuwa anafanya mwanzoni yanapungua na baadaye kuisha na kukuacha kabisa. Usipompa penzi utakuja kugundua (ukiwa mdadisi) kwamba ana michepuko au baada ya muda atatafuta sababu za kuvunja mahusiano. 2. Wanaume “watoto” Wanaume ambao wanaanza mahusiano lakini wana akili za kitoto. Si ajabu kumkuta mwanaume ambaye hawezi kufanya maamuzi bila mchango wa wazazi wake. Ukiwa na mwanaume kama huyo ujue dakika yoyote atakapoambiwa we humfai utaachika bila sababu. Wanaume wa aina hii mara nyingi wanapenda mambo ya kijinga, hawana muda wa kuwaza juu ya future yenu, hawako tayari kupoteza gharama au muda kwenye mambo muhimu isipokuwa kwenye starehe tu. Kifupi hawapendi kuzungumzia ndoa. Kuna tofauti kati ya wanaochelewa kuoa na wasiopenda ndoa, hapa nazungumzia wasiopenda kujadili kuhusu ndoa. Hukwepa kwa sababu kisaikolojia wao bado ni watoto. 3. Wanaume “wapenda ukamilifu” Lugha nzuri tunaweza kuwaita “perfectionists” na sio vibaya ukawajumuisha na “judgementalists” kwenye kundi hili. Hawa ni wanaume ambao wanataka kila kitu kiende sawa sawa na kilivyopangwa. Judgementalists ni wanaume wanaopenda kujudge kila kitu, yaani hakuna kitu utafanya wasiulize maswali. Hawajui kutia moyo, kusifia au kupongeza. Kuishi na wanaume wa namna hii ni lazima ujipange. Ni wepesi kubadili maamuzi bila kujali muda na rasilimali mlizotumia kwenye mahusiano yenu. Hawajali hisia za mtu mwingine, wanatumia “logic” zaidi, na kwa kweli ni wabinafsi kwa asili. Kwa wanaojua saikolojia ya ndoa ambayo huhitaji maelewano, kujaliana, kusikilizana, kuvumiliana na kuchukuliana watakubaliana nami kwamba kundi hili la wanaume ni mzigo katika mahusiano. Mara nyingi wanaume wa namna hii huoa wanawake wadogo sana ili wawatawale kisaikolojia na kuwafanya watumwa. 4. Wanaume wenye mtazamo hasi (Negative minded men). Japokuwa tabia hii ni mbaya kwa wote yaani wanaume na wanawake lakini inaweza kuleta athari kubwa kwa wanaume kwa sababu si wanaume wengi walio tayari kubadilika kitabia. Mara nyingi wanaume wanapenda wanawake wabadili tabia ili kuwafaa wanaume na sio kinyume chake. Sababu za kuwa na mtazamo hasi ni nyingi kutokana na mtu mmoja na mwingine. Wengine ni kwa sababu ya kutojiamini, wengine ni kutokana na mambo ambayo umewahi kumfanyia kwenye mahusiano yenu, wengine historia za maisha yao ya utotoni na wengine ni kwa sababu ya wivu uliopitiliza kwa hiyo anawaza kuibiwa tu na mengine mengi. Kwa nini watu hawa sio potential kwa wanawake? Ni kwa sababu wanawake wanapenda mwanaume anayejali, anayepongeza na kusifia, mwenye mtazamo wa kutoshindwa, lazima mwanaume ujue kwamba mwanamke hujihisi hayuko salama (insecured) endapo kila anachofanya unaonesha kukitazama kwa ubaya. Badili mtazamo wako utaanza kuona uzuri wa mwenzio kwenye mahusiano. 5. Wanaume wanaoigiza maisha (pretenders) Hawa ni wanaume ambao hawajakubali hali zao za maisha. Kama ni maskini atataka aonekane tajiri. Akijuana na mtu maarufu basi na yeye anataka aonekane maarufu. Wanaume wa namna hii ukiwagundua hawaoni shida kuvunja mahusiano ili kuficha aibu yao. Wanataka kufanana na wanaume watoto. Kifupi hawa ni wanaume ambao hawana mikakati thabiti ya maisha yao, hufuata upepo na mara nyingi hawana uwezo wa kweli wa kutunza familia. Ili kuolewa na mwanaume wa jinsi hii mwanamke anapaswa kumfahamu kabla ili ajue hatua muhimu za kumbadilisha. MWISHO
Artikel Terkait
UTAALAM WA BURE NA MWEPESI WA JINSI YA KUMVUTA AU KUMRUDISHA MPENZI WAKO: Huu ni Utaalamu mwepesi wa jinsi ya Kumvuta Mpenzi wako ambaye aidha hakupendi au amekutoroka. Utaalamu huu utakupa uwezo wa kuvuta Mapenzi ya aina yoyote kwa Mpenzi wako, Marafiki zako, Wafanyakazi wenzio, Wakubwa wako wa kazi, Ndugu zako Adui zako na kwa ujumla mtu yoyote ambaye unataka akupende. Vitu vinavyohitajika ni kama ifuatavyo: 1.Karatasi Nyeupe kabisa isiyo na Mistari na ambayo haijatumiwa (Karatsi Mpya) 2.Kalamu mbili za Wino, moja Nyeusi na moja Nyekundu. 3.Maua ya Waridi (Rose Flower) mawili ya rangi ya Pinki. 4.Jagi la Maji la Kioo likiwa na maji karibu kujaa. 5.Mkasi mpya Mdogo ambao haujatumika. 6.Bakuli la Maji likiwa na maji ndani yake. KAZI HII UNAIFANYA WAKATI GANI? Shughuli hii unatakiwa uifanye wakati wowote ambao wewe mwenyewe unahisi kwamba haupendwi. Haina wakati maalum JINSI YA KUFANYA : Kata karatasi hiyo Nyeupe katika vipande viwili vilivyo sawa, hakikisha umepima, ili kimoja kisizidi kingine. KWA KUMVUTA MPENZI: •Ukitumia Kalamu Nyekundu, andika katika moja ya vipande hivyo viwili vya karatasi kwa ufupi mambo yote ambayo unafikiri yanakufanya upendwe na watu, mfano, labda una sura nzuri, au unavaa vizuri, au unasaidia sana watu au unazungumza na Watu vizuri na Kadhalika. •Chukua karatasi uliyoandika maneno yako mazuri, iweke dirishani Maandishi yaelekee Juu, Juu yake weka Jagi la maji la Kioo. Ndani ya Jagi tia yale maua mawili ya Waridi (Rose), Wakati unaweka Maua hayo unatakiwa unuie na uwataje kwa majina yao wale unaowataka wakupende au jambo unalolitaka la Mapenzi. •Karatasi ya mambo yako mazuri uliyoiweka chini ya Jagi la maji iache hapo mpaka Mwezi utakapoandama, unachotakiwa kufanya, nikubadilisha mara kwa mara Maua yaliyo ndani ya Jagi kila unapoona yamenyauka. KWA KUJISAFISHA NA KUJITOA MIKOSI •Ukitumia Kalamu Nyeusi, andika katika kipande cha karatasi kilichobaki mambo yote Ambayo unafikiri yanawafanya watu wakuchukie, Mfano: Kama pengine wewe ni Jeuri, au una sura mbaya, au labda wewe ni mbahili au labda unaringa sana na kadhalika. •Karatasi uliyoandika mambo yako mabaya itie ndani ya bakuli la maji na uiache hapo mpaka maandishi uliyoandika kwa Wino mweusi yafutike kabisa, kisha ulitupe karatasi lililolowa ambalo litakuwa halina maandishi Kwenye Jalala la Taka. Maji ya kwenye Bakuli yamwage njia panda, wakati wa kiza (Usiku). Unapomwaga Utie nia kwamba usichukiwe tena na haowanaokuchukia. Fanya hivyo na utaona Maajabu. Wale watakaofanya utaalamu huu tunawaomba watutumie maelezo ya Mafanikio gani waliyopata na kitu gani kilichotokea baada ya kufanya tendo hilo ... Read More
Zoezi lenye kuufanya uume usimame kwa muda mrefu na kuchelewa kukojoa wakati wa kufanya mapenzi  Misuli inayohusika na nguvu za kiume na kuwahi kumaliza wakati wa tendo la kufanya mapenzi huitwa ”puboccugeous Muscle” maarufu inajulikana kama Pelvic Muscle. Misuli hii inapokuwa dhaifu,uwezo wa kusimamisha uume kwa muda mrefu na kuchelewa kukojoa wakati wa kufanya mapenzi huwa mdogo. Zoezi lenye uwezo wa kuongeza nguvu ya misuli ya uume ,linaloweza kuufanya uume kusimama kwa muda mrefu,bila kusinyaa wala kuchoka,hili ni zoezi kama mfano wa zoezi lolote la kunyanyua vyuma vizito ambalo husaidia misuli kuinuka ,kukua na kuongezeka ukubwa na nguvu. ZOEZI LA KWANZA Wataalam wa mambo ya mapenzi wamethibitisha zoezi la misuli ya uume liitwalo ”physiotherapy”ndiyo hurudisha uwezo wa nguvu za kiume za asili,zoezi hili halina madahara yoyote kiafya na linaweza kufanyika wakati wowote. JINSI YA KUFANYA ZOEZI HILI Ukiwa umekaa popote fanya zoezi hili asubuhi na jioni na hali ya kuwa hauna mkojo kabisa(yaani kojoa kwanza) Ukiwa umekaa anza kujibinya kama mtu aliyebanwa na mkojo halafu choo kipo mbali,bana ili mkojo usikutoke kwa kukaza misuli hiyo ya sehemu nyeti,fanya mara 20>25 asubuhi na jioni kila unavyobana hesabu 3 mpaka 5 kisha unaachia,unabana tena hivyo hivyo. Endelea na zoezi hilo kiasi cha wiki,baada ya wiki mbili ongeza ubanaji zaidi kutoka mara 20 mpaka 70. Endelea kufanya zoezi hili kwa wiki 6 na matokeo mazuri huanza kuonekana wiki ya 4 mpaka 6 FAIDA YA ZOEZI HILI 1.Husaidia mzunguko wa damu kuingia kwenye uume na kuufanya uume utanuke na kuwa mgumu zaidi 2. Misuli ya uume itakuwa imara na kuweza kuzuia shahawa na hivyo kukuwezesha kumridhisha mwenza wako kila mara 3. Litakuwezesha kujibana kila unapotaka kukojoa huwapo kwenye tendo la ndoa(usingoje mpaka utamu umezidi utashindwa)jibane kama unajizuia kukojoa mkojo wa kawaida lakini usikate kiuno wakati mwenzio anaendelea kutingisha nyonga. Ikiwezekana hata fikra za utamu huo zihamishe kwa sekunde kadhaa mpaka hali hiyo ya kutaka kukojoa ikiondoka zirudishe fikra ili kuendelea na mwenzio kwa pamoja katika game hilo la kiutu uzima. Kasi iendelee na utaendelea hivyo mpaka uhakikishe mwenzio amekojoa ,na anaweza kukojoa hata mara 3,yaani ukiridhika kuwa mwenzio ameridhika au ukiskia ile sauti “”inatoosha” ndyo sasa nawe ukojoe hapo mwenzio atapata raha zaidi. ZOEZI LA PILI Uinue juu na kuushusha uume wako,uchezeshe juu chini,chini juu mara 5 mpaka 10,fanya mara mbili tatu huku unapumzika kidogo,uwe unaminyaminya kidogo wakati huohuo unavuta hewa kwa pua na kuitoa kwa mdomo. fanya zoezi hili mara kwa mara japo mara 3 kwa wiki linaweza kukusaidia kuimarisha misuli yako ya uume. ZOEZI LA TATU Ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara huimarisha moyo,ubongo na misuli ya uume ,wanasayansi wamelithibitisha hili kuwa ufanyaji wa mara kwa mara husaidia uume kupata nguvu(zipo tofauti kati ya uwezo wa mwanamme mwenye mke mmoja na mwenye wake wengi) Mwenye wake wengi anaongeza nguvu zaidi, Mwenyez Mungu anataka wanaume wa kiislam waimarishe misuli hii kwa kutoa fursa ya kufanya tendo la ndoa mara kwa mara pale alipowaamrisha waoe kuanzia wake wawili mpaka wanne wakiweza. Kadri unavyoongeza mke ndivyo unavyojiongezea uwezo kwa aliyeoa wake wawili na zaidi,pima uwezo uliokuwa nao ulipokuwa na mke mmoja kisha zitazame nguvu hizo baada ya kuongeza mke wa pili watatu na wanne Ndiyo maana utakuta mtu mwenye wake wawili akifiwa na mmoja huongeza mke ili kuziba pengo hilo. ... Read More
MWANAUME ANAPOSEMA HATAKI KUKUOA: MWAMINI  Naandika hii makala kwa sababu nimekutana na maswali mengi ambayo yanaumiza wanawake wengi. Swali linakuwa hivi. Nimekuwa na huyu mwanaume kwa muda mrefu na tumekuwa tukishirikiana mambo mengi. Sijawahi kuwa na hisia kama nilizo nazo kwa mwanaume huyu kwa mtu yeyote. Na nilijua tutakuwa pamoja maisha yetu yote. Tatizo ni kwamba anasema hataki kunioa? Nitafanyaje ili aweze kujua kuwa nampenda na tunaendana vizuri pamoja na tunatakiwa tuoane? Wanaume wengi huwa wanaogopa kuweka ahadi kama hawana uhakika na upendo walio nao kwa mwanamke. Semeni ukweli wanaume. Je ameongelea kuhusu maisha ya baadae? Kuna mpango gani? Ni rahisi kubadilisha mwanaume? Unawezaje kumlazimisha akuoe? Kitu gani cha kufanya kama amesema hawezi kukuoa? Kama amesema hatakuoa, Mwamini . Elewa. Najua tayari jibu umepata kwenye maandiko yangu ya juu, lakini napenda kurudia, huwezi kumlazimisha mwanaume akuoe kama amesema hataki kukuoa. Hataweza. Sasa basi sisemi kama haiwezekani kweli. Kuna wanaume ambao husema hawatakuoa na hubadili mawazo yao na kuamua kuoa mwanamke ambaye alikuwa hapendi kumuoa. Lipo hilo. Mwanaume anayesema hatakuoa na wakati anaishi na wewe, mara nyingi anakupotezea muda na atakwenda kuoa mtu mwingine anayempenda kuliko wewe. Tuangalie kwa nini iko hivyo. Ina maana gani anapokuwa anaongea kuhusu kuchukia ndoa Aina ya mwanaume ambaye atakuambia hatakuoa ni yule ambaye anachukizwa na taasisi ya ndoa au sheria yake. Mwanaume huyo hafikirii kama wazo la kuoa ni zuri kwa kila mtu- anaona hata wanandoa ambao wako pamoja hawaonyeshi kama wana upendo wa kutosha, hawana upendo wa kweli ( anaweza kuwa haamini hata kama kuna upendo) Anafikiria hata kama ataona, mbona ndoa nyingi hazifiki mwisho, au mbona ugomvi ndani ya ndoa hauishi. Vyovyote vile , kwa sababu zozote zile, lakini mwanaume huyu anaonyesha kuchukia taasisi ya ndoa, na hataki kuingia huko, ndio maana hataki kuoa. Kama utasikia akisema hivyo mwamini. Haonyeshi kama atatafuta mwingine ambaye ataweza kubadili mawazo yake kuhusu kuoa.hata kama mnakaa pamoja na mnapendana sana , lakini hatafunga ndoa. Ina Maana Gani Anaposema Muda Wa kuoa Bado. Huyu ni aina nyingine tena.Anasema muda bado, anakuwa na sababu nyingi.Kama hali yake ya maisha haijakaa sawa, hajajenga nyumba, hana gari, na sababu kibao. Mwanaume huyu hana tatizo katika kuoa , Ila wakati bado , hataweza kuoa wakati unaotaka wewe, hata kwa sababu zipi hataweza. Unachotakiwa kufanya ni kumwamini anachokisema. Sababu zake hazina msingi. Kitu cha msingi ni Ukweli anaokuambia.Inaumiza lakini ndio ukweli.Inavunja moyo lakini ndio ukweli, Amini hilo na itaokoa muda wa kwako kusubiri.Na wakati huo huo utakuwa unafanya maamuzi ya kusubiri, kukubali jinsi ilivyo. Lakini kumbuka kuwa ndoa ni kitu cha muhimu sana. Wanaume wanaosema hawataoa huongea ukweli.Kama anakuambia hatakuoa Amini tu. Wanaume wanajua ni mwanamke wa aina gani atakayeishi nae maisha yake yote, uwe makini asije akawa anakutumia huku ana mipango yake .Yapo mambo wanaume huyapenda kwa mwanamke, vile vile yapo mambo ambayo wanawake wanapenda kwa mwanaume. Kama unaona unamlazimisha jambo fulani hataki , kuwa makini. ... Read More
Kwa Wanawake tu..Fahamu Mbinu Kuntu za Kummaliza Mumeo Ndani ya Sita kwa Sita Hadi Akapagawa   Weekend hii nimeona ni vyema tuzungumzie kidogo kuhusu masualaya mahusiano pia kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia katika maisha ya mwanadamu. Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita. Jambo la kwanza wanamke unapaswa kuwa jasari na mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu hiyo, Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko mkubwa. Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke)unaweza kutoa nguo zako kisha mkumbatie mmeo , huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi. Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja vyake na mapaja na nk. Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona akisisimka zaidi. Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi. Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi kwa haraka zaidi. Uwapo katikati ya tendo hakikisha unkuwa serious na zoezi hilo, huku ukijitahidi kuepuka kucheka kwa jambo lolote lile hata pale mwenzi wako anapotoa sauti za kufurahisha wakati wa katikati ya tendo. Pamoja na hayo, mwanamke uwapo katikati tendo hilo na mwenzi wako jitahii sana kujiachia maungo yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo hilo la ndoa huwa hakuna uheshimiwa hivyo ni vyema ukajiachia. Katika tendo la ndoa pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana wakati wa tendo la ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo. Baada ya kumaliza tendo hilo kumbuka kusema asante na mpe pole mwenzi wako kwa kazi pevu, kisha chukuwa kitambaa na mkaushe kijasho cha utamu wa penzi kwa taulo uliloandaa maalum. ... Read More
📶happy birthday you my love 🆗#Najua_Umejifunza_mengi________Tanguu_umekuwa_mtoto_mpaka_now_umekuwaa😘😘😘😘 #____umejionea_mengi_hapa_dunian😧😧 ‼‼‼#___yasikutishe_coz_god_Yuwetu_sote😍😍 #__Amini_UHAI_tu_ndo_muimu_vingine_mapito_tuuu😧😧 #Happy_b_day____ ❇❇my.. Best ❇❇my.. Blood ❇❇rohoo.. Yang.. Kipenz... Changu ❔⁉⁉❔❔⁉MPAKA..Nasahau majina sijui nikuitajeee jamn rohoo ilizikeee 🎂🎁🎁🎂🎊🎊🎇🎉🎀🎂🎂🎂🎆 ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: