NENO #KUNTU LA LEO " Mwanamke bora huwa anajiamini ndani ya ndoa yake, humuamini mmewe sio kila siku hofu kibao mme akichelewa tu kidogo kurudi ugomvi, hofu ya mumeo kuchepuka inatokana na ukweli kuwa hujasimama katika nafasi yako kama mkewe sawasawa ndio maana unajihisi kama mtu anayeogea nje. Iwapo unatekeleza wajibu wako kikamilifu ikiwemo kumshauri, kumfariji, kumuombea Mungu, kumtia moyo katika kazi zake na kumuunga mkono katika jitihada zake kimaendeleo huna haja ya kuingia hofu ya kusalitiwa" FUNZO Ni vema mwanamke ukatafakari nafasi yako kwa mmewe, kabla hujamlaumu kwa kuchelewa kurudi nyumbani, kuchepuka, kusifia wake za watu n. k jitafakari amekosa nini kwako hadi afikie kufanya matukio kama hayo kisha jirekebishe. Tambua sababu ya yeye kuchepuka nje ya ndoa ni kwenda kutafuta vile anavyovimis kutoka kwako ikiwemo faraja, aman, mapenzi moto moto, ushauri wenye tija kimaendeleo, ukarimu, ucheshi, heshima, upendo, upole, unyenyekevu, usafi na shukrani UPO?👌🏿 Kama umenielewa SHARE ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi katika jamii andika IMEPENYA HIYO kisha SHARE mara nyingi uwezavyo Nakutakia siku Njema, Mungu Akubariki na kukulinda Usisahau ku LIKE

at 10:10 PM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top