Home → ushauri
→ Nchi Kumi Zinazoongoza Kwa Kuwa na Wasichana Warembo Barani Afrika
Afrika ni miongoni mwa Bara lililobarikiwa tamaduni, lugha na watu tofauti wenye tabia zinazoshabihiana ikiwamo ukarimu.
Miongoni mwa watu wa Bara hili wapo wasichana warembo wa kuvutia tofauti na wengine, katika hili kuna mjadala mpana huku baadhi wakikubali kuwa kuna watu wanaovutia kuliko wengine huku baadhi yao wakidai kuwa uzuri, urembo wa mtu unatafsiriwa kulingana na anayemtizama.
Lakini katika hili tukubali tukatae miongoni mwa wanawake wa Afrika bila kujali wanatizamwa na nani ni wazuri na warembo na wanavutia kuliko wengine.
Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika, mwaka jana Tanzania ilishika nafasi ya 10 mwaka huu imepanda nafasi moja na inashika nafasi ya tisa.
10: Ghana
Nchi ya Ghana inashika namba 10 kwa kuwa na wanawake wazuri Barani Afrika kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa Machi mwaka huu na tovuti mbalimbali za masuala ya urembo ikiwamo Afrojuju, Urbanviralmedia.
Jambo wanalolingana wanawake wa Ghana kuwa wana mvuto wa asili ambao huuongezea kwa kujiremba.
Mwaka jana Ghana ilishika namba nane, mwaka huu imeshuka nafasi mbili na kushika nafasi ya 10.
9: Tanzania
Nafasi ya tisa mwaka huu imeshikiliwa na Tanzania iliyokuwa inashikilia nafasi ya 10 mwaka jana hivyo imepanda nafasi moja.
Miongoni mwa sifa za wanawake wa Tanzania ukiachilia mbali uzuri wa asil ni ni pamoja na kutunza nyumba, ujuzi wa kukisafisha chumba na kukipamba. Katika orodha hii wametajwa kuwa wanawake bora wachapa kazi na wanaojali familia.
8: Kenya
Imepanda nafasi moja kwa kuwa mwaka jana ilishika nafasi ya tisa.
Sifa za wanawake wa nchi hiyo ni pamoja na kuwa wajuzi katika mapenzi, wachapa kazi na watuamiaji wa pombe, jambo linalowatofautisha na watu wengine ni rangi yao ya kuvutia.
7: Nigeria
Kwa miaka miwili mfululizo warembo wa Nigeria wanashikilia nafasi ya saba.
Wanawake wa Nigeria licha ya kuwa na rangi za kuvutia, pia wana maumbo ya yaliyojazia na wamejaaliwa kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi, kati ya 1970 na 2011 Nigeria iliongezeka idadi ya watu mara tatu na kuifanya kuwa nchi yenye wakazi wengi barani Afrika. Kama unataka mwanamke mzuri na atakayekuzaliwa watoto wengi Nigeria inakuhusu.
Kwa wale wanaotaka mwanamke mwenye sifa za kuwa mke, wa nchi hiyo wanafaa. Sifa ya kipekee wanajua kupika na kutunza familia.
6: Ivory Coast
Mwaka huu namba sita imeshikiliwa na Ivory Coast ambayo mwaka jana haikuwepo kabisa, hivyo imeingia kwenye 10 bora kwa mara ya kwanza, nafasi hiyo mwaka jana ilishikwa na nchi ya Afrika Kusini.
5: Afrika Kusini
Nchi hii imewapa jina warembo wake “Upinde wa Mvua wa Taifa”. mwaka huu imepanda nafasi moja kutoka nafasi ya sita iliyoshika mwaka jana.
Ni miongoni mwa nchi zenye wasichana warembo wa kuvutia katika Bara la Afrika. Miji ya Cape Town, Johannesburg, Pretoria na Durban ndiyo yenye wanawake wenye mvuto. Wanawake wa Afrika Kusini wanang’aa na kuvutia kutokana na ngozi zao nyororor.
Unapofika nchini humo hasa katika Jiji la Pretoria kuwa makini kwa sababu unaweza kugongwa na gari kutokana na kuwashangaa warembo hao ambao kwa kawaida huvaa tofauti kidogo, nguo zao huwa fupi.
4: Rwanda
Wanaume wao hujivunia kwa kuwaita “Tufaa Lililojificha”, mwaka jana nchi hiyo ilishika nafasi ya kwanza kwa kuwa na wanawake warembo, mwaka huu imekamata nafasi ya nne.
Wanawake wa nchi hii sifa ya kipekee ikiwamo urefu unaopendeza, shepu ya Kiafrika kabisa, wasomi na wanaotaka kufahamu kila jambo.
Kitu kinachowafanya wawe juu licha ya kuwa warembo, ni wachapa kazi wanaojali muda na kupigania wanachokitaka bila kujali wanapambana na nani na ana nafasi gani ikiwamo kutoogopa mashindano na wanaume katika nyanja mbalimbali ikiwamo za kisiasa, kielimu au kiutendaji.
3: Somalia
Sifa yao maarufu na wanayopendwa kuitwa na wanaume wa nchi yao ni “Vita Aiharibu Urembo”, mwaka jana walishika nafasi ya pili. Licha ya urembo na kuwa karibu maeneo mengi katika Bara la Afrika bado wana utamaduni wa kuoana wao kwa wao. Wanatajwa pia kuwa miongoni mwa wanawake wanaoamini katika ndoa na kuitendea haki.
2: Eritrea
Ni miongoni mwa nchi zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika, licha ya asilimia kubwa ya wanawake wake kujihifadhi kwa kuvaa ushungi na mavazi marefu bado asili ya urembo wao ipo pale pale.
1: Ethiopia
Wanawake wa nchi hii huitwa “Asili ya Ubinadamu”. Huo ni utambulisho wao mbele ya macho ya dunia.
Inaelezwa kuwa ustaarabu kwa wanawake ulianzia katika Ethiopia, hivyo inatajwa kuwa ni nchi yenye wanawake wenye mvuto zaidi barani Afrika.
Wengine wanasema matokeo ya mvuto wao yanatokana na mchanganyiko wa watu wa kale wa Yemen na Ethiopia. Wakati mwingine inakuwa ngumu kuwatofautisha kutokana na baadhi yao kufanana sana, maumbile, sura na uzungumzaji.
Nchi Kumi Zinazoongoza Kwa Kuwa na Wasichana Warembo Barani Afrika Afrika ni miongoni mwa Bara lililobarikiwa tamaduni, lugha na watu tofauti wenye tabia zinazoshabihiana ikiwamo ukarimu. Miongoni mwa watu wa Bara hili wapo wasichana warembo wa kuvutia tofauti na wengine, katika hili kuna mjadala mpana huku baadhi wakikubali kuwa kuna watu wanaovutia kuliko wengine huku baadhi yao wakidai kuwa uzuri, urembo wa mtu unatafsiriwa kulingana na anayemtizama. Lakini katika hili tukubali tukatae miongoni mwa wanawake wa Afrika bila kujali wanatizamwa na nani ni wazuri na warembo na wanavutia kuliko wengine. Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika, mwaka jana Tanzania ilishika nafasi ya 10 mwaka huu imepanda nafasi moja na inashika nafasi ya tisa. 10: Ghana Nchi ya Ghana inashika namba 10 kwa kuwa na wanawake wazuri Barani Afrika kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa Machi mwaka huu na tovuti mbalimbali za masuala ya urembo ikiwamo Afrojuju, Urbanviralmedia. Jambo wanalolingana wanawake wa Ghana kuwa wana mvuto wa asili ambao huuongezea kwa kujiremba. Mwaka jana Ghana ilishika namba nane, mwaka huu imeshuka nafasi mbili na kushika nafasi ya 10. 9: Tanzania Nafasi ya tisa mwaka huu imeshikiliwa na Tanzania iliyokuwa inashikilia nafasi ya 10 mwaka jana hivyo imepanda nafasi moja. Miongoni mwa sifa za wanawake wa Tanzania ukiachilia mbali uzuri wa asil ni ni pamoja na kutunza nyumba, ujuzi wa kukisafisha chumba na kukipamba. Katika orodha hii wametajwa kuwa wanawake bora wachapa kazi na wanaojali familia. 8: Kenya Imepanda nafasi moja kwa kuwa mwaka jana ilishika nafasi ya tisa. Sifa za wanawake wa nchi hiyo ni pamoja na kuwa wajuzi katika mapenzi, wachapa kazi na watuamiaji wa pombe, jambo linalowatofautisha na watu wengine ni rangi yao ya kuvutia. 7: Nigeria Kwa miaka miwili mfululizo warembo wa Nigeria wanashikilia nafasi ya saba. Wanawake wa Nigeria licha ya kuwa na rangi za kuvutia, pia wana maumbo ya yaliyojazia na wamejaaliwa kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi, kati ya 1970 na 2011 Nigeria iliongezeka idadi ya watu mara tatu na kuifanya kuwa nchi yenye wakazi wengi barani Afrika. Kama unataka mwanamke mzuri na atakayekuzaliwa watoto wengi Nigeria inakuhusu. Kwa wale wanaotaka mwanamke mwenye sifa za kuwa mke, wa nchi hiyo wanafaa. Sifa ya kipekee wanajua kupika na kutunza familia. 6: Ivory Coast Mwaka huu namba sita imeshikiliwa na Ivory Coast ambayo mwaka jana haikuwepo kabisa, hivyo imeingia kwenye 10 bora kwa mara ya kwanza, nafasi hiyo mwaka jana ilishikwa na nchi ya Afrika Kusini. 5: Afrika Kusini Nchi hii imewapa jina warembo wake “Upinde wa Mvua wa Taifa”. mwaka huu imepanda nafasi moja kutoka nafasi ya sita iliyoshika mwaka jana. Ni miongoni mwa nchi zenye wasichana warembo wa kuvutia katika Bara la Afrika. Miji ya Cape Town, Johannesburg, Pretoria na Durban ndiyo yenye wanawake wenye mvuto. Wanawake wa Afrika Kusini wanang’aa na kuvutia kutokana na ngozi zao nyororor. Unapofika nchini humo hasa katika Jiji la Pretoria kuwa makini kwa sababu unaweza kugongwa na gari kutokana na kuwashangaa warembo hao ambao kwa kawaida huvaa tofauti kidogo, nguo zao huwa fupi. 4: Rwanda Wanaume wao hujivunia kwa kuwaita “Tufaa Lililojificha”, mwaka jana nchi hiyo ilishika nafasi ya kwanza kwa kuwa na wanawake warembo, mwaka huu imekamata nafasi ya nne. Wanawake wa nchi hii sifa ya kipekee ikiwamo urefu unaopendeza, shepu ya Kiafrika kabisa, wasomi na wanaotaka kufahamu kila jambo. Kitu kinachowafanya wawe juu licha ya kuwa warembo, ni wachapa kazi wanaojali muda na kupigania wanachokitaka bila kujali wanapambana na nani na ana nafasi gani ikiwamo kutoogopa mashindano na wanaume katika nyanja mbalimbali ikiwamo za kisiasa, kielimu au kiutendaji. 3: Somalia Sifa yao maarufu na wanayopendwa kuitwa na wanaume wa nchi yao ni “Vita Aiharibu Urembo”, mwaka jana walishika nafasi ya pili. Licha ya urembo na kuwa karibu maeneo mengi katika Bara la Afrika bado wana utamaduni wa kuoana wao kwa wao. Wanatajwa pia kuwa miongoni mwa wanawake wanaoamini katika ndoa na kuitendea haki. 2: Eritrea Ni miongoni mwa nchi zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika, licha ya asilimia kubwa ya wanawake wake kujihifadhi kwa kuvaa ushungi na mavazi marefu bado asili ya urembo wao ipo pale pale. 1: Ethiopia Wanawake wa nchi hii huitwa “Asili ya Ubinadamu”. Huo ni utambulisho wao mbele ya macho ya dunia. Inaelezwa kuwa ustaarabu kwa wanawake ulianzia katika Ethiopia, hivyo inatajwa kuwa ni nchi yenye wanawake wenye mvuto zaidi barani Afrika. Wengine wanasema matokeo ya mvuto wao yanatokana na mchanganyiko wa watu wa kale wa Yemen na Ethiopia. Wakati mwingine inakuwa ngumu kuwatofautisha kutokana na baadhi yao kufanana sana, maumbile, sura na uzungumzaji.
Artikel Terkait
Hivi unazijua Dalili 5 Za Mwanaume Anayekupenda Kwa Dhati??  Undapo utaona dalili hizi kwa mwezi wako wa kiume basi tambua fika basi, ya kwamba anMapenzi ya kweli. 1. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda! 2. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati ku Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli. 3. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu. 4. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume! 5. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu! ... Read More
NJIA RAHISI 13 ZA KUWA NA FURAHA KILA SIKU  Mabadiliko yalio mepesi kwenye tabia zako za kila siku yatakuweka kwenye mstari wa furaha unayoitaka Umejikuta uko kwenye siku tofauti, story hizo hizo, imekuwa ni kawaida yako? Basi muda huu , sio kesho , sio wiki ijayo, ni wakati wa kubadilisha historia yako. ni za haraka, rahisi na hazina gharama unapofanya hivyo na matokeo yatakupa furaha unayoitaka. 1.Pata masaa 7 mpaka 8 ya kulala usiku. Kulala usingizi wa kutosha unapata furaha, utaweza kuwa na nguvu ya kufanya kazi zako , na utakuwa na mahusiano mazuri. weka simu yako mbali unapoenda kulala, usitumie chakula kingi wakati wa jioni. 2.Amka mapema , dakika 30 kabla . Kama wewe ni mfanya kazi wa kuajiriwa na una tabia ya kuchelewa kazini, jaribu kuamka mapema dakika 15 au 30 kila siku kwa ajili ya kujiandaa vizuri na kukumbuka vitu vyote vya kufanya, kuchukua siku hio. utaona tofauti ya tabia yako. 3.Meditate. Hii ni kubwa. meditate kwa muda wa dakika 10 au 20, utapata faida nyingi zaidi ya furaha, pamoja na kuwa muwazi, kuwa na malengo ya siku nzima. Anza siku yako na meditation. utajiepusha na tress na wasiwasi na hutachanganyikiwa na kazi zako. 4.Jipe nafasi wengi wetu huwa tunajaza vitu nyumbani, ofisini hata vile ambavyo havina kazi, hatuvitumii. inaharibu mfumo mzima wa akili yako, hisia zako, na mwili wako. Ondoa vitu ambavyo huvitumii, tupa nje au gawia watu ambao wanahitaji kuwa navyo, hali yako ya furaha itaboreka. Na hutalemewa na kazi nyingi. 5.Jifunze kitu kipya Jitahidi kujifunza kitu kipya kila siku, kwa sababu hio ndio changamoto itakayokupa furaha, kujifunza kitu kipya inaboresha afya yako ya mwili na akili, kujifunza utajenga ujasiri pia na utakuwa sharp. 6.Tembea mara kwa mara Kutembea kwa dakika 30 kwa siku moyo wako utakuwa unafanya kazi vizuri, utapunguza hasira, hutakuwa na chuki. Kama unaona ni ngumu kwako kutembea , hasa kama una gari , jifunze kupaki gari yako mahali mbali na ofisi , tembea . anza kutumia maji ya kutosha. utapata faida nyingi . 7.Usijihusishe na mambo ya mitandao. Ni rahisi kuingia instagram, facebook na zingine, lakini wachunguzi wanasema kwamba ukizidisha kujihusisha na mitandao unaweza kuharibu afya yako ya akili. badala ya kutumia nusu saa kwenye mitandao, unaweza kufanya kitu kingine unachokipenda, au kusoma kitabu, kujifunza mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kujiboresha mwenyewe kuwa mwenye afya. 8.Kuwa mwema. Ukarimu unakuongoza kwenye furaha yako mwenyewe na utakuwa mwenye afya bora. vitu ambavyo vinavyo chochea furaha ni kutoa , na kuwa mkweli , utapata faida , na utajisikia vizuri kuwa sehemu ya baraka kwa mtu fulani. kujitolea kufanya kitu, au kumwachia mtu kiti kwenye daladala. Sehemu ngumu? lakini nzuri. 9.Kaa na watu wenye furaha. Angalia watu unaoshinda nao, unaofanya nao kazi, ni watu wa aina gani. kwa sababu kuna msemo unasema kuwa ukikaa na ua rose utanukia hata kama ulikuwa hunukii. Fanya hivyo na utaweza kufungua mlango mpya kwa ajili yako maishani. utaiona furaha ikitiririka kama mto. 10.Don’t gossip. Kuseng’enya, umbeya, itakusababishia maradhi ya misongo na kukosa furaha. mtu mmbeya hawezi kusaidia kitu. wakati mwingine jitenge na watu kama hawa, au unapoona kuna kutoelewana na wafanya kazi wenzako, jaribu kutulia kwanza , badilisha negative to positive. Sema kitu kizuri kuhusu mtu. ni vizuri. kwa sababu utajiwekea alama nzuri kwako. 11.Tumia muda wako na watu unaowapenda Unapoongea na familia au marafiki kwenye simu , inatia moyo. mawasiliano hayo yanakupa afya na furaha.Fikiri ilivyo vizuri kama utaenda kula na rafiki yako mahali fulani, au kuamua kupika nyumbani , au kucheza na watoto wako kitu kama game, mpira, inafurahisha. 12.Journal Kuandika vitu vya kufanya kwa siku, au kuandika vitu unavyotaka kuvipata, Lengo hili dogo litaongeza IQ yako na kuleta utulivu wa kuboresha ujasiri wako, ukiwa na tabia hii kila siku , furaha haitakosekana kwako na utapata faida ya akili na hisia zako zitakuwa bora. 13.Jizoeze kujijali. Unapojijali ,Utaona faida zake, pamoja na kuondoa stress na wasiwasi, utakuwa mtu wa kuwaza mazuri na utaboresha immunity.pata muda kila siku kufanya kitu kwa ajili ya furaha, kama vile mazoezi, kupika chakula kizuri, kusoma . utaanza kushangaa jinsi ilivyo rahisi kuwa na furaha unapojijali na utaboresha akili yako na mwili wako, na roho yako. Kama unavyojua , kuna njia nyingi zinazotushambulia kwa siku, Ondoka mahali ambapo panaharibu ratiba yako. sasa, kama kitu kingine chochote,mafanikio ni kufanyia kazi. kwa hio pick one, and let the fun begin! ... Read More
Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke  Naomba kufahamishwa na wanawake jinsi ya kujisafisha kwenye papuchi(mwanaume atakaye shauri naomba awe doctor au mwenyewe experience ya kutosha kuhusu maumbile ya mwanamke) Mimi huwa nikienda kuoga natumia sabuni ya jamaa kusafisha juu kabisa ya papuchi yaani kwenye mapaja na pale juu kwenye nyw**le...then natumia maji mengi kujisuuza na kuingiza kidole ndani kidogo ya K kutoa uchafu either wa period kama niko P na sometimes nakuta kuna ule uchafu mweupe wanaita(utoko) but huo uchafu huwa ni mweupe kama barafu na pia haunuki kabisaa..... Sasa swali ni kwamba kuna watu wanadai hatupaswi kutoa huo uchafu eti ni bacteria wa kukinga K isipate madhra so hupaswi kuingiza kidole kabisa.... tuoshe juujuu tu...... Second wengine wanasema tusinawe na sabuni kabisaa(japo kama nilivyosema mimi sabuni napitisha kwa juu kabisa tena nikiwa nimesimama ili isiweze kuingia kwenye K coz siamin kama kujisafisha bila sabuni harufu ya mkojo, harufu ya P na jasho itaisha kwa kunawa na maji tu.....na situmii sabuni zenye chemical). Naomba wanake wenzangu mnipe experience zenu juu ya hili ... Read More
Kanuni Kumi '10' Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa....Ikizishindwa Imekula Kwako  UHALISI WA MAISHA: Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU: Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI: Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzunguka. Tabia ya upendo wa halisi ina thamani kubwa sana kuliko mali nyingi, pesa, elimu ya juu n.k. wewe unaweza kabisa kuwa na elimu ya juu sana na pesa nyingi sana lakini pasipo upendo wa halisi ni sawa na kusema kopo zuri kwa nje na ndani hamna kitu. Nguzo kuu ya maisha ya mwanamke shujaa ni Upendo wa dhati na uhalisia. UTII KWA KWA JAMII: Maisha halisi ya utii katika jamii inayokuzunguka ili kuweza kuyafanyia kazi yale yote uliyojifunza na pia kuyatenda kwa ufasaha pasipo kupita kona yoyote. Utii kwa jamii ni ufunguo mmoja wapo utakaokusaidia kufanikisha mambo yako na malengo yako kama mwanamke shujaa. UAMINIFU KATIKA JAMII: Kuishi maisha ya uaminifu wa kweli na uhalisia katika jamii inayomzunguka. Uaminifu wa kweli huonekana nyakati zote na siyo tu wakati mtu anapokuwa mbele za watu wanaomjua bali hata wale wasiomjua na hata anapokuwa mahali peke yake aweze kutunza uaminifu wake kwa faida ya jamii nzima. Mwanamke shujaa hujitahidi sana kutunza uaminifu wake katika sekta zote. UNYENYEKEVU WA KWELI: Kuishi maisha halisi kabisa ya unyenyekevu kwa jamii inayomzunguka, unyenyekevu ni kinyume kabisa na kiburi, majivuno, kujigamba, kujikweza, kujiinua, kujiona,na hata kjitanguliza mbele kwa kila jambo. Mwanamke shujaa huwa ni mnyenyekevu wakati wote na hana makuu daima. UWAJIBIKAJI WA DHATI: Maisha halisi ya uwajibikaji akiangalia majukumu yake yote yanayomkabili na kuhakikisha anafanya kwa moyo bila kuwa na tabia ya kusaidiwa majukumu yake. Mwanamke shujaa ni mfano wa kuigwa kutokana na uwajibikaji wake. USHIRIKIANO WA DHATI: Ushirikiano katika jamii inayomzunguka. Sisi wanawake mashujaa yatupasa kujua dhahiri kuwa kazi ya kubadili tabia na kufanya wengine wabadilike kwa lengo la kupata familia bora ni lazima kuwa na ushirikiano wa kweli ambao utajenga tabia ya kuaminiana na kunai mamoja katika harakati hizi za kuandaa/ kujenga familia bora. UTARATIBU WA KAZI/MPANGILIO: Katika utaratibu wa maisha yake, pamoja na mpangilio mzuri wa mambo yanayomzunguka hii itakusaidia kuwa na muda mzuri wa kufanya shughuli zako na pia kutekeleza majukumu yako ya kila siku kama mwanamke shujaa. Hakuna njia yoyote ya kukuwezesha kukua na kuendelea katika maisha yako bila kuwa na utaratibu na mpangilio wa mambo yako. KUFANYA TATHIMINI: Kuweza kufanya tathimini ya yale yote anayoyafanya katika maisha yake ya kila siku, pengine ni mfanyabiashara, mfanyakazi, mkulima n.k kama mwanamke shujaa yakupasa kutathimini shughuli zako kama zina leta faida/hasara kwa familia na jamii yako inayokuzunguka. Ukiona faida ni kubwa unaendelea na hiyo shughuli lakini kama hasara ni kubwa unajiweka katika nafasi ya kubadilisha aina ya shughuli mara moja bila kupoteza wakati. ... Read More
Utajuaje Kama Mahusiano Uliyonayo Yatadumu.  Dalili 8 zitakuonyesha kama upo kwenye mahusiano ya kudumu au hapana. Afya. Wote tunafikiria kuhusu hili. hasa kwa kadri tunavyoendelea kukua , tunatembelea madaktari, tunakula vizuri wakati mwingine. Tunatafuta dalili na wakati mwingine matokeo yake yanatuambia kuwa hali zetu sio nzuri. Lakini tunapofikiria afya, tunafanya hivyo katika miili yetu tu. mara nyingi tunasahau kufikiria kuhusu afya ya mahusiano na mapenzi. Tunaangalia zaidi afya ya mwili katika maisha ,lakini kuwa na afya nzuri katika mahusiano ni vitu vinavyoungana. Kwa kurahisisha , mahusiano mabaya hayadumu. au ingawa yanaweza kukaa kwa muda fulani.Na kama yakidumu , atakuwepo mtu wa kuumia. Lakini ni nini hasa afya ya mahusiano? Tutajuaje kama mahusiano yetu yatadumu? Utajuaje kama uko na mtu sio sahihi, mtu ambaye mtaishia kwenye kona fulani tu? Hakuna kipimo halisi cha kujua. Hakuna kipima joto kinaweza kupima kiasi cha muda wa mahusiano kuwa ni ya moto au baridi. Kwa bahati kuna hizi dalili 8 ambazo zinaweza kukusaidia kujua afya iliopo kwenye mahusiano yako. 1.Mchumba wako atakuwa na imani na wewe , na wewe utakuwa na imani naye.  Hataongea kwa ajili yake bali ataongea kwa ajili yenu wote. atakukumbusha pale unapokuwa umesahau au unapokuwa na mashaka kwa jinsi ulivyo. Ana maono ya wazi ya muhimu kwako. atalea hali hio na utaiona. Vilevile na upande wako utakuwa kama yeye. hutamsema vibaya kwa marafiki, hutalalamika kitu bali utaongea mbele yake. Utamwamini kuwa yuko kamili , mtu anayeweza kutatua matatizo na kusimama kwa miguu yake. Hata kama haujamsaidia kitu. 2.Unamwamini. Unamwamini katika ukweli wake wote. ahadi zake ni za kweli. utamkubali alivyo. Anahusika katika majukumu yake. 3.Unakubali mambo yake yaliopita na yeye anakubali ya kwako. Jinsi alivyokuwa, alikuwa na wanawake wangapi, wanaume wangapi. hutajali. utamkubali alivyo ili mkue pamoja. hutafikiria kitu chochote kilichopita, bali utakuwa na hamu ya kutaka kujua jinsi gani huyo mtu alivyo. Mahusiano yako yatakuwa yamekusanya, Msamaha na kuachilia yaliopita. 4.Unashukuru kwa vitu vizuri mlivyonavyo Unakubaliana na vitu vidogo vidogo anavyovifanya kwako. unakuwa na matumaini, husubiri kupata kazi, kwa ajili ya mshahara, kwa ajili ya mambo mengine. unashukuru kwa kile mlichonacho sasa na mwenza wako. Mnafuraha wakati huu. hana mchezo wa kijinga. anatengeneza pesa ya kutosha. anafanya kitu akipendacho. Utakuwa unalenga safari sio mwisho wa ndoa, mtoto, sherehe, vitu vinatokea kwa kawaida. 5.Mawasiliano ni ya wazi na ya kueleweka kwa kila mmoja. Hakuna wa kusubiri ni nani atamtafuta mwenzake. kila mtu anakuwa na jukumu la kufanya hivyo. Na kama itatokea mmoja hakuhusika , hakuna lawama, kwa kuwa mnaelewa . utavaa moyo wake. hutahangaika kuyatawala mahusiano kwa sababu hamfanyi mchezo wa kuigiza. 6.Maisha yenu ya sex yataendelea kuwa mazuri na ya kupendeza. Kwa sababu ya urafiki ambao mnao, maisha yenu ya mahusiano yatakuwa rahisi na ya kimapenzi. Ya ukaribu zaidi. sex itakuwa sio kipaumbele chenu bali ni matokeo ya upendo mlionao. mahitaji yenu ya kimwili yatatosheka kwa pamoja. 7.Utamuheshimu na yeye Atakuheshimu wewe. Kila mtu anaheshimu mipaka ya mwenzake na mnaweza kuhimizana katika kutimiza malengo yenu. kama unapenda kucheza , atakuhimiza kufanya hivyo. hutahitaji kukamilisha hisia zako zote. atakuwa na mahusiano mazuri na watu wengine pia. Ni mtu muhimu kwako. anakufanya ujisikie vizuri. 8.Malengo yenu yanafanana. Hutajaribu kumbadilisha. au kujaribu kuomba kuishi na yeye. hutahitaji awe mtu wa kutengeneza kitu chako. ni mtu ambaye ulimtaka awe wako. thamani yake ni muhimu katika maswali hata. Unataka watoto? Unapenda kusafiri? Una hamu ya kupata uzoefu fulani? unakubaliana katika mambo ya pesa? Una furaha unapokuwa naye? Unataka kuishi naye na kuwa naye chumba kimoja? Afya ya mahusiano yako ni muhimu katika maisha ya ndoa utakayoingia. Lakini hakuna kipimo cha kupimia uzima huo. Ni wewe tu na mwenza wako mnajua kama mahusiano yatadumu au yataishia kwenye kona. yatakuwa na matunda au hapana. Mttajua kama ni mazuri au sio. hizo dalili nane zikusaidie kufahamu kama ni ya afya au sio, yatadumu au hayatadumu. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: