Home → ushauri
→ MKASA WA KUSISIMUA: KILIO NA MAOMBI YAKO KWA MUNGU SIO BURE, ATAKULINDA NA KUWAADHIBU ADUI ZAKO
# inasikitisha sana
Pamoja na upendo wa dhati na mapenzi yote aliyokua nayo Magdalena kwa mumewe ila usaliti ilikua tabia ya siri ndani ya mmewe. Japo alimuamini sana ila ukweli ni kwamba mwanaume alikua hatosheki ndani ya ndoa, alikua na mchepuko mmoja aitwae Aisha shangingi wa saloon ambae alikua kamteka zaidi, jamaa alitaman hata kumuoa ila kutokana na aibu kuwa ana mke tayari ilibidi siku moja amwambie ukweli.
jamaa akamkalisha chini huyu mdada na kumpa misimamo yake.
"Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake nimekupenda
Nilikwambia tangu awali nina mke na watoto.
Nampenda mke wangu ndio maana nilifunga nae ndoa.....
Sitamani hata siku moja aje kuumia eti kwasababu yako
Sina malengo yoyote na wewe hususani ya kindoa maana tayari niko na ndoa.....nakuhe
shimu pia kwa nafasi yako lakini kuwa na nidhamu kwenye ndoa yangu......kukupenda wewe haina maana kwamba mke wangu simpendi no,ni udhaifu wa wanaume tulionao
Sitaki uwasiliane na mke wangu hata mara moja
Sitaki ajue nina hawara nje,mke wangu anasali anamuomba Mungu.
Hata mahusiano yetu najua ataonyeshwa kwenye ndoto tu!
Ni afadhari akawa ana hisia tu lakini sio ajue.
Aisha akajibu " ina maana huna malengo kabisa na Mimi
Ko una mpango wa kunichezea tu?
"Kwani ulitaka nini ziada kutoka kwangu?jamaa akamuuliza.
Nataka unizalie watoto namimi nataka ndoa hata mke wa pili
Haa eti nini!?kama ni hivyo tuishie hapa ,dini yetu hairuhusu kawatafute wakina mzee Yusufu sihitaji stress ndio maana nimekwambia mapema misimamo yangu kama utaiweza,huiwezi tuishie hapa....
Haya nimekuelewa ntafuata huu utaratibu kwasababu nakupenda.alijibu dada.....poa una amani lakini?aliuliza jamaa
Yes usijari......
Naomba ninapokuwa nyumbani usinitext wala nisiione call yako ni mpaka iwe ninapokuwa kazini tu.....
He sasa si uweke password kama hutaki mkeo asione simu yako?
Hapana sitaki kuonekana kutokuaminiwa na wife...na usichati na Mimi kwa msg za kawaida au Whatsap wala messenger,tutumiane email tu.
Aisha akajibu "sawa"
Uhusiano wao uliendelea lakini Aisha hakuwahi kuwa na amani kwa mapenzi yenye mashart kama yale ,ilikuwa inamuuma akikumbuka maneno ya jamaa na vile anavyo mheshimu mkewe na si yeye.....alivumilia tu kwakuwa jamaa ana hela,chochote alichotaka alipewa.
Alitumia kila mbinu ili kumvutia jamaa,alijaribu kumuuliza kitu anachokipenda huyo buana ili amfanyie mfano chakula anachopenda,lakini jamaa hakuwa muwazi Sana kwake.
Alitamani sana kumjua huyo mke wa jamaa lakini hakuweza
Alijaribu kutafuta hakufanikiwa,ila mara kadhaa alimskia jamaa akiongea nae kwenye simu anamuita Magdalena.....au mama Francisco.
Siku moja akiwa saluni kwake aliyofunguliwa na jamaa akiwa na msichana wake wa kazi
Akaanza kupitia Facebook akaingia kwenye profile ya jamaa aone marafiki zake ,
Akasearch jina la Magdalene akalipata,akafungua profile yake akakuta ni kweli ni mkewe jamaa,kwanza alimuweka mumewe Picha yake ya wasifu.
Akamuomba urafiki,muda huo huo mag akaacept......akamshukuru kwa kumkubalia urafiki mag akamwambia "karibu my"
Akajibu asante....
Wakachat sana siku ile.....huyu Aisha akajisemesha "nimemmaliza tayari.....usiku ule hakulala usingizi akimtafakari yule mwanamke....amfanyie nini maana ndio kikwazo kikubwa chake.
Kulipokucha mchana akiwa nyumbani kwake akamtext msichana wake
" nimeongea na huyu mshamba nimemkaribisha saluni nimemwambia tunampa ofa aje,sasa naomba akija hapo wewe endelea kumfumua hizo nywere zake Mimi nitamnunulia soda ntamuwekea na pilipili atajuta kunifahamu"!
Dada pilipili!!?aliuliza huyo binti
Wewe nawe baki na hilo ilo ,namaanisha sumu!alijibu Aisha
Anhaà hapo sawa,ko nisimuwahishe niende nae taratibu?
No wewe Fanya kawaida Mimi dakika chache ntakuwa hapo...alijibu aisha
Mag dakika 20 akawa amefika na gari yake
Akamjulisha Aisha akampa maelekezo msichana wake akawa amemwona akampokea.....wakaanza kazi
Dakika 10 mbele Aisha akawa amefika ,story zikaendelea
Magdalene hamjui Aisha, Aisha anamjua Magdalena.
Baada ya kumsuka nywere akiwa karibu na kumaliza Aisha akamwambia ngoja nikununulie na soda japo ukanywe hata nyumbani,soda gani vile?
"Yoyote nichukulie my dear nashkur sana"alijibu mag
Aisha akazuga kama anaenda dukani lkn alikuwa kazunguka nyuma ya saluni yake akatoa chupa ya take away kwenye pochi yake, na akapita dukani akaagiza zingine mbili za kwao na binti yake.
Akampa Magdalena soda aina ya pepsi,akashukur
u akawasha gari akaondoka.....akionyesha kufurahishwa na Huduma zao na upendo au ukarimu wao asijue mtego wa muwindaji.
Huku nyuma walianza kupongezana wakiamini zoezi lao limefanikiwa walijua kwa vyovyote vile angekunywa njiani
Na iwapo angekunywa tu asingefika mbali kutokana na ujazo wa paketi aliyomimina kwenye chupa......
"sikutaka kumpa mapema halafu afie hapa sitaki mizoga ya watu hapa akafie mbele huko pumbavu kabisa" alijisemesha Aisha.
Kumbe Magdalena ile soda hakunywa kwenye gari.
Akawa amefika nayo mpka home.....
na kwasababu ilikuwa imepoa akaingia nayo ndani akaiweka kwenye friji akazichanganya na zingine.
Ikawa imelala kwenye friji.
Mchana wa kesho yake jamaa akarudi nyumbani kula chakula
Alipokuwa anaondoka kurudi ofisini,akamwomba mkewe ampe soda,na soda yake kubwa ni pepsi akampa ile ya kina Aisha pasipo kujua .
Patamu hapo......
Akiwa anaondoka akaona kuna email imeingia ,kucheki anakutana na text ya Aisha "uko wapi my?"
Natoka nyumbani naenda ofisini, OK basi nipitie saluni Nina shida kidogo..........
Anataka amuulize maendeleo ya familia yake ,ana wasiwasi je soda ilinyweka?au ile sio sumu kadanganywa?
Jamaa alipofika Aisha akaingia kwenye gari akamkiss jamaa
Wakaondoka wote kuelekea ofisini kwa jamaa.
Aisha akalalamika njaa ikabidi ampitishe mahali akala akamsubiri.
walipokuwa wakiondoka akiwa kwenye gari akaona soda akamwomba anywe,jamaa bila ajizi yoyote akampa....kumbe ni ile yenye pilipili!
Na kwakuwa alikuwa kakaukiwa akaanza nayo hapo hapo!
akakata kama nusu hivi
Huku wakipiga story........
Dakika tano peke zilikuwa ni nyingi akaanza kuskia maumivu makali hamna mfano,moja kwa moja akajua ni ile soda.....ha! Akajishika tumbo akatoa macho akamuuliza "hii umeitoa wapi?jamaa akajibu" nyumbani kwenye friji langu"
Ooooooh my god mkeo ameniua jamani! Mkeo ameniua niwahishe hospital plz!
Mke wangu amekuua?
kivipi hebu niambie!!!
Dah!Kweli mkeo anasali.......
Aisha anaongea huku akilia kwa uchungu mkubwa akatamka neno la mwisho akasema
"Nakufa kwa upumbavu wangu mwenyewe, niwahishe hospital labda ntapona mimi!
Jamaa dakika 15 akawa amefanikiwa kufika hospital akaingia nae ,jopo la madaktari wakiwa wanamhangaikia yeye akawa amewasha gari akatoroka kukwepa msala.......huku nyuma Aisha ikawa ndio kwa heri bye bye!
Kuchunguzwa ikaonekana amekufa kwa kula chakula au kinywaji chenye sumu.
Kumtafuta aliyemleta hospital wakashangaa hawamwoni.na bahati nzuri simu ya marehemu akawa ameondoka nayo.
Taarifa ikafika police.
Na ilipotangazwa iwapo angetokea ndugu wa marehemu ,wa kwanza akawa ni binti wa saluni.
Police ilibidi waanze nae yeye kuchunguza simu yake,Bahati nzuri au mbaya kwake,zile Meseji walizochati na dada hakuzifuta.........
binti akawa ni mtuhumiwa namba moja ilionekana kuna MTU walimpa sumu na marehemu lakini ninani?na mbona Aisha ndiyo amekufa tena?wakaenda kuirenew ile line ya marehemu.
Upelelezi ulipokuwa ukiendelea tayari yule binti akabanwa mpaka akakiri kuhusu mpango waliousuka na marehemu dhidi ya mke wa jamaa aitwaye japhert..... Walipomtafuta akaja japhert pamoja na mkewe.
Magdalena akahojiwa kama anamfahamu Aisha akaeleza vile walivyojuana kupitia Facebook kama wiki tatu tu.
Akaeleza vile walivyompa na ofa ya kwenda kusuka na
"huyu binti ndiye aliyenisuka na wakaninunulia soda" lakini ile soda sikuinywa nikaenda nayo nyumbani.....................akasimulia kama hapo juu.
Mume akawa anashangaa anaona ni kama move baadae mahakama ikamtia hatiani yule binti.
Walipofika nyumbani Magdalena ilibidi ambane mumewe
"Vipi Mume wangu marehemu kumbe alikuwa hawara wako?"
Ilibidi mumewe awe muwazi tu kwake,akamwelez
a Kisa kizima
huku akilia kwa uchungu mkubwa.......
Ni kweli Mimi ndio nilitaka kukuua kwa upumbavu wangu,naomba unisamehe,sijui kwanini wanaume haturidhiki na hatutosheki?hakuna chochote ninachokikosa kwako lakini tamaa tu!
Usimwache Mungu unayemtumikia mke wangu,ningefanyaje Mimi kukupoteza wewe!?
ningefanyaje na watoto hawa?
Mama akamfuata mkewe akamkumbatia miguu huku akilia
Jamaa akawa ameishiwa maneno ya kuongea zaidi ya "nisamehe".......wakaangua kilio cha kumshukuru Mungu.
Mwishoni mama Francisco mwili wote ulikuwa kama unachemka,akasema nyamaza nimshukuru Mungu:
"EEH MWENYEZI MUNGU,BABA WA REHEMA,MUNGU UTULINDAYE,
BIBLIA IMESEMA WEWE USIPOULINDA MJI WAULINDAO WAKESHA BURE.......
USIPOILINDA NDOA,HATUWEZI KUFANYA CHOCHOTE.......
ASANTE KWA UAMINIFU WAKO KWANGU,
ULINIAHIDI IWAPO NIGEKUWA MWAMINIFU KWAKO,USINGENIACHA WALA KUNIPUNGUKIA HATA SEKUNDE TANO!
NA KWAMBA MAADUI ZANGU WANGEKUWA ADUI ZAKO.
NA UMESHATIMIZA AHADI YAKO KWANGU.
ASANTE KWA KUHAKIKISHA NAZIDI KUWA SALAMA.
UMETULINDA MIMI NA MUME WANGU NA WATOTO.
ILE SODA PAMOJA NA KWAMBA IMEINGIA MPAKA NDANI KWANGU,LAKINI HAKUNA ALIYEKUNYWA NAJUA NI UWEZA WAKO LAKINI HATA MMOJA WETU ANGEKUNYWA ASINGEDHURIKA MAANA UMESEMA " TUKILA VYA KUFISHA HAVITATUDHURU............TULINDE TUTUNZE ZAIDI KWA UTUKUFU WA JINA LAKO AMENI.
Baba Francisco yupo ametulia na mkewe sasa hivi na ameshika sana mambo ya imani,anasali balaa.
Anajuta kwanini alijiingiza kwenye matatizo eti kwasababu ya hawara.......hataki kabisa kuisikia michepuko.
Funzo
Mwanamke usihangaike kulinda ndoa yako kwa mbinu zako mwenyewe, mkabidhi Mwenyezi Mungu, omba ulinzi wake usimame akutetee dhidi ya wote wanaotaka kuharibu ndoa yako hakika Mungu atawaadhibu na kuwaaibisha adui zako wote.
Nakutakia Jumapili Njema, Mungu Akubariki na kukulinda
MKASA WA KUSISIMUA: KILIO NA MAOMBI YAKO KWA MUNGU SIO BURE, ATAKULINDA NA KUWAADHIBU ADUI ZAKO # inasikitisha sana Pamoja na upendo wa dhati na mapenzi yote aliyokua nayo Magdalena kwa mumewe ila usaliti ilikua tabia ya siri ndani ya mmewe. Japo alimuamini sana ila ukweli ni kwamba mwanaume alikua hatosheki ndani ya ndoa, alikua na mchepuko mmoja aitwae Aisha shangingi wa saloon ambae alikua kamteka zaidi, jamaa alitaman hata kumuoa ila kutokana na aibu kuwa ana mke tayari ilibidi siku moja amwambie ukweli. jamaa akamkalisha chini huyu mdada na kumpa misimamo yake. "Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake nimekupenda Nilikwambia tangu awali nina mke na watoto. Nampenda mke wangu ndio maana nilifunga nae ndoa..... Sitamani hata siku moja aje kuumia eti kwasababu yako Sina malengo yoyote na wewe hususani ya kindoa maana tayari niko na ndoa.....nakuhe shimu pia kwa nafasi yako lakini kuwa na nidhamu kwenye ndoa yangu......kukupenda wewe haina maana kwamba mke wangu simpendi no,ni udhaifu wa wanaume tulionao Sitaki uwasiliane na mke wangu hata mara moja Sitaki ajue nina hawara nje,mke wangu anasali anamuomba Mungu. Hata mahusiano yetu najua ataonyeshwa kwenye ndoto tu! Ni afadhari akawa ana hisia tu lakini sio ajue. Aisha akajibu " ina maana huna malengo kabisa na Mimi Ko una mpango wa kunichezea tu? "Kwani ulitaka nini ziada kutoka kwangu?jamaa akamuuliza. Nataka unizalie watoto namimi nataka ndoa hata mke wa pili Haa eti nini!?kama ni hivyo tuishie hapa ,dini yetu hairuhusu kawatafute wakina mzee Yusufu sihitaji stress ndio maana nimekwambia mapema misimamo yangu kama utaiweza,huiwezi tuishie hapa.... Haya nimekuelewa ntafuata huu utaratibu kwasababu nakupenda.alijibu dada.....poa una amani lakini?aliuliza jamaa Yes usijari...... Naomba ninapokuwa nyumbani usinitext wala nisiione call yako ni mpaka iwe ninapokuwa kazini tu..... He sasa si uweke password kama hutaki mkeo asione simu yako? Hapana sitaki kuonekana kutokuaminiwa na wife...na usichati na Mimi kwa msg za kawaida au Whatsap wala messenger,tutumiane email tu. Aisha akajibu "sawa" Uhusiano wao uliendelea lakini Aisha hakuwahi kuwa na amani kwa mapenzi yenye mashart kama yale ,ilikuwa inamuuma akikumbuka maneno ya jamaa na vile anavyo mheshimu mkewe na si yeye.....alivumilia tu kwakuwa jamaa ana hela,chochote alichotaka alipewa. Alitumia kila mbinu ili kumvutia jamaa,alijaribu kumuuliza kitu anachokipenda huyo buana ili amfanyie mfano chakula anachopenda,lakini jamaa hakuwa muwazi Sana kwake. Alitamani sana kumjua huyo mke wa jamaa lakini hakuweza Alijaribu kutafuta hakufanikiwa,ila mara kadhaa alimskia jamaa akiongea nae kwenye simu anamuita Magdalena.....au mama Francisco. Siku moja akiwa saluni kwake aliyofunguliwa na jamaa akiwa na msichana wake wa kazi Akaanza kupitia Facebook akaingia kwenye profile ya jamaa aone marafiki zake , Akasearch jina la Magdalene akalipata,akafungua profile yake akakuta ni kweli ni mkewe jamaa,kwanza alimuweka mumewe Picha yake ya wasifu. Akamuomba urafiki,muda huo huo mag akaacept......akamshukuru kwa kumkubalia urafiki mag akamwambia "karibu my" Akajibu asante.... Wakachat sana siku ile.....huyu Aisha akajisemesha "nimemmaliza tayari.....usiku ule hakulala usingizi akimtafakari yule mwanamke....amfanyie nini maana ndio kikwazo kikubwa chake. Kulipokucha mchana akiwa nyumbani kwake akamtext msichana wake " nimeongea na huyu mshamba nimemkaribisha saluni nimemwambia tunampa ofa aje,sasa naomba akija hapo wewe endelea kumfumua hizo nywere zake Mimi nitamnunulia soda ntamuwekea na pilipili atajuta kunifahamu"! Dada pilipili!!?aliuliza huyo binti Wewe nawe baki na hilo ilo ,namaanisha sumu!alijibu Aisha Anhaà hapo sawa,ko nisimuwahishe niende nae taratibu? No wewe Fanya kawaida Mimi dakika chache ntakuwa hapo...alijibu aisha Mag dakika 20 akawa amefika na gari yake Akamjulisha Aisha akampa maelekezo msichana wake akawa amemwona akampokea.....wakaanza kazi Dakika 10 mbele Aisha akawa amefika ,story zikaendelea Magdalene hamjui Aisha, Aisha anamjua Magdalena. Baada ya kumsuka nywere akiwa karibu na kumaliza Aisha akamwambia ngoja nikununulie na soda japo ukanywe hata nyumbani,soda gani vile? "Yoyote nichukulie my dear nashkur sana"alijibu mag Aisha akazuga kama anaenda dukani lkn alikuwa kazunguka nyuma ya saluni yake akatoa chupa ya take away kwenye pochi yake, na akapita dukani akaagiza zingine mbili za kwao na binti yake. Akampa Magdalena soda aina ya pepsi,akashukur u akawasha gari akaondoka.....akionyesha kufurahishwa na Huduma zao na upendo au ukarimu wao asijue mtego wa muwindaji. Huku nyuma walianza kupongezana wakiamini zoezi lao limefanikiwa walijua kwa vyovyote vile angekunywa njiani Na iwapo angekunywa tu asingefika mbali kutokana na ujazo wa paketi aliyomimina kwenye chupa...... "sikutaka kumpa mapema halafu afie hapa sitaki mizoga ya watu hapa akafie mbele huko pumbavu kabisa" alijisemesha Aisha. Kumbe Magdalena ile soda hakunywa kwenye gari. Akawa amefika nayo mpka home..... na kwasababu ilikuwa imepoa akaingia nayo ndani akaiweka kwenye friji akazichanganya na zingine. Ikawa imelala kwenye friji. Mchana wa kesho yake jamaa akarudi nyumbani kula chakula Alipokuwa anaondoka kurudi ofisini,akamwomba mkewe ampe soda,na soda yake kubwa ni pepsi akampa ile ya kina Aisha pasipo kujua . Patamu hapo...... Akiwa anaondoka akaona kuna email imeingia ,kucheki anakutana na text ya Aisha "uko wapi my?" Natoka nyumbani naenda ofisini, OK basi nipitie saluni Nina shida kidogo.......... Anataka amuulize maendeleo ya familia yake ,ana wasiwasi je soda ilinyweka?au ile sio sumu kadanganywa? Jamaa alipofika Aisha akaingia kwenye gari akamkiss jamaa Wakaondoka wote kuelekea ofisini kwa jamaa. Aisha akalalamika njaa ikabidi ampitishe mahali akala akamsubiri. walipokuwa wakiondoka akiwa kwenye gari akaona soda akamwomba anywe,jamaa bila ajizi yoyote akampa....kumbe ni ile yenye pilipili! Na kwakuwa alikuwa kakaukiwa akaanza nayo hapo hapo! akakata kama nusu hivi Huku wakipiga story........ Dakika tano peke zilikuwa ni nyingi akaanza kuskia maumivu makali hamna mfano,moja kwa moja akajua ni ile soda.....ha! Akajishika tumbo akatoa macho akamuuliza "hii umeitoa wapi?jamaa akajibu" nyumbani kwenye friji langu" Ooooooh my god mkeo ameniua jamani! Mkeo ameniua niwahishe hospital plz! Mke wangu amekuua? kivipi hebu niambie!!! Dah!Kweli mkeo anasali....... Aisha anaongea huku akilia kwa uchungu mkubwa akatamka neno la mwisho akasema "Nakufa kwa upumbavu wangu mwenyewe, niwahishe hospital labda ntapona mimi! Jamaa dakika 15 akawa amefanikiwa kufika hospital akaingia nae ,jopo la madaktari wakiwa wanamhangaikia yeye akawa amewasha gari akatoroka kukwepa msala.......huku nyuma Aisha ikawa ndio kwa heri bye bye! Kuchunguzwa ikaonekana amekufa kwa kula chakula au kinywaji chenye sumu. Kumtafuta aliyemleta hospital wakashangaa hawamwoni.na bahati nzuri simu ya marehemu akawa ameondoka nayo. Taarifa ikafika police. Na ilipotangazwa iwapo angetokea ndugu wa marehemu ,wa kwanza akawa ni binti wa saluni. Police ilibidi waanze nae yeye kuchunguza simu yake,Bahati nzuri au mbaya kwake,zile Meseji walizochati na dada hakuzifuta......... binti akawa ni mtuhumiwa namba moja ilionekana kuna MTU walimpa sumu na marehemu lakini ninani?na mbona Aisha ndiyo amekufa tena?wakaenda kuirenew ile line ya marehemu. Upelelezi ulipokuwa ukiendelea tayari yule binti akabanwa mpaka akakiri kuhusu mpango waliousuka na marehemu dhidi ya mke wa jamaa aitwaye japhert..... Walipomtafuta akaja japhert pamoja na mkewe. Magdalena akahojiwa kama anamfahamu Aisha akaeleza vile walivyojuana kupitia Facebook kama wiki tatu tu. Akaeleza vile walivyompa na ofa ya kwenda kusuka na "huyu binti ndiye aliyenisuka na wakaninunulia soda" lakini ile soda sikuinywa nikaenda nayo nyumbani.....................akasimulia kama hapo juu. Mume akawa anashangaa anaona ni kama move baadae mahakama ikamtia hatiani yule binti. Walipofika nyumbani Magdalena ilibidi ambane mumewe "Vipi Mume wangu marehemu kumbe alikuwa hawara wako?" Ilibidi mumewe awe muwazi tu kwake,akamwelez a Kisa kizima huku akilia kwa uchungu mkubwa....... Ni kweli Mimi ndio nilitaka kukuua kwa upumbavu wangu,naomba unisamehe,sijui kwanini wanaume haturidhiki na hatutosheki?hakuna chochote ninachokikosa kwako lakini tamaa tu! Usimwache Mungu unayemtumikia mke wangu,ningefanyaje Mimi kukupoteza wewe!? ningefanyaje na watoto hawa? Mama akamfuata mkewe akamkumbatia miguu huku akilia Jamaa akawa ameishiwa maneno ya kuongea zaidi ya "nisamehe".......wakaangua kilio cha kumshukuru Mungu. Mwishoni mama Francisco mwili wote ulikuwa kama unachemka,akasema nyamaza nimshukuru Mungu: "EEH MWENYEZI MUNGU,BABA WA REHEMA,MUNGU UTULINDAYE, BIBLIA IMESEMA WEWE USIPOULINDA MJI WAULINDAO WAKESHA BURE....... USIPOILINDA NDOA,HATUWEZI KUFANYA CHOCHOTE....... ASANTE KWA UAMINIFU WAKO KWANGU, ULINIAHIDI IWAPO NIGEKUWA MWAMINIFU KWAKO,USINGENIACHA WALA KUNIPUNGUKIA HATA SEKUNDE TANO! NA KWAMBA MAADUI ZANGU WANGEKUWA ADUI ZAKO. NA UMESHATIMIZA AHADI YAKO KWANGU. ASANTE KWA KUHAKIKISHA NAZIDI KUWA SALAMA. UMETULINDA MIMI NA MUME WANGU NA WATOTO. ILE SODA PAMOJA NA KWAMBA IMEINGIA MPAKA NDANI KWANGU,LAKINI HAKUNA ALIYEKUNYWA NAJUA NI UWEZA WAKO LAKINI HATA MMOJA WETU ANGEKUNYWA ASINGEDHURIKA MAANA UMESEMA " TUKILA VYA KUFISHA HAVITATUDHURU............TULINDE TUTUNZE ZAIDI KWA UTUKUFU WA JINA LAKO AMENI. Baba Francisco yupo ametulia na mkewe sasa hivi na ameshika sana mambo ya imani,anasali balaa. Anajuta kwanini alijiingiza kwenye matatizo eti kwasababu ya hawara.......hataki kabisa kuisikia michepuko. Funzo Mwanamke usihangaike kulinda ndoa yako kwa mbinu zako mwenyewe, mkabidhi Mwenyezi Mungu, omba ulinzi wake usimame akutetee dhidi ya wote wanaotaka kuharibu ndoa yako hakika Mungu atawaadhibu na kuwaaibisha adui zako wote. Nakutakia Jumapili Njema, Mungu Akubariki na kukulinda
Artikel Terkait
UNAJUA KUMWONYESHA MPENZI WAKO KAMA UNAMPENDA????  Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri vizuri Sababu kubwa ambayo watu hukosa kujua kama wanapendwa ni kutohisi upendo. Kwa nini? Kwa sababu hata kama wanasema I love you mwisho wa kuongea kwenye simu au kabla ya kwenda kazini, hayo maneno hayana miujiza bila ya kuwa na mengine yalio rahisi . Kuna vitu vidogo vidogo sana vinavyoonyesha upendo na kumfanya mtu ajisikie kupendwa. 1.Usisahau kumkumbatia kabla ya kusema kwa heri. Uelewa wa kimwili ni wa muhimu kuliko maneno 2.Mwambie jinsi alivyo muhimu kwako. Hii huenda zaidi ya neno i love you. 3.Express understanding panapohitajika kusema. Nimeelewa unachokisema. Kama hujaelewa elezea, kwa kusema hivi , Niambie jinsi unavyojisikia ili nikuelewe. 4.Sema mara nyingi jinsi unavyomkubali anapokuwa amefanya jambo kwako. Husband and wife in park 5.Mwambie jinsi gani unafurahia vipengele vya upekee wake. Kwa mfano , napenda uchangamfu wako, mpongeze. 6.Toka nae siku nzima bila ya kusema kitu chochote zaidi ya kumsifia. 7.Mnunulie chakula anachokipenda bila yeye kusema. 8.Msaidie kupika 9.Kama mna watoto wapeleke kutembea, ili kufurahia michezo ya watoto ili kumwacha awe peke yake kwa utulivu. 10.Tuma ujumbe wa kimapenzi kwa mwenza wako bila sababu . 11.Mtumie email wakati yuko kazini ili kujua anajisikiaje. 12.Mpigie wakati akiwa break kusema tu hujambo 13.Karibia gari, meza, au kochi na umshike mikono yake japo kwa muda kidogo. 14.Mvutie kiti anapotaka kukaa au mfungulie mlango anapotaka kutoka au kuingia. 15.Kumbuka kumpa tabasamu, sio fake, lile ambalo umetunza kwa ajili yake . 16.Badala ya kumweleza jinsi ulivyokuwa na siku mbaya kazini, mwambie kuwa siku hio ulihitaji kuwa na yeye kwa sababu…au nimekuwa na siku mbaya nahitaji unikumbatie. 17.Fanya utani na ucheke nae 18.Nendeni kulala kwa wakati mmoja, ongeeni pamoja au kama kusoma msome pamoja au kama kutulia kwa muda fanyeni pamoja. 19.Kama una watoto mpongeze mwenza wako mbele yao. Watoto watafurahi pia. 20.Mkumbatie mbele za watu, ingawa ataona aibu lakini atafurahia. 21.Tafuta njia nzuri za kuambiana badala ya I love you 22.Muwe na tabia ya kutoka japo mara moja kwa wiki kama mkiweza 23.Mpe zawadi 24.Mpeleke movie 25.mpe massage bila sababu au kwa ajili ya kazi nyingi 26.Mwambie kuwa yeye ni rafiki yako 27.Usiogope kumshirikisha hisia zako, Ni vizuri kufahamu kama una furaha au huna furaha wakati huo na kwa nini 28.Sikiliza anapokuambia jinsi anavyojisikia 29.Kumbuka kila mara unapoweza nunua kitu kidogo kwa ajili yake. 30.Andika ujumbe mdogo wa kimapenzi na kuacha sehemu ambapo atafika 31.Mshike mikono yake mbele za watu 32.Mpate fundisho pamoja, halijalishi ni aina gani 33.Omba msamaha unapokosea 34.Wakati mwingine yeye awe sahihi 35.Mcheze game pamoja 36.Mpe nafasi anapohitaji hivyo.lakini afahamu kuwa upo kama atakuhitaji 37.Mchemshie maji ya kuoga anapokuwa na stress 38.Mwoshee gari yake 39.Jaribu kufanya kitu cha wema kila siku kwa ajili yake 40.Jaribuni kufanya kitu kipya pamoja. Changamoto moja ni bora 41.Mwache alale miguu pako 42.Mtengenezee breakfast, kama inawezekana mpelekee kitandani 43.Mkumbushe kuwa yeye yuko hot au sexy 44.Mkatembee kwenye hewa nzuri pamoja 45.Mnaweza kuvaa nguo za kufanana mnapotoka kupunga upepo 46.Mjitolee pamoja 47.Mtengeneze nywele zake 48.Muweke lengo kama wanandoa, kwa ajili ya fitness, finance, na personal growth 49.Kusafiri pamoja 50.Mpe compani anapoenda mpirani, kwenye game na uwe mmoja wao 51.Chukua muda wa kuwajua rafiki wa mwenza wako 52.Mwache atoke peke yake wakati mwingine 53.Mwekee nyimbo anazozipenda na mcheze pamoja 54.Usiwe serious sana, uwe mcheshi wakati mwingine 55.Mwimbie nyimbo anazopenda 56.Mwambie unampenda zaidi ya jana 57.Kama una siku mbaya , sikiliza kila unachotaka kusema 58.Mwambie kuwa anavutia kuliko wakati mliokutana mara ya kwanza 59.Mwambie unamfikiria kila mara 60.Mwambie kuwa unamsaidia kwa kuwa umemwelewa 61.Mwambie unapenda mwili na akili yake 62.Mwambie unachokifurahia siku hio. Na jinsi gani kinakukumbusha kuhusu yeye. 63.Siku yako imeendaje leo Kila ukiamka mwambie habari za asubuhi kila siku 65.Kila siku ukitaka kulala mwambie usiku mwema 66.Hakikisha anafahamu kuwa yeye ni namba moja kwako 67.Mwonyeshe kuwa unamuheshimu kwa kusikiliza mawazo yake kwenye maamuzi muhimu 68.Onyesha kukubali alichokifikiria na kukiamua hata kama unaona kabisa hukubaliani nacho. 69.Mwambie akuchagulie nguo za kuvaa kazini 70.Nendeni gym pamoja 71.Mnunulie kadi bila sababu , hata kama hakuna sikuku 72.Tamani kumkiss kila mara 73.Mwambie kuwa umepata bahati ya kuwa na yeye na kuwa umebadilika tangu ukiwa nae 74.Kuwa mkweli . mfahamishe makosa uliyoyafanya 75.Kuwa mpole kwake kwa sababu mwanamke ni laini 76.Mwonyeshe kuwa unamwamini ili nae awe wazi kwako 77.Pigeni picha pamoja 78.Fanyeni mambo ya kijinga pamoja 79.Alika familia yake kwenye chakula cha jioni 80.Mwombe mwenza wako mshirikishane ndoto zenu 81.Cheka anapotania,hata kama utani huo hauchekeshi 82.Uwe rahisi ili aweze kukupenda. Utagundua kuwa kumbe ni mkarimu na ana wema. ... Read More
🎀MVUMBIKO WA KITUMBUWA 🎀 Mwanamke mvumbiko bibi 👌🏼 Unapomaliza period ukiosha ushapanga leo ni siku ya shoo unatakiwa kuvumbika KITUMBUA chako na Vitu Vya asili ili kuiweka k yko ktk mvuto wa hali Ya juu👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Matayarisho ya mvumbiko👇kwanza unatakiwa Usafishe k vzr kisha uwe na kitambaa cheupe kisafi kwa ajili ya kuekea mvumbiko wako👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Unatakiwa uwe na mpachor,mpompia,asmin,maward,sio miti mizima Mizima jmn hapana,kisha unachukua kitambaa Chako unaweka mchanganyiko wako kisha unavaa km pedi,lkn kabla ujaweka mchanganyiko wako kile kitambaa ukifukize vzr Ndio unaweka na kuvaa, 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Lkn kama shoo usiku unaweka mcha na ili harufu ikolee vzr,ikifika usiku unatoa unajitayarisha kwa shoo mtoto wa kike na mnukio wako wa kitumbuwa uone bwana anavoila nyama yako rahaaaaaaa thannaaaaa👌🏼 Mwanamke mvumbiko. Mpo hapo? 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 IMETOKA MWANAMKE NDOWA ... Read More
AINA 10 ZA WANAUME AMBAO WANAWAKE HUJUTIA WAKIWA NAO  1. Wanaojiona Kama Wafalme (King Husband). HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka waheshimiwe wao tu na mwanamke akikosea kidogo ni maneno au kipigo. Mwanamke hana kauli ndani na mume akiingia nyumbani ni kama bosi anavyoingia ofisini, wote kimya hakuna hata kuongea. 2. Wanaume Wanaojihisi Bado Hawajaoa (Bachelor Husband). Hii ni aina ya wanaume ambao hawawashirikishi wake zao kwa chochote. Hufanya mambo kama vile bado hawajaoa, hutumia muda wao mwingi na marafiki zao wakifanya mambo ambayo mke hata hayajui mke anaweza kustukizia tu mume kanunua gari bila kumshirikisha na mume haonyeshi hata kujali kuweza kumshirikisha. Hajali kama ana mke na mda mwingi huutumia akiwa na marafiki kufanya mambo yasiyo na msingi ambayo hayana mnanufaa yoyote katika ndoa yake. 3. Wanaume Wenye Gubu (Acidic Husband). Hawa hukasirika kila mara tena bila kua na sababu ya misngi, mambo hayaishi, kosa la mwaka juzi anaweza kukukasirikia leo. Wamemuudhi kazini hataki kusemeshwa na mnanuniwa nyinyi, mwanamke akiomba hela ya chakula ni shida ni kununa kutwa nzima, wanahasira na nirahisi kumpiga mke. 4. Mume Wa Kila Mtu (Genarel Husband). Hawa wanajifanya wasamaria wema, wanajali kila mwanamke, wanajali marafiki wakike wa mke na wakwao kuliko wanavyowajali wake zao. Mke anaweza kuwa na shida akasema hana hela lakini rafiki akampa. Wana marafiki wengi wakike na mara nyingi huwa hawaachani kabisa na ma X wao, wakiwalalamikia wanawasaidia kuliko hata wanavyowasidia wake zao wakati wakiwa na shida. 5. Wanaume Wanaojifanya Wagumu (Dry Husband). Hawa wanajifanya wagumu sana, hawana yale mambo ya kimahaba na wao hujua kuwa ndoa ni kuleta chakula tu na kushughulika kitandani. Hakuna kuongea na hawajali hata hisia za mke, mke akiongea kwao wala hawajali wanajifanya ni vidume sana na wanaona mambo kama vizawadi, kupiga simu, kutuma sms, kusema nakupenda, kununua maua ni mambo ya kike, yaani hawaonyeshi juhudi yoyote kuwafurahisha wekea zao. 6. Wanaume Wanaopenda Kutumia Wake Zao (Panadol Husband). Hawa huwa wanaume pale tu wanapokuwa na shida, wanakuwa na wake wazuri wanaowajali lakini wao wala hawajali. Wanapomhitaji mwanamke, wanapotaka mwanamke awafanyie kitu flani basi huja na maneno mazuri na hata kuleta vizawadi, wanajua udhauifu wa wake zao na huutumia kuwalaghai kuwatimizia mahitaji yao lakini wanapotimiziwa tu basi husahau hata kama wanawake, hawajali tena. 7. Wanaume Ambao Hawataki Kukua (Baby Husband). Bado wanatabia za kitoto, hawawezi kufanya maamuzi yao wenyewe mpaka kuuliza kwa ndugu zao, mtu kaoa lakini kila siku humpigia simu Mama yake kuuliza hiki na kile. Yaani wakiongea kitu na mke nilazima aulize ndugu kwanza ndiyo kipitishwa na mke akifanya kosaa kidogo kazi nikulinganisha mke na ndugu zake, mbona flani alifanya hivi, flani anaweza fanya zaidi na mambo kama hayo. Kwakifupi hawawezi kufanya maamuzi na mkewe, ndugu zake hasa Mama yake anakuwa kama shemeu ya ndoa. 8. Mume Mtalii (Visiting Husband). Hawa wanakuja nyumbani kama wageni vile, mume ataihudumia familia yake kwa kila kitu lakini hawezi kuipa muda wake. Akirudi mke na watoto wamelala ni kugonga na hana sababu za msingi za kuchelewa, hata mwisho wawiki hupenda kutumia na marafiki au ndugu lakini si na mke. Hakuna kitu cha pamoja ambacho anafanya na mkewe au watoto wake, kila akiingia tu anakua na safari ya kutoka yaani hata atoke akakae nnje tu lakini si kukaa na mke au watoto. 9. Wanaume Wanaofuatilia Kila Kitu (Stalking Husband). Hii ni aina ya wanaume ambao hufuatilia kila kitu, huchunguza kila kitu mwanamke anachofanya na hawampi pumzi. Akienda sehemu atachunguza anaenda na nani na alikutana na nani, huwa na wivu wa ajabu ajabu na kila saa huhisi wake zao ni wasaliti. Kila mtu mwanamke anayeongea naye wa jinsia tofauti huhisi ni mchepuko na hata marafiki wa mke wakike pia huhisi wanamkuwadia, kwakifupi hampi pumzi mwanamke. 10. Mwanaume Mbahili (Miserly Husband). Huyu anaweza kuwa na hela lakini mbahili ajabu. Akimpa mwanamke hela atafuatilia matumizi yake mpaka senti ya mwisho, anafuatilia mpaka mambo ya jikoni. Sukari ikiisha naataka ajue iliisha ishaje na kila mara huhisi mke anamuibia hela labda akajenge kwao, huwa msumbufu sana na mgumu kutoa hela. Mwanamke akifikiria mchakato wa kuomba hela kwa mume hukata tamaa na wakati mwingine kuamua tu kukaa kimya na matatizo yake. ... Read More
JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE KITANDANI KATIKA MAPENZI.  Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi yeyote huko nje. Mfanye Mwanamke aanze kufika mlima kilimanjaro kabla hujaanza kumuingilia. Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo. Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi. Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo. Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke afike mlima Kilimanjaro na kutua mizigo yake kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la ndoa zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake. Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji tu kuingia kwa uume wako aweze kupiga bao la pili, na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro haraka sana. Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!! #2 – Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu. Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo hayo. Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa tayari anajua huyu ataanza hapa, ataishia pale na atapofika mlimani namna hii. Hili haliwezi kumsisimua mwanamke. Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16, ambayo yakichezewa au kuguswa kiufundi wa kimahaba, huweza hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla ya kuingiliwa. Wangapi tunajua kuhusu A-Spot? ..... ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla wakati wa kufanya mapenzi naye, na hakika utakuwa shujaa wake. Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke! #3 – Usiwe kama kuku Ndio, licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya mwanamke afike kileleni kabla ya kumuingilia, unamjengea mazingira ya kufika kileleni haraka pindi unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi, kwamba ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi isiyomithilika. Mwanaume kudumu kwenye tendo kwa muda wa kutosha, ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na kumuona kuwa yu shujaa. Sometimes, pumzi zako kitandani zinaweza pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za mtaani, na kama kitandani hauko nazo za kutosha, itakuwaje siku mmevamiwa mkiwa matembezini na watu unaotakiwa kupigana nao? Tofauti kubwa sana baina ya wanaume na wanawake ni kuwa, wanaume wengi hujamiiana kwa minajili ya kufika kileleni, ilhali wanawake hujamiiana kwa minajili ya kustarehe. So, usiifanye starehe hiyo kuwa ya dakika moja...lakini pia usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo wanaume wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke uchi hadi akahitaji barafu la kujikanda ili ipoe, ni ushujaa. Nusu saa hadi dakika 50 ni muda muafaka kabisa, na zaidi ya dakika 60, kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea sence ya starehe na wakajiona kama wanalipishwa walicholishwa. #4 – Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji Ndio, wapo wanaume wengi tu wanaoweza kujinadi kuwa wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya vi**mi, kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo. Kama ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia kubwa ya wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo la kuamsha hisia zao kwa ajili ya kujamiiana, bali kwa minajili ya kuwafanya wapate ule ute ambao utawarahisishia wao kuingia. Kitu kikubwa wanachopendelea wanawake, ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kumfanyia vimichezo vya kumtia hamu hadi ikiwezekana aanze kuulilia muhogo. Jidai kama unataka kumnyonya ki**mi, lakini usifanye hivyo, pumua usawa wa mdomo wa uke wake kiasi cha kumfanya ahisi pumzi yako, mlambe mapajani...sio lazima kila siku iwe kwenye tundu la uke....... Haya ni baadhi ya yatayomfanya aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti, na ukiamsha hisia zake kwa namna ya kipekee. Na hili basi ndilo lenye kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo ambalo wanawake hulihitaji....cheki namba 5 hapa chini Tumichezo kama hutu twa Manaiki Sanga tunasaidia... #5 – Faida ya ulimi/mdomo kunyonyanaInashangaza sana kwa kweli...wakati wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa kuwafanyia maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole vyao. Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake walisema kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya mwanaume akasimama vya kutosha kuwaingilia. Ukweli ni kwamba, hii sio sahihi kabisa. Umepewa viungo zaidi kwa ajili ya kumfanya mwenzako aweze kufurahia tendo la ndoa, na ikiwa unaweza kuvitumia, kwanini unavibania bania ?. Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni nini hasa? Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako unadhani ulimi huo unaweza kufika na ukamfanya aseme "Oh...am going crazy" #6 – Msisimue kwa kauli zakoWanaume wengi sana huwa mabubu wawapo kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao watawafikiria namna gani vipi wakisema sema wakati wanajamiiana nao... lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka kushusha mizigo yao? Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga kelele wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu matamu wakati unaendelea kumstarehesha? Nong'ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu....hata zile oooh....sss....mmmm zako, zifanye sikioni kwake..... wanawake huwa hawajisikii raha sana wanapokuwa wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa kujamiiana, ikiwa mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani dumwana ambalo linashangaa kilichoko mbele yake. Anakuwa hajui kama unaenjoy anachokifanya kwako au laa. Ni sawa na wewe mwanaume, unajisikiaje pale unapokuwa umemgusa mwanamke mahali fulani penye mzizi wa utamu na akaanza kukwambia kwa ile sauti ya kipekee akisema "hapo hapo...hapo hapo jamani raaaha".... Epuka tu sauti yako isiwe ambayo itamfanya anywee kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali alikuwa anakaribia kuanza kuelea angani. Unaweza kumsifia hata kabla gemu halijaanza.... #7 – Jenga mahusiano ya macho yenuHivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la kukojoa? Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye akiwa anakojoa? Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno. Mawasiliano ya macho wakati wa kujamiiana, huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu na ikiwa inatokea mwanamke uliye naye alishawahi kutokewa na mwanaume ambaye wakati wanajamiiana alikuwa akimtizama usoni moja kwa moja, basi si ajabu mtapomaliza akajitoa kimaso maso na kukuuliza "mbona ulifumba macho wakati unakojoa", na hapa atakuwa akimaanisha kuwa kuna ulichomnyima. Mwanaume, jitahidi kubadili utaratibu wa kila siku kuzima taa wakati mnajamiiana, acha taa ziwake wakati mwingine, na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo wa rangi zake, huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa, kumbe ni kwenye kitanda chenu kile kile ambacho kila siku mnakitumia. Mazoea ni mabaya, lakini haimaanishi kuwa hamuwezi kubadilika, na ikiwa unaweza kuongoza jahazi la mabadiliko haya, akizoea hakika atakuwa akikufurahia zaidi. #8 – Mzingatie baada ya kumaliza kujamiiana Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kujamiiana. Hawajui kuwa, huu ni muda ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza lolote na akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote ule. Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa haraka pindi wanapokuwa wamemaliza lile tendo la kuingiliwa. So, unaweza kuwa umemkojolesha na kumgusa kila angle ambayo unaijua, lakini kitendo cha kumkumbatia, ukampiga busu na kumwambia "asante", huku ukimruhusu alaze kichwa chake tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina maana kubwa sana, iliyo sawa au hata zaidi ya kitendo mnachokuwa mmetoka kukifanya. Huu ni wakati wa kummwagia kila aina ya sifa ambayo anaistahili, na ndio muda muafaka wa kumuandaa kuwa na hamu ya wewe safari nyingine utapomhitaji. #9 – Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba yako Wanaume wengi sana wameumbwa kutaka kuwa vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye kujamiiana, hupenda wao ndio waongoze kila move. Sio mbaya kwasababu wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka. Ni kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni anapopaota, lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu ya wanawake ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao kutawala dimba wakati wa mchezo. Sio suala la kumwambia, leo mie nitalala tu na kukuacha uhangaike na mhogo wangu unavyotaka, laa...atakuona mdhaifu, uliyechoka au unayemsusia tu. Kwa kutumia ile ile dhana ya wewe kuongoza jahazi, hakikisha unatengeneza mazingira ya yeye kuutawala mchezo na kuongoza mashambulizi kuelekea anakoona kuwa mshambuliaji atafunga goli la msimu. Wanawake wana-enjoy sana wanapoona kuwa wanaume wao wamewapa mamlaka ya kutawala dimba, kwani hiyo huwajengea fikra za kuwa wanaaminika kiuwezo, kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji. Wapo mfano wanawake ambao hupenda sana kunyonya muhogo ya wapenzi wao hadi kukojoa, lakini anapotaka kujaribu tu, unakuta janaume hilo, linamwambia aaah, mie sipendi hiyo....au anamuacha ila akikaribia anaanza kumwambia acha nitakojoa .... si umuache? Kwani unadhani yeye hajui kuwa akikunyonya utakojoa ?. Mpe nafasi, anyonye anavyotaka, hata kama ni kukojoa, mkojolee mdomoni tu, maana yu ajua kuwa ndio mwisho wake, lakini kwakuwa anataka umfanye, lazima atajua pia namna ya kukurejesha askari wako awe mkakamavu. Hata kama akitaka "akufanye" mruhusu tu...!!! 10 – Ondoa mazoea Wanaume ni watu wa ajabu sana. Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa naweza kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile, tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume, huwa hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa kujamiiana. Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali, lakini sio kwasababu mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo imetokea mwanamke alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea...kesho akijitega mbuzi kagoma kwenda, itaendelea hivyo hivyo. Uchunguzi ambao umethibitishwa na wataalamu ni kuwa, wanawake huwapenda sana wanaume ambao wana uwezo na courage ya kuwataka wabadili mikao wanapokuwa wakiendelea na game. Ni kama mchezaji wa football vile, anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza ku-invent mbinu za kubadili mchezo wakati mchezo ukiwa unaendelea. Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta msisimko wa kushangaza NYONGEZA AMBAYO NI KITU CHA MUHIMU SANA, Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea. Hivi, unadhani wale makahaba wanaouza miili yao kule huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao? Wanaambiwa sana tu, lakini mbona hawawakubali wale wote wenye kuwashukuru? Shukrani kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi. Ufanye mwili wako uonyeshe kuwa unashukuru kwa vile anavyokupa mwenzako, kabla hata ya kutamka kwa mdomo wako kumshukuru. Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa "gentle" wakati wa kujamiiana kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana kumsugua mwanamke wako utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia bia na vinywaji ulizomnywesha, au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi wake wakati wanakukabidhi (kama ni mkeo wa ndoa) ... Read More
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA   HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha. Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha. Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia. Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili. Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe ‘out’, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah. Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone. MWELEZE UKWELI Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza ‘mizinga’ ili afaidi. JENGENI KUSAIDIANA Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake. Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi. ACHA UFUJALI Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo! Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu. BAKI NA HILI Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie. Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: