Home → ushauri
→ *HII ORODHA YA WAPENZI NI PASUA KICHWA ISEE*
*1. VIPWENTE* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anaweza Akakumiss Hadi Anahisi Network Zinakatika...Lakini Hakutafuti Ng'ooo Iwe Ni Kwa Message Au Laivulaivu, Kwasababu Hataki Kuonekana Wakwanza Kukutafuta._
*2. VIMBUNDU* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Hakuonyeshi Kama Yuko Deep Kwako Hata Kiduchu, Lakini Olewako Akuone Unaongea Na Kidemu/ Kiblazameni Kingine, "Kazi Mbona Unayo"....Hawa Huaga Wanapenda Ndani Kwandani Kama Meli Za Kivita._
*3. VISHOKOMZOBE -* _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Ukihesabu Muda Ambao Mmeanza Kuvunja Amri Ya Sita Yaani Tangu 2014 Mwezi Wakwanza Hadi Lao, Hajawahi Kukupa Hata Kijizawadi Japo Hata Pafyumu Ya Kurusumu._
*4. VINJUNJIO* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anakuonyesha Tabasamu Pale Tu Anapokabwa Na Ukame,_ _Mkishapandiliana Ukame Ukimuisha Hana Taimu._
*5. ATOMBILE* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anamichepuko Kama_ _6 Ivi...Lakini Ole Askie Kunamtu Anakunyemelea Wewe, Hio Vitayake Bora World War. Hawa Nao Wanapendaga Ndani Kwandani._
*6. VISHUMUNDU -* _Hawa Ninoma, Ni Aina Ya Wapenzi Ambao We Uwe Na Michepuko, Umpige, Umfungie Nje, Umfokee Kila Mda, Ukatae Kumtambulisha...Yeye Ndo Kwanza Anazidisha_ _Malavidavi...Fanya Ufanyao, Hakuachi Ng'ooo! (Ukikutana Na Wahivi Oa/ Olewa Fasta...Au Hadi Mungu Akwambie Laivu Kwamba Ye Ndo Kakuletea?)_
.
*7. MANDONYA -* _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi _Ambao Yeye Kukuvalisha Pete Sio Kazi Kwake, Tabu Kuoa! Atakuvisha Chuma Lake Utakaa Nalo 3Years, Mwisho_ _Wasiku Unaskia Kamuoa Ntombi Mwakipesile Wa Mtoni Kijichi._
*8. VIBINUZI* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Ukiwanae Muda Wote Anachati, Ukimuuliza Unachati Nanani? Kinawaka._
*9. KIBUMBUSWA -* _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Hipiti Siku_ _Hamjagombana. Yani Mnaweza Kwenda Kulala, Ukaweka Pozi La Kulala_ _Kiubavuubavu...Utashangaa Anakwambia,_ _"Yaani Mimi Sipendagi Ukilala Hivo Kwasababu Naota Ndoto_ _Mbayambaya"...Basi Tu Mradi Mgombane._
*10. VITUSU AMAZING* _- Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Mapenzi Yao_ _Yamepitiliza Yaani Nizaidi Ya Mapenzi Ya Mchepuko...Yeye Hata Ukijamba Utaskia,_ _"Pole Baby, Haujaumia?"_
*Kwani We Wako Aina Gani?*
*HII ORODHA YA WAPENZI NI PASUA KICHWA ISEE* *1. VIPWENTE* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anaweza Akakumiss Hadi Anahisi Network Zinakatika...Lakini Hakutafuti Ng'ooo Iwe Ni Kwa Message Au Laivulaivu, Kwasababu Hataki Kuonekana Wakwanza Kukutafuta._ *2. VIMBUNDU* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Hakuonyeshi Kama Yuko Deep Kwako Hata Kiduchu, Lakini Olewako Akuone Unaongea Na Kidemu/ Kiblazameni Kingine, "Kazi Mbona Unayo"....Hawa Huaga Wanapenda Ndani Kwandani Kama Meli Za Kivita._ *3. VISHOKOMZOBE -* _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Ukihesabu Muda Ambao Mmeanza Kuvunja Amri Ya Sita Yaani Tangu 2014 Mwezi Wakwanza Hadi Lao, Hajawahi Kukupa Hata Kijizawadi Japo Hata Pafyumu Ya Kurusumu._ *4. VINJUNJIO* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anakuonyesha Tabasamu Pale Tu Anapokabwa Na Ukame,_ _Mkishapandiliana Ukame Ukimuisha Hana Taimu._ *5. ATOMBILE* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anamichepuko Kama_ _6 Ivi...Lakini Ole Askie Kunamtu Anakunyemelea Wewe, Hio Vitayake Bora World War. Hawa Nao Wanapendaga Ndani Kwandani._ *6. VISHUMUNDU -* _Hawa Ninoma, Ni Aina Ya Wapenzi Ambao We Uwe Na Michepuko, Umpige, Umfungie Nje, Umfokee Kila Mda, Ukatae Kumtambulisha...Yeye Ndo Kwanza Anazidisha_ _Malavidavi...Fanya Ufanyao, Hakuachi Ng'ooo! (Ukikutana Na Wahivi Oa/ Olewa Fasta...Au Hadi Mungu Akwambie Laivu Kwamba Ye Ndo Kakuletea?)_ . *7. MANDONYA -* _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi _Ambao Yeye Kukuvalisha Pete Sio Kazi Kwake, Tabu Kuoa! Atakuvisha Chuma Lake Utakaa Nalo 3Years, Mwisho_ _Wasiku Unaskia Kamuoa Ntombi Mwakipesile Wa Mtoni Kijichi._ *8. VIBINUZI* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Ukiwanae Muda Wote Anachati, Ukimuuliza Unachati Nanani? Kinawaka._ *9. KIBUMBUSWA -* _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Hipiti Siku_ _Hamjagombana. Yani Mnaweza Kwenda Kulala, Ukaweka Pozi La Kulala_ _Kiubavuubavu...Utashangaa Anakwambia,_ _"Yaani Mimi Sipendagi Ukilala Hivo Kwasababu Naota Ndoto_ _Mbayambaya"...Basi Tu Mradi Mgombane._ *10. VITUSU AMAZING* _- Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Mapenzi Yao_ _Yamepitiliza Yaani Nizaidi Ya Mapenzi Ya Mchepuko...Yeye Hata Ukijamba Utaskia,_ _"Pole Baby, Haujaumia?"_ *Kwani We Wako Aina Gani?*
Artikel Terkait
ULISHAWAHI KUKUTANA NA MTU MWENYE UPENDO WA KWELI??? Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi ya kuongea kwao au kusema majina yao. Ni kwa sababu ya njia itakayo kufanya wewe ujisikie tofauti. hutaogopa kupenda na kupendwa. Siku moja utakutana na Upendo utakaoufurahia. Hutaweza kufikiria mara mbili. Hutaweza kuwa na wasiwasi kwamba anakupenda au hakupendi. ‘Utafahamu tu. Kwa mtu huyu hutaweza kuficha tabia yako. hutaficha madhaifu yako na usumbufu wako. hutakuwa na mawazo ya itakuwaje kama ata kupandia kichwani. hutakuwa na maswali ya kujua muhimu wake na hutakuwa na labda. Wakati ukikutana na mtu huyu hutaingiwa na woga. hutaweza kufikiri fikiri kitu chochote. hutaweza kufikiria upendo wake kwako. Na wakati anaposema hawezi kwenda mahali , utafahamu kuwa ni kweli. Wakati huo hutasikia kukosa kitu ndani ya moyo wako, hutasikia upweke, hutaweza kusikia chochote kinyume na upendo uliopo. Ipo siku , mtu fulani atabadilisha maisha yako. kwa sababu atakuonyesha upendo wa kweli ni upi na maana ya upendo ni nini, unaonekanaje. Atakuonyesha kuwa upendo hauna mwisho. na hutamkimbia , na hutaweza kutaka faida zaidi. hutapigwa na wala kupata maumivu yasio na msingi. Ipo siku Hutaogopa kupata maumivu. Hutaogopa kuacha tena. kwa kupoteza kipande cha moyo wako na roho yako. hutaogopa tena kutoa na kutoa upendo wako . Siku moja utapumua kwa urahisi kwa kufahamu kuwa huyo mtu hataondoka . Utapumua vizuri kwa kujua kwamba upendo huo utadumu. Huyo mtu hatakutelekeza na wala hataweza kukukimbia. Utafahamu toka moyoni mwako kwamba upendo huo hautakuumiza. Utaweza kuishi, kucheka, kulia na kupumua kwa urahisi ukiwa pembeni ya mtu huyo. Utajifahamu na kujiona vizuri. Utaweza kumuonyesha makovu, na vidonda ulivyonavyo na kwa kuwa vimepona. Utaweza kumuonyesha mtu huyo moyo wako wote kwa kujua kuwa hawezi kukuacha. Ipo siku utajikuta unaamka mikononi mwake, ukiwa karibu yake kwa upendo , katika maisha yako. hutakuwa na wasiwasi . hutaogopa. hutasikia uzito wa kupumua tena. Utahisi upendo ndani yako. mwisho utagundua Upendo halisi. Washirikishe wengi. ... Read More
Kufanya Mapenzi Kwa Wiki Mara 3 Kunapunguza Kupata Shambulio La Moyo (Heart Attack) Kwa Asilimia 50%  Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima bila kupiga mambo yetu. Pia utafiti huo unasisitiza ya kwamba mwenye Kufanya Mapenzi killa siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100% ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI Kiafya Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75. Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani. Kuongeza mwendo wa damu Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji. Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili. Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol) Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini. Kupunguza maumivu Wakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa. Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini. Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara. Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate. Kupunguza mfadhaiko wa moyo Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini. Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi. Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen) Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi. Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo. Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana Wakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka. Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular). Hupunguza baridi na mafua Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa. Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa. NB: Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa HAYA KWA WANA NDOA FANYENI MAPENZI JAPO KWA WIK MARA 3 MUPATE FAIDA ZA TENDO LA MAPENZI NDANI YA NDOA. KWA WALE WASIOWA HAWAPATI HIZI FAIDA SHAURI YENU MSIE OWA OWENI MUPATE FAIDA ZA TENDO LA NDOA ... Read More
KAMA NI MUOGA WA KUKUTANA NA MWANAMKE MPYA SOMA HAPA  1. Zifahamu sehemu nzuri za kukutana na wanawake Sehemu za kujivinjari kama vilabu na baa ni sehemu nzuri za kukutana na wanawake lakini kama unataka mahusiano marefu na mwanamke basi sehemu hizo si nzuri kwako. Iwapo unataka mchepuko wa haraka basi unaweza kuenda kutafuta katika hizo sehemu. Iwapo wewe ndio umeingia katika dunia ya kutongoza kwa sasa, basi ningekushauri utafute sehemu mbadala kwa sababu kutakufungua macho na ufahamu mpango mzima kuhusiana na maswala ya mahusiano na mapenzi. Sehemu nzuri za kukutana na wanawake ni: Supermarket Mkahawa Bustani Vituo vya mabasi Chuoni 2. Jaribu mitandao ya kutafuta wachumba, wapenzi Hii inaweza kuonekana kama utata kwako lakini kulingana na utafiti ni kuwa wanaume wengi hupata wachumba wao kupitia mitandao ya kutafuta wachumba. Uzuri wa mitandao hii ni kuwa haina stress ya kujisumbua kuzunguka, unatafuta mchumba ukiwa nyumbani kwako ukiwa umetulia. Pia mitandao hii inakupa fursa ya kupata mchumba ambaye mnagawa maslahi na tabia moja. Lakini chunga iwapo utatafuta mchumba kwa mtandao kwa sababu kuna wengi wamefanyiwa ufidhuli huko na kuporwa pesa zao. Unaweza kuangalia mitandao ya kutafuta wachumba bora zaidi Afrika ambayo tumekuchagulia. 3.Usishushe hadhi yako Iwapo unataka kutongoza mwanamke sehemu yeyote ile, usijaribu kushusha hadhi yako. Iwapo unaamini ya kuwa wewe ni mzuri zaidi kwa mwanamke basi pia yeye ataamini hivyo hivyo. Pia iwapo unaona hauna uwezo wa kumvutia mwanamke, elewa ya kuwa vivyo hivyo wanawake watakuona kama mwanaume usiyejiamini ambaye huna confidence ya kuwaaproach ama kuwatongoza. Wanawake hupenda wanaume ambao wana confidence na wanaopenda kuchukua misimamo ya haraka. 4. Kuwa na mipango Kama iwapo unataka kukutana na mwanamke mara ya kwanza ama wakati mwingine, hakikisha ya kuwa unaweka mpango unaoeleweka ili usipate tatizo mbeleni. Mfano unamtoa out mwanamke, hakikisha ya kuwa unaifahamu vyema sehemu unapanga kumtoa out ili usianze kupapatika kuhusu wapi na nini la kufanya wakati mmetoka sehemu hizo. Wanawake hupenda wanaume ambao huwa na mwongozo wa mambo ambayo hufanya. Sehemu nzuri za kukutana na mwanamke ni katika mkahawa, gym, na baa. Hakikisha ya kuwa sehemu unayoichagua inapendeza. 5. Uwe unapendeza kila wakati Iwapo unataka kuwa na mahusiano mazuri na wanawake basi unafaa uwe unapendeza kimuonekano. Hakikisha ya kuwa unauboresha mwonekano wako na pia umaintain kila wakati. Kuvalia nguo nzuri mara kwa mara ni muhimu lakini usivuke mipaka. Ni muhimu kufanya hivi kwa sababu huwezi kujua lini ama wapi unaweza ukakutana na mwanamke utakaye mzimia. 6. Fanya mazoezi ya ujamiifu wako Ujamiifu ni socialization na wengine. Iwapo unataka kukutana na wanawake wengi katika maisha yako, basi kigezo cha kujamiiana na wengine ni muhimu. Kutembea sehemu za vilabu, baa, sehemu ambazo kuna matukio flani ni muhimu ili kunoa kipawa chako cha kutangamana na wengine. Tumia fujo wakati ambapo unatangamana na wanawake ili uboreshe ubabe wako. Kama ni kuenda kwa kilabu, hakikisha ya kuwa unadensi na wanawake tofauti tofauti. Hii inakupa confidence kwa mwanamke. Pia hakikisha ya kuwa unaenda wakati ufaao sehemu kama hizi. Mfano nenda kwa klabu wakati watu wamekuwa wengi. Pia usijifiche wala kuogopa yeyote yule. 7. Usibabaikie kutemwa Kila mtu katika maisha yake ashapitia wakati flani ambapo amekataliwa na mtu flani, so kukataliwa ni jambo la kawaida na halifai kusumbua mtu akili. Kando na hivyo, kukataliwa hakumaanishi ya kuwa unafanya makosa. Wakati mwingine huwa ni kuwa wanawake wengine hawataki kuwa katika mahusiano, washachumbiwa ama sababu nyingine kama hizi. Kumalizia ni kuwa kuna mbinu tofauti tofauti na sehemu tofati za kutafuta mchumba hivyo woga la kutemwa halifai kuwa swala kuu. 8. Pata ujuzi kutoka kwa wanaume wengine Ukweli usemwe, hakuna mwanaume hapa duniani yuko sawa asilimia 100. Hivyo ni vizuri kupata ujuzi kwa kuwauliza wenzako ni vipi waliweza kutongoza ama kupata windo fulani. Ingawa ni vizuri kupata ushauri kutoka kwa marafiki zako, mimi naona ushauri wa mtu huwa tofauti na mwingine hivyo mara nyingi ushauri kutoka kwa mwanaume mwingine unaweza kukupotosha ama kuegemea upande mmoja. Hapa NESIMAPENZI tumekulekea post tofauti tofauti za kukufunza wewe na hatujaegemea upande wowote. ... Read More
Kanuni Kumi '10' Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa....Ikizishindwa Imekula Kwako  UHALISI WA MAISHA: Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU: Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI: Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzunguka. Tabia ya upendo wa halisi ina thamani kubwa sana kuliko mali nyingi, pesa, elimu ya juu n.k. wewe unaweza kabisa kuwa na elimu ya juu sana na pesa nyingi sana lakini pasipo upendo wa halisi ni sawa na kusema kopo zuri kwa nje na ndani hamna kitu. Nguzo kuu ya maisha ya mwanamke shujaa ni Upendo wa dhati na uhalisia. UTII KWA KWA JAMII: Maisha halisi ya utii katika jamii inayokuzunguka ili kuweza kuyafanyia kazi yale yote uliyojifunza na pia kuyatenda kwa ufasaha pasipo kupita kona yoyote. Utii kwa jamii ni ufunguo mmoja wapo utakaokusaidia kufanikisha mambo yako na malengo yako kama mwanamke shujaa. UAMINIFU KATIKA JAMII: Kuishi maisha ya uaminifu wa kweli na uhalisia katika jamii inayomzunguka. Uaminifu wa kweli huonekana nyakati zote na siyo tu wakati mtu anapokuwa mbele za watu wanaomjua bali hata wale wasiomjua na hata anapokuwa mahali peke yake aweze kutunza uaminifu wake kwa faida ya jamii nzima. Mwanamke shujaa hujitahidi sana kutunza uaminifu wake katika sekta zote. UNYENYEKEVU WA KWELI: Kuishi maisha halisi kabisa ya unyenyekevu kwa jamii inayomzunguka, unyenyekevu ni kinyume kabisa na kiburi, majivuno, kujigamba, kujikweza, kujiinua, kujiona,na hata kjitanguliza mbele kwa kila jambo. Mwanamke shujaa huwa ni mnyenyekevu wakati wote na hana makuu daima. UWAJIBIKAJI WA DHATI: Maisha halisi ya uwajibikaji akiangalia majukumu yake yote yanayomkabili na kuhakikisha anafanya kwa moyo bila kuwa na tabia ya kusaidiwa majukumu yake. Mwanamke shujaa ni mfano wa kuigwa kutokana na uwajibikaji wake. USHIRIKIANO WA DHATI: Ushirikiano katika jamii inayomzunguka. Sisi wanawake mashujaa yatupasa kujua dhahiri kuwa kazi ya kubadili tabia na kufanya wengine wabadilike kwa lengo la kupata familia bora ni lazima kuwa na ushirikiano wa kweli ambao utajenga tabia ya kuaminiana na kunai mamoja katika harakati hizi za kuandaa/ kujenga familia bora. UTARATIBU WA KAZI/MPANGILIO: Katika utaratibu wa maisha yake, pamoja na mpangilio mzuri wa mambo yanayomzunguka hii itakusaidia kuwa na muda mzuri wa kufanya shughuli zako na pia kutekeleza majukumu yako ya kila siku kama mwanamke shujaa. Hakuna njia yoyote ya kukuwezesha kukua na kuendelea katika maisha yako bila kuwa na utaratibu na mpangilio wa mambo yako. KUFANYA TATHIMINI: Kuweza kufanya tathimini ya yale yote anayoyafanya katika maisha yake ya kila siku, pengine ni mfanyabiashara, mfanyakazi, mkulima n.k kama mwanamke shujaa yakupasa kutathimini shughuli zako kama zina leta faida/hasara kwa familia na jamii yako inayokuzunguka. Ukiona faida ni kubwa unaendelea na hiyo shughuli lakini kama hasara ni kubwa unajiweka katika nafasi ya kubadilisha aina ya shughuli mara moja bila kupoteza wakati. ... Read More
MWANAUME ANAPOSEMA HATAKI KUKUOA: MWAMINI  Naandika hii makala kwa sababu nimekutana na maswali mengi ambayo yanaumiza wanawake wengi. Swali linakuwa hivi. Nimekuwa na huyu mwanaume kwa muda mrefu na tumekuwa tukishirikiana mambo mengi. Sijawahi kuwa na hisia kama nilizo nazo kwa mwanaume huyu kwa mtu yeyote. Na nilijua tutakuwa pamoja maisha yetu yote. Tatizo ni kwamba anasema hataki kunioa? Nitafanyaje ili aweze kujua kuwa nampenda na tunaendana vizuri pamoja na tunatakiwa tuoane? Wanaume wengi huwa wanaogopa kuweka ahadi kama hawana uhakika na upendo walio nao kwa mwanamke. Semeni ukweli wanaume. Je ameongelea kuhusu maisha ya baadae? Kuna mpango gani? Ni rahisi kubadilisha mwanaume? Unawezaje kumlazimisha akuoe? Kitu gani cha kufanya kama amesema hawezi kukuoa? Kama amesema hatakuoa, Mwamini . Elewa. Najua tayari jibu umepata kwenye maandiko yangu ya juu, lakini napenda kurudia, huwezi kumlazimisha mwanaume akuoe kama amesema hataki kukuoa. Hataweza. Sasa basi sisemi kama haiwezekani kweli. Kuna wanaume ambao husema hawatakuoa na hubadili mawazo yao na kuamua kuoa mwanamke ambaye alikuwa hapendi kumuoa. Lipo hilo. Mwanaume anayesema hatakuoa na wakati anaishi na wewe, mara nyingi anakupotezea muda na atakwenda kuoa mtu mwingine anayempenda kuliko wewe. Tuangalie kwa nini iko hivyo. Ina maana gani anapokuwa anaongea kuhusu kuchukia ndoa Aina ya mwanaume ambaye atakuambia hatakuoa ni yule ambaye anachukizwa na taasisi ya ndoa au sheria yake. Mwanaume huyo hafikirii kama wazo la kuoa ni zuri kwa kila mtu- anaona hata wanandoa ambao wako pamoja hawaonyeshi kama wana upendo wa kutosha, hawana upendo wa kweli ( anaweza kuwa haamini hata kama kuna upendo) Anafikiria hata kama ataona, mbona ndoa nyingi hazifiki mwisho, au mbona ugomvi ndani ya ndoa hauishi. Vyovyote vile , kwa sababu zozote zile, lakini mwanaume huyu anaonyesha kuchukia taasisi ya ndoa, na hataki kuingia huko, ndio maana hataki kuoa. Kama utasikia akisema hivyo mwamini. Haonyeshi kama atatafuta mwingine ambaye ataweza kubadili mawazo yake kuhusu kuoa.hata kama mnakaa pamoja na mnapendana sana , lakini hatafunga ndoa. Ina Maana Gani Anaposema Muda Wa kuoa Bado. Huyu ni aina nyingine tena.Anasema muda bado, anakuwa na sababu nyingi.Kama hali yake ya maisha haijakaa sawa, hajajenga nyumba, hana gari, na sababu kibao. Mwanaume huyu hana tatizo katika kuoa , Ila wakati bado , hataweza kuoa wakati unaotaka wewe, hata kwa sababu zipi hataweza. Unachotakiwa kufanya ni kumwamini anachokisema. Sababu zake hazina msingi. Kitu cha msingi ni Ukweli anaokuambia.Inaumiza lakini ndio ukweli.Inavunja moyo lakini ndio ukweli, Amini hilo na itaokoa muda wa kwako kusubiri.Na wakati huo huo utakuwa unafanya maamuzi ya kusubiri, kukubali jinsi ilivyo. Lakini kumbuka kuwa ndoa ni kitu cha muhimu sana. Wanaume wanaosema hawataoa huongea ukweli.Kama anakuambia hatakuoa Amini tu. Wanaume wanajua ni mwanamke wa aina gani atakayeishi nae maisha yake yote, uwe makini asije akawa anakutumia huku ana mipango yake .Yapo mambo wanaume huyapenda kwa mwanamke, vile vile yapo mambo ambayo wanawake wanapenda kwa mwanaume. Kama unaona unamlazimisha jambo fulani hataki , kuwa makini. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: