Home β ushauri
β _*Hii inawaahusu sana wanawake*_
πππππ
*MATUMIZI YA MAFUTA YA NDIMU UKENI*
ππππππππππππππππππππ
Chezea mafuta ya ndimu weye..π
Mafuta ya ndimu katika mwili wa mwanamke husaidia kuusafisha uke na kutoa bacteria zote zilizopo mule, namaanisha nini wanawake sisi huwa ukeni kunapitia mambo mengi sana ukiacha uume tuna bleed, huwa tunajifukiza huko, tunatumia sijui madawa gani ya kuoshea huko yani vurugu kibao
πππππ
Mafuta ya ndimu ni mazuri sana katika kusafishia huko ukeni na kukata harufu mbaya hata mmeo akitaka kitu yake unakuwa na harufu nzurii ya kupendeza upo hapo? ππ
β‘Pia shoga zangu mafuta haya yanasaidia kutaiti uke wako kama huko chini pametanuka πkwaiyo ukipaka mafuta haya utakuwa mdogo kama bikra upoo
ππ
Endelea kutumia mafuta ya ndimu mara kwa mara utaona kama utalalamika mambo ya UTI au fangasi vitakwisha vyotee
ππππππ
*JINSI YA KUTUMIA MAFUTA* ππππππππππ
β‘Ukishamaliza kuoga na kujiswafIsha kitumbua na umejikausha vizuri.
ππ
β‘Chukuwa kitambaa chako kisafi na kilaini kichovye katika yale mafuta yako ya ndimu
ππ
β‘kisha anza kusafisha uke na kupaka hayo mafuta ya ndimu kwa kutumia kile kitambaa kilaini na kisafi kuzunguka mashavu yote ya kitumbua na kwa ndani kidogo utaratibu usitumie nguvu.
ππ
β‘Ukimaliza usinawe kwa maji vaa chupi yako endelea na kazi zako mpaka jioni ukiwa unaoga ndio upasafishe ulale ukiwa fresh baada ya kuoga jioni usipake tena kitu chochote kile lala hivyohivyo.
ππππππππππππππππππππ
*Teacher*
*π
± professional love*
*Mwenyezi Mungu anatibu*
*Sisi ni sababu*
_*Kwa wale wenye kuyahitaji mafuta ya Ndimu wawasiliane nami kwa simu zifuatazo*_
*0756229093*
*0684225037*
_*Hii inawaahusu sana wanawake*_ πππππ *MATUMIZI YA MAFUTA YA NDIMU UKENI* ππππππππππππππππππππ Chezea mafuta ya ndimu weye..π Mafuta ya ndimu katika mwili wa mwanamke husaidia kuusafisha uke na kutoa bacteria zote zilizopo mule, namaanisha nini wanawake sisi huwa ukeni kunapitia mambo mengi sana ukiacha uume tuna bleed, huwa tunajifukiza huko, tunatumia sijui madawa gani ya kuoshea huko yani vurugu kibao πππππ Mafuta ya ndimu ni mazuri sana katika kusafishia huko ukeni na kukata harufu mbaya hata mmeo akitaka kitu yake unakuwa na harufu nzurii ya kupendeza upo hapo? ππ β‘Pia shoga zangu mafuta haya yanasaidia kutaiti uke wako kama huko chini pametanuka πkwaiyo ukipaka mafuta haya utakuwa mdogo kama bikra upoo ππ Endelea kutumia mafuta ya ndimu mara kwa mara utaona kama utalalamika mambo ya UTI au fangasi vitakwisha vyotee ππππππ *JINSI YA KUTUMIA MAFUTA* ππππππππππ β‘Ukishamaliza kuoga na kujiswafIsha kitumbua na umejikausha vizuri. ππ β‘Chukuwa kitambaa chako kisafi na kilaini kichovye katika yale mafuta yako ya ndimu ππ β‘kisha anza kusafisha uke na kupaka hayo mafuta ya ndimu kwa kutumia kile kitambaa kilaini na kisafi kuzunguka mashavu yote ya kitumbua na kwa ndani kidogo utaratibu usitumie nguvu. ππ β‘Ukimaliza usinawe kwa maji vaa chupi yako endelea na kazi zako mpaka jioni ukiwa unaoga ndio upasafishe ulale ukiwa fresh baada ya kuoga jioni usipake tena kitu chochote kile lala hivyohivyo. ππππππππππππππππππππ *Teacher* *π ± professional love* *Mwenyezi Mungu anatibu* *Sisi ni sababu* _*Kwa wale wenye kuyahitaji mafuta ya Ndimu wawasiliane nami kwa simu zifuatazo*_ *0756229093* *0684225037*
Artikel Terkait
MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA: οΏΌ Mawasiliano hujenga mahusiano mazuri, bila hivyo kutakuwa na tofauti fulani kati ya wawili wapendanao .watu wengi wanaamini kuwasiliana kunajenga uhusiano mzuri, hebu fikiria kama una rafiki yako mnaopendana hakutafuti hata kama umekuwa mbali kwa muda mrefu , si inaboa sana? nikupe mfano mmoja , wanandoa wakiwa pamoja nyumbani , siku hiyo wameamua wasiende mahali popote, unafikiri wangekalia kufanya tendo la ndoa siku nzima? jibu ni hapana. lakini wanakuwa na mawasiliano ya aina yake , Hapa nakuletea maswali unayotakiwa kumuuliza mpenzi wako mkiwa mko mmekaa jioni , au katika mapumziko yenu, lakini uwe makini hapa kuna wengine hawapendi umdadisi, ile kuna wengine ni waelewa na watakuelewa. mwanaume mwenye kukupenda atakuelewa. MASWALI YA KUMUULIZA KIJANA UMPENDAE. 1.Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi kufanya? 2.kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani? 3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya kwako? 4.ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha yako? 5.kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu ungechagua watu wa jinsia gani wa kuwahudumia ? 6.umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike? 7.kabla ya mimi umewahi kuwa na nani? 8. je unaweza kukosa kitu unachokipenda kwa ajili yangu? 9.kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio siku wewe kama wewe? 10.wewe ni wangu? 11.unampenda nani? 12. unaamini kama kuna mungu? 13.unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli? 14.Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu? 15.je unweza kukaa na mtu usiempenda? 16.Unajisikiaje unapokuwa na mimi? 17. Utamjuaje mchumba wa kweli? 18.Unatafuta kitu gani kwa msichana? 19.Utajielezeaje wewe mwenyewe? 20.je, utaweza kunielezea mimi? 21.Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo? 22.ni mzuri au ni mbaya? 23.umewahi kumwacha msichana? 24.umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya? 25.busu la kwanza kabisa ulimbusu nani? 26.ulifanikiwa? 27. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani. 28. Tamthilia ipi unaipenda? 29.Unapenda chakula gani? 30.unapenda rangi gani? 31.unapenda mziki gani ? 32.ukiwa mtoto ulikulia wapi? 33.Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto? 34. unashangilia timu gani ya mpira? 35.mwigizaji gani unamkubali sana duniani? 36. tamthilia ipi ni nzuri? 37.unawafurahia marafiki zangu? 38.unaipenda kazi yako? 39.unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako? 40.Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia? MASWALI MENGINE YA KINDANI ZAIDI YA KUULIZA UNAPOKUWA NA MTU ANAYEKUTHAMINI. 41.Ukipoteza nguvu zako wakati wa usiku , je ni kitu kipi utanieleza ili niridhike? 42.Ni sehemu gani ya mwili wangu , macho yako yakiona utashangaa kama hujawahi kuniona nikiwa uchi? 43.Umewahi kusikia mwili wangu ukinuka? 44.kama nakuhitaji, natupo pamoja wakati huo, unawezaje kunielewa, wengine husema unawezaje kunisoma,je unafikiri utajua dalili? 45.umewahi kuota uko na mwanamke ukifanya mapenzi? 46.umewahi kucheza kama dactari wakati wa utoto? 47. ni aina gani ya mapenzi ungependa kuwa nayo katika maisha yako? 48.Umewahi kufumwa ukiwa uchi? 49.je una uzoefu gani katika mahusiano? 50.unaweza kuniambia vitu vya kuchekesha ulivyofanya wakati wa utoto? 51.Kama ungetaka kubadili jinsia ni sehemu ipi ungependelea,na kwa nini? 52.Kuna siri yeyote hujaniambia? 53.UTU. je unafikiri umbo la mtu lina tatizo katika mahusiano? 54.tukipata watotro mimi na wewe ungependa watoto wetu wafuate tabia zetu? 55.unapenda staili ipi ya chini au ya juu? 56. umewahi kumpiga mtu kofi? 57.je wewe ni mkweli? 58.kitu gani unachokipenda ambacho hujawahi kuniambia? 60 .Nikimwangalia mwanaume mwingine na kumsifia utaudhika?je kuna tabia yeyote ya udanganyifu ambayo hujaipenda kwangu?unaweza kuacha kitu unachokipenda kwa kumsaidia rafiki? fuatilia maswali mengine mengi yatakuja. toa maoni yako katika maswali haya. ... Read More
*SIMULIZI DARASA* *STORY FUPI* *USIMDHARAU USIYEMJUA* Msichana mmoja alikuwa amempenda kijana mmoja mtanashati na mcha Mungu.. Malengo yao ilikua waje kuoana baada ya muda. Kijana huyu alijitoa sana kwa binti huyu hadi wenzie wakamuona mjinga, lakini ukweli ni kuwa alimpenda msichana yule kwa dhati. Alimtafutia kazi alipomaliza chuo, alimshauri kuhusu mipango ya maisha na alikua akimuombea kila alipopata nafasiya kuomba. Siku moja binti alikua anasherehekea siku yake ya kuzaliwaβ¦hivyo akaalika marafiki zake, na watu wengine muhimu akiwemo mpenzi wake. Wageni wote walifika kwa wakati isipokua yule kijana alichelewa kidogoβ¦ Hivyo msichana akatumia muda ule ambao mpenzi wake hajafika kuwaeleza wageni namna yule kijana alivyokua wa muhimu kwake.. Akamsifia sana, akasema atamvalisha pete ya uchumba soon, na akasema siku hiyo ya birthday yake anategemea zawadi kubwa sana kutoka kwa huyo mpenzi wa nafsi yake. Baadae kijana akaingia na kuketi high table.. Muda wa zawadi ulipofika watu wakamtunza binti zawadi mbalimbali na kijana akawa wa mwishoβ¦ Hivyo wageni wote wakawa na hamu ya kutaka kujua zawadi aliyoleta hasa baada ya yule msichana kumsifia sana. Kijana akaamka na kutoa mfuko.. kila mtu akataka kujua kilichokua ndani ya mfuko..mara kijana akafungua mfuko na kutoa mkate..!! Lahaulaβ¦ watu wote wakastaajabu.. mkate??? Lakini kabla hajasema lolote kuhusu ule mkate, yule msichana akaanza kulia.. akapandwa hasira kwa kuwa mpenzi wake amemuaibisha..!! Akiwa analia kwa kwikwi, akamkwida shati na kumvua tai yake, akamwagia juisi, kisha akauchukua ule mkate na kuutupa.!! Maskini..yule kijana akaukimbilia ule mkate na kuuokota.. Kisha akarudi high table na kusema βbaby nakushukuru kwa yote..Huenda umenidharau kwa kuwa nimekuletea zawadi hii ndogo kwenye siku yako muhimu kama hii. Lakini kama ungetambua thamani ya zawadi hii, usingefanya haya..β Kisha akafungua ule mkate na kutoa vitu viwili alivyoficha ndani ya mkate.. Kwanza akatoa ufunguo wa gari, ambalo alikuwa amemnunulia mpenzi wake na alitaka amkabidhi siku hiyo ya birthday. Kisha akatoa pete ya uchumba na kusema βNilimuomba Mungu anipe mwanamke atakayenipenda katika hali yoyote. Nilipanga leo nikuvalishe pete hii ili kuelekea ndoto yetu ya ndoa.. ..Lakini kwa kuwa uliangalia nje, uliona mkate, badala ya pete hii ya thamani iliyokua ndani.. Naamini mwanamke niliyemuomba kwa Mungu bado sijampata.. Nashukuru kwa yote uliyonifanyia, nimekusamehe, nawe naomba unisamehe kama nimekukwaza..β Kisha akachukua mkate wake, huyoo akaondoka. Msichana akaomba msamaha lakini ilikua too late.. MORAL OF THE STORY..! Usidharau kitu/mtu kwa kumtizama nje.. Mungu huangalia thamani ya kitu ndani lakini Wanadamu huangalia nje.. Thamani ya kitu/mtu ipo ndani na si rahisi kuonekana.. Usiwe mwepesi wa kuhukumu kwa kutizama umbo la nje.. Wale wanaokudharau leo na kukuona mkate, ipo siku watagundua haukua mkate wa kawaidaβ¦ kuna vingi vya thamani ndani yako. Wote wanaokudharau leo ipo siku watakusalimia kwa heshima..!! πΉTUELIMISHANE MEMAπΉ Subra ndio inayotakiwa katika maisha. *akida* ... Read More
MADHARA YA MWANAMKE KUZAA MFULULIZO BILA KUPUMZIKA. οΏΌ Ni wazi vifo vya uzazi vimekuwa vikisababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo ya mwanamke kuzaa mfululizo bila kupumzika hivyo kutokana na hali hiyo ipo haja kwa wakuu wa mikoa ya kanda ya magharibi, kanda ya ziwa na kwingineko kuongeza juhudi zaidi katika kuwaelimisha wananchi wake umuhimu wa kutumia njia ya uzazi wa mpango. Wakuu hao wana kazi ya kuondoa mila na desturi za wananchi wa ukanda huo ili waondokane na mila hizo zilizopitwa na wakati kwa kutumia njia sahihi za uzazi wa mpango katika kuwezesha taifa kukua kiuchumi na kuleta maendeleo kwa wananchi, Takwimu za nchi zinaonyesha kanda ya magharibi inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya kuzaana na kufikiwa asilimia 7.1 ikifuatiwa na kanda ya ya kati na kufuatiwa na kanda ya ziwa hali hii pia inachangia ongezeko la vifo vya uzazi kwa wanawake kutopumzika. Kuna haja wananchi kuelimishwa kuwa matumizi mazuri ya njia ya uzazi hayana madhara mwilini ili waweze kuzaa kwa mpango na kupunguza vifo vya uzazi. οΏΌ Hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete alizindua mpango mkakati ulioboreshwa wa kuongeza kasi ya kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi na kuwataka watendaji wake katika mikoa yote nchini, ambao ni wakuu wa mikoa kuwa wahakikishe wanapunguza vifo vya watoto na akinamama wanaokufa kwa matatizo ya uzazi. ... Read More
JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE KITANDANI KATIKA MAPENZI. οΏΌ Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi yeyote huko nje. Mfanye Mwanamke aanze kufika mlima kilimanjaro kabla hujaanza kumuingilia. Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo. Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi. Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo. Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke afike mlima Kilimanjaro na kutua mizigo yake kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la ndoa zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake. Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji tu kuingia kwa uume wako aweze kupiga bao la pili, na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro haraka sana. Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!! #2 β Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu. Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo hayo. Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa tayari anajua huyu ataanza hapa, ataishia pale na atapofika mlimani namna hii. Hili haliwezi kumsisimua mwanamke. Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16, ambayo yakichezewa au kuguswa kiufundi wa kimahaba, huweza hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla ya kuingiliwa. Wangapi tunajua kuhusu A-Spot? ..... ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla wakati wa kufanya mapenzi naye, na hakika utakuwa shujaa wake. Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke! #3 β Usiwe kama kuku Ndio, licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya mwanamke afike kileleni kabla ya kumuingilia, unamjengea mazingira ya kufika kileleni haraka pindi unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi, kwamba ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi isiyomithilika. Mwanaume kudumu kwenye tendo kwa muda wa kutosha, ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na kumuona kuwa yu shujaa. Sometimes, pumzi zako kitandani zinaweza pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za mtaani, na kama kitandani hauko nazo za kutosha, itakuwaje siku mmevamiwa mkiwa matembezini na watu unaotakiwa kupigana nao? Tofauti kubwa sana baina ya wanaume na wanawake ni kuwa, wanaume wengi hujamiiana kwa minajili ya kufika kileleni, ilhali wanawake hujamiiana kwa minajili ya kustarehe. So, usiifanye starehe hiyo kuwa ya dakika moja...lakini pia usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo wanaume wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke uchi hadi akahitaji barafu la kujikanda ili ipoe, ni ushujaa. Nusu saa hadi dakika 50 ni muda muafaka kabisa, na zaidi ya dakika 60, kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea sence ya starehe na wakajiona kama wanalipishwa walicholishwa. #4 β Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji Ndio, wapo wanaume wengi tu wanaoweza kujinadi kuwa wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya vi**mi, kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo. Kama ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia kubwa ya wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo la kuamsha hisia zao kwa ajili ya kujamiiana, bali kwa minajili ya kuwafanya wapate ule ute ambao utawarahisishia wao kuingia. Kitu kikubwa wanachopendelea wanawake, ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kumfanyia vimichezo vya kumtia hamu hadi ikiwezekana aanze kuulilia muhogo. Jidai kama unataka kumnyonya ki**mi, lakini usifanye hivyo, pumua usawa wa mdomo wa uke wake kiasi cha kumfanya ahisi pumzi yako, mlambe mapajani...sio lazima kila siku iwe kwenye tundu la uke....... Haya ni baadhi ya yatayomfanya aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti, na ukiamsha hisia zake kwa namna ya kipekee. Na hili basi ndilo lenye kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo ambalo wanawake hulihitaji....cheki namba 5 hapa chini Tumichezo kama hutu twa Manaiki Sanga tunasaidia... #5 β Faida ya ulimi/mdomo kunyonyanaInashangaza sana kwa kweli...wakati wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa kuwafanyia maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole vyao. Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake walisema kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya mwanaume akasimama vya kutosha kuwaingilia. Ukweli ni kwamba, hii sio sahihi kabisa. Umepewa viungo zaidi kwa ajili ya kumfanya mwenzako aweze kufurahia tendo la ndoa, na ikiwa unaweza kuvitumia, kwanini unavibania bania ?. Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni nini hasa? Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako unadhani ulimi huo unaweza kufika na ukamfanya aseme "Oh...am going crazy" #6 β Msisimue kwa kauli zakoWanaume wengi sana huwa mabubu wawapo kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao watawafikiria namna gani vipi wakisema sema wakati wanajamiiana nao... lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka kushusha mizigo yao? Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga kelele wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu matamu wakati unaendelea kumstarehesha? Nong'ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu....hata zile oooh....sss....mmmm zako, zifanye sikioni kwake..... wanawake huwa hawajisikii raha sana wanapokuwa wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa kujamiiana, ikiwa mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani dumwana ambalo linashangaa kilichoko mbele yake. Anakuwa hajui kama unaenjoy anachokifanya kwako au laa. Ni sawa na wewe mwanaume, unajisikiaje pale unapokuwa umemgusa mwanamke mahali fulani penye mzizi wa utamu na akaanza kukwambia kwa ile sauti ya kipekee akisema "hapo hapo...hapo hapo jamani raaaha".... Epuka tu sauti yako isiwe ambayo itamfanya anywee kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali alikuwa anakaribia kuanza kuelea angani. Unaweza kumsifia hata kabla gemu halijaanza.... #7 β Jenga mahusiano ya macho yenuHivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la kukojoa? Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye akiwa anakojoa? Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno. Mawasiliano ya macho wakati wa kujamiiana, huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu na ikiwa inatokea mwanamke uliye naye alishawahi kutokewa na mwanaume ambaye wakati wanajamiiana alikuwa akimtizama usoni moja kwa moja, basi si ajabu mtapomaliza akajitoa kimaso maso na kukuuliza "mbona ulifumba macho wakati unakojoa", na hapa atakuwa akimaanisha kuwa kuna ulichomnyima. Mwanaume, jitahidi kubadili utaratibu wa kila siku kuzima taa wakati mnajamiiana, acha taa ziwake wakati mwingine, na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo wa rangi zake, huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa, kumbe ni kwenye kitanda chenu kile kile ambacho kila siku mnakitumia. Mazoea ni mabaya, lakini haimaanishi kuwa hamuwezi kubadilika, na ikiwa unaweza kuongoza jahazi la mabadiliko haya, akizoea hakika atakuwa akikufurahia zaidi. #8 β Mzingatie baada ya kumaliza kujamiiana Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kujamiiana. Hawajui kuwa, huu ni muda ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza lolote na akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote ule. Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa haraka pindi wanapokuwa wamemaliza lile tendo la kuingiliwa. So, unaweza kuwa umemkojolesha na kumgusa kila angle ambayo unaijua, lakini kitendo cha kumkumbatia, ukampiga busu na kumwambia "asante", huku ukimruhusu alaze kichwa chake tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina maana kubwa sana, iliyo sawa au hata zaidi ya kitendo mnachokuwa mmetoka kukifanya. Huu ni wakati wa kummwagia kila aina ya sifa ambayo anaistahili, na ndio muda muafaka wa kumuandaa kuwa na hamu ya wewe safari nyingine utapomhitaji. #9 β Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba yako Wanaume wengi sana wameumbwa kutaka kuwa vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye kujamiiana, hupenda wao ndio waongoze kila move. Sio mbaya kwasababu wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka. Ni kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni anapopaota, lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu ya wanawake ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao kutawala dimba wakati wa mchezo. Sio suala la kumwambia, leo mie nitalala tu na kukuacha uhangaike na mhogo wangu unavyotaka, laa...atakuona mdhaifu, uliyechoka au unayemsusia tu. Kwa kutumia ile ile dhana ya wewe kuongoza jahazi, hakikisha unatengeneza mazingira ya yeye kuutawala mchezo na kuongoza mashambulizi kuelekea anakoona kuwa mshambuliaji atafunga goli la msimu. Wanawake wana-enjoy sana wanapoona kuwa wanaume wao wamewapa mamlaka ya kutawala dimba, kwani hiyo huwajengea fikra za kuwa wanaaminika kiuwezo, kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji. Wapo mfano wanawake ambao hupenda sana kunyonya muhogo ya wapenzi wao hadi kukojoa, lakini anapotaka kujaribu tu, unakuta janaume hilo, linamwambia aaah, mie sipendi hiyo....au anamuacha ila akikaribia anaanza kumwambia acha nitakojoa .... si umuache? Kwani unadhani yeye hajui kuwa akikunyonya utakojoa ?. Mpe nafasi, anyonye anavyotaka, hata kama ni kukojoa, mkojolee mdomoni tu, maana yu ajua kuwa ndio mwisho wake, lakini kwakuwa anataka umfanye, lazima atajua pia namna ya kukurejesha askari wako awe mkakamavu. Hata kama akitaka "akufanye" mruhusu tu...!!! 10 β Ondoa mazoea Wanaume ni watu wa ajabu sana. Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa naweza kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile, tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume, huwa hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa kujamiiana. Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali, lakini sio kwasababu mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo imetokea mwanamke alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea...kesho akijitega mbuzi kagoma kwenda, itaendelea hivyo hivyo. Uchunguzi ambao umethibitishwa na wataalamu ni kuwa, wanawake huwapenda sana wanaume ambao wana uwezo na courage ya kuwataka wabadili mikao wanapokuwa wakiendelea na game. Ni kama mchezaji wa football vile, anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza ku-invent mbinu za kubadili mchezo wakati mchezo ukiwa unaendelea. Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta msisimko wa kushangaza NYONGEZA AMBAYO NI KITU CHA MUHIMU SANA, Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea. Hivi, unadhani wale makahaba wanaouza miili yao kule huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao? Wanaambiwa sana tu, lakini mbona hawawakubali wale wote wenye kuwashukuru? Shukrani kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi. Ufanye mwili wako uonyeshe kuwa unashukuru kwa vile anavyokupa mwenzako, kabla hata ya kutamka kwa mdomo wako kumshukuru. Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa "gentle" wakati wa kujamiiana kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana kumsugua mwanamke wako utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia bia na vinywaji ulizomnywesha, au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi wake wakati wanakukabidhi (kama ni mkeo wa ndoa) ... Read More
AINA 10 ZA WANAUME AMBAO WANAWAKE HUJUTIA WAKIWA NAO οΏΌ 1. Wanaojiona Kama Wafalme (King Husband). HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka waheshimiwe wao tu na mwanamke akikosea kidogo ni maneno au kipigo. Mwanamke hana kauli ndani na mume akiingia nyumbani ni kama bosi anavyoingia ofisini, wote kimya hakuna hata kuongea. 2. Wanaume Wanaojihisi Bado Hawajaoa (Bachelor Husband). Hii ni aina ya wanaume ambao hawawashirikishi wake zao kwa chochote. Hufanya mambo kama vile bado hawajaoa, hutumia muda wao mwingi na marafiki zao wakifanya mambo ambayo mke hata hayajui mke anaweza kustukizia tu mume kanunua gari bila kumshirikisha na mume haonyeshi hata kujali kuweza kumshirikisha. Hajali kama ana mke na mda mwingi huutumia akiwa na marafiki kufanya mambo yasiyo na msingi ambayo hayana mnanufaa yoyote katika ndoa yake. 3. Wanaume Wenye Gubu (Acidic Husband). Hawa hukasirika kila mara tena bila kua na sababu ya misngi, mambo hayaishi, kosa la mwaka juzi anaweza kukukasirikia leo. Wamemuudhi kazini hataki kusemeshwa na mnanuniwa nyinyi, mwanamke akiomba hela ya chakula ni shida ni kununa kutwa nzima, wanahasira na nirahisi kumpiga mke. 4. Mume Wa Kila Mtu (Genarel Husband). Hawa wanajifanya wasamaria wema, wanajali kila mwanamke, wanajali marafiki wakike wa mke na wakwao kuliko wanavyowajali wake zao. Mke anaweza kuwa na shida akasema hana hela lakini rafiki akampa. Wana marafiki wengi wakike na mara nyingi huwa hawaachani kabisa na ma X wao, wakiwalalamikia wanawasaidia kuliko hata wanavyowasidia wake zao wakati wakiwa na shida. 5. Wanaume Wanaojifanya Wagumu (Dry Husband). Hawa wanajifanya wagumu sana, hawana yale mambo ya kimahaba na wao hujua kuwa ndoa ni kuleta chakula tu na kushughulika kitandani. Hakuna kuongea na hawajali hata hisia za mke, mke akiongea kwao wala hawajali wanajifanya ni vidume sana na wanaona mambo kama vizawadi, kupiga simu, kutuma sms, kusema nakupenda, kununua maua ni mambo ya kike, yaani hawaonyeshi juhudi yoyote kuwafurahisha wekea zao. 6. Wanaume Wanaopenda Kutumia Wake Zao (Panadol Husband). Hawa huwa wanaume pale tu wanapokuwa na shida, wanakuwa na wake wazuri wanaowajali lakini wao wala hawajali. Wanapomhitaji mwanamke, wanapotaka mwanamke awafanyie kitu flani basi huja na maneno mazuri na hata kuleta vizawadi, wanajua udhauifu wa wake zao na huutumia kuwalaghai kuwatimizia mahitaji yao lakini wanapotimiziwa tu basi husahau hata kama wanawake, hawajali tena. 7. Wanaume Ambao Hawataki Kukua (Baby Husband). Bado wanatabia za kitoto, hawawezi kufanya maamuzi yao wenyewe mpaka kuuliza kwa ndugu zao, mtu kaoa lakini kila siku humpigia simu Mama yake kuuliza hiki na kile. Yaani wakiongea kitu na mke nilazima aulize ndugu kwanza ndiyo kipitishwa na mke akifanya kosaa kidogo kazi nikulinganisha mke na ndugu zake, mbona flani alifanya hivi, flani anaweza fanya zaidi na mambo kama hayo. Kwakifupi hawawezi kufanya maamuzi na mkewe, ndugu zake hasa Mama yake anakuwa kama shemeu ya ndoa. 8. Mume Mtalii (Visiting Husband). Hawa wanakuja nyumbani kama wageni vile, mume ataihudumia familia yake kwa kila kitu lakini hawezi kuipa muda wake. Akirudi mke na watoto wamelala ni kugonga na hana sababu za msingi za kuchelewa, hata mwisho wawiki hupenda kutumia na marafiki au ndugu lakini si na mke. Hakuna kitu cha pamoja ambacho anafanya na mkewe au watoto wake, kila akiingia tu anakua na safari ya kutoka yaani hata atoke akakae nnje tu lakini si kukaa na mke au watoto. 9. Wanaume Wanaofuatilia Kila Kitu (Stalking Husband). Hii ni aina ya wanaume ambao hufuatilia kila kitu, huchunguza kila kitu mwanamke anachofanya na hawampi pumzi. Akienda sehemu atachunguza anaenda na nani na alikutana na nani, huwa na wivu wa ajabu ajabu na kila saa huhisi wake zao ni wasaliti. Kila mtu mwanamke anayeongea naye wa jinsia tofauti huhisi ni mchepuko na hata marafiki wa mke wakike pia huhisi wanamkuwadia, kwakifupi hampi pumzi mwanamke. 10. Mwanaume Mbahili (Miserly Husband). Huyu anaweza kuwa na hela lakini mbahili ajabu. Akimpa mwanamke hela atafuatilia matumizi yake mpaka senti ya mwisho, anafuatilia mpaka mambo ya jikoni. Sukari ikiisha naataka ajue iliisha ishaje na kila mara huhisi mke anamuibia hela labda akajenge kwao, huwa msumbufu sana na mgumu kutoa hela. Mwanamke akifikiria mchakato wa kuomba hela kwa mume hukata tamaa na wakati mwingine kuamua tu kukaa kimya na matatizo yake. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: