Home → ushauri
→ Emu tujifunze na hili na ikiwezekana tulijadiri kwa pamoja
Najua ni ukweli usiopingika wote linatuhusu
Kwanini Wanawake Warembo Hupenda Kuolewa na Wanaume Wenye Sura Mbaya????
WANAWAKE wengi walio wazuri wa sura huwa wanapenda kuolewa na wanaume wabaya wa sura.
Hii inatokana na ukweli kwamba wanawake wenye sura nzuri hupenda kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili kulinda uzuri wao kwani wanaamini kuwa iwapo ataolewa na mwanaume mwenye sura nzuri, uzuri wake hautaonekana kwa watu kwani mwanaume pia ataonekana mzuri jambo ambalo litamupunguzia mwanamke kuonekana mzuri katika jamii.
Hii ndio maana wanawake wengi wenye sura nzuri wanapenda kuolewa na wanaume wenye sura mbaya.
Dr. Linda Mtaalamu wa masuala ya Mapenzi na Uhusiano anasema kwamba "Wanawake wengi wenye sura nzuri wana tabia ya kutaka waonekane kuwa ni warembo muda na wakati wote, jambo ambalo linawapelekea kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili waendelee ku-shine katika jamii".
Pia wanaume wenye sura mbaya wanapenda kuoa wanawake wenye sura nzuri ili kulinda heshima yao kwa kupitia wake zao.
Kwa hili ndugu msomaji naomba ujaribu kufanya uchunguzi wa kina kwa kuangalia wanaume wenye sura mbaya, utagundua kuwa wengi wao wanapenda kuoa wanawake wazuri na wengi wao tayari wameshaoa wanawake warembo.
Je, kwa upande wa wanawake weusi; je, wanapenda wanaume wa aina gani?
Na kwa upande wa wanaume weusi pia wanapenda wanawake wa aina gani?
Pia na wewe kama unajitambua kuwa uko hivi au vile je, unapenda sweetheart wako aweje?.
Sasa tujadili.........................!!!!!
#Barikiwa
COPY & PASTE
LIKE & SHARE
Emu tujifunze na hili na ikiwezekana tulijadiri kwa pamoja Najua ni ukweli usiopingika wote linatuhusu Kwanini Wanawake Warembo Hupenda Kuolewa na Wanaume Wenye Sura Mbaya???? WANAWAKE wengi walio wazuri wa sura huwa wanapenda kuolewa na wanaume wabaya wa sura. Hii inatokana na ukweli kwamba wanawake wenye sura nzuri hupenda kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili kulinda uzuri wao kwani wanaamini kuwa iwapo ataolewa na mwanaume mwenye sura nzuri, uzuri wake hautaonekana kwa watu kwani mwanaume pia ataonekana mzuri jambo ambalo litamupunguzia mwanamke kuonekana mzuri katika jamii. Hii ndio maana wanawake wengi wenye sura nzuri wanapenda kuolewa na wanaume wenye sura mbaya. Dr. Linda Mtaalamu wa masuala ya Mapenzi na Uhusiano anasema kwamba "Wanawake wengi wenye sura nzuri wana tabia ya kutaka waonekane kuwa ni warembo muda na wakati wote, jambo ambalo linawapelekea kuolewa na wanaume wenye sura mbaya ili waendelee ku-shine katika jamii". Pia wanaume wenye sura mbaya wanapenda kuoa wanawake wenye sura nzuri ili kulinda heshima yao kwa kupitia wake zao. Kwa hili ndugu msomaji naomba ujaribu kufanya uchunguzi wa kina kwa kuangalia wanaume wenye sura mbaya, utagundua kuwa wengi wao wanapenda kuoa wanawake wazuri na wengi wao tayari wameshaoa wanawake warembo. Je, kwa upande wa wanawake weusi; je, wanapenda wanaume wa aina gani? Na kwa upande wa wanaume weusi pia wanapenda wanawake wa aina gani? Pia na wewe kama unajitambua kuwa uko hivi au vile je, unapenda sweetheart wako aweje?. Sasa tujadili.........................!!!!! #Barikiwa COPY & PASTE LIKE & SHARE
Artikel Terkait
Hatua 5 za kuzungumza na mpenzi wako aliyekasirika Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawada kipindi hiki huwa ni za hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha. Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. Msomaji wangu, hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefura kwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi na pengine mkaamua kuachana. Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasa yule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua za kuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafuko na kuleta amani kwenye mapenzi. Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika. MPUNGUZE MHEMKO Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi. MSOME SAIKOLOJIA YAKE Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira. Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. “J, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira. MRUHUSU AKUJIBU Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.” Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake. EPUKA MARUMBANO Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena. “Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano. MUOMBE MSAMAHA Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya kumazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. “Mpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane.” Bila shaka kwa haya machache msomaji wangu utakuwa umejifunza na kuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako. Leo niishie hapa, nikushukuu kwa kunisoma. Kaa mkao wa kura, kile kitabu bora cha mapenzi nchini TITANIC, TOLEO LA NNE, kitakuwa mtaani hivi karibuni. Usikose nakala yako. ... Read More
Jinsi Ya Kufanya Mapenzi Na Mwanamke Bikra  Ubikra ni hali ya binadamu kuwa hajafanya mapenzi maishani mwake. Mwanamume au mwanamke ambaye hajawahi fanya ngono wote ni bikra. Imekuwa desturi kwamba wanawake ndio huwa mabikra pekee, ilhali pia wanaume. Umwagaji wa damu mara ya kwanza wa kushiriki ngono hutofaitiana kwa wanawake tofauti. Wanawake wengine huwa hawatoki damu kulingana na umbile la kizinda chao. ufanya mapenzi na mwanamke bikra kunaweza kuwa na matokeo mawili. Kuna wanawake ambao husikia uchungu kwa mara yao ya kwanza kushiriki ngono na kuna wale ambao huwa hawaiskii uchungu. Kupata uchungu ama kukosa kunalingana na mwanamume ambaye huyu mwanamke anatolewa ubikra naye. Mwanamume ambaye ni mtulivu na anazingatia ama anafanya mapenzi na huyu mwanamke kwa utaratibu huwa anamsaidia yule mwanamke kufurahia wakati wake wa kwanza katika ngono na anapotolewa ubikra. Mwanamke pia anajukumu upande wake la kufanya ili asipate maumivu ama yawe madogo wakati wa kutolewa ubikra. Kama unataka kumtoa mwanamke ubikra bila maumivu kuna mambo muhimu unafaa kuzingatia ili kufanya nyote muwe na wakati wenye raha na utamu; Mwanamke lazima ajiamini Hakikisha mwanamke yule bikra anajiamini na ashki yake. Wanawake wengi mabikra huwa hawana maelezo ama elimu ya ngono. Wengi wao huwa wana aibu sana wakati jambo la kujamiiana linapozungumziwa. Kwa sababu hii mwanamke anaweza kuwa na uoga kwa kufikiri vile mara ya kwanza itakuwa. Uoga ni jambo ambalo huchangia kwa mwanamke bikra kupata uchungu wakati wa kwanza. Uoga kumdhuru kisaikolojia na hufanya misuli yake ya uuke kukaza na husababisha uchungu mwingi wakati wa kujamiiana na mwanamume. Kama mwanamume, ni muhimu kumfanya mwanamke yule bikra kujiskia huru na kutulia ili kujamiiana kuwe kwenye raha na utamu. Kuamiiana Kuaminiana ni jambo pia linaloweza kuwasaidia wawili wanaojamiiana kupata raha na utamu katika tendo lile. Fanya hima kujua kama mwanamke yule bikra ako na wasiwasi wowote ama kuna kitu kinachomtatiza. Fanya kujua kama kuna jambo analotaka kufanya wakati mnapohusiana katika ngono. Kujali hisia na matarajio ya mwanamke yule utafanya akuamini na itamsaidia pia kutulia wakati unapomtoa ubikra na hatakuwa na uchungu. Fahamu kwamba nyote mwahitaji kupeana raha mnapojamiiana, kwa hivyo zingatia pia mwanamke anafaa kujifurahisha wakati wa ngono. Papasa mwanamke Mwili wa mwanamke uko na sehemu nyingi ambazo zinaweza kupandisha hamu yake ya ngono. Mwanamume anafaa kufahamu jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa kumpapasa. Jaribu kumpiga busu na kumpapasa shingoni, mdomoni, ili kuweza kumtuliza. Kujua sehemu ambayo unaweza kumpapasa mwanamke yule bikra utamsaidia mwanaume wakati wanapofanya mapenzi. Hamu ya mwanamke ya kufanya mapenzi hufanya uuke wake kutulia na mwanamke yule kuwa katika hali ya utulivu. Utulivu huu humsaidia kuwa tayari kwa kufanya mapenzi na pia kwa ubikra wako kutolewa. Pia utulivu huu utamsaidia kwamba hatapata kuskia uchungu wakati wa kujamiiana. Kusisimua uuke Wakati mnapofanya mapenzi na mwanamke bikra, jaribu kusisima uuke wake na mafuta nyororo. Kusisima uuke wake kutakusaidia wakati unapoingiza uume wako kwa uuke wake. Pia hii husaidia kupunguza uchungu wakati unapenya uuke wake. Unataka uzoefu wake wa kwanza uwe kitu ambacho atakumbuka, kwa hivyo kusisima uuke wake husaidia asiwe na uchungu unapompenya uuke wake. Kuwa mpole katika ngono Unapofanya mapenzi na mwanamke bikra, lazima uwe tayari kwenda pole pole na kuwacha kufanya mapenzi mwanamke anaposema hajiskii tena. Ni jambo la busara kutilia maanani kile mwanamke yule anachotaka kufanya. Akisema hayuko tayari, mpe wakati hadi atakapo sema ana hamu ya kufanya mapenzi. Usikasirike mwanamke anapokwambia uwache mnapoendelea kufanya mapenzi. Mwanamke hutaka kujua kwamba wampenda ili aweze kukubali kukupa ubikra wake. Kwa hivyo kutulia anaposema hajiskii kunaweza kuwa jambo linalo weza kumwonyesha kwamba wampenda. Kwa kufanya vile, utakuta mwanamke yule bikra atajitoa kwako kwa moyo wake wote na mnapofanya mapenzi nyote mtapata raha na utamu. Chukua usukani kama mwanamume Kwa vile wewe ndiye mwanamume wa kwanza ambaye unamuingiza kwa ngono kwa mara ya kwanza, unataka kufanya iwe kitu ambacho atakumbuka maishani. Kama mwanamume ni muhimu kuchukuwa usukani wakati mnataka kujamiiana. Mwanamke hupenda mwanamume anayejiamini kitandani. Hata unapochukuwa usukani zingatia anachotaka yeye na umwelekeze pole pole. Usije ukafa moyo kwa vile hana uzoefu lakini mfunze kile anachoweza kufanya ili ukipenya uuke wake aweze kusikia utamu na uchungu usiwe mwingi. Unataka kumfanya awe na nyege ya kufanya mapenzi na awe tayari kwa uume wako. Kinga katika ngono Kulala na mwanamke bikra hakumaanishi kwamba usahau kujikinga na kushika mimba ambao hakukutarajiwa na kueneza kwa magonjwa yanayotokana na kufanya mapenzi. Ni muhimu kama mwanaume kijikinga na kuchukuwa tahathari wakati wote wa kufanya mapenzi. Hakikisha unatumia mipira wakati wa kufanya mapenzi na madawa ya kukinga uzazi. Hii itawasaidia nyote wawili kupunguza majuto baada ya kufanya mapenzi. Kuwa mwepesi kwenye matarajio Kwa mwanamume, usije ukawa na tatumaini makubwa sana wakati wa kujamiiana na mwamake bikra kwa mara ya kwanza. Kitendo hicho kinaweza tokea kinyume na ulivyo tarajia. Unaweza fikiri utapata wakati rahisi kupandisha hamu yake na pia kupata wakati rahisi wakati wa kumpenya uuke wake. Unafaa kuweka matarajio yako wazi kwamba kitu chochote chaweza tokea. Kuweka wazi matarajio kutakusaidia kwa tukio lolote lile. Waweza pata kujifurahisha ama kupata raha unapofanya mapenzi na mwanamke yule bikra na pia unaweza kupata kuwa nyote hamkufurahia wakati ule. Kuwa tayari kwa uhusiano wa kimapenzi Mwanamume lazima awe tiyari kuwa katika mahusiano na yuel mwanamke bikra unayefanya mapenzi naye. Kila mtu hukumbuka wakati wake wa kwanza kufanya mapenzi, kwa hivyo ni muhimu kuifanya iwe ya dhamani. Kumbuka mnaenda kuwa katika uhusiano wa karibu, kuwa tayari kukuwa kwa uhuisano wa kimaisha kwani hisia zake zaweza kubadilika mnapofanya mapenzi. Kwa hivyo kama hutaki kuumiza mpenzi wako usifanye mapenzi naye kama huko tayari kuwa katika uhusiano naye kimaisha. Kufanya mapenzi ni kitu ambacho mwanamume na mwanamke hupenda. Cha muhimu kwanza ni kujikinga kutokana na magonjwa, na mimba ambazo hamkutarajia. Kwa kufanya mapenzi wawili hao huwa wameamua hupeanza uchi wao kwa mahaba. Kwa mwanamke bikra, yataka uwe mtu makini sana. Mwanamke bikra hana uzoefu wa funyanya ngono kwa hivyo unafaa kumpeleka pole pole na ukamfunza anachofaa kufanya wakati mnafanya mapenzi. Mwanamke bikra anafaa kufanywa ajiskie yuko huru na kuwachiwa kusema wanachotaka kufanya kwani ni wakati wao wa kwanza. Mwanamume lazima aweze kumweka mwanamke yule katika hanjam ya kufanya mapenzi naye, kwa kupapasa, kumpiga busu. Asiwe mtu mwenye kuharakisha kumpenya mwanamke bikra ila awe mtulivu. Mwanamke bikra akiona kwamba unazingatia masilahi yake atakuwa huru nawe na atakubali kukupa ubikra wake. Mwanamke aliyetulia na anayejua mwanamume anaujasiri na kujiamini kitandani atafanya tendo la kufanya mapenzi liwe la kufana sana kwa wote wawili. ... Read More
UNAJUA KUMWONYESHA MPENZI WAKO KAMA UNAMPENDA????  Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri vizuri Sababu kubwa ambayo watu hukosa kujua kama wanapendwa ni kutohisi upendo. Kwa nini? Kwa sababu hata kama wanasema I love you mwisho wa kuongea kwenye simu au kabla ya kwenda kazini, hayo maneno hayana miujiza bila ya kuwa na mengine yalio rahisi . Kuna vitu vidogo vidogo sana vinavyoonyesha upendo na kumfanya mtu ajisikie kupendwa. 1.Usisahau kumkumbatia kabla ya kusema kwa heri. Uelewa wa kimwili ni wa muhimu kuliko maneno 2.Mwambie jinsi alivyo muhimu kwako. Hii huenda zaidi ya neno i love you. 3.Express understanding panapohitajika kusema. Nimeelewa unachokisema. Kama hujaelewa elezea, kwa kusema hivi , Niambie jinsi unavyojisikia ili nikuelewe. 4.Sema mara nyingi jinsi unavyomkubali anapokuwa amefanya jambo kwako. Husband and wife in park 5.Mwambie jinsi gani unafurahia vipengele vya upekee wake. Kwa mfano , napenda uchangamfu wako, mpongeze. 6.Toka nae siku nzima bila ya kusema kitu chochote zaidi ya kumsifia. 7.Mnunulie chakula anachokipenda bila yeye kusema. 8.Msaidie kupika 9.Kama mna watoto wapeleke kutembea, ili kufurahia michezo ya watoto ili kumwacha awe peke yake kwa utulivu. 10.Tuma ujumbe wa kimapenzi kwa mwenza wako bila sababu . 11.Mtumie email wakati yuko kazini ili kujua anajisikiaje. 12.Mpigie wakati akiwa break kusema tu hujambo 13.Karibia gari, meza, au kochi na umshike mikono yake japo kwa muda kidogo. 14.Mvutie kiti anapotaka kukaa au mfungulie mlango anapotaka kutoka au kuingia. 15.Kumbuka kumpa tabasamu, sio fake, lile ambalo umetunza kwa ajili yake . 16.Badala ya kumweleza jinsi ulivyokuwa na siku mbaya kazini, mwambie kuwa siku hio ulihitaji kuwa na yeye kwa sababu…au nimekuwa na siku mbaya nahitaji unikumbatie. 17.Fanya utani na ucheke nae 18.Nendeni kulala kwa wakati mmoja, ongeeni pamoja au kama kusoma msome pamoja au kama kutulia kwa muda fanyeni pamoja. 19.Kama una watoto mpongeze mwenza wako mbele yao. Watoto watafurahi pia. 20.Mkumbatie mbele za watu, ingawa ataona aibu lakini atafurahia. 21.Tafuta njia nzuri za kuambiana badala ya I love you 22.Muwe na tabia ya kutoka japo mara moja kwa wiki kama mkiweza 23.Mpe zawadi 24.Mpeleke movie 25.mpe massage bila sababu au kwa ajili ya kazi nyingi 26.Mwambie kuwa yeye ni rafiki yako 27.Usiogope kumshirikisha hisia zako, Ni vizuri kufahamu kama una furaha au huna furaha wakati huo na kwa nini 28.Sikiliza anapokuambia jinsi anavyojisikia 29.Kumbuka kila mara unapoweza nunua kitu kidogo kwa ajili yake. 30.Andika ujumbe mdogo wa kimapenzi na kuacha sehemu ambapo atafika 31.Mshike mikono yake mbele za watu 32.Mpate fundisho pamoja, halijalishi ni aina gani 33.Omba msamaha unapokosea 34.Wakati mwingine yeye awe sahihi 35.Mcheze game pamoja 36.Mpe nafasi anapohitaji hivyo.lakini afahamu kuwa upo kama atakuhitaji 37.Mchemshie maji ya kuoga anapokuwa na stress 38.Mwoshee gari yake 39.Jaribu kufanya kitu cha wema kila siku kwa ajili yake 40.Jaribuni kufanya kitu kipya pamoja. Changamoto moja ni bora 41.Mwache alale miguu pako 42.Mtengenezee breakfast, kama inawezekana mpelekee kitandani 43.Mkumbushe kuwa yeye yuko hot au sexy 44.Mkatembee kwenye hewa nzuri pamoja 45.Mnaweza kuvaa nguo za kufanana mnapotoka kupunga upepo 46.Mjitolee pamoja 47.Mtengeneze nywele zake 48.Muweke lengo kama wanandoa, kwa ajili ya fitness, finance, na personal growth 49.Kusafiri pamoja 50.Mpe compani anapoenda mpirani, kwenye game na uwe mmoja wao 51.Chukua muda wa kuwajua rafiki wa mwenza wako 52.Mwache atoke peke yake wakati mwingine 53.Mwekee nyimbo anazozipenda na mcheze pamoja 54.Usiwe serious sana, uwe mcheshi wakati mwingine 55.Mwimbie nyimbo anazopenda 56.Mwambie unampenda zaidi ya jana 57.Kama una siku mbaya , sikiliza kila unachotaka kusema 58.Mwambie kuwa anavutia kuliko wakati mliokutana mara ya kwanza 59.Mwambie unamfikiria kila mara 60.Mwambie kuwa unamsaidia kwa kuwa umemwelewa 61.Mwambie unapenda mwili na akili yake 62.Mwambie unachokifurahia siku hio. Na jinsi gani kinakukumbusha kuhusu yeye. 63.Siku yako imeendaje leo Kila ukiamka mwambie habari za asubuhi kila siku 65.Kila siku ukitaka kulala mwambie usiku mwema 66.Hakikisha anafahamu kuwa yeye ni namba moja kwako 67.Mwonyeshe kuwa unamuheshimu kwa kusikiliza mawazo yake kwenye maamuzi muhimu 68.Onyesha kukubali alichokifikiria na kukiamua hata kama unaona kabisa hukubaliani nacho. 69.Mwambie akuchagulie nguo za kuvaa kazini 70.Nendeni gym pamoja 71.Mnunulie kadi bila sababu , hata kama hakuna sikuku 72.Tamani kumkiss kila mara 73.Mwambie kuwa umepata bahati ya kuwa na yeye na kuwa umebadilika tangu ukiwa nae 74.Kuwa mkweli . mfahamishe makosa uliyoyafanya 75.Kuwa mpole kwake kwa sababu mwanamke ni laini 76.Mwonyeshe kuwa unamwamini ili nae awe wazi kwako 77.Pigeni picha pamoja 78.Fanyeni mambo ya kijinga pamoja 79.Alika familia yake kwenye chakula cha jioni 80.Mwombe mwenza wako mshirikishane ndoto zenu 81.Cheka anapotania,hata kama utani huo hauchekeshi 82.Uwe rahisi ili aweze kukupenda. Utagundua kuwa kumbe ni mkarimu na ana wema. ... Read More
Kwa Wanawake tu..Fahamu Mbinu Kuntu za Kummaliza Mumeo Ndani ya Sita kwa Sita Hadi Akapagawa   Weekend hii nimeona ni vyema tuzungumzie kidogo kuhusu masualaya mahusiano pia kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia katika maisha ya mwanadamu. Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita. Jambo la kwanza wanamke unapaswa kuwa jasari na mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu hiyo, Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko mkubwa. Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke)unaweza kutoa nguo zako kisha mkumbatie mmeo , huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi. Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja vyake na mapaja na nk. Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona akisisimka zaidi. Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi. Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi kwa haraka zaidi. Uwapo katikati ya tendo hakikisha unkuwa serious na zoezi hilo, huku ukijitahidi kuepuka kucheka kwa jambo lolote lile hata pale mwenzi wako anapotoa sauti za kufurahisha wakati wa katikati ya tendo. Pamoja na hayo, mwanamke uwapo katikati tendo hilo na mwenzi wako jitahii sana kujiachia maungo yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo hilo la ndoa huwa hakuna uheshimiwa hivyo ni vyema ukajiachia. Katika tendo la ndoa pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana wakati wa tendo la ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo. Baada ya kumaliza tendo hilo kumbuka kusema asante na mpe pole mwenzi wako kwa kazi pevu, kisha chukuwa kitambaa na mkaushe kijasho cha utamu wa penzi kwa taulo uliloandaa maalum. ... Read More
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA   HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha. Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha. Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia. Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili. Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe ‘out’, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah. Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone. MWELEZE UKWELI Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza ‘mizinga’ ili afaidi. JENGENI KUSAIDIANA Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake. Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi. ACHA UFUJALI Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo! Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu. BAKI NA HILI Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie. Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: