Chombezo: Utamu Wa Kitumbua Sehemu Ya Kwanza (1) & (2) Nilivyo Maliza Elimu Yangu Ya Secondary Nilikua Nafuraha Sana Ya Kulejea Nyumbani Kuonana Na Wazazi Wangu Kutokana Na Kuto Onana Nao Kwa Miaka Mitano. Nilikua Nasoma St Lucas Seminary Iliyopo Nchini Rwanda.Kutokana Na Wimbi Kubwa La Umasikini Ulio Kwepo Kwenye Familia Yetu.Nilipata Msaada Wa Kusomeswa Na Shirika La St Vincent Na Ndio Ikawa Sababu Iliyo Nifanya Nisionane Na Wazazi Wangu Kwa Kipindi Kirefu. Hata Ilipofika Wakati Wa Likizo Nililazimika Kubaki Shirikani Nikisaidia Kazi Na Kuendelea Kulelewa Huku Nikiandaliwa Ili Nije Kua Padri. Kusema Ukweli Nilikua Siwajui Waschana Na Hata Nikikutananao Niliwaonea Aibu Sana Nilikua Nawakimbia Kwa Kuona Aibu Hata Wakiniita Basi Nili "Zuga" Nipo Bize Sana. Mpaka Ikafika Hatua Wakaanza Kuniita Dume Suruali Ikazoeleka Ivyo Kila Wakikutana Na Mimi Wana Niita Dume Suruali Tena Wengine Wali Diriki Hata Kuni Tusi Na Kuniita Majina Ya Kejeli. Sikulipenda Sana Hili Jina Lakini Ilinibidi Kulizoea Tu Kutokana Ma Mazingira.Licha Ya Hayo Yote Ilikua Aipiti Siku Bila Kupokea Barua Mbili Au Tatu Kutoka Kwa Wasichana Wakinitaka Kima Penzi Sikuwekea Akilini Sana Nilikua Bize Na Masomo. Lakini Kila Lenye Mwanzo Halikosi Mwisho Siku Ya Mwisho Nili Maliza Vizuri Masomo Yangu Na Kurudi Shirikani Kwa Ajili Ya Kujiandaa Kurejea Tanzania. Nilipofika Shirikani Nilikutana Na Rafiki Yangu Jose Tulisalimiana Maana Yeye Anasoma Shule Nyingine Na Mimi. Tukiwa Bado Tuna Piga Story Mbili Tatu Huku Tukiwa Tunaelekea Kwenye Chumba Changu Tulipishana Na Kijana Mmoja Lakini Hakutusalimia Alitupita Tu Nilipo Muuliza Jose "Nani Huyu Mbona Simfahamu....?" Akanijibu........... Uju Jamaa Mgeni Anaitwa Dani Lakini Mambo Yake Kama Ya Kike Mimi Mwenyewe Bado Sijamwelewa Mana Ana Sauti Ya Kike Balaa. Nikamwambia Sawa Achana Nae Sikumwekea Akilini Sana Jose Mana Kazoea Kulopoka Lopoka Hamna Jambo Utakalo Muuliza Akakosa Jibu La Kukupa. Tukafika Mpaka Chumbani Kwangu Nikaweka Mabegi Jose Akaniacha Akasema Anaenda Mpirani Mana Leo Kuna Mechi.Nikamwambia Badae Acha Niende Kwa Mlezi Nikachukue Tiketi Yangu Kesho Naenda Nyumbani. Wakati Natoka Kwenye Korido Nika Mwona Yule Kijana Tuliye Pishana Nae Mda Ule Anakuja Kwa Mbali Nikasema Acha Nijalibu Kumsalimia Nione Itakuaje Tulipo Karibiana Nika Anza "Mambo" Akajibu "Powa" Nika Jikuta Nashindwa Hata Kuendelea Kuongea Mana Sauti Niliyo Isikia Ilipenya Moja Kwa Moja Kwenye Masikio Yangu Mpaka Kwenye Moyo Ilikua Ni Sauti Ya Kike Tena Nyororo Yani Sijawai Sikia Sauti Tamu Kama Ile Kwenye Hii Dunia Ikabidi Niinue Uso Ili Nimtazame Vizuri Lahaulaaaa..... !!!! Jamani Mtoto Kaumbika Ile Mbaya Nikajisemea Kimoyo Moyo Nikajikuta Naanza Kumtamani Nikashikwa Na Kigugumizi "Ba.........Si Po........Wa" Mida Acha Nifike Kwa Mlezi Mara Moja Nitakucheki. Akatikisa Kichwa Akaondoka Haikuishia Apo Nilimsindikiza Kwa Macho Mpaka Alipo Ingia Kwenye Chumba Chake Ambacho Kipo Jirani Na Changu Nikajikuta Natabasamu......... Huku Moyoni Nikisema Lazima Nimchunguze Nijue Kitu Gani Kinamfanya Aongee Sauti Ya Kike Tena Nzuri Namna Ile. Mana Pale Hostel Haruhusiwi Mwanamke Yeyote Kuingia Pale Mana Ukaguzi Wa Pale Sio Wa Kitoto Ukifika Tu Mlangoni Unavua Nguo Unakaguliwa Ndo Unaingia Ndani....... Usikose Mtu wangu kalibu kwenye group langu la whatsapp 0744204283 SEHEMU YA PILI Ilipo Ishia Sehemu Iliyopita........ Huku Moyoni Nikisema Lazima Nimchunguze Nijue Kitu Gani Kinamfanya Aongee Sauti Ya Kike Tena Nzuri Namna Ile. Mana Pale Hostel Haruhusiwi Mwanamke Yeyote Kuingia Pale Mana Ukaguzi Wa Pale Sio Wa Kitoto Ukifika Tu Mlangoni Unavua Nguo Unakaguliwa Ndo Unaingia Ndani....... Endelea Sasa .......................... nikafika kwa mlezi nikampa salamu baada ya salamu akanipa tiketi akaniambia kesho SAA 11:30 alfajiri unatakiwa airport kwaiyo jiandae agana na rafiki zako kesho alfajiri nitakuja kukupitia ujiandae. nika itikia kwa kichwa kwa maana katika maisha yangu sikuwai kupanda ndege na sikutegemea kama ipo siku nitapanda ndege.kwangu ilikua ni bonge la surprise.hata maelezo aliyo kua ana nipa siku ile sikuyasikia nilikua nawaza kupanda ndege tu. Ali nisihi sana nikifika nyumbani niwe nahudhulia sana kanisani ili nijiepushe na vishawishi vya shetani nikiwa nangojea matokeo yangu. baada ya kuongea na mlezi nikapitia uwanjani kutazama mpira lakini lengo likiwa kumtafuta dani nili pepesa macho yangu huku na kule kumwangalia dani kama yupo.Siku fanikiwa kumtia machoni nikaona bora niende nika mwangalie chumbani kwake aje tupige stori mana nilisha vutiwaa na sauti yake na sura yake. nikafika mpaka mlangoni kwake nikabisha hodi nikaona kimya nikaona bora niingie kumwangalia sikumwona huku nikiwa naita daniiii.... .!! daniiii .....!!! "kimya" nikasikia maji yana mwagika bafuni nikasogea karibu na mlango wa bafu nikaita danii... akaitika akaniambia "nisubiri namalizia kuoga...a.a.a a" nikamwambia powa nakusubiria nje wakati najiandaa kutoka nje nikashangaa kuona chupi na sidiria kwenye kona ya kitanda chake nilibaki najiuliza maswali lakini sikupata majibu. vime fikaje hivi vitu ? kavipataje ? kwani yeye ni msichana ? na kama ni msichana kafata nini hapa hosteli ? nilijiuliza mwaswali ambayo nilikosa majibu yake. nikapiga haua haraka haraka nikatoka zangu nje mda ulikua umeenda sana nikapita moja kwa moja hadi messini ili nipate chakula cha jioni. ile nafika tu nika mkuta jose kashafika ana piga msosi kama kawaida yake.kwenye msosi achezagi mbali nika mpa hi akaniuluza vipi nimekuona unatokea chumbani kwa dani salama kweli manaa....... alikatisha maneno mana dani alifika pale pale tulipokaa tuka katisha story. Mimi nikatumia nafasi ile kuwaaga nika waambia kesho najiachia zangu nyumbani msijali nitakaua nawatembelea kila mwezi. dani alionekana kusikitika sana kuliko jose niliye ishi nae miaka mitano "jamani kwa nini usinge kaa nasi hata wiki 2 alafu ndo uondoke" aliongea kwa kudeka mimi na jose tukabaki kumtumbulia macho mana alitudadisha kwa sauti yake.nzuri ilijaa lafudhi ya ki rwanda maongezi yetu yalikatishwa na kengengele ya kanisani kwa ajili ya sara za jioni.tuliinuka haraka na kuwai kanisani,tulivyo malaiza kusali kila mtu alielekea chumbani kwake mana sheria ya pale tukikota kanisani hauruhusiwi kuzungumza na mtu yoyote yule. iliniuma sana mana nilitamani nizungumze na dani mambo mawili matatu, nikafika chumbani kwangu.nikahakikisha kila kitu changu kipo sawa ila cha ajabu naangalia tiketi siioni kawaida yangu sikurupuki nika tuliza akili yangu na kuvuta kumbukumbu ya matukio yote. nika kumbuka nilivyo ingia chumbani kwa dani nilikaa kwenye kitanda bila shaka itakua nime iacha pale ........... sasa itakuaje usiku huu je mlinzi akiniona nimefata nini usiku kwenye chumba cha mwanaume mwenzangu nikajipiga moyo konde. nikasema "Liwalo na liwe" acha niende nikatoka haraka nika anza kupiga hatua kuelekea chumba cha dani ile nafika karibu na mlango wa dani nilishtushwa na ..................... je unajua nilishtushwa na nini ? usikose simulizi hiii like page yetu sasa ili uisome mwanzo mpaka mwisho usikose sehemu ya tatu share kwa wingi nitume mwendelezo *************** ********************

at 9:00 PM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top