UTAMU WA KAKA FUNDI 4 Nilipokea nikamuuliza vipi akanijibu nakuja amekuja ofisini kwangu ajanikuta. Hivyo alikuwa njiani anakuja. Nilimwambia sipo nyumbani ila nikaona bado aelewi, nikaizima simu yangu. Ziiipita kama nusu sasa huku Mama mwenye nyumba Akitathimini hali ya mchezo mara nikasikia sauti ya Sophi akiongea na mpangaji moja nilikuwa na mfahamu vizuri “mmh” niliguna. SEHEMU YA NNE Sauti ya Sophi ilipenya vizuri ndani ya masikio yangu nilijisemea kimoyo moyo “unajua huyo Mwanamke sijui anapepo la ngono? Mikito yote ile niliyompa jana na juzi ila bado ananing'ang'ania”. Nilijiuliza mara mbili mbili huku nikivuta kwa karibu ilinijue kuwa mwisho wake na mpangaji yule wanaoongea nini sauti ya redio yangu ilinifanya niyasikie kwa mbali mazungumzo yao. Mara baada ya dakika mbili niliona kupitia uwazi mdogo kwenye langu dirisha Sophi akimuaga yule mpangaji huku akikabidhi bahasha. Sikujua kunanini ila tu nilimsikia Sophi akisema “kama Fundi akirudi basi Mwambie nilifika na umpe ujumbe huu” Hazikupita dakika nyingi Sophi aliondoka hapo kidogo roho yangu ilitulia maana nilikuwa nikitetemeka. Nikiwaza kama ataamua kunisubiri pale si itakuwa habari nyingine. Wakati huo Mama mwenye nyumba alikuwa kimya kama anafikiria kitu fulani hivi, nilijua kuwa habari yake itakuwa kwisha maana ule mchezo nilikuwa na mpelekea lazima awe hoi dakika tisini zilisha ila mwanaume niliamua kuongeza nusu saa ya ziada. Kwa mtindo ule lazima awe kimya tu akubali uwezo wangu kuwa sifai hata kidogo hiyo ndio michezo yangu kwangu ni kawaida.Nishazoea kuzicheza kwa hiyo si kuona sana ajabu hata hivyo namsifu wengine huwa wanazima kabisa kwa maudambwi udambwi yangu. Nilirudi kukaa kitandani maana nilishatoka kuangalia timbwili, ambalo nilikuwa nalihofia maana Sophi hafai hata kidogo licha ya kuwa na wake mume ila hana hayaa hata kidogo.Nimemzimia simu hiyo akaona haitoshi akaamua kuja mpaka nyumbani. ila bahati nzuri alituliza mizuka yake. Kwakiasi fulani nilishukuru Mungu sikujua kingetokea nini, au ndio kutafuta kuhama mtaa bila kupenda. Mama mwenye nyumba aliniangalia kwa muda akaona avunje ukimya. “Kwanini kuna nini Fundi? “Mama” niliitikia ila kabla sijasema kitu Mama mwenye nyumba alininyamazisha. “Ishii.. hapo Fundi ilo jina silitaki nani Mama yako? Nilitayari kidogo ila nikaona wacha nitafute jina lingine wa mama wa namna ile wanataka waitwe ma baby” “Ok ..baby si rudi tena” Nilimjibu huku nikimtaza kinamna fulani niliona akitabasamu huku vishimo vyake viliongeza tabasamu zaidi ya Mama yule. “Ni hivi kuna unakumbuka jana mida ile ulivyokuja kunigongea mara ya kwanza si ulinikuta na mdada, sijui vipi ananisumbua sana wakati tulishamalizana?’ Nilizuga pale ili Mama ananione mtulivu tofauti anavyonisikia habari zangu. “Sasa wewe umeamua kufanya nini?” Mama aliniuliza. “Alikuwa ananitafuta nikazima simu ndio aliamua kunifata nyumbani” “Mmh”, Mama aliguna kidogo alafu aliendelea. “Unajua nini? Fundi we ni mtamu ndio maana wanawake wanakupenda vitu vyako vina hatari, hata mimi haki sikuachi na wiki hii nzima tutakuwa tunalala wote. Siunajua mume wangu hayupo” Mama aliendelea kuongea huku akiniangalia. Fundi mie nikaona huu sasa utakuwa msala sasa. “Hivi Baba akijua itakuwaje nyumba zenyewe za kupanga hazina siri hata kidogo wapangaji wakijua kama natoka na Mama mwenye nyumba si ndio chanzo cha Mumewe kujua nikaikimbia kodi yangu” Niliteta na roho yangu. Nikaona hapa cha kufanya nikucheza na akili yake, nilishajuwa kuwa huyu nikimwambia chochote kama siwezi kukubaliana na mawazo yake nitakuwa nacheza. Hapa nikufanya mgomo balidi , ndio itakuwa dawa yake. Maana licha ya uzuri wa Mama yule na mautamu yake ila nilikubali tu utamu ukate niliogopa isije ikawa tatizo . Za mwizi arobaini isije ikanifikia bure nikaujua ule usemi wa mke wa mtu sumu. Baada ya katendeka kwenye mwili wangu, hivyo nilikubali kinamna. Muda ulienda mule chumbani nikiwa na Mama mwenye nyumba mpaka mida fulani hivi ambayo mara nyingi huwa hakunaga pilika pilika kwenye nyumba ile. Nikaona itakuwa ndio muda muafaka wa kumtoa Mama ndani mwangu ilinijue na mimi mambo yangu ya naendaje baada ya hapo. Kweli mama alikubali ila kwa sharti moja tu usiku atarudi nikaona isiwe tabu wacha tu ni mkubalie ila baadae kitaeleweka. Mama alitoka, nilishusha pumzi kidogo nikarudi kukaa kwenye sopha langu nikitafakari hali ilivyokuwa. Ilikuwa hatari lakini salama nilikili kabla ya kuamua kutoa mashuka yangu kwenye kitanda changu nikatandika mengine. Nikajilaza kidogo ila dakika chache usingizi ulinipitia nilikuja kushituka kuangalia saa yangu saa kumi karibia na nusu. Hata kula nilikuwa sijala ,nikaona wacha nitoke chumbani mule niangalie nafanyaje. Haraka haraka nilichukua maji na kwenda kujimwagia. Kwa bahati mzuri siku hiyo wapangaji wengi walikuwa viumbani mwao. Uzuri chumba changu kilikuwa karibu na mlango wakutokea nje hivyo ilikuwa ngumu kuweza kubaini nyendo zangu. Nilioga haraka haraka huku njaa ikiwa inasumbua tumbo langu, mawazo nayo yote yalikuwa chakula tu ndio ilitawala kichwani mwangu. Wakati natoka ile naingia chumbani kwangu nilisikia nikiitwa. “Kaka!.. kaka !Fundi” Ilinibidi nigeuke niangalie nani, kumbe Mwaju!. “Vipi dada” “Safi tu” “Niambie” “Kuna mzigo wako nimeachiwa hapa na dada mmoja” “Oky.. wacha nivae nitakuja kuuchukua” “Sawa ila mimi natoka kidogo naenda kuchota maji” “Ok usijali Mwaju nitanipa tu mimi si nipo” “Nilimwambia huku nikiingia ndani” Nilibadilisha nguo mara moja harafu nikawasha yangu simu nikatoka ilinikatafute msosi kitaani pale. Sms ziliingia nyingi ila sikuzijali njaa ilinipoteza hamu hata ya kuangalia nini kinachoendelea ndani ya simu yangu. Dakika kadha nilifika kwa bonge moja ya sehemu maarufu pale kitaani kwa kuuza chipsi njaa ilivyokuwa inauma nikaagiza chipsi yai sahani mbili nikalala haraka haraka. Nikasepa kurudi nyumbani ilinianze kudili na sms moja baada ya nyingine, mdogo mdogo nyumbani. Nikiwa njiani nilihisi kama mtu ananikimbilia nyuma yangu ila sikujali sana. Ghafla nikasikia naiitwa sauti ya kike kabisa inapenya masikioni mwangu yani balaa niliona sasa. Je nini hicho? Usikose sehemu inayofata....

at 10:24 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top