Home → simulizi
→ SHANGAZI ANATAKA
STORY NA 🅱
SEHEMU YA TISA
ILIPOISHIA SEHEMU YA NANE: wakati anataka kutoka kuelekea jikoni shangazi akamwita, “we Kidawa njoo, nifwate chumbani”
shangazi aliongoza chumbani kwake akifwatiwa nyuma na mschana wakazi kidawa, walienda wakasimama karibu na mlango, wa
chumbani kwa shangazi, “Kidawa, kama unataka kuendelea kukaa hapa kwangu, naomba unayo yashuhudia hapa yahache hapa hapa,
kingine, usisubutu kumsogelea Jayden, ata akikutaka husi kubari, yani bora uje uniambie” aliongea shangazi akionyesha kuwa
anamaanisha anachokisema, huso wake haukuwa na dalili ya utani ata kidogo, kama alivyo mzowea “sawa mama” aliongea Kidawa
akionyesha uoga, ENDELEA....
Baada yakuongea na mschana wakazi, shangazi akirudi mezani akiwa ametanguliwa na Kidawa, ambae alipitiliza jikoni,
na shangazi akaenda moja kwa moja kwenye meza ya chakula alipo mwacha Jayden akaakwenye kiti ambacho kilitazamana na kiti
alichokaa Jayden, nakuwafanya shangazi na Jayden watazamane uso kwa uso, bado walikuwa wanaoneana aibu kidogo kutokana
nakitendo walichokuwa wametoka kukifanya dakika chache zilizopita, awakuwa naujasiri kama waliokuwa nao chumbani, shangazi
alijaribu kuishika mikono ya Jayden iliyo kuwa juu ya meza, akaibinya binya kidogo, “mbona huanzi kula ulikuwa unaningoja?”
aliuliza shangazi huku akichezea vidole vya Jayden “ndiyo nikuwa na kugoja, baba alinifundisha nisianze kula kabla ya
wakubwa” alijibu Jayden akikwepesha macho yake yasikutane na ya shangazi yake “mh! kwani wewe bado ni mtoto?, Umenichosha
mpaka nasikia chini kunawaka moto” aliongea shangazi Stella kwa sauti yakunong'ona, wote wakacheka kidogo, huku shangazi
akiachia mikono ya Jayden haraka, baadaya kisikia vishindo vya kidawa vikija sebuleni, akageuka nakumtazama Kidawa ambae
alikuwa amesimama pembeni yao akiwa ameshikilia chombo chakunawia na jagi la maji, tayari kuwanawisha! “hooo! Kidawa weka
hapo tutanawa wenyewe” aliongea shangazi kwa sauti ya upole, huku tabasamu likiwa limechanua usoni kwake, tofauti na
alivyokuwa muda mfupi uliopita, akiongea na kidawa, Kidawa akaweka kile chombo mezani pamoja na jagi ndani yake, kisha
akaelekea jikoni, hapo wapenzi wawili hawa, wakaanza kunawishana, alianza shangazi kumnawisha Jayden, kisha Jayden
kumnawisha shangazi, baadaya hapo shangazi akapakua chakula cha wote wawili, kila mmoja kwenye sahani yake, wakaanza kula,
huku wakifanyiana michezo ya kulishana, “shangazi hivi hapa ulijifanya nini?” aliuliza Jayden akiushika mkono washangazi na
kuonyesha kovu dogo, lililopo kwenye kidole kidogo cha mwisho cha shangazi, “hoo! hapa, kwani Ndio unapaona leo?” aliongea
shangazi huku akiutoa mkono wake toka kwenye mikono ya Jayden na kuchota chakula kwa kijiko na kusogeza mdomoni kwa Jayden
“hapana niliwai kupaona lakini leo nimepaona vizuri, kwani nimekosea kuuliza?” alijibu Jaden kisha akakidaka chakula
alichokuwa analishwa na shangazi yake, hapo shangazi hakujibu kwanza, ila alimtazama Jayden kwas ekunde chache, kisha
akatazama chini akiachia tabasamu huku anatikisa kichwa, “hii ni alama ya kihapo changu na wewe, kuwa tutaishi pamoja, au we
unaonaje?” alisema shangazi kisha wote wakacheka nakuendelea kula, huku wakipiga porojo za hapa napale, mala akaja Kidawa
mbio mbio, “mama nasikia kama simu yako ina ita chumbani” wote waka tega masikio, kweli simu ilikua inaita, wote waliisikia
vyema simu ikiita “kimbia chumbani kanichukulie” kabla shangazi aja maliza kuongea Kidawa alisha kimbilia chumbani,
akachukuwa simu nakutoka akiileta sebuleni, japo alitumia muda mchache mle chumbani, lakini aliweza kushuhudia jinsi kitanda
kilivyo vurugika, kuonyesha leo kuna kazi nzito ilikuwa imefanyika pale kitandani, kabla shangazi ajapokea, simu ikakatika,
shangazi akatazama kwenye kioo cha simu akaona kuna missed call sita, aka zifungua, zikaonyesha zote sita zimetoka kwa mrs
Komba, ambae ni doctor msaidizi wake kwenye Hospital yake, akastuka kidogo “mh! ana nini huyu, usiku huu?” akajiuliza
shangazi, huku anabonyeza ile namba nakuiweka simu sikioni, baada ya sekunde chache akaanza kuongea “ndiyo mama Komba,
habari za jioni ” ndiyo maneno pekee aliyoweza kuyaongea shangazi, zaidi hapo alisikika akiitikia tu! huku akibadirika uso
wake, kila sekunde zilivyo songa, mpaka mwisho akajikuta amesimama kabisa mkono akiupeleka kwenye kwenye chombo cha kunawia
maji, Jayden akashika jagi nakumwagilizia shangazi yake mpenzi maji, ambae bado simu ilikuwa hipo sikioni
ETI NIKIAPO CHA PENZI LAO, INAWEZEKANA KWELI?, NA HII SIMU NI YANINI?, KUFAHAMU ZAIDI ENDELEA KU LIKE NA KU COMMENT, KAMA
UNAMAONI KARIBU IN BOX.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: