Home → simulizi
→ JIMAMA JIRANI
SEHEMU YA KUMI NA NNE
STORY : 🅱
ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA TATU: “haaaa nini?, nikuoe?, itawezekanaje?” alongea Jastini kwa mstuko ulio changanyika na mshangao mkubwa, hapo moyo wa Selina ukanyongea, akamtazama Jastin usoni kwa macho ya unyenyekevu yaliyo anza kufunikwa na mchozi, na kuulaza mkono wake juu ya kiganja cha mkono wa Jastin, kisha kwa sauti ya upole akaongea... ENDELEA..
“kwanini Jastin kwanini unani kata mpenzi wangu?” Jastin akiwa kama ado ame duwaa kwa kauli ya mama huyu ambae anaonekaa kumaanisha ancho kisema, kweli mama itashindikana, kwanza itakuwa aibu kwako watu wakijuwa mimi natembea na wewe,” aliongea Jastin akionyesha nkweli aliwaza juu ya heshima ya ya mama wajirani yao, “kwanini mpenzi, kwanini ishindikane?, mwenzio nime nyanyasika sana sababu ya mapenzi, ndiyo maana ata sikuitaji kuendelea kuwa na wewe, sababu nilitokea kuwachukia wanaume wote, lakini wewe ndie pekee nae jikabidhi kwao” aliongea mama jirani, machozi yakiendela kumlenga lenga, akaendelea kuongea kwa kumsimulia Jastin maisha yake ya nyuma, na jinsi alivyo nyanyaswa na wanaume aliowai kuishi nao, “sitojali kuhusu watu wengine wata nichukulliaje niambie Jastin kama una nipenda, nitakuheshimu kama mume wangu na elimu yako itaendelea pale pale” alimaliza huku akisimama na kusogea karibu na Jastin nakuanza kupiga magoti, lakini Jasti akawai kumzuwia, kwa kumdaka nakunyanyua juu “hapana mama usifanye hivyo, nyanyuka tuongee, nimesha kuelewa” nikweli baada ya kusikia historia hiyo ya Selina japo ilikuwa ni kwaufupi, na kwa mwonekano wa uzuri wa mama huyu, Jastin alilegeza moyo na kufungua nafsi yake, kwa mama jirani yao Selina, maana aliona dalili ya penzi la kweli toka kwa mama Selina, Selina alipo simama Jastin alimkumbatia na Selina aka zungusha mikono yake mabegani kwa Jastin “lakini kitu kimoja mpenzi, naomba niendelee na masomo yangu” aliongea Jastin wakiwa bado wame kumbatiana, “husijari mume wangu, tena ilo litakuwa ni jukumu langu, nitahalamia elimu yako, na kila kitu kinacho kuhusu” kweli alichosema Selina, ilo alikuwa tatizo kwa Selina sababu anajuwa maana ya elimu, wakiwa bado wamekumbatiana, seliina kama alikuwa ajaamini kama kweli ayamambo mawili yame mtokea yeye, kwanza ame pata mimba, pili amempata mwanamme anaye mkuna kitandani, akaona labda Jastin anazuga akaonangoja ajaribu mitambo, akaondoa mkono mmoja toka shingoni kwa Jastin na kuupeleka kwenye dudu, akaiminya kidogo, akaona jisi Jastin alivyo stuka sambamba na dudu yake kunyanyuka, hapo jimama akamwona jastin akisogeza midomo yake kwenye midomo yake na nayeye akaisogeza yakwake huku akifumba macho, midomo ika kutana wakaanza kubadilishana mate, daada ya sekunde chache, Selina akapenyesha mkono kwenye nguo ya Jastin nakuikamata dudu, akaanza kuichzea ndani kwa ndani, kabala hajaitoa baada yakuona nguo ina msumbua kuichea dudu, hapo kilicho fwata ni mchezo mmoja wa hatari, ulio msibitishia mama huyu kuwa, Jastin amekubari ombi lake, mchezo huo wamakonde wanaita kalinjombwe, siku ile walishinda ndani kwa pamoja wakishangilia, huku jimama akimnywesha wine mtoto wa watu Jastin, ambae siyo kwamba anywi pombe, hapana Jastin alianza kunywa pombe alipofikia kidato cha tano, akianzia kwenye pombe inayopatikana kwenye miti ya mianzi inaitwa ulanzi kwa kimwela inaitwa bamboo juice, sema Jastin akuwa mlevi sana, na wala hakuiendekeza pombe, kama wanafunzi wenzie aliokuwa anakunywa nao hiyo pombe yenye utamu kama wa juice, Jasin unywa pombe siku anayoitaji kuinywa pombe, siku hiyo Jastin na Selina walichangamka sana wakicheza kama watoto wadogo, kiasi kwamba, ata mschana wakazi aliporudi, aliwakuta kwenye mazingira yaliyo onyesha kuwa kazi ilikuwa moja tu! mle ndani ni ngono tu!, licha ya mlendani kutwaliwa na alufu nzuri ya air fresh, lakini kuna kaalufu flani ya jasho lakutoka kufanya mambo flani ilisikika, yule binti alishangaa, maana toka ameanza kukaa na huyu mama, akuwaikuona ata dalili ya huyu mama kuwa na mwanaume, ila mala nyingi alisikia akigombana na watu waliojaribu kumtongoza kwenye simu, Jastin na Selina awakumjali, zaidi yule binti alisalimia “ shikamoo mama,” “hoo ume rudi dada, sasa ebu subiri kwanza nikutambulishe” aliongea Selina akijiinua toka kwenye mapaja ya Jastin aliyokuwa amelalia, na mschana wakazi akasimama akisubiri utambulisho huu ambao aliona kama miujiza, “najuwa una mfahamu huyu, lakini kwasasa siyo kama ulivyo kuwa una mfahamu zamani, huyu ni mume wangu, utamhudumia kama unavyo nihudumia mimi” alitambulishwa dada wakazi, kuwa yule Jastin ndie baba mwenye nyumba, nikweli Jastin akawa baba mwenye nyumba, maana siku ile Jastin alilala kwa jimama, ambae siku yapili akwenda kazini tena, akitoa udhuru kuwa ame kunywa dawa za malaria, walitumia siku hiyo kwenda kaliakoo kufanya shoping ya Jastin, akinunuliwa nguo na viatu vingi vingi, muda wote walishikana mikono, kama mume na mke, awakujari watu walio washangaa kwa tofauti ya umri wao, maana walionyesha wazi utofauti wao wa umri, kilicho saidia ni uzuri wa urembo na umbo zuri la Selina linalo amasisha ngono, pia na umbo kubwa la kiume alilonalo Jastin, jioni ya siku ile wafanyakazi wenzake walikuja kumtazama mgonjwa, ambae aliwatamburisha mchumba wake, na kwamba ni mume wake mtarajiwa, huku akiwaficha kuwa tayari ni mjamzito, huku mshangao wa wazi, ukionekana kwa wageni wake, japo yeye akujari,
Atimae siku ikafika ni siku ya juma mosi, siku ya Higno kurudi toka morogoro akiwa na mke wake pamoja na mtoto wao wakwanza, wakiwa chalinze walimpigia simu Jastin aje stendi mpya ya mbezi, awasidie mizigo maana walikusanya magazaga mengi sana ya vyakula, siunajuwa tena mambo ya shamba, “tupo chalinze, tukifika kwa mathius tutakustua” ilikuwa ni simu ya tatu, yakumjulisha Jastin juu ya safari yao, yakwanza kabisa ilipigwa toka jana, wakimjulisha kuwa kesho, yani leo jumamosi wange fanya safari ya kuja dar es salaam, wakipanga kushukia kituo cha makondeko, lakini kitu kilicho mshangaza Higno kaka yake Jastin ni ushauri wa mgodo wake, alimshauri wakashukie mbezi mwisho stendi mpya, lakini kwa maoni ya mke wake akamuunga mkono Jastin kw wazo ilo asa wakizingatia kuwa walikuwa na mizigo mingi, safari ikaendelea mpaka alipo fika mbzi wakiwa wana tegemea kumkuta Jasin stend mpya mbezi, baada ya kumpigia simu wakiwa kibaha kwa mathius, basi lili simama stendi mpya ya mbezi, Higno na mke wake wakashuka toka kwenye basi, kondakta wabasi alishusha mizigo huku Higno akisimamia zoezi hilo, wakai huo mke wake akiwa pembeni yake amemshika mtoto, “hoo kaka poleni na safari” Higno alistuliwa na mdogo wake Jastin “ tumesha poa tuna shukuru mtoto ajatusumbua njiani” aliongea Higno huku akigeuka kumtazama Jastin ambae moja kwamoja alianza kunyanyua mizigo, “poleni na safari jamani” Higno na mke wake walistuliwa na sauti ya kike ambayo ni kama wanaifahamu hivi, wote wakageuka na kumtazama mmiliki wa ile sauti, wote wakaduwaa, ni baada ya kukutana uso kwa macho na mama wa jirani yao, ukiwa ume pambwa na tabasamu la maana, tofauti na walivyo mzowea, “asante jirani za siku” aliitikia shemeji yake Higno lakini akionyesha hali flani ya mshangao, “nzuri tu naona katoto kame tulia kenyewe” wote wakacheka, na Selina akainama na kuchukua mzigo dogo na kuongozana na Jastin kuelekea kwenye gari la Selina, akiwaaacha Higno na mkewake wakishangaa, wakishindwa kuulizana maana wote ni wageni, Higno aka inua mzigo na kuwa fwata Jasin na Selina, akkimwacha mke wake amesimama na mizigo, “dada nenda kapumzike kwenye gari mimi nitalinda mizigo, watabeba awa wababa, maana huu moja tu umenitoaa jasho” aliongea Selina baada ya kuwa wamerudi tena kuchukukuwa mizigo mingine, kiukweli Higno na mke wake walishangaa sana, maana mama huyu ana mfahamu vizuri tu, ni jirani yao wa muda mrefu sana na uwa ataki mazowea na mtu, zaidi ya salamu tu! ok! baada ya daika chache walikuwa wameshaingia kwenye gari na safari ikaanza, huku Higno na mke wake wakiwa wana shangaa jinsi mambo yanavyo endelea, JE? HIGNO NA MKEWE WATAJUWA HUUSIANO WA JASTIN NA MAMA WA JIRANI YAO,NA VIPI WAKIJUWA, WATAFANYA NINI?, BASI ENDELEA KU LIKE KU COMMENT ILI TUENDELEE KUSOMA KISA HIKI CHA JIMAMA LA JIRANI AMBAYO INA ELEKEA MWISHONI KABISA, WEKA MBALI NA WATOTO KWA MKASA WA SHANGAZI ANATAKA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: