LOVE STORY: PENZI PENZINI SEHEMU YA 2. AGE : 18+ ILI[OISHIA Gaston safari hii hakumjibu kitu kwani alikuwa bize akiangalia watu wakivunja amri ngumu ya sita tena juu ya kimbweta sehemu ambayo mchana wanachuo huwa wanafanyia discussion. Basi Alice alijiunga na shemeji yake na kuendelea kuangalia wenzao wakibadilishana staili. Alice naye akaihisi mzuka imempanda akamsogelea zaidi shemeji yake na......** TIRIRIKA NAYO. Walimuona yule dada akipanda juu ya kimbweta na kupiga magoti huku yule mwanaume akisimama tayari kwa kumwingilia kwa staili ya kinyume nyume.Yule dada alijibinua akamuachia kijana makalio kwa nyuma kisha akanza kumkatikia mauno.Kweli mapenzi ni upofu maana kijana alikuwa kama anachochea moto kwenye jiko la kuni huku mkono wake mmoja ukiwa kwenye kichogo na mwingine kwenye kiuno cha mrembo huyo.Utamu utamu huo wa mechi ulimfanya Alice msogelee zaidi Gaston na kutamani amkumbatie na wao wafanye ka mchezo hako. Wale wadau hawakuishi hapo waliendelea kufanya yao na yule dada alijigeuza na kuangalia mbele.Akapanua mapaja na jamaa akafanya yake.Jamaa alikuwa amesimama na dada amekaa kwenye vimweta na hawakuvua nguo zote la hasha bali jamaa alifungua zipu tu na yule dada alishusha kidogo tu kufuli lake na kufanya upenyo mdogo ulioruhusu nyoka kuingia pangoni. Mmmmmmmh iiiiishiiiiiiiiiiiiiiii yeaaaaah hapooo hapoooooooooo ni baadhi za sauti zilizosikika sauti zilizomfanya Gaston kuuma meno na kubetua mdomo wake juu kama mbuzi beberu aliyenusa nyeti ya mbuzi jike na kupata mzuka wa ajabu.Alitamani kumrukia Alice lakini ndo hivyo ushemeji ulikuwa kikwazo.Wote wawii waliendelea kufaidi mautamu mpaka pale walipoona wenzao wamemaliza na kuvaaa nguo zilizokuwa zimechojolewa nusu nusu kama nyimbo ya Joh Makini. Basi mechi ya wenzao iliisha wakavaa nguo na kuondoka zao. Gaston kuona hivyo ilibidi na yeye aage kwani mda ulikuwa umeenda sana na yeye alikuwa hoi bini taabani huku sehemu zake za mbele zikiwa tayari zimesimama na kuinua suruali.Alice aliligundua hilo na alitamani kucheka lakini alivunga na kukausha tu. Basi kila mtu akaondoka zake, Alice aliingia Sokoine hostel na Gaston akaondoka zake na kwenda gheto kwake sehemu moja wenyewe waliita madukani mahali ambapo alikuwa amepangisha chumba. Sio mbali kutoka chuoni na hii ni kutokana na uhaba wa vyumba ndani ya chuo, hivyo wanafunzi wote wa kiume isipo kuwa wale wenye matatizo maalumu walikuwa wakikaaa nje ya chuo. Gaston alifika gheto kwake huku moyoni akimwazia Alice, alijisemea moyoni “ingawa ni shemeji yangu lakini kiukweli amemzidi rafiki yake” akimaanisha Jesca ambaye ndio mpenzi wake ambaye kwa sasa yupo Dodoma akisimamia kampuni ya baba yake inayojiusisha na mambo ya utafiti wa kilimo. Akaendelea kuwaza na kuwazua akajisema “ingawa Alice nasikia ana rafiki yake (boyfriend) huku Moshi lakini kwa mazingira anayoyatengeneza sijui kama nitaweza kuvumilia.” Gaston alikaa kwenye meza yake ya kujisomea tayari kwa kupiga msuli huku akiendelea kutafakari juu ya uzuri na urembo wa Alice. Akiwa kwenye mawazo hayo mara simu yake ikaita.Alipopokea tu alikaribisha kwa sauti nzuri ya mlegezo ambayo pia haikuwa ngeni masikiono mwake. Sauti hiyo kwa kujiamini ilisema “helow mpenzi za masiku?. Najua umenisahau lakini kiukweli mimi bado upo moyoni mwangu, nakupenda sana nilikuwa nje ya nchi sasa nimerudi na nina mpango wa kuja moshi nikuone kama utaniruhusu.” Gastoni alishaitambua ile sauti kuwa ni ya Beatrice msichana wake wa kwanza ambaye waliachana kwa njia ya kupoteza mawasiliano. Hakuwa na jinsi zaidi ya kumwambia karibu moshi the old is gold, kauli ambayo Beatrice alihisi tayari Gaston atakuwa na mchumba mwingine. Beatrice alikata simu na kujisemea lazima ni mtafute na nitatumia gharama zangu zote kuhakisha na mpata, mimi ndio Beatrice bwana siwezi kuendelea kuteseka wakati kila mvulnaa ninayekuwa naye hanifurahishi kama Gaston. Simu ile ya Beatrice ilifanya Gaston ashindwe kuendelea kusoma akajikuta na yeye akipanda kitandani huku akiitafakari ile simu. Aliingia kwenye dimbwi zito la mawazo juu ya maisha yake ya mahusiano akiwaza jinsi alivyoteseka siku alipogundua kuwa mpenzi wake Beatrice aliyempenda sana anamsaliti. Alikumbuka tukio ambalo hawezi kulisahau katika maisha yake na hiyo ni miaka mitatu iliyopita kabla hajajuana na Jesca mpenzi wake wa sasa. Gaston kabla ya Jesca alikuwa na mpenzi wake aliyeitwa Beatrice msichana wa kwanza kuwa nae na msichana aliyempenda sana ambaye kwa sasa yupo masomoni nchini Uganda. Gaston alijisemea ingawa niliweza kurudiana na Beatrice kipindi kile aliponisaliti nikamsamehe tukaanza upya lakini safari hii itakuwa ngumu kwani nampenda sana Jesca. Kwa hiyo ni kwamba Gaston alishawahi kusalitiwa na Beatrice mpenzi wake wa kwanza kabla ya kusamehana na kurudiana lakini baadaye walipotezana na Gastona akatafuta mshichana mwingine yaani Jesca. Wakati Gaston akiendelea kumuwaza Beatrice simu yake iliita tena kuangalia ilikuwa ni Jesca akaamua kuipokea. Alishtushwa na jinsi mpenzi wake alivyokuwa akihema huku akishindwa kuongea, akauliza maswali kama mawili yote hayakujibiwa akaamua kukata ili ampigie tena, ile kujaribu kumpigia anakutana na ile sauti “sahani huna salio la kutosha kupiga simu hii” Wakati akiendendelea kufikiria nini cha kufanya mara anasikia makelele nje ya dirisha, kusikiliza kwa makini ni kelele kama za pumanizi. Kelele zilezilimshutua Gaston ikabidi atoke nje, alipouliza ni nini alijibiwa kuwa eti kuna mwanafunzi wa chuo amefumaniwa na mume wa mtu. Ikabidi na yeye aunge msafara kutoka sehemu anayokaa(madukani) mpaka sehemu yenye pumanizi wanapaita njia panda. Hakutaka kupitwa na gazeti hilo hivyo alitaka kujua ni naniii. Hakuamini macho yake alipokuta watu wamezingira chumba cha msichana wanayesoma nae ambaye siku zote alikuwa akimmezea mate. Alijiuliza maswali mengi sana bila majibu, akajisemeha sasa huyu nae ni mjinga kweli kwa nini akubali kulimenya tunda karibu na maeneo anayokaa. Ata kama ni room yake na anakaa mwenyewe kwani achukue mwanaume wa mtu? Akajiuliza tena na nani amemchomeshea hiyo ramani. Vurumati lilikuwa kubwa mke wa huyo mwanaume anayesemekana yupo ndani ya chumba cha msichana huyo alikuwa amekuja na kikosi cha maana ambacho kilikuwa tayari kwa lolote. Gaston ilibidi aingilie kati kumnusuru huyo dada maana watu walizidi kujaa wakimsubiri atoke huko chumbani walipojifungia na huyo mwanaume. Alimwandikia meseji kuwa endapo akitoka watu watachukua picha hivyo atoke kwa akili ikiwezekana afunike kichwa chake. Basi binti alitoka kwa kujiamini, akijua kuwa lazima watu wataingia ndani na kumtoa huyo mwanaume na yeye kupata nafasi ya kuondoka. Kwa kuwa yule mwanamke aliyekwenda kumfumania mumewe hakuwa na uhakika na hiyo ramani aliyopewa kwani mumewe alimwaga kuwa anaenda Mwanza kikazi ilibidi aingie ndani kuhakikisha,basi hapo yule binti alimkonyesha Gaston kuwa watoroke. Gaston kwa ujanja ujanja walifanikiwa kuondoka hapo kwa kupitia nyuma ya uwa wa nyumaba hiyo wakiacha mume wa mtu akipewa kipigo. Walipita njia za vichochoroni na kufanikiwa kufika kwa Gaston, waliingia ndani wakajifungia. Wakiwa chumbani baada ya kimya kirefu yule binti aliamua kuvunja ukimya. “Gaston najua kwa sasa nipo sehemu salama, ila nisamehe sana kwa tukio lililotokea najua siku zote ulikuwa ukinifuatilia bila mafanikio lakini kiukweli huyu mume wa mtu ndo alikuwa akikuzibia riziki.” ***********ITAENDELEA***********

at 12:09 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top