Home → simulizi
→ Bikira yangu:16
Mahmoud aliukamata ume wake na taratibu akauwelekezea kwenye uke wangu tayari kwa mashambulizi, nikaanza kujifanya kama naogopa kuingiziwa ume wake. Mahmoud alikaa vizuri na taratibu akaanza kuingiza uume wake.
laahaulaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kile nilichokitegemea hakikuwa nilijua labda akiingiza tu labda damu sitatoka hata kidogo kama ushahidi, ila kutokana na maumbile yake kuwa madogo haikuwa kama nilivyotegemea, akili iliyonijia kwa haraka haraka ni kuzuga.
Nilikuwa na wasi wasi kupita jawaida ila nilijipa moyo uwenda mungu atafanya miujiza yake. Mahmoud alifanya kadiri ya uwezo wake kuhakikisha naridhika na anaitoa bikira yangu na mimi sikubaki nyuma katika hilo nilikuwa naangaika huku na kule kuhakikisha anaamini kwamba amenitoa bikira yangu.
Mahmoud alikuwa akiniangalia usoni wakati huo machozi yakinibubujika kupita maelezo ula machozi niliyokuwa nikitoa ni ya hofu na wasi wasi baada ya kumaliza kufanya ni nini kitatokea na mbaya zaidi asikute hata damu kidogo.
Baada ya dakika kadhaa aliniachia na kukaa oembeni yangu huku akinipa pole, ula nilimuona akiwa anajiangalia kwa makini uume wake kama kuna viashiria vyovyote vya kuwepo na damu hata kidogo. Alipogundua kwamba ktk maungo yake haku damu alichukua kitamaa cheupe kilichoandaliwa kama ushaidi wa kuvunjwa bikira na kutaka kunifuta, alifanya ivyo kama ilivyo ada coz taratibu zetu ilikuwa siku ya kwanza kumto mwari bikira ni lazima alimtoa amfute kwa kitambaa cheupe. Mahmoud alifanya hivyo lakini bahati mbaya matoke hayakuwa kama alivyo tarajia.
Sikunyamaza kulia ila kilio changu kilikuwa kikiambatana na maswali mengi sana ni nini kinafata baada ya hilo? Mahmoud alitoka pale alipokuwa amekaa huku akiwa aamini amini kile alichokiona, ikamlazimu aje mbele ya maungio yangu na kuingiza tena kile kitambaa kwania ya kuhakikisha kile alchokiona lakini hakufanikiwa kuona chochote.
Baada ya kuwa amefanya vyote hivyo ikamlazimu aniulize............
"Zuleiha mke wangu inamaana hakuwa na usichana wako au mimi ndio sijafanikiwa kukamilisha jukumu langu? Aliuliza lakini sikumjibu kitu niliendelea kulia kama kawaida.
Ikamlazimu akoge na kurudi tena kujaribu bahati labda atafanikiwa kuutoa usichana wangu, mara hii alishtuka baada ya kuniona hata mimi sikimbii kimbii kama ilivyo mwanzo. Matakeo hayakubadilika ilikuwa ni vile vile kama alivyoikuta.
Mahmoud alikaa pembeni ya kitanda na kunza kutafakari kile alichokiona kwangu na mara pengine alikuwa akijiuliza hadi mimi nasikia.
"Kumbe zuleiha hakuwa bikira'? Nilimsikia mahmoud akijiuliza kwa sauti ya chini sana muda huo mimi nimejifunika macho nikiendelea kulia.
"Zuleiha kwanini usinambie tangu mapema mke wangu? Kwanini umeamua kunifanyia hivyo?" alikuwa akiuliza mahmoud uku akiashiria kulalamika.
Mahmoud hakuishia hapo aliendelea kulalamika zaidi na zaidi...........
"Kama ulijua upo hivi kwanini usiniambie ukweli, yaani umeamuakunitia doa katika familia yangu zuleiha!!!!!? Ndugu zangu watanionaje? Najuta kwanini niliwakatalia wazazi wangu kunitafutia mke wa kuoa......
Haukuwa usiku wa fungate kama watu walivyo dhani ili ulikuwa ni usiku wa kilio na kujilaumu kwa yale niliyoyafanya. Mahmoud alikaa kwenye kochi hadi asubuhi yani kwa kifupi hakuna mtu aliyepata usingizi.
Niliwaza kumueleza mahmoud ukweli lakini nilihofia anaweza akachukuwa maamuzi mabaya zaidi usiku ule kutokana alikuwa na hasira kupita maelezo.
Ilipotimu saa kumi na moja alfajiri mahamoud alimpigia simu mjomba wake na kumueleza akitoka msikitini aje huku hotelini tulipokuepo, mjomba wake na mahmoud alikubali lakini akiwa nawasi wasi huku akiuliza mara mbili mbili...."Kwani kuna tatizo"?
Mjomba alipotoka msikitini hakupoteza hata dakika akawa amefika pale hotelini, mahmoud alitoka nje kwenda kuzungumza na mjomba kwa bahati mbaya sikuweza kukisikia kile kilichozungumzwa.
Baada ya muda kidogo mahmoud alirudi ndani na kuniambia nijiandae mjomba wake anataka kuzungumza na mimi, niliamka na kwenda kuoga kisha nikatoka nje kuonana na mjomba. Sikuwa na jinsi ilinilazimu nimueleze kila kitu mjomba kilichonitokea kipindi cha nyuma. Kwakweli mjomba wakena mahmoud alisikitika sana na nikajaribu kumuomba azungumze na kijana wake ili haya mambo yasifike mbali.
Mjomba alijaribu kuzungumza na mahmoud lakini mahmoud alikuwa mkali kama mbogo hivyo ilikuwa ngumu sana kuliweka sawa kabla halijawa kubwa.
Taarifa zikafika kwao na mahmoud punde mahmoud akapigiwa simu aende nyumbani mimi wakaniacha pale pale hotelini.
Wakati nimekaa pale hotelini nikisubiri kuelezwa kilichojiri ghafra simu yangu ikaita, alikuwa ni mama moja kwa moja nikajua taarifa imeshamfikia, nilipo pokea simu nilimsikia mama akiwa analia huku akiongea kwa kigugumizi mala simu ikakatika, baada ya dakika moja akapiga mdogo wangu kwenye simu ya mama na kunieleza kwamba mama amedondoka na kuzimia. Nilishtuka sana baada ya kusikia hizo taarifa ikanilazimu niondoke pale hotelini na kuelekea nyumbani kujua hali ya mama.
Nilipofika nikawakuta wakiwa busy na kumpempea lakini fahamu zilikuwa zimeanza kurudi, baba aliponiona akaamua kuondoka pale nyumbani na hatukujua ni wapi alipoelekea. Baada ya muda kidog alikuja baba mdogo na mkewe ila hawakukaa sana nyumbani wakaelekea kwao na mahmoud kwasababu walipiga simu wazee wangu waende wakakae kikao na kujadili hiyo fedhea iliyosababishwa na mimi.
Mama alipopata fahamu alilia sana huku akinilaumu kwa kile nilichokifanya lakini sikuwa na jinsi kwasababu nilikuwa tayari nimeshaitamani ndoa.
Baba mdogo alienda kwemye kikao mwemyewe bila kuwepo baba kwa kuhofia fedheha.
Makubaliano katka kikao kile wazee wa mahmoud walitaka turudishe mahari yote iliyotolewa na mahmoud lakini mahmoud akadakia na kusema hayupo tayari kurushiwa mahari kwakuwa alitoa kwa dhumuni la kuona japo haikuwa kama vile alivyotegemea . Hivyo hakuwa tayari kupokea ile mahiri iliyotolewa kwasababu ya kumuoa zuleiha. Ila alichosistiza hatokuwa tayari kuendelea na mimi kutokana na hicho kilichojitokeza...................................
Ndoa ikawa imevunjika kiivyo na maisha mapya yakaendelea, sikutaka tena kuishi katika mtaa niliokuwa nakaa nikaamua kuhama mtaa. Kutokana nilikuwa nafanya kazi kama kawaida ikanilazimu nitafute nyumba nikapanga, sikutaka tena mambo ya kuolewa kwa kipindi kile ila mungu akitaka lake hakuna wa kulipinga.
Siku moja mwisho wa wiki nikiwa katika mapumziko kazini, nilitoka na kwenda kutembea forodhani nikiwa narafiki yangu ninayefanya nae kazi, katoka matembezi hayo ghafra nikakutana na vuai akiwa ameongozana na msichana mmoja hivi. Nilitaka kumpotezea lkn alinifata na kunishika mkono............
"Vipi zuu inamaana hutaki hata kunisalimia kweli?" sitaki kuamini kama hadi leo bado hujanisamehe ila sio mbaya hongera nasikia umeolewa? Aliniuliza vuai
"Ndio niliolewa lakini haikuwa ridhiki nimeachika kwasababu yako" nilimjibu vuai kwa hasira
"No usiseme hivyo hiyo ni mipango ya mungu hivyo unatakiwa umshukuru mungu kwa kila jambo. Lakini pia na mimi niliamua kuoa baada ya kunikataa kata kata na huyu unayemuona hapa ndiye mke wangu" aliongea vuai.
"Hongera" niliongea na kuka kimya, baada ya kisema hivyo tulimiaga vuai na kuondoka kabosa ktk eneo lile kwasababu sikujisikia vizuri kabisa nilipomuona vuai mahala pale.
Maisha yangu yaliendelea kama kawaida niliendelea na kazi kama ilivyo ada na wazazi wangu wakatoa msamaha kwangu na kunipa angalizo juu ya haya maosha.
Baadaya miezi sita kupita nilipata mchumba aliyekuwa akifanya kazi hoteli ya jirani na pale nilipokuwa nikifanyia kazi, alikuwa pale kama assistance manager wa hoteli hiyo, alikuwa ni mtu wa kutoka tanga, sikutaka kabisa kuchagua mtu atakae nioa tena nilianza kupoteza kabisa hamu ya kuolewa na wazazibari wenzangu kwasababu walikuwa na mashirti mengi sana wakati wakitaka kuoa.
Niliingia tena kwenye maisha ya ndoa na sasa nimeajaaliwa mtoto mmoja wa kiume....
MWISHO
Hadithi hii ni yakufikirika, kama kuna sehemu tulikosea au tulikukwaza kwa namna moja au nyengine basi tuanomba radhi kwa hilo.
Endelea kufatilia machapisho yetu yenye mafunzo katika ukurasa huu na hadithi nyingi zinakuja kwaajili yako.
Pia unaweza ukashauri nini kionhezwe au kipi kipunguzwe katika utunzi wa simulizi zetu.
AHSANTE KWA KUENDELEA KUWA PAMOJA NASI.
Share
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: