Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke  Naomba kufahamishwa na wanawake jinsi ya kujisafisha kwenye papuchi(mwanaume atakaye shauri naomba awe doctor au mwenyewe experience ya kutosha kuhusu maumbile ya mwanamke) Mimi huwa nikienda kuoga natumia sabuni ya jamaa kusafisha juu kabisa ya papuchi yaani kwenye mapaja na pale juu kwenye nyw**le...then natumia maji mengi kujisuuza na kuingiza kidole ndani kidogo ya K kutoa uchafu either wa period kama niko P na sometimes nakuta kuna ule uchafu mweupe wanaita(utoko) but huo uchafu huwa ni mweupe kama barafu na pia haunuki kabisaa..... Sasa swali ni kwamba kuna watu wanadai hatupaswi kutoa huo uchafu eti ni bacteria wa kukinga K isipate madhra so hupaswi kuingiza kidole kabisa.... tuoshe juujuu tu......  Second wengine wanasema tusinawe na sabuni kabisaa(japo kama nilivyosema mimi sabuni napitisha kwa juu kabisa tena nikiwa nimesimama ili isiweze kuingia kwenye K coz siamin kama kujisafisha bila sabuni harufu ya mkojo, harufu ya P na jasho itaisha kwa kunawa na maji tu.....na situmii sabuni zenye chemical). Naomba wanake wenzangu mnipe experience zenu juu ya hili

at 2:07 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top