Home → ushauri
→ ZIKO FAIDA NYINGI ZA KULALA UCHI PENGINE HUZIJUI:
TAGS afya bora joto la mwili
kulala uchi Kulala ni kitu cha muhimu sana ambacho huwa tunakifanya kila siku usiku. Kupata muda sahihi wa kulala na ni mara ngapi haihesabiki na kiasi cha faida, na sio kulala usingizi wa kutosha.
kuna hili tatizo ambalo lipo nchi nyingi ulimwenguni, hivi unajua kuwa unapata faida nyingi ukiwa unalala uchi? Na hapa nakuletea hizo faida za kulala ukiwa huna nguo kabisa.
Hata hivyo imehakikishwa kuwa kulala uchi unakuwa na afya .
1.Kulala Uchi Inakusaidia Usingizi Usikuruke.
Miili yetu hutoa joto na kulirudisha, kama mwili wako hautoi joto ni kwa sababu ya nguo zako za kulalia, utakumbwa na kukosa usingizi mara kwa mara unapokuwa umelala, kwa sababu kiini chako hakiwezi kutoa joto. Kulala uchi kunaruhusu joto la mwili kutoka kwa haraka na kukusaidia kulala kwa haraka bila ya kuanza kusubiri usingizi.
2.Walala Uchi Hupata Usingizi Wa Kina Na Kulala Muda Mrefu.
Joto la mwili la kitandani huwa linajirekebisha lenyewe na kumpa mtu usingizi wa kina na kulala kwa muda mrefu. Watu wengi hulalamika kuwa hawapati usingizi wa kutosha , wengine huamua kwenda kwa madactari , kumbe tatizo ni wao kulala na manguo mengi kitandani. Na wanapokuwa kitandani huchukua muda mrefu kupata usingizi.
3.Kulala Uchi Inakusaidia Kuzuia Ongezeko La Belly Fat.
Kawaida mwili hutulia usiku,ili kukusaidia kushusha kiasi cha cortisol, unapolala bila kustuka kati ya masaa ya saa 4 usiku na saa 8 alfajiri, kiasi cha cortisol kinakuwa kiko chini , lakini baada ya saa 8 alfajiri zile gland zinazozalisha cortisol zinaanza kufanya kazi zaidi kwa ajili ya kujiandaa na kazi inayofuatia kwa siku, ndio maana huwa unajisikia una nguvu unapoamka.
Unapokuwa hupati usingizi wa kutosha ndio hapo unapoamka na hizo cortisol nyingi, zinazoleta hamu ya kula chakula kingi na kusababisha kupata belly fat. Unapolala bila nguo unakuwa unatoa joto linalo rekebisha kiasi cha cortisol mwilini mwako.
4.Kulala Uchi Utavifanya Viungo Vyako Vya Siri Kuwa Na Afya.
Sehemu ya vagina kwa kawaida huwa kuna joto na baridi na unyevunyevu, ni mazingira ambayo yana chachu ya hutengeneza vimelea na kustawi . kwa kutoa manguo mengi na kuacha wazi , utaruhusu hewa safi kupita, na vagina yako itapumua vizuri ili kupunguza kustawisha vimelea na chachu inayokuwepo .
Kwa wanaume , kutunza testes kuwa cooler na kusaidia kuweka sperm ziwe na afya na kuwa na uzalishaji mzuri wa kawaida, hio ndio maana testes zimeachwa nje ya mwili, unapovaa tight briefs, testes zinapata joto na kupunguza kiasi cha sperm zako.
5.Joto La Mwili Husaidia Kuzuia Kuzeeka.
Kulala uchi , unachochea kupunguza kukua kwa homoni za melatonin , ambazo ndio muhimu katika kuzuia kuzeeka. Kwa hio jinsi unavyolala vizuri na zaidi, ndivyo unavyozalisha hizi homoni. Kwa hio kwa sababu tumeelewa kuwa kulala uchi kunasaidia kupata usingizi mzito na wa muda mrefu, nani asiependa kupunguza uzee na kuwa mwenye nguvu siku zote.?
6.Mguso Wa Ngozi Kwa Ngozi Unaboresha Maisha Ya Tendo La Ndoa.
Kama hulali peke yako , mguso wa ngozi kwa ngozi na mwenza wako inatoa oxytocin katika miili yenu , ambayo hio oxytocin ina nguvu ya kukufanya ujisikie vizuri, homoni , ambazo zinahitaji kuondokana na srtress wakati wa sex, na kujiona kama kitu kamili kimoja. Ni muhimu kujua kuwa unapokuwa uchi unaondoa vikwazo kati yako na mwenza wako na kupata hamu zaidi ya tendo la ndoa. Na mazingira yenu yanakuwa rahisi sana.
7,Kutoa Hewa Kwenye Ngozi Yako Inazuia Magonjwa Ya Ngozi.
Ngozi inapopumua kutoka mwilini mwako, hasa maeneo ya kwapani mwako na sehemu za siri za viungo vyako vya uzazi, unapunguza ugonjwa wa ngozi, kama wale wanaolala na soksi , kwenye vidole vyao, hupatwa na matatizo kutokana na joto.
8.Kuuachia Mwili Wako Kunaboresha Heshima Na Kujikubali.
Washauri husema unapokaa uchi mara nyingi , hasa ukiwa ndani kwako , unajijengea kujiamini na kuona ngozi yako jinsi ilivyo na afya njema. Na unakuwa unajisikia kuwa huru na mwenye ujasiri wa kutosha , itakufanya uwe na furaha na wa kuvutia kwa vile unajitambua . kuliko wale wanaolala na nguo , hata nje wanakuwa ni waoga mbele za watu.
9.Kulala Uchi Inasaidia Kuondoa Aina Ya Pili Ya Kisukari, 2 Diabetes.
Watu wanaolala uchi hawako kwenye hatari ya kupata kisukari , lakini wale wanaolala na nguo nyingi wana hatari ya kupata ugonjwa huo.
10.Utaona Damu Yako Ikitembea Vizuri Mwilini.
Bila hizo nguo za kubana, soksi, tishets,na kuondoa mzunguko wote wa damu utakuwa mzuri mwili mzima, na itakuwa ni faida kwa moyo wako kuwa na mapigo ya kawaida, misuli , na arteries kam oxygen ndani ya damu inavyoenda vizuri bila matatizo.
Kwa taarifa hizi zote za kwa nini kulala uchi ni SO MUCH better kwa ajili yako, kwa nini uendelee kulala na nguo ? endelea, anza kulala uchi, kulingana na wanasayansi hutajilaumu hata siku moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: