Home → ushauri
→ ππππππππππ
*```WANAWAKE NAOMBA LEO N0IZUNGUMZE NANYI NIWADOKEZEE JINSI YA KUMTULIZA HASIRA MUMEO AKIKASIRIKA
ππππππππππ
☞ Kama umemkasirisha mumeo mfano asubuhi jitahidi uwe mpole usiwe muongeaji Sana kama ameenda kazini hakikisha saa nne unatumia sms msalimie Kisha mtakie kazi njema.....
ππππππππππ
☞ alafu mida ya saa saba ivi mwambie pole na kazi laazizi wangu, nimemiss sana uwepo wako, nipo mpweke tu apa, natamani ungekuwa karibu yangu Muda huu, kwa sms hii itamfanya hasira zipungue ata tamani muda ufike arudi nyumbani mapema......
ππππππππππ
☞ Siku hiyo mpikie chakula akipendacho, Pamba nyumba ivutie, fukiza udi chumbani, Oga, vaa nguo nzuri, jipambe upendeze, Siku hiyo tafuta na Kungu manga itafute uile mapema.....
ππππππππππ
☞ Kisha akirudi mumeo mvue viatu au mpokee alichobeba huku wamuambia karibu mume wangu......
ππππππππππ
☞ Akikaa msalimie Kisha mwambie pole na uchovu wa kazi laazizi wangu. Kwa mapokezi hayo hasira zitayayuka mlangoni alipokuona, maana atajisikia furaha kwa mapokezi aliyoyakuta kwako......
ππππππππππ
☞ Akitulia mpelekee maji ya kuoga Kisha mwambie twende nikakuogeshe mume wangu.....
ππππππππππ
Mtengee chakula vizuri ulichomuandalia, kisha mnawishe mikono, akimaliza mlishe tonge mbili tatu Kisha wamuacha aendelee kula mwenyewe taratibu.....
ππππππππππ
☞ Akimaliza mnaweza kuhamia chumbani huko jiachie ili uweze kumtega vizuri, Mkipanda kitandani tu mkafanya mambo yetu Yaleeeee hapo utakuwa umezimaliza kabisa hasira zake.....
ππππππππππ
☞ Cheza na akili za mumeo, changamka mwanamke usikubali siku ipite mumeo akiwa na hasira. Mfanyie mambo mazuri hata mkipanda kitandani hasira ziwe zimemuisha.....
ππππππππππ
☞ Wanaume wengi sio watu wa kuwekea vitu moyoni sie tu hatujui jinsi ya kuwashusha hasira.....
ππππππππππ
☞ Kuazia leo usipate tabu ya kuwaza tumia uanamke wako kumfurahisha mumeo.....
ππππππππππ
☞ Mwanaume Mbele ya mkewe hapindui, kwetu ni jambo na mkate ukiutia kwenye chai unalainika na Kuwa mdogo.
ππππππππππ
Wanawake zingatieni hayo, ili kuweka ndoa yako murua na maridhawa nduguyangu
πππππ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: