Mwanaume akiwa na appointment na mwanamke utasikia anamwambia bby jitahid upendeze sana, Sasa cjui kama atakuwa amempatia pesa ya mavaz au nywele? Ila kilicho wazi ni kwamba wanaume wengi cku hizi tunapenda wanawake ambao tayar wameshapendeza bila kujua nan kawapendezesha. Tubadilike kwa hili maana sio vyote vinaelea ni vipesi kuna vingne vimeundwa jaman.

at 11:46 PM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top