Monday, January 9, 2017

Mambo muhimu sana katika ndoa: 🔺*UCHAMUNGU .🔺* SUBRA. 🔺* HURUMA 🔺*UTULIVU 🔺* TABASAM. Ukiyatekeleza hayo na Allah hukuzidishia barka...... 🔺*Vumilianeni kwa hali na Mali, japo fujo haikosi ndani ila hurumianeni....... 🔺*Nyote ficheni siri za ndani....... 🔺*Mke tulia kwako mama umpe mumeo mapenzi moto moto....... 🔺* Mume mfurahishe mkeo kwa kumpa maneno mazuri, 🔺* Mke punguza marafiki....sio kila mara mitaani kama muuza mauwa 🔺* Mume tulia nyumbani na mkeo, na uache tamaa za nje, 🔺* Mke mpikie mumeo chakula kitamu anachokipenda, 🔺* Mume msifie mkeo pindi anapomaliza kukupikia, kukufulia na kadhalika. 🔺* Mke mpendezee mumeo ndani kwa vazi la kuvutia sio majoho na mitandio mpaka kitandani, 🔺* Mume punguza hasira na umshike mkeo na umdekeze mkeo , 🔺* Mke usitoke bila ruhsa ya mumeo, 🔺*Mume kwa kuwa ww ndo kiongozi ndani basi usimnyanyase mtoto wa watu, 🔺*Mke usimpokee mgeni bila ruhsa ya mumeo 🔺*Mume msaidie mkeo kazi za ndani..... — ♡LADHA YA NDOA♡ 🔺 MAFUNDISHO YA UTAMU WA NDOA

No comments:

Post a Comment