Home → ushauri
→ Mambo muhimu sana katika ndoa:
🔺*UCHAMUNGU
.🔺* SUBRA.
🔺* HURUMA
🔺*UTULIVU
🔺* TABASAM.
Ukiyatekeleza hayo na Allah hukuzidishia barka......
🔺*Vumilianeni kwa hali na Mali, japo fujo haikosi ndani ila hurumianeni.......
🔺*Nyote ficheni siri za ndani.......
🔺*Mke tulia kwako mama umpe mumeo mapenzi moto moto.......
🔺* Mume mfurahishe mkeo kwa kumpa maneno mazuri,
🔺* Mke punguza marafiki....sio kila mara mitaani kama muuza mauwa
🔺* Mume tulia nyumbani na mkeo, na uache tamaa za nje,
🔺* Mke mpikie mumeo chakula kitamu anachokipenda,
🔺* Mume msifie mkeo pindi anapomaliza kukupikia, kukufulia na kadhalika.
🔺* Mke mpendezee mumeo ndani kwa vazi la kuvutia sio majoho na mitandio mpaka kitandani,
🔺* Mume punguza hasira na umshike mkeo na umdekeze mkeo ,
🔺* Mke usitoke bila ruhsa ya mumeo,
🔺*Mume kwa kuwa ww ndo kiongozi ndani basi usimnyanyase mtoto wa watu,
🔺*Mke usimpokee mgeni bila ruhsa ya mumeo
🔺*Mume msaidie mkeo kazi za ndani..... —
♡LADHA YA NDOA♡
🔺 MAFUNDISHO YA UTAMU WA NDOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: