Home → Love sms
→ 💄💄OPERATIONS TOKOMEZA RAMBO💄💄
💄BARAFU
kabla ya tendo chukua barafu tumbukiza kumani na uvae pedi
Barafu huondoa utoko woote
Barafu hukaza misuri ya uke
Hii ni njia rahisi pia uwe unafanya mala kwa mala
💄💄💄💄💄💄💄💄
*Brayton official love*
0658247651
💄💄OPERATIONS TOKOMEZA RAMBO💄💄 💄BARAFU kabla ya tendo chukua barafu tumbukiza kumani na uvae pedi Barafu huondoa utoko woote Barafu hukaza misuri ya uke Hii ni njia rahisi pia uwe unafanya mala kwa mala 💄💄💄💄💄💄💄💄 *Brayton official love* 0658247651
Artikel Terkait
*🔰Ukumbusho🔰* 🥀👉🏻 *Inatakiwa Wanaume pia wajitambue katika ndoa wajib wao ni upi* 🥀👉🏻 *Sio kila mda wanawshambuliwa wanawake tu nakuwaachia majukum ya nyumba wao* 🥀👉🏻 *Kwanza ili mwanamume atake kuowa lazma kuna mambo aweze kumfanyia mkewe,,,,* 🥀👉🏻 *mwanamume ndie msimamizi kwa mke wake,,, amlishe pindi alapo,, amvishe,,, akiwa mgonjwa aweze kumuhudumia,,* 🥀👉🏻 *mpaka pesa za mapombo mume ndie awe msimamizi,,* 🥀👉🏻 *ikiwa mke ana kazi sio wajib wake mke kusimamia Majukumu hayo,,,, na wala hapaswi kulazimishwa kumsaidia mume jambo lolote katika uwendeshaji wa nyumba yao ila kwa ridhaa yake mke mwenyewe kama ameridhia kununua chochote,* 🥀👉🏻 *ila sio jukumu la mke,,, ila wapo baadhi ya wanaume wao hawajui Majukumu yao, kwanza wao hutafuta wanawake walio na kazi ili wao wakae wasubitmke afanye kila kitu,, inakua ameowa Kwa malengo flani tu apate bure,,,* 🥀👉🏻 *unakuta kila kitu ananunua mke mume hana lolote analo fanya kumfurahisha mkewe,* 🥀👉🏻 Mke ndio anabeba Majukumu mke,,,,,vitu nyote kununua mke ,kisha mke huyo anaonekaka duni,,, mume maskani tu hataki kujisumbua kutafuta Rizqi yake,,, schoool fees mke 🥀👉🏻Ama Akamwambia tugawe Majukumu nusu Kwa nusu,,, hapo mume inakua hajajitambua yeye kama mume,,, Na kama mke hapati mahitaji yake ya kutosha Na mume amezembea,,, mke hali haangaliwi,,, wapo waume hawana khabari Kwa kuvaa kwa mke, matumizi ya mke, mapambo ajinunulia mwenyewe mke,, mume hana khabari,,, utapata inafika wakati mke kachoka hajui kula kizuri, nguo nzuri, Pesa za mume hazionekani,,, ndio hupelekea mke akazini ili apate msaada kwengine,,, 🥀👉🏻 *mume ukisaidiwa Majukumu yako wewe yanayo kupasa uwajibike Na huna khabari nayo, jua mke atakutoka apate mjuzi ajuwae nini mke afaa kufanyiwa* 🥀👉🏻 *Mwanamke kama yuko katika matatizo Hayo,,, anahaqi kwenda kumshati mume Na ikishindikana mke anahaqi ya kudai Talaka Kwa Kuwa mume ameshindwa Na Majukumu yake,, Na isipelekee mke kuchepuka nje, bora kuziba ufa kuliko kujenga ukuta,,,* 🥀👉🏻 *Wanaume jitambueni Majukumu yenu,,, musiowe ili kupata bure, eti wewe Upo tu, huungi huungami* *Nb* : *WANAUME TUACHE HII TABIA TUCHAKARIKENI TUWE MA HODARI WA KUWAHUDUMIA WAKE ZETU NA KUWAONGOZA NJIA ILIYONYOOKA* *🌹LADHA YA NDOA🌹* ... Read More
🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻 *💞JINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI💞* 🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺 _✍🏾Unajua mwanaume ni kiumbe *weak sana* inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na *kiwewe cha maisha akitembea atakuwa anashikilia suruali kwa mbele ya zipu muda woote, heheee*_ _✍🏾Be the queen *( yaani usafi nyumba*) well decorated na uchafu si mzuri your house inatakiwa kuwa *so lovely romantic na sio mambo ya jiko la mkaa ndani na mnaishia kuumua mafuta ya taa .*_ _✍🏾Rafiki zake usiwageuze maadui *( wapende .wa entertain na accommodate )*_ _✍🏾Mapishi *(pika Kama Leo mwisho wa dunia chakula kitamuuuuuu)*_ _✍🏾Learn how to swim, guitar, piano, fishing na football *(Wanaume Wanapenda challenge ukipenda mpira mbona atafurahia atakaa ndani)*_ _✍🏾swala la chumbani *(yaani Huko inabidi m practice TANTRIC sex)* humo ndio uwe malaya wake na usiogope si mmeoana kanisani au msikitini mungu Anashuhudia_ _*Namalizia kwa hili*_ _✍🏾Hakikisha Mumeo *ANALIA* kwa tendo la ndoa na kokote atakapoenda hakuna tena *(ushauri wangu viuno vimepitwa na wakati jaribu kumchanganya ya Brazil, Urusi, Kiarabu na kizunguzungu)*_ ```Usiku mwema na endeleeni na mengineyo``` _©brayton official love _ 🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚 ... Read More
*RANGI ZA UTE NA MAANA ZAKE.* Kuna rangi za ute ambazo hutoka kwenye uke, zipo za kawaida na zisizo za kawaida, kutofahamu ute wa kawaida huongeza hofu kwa wengi lakini ukifahamu ute wa kawaida ni msaada kujua ute upi si wa kawaida na kugundua mapema kwamba upo kwenye tatizo linalohitaji tiba. 🌹 Rangi ya ute unaotoka kwenye uke unapaswa kuwa mweupe na wenye kuonekana vyema (clear), ute huo ni sehemu ya mwili kufanya kazi vizuri, unatoka kwaajili ya kusafisha na kuweka uke salama. 🌹 Uzito na muonekano wake unategemea zaidi uko katika kipindi gani ndani ya uanguaji mayai au kipindi cha damu ya hedhi kwa ujumla. 🌹 Mabadiliko yoyote ya rangi ya ute zikiambatana na dalili tofauti inaweza kuwa ni sehemu ya maambukizi fulani,yanayohitaji uangalizi na umakini ni vyema kwenda hospitali kwa uchunguzi zaidi. 🌹 Unapaswa kuangalia zaidi rangi ya ute na harufu yake, ni rahisi kujua tatizo ndani yake, ute wa kawaida hautoi harufu wala haukeri, lakini wenye maambukizi fulani unatoa harufu. UTE MWEUPE.(white)⚪ Huu ni ute wa kawaida kutoka kwa mwanamke hasa katika kipindi cha hedhi lakini utakapokuwa mzito kiasi na wenye kufanana na mtindi,ukiambatana na maumivu ni dalili ya maambukizi (yeast infection) Matibabu baada ya uchunguzi yanahitajika. 🌹 UTE WA MAJIMAJI.(clear waterly) Ute wa majimaji ni ute unaohitajika zaidi kwa mwanamke, ute unaofanya uke usiwe mkamvu, ute huu mwanamke anapaswa kuhakikisha anakuwa nao hasa kwenye tendo la ndoa, unasaidia kulinda manii na kuzisafirisha, unaleta uwezekano mkubwa wa mimba kutunga.Ute unaoshiria kwamba upo kwenye kipindi cha kuangua mayai, ukiwa nao wala hauna shida wala tatizo. 🌹 UTE WA NJANO.( yellow or greenish) 💛 Ute huu si salama unapomtoka mwanamke, ni ute unaoshiria maambukizi ya bakteria pamoja na magonjwa ya zinaa, hutoa harufu isiyopendeza unaweza ukaambatana na ukijani ndani yake, pindi unapouona nenda hospitali na mwenza wako, magonjwa ya zinaa hutibiwa na wapenzi wote wawili ili kuepusha muendelezo wa maambukizi endapo atatibiwa mmoja. 🌹 UTE WA KAHAWIA. (brown) Ute huu humtoka mwanamke pindi anapomaliza hedhi yake, husafisha uke baada ya hedhi, unaweza kuambatana na damu damu kiasi lakini unaweza kutokwa na ute huu katikati ya hedhi yako au kipindi cha mwanzo cha ujauzito. 🌹 Wenye mzunguko wa hedhi unaobadilika badilika huweza kusababisha kutokwa na ute huu, pindi unapotokwa zaidi na ute huu inaweza kuwa ni dalili ya kansa ya shingo ya kizazi. ni vyema kufika hospitali kwa uchunguzi zaidi. 🌹 Sababu za kutokwa na uchafu ukeni tumeshajifunza kwenye somo lake, ni vyema kusoma yote kwa makini ili uweze kujua zaidi kwanini unatokwa na ute au uchafu ukeni na nini ufanye. Asante🌹 BEAUTY ZONE 2 ... Read More
👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻MWANAMKE PENDEZA NDANI KWA MMEO Haya Leo Ni Michambo 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Siku hizi dada zangu mmekuwa na kasumba moja ambayo mimi inanikera sana hata katika jamii mambo hayo siyo kwa wasioolewa tu hata kwa walio olewa Mpoooooo 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Pia jingine hamjuw hivyo vipodozi vimekuja kwa ajiri gani hilo nyie hamlitambui yaaani ndo unakuta mwanamke unajipodoa hadi podo linapita kipimo loh!!!!! 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Mpk anakuwa km misiuka 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Mtu unakuta akitaka kwenda sokoni unajipodoa unajipodo unajinyunyizia marashi mazuuuuri yenye kunukia ila ukiwa ndani unatema harufu za makwapa sasa huko nje unamnukisha Nani??????? 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Tubadilke Wanawake nyumban tunashnda wachafu Kwel Ngoja mtu atake kutoka utafikilia mwana sesele 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Mwanamke unatakiwa uwe msaf kila dakika sio mpk utoke na hzo make up utafikilia lijn Kabura hamjuag tuuu 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Hayo mavipodozi unapaswa uvitumie ukiwa kwa Mme wako sasa mtu unakuta ukiwa ndani kwa mmeo mdomo umekauka kama unanjaa ya miaka mitano ila ukitaka kwenda sokono unajipodoa midomo inabadilika je unajipodoa kwa kumtamanisha Nani??????? Leo mtaniambia vizuri 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Sjui nan kawaambia ndan mkae wachafu wachafu ebu mtajen nkampge👊🏿kaen tuuu kimya lkn nawape vdonge vyenu mbadilke 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Ndo kila sku mwanaume anamafua kumbe uchafu Wa kwapa wa mkeo kuoga shda had out wanaume muwe mwawatoa out wake zenu waoge mtaumwa mafua mpk mtakomaa pua 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Unakuta mwanamme anajitahidi kukununulia vipodozi viiiingi ili afurahi kukuona unapendeza ila unavitumia ukitaka kutoka je unajipodoa kwa ajiri ya nani wakati ukiwa ndani hautamaniki ila ukitaka kutoka njiani watu unawatia dhambini je unajipodoa kwa ajiri ya nani????au unamtamanisha Hamza kwa kuwa hajaoa?????? Hahahahaaaa 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Leo mniambie kabs nskie ndan matenet nje lol twasahauliana km n Mwana fulan 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Wanawake bhana ntawapiga ngum👊🏿michezo ya upatu mwacheza alf mwalalamika ooh mume Wangu anitunz ndo maana spend haya kalien hvyo hvyo wapo watu wanashda na ndz tuuu wala hawana shda na nguo zubaen sasa sunnah ztapitilza Sio mathna sasa 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Mwanamke unakuta ukitaka kutoka unajipakaa rangi za midomoni hadi mdomo unabadilika unakuwa kama DEGE ila ukiwa ndani kwa mmeo mdomo unakuwa kama mpuliza vuvuzela huo mdomo huko nje unampakia Nani wakati mdomo ni wa mmeo???? 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Mkiwa ndan midomo mikavu utafikilia vbambalala aibu mbadilke 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Alf mkipendeza ndo mnapiga picha kumbe wachafu sasa ntaanza kuwa baloz wa nyumba kum nakuja tuuuu vuuu hod niwaone huko majumban Je mnaoga 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 ... Read More
💘💘💘💘 *🅱 professional love*💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘HATUA ZA KUZUNGUMZA NA MPENZI WAKO ALIEKASIRIKA💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘 👩👧Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawada kipindi hiki huwa ni za hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha. 👩👧Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. 👩👧 hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefura kwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi na pengine mkaamua kuachana. Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasa yule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua za kuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafuko na kuleta amani kwenye mapenzi. 💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘 Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika. 💘 💘 MPUNGUZE MHEMKO Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi. 💘 💘 MSOME SAIKOLOJIA YAKE Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira. Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. “J, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira. 💘 💘 MRUHUSU AKUJIBU Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.” Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake 💘 💘. EPUKA MARUMBANO Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena. “Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano. 💘 💘 MUOMBE MSAMAHA Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya mazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. “Mpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane.” 💘💘💘💘💘💘💘💘💘 Bila shaka kwa haya machache utakuwa umejifunza na kuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako. 💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘chuo cha mahaba 💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘 ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: