KWA WANAWAKE TUUUU 🌹Ewe mwanamke🌹 🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka🌹. 🌹Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe🌹 🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe🌹 🌹Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe🌹 🌹Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu🌹 🌹Haipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono🌹 🌹Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea🌹 🌹 Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu🌹 🌹Ebu badirika🌹 🌹Mume akiitaji chakula mtengee vizuri🌹 🌹Mpakulie mumeo ukiwa umetulia kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu🌹 🌹Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe🌹 🌹Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri🌹 🌹Mume ana hadhi yake bhana 🌹 🌹Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni 🌹 🌹usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu🌹 🌹 Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga🌹 🌹 jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako 🌹

at 12:20 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top