Home → Love sms
→ 💫🌷JINSI YAKUTENGENEZA UDI MWENYEWE UKIWA NYUMBANI🌷💫
🌷Nunua vijiti vya Oud kilo moja, kwa Zanzibar vijiti vinapatikana kwa Swaleh madawa na kwengine jaribu kuulizia wanauza dawa zakisunnah
🌷Roweka vijiti vyako kwenye chupa yenye mfuniko alafu roweka kwa muda wa wiki moja, roweka kwa mafuta ya manukato mazuri na makali kwa muda wa wiki moja
🌷MAFUTA YANAWEZA KUWA AINA HII AU NYENGINE🌷
Ward
Sheikha
Rashiqa
Montana
Musk
Mwenyewe utatizama dukani utakayopenda
🌷Baada ya Wiki
🌷Sukari kilo mbili
🌷Mafuta tola tano( Aina ya mafuta ya manukato makali na mazuri)
🌷Chemsha Sukari na maji M paka iwe nzito kama ya visheti. Ipua weka chini Tia udi ulouroweka changanya vizuri utandaze kwenye sinia funika vizuri.
🌷 Acha upoe waweza ukaweka tena mafuta yako na kuuroweka tena kwa muda wa angalau siku tano ili uzidi kuwa mzuri
🌷MWANAMKE UREMBO NI ASILI YAKE🌷
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: