Home → Love sms
→ *đđKUFANAYA MAPENZ SI KUPATA WATOTO KUWA MBUNIFU WA TABIAđđđ*
*đđđđđđđđđSex kwa wanandoa haipo kwa ajili ya kutengeneza watoto tu. Kama mke, kila mara lazima uwe tofauti kwa mumeođđđđđđ*.
Mshawishi mumeo, usiruhusu mumeo akuombe sex, usiwe na ratiba ya sex.
Kuwa mbunifu, na wala usitabirike. Mpe ile anayostahili.. kama ukipoteza mvuto kwa mumeo, basi umepoteza thamani yako kama mwanamke.
Kuwa sehemu ya mipango ya mume wako.
Hakuna kitu mume wako atakipenda kama kumuomba sex, toa aibu....huyo ni mume wako..mmehalarishwa mbele za Mungu, penis yake ni mali yako pia...
Inashangaza kuna baadhi ya wanawake hata hawajui penis za waume zao zikoje.
Ichezee unavyotaka, usiku usilale na suruali au jinsi...acha ngozi yako laini imguse mumeo...kuna raha kubwa mwanaume anavyoguswa na ngozi yako laini...msisimuko wake ni wa kiwango cha PhD.
```Mwanaume anavyokuwa satisfied na sex siku zote anakuwa stable kiakili na kimwili...anafurahia maisha na atatamani kurudi nyumbani kila mara...đšđđšđđšđđšđ```
*đđđđđđđđđđđđđđđđMsikariri kwamba sex lazima iwe usiku tu, fanyeni hata mchana...kama uko nyumbani na mumeo yupo kazini...mwite hata muda wa lunch aje nyumbani...fanyeni tendo hata la nusu saa tu...huo ndio ubunifu na ndoa haitaboa.đđđđđđđđđđđ*
```đđđđđđđđđMtii mumeo kwa moyo mmoja, kamwe usimweleze kwamba upo hapo kwa ajili ya watoto.. Kumbuka ulianza kumjua yeye kabla watoto hawajaja.đđđđđđđđđ```
*đšđđšđđšđđđđšđđšđ˝đšđđšđ˝Mbembeleze mumeo, weka kichwa chake kwenye kifua chako. Muombee...mpe kiss ya kibabe...mmmhwwwwaaa....usijihisi vibaya kumkiss mbele ya public...yeye ni mumeo..mali yako halali kabisa hata malaika mbinguni wanajuađđšđđšđđšđđđšđš*.
```đđđđđđđđđđđđđđKuwa romantic uwapo nyumbani, vaa nguo laini za mitego....usivae mivitenge na magauni magumu....đđđđđđđđđ```
*đđšđđšđđšđđšđšđđšđšđKuwa msafi kila muda...Nukia kwa manukato yenye mvuto, usinukie mapilipili hoho na mavitunguu swaumu....kama vipi nunua sex lingarie halafu vaa kila muda uwapo na mumeo peke yenu.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤*
*đđđđđđđđđđđđđUsionekane kama una miaka 50 wakati hata 40 hujafikisha...fanya mazoezi, acha bia, nyama choma, chips mayai, mapizza, na mavyakula mengine yenye wanga mwingi.đđšđđšđđšđđšđšđđšđ*
*đđšđđšđšđšđšđšđšđšđđšđšđđšTunza vizuri mwili wako, mwanamke ni pambo ndani ya nyumba na fahari ya macho ya mume...sasa ukipoteza mvuto umefanya kosa kubwa sana. Fanya jitihada kupigania kuwa na mwili uliokuwa nao mwanzo.đđđđđđđđđđ*
*đ˝KWA WANAUMEđ˝*.
*đđđđđđđđUsimchukulie poa mwanamke anayefanya hayo kwa ajili yako. Mbembeleze, mpe moyo, mpende, mpe support, na mfanye ajisikie kuwa na bahati ya kupata mume kama wewe.đđđđđđđđđđđ*
*đšđđšđđšđđšđNatamani niongee mambo mengi ya kikubwa sema humu watoto wengi sana.đđđđđđđđđ*
```đMungu aibariki ndoa yakođ```
*đđšđđđđđđđđNia yangu ya dhati ni kuwaona ninyi nyote rafiki zangu mlioko kwenye ndoa mna amani na furaha zaidi.....đšđđšđđšđšđđšđšđđšđđđšđđšđšđš*
*đ❤đ❤đ❤đ❤đ˝❤đ❤đ❤đ❤đ❤*
*đšBrayton official love đš*
*0658247651*
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: