AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE.πŸ‘ŒπŸΌ Dr love Gilly 🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu! πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ 2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere! πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ 3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra! 4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata! 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye! πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ 6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao! πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ 7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote! πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ 8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka! πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ 9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika! 10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!! 🍠🍠🍠🍠🍠🍠🍠 11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha! πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ 13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni. πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ 14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi. πŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌ **HIZI NI HASIRA WALIZONAZO WANAWAKE**

at 6:18 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top