*Majina ya wanaume ambao hutakiwi kudate nao*
1. *John*-Ni mpenda sifa na Muongo, Kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake
2. *Brayton*-Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa
3. *Nicholous*-Ni mkali sana na hapendi kuambiwa ukweli
4. *Joseph*- Mcha mungu, anafanya maovu yake kwa siri sana.
5. *Steve*- mbahiri sana na anapenda kutembea na Mijimama
6. *Hussein*-Anaweza kuwa na michepuko zaidi ya mitatu ndani ya nyumba moja na msijuane.
7. *Omari*-anapenda ubabe wa kijinga kila kitu lazima mshindi awe yeye
8. *Robert*-Ana roho mbaya na ana mkono mwepesi wa kupiga mwanamke
9. *Thomas*-Ana hasira za karibu
10. *Frank*-Kwa kifupi ni pasua kichwa, Mlevi na Mkorofi hapendi marafiki wa kiume wa demu wake. Ila ni muongoji mzuri tu.
11. *Fred*-Ana wivu kupindukia. Muda wote ana kazi ya kumchunguza mpenzi wake.
12. *Raymond*-Ana upendo wa dhati tatizo lake Gubu
13. *Suleiman*-Muda wote yupo busy lakini hana hela
14. *Richard*-Ugomvi wake hauishi, anapenda kukumbushia makosa ya Zamani. Na anapenda kumpigia simu mpnz wake mara kwa mara, kwa siku anaweza kupiga siku hata mara Kumi.
15. *Sudi*-Ana upendo wa dhati ila tatizo lake akiachana na mwanamke lazima akatangaze madhaifu yake kwa watu
16. *Emmanuel*-Mpole ila ana tabia za ubinafsi akikosea hapendi kuomba msamaha
17. *Gerald*-Anapenda Sifa za kijinga
18. *Adolf*-Hajui mwanamke mwenye sifa gani anamtaka
19. *Abel*-Kila kitu anakijua yeye, hapendi kuelekezwa
20. *Obeid*-Msiri sana, hapendi kumwambia mpenzi wake mambo yake ya Kimaendeleo
21. *Othuman*- Mpole ila siku akikasirika mbingu itapasuka
22. *Nelson*- ana Mbwembwe sana ila hajui Mapenzi
23. *Paul*-Anapenda kutoa ahadi zisizokamilika
24. *Habibu*-Maneno mengi
25. *Ally*-Ana tabia za Kiswahili sana na anapenda kumlinganisha mpenz wake wa sasa na wa zamani
26. *Felix*- Mtulivu lakini ana majivuno
27. *Ramadhani*-Mchafu mpaka Chumbani kwake
28. *Raphael*-Ana kibuli cha asili, anapenda kubishana hata kwa kitu kidogo
29. *Hassan*-Mtaratibu, anaweza kuachana na mwanamke bila hata kumwambia
30. *Adam*-Ni mcheshi mbele za watu ila akiwa na mpenzi wake ana nuna bila sababu
31. *Erick*-Kila mkikutana anataka mfanye mapenzi, Mlevi na anapenda kutongoza shemeji zake
32. *Wilson*-Anapenda kusikilizwa yeye tu.
33. *Andrew*-mwaminifu sana ila akikuchoka utajuta kumfahamu
34. *Hamis*-Anapenda Ugomvi wakati mwengine bila sababu
35. *Derick*-Ni zuzu na anapenda sifa sana akiona watu
36. *Shedrack*-Hawezi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi 3
37. *Isaac* Hajivunii mwanamke aliyenae
38. *Mudi*-Ana maneno matamu ila nyuma ya pazia ana michepuko kibao
39. *Ibrahim*- Ana hasira za karibu ila akipewa penzi tu hasira zote zinakwisha anaanza kujichekesha chekesha.
40. *Juma*-Haishiwi sababu na hakuna swali analokosa jibu.. Ni mjanja sana.
41. *James*-Hamjali mpenzi wake kwa lolote
42. *Ben*-Mlevi na mpenda Sifa ila kitandani yuko vzr
43. *George*-Anapenda kuabudiwa hapendi kukosolewa
44. *Deo*-Kila mwanamke anamuahidi atamuoa
45. *Joachim*-Ana maneno mengi ila sio mtekelezaji
46. *Samwel*-Hawezi kukuruhusu kwenda kwake bila taarifa
47. *Cloud *-Anapenda rafiki na ndugu zake kuliko mpenzi wake
48. *Daniel*-Anaonyesha upendo siku tu akipewa pesa au mapenzi au kitu chenye thamani
49. *Barick Na Baraka*-Ni mrahisi kuahidi kitu hata kama hana uwezo nacho
50. *Nick*-Hapendi kuzungumza vitu vya maendeleo, yeye ni fashion tu, hela yake inaishia kwenye kununua nguo
51. *Augustine* mtaalamu sana
52. *Marcus* mwandishi wa habari za uongo na kweli
No comments:
Post a Comment