*Majina ya wanaume ambao hutakiwi kudate nao* 1. *John*-Ni mpenda sifa na Muongo, Kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake 2. *Brayton*-Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa 3. *Nicholous*-Ni mkali sana na hapendi kuambiwa ukweli 4. *Joseph*- Mcha mungu, anafanya maovu yake kwa siri sana. 5. *Steve*- mbahiri sana na anapenda kutembea na Mijimama 6. *Hussein*-Anaweza kuwa na michepuko zaidi ya mitatu ndani ya nyumba moja na msijuane. 7. *Omari*-anapenda ubabe wa kijinga kila kitu lazima mshindi awe yeye 8. *Robert*-Ana roho mbaya na ana mkono mwepesi wa kupiga mwanamke 9. *Thomas*-Ana hasira za karibu 10. *Frank*-Kwa kifupi ni pasua kichwa, Mlevi na Mkorofi hapendi marafiki wa kiume wa demu wake. Ila ni muongoji mzuri tu. 11. *Fred*-Ana wivu kupindukia. Muda wote ana kazi ya kumchunguza mpenzi wake. 12. *Raymond*-Ana upendo wa dhati tatizo lake Gubu 13. *Suleiman*-Muda wote yupo busy lakini hana hela 14. *Richard*-Ugomvi wake hauishi, anapenda kukumbushia makosa ya Zamani. Na anapenda kumpigia simu mpnz wake mara kwa mara, kwa siku anaweza kupiga siku hata mara Kumi. 15. *Sudi*-Ana upendo wa dhati ila tatizo lake akiachana na mwanamke lazima akatangaze madhaifu yake kwa watu 16. *Emmanuel*-Mpole ila ana tabia za ubinafsi akikosea hapendi kuomba msamaha 17. *Gerald*-Anapenda Sifa za kijinga 18. *Adolf*-Hajui mwanamke mwenye sifa gani anamtaka 19. *Abel*-Kila kitu anakijua yeye, hapendi kuelekezwa 20. *Obeid*-Msiri sana, hapendi kumwambia mpenzi wake mambo yake ya Kimaendeleo 21. *Othuman*- Mpole ila siku akikasirika mbingu itapasuka 22. *Nelson*- ana Mbwembwe sana ila hajui Mapenzi 23. *Paul*-Anapenda kutoa ahadi zisizokamilika 24. *Habibu*-Maneno mengi 25. *Ally*-Ana tabia za Kiswahili sana na anapenda kumlinganisha mpenz wake wa sasa na wa zamani 26. *Felix*- Mtulivu lakini ana majivuno 27. *Ramadhani*-Mchafu mpaka Chumbani kwake 28. *Raphael*-Ana kibuli cha asili, anapenda kubishana hata kwa kitu kidogo 29. *Hassan*-Mtaratibu, anaweza kuachana na mwanamke bila hata kumwambia 30. *Adam*-Ni mcheshi mbele za watu ila akiwa na mpenzi wake ana nuna bila sababu 31. *Erick*-Kila mkikutana anataka mfanye mapenzi, Mlevi na anapenda kutongoza shemeji zake 32. *Wilson*-Anapenda kusikilizwa yeye tu. 33. *Andrew*-mwaminifu sana ila akikuchoka utajuta kumfahamu 34. *Hamis*-Anapenda Ugomvi wakati mwengine bila sababu 35. *Derick*-Ni zuzu na anapenda sifa sana akiona watu 36. *Shedrack*-Hawezi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi 3 37. *Isaac* Hajivunii mwanamke aliyenae 38. *Mudi*-Ana maneno matamu ila nyuma ya pazia ana michepuko kibao 39. *Ibrahim*- Ana hasira za karibu ila akipewa penzi tu hasira zote zinakwisha anaanza kujichekesha chekesha. 40. *Juma*-Haishiwi sababu na hakuna swali analokosa jibu.. Ni mjanja sana. 41. *James*-Hamjali mpenzi wake kwa lolote 42. *Ben*-Mlevi na mpenda Sifa ila kitandani yuko vzr 43. *George*-Anapenda kuabudiwa hapendi kukosolewa 44. *Deo*-Kila mwanamke anamuahidi atamuoa 45. *Joachim*-Ana maneno mengi ila sio mtekelezaji 46. *Samwel*-Hawezi kukuruhusu kwenda kwake bila taarifa 47. *Cloud *-Anapenda rafiki na ndugu zake kuliko mpenzi wake 48. *Daniel*-Anaonyesha upendo siku tu akipewa pesa au mapenzi au kitu chenye thamani 49. *Barick Na Baraka*-Ni mrahisi kuahidi kitu hata kama hana uwezo nacho 50. *Nick*-Hapendi kuzungumza vitu vya maendeleo, yeye ni fashion tu, hela yake inaishia kwenye kununua nguo 51. *Augustine* mtaalamu sana 52. *Marcus* mwandishi wa habari za uongo na kweli

at 2:25 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top