SUBIRA YANGU SEHEMU YA 26
“Joshua ni mara ngapi nakwambia nakupenda lakini hunielewi jamani nimejotolea kwaajili yako mbona na mimi hutaki nisaidia”clara valiongea huku akitoa machozi
Clara si unajua nina mchumba lakini?”Joshua alimwambia huku akijaribu kuinuka
Najua ila hawezi kujua plz Joshua nipe kidogo mwenzio sijawahi kufurahia mapenzi kabisa”clara alimwambia Joshua huku mkono wake ukianza kutalii kwenye suruali ya Joshua na kumfanya Joshua asisimke wakaanza kupeana kiss taratibu huku clara akivua nguo zake na kumlaza Joshua ili amvua nayeye suruali yake kwani clara tayari alionekana kuzidiwa kabisa….
Clara alikua uchi wa mnyama Joshua alibaki anamkodolea macho kwani aliumbika sana na kufanya mashine yake isimame wima kwa uchu wa mapenzi, clara aliendelea kumpapasa Joshua na kupeana mabusu moto moto, jambo lililozidi kumpagawisha Joshua na kusahau kama ni mume wa mtu mtarajiwa, mikono ya Joshua tayari ilikua kiunoni mwa clara ikitalii taratibu huku ikichezea cheni aliyovaa na kuzidi kumchanganya kabisa
Clara alianza kumvua suruali ili amuoneshe maujanja yake maana alikua na hamu sana lakini alivokua anamfungua zipu Joshua alishituka na kumsukumiza clara kama mtu alietoka ndotoni
“Noo clara siwezi kufanya hivi..nampenda mke wangu sana siwezi msaliti” Joshua aliinuka huku akifunga zipu na kujiandaa kuondoka
“Joshua kwaiyo unaniacha hivi hivi jamani mbona huna uruma bora usingekubali tushikana sasa maana ndo umenimaliza kabisa” clara aliongea kwa huzuni huku akilegeza macho
“Samahani ni shetani tu nahisi alikua ananijaribu..sipo tayari nitakua niemkosea sana love” Joshua alimwamba clara
“Mbona hata yeye alikukosea sana kwa kutembea na frenk?” clara alimwambia joshua
“Najua lakini hakufanya kwa kusudi” Joshua alimjibu na kutoka chumbani lakinclara alimvuta tena
“Noo Joshua kwani ukinipa kidogo nani atajua?”clara aliendelea kumshawishi Joshua wafanye mapenzi
Mungu atajua maana yeye hafichwi kitu then ntakua nimevuja ahadi yangu kwa love’’joshua alizidi kumkazia clara
“Joshua nakuomba kidogo tu wala sitakusumbua tna heu kua na huruma jamani unaniachaje hivi” clara aliongea kwa machozi
“Am sorry clara I cant do this” oshua aliondoka na kufunga mlango huku akitafuta boda boda imrudishe kwenye party, baada ya nusu saa alifika na kuukta watu wanaanza kuondoka,akanza kumtafuta love lakini hakumuona,akaingia ndani na kumkuta love yuko chumbani akijiandaa kulalaa
Mmh mume wangu mbona umechelewa sana?” nilimuuliza
“Aah amenipa shida sana alianza kutapika yani nikaanza kumpikia supu”Joshua aliongea kwa wasi wasi
“Mmh supu tena?”niliguna
“Ndiyo ndo memsaidia”Joshua aliongea kwa woga flani
“Mbona mdomo wako una lipstick?”nilimuuliza na kumfuta huku nikimuonesha rangi ya mdomo
“Aah hata sijui nimetoa wapi mke wangu’’ Joshua alijibu huku akjifuta
“Joshua?...usinitanie wewe na clara kuna nini kinaendelea?”nilimuuliza kwa hasira
Hamna kitu mke wangu niamini mama”Joshua alijitetea huku nikiwa na wasi wasi moyoni
“Toka nje nataka kulala” nilimfukuza Joshua kwani niliumia sana moyo wangu
“Mke wangu sasa umekasirika nini jamani..nakupenda love na sijawahi kukusaliti hata siku moja naomba uniamni”Joshua alijitetea
“Joshua nimesema nenda nahitaji kupumzika huelewi?” bado niliendelea kufoka kwa hasira na kufanya Joshua atke kwa unyonge chumbani…
Niliumia sana moyo wangu na kulia kwa uchungu kwani nilijua tu Joshua ameshanisaliti kwa clara kwani walivoondoka ale hadi kuchelewa kurudi nilipata mashaka sana
Asubuhi niliamka na kufanya usafi kama kawaida Joshua alinipigia lakni sikutaka kupokea kwani bado moyo angu ulikua na uchungu kidogo akaja clara nilitamani nimpige lakni nikajizuia na kumkaribisha
“Love mama naomba unisamee kama nimekuumiza moyo wako ila kaa ukijua mim na joshua hatujafanya chochote kibaya kwani Joshua ni mwanaume mwenye msimamo sana na anakupenda wewe sana..ni kweli nilitamani Joshua awe wangu lakin alivonambia anakupenda wewe na hawezi kukusaliti” clara alinambia kwa upole
“Ndo mlivopanga uongo wenu mje mnidanganye sio?”nilimuuilza
“Hapana mamy mim siwezi kukudanganya ata siku moja” clara alinijibu
“Na ile lipstick yako ilikua ina fanya nin mdomoni mwake?” nilimuliza
“Jana nililewa mama nikaikuta namlazimisha nimkiss lakin Joshua hakua tayari naomba nisamehee mamy ila jua sijafanya chochote na joshua kwani anakupenda sna” clara alinambia na kuanza kufurahi kuona Joshua hajaweza nisaliti
“Ata ivo mim nimekuja kukuaga naenda marekani kupumzika na sijui kama nitarudi mapema…japo ningependa kuona harusi yako na Joshua” clara alinambia huku nikihuzunika
“Sawa uende salama mwaya” nilimuaga huku tukikumbatiana
“Utaniagia kwa Joshua mamy” clara aliongea na kuondoka zake
Nikakimbia chumbani na kuanza kumtafuta Joshua maana nilimnunia sana…
No comments:
Post a Comment