Wednesday, December 6, 2017

JIMAMA JIRANI SEHEMU YA NANE STORY :🅱🅱🅱🅱🅱🙏🏻 ILIPOISHIA SEHEMU YA SABA : kiasi kwamba alishasema ataki tena mwanaume, “sasa leo imekuwaje mpaka nika mvulia nguo huyu kijana mdogo sana”aliwaza Selina, “itakuwaje watu wakijuwa kuwa nafanya mapenzi na mtoto kama Jastin?” hapo aliona kuna dharau inakuja mbele yake “hapana siwezi lazima kesho nimwambie, itakuwa haibu sana japo amenipa raha ambayo sijawai kuipata, lakini hapana” ENDELEA ... AtiamaeSiku ya pili asubuhi, Jastin aliamka mapema sana, saa kumi nambili na nusu, licha ya kuchelewa kulala usiku akiwaza jinsi alivyoweza kugalagala na yule mmama wa jirani “usiniite mama, niite mpenzi au Selina” baadhi ya maneno ya yule mama yalijirudia kichwani mwake, akakumbuka wakati yule mama akipiga kelele za utamu, “tamu ....tamu sanaaaaa.. mwenzio.. naona ..utamuuuuuu” aliwaza mengi sana usiku adi alipopitiwa nausingizi saa tano usiku, kama kwaida asubuhi ile alianza namazoezi kidogo, kisha akawasha jiko akaliacha likolee, yeye akaanza kufagia, wakati anaendelea kufagia akaona geti la mama wajirani linafunguliwa, hapo aka jiweka sawa kumtazama kule ili aone kitu alicho cheza nacho jana, naam akatoka jimama akiwa mevalia gauni refu sana la brue lililo mkamata vyema mwilini, na viatu vyeupe vya kisigino kirefu, alinyesha kuwa anamtoko, kisha yule mama akarudi ndani, alafu akatoka nagari aina ya escudo nyekundu, akasimamisha na kufunga geti, akaingia kwenye gari, Jastin aliliona gari likiacha njia yakwenda mjini na kuingia pale kwao, kwanza moyo wake ulilipuka kwa shahuku, lakini alipo mtazama mama wa jilani kupitia kioo cha mbele cha gali lake, ile shahuku ikaondoka na kujuwa na wasiwasi, Jastin alilitazama gari la mama huyu likiingia kwenye uwanja wapale kwao, jimama alipofika kwa kina Jastin, akasimamisha gari kisha akashuka, kiukweli alikuwa amependeza sana kwa jinsi alivyo jipodoa, lakini usoni alionekana tofauti na alivyo zowea kumwona akitabasamu “shikamoo” alisalimia Jastin huku akimtazama yule mama kwa umakini sana, maana alionekana tofauti na jana, hakuonyesha tabasamu, wala uso wauchangamfu kama alivyomzowea “marahaba Jastin” aliitikia yule mama akiendelea kuto onyesha kumchangamkia Jastin, kitu kilicho msababishia Jastin aingiwe na wasiwasi, kiasicha mapigo yake ya moyo kuongeza kasi, hapo yule mama aka jikooza kidogo kisha akamtazama Jastin na kumwambia “Jastn nakuomba usikasirike wala kunichukia, kwa nitakayo kuambia” Selina aumama jirani alitulia kidogo akimwangalia Jastin, macho yao yakagongana, jimama akatazama pembeni, akiona ahibu kisha akaendelea, baada ya kuona Jastin ametulia anamsikiliza “kutokana na umri wangu kuwa tofauti sana na wako, naomba tuishie hapa, na shukuru sana kwa jana, lakini sitoweza tena, naomba tu! iwe siri yako, tafadhari usimwabie mtu yoyote kilichotokea jana” aliongea mama jirani kwa sauti ya upole yenye msisitizo, huku macho yake yaking’aa kwa machozi yaliyoanza kumtoka, Jastin hakuwa nalakujibu wala kuongea, akabaki anaitikia kwakichwa akionyesha ameelewa alicho ambiwa, akamwona yule mama akiingia kwenye gari lake nakuondoka kwa kasi sana, hapo Jastin hakuweza tena kuendelea na usafi, akaingia ndani akiwa amekosa amani moyoni mwake, aliwaza mengi sana, huku akivuta kumbu kumbu ya matukio ya jana, akikumbuka sifa alizo pewa na yule mmama, lakini mwisho akakubari matokeo, ***** Siku zilienda, mala wiki ikakatika, toka alipo fanya mapenzi na jimama la jirani, pia ni wiki ya pili toka kaka yake asafiri kwenda congo, katika kipindi chote cha wiki moja, aliweza kumwona jimama mala mbili tu! tena kwa mbari, siku moja alimwona akitoka kazini, na siku nyingine alikuwa anawasindikiza wageni wake, tena siku hiyo ilitokea wakatazamana, kwa bahati mbaya wakagongana macho, akashuhudia yule mama akitabasamu, kisha kuendelea na yake, siku hiliyo fwata alianza kumwona mschana mmoja akitoka nakuingia mlendani kwa jimama, akajuwa ni yule mschana wa kazi amerudi, siku hii ya leo, ndiyo siku ambayo kaka yake Jastin alikuwa amerudi toka safari, alikuwa ameletwa na boda boda, maana alikuwa na mizigo mingi aliyo inunua njiani akiwa safarini, wakati anampokea mizigo toa kwenye bodaboda, akamwona jimama akitoka nyumbani kwake akiwa nawatu wanne, wanaume watatu na mwanamke mmoja, jimama aliwasindikiza kidogo wageni wake, kisha akaanza kurudi, wakati wote Jastin alikuwa akimtazama mama huyu kwa kuibia, akashangaa akimwona yule mama akigeuka na kuwatazama, hapo Jastin akageuka na kutazama pembeni, “jamani majirani amjambo?” wote wali msikia vyema yule mama akiwasalimia kwa uchangamfu, baada yakufika usawawao nakusimama “sisi wazima jirani, sijui wewe” aliitikia Higno kaka yake Jastin, huku akionyesha mshangao “mimi mzima naona mmeadimika sana” alijibu mama jirani huku amesimama kwa mbali “nilisafiri kidogo” alijibu Higno akionyesha wazikuwa anashangaa, kwa yule mama kusalimia kwa fulaha za wazi kiasi hicho, kufikia atua ya kusimama kabisa, maana haikuwai kutokea ata siku moja, “ata huyo mdogo wako nae aonekani siku hizi” alisema yule mama akijichekesha, hapo moyo wa Jastin ulilipuka kwa mshangao “huyu anapenda sana kujifungia ndani, siunajuwa huyu ni mgeni hapa” alijibu Higno pasipo kujuwa kuwa wenzake wanafahamiana kiundani, “haya jamani mchana mwema” walipomaliza kusalimiana, Selina aliingia ndani ya geti, Higno alishangaa sana “yule dada leo ametusalimia kwa uchangamfu sana mh!, siyo kwaida yake” Jastin hapo akuchangia kitu, akabaki na siri yake, japo na yeye alishikwa na mshangao, maana toka siku ile apigwe kibuti, akuwai kusalimiana na huyu mama, zaidi ya kutabasamuliwa siku ile,***** siku zilienda kila mtu akiendelea na shuguli zake, Jastin alishaanza kuchukulia jambo lililotokea ni lakawaida, japo kila akimwona mama jilani ata kwa mbali, maumivu ya moyo yali mrudia, akakosa amani, siku moja likuwa jumapili saa saba mchana, Jastin alikuwa maeneo ya mbezi stend ya kwenda malamba mawili, akitaka kuvuka barabara ili aende stend mpya kupanda magari yaendayo kibamba, akashukie kituo cha makondeko, mkononi alikuwa amebeba mifuko miwili, alikuwa ametoka mbezi kununua maitaji ya nyumbani, Wakati anajiandaa kuvuka barabara akasikia kama kunamtuanamuita “Jastin we Jastin” ilikuwa sauti yakike Jastin akapotezea, akajuwa kutokana nauwingi wawatu pale stend pengine kunaJastin mwingine, hisitoshe yeye nimgeni katika jiji laDar es salaam “we! pastor Jastin” hapo Jastin akajuwa kuwa kweli anaitwa yeye, maana yule mtu alimtaja kwa jina la utani la shuleni, hapo Jastin aka geuka na kumtazama huyo anayemuita “haaa! Eva mambo vipi?” aliongea Jastin akimshangaa binti mmoja mrembo “poa, yani nimekuita ata usikii” Eva na Jastin walisoma wote kidato cha kwanza mpaka channe, walipomaliza awakuonana tena adi leo wanakutana hapa mbezi, Eva alionekana kupendeza sana, walisogea pembeni uswa wa maduka, ambapo kuna magari mengi yalikuwa yame paki pembeni kidogo ya barabara “niambie pastor za masiku?” alisalimia yule mdada mrembo Eva “poa tu! kumbe unakaa huku Dar?” aliongea Jastin huku akiweka mifuko yake chini, ilikupumzisha mikono “ndiyo, wazazi wangu wapo mabibo, mimi nimepanga huko malamba mawili kwa hakimu, nakaa na mume wangu” alijieleza yule dada “he! kwani umeolewa?” aliuliza Jastin kwa mshangao “ndiyo tena nina mtoto mmoja, na juwa wewe pastor bado, tena si umemaliza form six mwaka huu?” waliendelea kuongea waki ulizana, nakusimuliana kuhusu wenzao waliosoma nao wako wapi, wakati wakiendelea kuongea, gafla wakasikia sauti ya mwanamke toka kwenye gari moja nyuma yao “we! Jastin ebu! ingia kwenye gari twende” Jastin akageuka nakutazama sauti ilkotokea alikuwa ni Selina jimama la jirani, akiwa ndani ya gari lake aina yanoah rangi yakijivum alikuwa amekunja sura kwa hasira, iliyomfanya uso wake kuzidi kupendeza, MH! MIMI SIMO CHAKUFANYA ILI UJUWE SABABU ZINAZO MFANYA HUYU MAMA AMWITE KWA HASIRA JASTIN, WAKATI ALISHA MPIGA KIBUTI, WE! ENDELEA KU LIKE KU đź…± JIMAMA JIRANI SEHEMU YA TISA STORY : ILIPOISHIA SEHEMU YA NANE : • wakati wakiendelea kuongea, gafla wakasikia sauti ya mwanamke toka kwenye gari moja nyuma yao “we! Jastin ebu! ingia kwenye gari twende” Jastin akageuka nakutazama sauti ilkotokea alikuwa ni Selina jimama la jirani, akiwa ndani ya gari lake aina yanoah rangi yakijivum alikuwa amekunja sura kwa hasira, iliyomfanya uso wake kuzidi kupendeza, **** kumbe jimama Selina alikuwepo hapo kwamuda wa dakika tano zilizopita, nibada ya kununua vitu flani flani pale dukani, alipomaliza aliingia kwenye gari lake tayari kuondoka, ndipo aliposikia sauti ya kike ikiita Jastin, moyo ukamlipuka kusikia jina hilo, akageuka mala moja na kumwona Jastin huyu huyu anayemfahamu, akiwa na mschana mmoja mrembo, huku wakisogea karibu na gari lake, akuelewa ni kwanini alishikwa na wivu wa ghafla, na kuamua kuwasubiri asikie wanacho ongea, lakini wivu ulizidi kuongezeka, alisikia wanachoongea na awakuzungumza mambo ya mapenzi, waliongea mambo ya kawaida tu, ndipo alipoamua kumwita Jastin aingie garini “shikamoo mama” aliamkia Jastin huku akishangaa, kwani hakutegemea kama jimama angekuwepo pale, pia ule uongeaji wa hasira na amri unatokea wapi, wakati alisha mwambia kuwa mapenzi yao yamekwisha, “marahaba Jastin” aliitikia jimama akiwa bado kakunja uso kwahasira “shikamoo mama” Eva naye alisalimia kwa heshima na adabu, akijuwa yule ni mama mdogo wa Jastin “marahaba hujambo binti” aliitikia mama jirani akilazimisha tabasamu lililogoma kutabasamulika “kwaheri Eva” Jastin alimuaga Eva huku mama jilani akiwasha gari “poa pastor, karibu ofisini kwangu hapo juu stendi ya zamani, kuna stationaly” Jastin aliagana na Eva, huku akichukuwa mizigo yake nakutaka kuingia kwenye gari siti za nyuma “pita huku mbele” aliongea jimama safari hii kwa sauti ya upole, Jastin aliingia mlango wa mbele, safari ikaanza kimya kimya, hakuna ata mmoja alie msemesha mwenzie, zaidi ilisikika sauti y amusic toka kwenye redio ya gari, baada ya mwndo kidogo, wa lobo tatu ya safari yao, mama wa jirani akavunja ukimya, “kwanini yule binti anakuita pastor?” aliuliza Selina akionyesha uso wakawaida tofauti na pale mwanzo “walikuwa wakiniita hivyo shuleni” alijibu Jastin kwa sauti yake ya upole na taratibu “hoo! Walikuita tu! Au kulikuwa na sababu?” hapo Jastin alicheka kidogo, kicheko kilicho muambukiza mama wa jirani, nayeye akacheka “sababu mimi nimpole sana pia walisema sina mwanamke” hapo mama wajirani akacheka zaidi “mh! Siuliwai kuniambia kuwa ulikuwanae shuleni, alafu usini danganye kama ukuwa na mwanamke umejifunzia wapi?” aliuliza jimama huku akijaribu kumtazama Jastin usoni, lakini alishindwa kutokana na kuona aibu kwa swali alilo uliza “ndiyo nilikuwanae, lakini nilikuwa na kutananae kwasiri sana, watu awakufahamu pale shuleni, haya yote nime jifunzia kwako” alijibu Jastin, jibu ambalo lilimfanya jimama kukunja sura kwa wivu, kwa kusimuliwa habari za mwanamke wa Jastin wa zamani, ata yeye mwenyewe alijishangaa kwanini anonawivu kiasikile, lakini ile kauli ya kuw amejifunzia kwake, ilimpa faraja sana, sasa walikuwa wamekaribia kufika mtaani kwao, Selina akasimamisha gari “Jastin naombashukia hapa hapa, kule mtaani wakikuona watatufikilia vibaya” bila kipingamizi wala kuongea chochote Jastin alishuka, akachukua mizigo yake na kafunga mlango wagari “asante kwa lift mama” mama jilani hakujibu itu zaidi, akaondoka zake, hapo Jastin akaanza kutembea kwa miguu akielekea kwao, ***** Siku zilienda ikapita wiki moja nyingine na siku mbili, toka jimama ampe lift Jastn, siku hiyo Jastin alikuwa anatoka kutembea, ni baada ya kukaa nyumbani peke yake kwa muda mrefu, alikuwa mitaa ya makondeko kwenye njia panda ya kwenda mtaani kwao, akiwatayari amesha anza safari ya kuelea kwao, hakuwa ata na pesa ya kupandia boda boda, hivyo alilazimika kutembea kwa mguu, mala akaona gari la mama mama wa jilani escudo, likija nyuma yake, Jastin akawaza kuwa lazima atampita, maana akupenda watu wa mtaani kwao wajuwe kilichotokea kati yao, wakati anawaza hayo likatokea gari lingine aina ya Rav 4L, nakulipita gari la jimama ambalo lilikuwa linatembea taratibu, Rav 4 likasimama karibu ya Jastin, dereva wagari hilo alikuwa ni mwanamke kijana siyo kama mama wa jirani yao “wewe simdogo wake Higno?” aliuliza yule dada mwenye gari, huku jimama akiwapita na gari lake, akawatazama na macho yake ya kagongana na macho ya Jastin, akakunja uso kwa hasira, alionyesha wivu wawazi kabisa, kitendo ambacho Jastin pekee ndie alie kiona na kumshangaza “ndiyo mimi” alijibu Jastin akilitazama gari la mama wa jirani yao likitembea taratibu “ok! ingia nikusogeze, au auendi nyumbani” huyu dada anaishi na mume wake kule mtaani kwao, ambao wanafahamiana na Higno na shemeji yake Jastin, hapo Jastin alipanda gari na safari ikaanza, wakiwa njiani yule dada alimwuliza Jastin kuhusu shemeji yake, ambae ameenda morogoro kujitazamia, waliongea machache, kabla ya kumshusha karibu na kwao, na yule dada akaendelea na safari, Jastin akiwa anajiandaa kufungua mlango akamwona yule mama wa jirani yao, kumbe alikuwa amesimamisha gari usawa wa nyumba yao, mbele kidogo ya pale aliposhushiwa Jastin, mama wa jirani kama aliejiuliza kitu flani kishaakaondoa gari kulekea kwake, Jastin akabaki amedudwaa, akujuwa kilicho sababisha jimama asimame pale karibu na kwao kisha kuondoka zake, Jastin akapotezea akafungua mlango na kuingia ndani, alifanya shuguli zake kisha aka pumzika kwa kujilaza kwenye kochi , dakika chache baadae akapitiwa na usingizi, alilala kwa mda mrefu sana, mpaka alipo stuliwa na muungurumo wa pikipiki (boda boda) akatoka nje kuangalia, alikuwa ni kaka yake Higno, alikuwa anarudi toka kazini uso wake ulionyesha kuwa na furaha sana “shemiji yako amejifunguwa salama, mtoto wakiume” aliongea Higno na wote walishangilia sana, maana alikuwa ni mtoto wake wa kwanza, ndiyo sababu ya kumpeleka mke wake, kujifungulia morogoro, kwa wazazi wa mwanamke “kesho naenda morogoro kumtazama, na zani nitarudi juma mosi” siku hiyo ilikuwa juma nne, Jastin na kaka yake waliongea mengi sana, huku kaka yake akifanya maandalizi ya safari, ***** siku yapili asubui Higno alipiga simu kwa boda boda ije kumchukuwa, mdamfupi baadae boda boda ilimfwata na kuondoka zake kuelekea barabarani kusubiri magari ya morogoro , Jastin aliendelea nashugulizake za kila siku, akiwaza furaha aliyonayo kaka yake yakupata mtoto, maana licha ya ku chelewa kuoa kutokana na safari za mala kwa mala, pia akuwaikupata ata mtoto wa nje, wakati anaendelea kuwaza ili na lile, akastuliwa na sauti yakike “mambo” Jastin aligeuka na kumtazama msalimiaji, alikuwa nimschana wakazi wa mama wa jirani yao Selina “poa vipi?” Jastin alimjibu kwa mkato na kwaile sauti yake ya upole, huku mapigo yake ya moyo yakianza kwenda kasi “kaka yako yupo?” swali hilo lilimstua Jastin “we! wanini?” aliiuliza Jastin akianza kuisi kuna msala unataka kutokea, INA MAANA MAMA WAJIRANI ANATAKA KUKI NUKISHA, AU IWEJE AMUULIZIE KAKA YAKE JASTIN NA TUNAJUWA KUWA HAWANA MAZOWEA? TUINANANE SAA NANE MCHANA KWA SEHEMU YA 10

No comments:

Post a Comment