Saturday, November 25, 2017

SUBIRA YANGU SEHEMU YA 21 . Tulibaki tukiwa tumesimama tu mlangoni huku nikiwa natetemeka wale jamaa hawakua hata wakali ila walimwambia Joshua Tunamhitaji uyo demu sasa ivi” walimwambia Joshua huku mimi nikiwa nimejificha Yuma ya mgongo wa Joshua “Mkamfanye nini?” Joshua aliwauliza “Hayo hayakuusu braza maana ukileta ubishi tunapasua ubongo wako” Yule kaka alimwambia na kumsukumiza Joshua ili waweze kunichukua “Sasa mnampeleka wapi jamani mchumba wangu?” Joshua alihamaki Iyo siyo kazi yako kijana tulia kabisa” wale wakaka walimnyooshea bastola na mmoja akatoka na mimi huku nikishangaa walinzi wakimfunguli vizuri tu bila mshangao wowote Baada mda kidogo wakaja wale jamaa4 wakapanda kwenye gari na kuondoka na mimi “Jamani mnanipeleka wapi?” nilijaribu kuwauliza lakini hakuna alienijibu zaidi ya kuniangalia tu…nilishuudia tukifika kwenye nyumba ambayo sikuijua na kuingia ndani ya geti huku nikishushwa kwenye gari huku wakinifunga kamba na kunitupa kitandani na kunifungia mlango, sikuweza kupata usingizi hata kidogo kwani nililia sana na kutaka kurudi kwa Joshua wangu Joshua aliamua kuwafatilizia kwa nyuma hadi kuona tunapoingia ndipo akajibanza sehemu na kujaribu kulala kwenye gari ili pakuche aweze kunisaidia Siwezi kumwona mke wangu akiumizwa alafu mimi nipo” Joshua alijiongelea mwenyewe Asubuhi na mapema nililetewa chai ninywe lakini nilikataa kwani sikuwa na hamu hata ya kula nilishinda na njaa mpaka mchana nikawa na tapika nyongo tu hadi niliishiwa nguvu, nilianza kumkumbuka Joshua na kutamani aje kuniokoa mikononi mwa hawa watu ambao sikuwafahamu Nikiwa kwenye limbi la mawazo walikuja na kunitoa mule chumbani sikuweza kutembea vizuri kutokana na njaa hadi nikawa naona kizungu zungu, waliniweka kwenye chumba ambacho hakukuwa na kitu zaid ya stuli moja tu na taa kubwa ambayo lileta joto sana ndani… “Kwani mnataka nin jamani kama ni pesa nitawapa yoyte mnayotaka” nilijaribu kuwauliza lakin hawakunijibu hadi nikapatwa na hasira ila baada ya muda kidogo akaja frank akiwa amevalia suti na kofia huku akivuta sigara jambo lililonistua kwani sikutegemea kumwona frenk pale alafu anavuta sigara ‘’Frenk?!” nilimuita kwa mshangao hku akitabasamu na kunambia “Heloo my beautiful wife….”aliniita huku akija na kunikumbatia na kuniongelea masikioni “Nimekumiss sna mke wangu…vipi wewe hujanimis?” aliniuliza kama ananikejeli hivi nikajitoa mwilini mwake na kumsukumiza “Frenk wewe nic shetani sana yani wewe ndo wa kunikodia majambazi mim?!” niliongea kwa jazba huku nguvu zikiendelea kuniisha “Haha hahaaa..love unajua wewe ni mwanamke mpumbavu sana?” fenk alinambia huku akicheka kwa dharau “Mim siyo mpumbavu kama wewe frnk” nilimjibu lakni gafla alinizaba kibao hadi nikapepesuka nikataka kumrudishia lakini alinishika mkono huku akiwa ameukaza na kunifanya nuimie Frnk naumia niachie” nilionge huku nikihisi maumivu Hivi wewe hayo maumivu unayopata yanazidi yangu?” aliniuliza huku akikuna ndita na kunzidi kukaza mkono wangu gafla aliletwa Joshua akiwa amefungwa kamba mkononi na kumtupa kama mzigo Huyu ndiyo aliyekufanya unikimbie kanisani na kunisababishia aibu kwenye familia yangu na hasara kubwa” frank aliendelea kuongea na kunifanya nikae kimya “Nimekufanyia mabo mangapi wewe kahaba usiye na fadhila wewe, huyu si alikukimbia n kukuacha mim nikakuhudumia wee hadi nataka nakuoa ndo anajotokeza” frenk aliendelea kuongea huku macho yangu yakiwa kwa Joshua Frenk sikupendi hata ufanyaje sitakupenda wewe ni Malaya sana unatumia pesa zako kupatia wanawake” nilmwambia kwa hasira na kufanya acheke Hah hah ha sasa nyie makahaba wa chuo si ndo mnapenda pesa?..nimekupa kila kitu kwaajili yako lakini leo ndo fadhila hizi.…hivi unajua wewe bado ni mchumba wangu kisheria ?” frenk aliniuliza Utajua mwenyewe ila sikupendi na sijawahi kukupenda maisha yangu yote” nilimpa jibu frenk lakini lile jib lilimuuliza na kufanya akasirike na kunipiga ngumi ya tumbo nilipata maumivu ambayo sijawahi kupata hadi nikaanguka chini frenk akaanza kunikanyaga kakuzidi kulia kwa maumivu hadi damu zilianza kunitoka sehemu za siri na mdomoni na kuhisi mimba yangu imeharibika “Frenk…unaniuaaa mimi na kiumbe chako tumboni” niliongea kwa tabu sana huku Joshua akijaribu kufurukuta aje kuniokoa lakin alizidiwa nguvu “Wewe Malaya huwezi beba kiumbe changu…mimba siyo yangu hiyo ni ya huyo mpuuzi mwenzio na bora imetoka” frenk aliendelea kufoka huku nikijaribu kumwelewesha lakin hakuelewa “Love umeniumiza sna wewe sasa leo unashuhudia kifo cha mpenzi wako Joshua kwa macho yako” alinambia huku mimi nikiwa bado chini nikendelea kugalagala kwa maumivu “Plza frenk usifanye ivo muache Joshua aende zake hana kosa lolote niue mimi” nilimwambia frenk lakini hakujali na kuamuru Joshua afunguliwe kamba na kuanza kumsulubu kwa mateke na ngumu huku mwili wake ukiwa umeloa damu na kuishiwa nguvu jambo lililoniumiza saana kuona Joshua anapigwa , nilila sna hadi nikaanza kuhisi giza machoni mwangu na baada ya hapo sikuja kinachoendelea tenaaa… SUBIRA YANGU SEHEMU YA 22 Nilikuja kuamka na kujikuta niko hospitali huku kichwa kikiwa kinauma sana nilijaribu kujigeuza sikuweza akaja frenk karibu yangu huku akishika shika nywele zangu jambo lilizodi kunikera nafsi yangu “Pole mke wangu utapona” alinambia huku mimi nikiasirika sana kwa jambo alilofanya “Frenk wewe ni katili sana” nilimjibu kwa sauti ya chini huku akionesha sura ya huzuni “Mke wangu nisamehee sana hasira tu nafanya haya yote kwaajili ya penzi lako” frenk aliongea huku akiendelea kunipapasa mgongoni “Hapana huna mapenzi yoyote kwangu wewe una roho mbaya tena ya kikatili yani unanipenda alafu unaniumiza kiasi hiki hadi kuniulia kiumbe changu ambacho ni damu yako?” nilimwambia frenk huku machozi taratibu yakinitoka Ndomana nakuomba msamaha love wangu maaana nimepima DNA taste nimejua nimeua damu yangu jambo ambalo najutia sana” frenk aliongea kwa huzuni sna huku akinipigia magoti nimsamehe “Frenk sikia nikwambie mimi na wewe basi sikupendi na sitakupenda katika maisha yangu yote kaa ujue” nilimjibu na kumfanya frenk ainuke kwa hasira na kuniangalia huku nikiogopa jinsi alivyo na hasira “Love usinichezee akili yangu nitakuchinja” alinambia huku akininyooshe kidole “Sasa mi sikupendi unalazimisha nini mimi nampenda Joshua ndo mwanaume naempenda kutoka moyoni” nilimjibu frenk kwa ujasiri lakini aliposikia jibu lile alicheka kwa sauti ya dharau “Mmh pole sna…Joshua hatupo nae tena labda ukampende kaburini” frenk aliongea kwa kujiamini na kunifanya nishituke kwa mshituko mkubwa “What?...siamini nachokisikia” nilimjibu huku moyo wangu ukuienda mbio na machozi tayari yakilowanisha mashavu yangu Huamini?...ntakuppeleka tulipomfukia”frenk alinambia huku akinipa hasira na kumzaba kibao cha nguvu hata izo nguvu sijui zilitoka wapi Hivi wewe ni binadamu kweli” nilimuuliza huku nikiendelea kulia kwa uchungu moyoni mwangu “Ha ha ha ha love ur mine alone not one can take u away from me(love wewe ni wangu peke yangu hakuna yoyote anaeweza kuniitenganisha nami) frenk alinambia huku akicheka kitendo kilichozidi kuniumiza moyo wang Gafla aliingia mama na mama yake Joshua huku nyuso zao zikionekana zenye huzuni sana, mama alikuja kwangu na kunikumbatia kwa furaha huku akilia na kunifanya mimi pia kutoa machozi pia “Mwanangu!” mama aliniita na kuzidi kunikumbatia “Mama…” na mimi nilimuita wa furaha kwani nilim miss sana ‘’Pole mwanangu kwa yaliyokusibu tunamshukuru frenk kwa kukuleta hapa hospital” mama aliongea na kunifanya nishituke kwa maneno yake na kumgeukia frenk huku frenk akijifanya mwema huku ukweli nikujua mimi mwenyewe “Mama Joshua yuko wapi?” nilimuuliza mama na kumfanya mama amwangalie mama yake na joshua huku wakikosa jibu, ndipo mama yake na joshua akaja karibu yangu huku machozi yakimtoka na kunifanya nizidi kupata wasi wasi “Mwanangu Joshua amefariki wiki sasa tangu upoteze fahamu” mama alinambia na kunifanya nianze kulia upya tena kwa sauti huku nikimlliza mama yake na Joshua, ikawa simanzi tena mule wodini huku frenk akiwa kimya tu na kutoka nje, nilipata uchungu sana nililia sana kumpoteza Joshua mwanaume niliempenda kuliko chochote duniani “Mama kwanini Joshua ameniacha peke yangu, ntaishi vipi mimi?” nilimwambia mama huku nikiendelela kulia huku mama zangu wakipata kazi ya ziada ya kunibembeleza upya “Hatuna jinsi mwanangu, majambazi waliokuteka wewe ndo walimuua Joshua na kumfukia Joshua” mama alinisimulia na kufanya moyo wangu uzidi kumchukia frenk “Mama frenk ndo mhusika wa kila kitu yeyendo aliniteka na kunifanyia haya yote na kumuua Joshua” nilimsimulia mama kila kitu na kumfanya mama na mama yake Joshua kutoamini kilichotokea “Unasema kweli?” mama yake na joshua alinambia huku wakizidi kushangaa kwa kitendo kile Mama frenk ni katili siyo mtu kabisa nawaambia kaua kiumbe chake mwenyewe” niliwaambia huku wakizidi kustaajabu “Kumbe frenk ni mshenzi hivi lazima tumfungulie kesi ya mauaji na utekaji” mama alitoa wazo “Ila saivi tusimjulishe chochote fanyeni kama hamjui kinachoendelela ili iwe rahisi kumtia mikononi” niliwaambia na kukubaliana mpango wetu nilipata nafuu huku frenk akiwa karibu sana na mimi huku afya yangu ikizidi kuimarika na kuomba nipelekwe kwenye kaburi la mpenzi wangu Joshua, tulienda na kuona kaburi la Joshua huku nikiwa siamni nachokiona na kuhisi labda naota nililia sana na kuona sina maana ya kuishi duniani bora na mimi nife tu “Mwanangu twende usilie sana unakufuru MUNGU” mama alijaribu kuniinua pale kwenye kaburi la Joshua na kurudi nyumbani huku moyo wangu ukiwa bado hauamini kwamba Joshua sitamuona tena Mama baba atarudi lini? Nimemkumbuka sana “Atarudi nahisi mwez wa sita hivi ila wifi yako na kaka yako wanakuja leo kukuona” mama alinijibu huku akiniletea chakula lakini sikuweza kula kabisaa kwa mawazo “Mwanangu usipokula utapataje nguvu nab ado hujapona vizuri?” mama alijaribu kunilazimisha nile lakini nilishindwa kabisa , baada ya muda alikuja kaa na wifi huku wakiniletea zawadi nyingi sana, nilifurahi sna kumuona kaka na wifi kwani ni kitambo sna hatukuonana “Pole sana mdogo wangu” kaka alinikumbatia na kunipa pole huku nikianza kulia upya Nae glory alikuja kunikumbatia hkuk akijaribu kunipa faraja “Pole wifi yangu haya ni mapito tu MUNGU atakusaidia” glory alinipa faraja na kujihisi nafuu moyoni mwangu Tulikaa na kupanga mikakati ya kumkamata frenk na kumfungulia kesi ya mauaji, hatimae frenk alikamatwa na kuwekwa ndani ila ulihitajika ushahidi wa kuweza kumtia hatiani frenk tulifanya kila juhudi ili frenk aweze kutiwa hatiani Glory alinitembeza sehemu mbali mbali kunifanya nitoe mawazo, nilkawa na punga upepo huku nikijaribu kula matunda akaja mkaka karibu yangu akiwa amevaa miwani na kunisalimia “Mambo love?” akanisalimia hku akionesha kunijua Nilimgekia na kumtizama “poa karibu” nilimjibu huku akivua miwani yake na kunifanya nimwangalie tena sikuamini macho yangu “JOSHUA?!!”…niliita na kufanya nitake kukimbia kwa hofu….ITAENDELEA SUBIRA YANGU SEHEMU YA 23 Joshua alinizuia ili nisikimbie wala kupiga kelele maana nilikua kama nimepata kiwewe cha kumuona akiwa hai wakati mi najua alishakufa “Love mke wangu usinikimbie mimi sijafa nitakuadisia kila kitu sawa?” Joshua aliongea huku akiendelea kunishikilia kwani bado nilikua naogopa huku nikimshangaa tu Joshua ni wewe kweli?” niliongea kwa mshangao huku nikijaribu kumpapasa mwili wake kuhakikisha Ni mimi wala huoti wala nini twende mahali tukaongee kwanza Joshua alinambia huku akinivuta na kutafuta mahali pa kukaa huku nikiwa na shauku ya kujua nini nimempata “Love unakumbuka ile siku tuliyotekwa na kupigwa?” Joshua aliniuliza “Ndiyo nakumbuka”nilimjibu huku nikiwa bado na shauku ya kutaka kujua Wewe ulipoteza fahamu na mim nilipigwa sana na kupoteza fahamu, nilifukiwa kwenye shimo lakini kuna dada mmoja aliona tukio zima ndiye alieokoa maisha yangu” Joshua alinambia na kufanya nistaajabu saana “Yule dada ameniuguza mpaka nimepona na hai leo naishi kwake” Joshua alinambia huku nikifurahi kumuona tena kipenzi change machoni mwangu nilijikuta nashindwa kujizuia na kutoa machozi huku nikimkumbatia Joshua kwa furaha kubwa “Nilikumiss sana mpenzi wangu kila siku kwangu ni majonzi na huzuni tu hakuna siku ambayo nilikua na amani,,nashukuru MUNGU tumeonana tena baby” “Hata mimi nilikumiss nilitamani siku nije lakin Yule dada alinizuia kwaajili ya usalama wangu kwani yeye ni mwandishi wa habari mkubwa sana hapa Tanzania” Joshua alinambia huku bado tukiwa tumekumbatiana “Itabidi niende kumshukuru kwa kuokoa maisha yako baby’’ nilimjulisha huku nikimuadisia habari za frenk kuwa yuko mahabusu kwani bado ushahidi haujitoshelezi kumtiah hatiani na mwanasheria wake ana nguvu sana” nilimudisia Joshua na kunambia “Usijali lazima atiwe hatiani” Joshua aliongea kwa kujiamini sana “Kivipi baby” nilimuuliza “Usijali ngoja utaona anavoozea jela” Joshua alinambia huku akiniinua na kuelekea kwa glory “Sasa baby wewe jifiche maana watu wanajua umekufa eti” nilimwambia Joshua na kufanya abaki nyuma akinisubiri “Nilienda hadi kwa glory na kuonekana ni mtu mwenye furaha sana hadi akashangaa “Vipi wifi mbona umefurahi gafla?” glory aliniuliza huku akinisogelea, nikamnong’oneza “Joshua hajafa yuko hai” nilimuambia na kumfanya ashituke “Wewe siamini kiaje yani?” glory nae alihamaki “We acha tu wifi nina furaha ya ajabu” nilimjibu hku nikimwita Joshua aje mbele ya glory,,glory hakuamini nae alibaki ameshangaa tu “Ntakuadisia kila kitu ila sasaivi kuna sehemu naenda na Joshua ila usiwaambie kitu nyumbani sawa?” nilimwambia wifi huku tukiondoka kuelekea kwa huyo dada aliemsaidia Joshua Haikuupita mda tulifika anapoishi Yule dada na kuingia ndani huku akitukaribisha vizuri “Karibu Joshua naona umekuja na mgeni leo?” Yule dada aliongea kwa tabasamu “Ndiyo dada huyu ndo Yule mchumba wangu niliekusimuliaga anaitwa love” Joshua alimwambia Yule dada na kuinuka kuja kunisalimia huku akinipa mkono na kutabasamu Hongera sana love, una bahati sana kupata mwanaume kama Joshua you should proud of your self” Yule dada alinambia huku akitabasamu na kunifanya nijione mwenye bahati sana Ahsante dada na mimi nakushukuru sana kunitunzia kipenzi change, sijui nikupe nini dada”nilimwambia huku akizidi kutabasamu na kunambia “Usijali ni mambo ya kawaida tu binadamu kusaidiana”Yule dada alinambia “Lakini baby jina hujanitambulisha” nilimwambia Joshua huku nikitabasam “Anaitwa clara” Joshua alinambia huku tukianza kupiga story na kujadili jinsi ya kumtia hatiani frank Yule dada alituambia “Mimi nina video camera nilichukua tukio zima so msijali ushaidi upo” alituambia na kuinuka mwenda chumbani kuleta CD iliyoonesha frenk na wale vijana wakifanya zoez la kutaka kumuua Joshua kwa kumfukia chini “Dada clara sijui nikupe nin yani umekua msaada sana kwenye maisha yangu” Joshua aliongea na kumfanya clara atabasamu “Usijali Joshua nimejisikia kukusaidia tu “ clara alijibu na kuzidi kunipa furaha moyoni mwangu Basi tulimuaga na safari ya kurudi nyumbani ikianza hkuk kila mmmoja wetu akiwa mwenye furaha sana, tulifika nyumbani na mimi nilianza kuingia ndani na kumkuta mama Joshua wakipiga story na mama niliwaamkia na kumwaambia “Nina surprise yenu leo” nilimwaambia huku nikitabsamu “Ehe surprise gani maana mgonjwa leo umechangamka balaa” mama yake na Joshua alinambia, nilifunuga mlango na kumruhusu Joshua aingie ndani….. ✍🏽✍🏽✍🏽 Team Brayton

No comments:

Post a Comment