Friday, November 24, 2017

SUBIRA YANGU SEHEMU YA 18 niliiamua kuchukua usafiri wa boda boda kwani niliona ndo itakuwa rahisi mimi kuondoka haraka eneo lile na gari niliacha gari yangu saluni, nilimwambia dereva anipeleke masaki haraka sana nilifika huku tayari simu nikiwa nimeshzima kuepusha usumbufu, niligonga geti na kuingia moja kwa moja ndani na kumkuta mama akila chakula cha mchana lakini alikua maeshavaa vizuri nikahisi nayeye anaenda kwenye harusi yangu “shikamoo mama” nilimuamkia mama huku nikiwa nahema kweli kweli, mama alionesha mshituko kwani hakutegema kuniona pale mda ule “Marhaba vipi si unatakakiwa uwe kanisani vipi?” mama aliniuliza huku akiacha kuendelea kula “Mama Joshua yuko wapi?” nilimuuliza huku nikikwepa swali lake “Love hebu subiri mda huu si unatakiwa uwe kanisani na mimi ndo najiandaa hapa sasa sielewi navokuona hapa” mama bado alizidi kunihoji “Mama mi nampenda Joshua siwezi kuolewa na frank mama,,Joshua yuko wapi mama” nilimjibu huku nikiwa na haraka ya kujua Joshua alipo “Mmh sasa mwanagu Joshua hayupo yani kama mmepishana kama dakika30 hivi” mama alinijibu “Basi mi nitamsubiri hapa hapa haina shida ” nilimjibu na kuketi “Mmh mwanangu Joshua harudi tena” mama alinijibu na kunifanya niinuke haraka kwenye kochi huku moyo wangu ukifa ganzi Anaenda wapi wapi?” nilimuuliza huku moyo ukienda mbio na kujikuta machozi yananilenga lenga “Anaenda marekani kuanza upya maisha yake baada yaw ewe kumkataa na kuamua kuolewa na joshua” mama alinijibu huku nikiwa siamini ninacho kisikia “Mama kweli?” nilimuuliza tena mama kwa huzuni “Ndiyo ila unaweza kumuwahi, nenda airport ila sijui kama utawahi maana anaondoka na ndege ya saa9” mama alinambia huku akinionea huruma “Hebu mpigie basi mama kwanza”nilimwomba mama ampigie Joshua huku nikicheki saa ilikua ni saa nane na nusu Mama alipiga bila mafanikio simu haikuwa ikipokelewa tena, nikatoka mbio na kutafuta boda boda tena aniwahishe airport huku matumaini ya kumpata Joshua yakiwa asilimia chache sana……. Kwa upande wa saluni kulizuka taharuki baada ya mama na msimamizi kunitafuta kila mahali bila mafanikio na muda ulikua umeshaenda kwani frank alikua ashasubiri kanisani mpaka basi Jamani sasa uyu mtoto atakua wapi mbona anataka kunitia aibu mimi, simu nayo kazima ” mama aliongea huku jasho jingi likiwa linamtoka mara frank akawa anapiga simu kwa mama tena “Mama vipi mbona hamfiki jamani padre ana ratiba zake tunamchelewesha mnajiremba masaa?”frank aliongea huku akiwa amekasirika “Tunakuja mwanangu sasa ivi” mama alimpa moyo frenk bila kujua mimi sipo Hapa inabidi twende kanisani tukaseme kuna emergency sina jinsi”mama aliwashauri ndugu huku akifuta jasho na woote wakapanda kwenye gaari kuelekea kanisani…walivofika vigelegele vilitawala na kumfanya frenk aanze kutabasamu lakini mama hakuonesha furaha alijawa huzuni sana “Vipi mama mbona love hashuki kwenye gari tuanze ibada?” frenk alimuuliza mama “Mwanangu samahani sana kuna tatizo” mama alimwambia frenk na kumfanya ashituke “Tatizo gani” frenk aliuliza kwa shauku kutaka kujua Love ametoroka tumemtafuta sana bila mafanikio na simu kazima shela katupa chooni Whaaat?....frank alishuka mpaka akkanguka chini na kuzimia, ikawa taharuki tena kwa ndugu na jamaaa huku wakishangaa nini kimempata bwana harusi, wakambeba na kumkimbiza hospitali na kuwekewa dripu huku arusi ikiwa haipo tena ……. Kwa upande wangu nilijaribu kumwambia afanye haraka kwani nilibaki na dakika 15 tu huku moyo ukienda mbio hatari nilitamani nipae kwani dereva niliona anachelewa , hatimae nilifika airport huku nikitoka mbio kuelekea kwa wageni wanaosubiri kuondoka na ndege ya saa9 nachek saa ilibaki dakika3 Nilisindwa nianzie wapi maana watu ni wengi na wengi wapo kwenye foleni ya kuelekea airport kwenye kupandia ndege nikaamua kuita tu kwa sauti “JOSHUUA PLZ USIONDOKE BADO NAKUPENDA” niliongea kwa sauti hadi watu woote wakawa wananishangaa wakajua labda nimechanganyikiwa mimi sikujali niliendelea kuita huku nalia tu nakungoja labda Joshua atatokea lakini hakutokea mpaka watu woote wasafiri wakapanda ndege na kushuhudia ndege iyo taratibu ikiacha ardhi nilijikuta nakaa chini huku nalia kwa uchungu sana Why me love?...i lost everything,no frenk no Joshua, no one is by my side(kwanini mimi love nimepoteza kila kitu hakuna frenk,hakuna Joshua hakuna alie upande wangu)..niliongea huku naendelea kulia bila kunyamaza “Love!” niliitwa jina langu huku nikishikwa began a kunifanya nigeuke haraka, sikuamini kumuona Joshua mbele yangu na mabegi yake,hata sijui nguvu nilitoa wapi na kujikuta nimesimama na kuanza kumwangalia Joshua mara mbili mbili ndo yeye au naota …nilimvamia kwa spidi na kumkumbatia kwa nguvu zangu zote huku nikilia kwa furaha nae Joshua alikua anatoa machozi “Siamini macho yangu” nilimwambia Joshua huku bado tukiwa tumekumbatiana na kufanya kila mtu atushangae “Ndo mimi mke wangu” Joshua alinijibu huku akizidi kunikumbatia sana “Pls Joshua don’t live me I still love u so much(nakuomba Joshua usiniache bado nakupenda sana)” “Siwezi kukuacha mpenzi ndo mana sijaenda popote na niko hapa na wewe mda huu” alinijibu huku akitabasamu..tukawa tunatoka kuelekea nje na kuanza kumuuliza imekuaje hadi hujasafiri?” nilimuuliza na kutaka kujua “Nilikusikia unavoongea pale nikatoka kwenye mstari na kubaki pembeni japo sijaamini nilichokisikia” “Daah baby nilijua ndo umeshaniacha nimeumia sana jamani nilijua sitakuona tena sijui ingekuaje maisha bila wewe” nilimwambia kwa huzuni “Love nakupenda sna mke wangu ila sijajua leo si ndo harusi yako imekuje?” Joshua aliniuliza “Nitakuadisia kila kitu twende kigamboni hoteli tukaongee kila kitu mpenzi ila nataka tuhame nchi tukaishi mbali kabisa” nilimwambia Joshua na kufanya asiamini kile anachokiona…………..ITAENDELEA SUBIRA YANGU SEHEMU YA 19 Tulichukua taxi mpaka kigamboni huku kila saa Joshua akiniangalia usoni mwangu na kua mwingi wa furaha “Vipi baby mbona unaniangalia sana?” nilimuuliza Joshua baada ya kuona ananiangalia “Hamna beby nafurahia uwepo wako maana mpaka sasa nahisi naota” Joshua aliongea akinivuta karibu na kumfanyia nimlalie kifuani mwake huku kila mmoja akionesha furaha moyoni mwake Tulifika hotelini hapo nakulipia kila kitu tukachukua room na kuingia ndani “Baby tukaoge kwanza alafu tule maana mi tangu asubuhi niko saluni sijatia kitu mdomoni” nilimwambia Joshua huku tukivua nguo na kwenda kuoga, tulipomaloza tukaagiza chakula na kula baada ya hapo tukajipumzisha kitandani “Haya niambie love ilikuaje hadi kukimbilia airport badala ya kuolewa na frank?” Joshua alikua na shauku ya kutaka kujua kilichotokea Niliamua kumwelezea kila kitu na kumfanya ashangae sana “Mmh love wewe ni jasiri sana” Joshua alinipongeza “Kwanini baby unasema ivo?” nilimuuliza Kufanya mchezo kama huu mgumu wa kumwacha frenk kanisani?” Joshua alinambia “Joshua nakupenda sana wewe ndo mwanaume ulienifundisha nin maana ya mapenzi japo ulikua mbali na mimi na nimejua kua nilikukosea kwa kufanya uamuzi wa haraka kua na frank bila kumfahamu vizuri kumbe hajatulia anapenda wanawake” nilimwambia Joshua huku nikimtizama “Najua ulifanya vile kwani najua hukua na matumaini ya mimi kurudi, ila sikulaumu wewe ni binadamu si malaika”Joshua alionesha kunielewa “Kwaiyo baby nawewe hukunisaliti uko uko kwa wazungu?”nilimuuliza huku nikimpapasa mgongoni “Hapana mke wangu sijawahi kukusaliti ata siku moja apa nilipo na hamu sana na wewe” Joshua aliongea hukuakiendelea kutalii mwili mwili wangu “Mmh beby kweli usemayo au unanidanganya?” nilimwambia huku nikimwangalia usoni “Niamni mpenzi siwezi mimi date na wazungu” alinambia huku akinivua nguo taratibu “Mmh taratibu beby” nilimwambia Joshua maana alinivua nguo haraka haraka “Tulia beby leo ndo utaona jinsi nilivyokumis” Joshua alinambia huku akinipapasa kwenye maungo yangu ya mwili huku midomo yetu ikikutana na kupeana romance matata sana nilisisismka sana “Mmh baby naona mwili wako una motoo kama mgonjwa vile” Joshua alinambia huku akiendelea kuninyonya shingoni taratibu huku akiamia kifuani mwangu na kuzinyonya chuchu zangu lakini nilihisi maumivu flani na kumwambia asiendelee kunyonya akaamia kiunoni na mapajani na kupata msisimko wa ajabu “Mmh…baby..nakupenda..”niliongea na sauti ya kukwama kwama kwani nilikua sijielewi baada ya kuona nipo tayari kwa mchezo akaniweka vizuri ili aanze kunipa mashuti ya haraka haraka tena kwa spidi na kunifanya niheme kama mwanariadha Alinipa style ambazo mimi sijawahi kuzifanya na kupata raha zaidi hadi nikaanza kutoa machozi hata sijui yalitoka wapi mda ule…tukamaliza round zetu tatu mim nilikua hoi sana lakini Joshua bado alionekana yuko fiti “Mmh baby utaniua mwenzio” nilimwambia kwa uvivu sana “Mbona bado sana baby nahamu sana na wewe yani” alinambia huku akinibeba kuelekea bafuni na kuniogesha ili nichangamke tuendelee na mchezo wetu….nikaanza kumnyonya koki yake taratibu huku nikimuangalia na kuona anavosikia raha baada ya kumaliza nikamlaza kitandani na kumkalia kwa juu huku nikimpapasa kifua chake na kunyonya ndimi zake huku mkono ukiwa sehemu nyeti baada ya kuona yuko tayari nikaiweka koki vizuri na kuikalia na kuanza kucheza sindimba la maana huku Joshua akiwa ameshika kiuno chako jambo lilizidi kunipa raha za ajabu na kujikuta tukifunga goli kwa haraka zaidi….. Nilimaliza na kujitupa kitandani na kupumzika ila Joshua aliniuliza “Love una mimba?” Joshua aliniuliza swali lilinishitua moyo wangu “Mimba?...sina mimba mimi kwanini umeuliza?” nilimuuliza “Naona changes nyingi sana kwenye mwili wako baby hata the way tulivokua tuna sex nimeona kabisaa wewe ni mjamzito” Joshua aliongea kwa kujiamni kabisa utadhani amenipima “Baby bwana sina mimba” nilimjibu Joshua huku nikaanza kuona kihefu chefu cha gafla na kuinuka na kukimbilia chooni kutapika, nilitapika sana hadi nikaishiwa nguvu kabisa, ila Joshua alikuja kuniangalia na kunibeba na kuniweka kitandani “Baby nasikia vibay,a kizunguzungu nahisi ” nilimwambia huku nikiwa nimeshika kichwa “Ngoja nikutafutie dawa kwanza alafu kesh o twende hospitali” Joshua alinambia huku akiinuka na kwenda famacy huku akiniacha na mawazo mengi sana Kwa upande wa hospitali frank aliamka na kuanza kushangaa mazingira aliyokuepo “Niko wapi hapa jamani…’’ aliuliza ndugu zake “Upo hospitali ulizimia jana kanisani” walimjibu huku wakimwambia aendelee kupumzika “Namtaka love wangu jamani yuko wapi mke wangu naomba nimuone” frenk aliongea huku akitaka kuua nilipo “Atakuja usijali mwanangu” mama ake alimjibu Hapana mwiteni saivi namtaka nimuone plz alionge hukuakilia akiinuka na kutaka kuondoka wodini SUBIRA YANGU SEHEMU YA 20 Frank aliendelea kuleta ubishi pale wodini hadi akachomwa sindano ya usingizi akalala, kila mtu alikua anamuonea huruma sana kwa kitendo kilichotokea siku ya ndoa Kwa upande wangu Joshua alinishauri twende hospitali japo alijua tu nina mimba “Sasa mke wangu fanya twende hospitali sawa mama?” Joshua alinibembeleza huku akininyanyua ili nijiandae , tukiwa tunajiandaa simu ya Joshua iliita na kucheki alikua ni mama ake “Haloo mwanangu vipi kwema uko?” mama yake alimuuliza huku nikitega sikio vizuri kusikiliza Kwema mama nimekumiss sana” Joshua alimjibu mama yake hku akitabasamu “Wewe unajua yaliyomkuta love?” mama alimuuliza Joshua kwani alikua hajui kinachoendelea Imekuaje?” Joshua nae alimdadisi mama yake “Kakimbia kanisani akaja kukuulizia nikamwambia ukweli basi akaamua kukufata airport lakini mpaka leo hajulikani alipo na mume yuko hospitali alizimia” mma alimuadisia Joshua kila kitu lakini Joshua alifahamu yote hayo ila habari za frenk ndo alikua hajui “Sasa nin kinaendelea?”Joshua alimuuliza mama yake ‘’wameripoti polisi na juhudi za kumtafuta zimeanza” mama yake alimjibu “Mama hivi nikikwambia nipo na love utaamini?”Joshua alimuuliza mama yake na kufanya nishituke kwani sikutaka ajue mtu yoyote ata mama yake “Wee nini?...kivipi uko nae?” mamayake nae alioneshaa kushituka sana “Ndiyo na tupo Tanzania ila tunafanya mpango tuondoke Tanzania mda si mrefu ila mama usimwambie mtu yoyote nakuomba sana mama”Joshua alimsihi mama yake kwani alimuamini mama yake kuliko mtu yoyote “Mmh mwanangu mi m najua uko marekani basi sawa sitamwambia mtu ila kua makini sna mwanangu sitaki uingie matatizoni” mama alinambia na kuagana na kukata simu huku nikimpa namba ya hotelini ile ya mkononi akaizima Tukaenda hoaspitali na kufanywa vipimo na kugungulika kweli mjamzito kwa mwezi mmoja jambo lililonishitua sana moyo wangu kwani nilijua mwenye mimba ni frank hakuna mwingine lakini Joshua hakuonesha kukasirika alionesha tabasamu “Hongera mpenzi wangu’’ Joshua alinipa hongera na kuzidi kumshangaa huku mimi nikitoa machozi Am sorry joshuasikutegemea jamani” nilimwambia huku nikiendelea kulia Noo mpenzi sasa unalia nini mke wangu wakati mimba ni jambo la heri” Joshua alinambia na kunikumbatia “Usiniache nakuomba mi niko tayari nitoe hii mimba joshua’’ nilimwambia Joshua hku nikiwa sina imani tena “Love hapana hupaswi kuua kiumbe kisicho na hatia mpenzi wangu huwezi jua uyo mtoto atakusaidia vipi badae au atakua nani badae mi nipo tayari kulea mimba mpaka mwisho na jina la baba ataitwa langu Joshua” Joshua alinambia huku nikiwa naona kama anantania tu maana kwa hali ya kawaida ni ngumu sana kulea mimba isiyo kuhusu “Wewe ni wa pekee sana Joshua sijategemea kama ungekua tayari kulea mimba isiyo kuhusu”nilimwambia Joshua huku nikimtizama usoni “Love mimi sipo hivyo unavonifikiria nakupenda sana mke wangu nipo tayari kufanya lolote kwaajili yako”Joshua alinitamkia yale maneno huku nikihisi mwenye faraja sna kwani sikutegemea kabisa “Tuondoke sasa turudi hotelini maana si unajua unatafutwa mama?” Joshua alinambia na tukaondoka kurudi hotelini Kwa upande wa frenk aliruhusiwa na kurudi nyumbani huku akiwa mkimya sana akachukua simu yake na kupigia watu na kuwaambia “nahitaji tufanye kazi moja hivi naomba mje nyumbani mara moja” frwenk aliongea na hao watu huku akiwasubir hao watu waje, Baada ya muda kidogo wakaja watu watano na kuwapa maagizo huku akiwapa picha yangu “Nataka uyu msichana apatikane ndani ya masaa24” frenk alitoa amri kwa wale vijana “Sawa boss usijali” walimjibu na kutupa bunda tano za pesa kila mtu akachukua bunda lake “Hiyo ni kianzio mkimkamata nawapa mara3 yake” frenk aliwaambia na kufanya kama alivowaagiza boss wao…. Tulirudi hotelini na kulala maana nilikua hoi sana siku hiyo nilikuja kushituka usiku wa manane lakini Joshua alikua nje amesimama kwenye dirisha akiangalia upepo ukipiga “Baby mbona kama unamawazo mme wangu” nilimuuliza baada ya kumkumbatia kwa nyuma “Hapana love mke wangu sina mawazo sitaki nilale nijisahau nataka nikulinde mpenzi” Joshua alinambia huku akinisogeza karibu “Mmh beby bwana twende tukalale usiwe na wasi wasi” nilimwambia huku nikimvuta twende kulala lakini aligoma “Machale yananicheza nahisi upo hatarini baby…paki vitu tuondoke tutafute sehemu nyingine” Joshua alinipa ushauri “Mmh baby usiku huu ni hatari zaidi bora tulale hadi asubuhi ndo tuondoke “ nilijaibu kumpa ushauri lakini Joshua bado alikua mbishi basi nikakubali tukaanza paki vitu na kuondoka hotelini pale lakini tulivofungua mlango tu wa chumbani tukakutana uso kwa uso na vijana wa5 huku wakiwa na silaha moy wangu ulifanya paa kwa mshituko………….ITAENDELEA!

No comments:

Post a Comment