MCHORO WA AJABU (13) “ungenipa taarifa mapema kama tunalaal kabisa hapa hapa …so kunishtukza naona kma hujafanya poa.” Aliongea Mudrick na kumuangalia Tina ”nilipokuambia surprise ndio hii sasa.. wewe unafikiri ningekuambia kua tunalala ingekua surprise gani hiyo?” aliongea Tina kwa sauti ya kilevi. “mimi siwezi kulala na wewe ukiwa umelewa.. tafuta siku ambayo upo mkavu kabisa ili wote tuwe na akili timamu. “usikatae Wizard… napenda sana kuwa na wewe usiku huu jamani.. nimetumia gharama zangu kuhakikisha kua naimalizia furaha yangu na wewe.” Alilalamika Tina. “sijakataa kulala na wewe…lla mimi na pombe ni vitu viwili tofauti. ndio maana sipendi kukereka na harufu ya pombe unayonuka… so ungeniambia mapema ningekuambia kua usinywe pombe ili tufurahie pamoja usiku huu.” Aliongea Mudrick na kushika nnywele za Tina kuashiria kua alikua tayari kuwa nae kama asingelewa. “basi leo hatutofnya chochote…ila tu naomba usiwe mbali na mimi.” Aliongea Tina huku akionyesha kua ameshaelewa. “sawa.” Aliongea Mudrick na kumtazama Tina aliye muonyesha tabasamu. Walipata chakula cha usiku na kwenda kwenye chumba chao walichokipata kwenye hotel hiyo. Mudrick alishuhudia Tina akivua nguo na kubaki na nguo za ndani. Sidiria ndogo iliyobeba maziwa madogo ilifanana kabisa na kufuli aliyovaa. Mudrick alijikaza na kuvua suruali yake na kubaki na boxer ndefu kidogo na juu akaamua kulala na t shirt laini aliyovaa. Walilala pamoja huku Tina akiutawala mwili wa Mudrick kwa kumuwekea paja lake na mikoni kifuani kwake. Hisia za kiume zilimtesa Mudrick, lakini akikumbuka onyo alilopewa na malikia wa majini viungo vyake vya uzazi vikasalimu amri na kulala tulii na kumfanya Mudrick kuwa na Amani. “kweli tuna lala hivi mpaka asubuhi bila hata kuonjana kidogo mpezi wangu?” aliuliza Tina baada ya kugalagala na kuhangaika juu ya kumchezea mwanaue huyo ambaye hakuonyesha hisia zozote za kutaka kufanya mapenzi nae. “kweli tena… tuta futane siku nyingine ndio nikuonyeshe kazi…lakini leo umejitwika kilevi ndio umeharibu.” Aliongea Mudrick na kumfanya Tina kugeukia upande wa pili na kulala. Tina alifumbua macho asubuhi na kutomkuta Mudrick kitandani. Alimka a kwenda bafuni, alimkosa pia. Alifungua mlango na kumuona akiwa anaongea na mmoja wa muhudumu wa hoteli hiyo. Tina alimfuata na kumshika kiuno. “ulikua unaongea nae nini huyu?” aliuliza kimasihara Tina. “alikua ananiuliza tunakunywa chai na vitafunwa gani…so ndio nlikua namuelekeza vitafunwa ninavyohitaji.” Aliongea Mudrick na kumfanya Tina atabasamu na kumbusu. “mimi nakunywa chai na vitafunwa alivyoagiza mume wangu.” Aliongea Tina na kumuangalia Mudrick ambaye moyoni alishtuka sana baada ya kuitwa mume kabisa. Ilipotimia saa nne asubuhi, gari ilikuja kuwafuata na kuondoka. Walirudi na kushushwa nyumbani kwao. “mimi naelekea kariakoo muda huu.. maana nimeizima simu yangu ili nisisumbuliwe na watu wa kazini.” Aliongea Mudrick na kuondoka. “alifika pancha na kukuta kuna wateja wawili wakiwa wanasubiria foleni. Alimpa salamu Bob ya juu juu na kuanza kazi. “Unamkumbuka yule dada tuliyeenda kumpakia rangi nyumba yake na kutulipa mpunga mrefu?” aliongea Bob huku wote wakiendelea na kazi. “aah..yule dada wa kinondoni?” aliuliza Mudrick ili kuhakikisha kua kumbukumbu zake zilikua sahihi. “ndio huyo huyo.. amenipigia simu na kuniambia kua anakuhitaji leo ukiwa na nafasi.” Aliongea Bob na kumfanya Mudrick ashangae kidogo. “hajakudokeza kua alikua ana shida gani na mimi?” aliuliza Mudrick. “nilimuuliza lakini hakunijibu kua ana shida gani na wewe.. sema ukimmaliza huyo mtu nenda ndugu yangu… unaweza kuwa mchongo wa mpunga mrefu.” Alionga Bob na kumfanya Mudrick akubaliane na Bob. Baada ya kuingiza shilingi elfu tano mfukoni kwake , akaamua kuonganisha magari kuitafuta kinondoni. Alifika nje ya nyumba ya dada huyo na kugonga mlango. “wewe ni nani na una shida gani?” aliuliza mlinzi ambaye sura yake ilikua ngeni kwa Mudrick tofauti na yule wa siku waliyoenda. “nina shida na mama mwenye nyumba hii.” Aliongea Mudrick na kumuangalia mlinzi huyo. “nimuambie nani anamuulizia?” aliongea milinzi na kumtolea macho Mudrick. “muambie mchoraji ameshafika.” Aliongea Mudrick na yule mlinzi akafunga geti na kwenda ndani. Daika moja baadae alirudi na kugongua tena geti hilo. “karibu.” Alikaribisha mlinzi huyo na Mudrick akaingia ndani na kumkuta dada huyo amejiachia sebuleni kwake. Alikua amevaa skin jeans fupi na juu amevaa nguo Fulani lakini ikiwa transparence huku ndani sidiria ndogo iliyo bust maziwa yake ikionekana vyema. Mapaja meupe yaliyokua wazi ndio yalikua ya kwanza kumkaribisha Mudrick alipoambiwa akae kwenye sofa lililokua likiangaliana na sofa alilokaa dada huyo mrembo. “unatuma kinywaji gani ?” aliuliza dada wa kazi ambaye alifika haraka baada ya kumuona mgeni huyo. “naomba maji ya kunywa tu.” Aliongea Mudrick na muda si mredu yule dada wa kazi akaleta glass iliyokua na tissue ndani yake na maji ya lita moja na nusu ya Kilimanjaro baridi. Alimuangalia dada huyo ambaye alikua anakunywa amarula huku chupa ya nyingine ndogo ikiwa imelala kuashiria kua alianza kunywa muda mrefu. Tabasamu lillilotoka liliashiria kua dada huyo alishakolea kinywaji hicho. Macho malegevu kama mtu aliyekula kungu yaliongeza mvuta wa dada huyo ambaye aliyatuliza macho yake kwa Mudrick ambaye allipata tabu kumuangalia usoni. “rangi uliyopiga chumbani kwangu kuna sehemu imechafuka.. so nataka uirudishie.” Aliongea dada huyo baada ya kuulizwa na Mudrick sababu ya kumuita pale. “rangi ipi hiyo …. ya green apple au?” Aliuliza Mudrick. “nimeshanunua tayari. Wewe twende tu nikakuonyeshe.” Aliongea dada huyo na kunyayuka. Alitangulia na Mudrick akawa anamfuata nyuma. Walifika ndani na Mudrick akaona kweli ile rangi ilikua na uchafu fulan hivi lakini sehemu ni mdogo sana. Aligeuka nyuma na kumkuta dada huyo amefunga mlango huku akiwa ameuegemea na kumuangalia kimahaba Zaidi. Wakati akiwa ametoa macho kumuangalia. Alisikia sauti ya zipu ya dada huyo na punde tu kimini hicho kikaanza kushuka na kumfanya azidi kutoa macho baada ya kuona tukio hilo ambalo analifananisha na msichana anaye karibia kubakwa huku akiwa hana mtetezi kwenye pori lenye kiza kinene. ITAENDELEA

at 12:05 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top