Home → simulizi
→ Love story:ANKO INATOSHA
Mwandishi:JAFARI MPOLE
Sehemu:13
ILIPOISHIA...
"aha sasa ngoja tuonjeshane
ubuyu"alisema Zuhura,akarudi chumbani kwake..
ENDELEA NAYO...
Nyumbani kwa akina
Rose,akiwa chumbani kwake
ruth akiwa na rose ambye
alikuwa bize akisoma kitabu cha simulizi za Erick
Shigongo,huku ruth
akionekana kuwa na shauku
ya kumueleza jambo mwenzie
lakini anasita ingawa badae
alishindwa kuvumilia. "rose"aliita ruth nakumfanya
rose ageuke kumsikiliza.
"abee"
"unajua sisi ni ndugu,tena wa
tumbo moja,tunapendana
sana,tena sana,na unapoona mwenzetu mmoja iwe ni
mimi,eliza au wewe anaenda
sivyo inakubidi umkalishe
chini umweleze ukweli
kuhusu mwenendo
wake"alisema ruth nakumzika kdogo,akamfanya rose ajiwe
na hofu huenda tabia yake ya
kwenda kwa anko
imejulikana."mh ni kweli
unalosema, kwani vipi lakini
ruth,maana cjakuelewa unamaanisha nini?alisema
rose huku akhwa na shauku
ya kujua.
"ah wee acha tu,ni kuhusu
mwenzetu eliza,wew
unamuonaje ckuhizi!!" "mh namuona wa kawaida tu
ila ckuhizi kapunguza
machepele"
"aha kumbe na wew
umemuonaee,sasa unahisi
nini?" "mh..labda mwenzetu kaa...c
unajua alivyojazia itakuwa
kapata bwana kamtuliza
mapepe yake"alisema rose
huku akitabasamu.
"hujakosea,hilo ni jibu sahihi,sasa nataka nikupe rula
ya kupigia mstari hilo jibu lako
sahihi"alisema Ruth.
"haya nipe hiyo rula."
"umepata rula hii hapa ila
ishike vzuri usije ukapindsha mstari,kwataarifa yako anko
Tony ndiye anamshuhurikia
eliza vzuri tena kwa raha zao
iwe mchana iwe
usiku"alisema ruth na
kumfanya mwenzake atupe kile ktabu alichokuwa
anasoma kwa mshangao.
"wewe,unasema kweli?"
"teenaa"
"haa jamani,umejuaje?"
"yaani kuna cku nlikua naenda kuoga bafuni usiku,sasa
wakati narudi nashkha
miguno ikitokea chumbni kwa
anko,nk2papuuza lakini
napiga hatua nne
mbele,loh..naskia anko akitajwa humo ndani mara 10
kidogo,nkawa nawasiwasi
ikabidi nisogee mpaka
mlangni kwake kusikiliza na
ndio nkasikia anko nae
akimtaja eliza huku akihema kwa kasi cjui ndio alikuwa
anafunga goli,yaani ckuamini
kwakweli"
"jamani eliza eliza eliza,hana
aibu hata kidogo,unafanya
mapenzi ma anko wako jamani kweli kama siyo laana
hiyo nini"
"basi ndio hiyo rula yenyewe."
"sasa hapa umenifumbua
kitu,kuna siku nliambiw na
mama nkamuamshe anko lakini nlipoingia ndani kwake
nkashangaa kuona chupi mule
ndani tena ipo
chini,wakanizuga eti
kaikusanya bahati mbaya
kwenye kamba alikuwa anafua"
"hee hilo nalo neno,mpaka
kasahau kufuli lake,anko
jamani"alisema ruth na wote
wakaaki wakicheka tu.. Jioni ya siku hyo anko Tony
akiwa anarejea kutoka
matembezini kwake njiani
akakutana na Zuhura
akionekana mwingi wa
tabasamu. "mambo mjomba"alisema
Zuhura wakiwa wamesimama
na anko tony njiani karibu na
kwa akina Zuhura.
"ah safi tu Zuhura,mbna
umependza hvyo safari ya wapi?"
"ah naend pale liblary
kukodisha cd,si unajua nipo
mwenyew mama hayupo
kaenda kwenye harusi cjui
kama atarudi leo,kwahyo naangalia tu muvi
mwenyewe"
"ok poa basi"
"sasa mjomba,fanya vile basi
badae uje nimekumisi
ujue"akisema Zuhura huku akilegeza sauti.
"mh cjui kama ntaweza
kutoka maana cjajua huko
ndani kupo vipi mpaka
nkasome ramani halafu
ntakushtua kwa msg kama kupo fresh"
"sawa,wewe tu"
"haya bdae"alisema anko tony
na kumuacha Zuhura akienda
zake,akageuka kumtazama
mpaka alipoishia."mtto xvko vzuri yule halafu hana papara
yaani dah"alisema
anko,akageuka kuondoka
zake.
Na kweli alipofika tu ndani
akatazama ustaarabu wa kuchoropoka kwenda kwa
jirani nyumba ya pili,ulipofika
tu muda akatoka taratibu na
kuelekea kwa akina Zuhura,na
kweli nyumb nzima alikuwa
zuhura pekeake akiwa amejivalia kanga na kukaa
sebuleni kwa kujiachia
kihasara,"woh karibu
mpenzi"alisema zuhura
kunyanyuka na kumkumbatia
anko,akamkaribisha ma kukaa pale sebuleni,zuhuqjasogea
mpaka pale kwenye
deki,akatna kanda aliokuwa
akiangalia ma kuweka cd
nyengne,ilikuwa ni cd ya
ngono Zuhura kaiweka makusudi ambayo ilimfanya
ajisogeze karibu na alipokaa
anko tony,haikupita hata robo
saa mihli w ikajawa na
ushawishi ya kufanya
mapenzi,shugki wakaianzia palepale sebuleni mpaka
walipokolezana ndipo zuhur
akaomba waende chumbni
kwake,anko akafanya hvyo
huku wakiwa wote kama
walivyozaliwa na kuacha nguo zao pale sebuleni,shuhuli
ìkaendlea mule chumbani kila
m2 akijifanya kuwa ni fundi
kumzidi mwenzake,nusu saa
baadae ukaonekana mlango
wa sebuleni ukifunguliwa,al ikuwa ni mama zuhura
akiingia ndani kwake,ila
alishangaa kuona nguo pale
chini zimezagaa,akageka
kuangalia tv akaona ile cd ya
ngono."pumbavu huyu mtoto kashaingza mwanaume
humu,subiri sasa"alisema
mama zuhura..
NINI KITATOKEA,USIKOSE
SEHEMU YA 14
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: