Home → simulizi
→ Love story:ANKO INATOSHA.
Mwandishi:JAFARI MPOLE
Sehemu:14
ILIPOISHIA..
"pumbavu huyu
mtoto,kashaingiza wanaume humu,subiri sasa"alisema
mama zuhura..
TUENDELEE..
Akaingia chumbani kwake na
kubadilisha nguo zake harata
na kutoka akiwa amevaa dela na kuelekea chumbani kwa
mwanaye zuhura,bahati nzuri
mlango wa chumba ulikuwa
umefungwa kwandani na
kumzuia yeye kuingia,akabaki
akisikia miguno ya raha wanazopeana anko tony na
zuhura mule ndani.Mama
zuhura akashndwa kujizuia na
kujikuta akigonga ule mlango
mfululizo kiasi cha kumfanya
anko tony asimamishe kumpatia zuhura huduma."eh
nani tena huyo?mama yako
huyo?"aliuliza anko kwa
wasiwasi.
"ah atakuwa ndio yeye ila
achana naye tuendelee kula raha bwana"alisema zuhura
huku akimpapasa anko
kumtoa wasiwasi,na kweli
wakaendelea kubanjuka
wakimpuuza mama zuhura
ambaye hakuchoka kugonga mlango,safari hii ikawa kero
sasa na kumfanya zuhura
kukereka,akashuka kitandani
kwa hasira na kuvaa kanga
yake akaenda kufungua
mlango akamkuta mama'ke amesimama."hivi wewe
mtoto mbna huna adabu
jamani,kugonga kote huko
uniambie ujasikia au
kiburi!"alisema mama zuhura
kwa ukali."haya na hiyo tabia ya kuleta wanaume ndani ya
nyumba yangu tena
mmevvana nguo sebuleni
mlivokuwa hamna haya
mpaka humu chumbani
imeanza lini hyo tabia?" "imeanza tangia wewe
ulianza kuingza wanaume"
"usinijibu hvyo mshenzi
wewe,unaona unaongea na
shoga yako hapaee,ntajaza
watu humu ndani liwe fumanizi na hako
kamwanaume kako humo
ndani"alisema mama
zuhura,anko tony akayasikia
yale maneno akabaki amepoa
huku moyo ukimdunda."mh za mwizi arobaini,najuta
mie"alijisemea anko tony.
"hahahaaa haloooh,unataka
kuita watu!haya waite,waite
hata sasa hivi na mie napiga
hodi moja kwa moja kwa mama rose nkamwambie
ushenzi unaufanya na
niwaambie watu hadharani
litakavo kushuka"alisema
zuhura na huku mama'ke
akitikisa mdomo kwa hasira. "mama wewe tulia na mie leo
zamu yangu ukitaka ondoka
ukitaka ukae hapahapa
mlangoni usikie nyimbo nzuri
tunazoimba humu chumbani
na huyo unaemwita wewe kamwanaume,utachagua
mwenyewe kwaheri"alhsema
zuhura na kufunga mlango
akarudi kitandani alipo
anko."ehe vpi huko?"aliuliza
anko. "nshampa vidonge vyake yupo
hapo mlangoni anajishauri"
"kwahyo sasa!"
"kwahyo nini tena anko,huyo
muache asimame kama ana
moyo mgumu,tena saivi ongeza kasi i5i asikie
makusudi ninavyopata jnto
lako,sogea bwana
huku"akisema zuhura na
kumvuta anko kifuani kwake
na safari ikaanza upya huku mama zuhura akiwa
amesimama tu pale mlangoni
na hasira zake,na kwa
makusudi zuhura alitoa sauti
za mahaba kwa nguvu ili tu
amchome rohn mama'ke,zoezi lake hilo likafanikiwa kwani
mama zuhura hakuwa na
moyo wa chuma."mshenzi
wewe subiri c unaona
umeshinda hapa,ngoja
sasa"alisema mama zuhura kwa sauti ilisikika mpaka
mule chumbni,zuhura
akamjibu kwa kuzidisha nae
kelele za mahaba na kumfanya
mama'ke aondoke kwa hasira.
Wakiwa wote mezani kwenye chakula cha usiku,huku
watoto wnte wa mama rose
wakiangaliana kwa kejeli bila
ya mwenzake kumuona n
wote huo ulikuwa ni wivu wa
kugombania penzi la anko wao huku kila mmoja akijua
hakuna mwenzake anaejua
kama anafanya mapenzi na
anko wao ingawa kwa eliza
kwake hakuna siri tena maana
wenzake washajua uchafu wake.Na baada ya chakula kila
mtu akaenda
kupumzika,mama rose alipo
hakikisha wanae wote
wamelala ndipn akatoka
chumbni kwake huku akiwa ameshka mfuko mdogo
wenye vitu ndani yake na
kuelekea kwa anko Tony
ambapo alimkuta anko yupo
macho ametulia
kitandani."vipi tony"alisema mama rose na kusogea pale
ktandani alipo anko na kukaa
huku akiufungua ule mfuko.
"ah kama nlivokutumia
msg,mwili nauona mzito
halafu nahisi baridi,itakuwa homa."
"mh pole mpenzi,lakì zile
dawa si unakunywa kwa
wakati?"
"ndio yaani mda ukifika tu
nakunya kila siku" "haya sawa.nimekulete
a na hii
ya kuondoa uchovu na hii
zawadi yako"alisema mama
rose na kutoa kibox cha
pafyumu pamoja na
nguo,anko akazipokea."asante mpenzi wangu"
"poa usijali,.sasa leo vipi"
"kuhusu nini tena mpenzi!"
"si yale mambo yetu mpenzi
au ndo kusema unaumwa
hutaweza?" "ah sijisiki vizuri mpenzi nisije
kukupa kesi ya kufa kifuani
mwako bure na ulivyokuwa
na pumzi utasema mwana
riadha"alisema anko tony na
wote wakatabasamu. "haya basi poa lala salama
mpenzi"alisema mama rose na
kumpiga busu la shavuni anko
na kuondoka. Eliza akaagizwa kwenda
kumuamsha anko wake
asubuhi kuja kunywa
chai,akaingia mpaka kwa
anko na kumkuta bado
amelala huenda ni kutokana alizokunywa usiku kuwa na
nguvu.Elisogea mpaka
alipolala anko wake huku
akimtazama na kukumbuka
siku ile alipomkuta na rose
mule chumbni bila ya wao kujua,akabaki akitingisha
kichwa huku akiangalia
mezani na kuona dawa
zimezagaa,akapekeka mkonö
na kunyanyua moja ýa kichupa
cha dawa zilizokuwa mezani na kuisoma,gafla sura yake
ikaanza badilika huku akitoa
macho vzuri kuisoma tena na
tena,loh mwili wake ukakosa
nguvu gafla baada ya
kufahamu maandishi ya Antiretrviral Therapy(ARV)
yaliyokuwa kwenye kile
kichupa,akajikuta
akidondosha chozi huku
akigeuka kumtazama anko
ambaye bado alikuwa anakoroma usingzini..
NINI KITATOKEA???
USIKOSE SEHEMU YA 15..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: