Home → simulizi
→ 🌷🌹
HADITHI FUPI; NIKUPENDEJE?
..nimekununulia gari wakati mimi natembea kwa miguu mpenz.Nimekujengea nyumba wakati mimi napanga hadi leo...nimewajengea nyumba wazazi wako wakati wazazi wangu wanaishi kwenye kibanda kule Morogoro.
Nimekufanya uwe mtu kati ya watu..unakumbuka ulipokuwa unatoka kimbiji..nani alikupenda..nani alikujari...nani alikuthamini?
Mimi ndiye niliyekutoa kutoka mtu asiyetamanika hadi kuwa mrembo,mrembo wa dunia kama unavyojiita!
Ulikuja kwangu kama mfanyakazi wangu wa Ndani..lakini nilikupandisha daraja..ukawa mchumba ambaye nilipanga uwe mke wangu.
Nilikuthamini tangu ukiwa mfanyakazi wa Ndani..nilikuthamini kipindi ambacho Ulikuwa huthaminiwi na mtu yeyote duniani.
Nilikupenda siku ya kwanza niliyokuona..nami nikajua hutobadirika hata nikikuchukua na kuishi nawe kwangu Mbezi..sikujua kama utabadirika Monica!
Nikupendeje Monica..nikupe nini Monica ujue kwamba nakupenda?
Nakumbuka siku narudi Morogoro kwa wazazi wangu.Njia mzima nilikuwa nakuwaza wewe mpenzi .Nikiwa nimepanga nikuvishe pete ya uchumba mbele ya wazazi na ndugu zangu..niliyoinunua kwa gharama nyingi..
Tulipanga tukufanyie surprise Monica.Niliwafuata wazazi wangu Morogoro. Waje kuishuhudia siku hii muhimu katika maisha yangu.Kukuvisha Pete wewe mrembo wangu wa dunia.
Tuliingia kimya kimya kwa lengo la kukusurprise mpenz.Kumbe nilikuwa najisurprise mwenyewe.
Tulikukuta uchi wa mnyama umelaliwa na houseboy.Inamaana houseboy Alikuwa na mapenzi ya dhati kuliko mimi?
Ukitaka nikupendeje mpenzi..nimekupa gari..Nyumba..nambie Monica..au nikupe roho yangu uamini kama nakupenda?.
Sawa nenda..kaolewe na houseboy ambaye hana mbele wala nyuma.
Fadhila zote nilizikupa ukaona bora unitende.Umebabaika na houseboy na kulizika penzi langu la kweli Monica.
Monica alianza kuongea maneno ambayo sikuamini kabisa tena aliyaongea mbele ya wazazi wangu.
"Ulijidanganya Mudi. Mke haitaji gari,mke haitaji nyumba,mke haitaji mapenzi ya kushikana mikono tu barabarani.Mke ni kitandani Mudi.
Wewe uko bize kuninunulia magari badala ya kuhakikisha unaniridhisha Mudi. Tumeishi miaka mitano na wewe hamna hata siku moja uliyoniridhisha Mudi.Unanipaka shombo tu.
Unaniuliza unipendeje?Nipende kama Mashaka.Anayeniswaga barabara.Mashaka anaridhisha hata tukikutana kwenye zizi la Ng'ombe.
Unamwita Mashaka houseboy.Kweli Mashaka hana nyuma ila mbele anako Mudi...!
Hahaha nakushauri usimtumie Mashaka kama houseboy,mtumie Mashaka kama mwalimu wako wa kitandani..Mashaka amekuacha mbali sana Mudi..hahaha eti nikupendeje..ni simple sana..nipende kama Mashaka !
Wazazi na ndugu zangu waliondoka bila kuaga.Mimi nimehemewa na pete yangu mkononi.
MWISHO
🌷🌹
🌷🌹 HADITHI FUPI; NIKUPENDEJE? ..nimekununulia gari wakati mimi natembea kwa miguu mpenz.Nimekujengea nyumba wakati mimi napanga hadi leo...nimewajengea nyumba wazazi wako wakati wazazi wangu wanaishi kwenye kibanda kule Morogoro. Nimekufanya uwe mtu kati ya watu..unakumbuka ulipokuwa unatoka kimbiji..nani alikupenda..nani alikujari...nani alikuthamini? Mimi ndiye niliyekutoa kutoka mtu asiyetamanika hadi kuwa mrembo,mrembo wa dunia kama unavyojiita! Ulikuja kwangu kama mfanyakazi wangu wa Ndani..lakini nilikupandisha daraja..ukawa mchumba ambaye nilipanga uwe mke wangu. Nilikuthamini tangu ukiwa mfanyakazi wa Ndani..nilikuthamini kipindi ambacho Ulikuwa huthaminiwi na mtu yeyote duniani. Nilikupenda siku ya kwanza niliyokuona..nami nikajua hutobadirika hata nikikuchukua na kuishi nawe kwangu Mbezi..sikujua kama utabadirika Monica! Nikupendeje Monica..nikupe nini Monica ujue kwamba nakupenda? Nakumbuka siku narudi Morogoro kwa wazazi wangu.Njia mzima nilikuwa nakuwaza wewe mpenzi .Nikiwa nimepanga nikuvishe pete ya uchumba mbele ya wazazi na ndugu zangu..niliyoinunua kwa gharama nyingi.. Tulipanga tukufanyie surprise Monica.Niliwafuata wazazi wangu Morogoro. Waje kuishuhudia siku hii muhimu katika maisha yangu.Kukuvisha Pete wewe mrembo wangu wa dunia. Tuliingia kimya kimya kwa lengo la kukusurprise mpenz.Kumbe nilikuwa najisurprise mwenyewe. Tulikukuta uchi wa mnyama umelaliwa na houseboy.Inamaana houseboy Alikuwa na mapenzi ya dhati kuliko mimi? Ukitaka nikupendeje mpenzi..nimekupa gari..Nyumba..nambie Monica..au nikupe roho yangu uamini kama nakupenda?. Sawa nenda..kaolewe na houseboy ambaye hana mbele wala nyuma. Fadhila zote nilizikupa ukaona bora unitende.Umebabaika na houseboy na kulizika penzi langu la kweli Monica. Monica alianza kuongea maneno ambayo sikuamini kabisa tena aliyaongea mbele ya wazazi wangu. "Ulijidanganya Mudi. Mke haitaji gari,mke haitaji nyumba,mke haitaji mapenzi ya kushikana mikono tu barabarani.Mke ni kitandani Mudi. Wewe uko bize kuninunulia magari badala ya kuhakikisha unaniridhisha Mudi. Tumeishi miaka mitano na wewe hamna hata siku moja uliyoniridhisha Mudi.Unanipaka shombo tu. Unaniuliza unipendeje?Nipende kama Mashaka.Anayeniswaga barabara.Mashaka anaridhisha hata tukikutana kwenye zizi la Ng'ombe. Unamwita Mashaka houseboy.Kweli Mashaka hana nyuma ila mbele anako Mudi...! Hahaha nakushauri usimtumie Mashaka kama houseboy,mtumie Mashaka kama mwalimu wako wa kitandani..Mashaka amekuacha mbali sana Mudi..hahaha eti nikupendeje..ni simple sana..nipende kama Mashaka ! Wazazi na ndugu zangu waliondoka bila kuaga.Mimi nimehemewa na pete yangu mkononi. MWISHO 🌷🌹
Artikel Terkait
MUUZA MAZIW EP 07 “aaaaahh!! Jamani wifi wao!!” Aliongea kwa furaha baada ya kumuona mgeni aliyekuwa akigonga ni penina. “asante wifi , shikamoo!” Penina aliongea na kisha kumkumbatia wifi yake kwa furaha. “ marhaba wifi ,vipi masomo?” Aliongea huku akiipokea mizigo aliyo ibeba “naendelea vizuri tu wifi” “haya mungu akusaidie” Aliongea lisa na kuelakea sebuleni , aliiiweka mizigo pembeni ya kochi na kasha kuelekea sehemuk ilipo friji. Penina, penina akaamua kuichukua mizigo ili aipeleke chumbani. “hapana wifi, hapana , hiyo iache hapo hapo nitaiingiza mwenyewe,, wewe kwanza kunywa juisi upumzike.“ Aliongea lisa huku akiwa ameshikilia jagi lenye juisi pamoja na glasi, alifanya hivyo kwa sababu chumba anachotakiwa kulala penina ndicho chumba ambacho amemficha muuza maziwa. “usipate tabu wifi wangu kunywa juisi upumzike, nipo kwa ajili yako “ Aliongea lisa huku akiibeba mizigo na kuelekea chumbani na kumuacha penina akinywa juisi taratibu. Alipoingia chumbani alimshutua muuza maziwa na kumweleza hali halisi. “kwahiyo nitatoka saa ngapi humu?” “ itabidi uvumilie mpaka usiku wifi akilala , mlango wa nje nitauacha wazi leo” Aliongea lisa “Sawa lakini vipi kuhusu chakula manaake niana njaa” “ usijali nitakuletea utakula humu humu , jitahidi usitoke nitajaribu kufanya mpango hata kamakabla ya usiku ikiwezekana” “poa” Muuza maziwa aliitikia “alafu nitaa……” Lisa alikatiza kauli yakebaada ya kusikia mlio wa kitasa kikifunguliwa. Haraka haraka muuuza maziwa aliingia kabatini na kisha lisa aliufunga mlango wa kabati hiyo kabla hata hajauachia mlango huo alisikia sauti nyuma yake. “wifi mbona unagombana na hilo kabati!?” Swali hilotoka kwa penina lilimfanya lisa ashikwe na kigugumizi cha ghafla huku akitoa maelezo ya kujikanyagakanyaga. “ah, mh, a-, u-n-a-j-u-a hi-li ka-ba-ti ni bo-vu” “limeharibika , ooh, mungu wangu!” Penina aliongea huku akilisogelea kabati hiloili kuiangalia sehemu ilipoaribika. “ah, hapana wifi usiiguse hapa nimeitegesha , iache hivyo hivyo mpaka atakapokuja fundi kulirekebisha” Aliongea Lisa haraka haraka. “okey”[sawa] Aliongea Penina huku akitikisa kichwa kuonyesha kwamba ameelewa. “nataka kuoga wifi” “na kweli manaake umechoka kweli kweli wifi yangu” Aliitikia Lisa haraka haraka kwani alijua huo ndio upenyo wa kumtoa muuza maziwa. Na kweli penina alipoingia bafuni lisa aliufungua mlango wa kabati haraka na kumtoa muuza maziwa , akala chakula haraka na kuanza safari ya kutoka nje ya nyumba hiyo , walipofika kwenye mlango wa kutokea muuza maziwa alimbusu lisa kwa mara ya mwisho , alipomaliza kufanya hivyo alitoka ndani ya chumba hicho na kutokeza koridoni ili atoke nje kabisa ya nyumba hiyo lakini kabla ya kufanya hivyo alisikia muungurumo wa gari, halikuwa gari lingine bali gari la Jerry mume wa Lisa. Hofu iliwaingia kwa ghafla na haraka haraaka walirudi tena chumbani kwa penina , ambapo kama kawaida alimfungia muuza maziwa kabatini, hawakuwa na njia nyingine tena bali hile waliyoipanga awali, muuza maziwa asubiri mpaka usiku wa manane Penina atakapo lala ndipo atoke kwani Lisa atauacha mlango wa kutokea wazi. Lisa alipomaliza kumfungia muuza maziwa katika kabati alitoka nje ya chumba hicho,akiwa koridoni aligongana ana kwa ana macho na mumewe. Wote wawili waliinamisha vichwa vyao chini. Kwani kila mmoja aliona aibu kwa kumsaliti mwenzake. Lisa kwa muuza maziwa na Jerry kwa sekritari wake. “Ah, mmh, wifi amekuja , kakaribu!” Aliongea Lisa kwa kujiumauma huku akiwa na wasi wasi. “ asante amekuja saa ngapi?” “sio muda mrefu” “aah yuko wapi sasa nimsalimie?” “yuko bafuni anaoga” “Okey” [sawa] Aliitikia na kisha kuelekea chumbani kwake. Lisa nae alimfuata mumewe nyuma hukubado akiwa na hofu juu ya kugundulika kwa uwepo wa muuza maziwa ndani ya nyumba hiyo. “Pole na kazi dear” Aliongea Lisa huku akijibaraguza kwa kumvua tai mume wake, macho yake bado yalikuwa na aibu sababu bado alikuwa na wasi wasi kwamba labda mumewe amegundua chochote. “ah, asante mpenzi” Aliitikia Jerry huku akitabasamu, lakina nae pia tabasamu lake liliishia mdomoni tu moyoni nafsi ilimsuta . Maovu aliyoyafanya na sikritari wake ofisini kwake yalikuwa bado yakionekana katika kichwa chake. Akavua nguo na kuingia bafuni kuoga lisa nae alimfuata na kujumuika nae kuoga . Alifanya hivyo ili Jerry hasihisi chochote. Walioga huku kila mmoja akiwa hana habari na mwenzake. Kwani wote wawili walikuwa wamechoka, walipomaliza kuoga wakavaa na kasha kwenda sebuleni. Huko wakamkuta Penina akianga lia tv. “mdogo wangu huyo!” Jerry aliongea kwa furaha huku wakicheka. “kaka!” Penina aliitikia na kisha kumkimbilia kaka yake. “waoo!!!” Waliongea kwa pamoja na kisha kukumbatiana kwa furaha. “habari za masomo!?” ITAENDELEA.. ... Read More
Story...... NI WEWE TU PENINA Sehemu ya kumi (10) By GIVAN IVAN Phone & whatsapp...... 0769673145 Ilipoishia...... Baada ya dakika kadhaa Frank na Penina waliwasili nyumbani kwa Frank. Wakashuka kwenye bajaji na kuelekea kwenye nyumba ya kina Frank. Walipoufikia mlango Frank alijificha nyuma ya Penina na kumtaka Penina abishe hodi ili wawafanyie surprise Wazazi wake Frank. ***********Endelea ********* Mlango ulifunguliwa na mama yake Frank na kukutana uso kwa uso na Penina. "ooh mwanangu hujambo?" akauliza mama yake Frank. "sijambo mama shikamoo." akasalimia Penina "marahaba karibu ndani." mama yake Frank akamkaribisha Penina. "Asante mama ila nataka nikufanyie surprise." Penina akamwambia mama yake Frank. "hii ipi tena mwanangu usije ukaniue kwa presha." akaongea mama yake Frank, na Muda huo huo baba yake Frank naye akajitokeza sehemu pale na kuungana na mama yake Frank. Penina alisogea pembeni na hapo hapo Frank akajitokeza mbele ya Wazazi wake. Mama yake Frank alijikuta akishindwa kuongea na kumrukia Frank kwa furaha isiyo na kifani. Frank pamoja na Wazazi waliingia ndani huku wakiwa na furaha tele kwa kumuona tena Frank ambaye alitoweka kwa siku kadhaa. Lakini kila mmoja alikuwa na hamu ya kutaka kujua ni nini kilimtokea Frank. Frank ilibidi awaeleze kilichomtokea mwanzo mpaka mwisho. Kila mtu alihuzunika kwa hicho kilichomtokea Frank. Lakini pia Penina aliwaeleza pia kilichomkuta kaka yake Nolan na Mpaka Muda ule kaka yake alikuwa bado yupo hospitalini. Lakini hata hivyo furaha ilirejea upya usoni mwa Penina pamoja na Wazazi wake Frank baada ya kumuona Frank kwa Mara nyingine tena. Frank alienda kuoga na kubadilisha nguo Zake zile zilizochakaa na kuvaa nguo zingine nzuri ambazo ziliendana vizuri na yeye. Frank aliondoka na Penina na kuelekea moja kwa moja mpaka Katika hospital aliyopo Nolan kwa ajili ya kumjulia hali. * Lakini kumbe Katika hospital ile, Nolan baada ya kujua kuwa baba yake ndio alimfanyia mchezo ule. Nolan hakubaki tena pale hospitalini alitoroka bila hata kuruhusiwa na daktari na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwao. Penina na Frank baada ya kufika hospitalini pale. Walistaajabu kuambiwa kuwa Nolan hayupo pale hospitalini na hawajui alipoelekea. Penina na Frank waliondoka na kuelekea nyumbani kwa kina Penina wakihisi labda Nolan ameelekea huko. Na kweli baada ya kufika nyumbani kwa kina Penina walimkuta Nolan akiwa ameketi nje ya geti lao huku akionekana kuwa na mawazo tele. "Nolan vip ndugu yangu mbona mawazo tele?" alikuwa Frank akimuuliza Nolan baada ya kumkaribia. Nolan alinyanyua kichwa chake na hakuamini baada ya kumshuhudia Frank akiwa amesimama mbele ya macho yake akiwa pamoja na Frank. "oooh Frank ni wewe?" akauliza Nolan kama vile haamini, Kisha akanyanyuka na kumkumbatia Frank kwa furaha Sana. "nimefurahi Sana kukuona tena Frank, hakika wewe ndio furaha ya mdogo wangu Penina karibu tena Frank." akaongea Nolan kumuambia Frank. Na hapo hapo Nolan akamtaka Frank amueleze ni nini kilichomkuta mpaka akatoweka Muda wote ule. Frank Bila kusita alimuelezea Nolan mkasa mzima uliomkuta wa kutekwa na watu asiowafahamu. Nolan alimhurumia akampa moyo na kumtaka ajikaze kwasababu wana vita nzito mbele yao. Lakini pia Nolan akawaelezea jinsi baba yake mzee Joel alivyomtumia watu waje wamuue kwasababu ya kutetea penzi La Penina na Frank. "ina maana baba anataka akuue?" Penina akamuuliza Nolan kwa mshangao. "ndio nadhani ndio nia yake kwasababu ameona mimi ndio niliyeamua kusimama na kulitetea penzi lenu." akaongea Nolan kwa huzuni Sana. Penina pia alihuzunika Sana mpaka machozi yakaanza kutiririka usoni mwake baada ya kugundua baba yake ndio alipanga njama ya kummaliza Nolan. "lakini msijali kuweni na amani mimi nawakikishia lazima mtaoana na kuwa mume na mke." akaongea Nolan kwa kujiamini. "tunashukuru kusikia hivyo hata sisi tutakuwa pamoja na wewe kwa lolote lile." akaongea Frank naye kwa kujiamini. "Sasa sikilizeni niwaambie, nataka niwasafirishe muende mkakae nchi nyingine kwa miezi miwili alafu mimi nitabakia hapa Tanzania nikifanya taratibu za nyie kufunga ndoa na kila kitu kikiwa tayari nitawajulisha na mtarejea Tanzania kwa ajili ya kufunga ndoa yenu." akaongea Nolan kumwambia Frank na Penina. Bila kipingamizi chochote Penina na Frank walikubaliana na wazo la Nolan na kilichotakiwa ni kwenda kujiandaa na kuondoka. "ngoja bas nikajiandae Mara moja." akaongea Penina, lakini Nolan akamzuia na kumwambia. "usiingie ndani tena, sitaki uonane na baba kuanzia Sasa kila kitu utakachahitaji nitakutimizia mimi, katafuteni hoteli yoyote mkae hapo mkijianda na kama na pesa au kitu chochote mtaniambia mimi." aliongea Nolan kwa msisitizo. "ok tumekuelewa tupo pamoja." akajibu Frank Kisha wakaondoka pamoja na Penina. Nolan alinyanyuka pale chini akagonga geti na kufunguliwa na mlinzi na bila kusema kitu Nolan akaelekea moja kwa moja mpaka sebuleni ambapo alimkuta baba yake mzee Joel akiwa ameketi huku akionekana kuwa na mawazo. "Niko sambamba na wewe kwa chochote kile utakachokifanya, sitajali kama wewe ni baba yangu au nani wangu lakini nachotaka utambue Frank lazima amuoe Penina." akaongea Nolan kumwambia baba yake Kisha akaondoka na kuelekea chumbani kwake bila kusikiliza baba yake atasema nini. "wewe lazima nikuue wewe hata kama mimi ni baba yako huwezi kuniingilia Katika mambo yangu." akajisemea mzee Joel na kutoka nje kwa kasi mpaka kwenye gari Lake. Mlinzi alifungua geti na moja kwa moja mzee Joel akatoka kwa kasi mpaka Katika hospital waliyolazwa wakina Zaza. Mzee Joel alishuka kwa kasi kwenye gari Lake na kuelekea mpaka Katika chumba walicholazwa wakina Zaza. "Zaza mlifanya nini mbona mmeniangusha kias hiki?" akaongea mzee Joel kwa jazba. "mzee Joel yule mwanao ni hatari Sana hebu ona tulivyovunjwa vunjwa." akaongea Zaza huku akionesha jinsi walivyopigwa na Nolan . "ni bora mlivyopigwa kuliko hichi kingine kilichoibuka." akaongea mzee Joel na kushika kiuno. "nini tena mzee wangu?" akahoji Zaza huku akiwa anajinyanyua pale kitandani alipokuwa amelala. "Frank amerudi" akajibu mzee Joel na kuwafanya wakina Zaza washangae. "yaani kwa kweli mmeniangusha Sana alafu isitoshe Nolan ameshaanza kuota mapembe na kama nyie mmemshindwa bas itabidi nitafute wababe wengine zaidi yenu na nyie lazima nitawaua pesa niliyowapa ni nyingi Sana lakini hakuna cha maana mlichokifanya pumbavu nyie. " akaongea mzee Joel kwa hasira Kisha akageuka na kuondoka. * Penina na Frank waliwasili kwenye hoteli moja ya kifahari na kufanya taratibu zote na kuchukua chumba kwenye hoteli Ile na kulipia kukaa hapo kwa siku tatu. Lakini Frank aliwapa taarifa Wazazi wake ya jinsi mipango inavyofanyika hivyo akawataka wasiwe na hofu yoyote kuhusu yeye.* Upande wa Nolan yeye alipanga lazima amfundishe adhabu baba yake kwa namna yoyote ile. "Wewe ni baba yangu ndio sikatai, umenitunza vizuri, umenipa elimu ya kutosha Sawa, lakini kwa unyama huu unaotaka kuufanya hakika sitakuacha lazima nitaenda sambamba na wewe." alijisemea Nolan akiwa chumbani kwake akipanga mipango yake. Lakini pia Nolan aliapa kama asipofanikisha ndoa ya Frank na Penina bas atajiua. ............. Itaendelea ... Read More
CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA KUMI NA MBILI (12,13$14) UMRI ±18 ILIPOISHIA alikuwa analalamika nikaingiza mashine yangu na kuanza kupampup nikiwa naendelea kusex gafla mlango ukafunguliwa............ ENDELEA SASA Mlango ulipofunguliwa hatukuamini macho yetu mtu aliyeingia chumbani yani nilitamani ardhi ipasuke nitumbukie ndani mana nilipatwa na uwoga huku mapigo ya moyo yakiwa yanadunda kupita kiasi Ku kuona aibu.... alikuwa shangazi mke wa mjomba kasimama mbele yetu tena akiwa amekasilika kama simba aliyejeruhiwa. "Hivi nyie mmbwa hamjaona magesti mpaka mfanye uchafu wenu hapa??" Aliongea shangazi kwa hasira. "Tusamehe shangazi "nilimuomba msamaha huku macho yangu yakionesha dalili ya kutaka kulia. "Yani kweli vanessa unafanya mapenzi na kenny tena umejiachia kabisa"shangazi aliongea huku akionesha kweli amekasilika "Naomba nisamehe shangazi sito rudia tena"aliongea vanessa huku akiwa amepiga magoti,lakini alishanga akipigwa kibao kizito kilichompeleka chini "Malaya mkubwa wewe yani umekuja leo leo unaanza umalaya wako" aliongea shangazi "Kwanin unanipiga jamani kosa ni langu na wala sio lake niliamua kumtetea" huku nikiwa nalia.nilimuangalia vanessa kwa huruma pale chini huku machozi yakimtoka ."sasa mkitaka niwasamehe na nisiende kuwasemea kwa mjomba wenu nitawapa sharti moja mkiliweza poa sisemi ila mkishindwa naenda kusema"shangazi aliongea wakati huo huku akiwa ameshika simu akitaka kumpigia mjomba. "Usitufanyie hivyo shangazi tuambie sharti lako na sisi tutafnya unachotaka" "Aaah...kama ni hvyo sawa sasa nataka mfanye mapenzi mbele Yangu" "Aaaah!!."tulijikuta tumeshanga wote mimi na Vanessa" "Mnashanga nini sasa kama hamtaki semeni siwalazimishi"alituambia shangazi.ukweli nilimuona shangazi sio mtu mzuri kabisa.nilifikilia kweli nifanye mapenzi na vanessa mbele ya shangazi na nisipofanya habari hizi zitafika kwa mjomba kitu nisichokitaka. "Sawa nimekubali"nilikubali huku nikimwangalia vanessa aliyekuwa kajikunyata kama kuku anayesubili kuchinjwa mpaka nikamuonea huruma " ndiyo nimekubali na Mimi"vanessa alikubali huku akitokwa na machozi. Basi hatukuwa na budi tuliingia tena kwenye mechi kipindi hiki sikutaka kuwa lelemama nilotaka kumuonesha shangazi Mimi ni nani.nikamuanda vizuri vanessa kwa mechi nilitanua mapaja yake nikaingia kati mzee na limashine langu likiwa limedinda mbaya vanessa alishika mashine yangu akaingiza kwenye kitumbua chake huku akitetemeka alionekana kweli ananyege sana.tuliendelea kuonesha ufundi pale kitandani mpaka nilipomuona vanessa anataka kutangaza goli lake la kwanza (tangazo usisahau kuni follow instagram @ brayton Official Love "ooooohb shiiiiii mmmmmh baby mmmmh tamu " vanessa aliongea huku macho yamemlegea mbaya niliendelea kupiga mambo yangu na Mimi sikuchukua muda mzee nikapiga bao langu.nilikuwa nimechoka sana. "Hapo mmenifurahisha"alituambia shangazi huku akifungua mlango na kutoka zake nje.yani nilibaki na mawazo sana nikatoka zangu ili niende chumbani nilishangaa kuona umeme umewashwa nikatoka mpaka sebreni nikiwa sina raha kabisa muda huo ili kuangalia kama mjomba amesha ludi niligundua mjomba bado ajaludi. nikiwa pale sebleni Mara nikamuona shangazi akiwa amevaa kanga moja huku akiniitia chumbani kwake...... usikose sehemu ya kumi na tatu like page yetu sasa share kama tupo pamoja isome yote mwanzo mpaka mwisho kwa sh 2000 *************CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA KUMI NA TATU (13) INSTAGRAM: CHAS360TZ UMRI ±18 ilipoishia sehemu iliyopita "Hapo safi mmenifurahisha"alituambia shangazi huku akifungua mlango na kutoka zake nje.yani nilibaki na mawazo sana nikatoka zangu ili niende chumbani nilishangaa kuona umeme umewashwa nikatoka mpaka sebreni nikiwa sina raha kabisa muda huo ili kuangalia kama mjomba amesha ludi niligundua mjomba bado ajaludi. nikiwa pale sebleni Mara nikamuona shangazi akiwa amevaa kanga moja huku akiniitia chumbani kwake......!!!! endelea sasa....... shangazi alizidi kuniitia chumbani kwake hata sikujua anataka nini.nilinyanyuka pale kwenye sofa ili kumfuata nilipofika pale mlangoni kwake nilikuta upo wazi kabisa shangazi akiwa ndani ya kanga moja tena anaonekana alitoka kuoga mana kanga ilikuwa imeloaloa maji na kufanya ile kanga kushikana na mwili wake "ingia sasa nawewe unashanga nini"alinistua shangazi kutoka kwenye Lindi la mawazo nikaingia mpaka ndani.shangazi alikuja kwa nyuma yangu akafunga mlango nikataka nikae kwenye sofa lililokuwepo chumbani kwake lakini akaniambia"aaah wewe utakaaje hapo hembu njo hapa kitandani nikasogea mpaka kitandani nikakaa shangazi akaenda kabatini akatoa mafuta laini akanikabizi. "Nataka unipake hayo mafuta mgongoni " "Aaah sawa Hamna shida" "Tena unipake vizuri" "Hata usijali ntakupaka vizuri tu"nikiwa naendelea kumpaka mafuta akawa ananielekeza na sehemu zingine za kupaka mara nimpake shingoni mpaka kwenye mapaja na mapaja yake yalivyokuwa yamejazia mpaka mate yamenijaa mdomoni mtoto anapaja nene jeupe laini kama la mtoto mchanga. labda ngoja nikufahamishe kidogo histori ya huyu shangazi.huyu shangazi sio mama mzazi errycah.huyu alikua mke wa pili wa mjomba baada ya mama yake kufariki kwa ajari ya gari ndio mjomba akaamua atafute mke mwingine ukimwangalia shangazi yangu huyu ni wamakamo yetu kabisa kama sio wa 96 basi 97 na hana hata mtoto ndio mana sijawai kumsalimia. ni kijana mwenzetu wakati nikiendelea kumpaka nikaona anazidi kurembua kama amekula kungu manga"mmmmh kenny hapo hapo jamani mpaka nasikia raha" "Mmmh!!!."niliguna kimoyo moyo Mara akanishika shingoni akanivutia kwake akaanza kunila denda si nikagoma"aaah!!! sitaki niachie bwana we haujui kama wewe ni shangazi Yangu"nilifoka mzee huku nikimuangalia usoni kwa hasira "Ah ah ah ah"alicheka shangazi kwazarau alinyanyuka kitandani huku akilitingisha wowo lake lililoja vizuri akaenda kwenye mkoba wake akatoa simu yake akabonyeza bonyeza kisha akanipa nione nilistuka nilipoona video yangu nikiwa nafanya mapenzi na Vanessa . "Kwanini umeamua kunirecody video nikiwa nafanya mapenzi na vanessa???"nilimuuliza kwa hasira. "Mmmh pole sana kenny hata Mimi nililitamani penzi lako ndo mana nikakuacha umalize kisha uje kwangu...kwaiyo utanipa huo utamu au haunipi???"aliniuliza huku akianza kuvua kanga yake. "Sikupi!!!"na Mimi nilimjibu kwa zarau "Aaaaah sawa najua sio muda mrefu mjomba wako atarudi na lazima nimuoneshe huu upuuzi wako mliofanya leo na ushahidi ninao"shangazi aliniambia huku akinionesha video ile. lakini baada ya kuoneshwa ile video niliona kimeshanuka nikaona bora nikubali huku nikijiuliza hii siku ya Leo mbona nikama ya mkosi sana kwangu basi mana toka nimeanza kufanya mapenzi na sethi hamna siku niliyo pumzika kila Sikh natembeza dozi. alinisogelea nilipo akasogeza mdomo wake kalibu yangu tukaanza kurana denda "mmmmh mmh mmmmh" alikuwa anatoa miguno tu mzee nikaona nisimkawize kwakuwa hakuwa amevaa kitu ndani hakikuwa kazi ngumu kufika kitumbua chake kilipo nikamwambia asimame na mguu mmoja hapandishe kwenye kitanda akafanya kama nilivyomuulekeza na Mimi nikapiga magoti katikati ya mapaja yake yani kitumbua nilikuwa nakiangalia kwa juu. ujue wengi wana jua mapenzi kuchukua mashine yako na kuingiza kwenye kitumbua wengi huwa tunakosea sana muuandae mwenzio kwa mechi kisha mnaingia uwanjani kuoneshana ufundi........ basi tuliendelea nikiwa nimepiga magoti huku kitumbua kipo kwa juu nikapeleka ncha ya ulimi kwenye kitumbua nikaona shangazi miguu ikianza kutetemeka nikaendelea na usafi wangu "mmmmh ooooshhh ta...mu baby " alikuwa analalamika kama hawa machangu doa nikaendelea kumpa Raha ya kufanyia usafi huku nikiendelea kumuanda mtoto wa kike mpaka nilipolizika tukaingia uwanjani daaah aiseee!!! shangazi alikuwa anajua kuliko wasichana wote niliotembeanao mana hivyo viuno alivyokuwa anakata duuuuh noma kama snura kwenye ile nyimbo yake na Christian Bella ""nioneshe wanachumaje mchicha tembele"" nilisikia utamu ukianzia kichwani mpaka kwenye kisigino cha mguu Nili tetemeka kwa utamu ule wa kitumbua nilicho kionja hapo hapo nika cheua mmmmmmmmmhhh,,,,,, ooooooooooshhhh tulifika mshindo wetu kwa pamoja tulipumzika huku tukiwa hoi mara gafla akaingia.......... usikose sehemu ya 14 like page yetu sasa ili uwe wakwanza kuipata simulizi hii kila ikitoka......... pata simulizi hii mwanzo mpaka mwisho kwa sh 2000 tu ***************** CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA KUMI NA NNE (14) UMRI ±18 ilipo ishia nilisikia utamu ukianzia kichwani mpaka kwenye kisigino cha mguu Nili tetemeka kwa utamu ule wa kitumbua nilicho kionja hapo hapo nika cheua mmmmmmmmmhhh,,,,,, ooooooooooshhhh tulifika mshindo wetu kwa pamoja tulipumzika huku tukiwa hoi mara gafla akaingia.......... endelea sasa aliingia errycah bila hata kupiga hodi huku akiwa anahema"nyie amkeni baba yupo nje amerudi" daaah!!! nilikurupuka pale kitandani kama mshale mpaka mlangoni nikafungua mlango bila kuangalia noma nikiwa mlangoni kwangu nimeshika kitasa ili nifungue mlango nikashanga naitwa "kenny" kumbe alikuwa mjomba "kachukue mizigo kwenye gari "mjomba aliniambia huku akiingia chumbani kwake huku akionekana kuchoka kwa safari.nikatoka mpaka nje nikakutana na nasma alinitolea sana macho " na kuniambia yani wew kweli kidume umepita nyumba nzima sasa sikia nakuomba unifate saizi jikoni unipe kimoja tu kinatosha ...... jamani nasma naomba unionee huruma mana hata sijapumzika na sizani kama hata spem zitatoka akaniambia nisijali atanipa kidongo cha kuongeza nguvu na kama nikimgomea basi atanitobolea siri yangu kwa mjomba.maneno yake hayakunishawishi sana lakini nilijikuta namkubalia baada ya kumwona akiwa ameshika funguo ya kile chumba cha siri na kuniambia sikia najua una shida ya huu ufunguo twende ukanisugue usiku huuu chagua twende jikoni au chumbani kwako...... nika mwambia anisaidie kupeleka mizigo ndani kisha twende tukafanye yetu.tulipangua mizigo na kuingiza ndani sikujua nini kiliendelea chumbani kwa mjomba ila niliona hali shwari mana huyu shangazi yangu kwa Ku igiza tu namuelewa sana tuliingia zetu chumbani.nikameza kile kidonge cha kuongeza nguvu nikamvamia na kuanza kumchezea nasma. Nikaona mlango unafunguliwa na mtu akiingia kwa kunyata tulitulia huku tukimuangalia kwa umakini aliyekuwa anaingia.kumbe alikuwa vanesa tena alikuwa amevaa kanga moja tu. mmmmh nikaguna kimoyomoyo na kusema INA maana dozi niliyo mpa haijamtosha mbona anataka kunitia aibu nikafaamika Nina tembea na ndugu zangu mana shangazi na errycah teali wanajua Nimetembea na Vanessa na nasma na yeye ajue" nikataka kuongea nasma akaniziba mdomo na vanesaa nae alipotuona alistuka mpaka akataka kudondoka " umefata nini we malaya!!!??" Aliulizwa swali na nasma likiambatana na tusi " ni,,,, ni,,, nili,,, kuwa naenda chooni" "Huku chooni sasa" "Mmmmmh mmmmh" alikata kwa kutingisha kichwa. mzee nilikuwa nimetulia tu nikiangalia move linaloendelea " haya toka haraka "vanesa alifukuzwa kama mbwa.aligeuza akitaka kukimbia. " we we we we ngoja kwanza" nasma alimwambia vanesaa na Vanessa akasimama mlangoni huku akitetemeka " na ole wako ukaseme kwa mtu yoyote ntakunyonga" nadhani una nijua vizuri nilikufanyaga nini........ aliongea nasma kwa hasira huku kayatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango "Potea" Vanessa alipoluhusiwa kutoka chumbani alikimbia huyo mpaka nikataka kucheka.nasma nae akaamka kitandani na kuelekea mlangoni kwa ajili ya kuondoka lakini alipofika mlangoni............ usikose sehemu ya 15 like page yetu sasa ili uisome bila usumbufu ********* ... Read More
CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA (26) UMRI ±18 🔥🔥🔥🔥🔥⛔ ilipo ishia ndo icho tu au kuna kingine nikamjibu hamna nilishangaa kuona kanikubalia kwa haraka sana huku akiniambia tuwahi bank tukachukue hela kisha kesho tupige mechi moja matata kama ya leo ile nataka kumjibu nilipo tazama kwenye kioo nilimwona mdada akiwa anatu record na simu ila uzuri wake sauti haiwezi kuwepo ila vitendo vitaonekana niliwai kufungua mlango na kumkuta yule mdada bila ya wasiwasi akaniambia tuingie kwenye gari ana maongezi na sisi.............. endelea sasa alinaza kwa kughuna kwanza huku akituangalia alikua amekaa siti ya nyuma ya gari na sisi tupo mbele. "we errycah wewe ni wakufanya mapenzi kwenye gari la baba yako tena barabarani sasa nampelekea ushahidi wote baba yako na utaona atakacho kufanya mana Alisha wai kuniambia Siku akisikia kuna mtu anamchezea binti yake atawamwaga ubongo hapo hapo" "kwani we nani"errycah alimuuliza swali bila ya wasiwasi wowote "unijui eeeh baba yako akiondokaga unajua anaendaga wapi.sasa kwa taarifa yako anakuja kwangu Mimi ni mama yako mdogo.na wewe kijana naona unayachezea maisha yako"alipo maliza kusema Yale akachukua simu na kumpigia mjomba "hallo" "yes Darling niambie"ilikua ni sauti ya mjomba hapo hapo tukampa ishara asizungumze chochote alimkatia simu na kutuuliza "si mnajifanya amniamini sasa mkitaka niifute hii video na nisimweleze wewe kijana leo usiku njoo ulale kwangu mana nime penda dozi yako.na wewe errycah kwanzia leo sitaki nikuone ukiwa karibu na huyu kijana." sikua na lakupinga ila nilijisemea moyoni mwangu ivi kwa nini kila mwanamke anaye niona anataka nifanye nae mapenzi lilikua swali ambalo halina majibu kimya changu kilionyesha kukubaliana na lile na akaniambia "jioni SAA 1:30 toka nje ya geti nitakufata na gari twende kwangu na usipo tokea mtaniona mbaya." alishuka yule mdada na kuondoka zake ukimwangalia analipa mana tako analo sema yeye mrefu kuliko Mimi.errycah hakua na la kusema zaidi ya kuniambia ukienda naomba utumie mpira alafu mkomoe mpe dozi mpaka atoke kizazi mana anaonekana Malaya sana yule mchiiiiuuuuuuu......" alimaliza kwa kumsonya yule mdad tukaweka siti vizuri na kuliondoa gari kuelekea bank uzuri wa pale tuliingia ndani kabisa na kukutana na kiongozi tuka mwelekeza akatupa na fomu tukajaza akatuambia tusuburi nje kwa mda atatuita tuje kuchukua mzigo. tulisubiri nje kwa dakika kama 20 hivi tukaitwa ndani kisha tuka hakikisha imetimia na kumuambia atu tenganishie.hela ikapakiwa kwenye briefcase mbili maana moja yangu moja ya mjomba ilibidi tupate lunch mana ilikua mida kama ya SAA 9 ivi.nilishindwa kumficha errycah kwamba yule mgeni wa jana ni mdogo wangu merry.errycah hakushtuka sana zaidi ya kusema "nilihisi ni yeye ila sikua na uhakika"mana alikua mchafu sana.nikamwambia na hizi hela naenda kumnunulia nyumba na Mimi nitaondoka pale kwenu..... "nini uwezi kuondoka pale kama bado hatuja jua ukweli wowote na utaondokaje ? uniache Mimi ? nani atanikuna ? au unaona raha Mimi kufanya mapenzi na baba ? tutaondoka wote baada ya kukamilisha mambo yote na kama tutamkuta na hatia basi tumdoshe chini na aishi kama shetani.mana si kwa madhambi ya baba.ila naomba uniahidi utanioa mana nakupenda sana hata kama sisi ni ndugu naomba tuweke undugu pembeni I love you Kenny..... sawa nilimwitikia kwa kichwa kuonyesha nimekubaliana naye kwa 100% kwamba Nita mwoa ila dhumuni langu ni kuhalikisha maisha yangu yana kaa vizuri.niliemdesha gari mpaka horena hotel na kumkuta merry akiwa amekaa alionekana ana mawazo sana tulipata lunch wote kwa pamoja kidogo alionekana mchangamfu tukiwa pale errycah alipigiwa simu ma mjomba na kutuambiwa tuwahi kutudi anatusubiri sisi ilibidi tufanye upesi nilimwachia hela kidogo merry na kumuahidi kesho nitakufanyia surprise kubwa mdogo wangu. nili mkumbatia na tukaagana ile naelekea kwenye gari nilishangaa kusikia sauti ikiniita alikua ni yule muhudumu niliye sex nae nilimpa ishara Nina haraka Sana na kumwambia atanipigia tuongee vizuri nilitoa gari kwa speed ya ajabu mpaka errycah akaniuliza nani aliye kufundisha Ku drive gari kwa kasi namna hiii.nikamwambia ni utundu tu na kujiongeza tulipiga kona ya kwanza ya pili tulifika nyumbani na kumkuta mjomba akiwa na wasiwasi mwingi tulimpa document zote na hela zake alifurahi sana na kuniambia atanipa zawadi.tuliendelea kupiga story huku tukiangalia mpira ilikua mechi kati ya liverpool na manchester city ambapo liva alishinda 4 kwa 3 nilisikitika sana mana nilikua nashabikia man city kibaya zaidi niliweka mkeka wangu wa 50000 nikaliwa. (ipate simulizi hii mwanzo mpaka mwisho kwa sh 500 tu) 0744204283 mjomba aliagiza nikamwite mlinzi kuna maagizo anataka ampe nikatokanje kwenda kumuita nilishangaa kumkuta mlinzi akiwa nje.nilipotoka nje kabisa ya geti nilimkuta yule mdada aliye tufumania kaja kunifata nika mpe dozi naka mwita mlinzi nika mwelekeza anaitwa ndani nikampa ishara yule mdada anisubiri dakika 5.niliingia ndani na kumuomba mjomba ruhusa rafiki zangu wamekuja kunipitia tunaenda kwenye mkesha wa kuliombea taifa litakalo fanyika st peter.kwa sababu mjomba na mambo ya kanisani sukari na chumvi aliniruhisu haraka haraka nika waaga nikaondoka zangu huku nikimwacha mlinzi ndani akiwa anaongea na mjomba.nilifika moja kwa moja nikaingia kwenye gari na safari ya kuelekea kwake ikaanza alikua anaishi masaki ile ile na hapakua mbali na nyumbani kitendo cha dakika 10 tu tukafika kwake.geti lilifunguliwa tukaingia lakini kabla ya kushuka aliniambia utalala mpaka asubuhi kisha Nita kurudisha ilikua nyumba kubwa kama ile ya mjomba kidume nika zama ndani na yule mdada ukimwangalia anacheza kwenye miaka 25-26 ni saiz yangu kabisa. sema kanizidi kidogo tu nilipofika sebreni nilikutana na ma binti wawili akanitambulisha huyu anaitwa rose ni mdogo wangu na huyu ni Dada yetu wa kazi anaitwa tekla.walinipa salamu nikawaitikia kisha aka muagiza yule Dada wa kazi atuandalie chakura kisha akamwambia rose kama umesha kula nenda kalale usiku huu kesho shule. "jamani Dada bado sijamalizia kuandika essay tuliyo pewa leo tuition na kesho wanakusanya"nilipo sikia vile nikajua huyu yupo secondary tena kama sio form 3 basi 2 alafu kulika ana lika kabisa mana ana shepu flani kama la Dada yake nilijikuta namtamani na kujiapiza lazima nimpitie nilisahau kile kiapo nilicho jiapiza.tuliletewa kuku aliye kaaangwa na ka ugali kadogo sikufichi mtu wangu nilishindilia nyama mana kibarua kilichopo mbele yangu kizito huku tukisindikiza na wine. tulivyo maliza kupata dinner wote wawili tulikua kama tume lewa vile tulikokotana mpaka chumbani huku tukiwaacha rose na tekla pale sebreni.yule Dada aliwaambia mkimaliza naomba mkalale na msije mkamwambia shemeji yenu.wote waliitikia kwa pamoja "sawa" tuliingia ndani na kuanza kuchojoana nguo huku kila mmoja akiwa na hamu na mwenzie.nilishangaa alitoa kidonge na kunipa nimeze nika mkatalia kwa sababu nilikua nimetanguliza pombe na kuniambia hakina madhara yoyote we kunywa.mana kina kazi yake nika kimeza kile kidonge na baada ya dakika 5 nilisha ngaa kuona dude lilisimama na kunyooka huku likijitokeza misuri kuashiria lipo teali kwa mchezo......... CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA (27) UMRI ±18 🔥🔥🔥🔥🔥⛔ ilipo ishia tuliingia ndani na kuanza kuchojoana nguo huku kila mmoja akiwa na hamu na mwenzie.nilishangaa alitoa kidonge na kunipa nimeze nika mkatalia kwa sababu nilikua nimetanguliza pombe na kuniambia hakina madhara yoyote we kunywa.mana kina kazi yake nika kimeza kile kidonge na baada ya dakika 5 nilisha ngaa kuona dude lilisimama na kunyooka huku likijitokeza misuri kuashiria lipo teali kwa mchezo......... endelea sasa nilimsogelea yule dada ambae hakunitajia jina lake mpaka mda huu.nika mweka sawa lakini nilishangaa aliziba papa yake kwa mkono kuashiria hayupo teali kwa mechi.nilianza kusikia maumivu kwa mbali akaniambia nimuandae na yeye ili tuienjoy wote nika kubari nikaanza kumnyonya chuchu zake nika mwona anaanza kujikunja kunja kama nyoka anaye vua gamba lake huku akitoa miguno nilishindwa kuendelea kutokana na maumivu niliyonyasikia nilisha ngaa kuona dude likikaka maa nilimtanua mapaja yake na kuanza kupitisha mashine yangu kwenye kitumbua cha bibie “aaaaaaaaaaaah,,,,ssssssssssssssssssss,,,,aaaaaaaaaaaaaaashiiiiiiiii,,ooooooooh,.,aaashiiiii,,,ashiiiiiiii,,"alitoa miguno kwa sauti hata walio kua nje wanaisiki niliendelea kupampu mpaka bibie akaanza kutoa kilio cha kuonyesha yupo karibu kukujoa “aaaaaahhh,,,,uuuuuuuh,,,oooooooooooooooshiiiiiiiiiiiiiiiii,,,mamaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,aaaaaaaaaaaaaah,,,,,nakojoaaaaaaaaaaaaaaa,,"Alitangaza kukojoa ambapo alijinyonganyonga huku akifanya kama anataka kujichomoa mana alihisi moto kwenye kitimbua chake kidume sikujali niliendelea kutembeza dozi tena nika mbananisha kwenye kona ya kitanda mtoto aliendelea kutoa miguno oooooooooohh.......mamaweeeeee........ tupumzikeeee kidogooooooohh aiiiiiishhhhiiii taaaamuuuuuu,......... nilipo taka kuchomoa alinivuta na kuniambia usichomoeeeee endeleaaa nakaribia cha piliiiiii nitiiiiiieeeeee yani kile kidonge safi sana kidume nilikua bado sna hata dalilii nilimpampu mpaka k yake ilikauka majii akaanza kusikia maumivu bahati nzuri niliwaona wazungu wakija nilimwagia humo humo aaaaaaaishhhhiiiiii asante baby......... endeleeaaaaaa........ mzigo hauku lala nilendelea kumpeleka puta tulishtushwa na sauti ya mdogo wake rose ilija kutugongea aliamka yule Dada na kwenda kumsikiliza mlangoni...... "we vipi" ,"dada shemeji kaja yupo getini mlinzi anamzubaisha zubaisha mtoe haraka Huyo mtu," "mungu wangu Fanya haraka mjomba wako kaja nitafanyeje mimi " mda huo pombe zote ziliisha nika okota nguo zangu na boxa nikiwa uchi nilipo toka kwenye korido waliniambia niingie chumba cha rose huku dude likiwa lime kakamaa vile vile lenyewe halijui hatari linataka kitumbua tu. niliingia ndani na kujibanza nyuma ya mlango huku nikiwa natetemeka mana mjomba akinikuta hapa lazima anilambe shamba kwa nje nilimsikia mjomba akionge ongea akielekea chumbani kwa yule mdada kidogo nikawa na amani nikaanza kuvaa boxa yangu lakini sikuweza kutokana na maumivu niliyo yasikia dawa yake nipate show niifanyie kazi kwa bahati nzuri aliingia rose akiwa na daftari zake huku akiwa amevalia kanga moja sikutaka kumlemba nika msogelea na kumwomba tafadhari naomba unisaidie mwenzako nakufa Dada yako kanipa vidonge vya kuongeza nguvu bado ninahamu naomba unisaidie. sikufichi mtu wangu ukitumia vibaya hivi vidonge tuna kuzika.sasa sikia Mimi hiyo shughuli siiwezi mana hapo mpaka ipungue nguvu inabidi uwe umepiga kama bao 5 hivi uko ulipotoka umepiga ngapi nikamjibu moja heheeee leo lazima ufe kwaiyo mda wrote huo umepiga moja izo NNE unimalizie Mimi hata nyege zangu lazima ziishie mwenye bao LA pili njoo unipige izo mbili zitakazo baki utakua pa kuzipeleka usije ukanitoa kizazi Bure...mtoto wa watu. kitendo cha kunipa ruhusa tu lilikua ni kosa kubwa sana ni sawa na nyoka kaku ng'ata alafu unamkanyaga tena mkia nilimsogelea rose kuanza kumpa romance mtoto alikua anamate matamu yule nilizidi kuchanganyikiwa pale nilipo mtoa kanga yake aliyo jifunga mtoto alikua mweupe peeee na chuchu ndogo zilizo simama Dede swali nililo muuliza ushawai Ku sex mtoto alinijibu kwa ishara ndio kutoka na kuzidiwa na utamu wa denda alilegea kama teja aliye piga vitu vyake.nika Pima oil kwenye kitumbua chake na kukuta mtoto kajichafua zamani sana.nikaona ndo mda muafaka wa kutuliza hasira za nyoka wangu aliye pandishwa mizuka na dada yake.nika mnyakua na kumbwaga kitandani huku mtoto akiwa ajielewi kumbe nyege zake ukimpa ulimi tu umesha mmaliza.kika mkunja saba mtoto kisha kitumbua chake kikaja kwa nyumba nakwambia hawa watoto wadogo watamu bwana.ila sikushauli mana mtaanza kuwaalibu bure na kusema tumesoma story ya chas360 imetuambia wadogo watamu LA hasha hii ni stori ya kutunga tu. ok twendelee mzigo ulizama wote tena ndani kulikua na joto balaa lililo nifanya nisikie utamu ambao sikuwai kuupata hapo mwanzo kwa dada mtu nilimsugua taratibu taratibu ili niendelee kuusikia ule utamu na rose akaanza kutoa miguno “aaaaaaaaaaaaaammmmmmmmmmh,,,,aaaaaaaaaaaaaaashiiiiiiiiiiiiiiii,,,,oooooooooooouushiiiiiiiiiiiiiii,," huku akiibana midomo yake kwa kuusilizia utamu ulivyo kua unapenya kwenye kitumbua chake, macho nayo yalikuwa kama teja mana aliyalegeza huku akiyafumba na kufumbua kwa utamu uliopo kwa mwendo ule ule nilijikuta mashindwa kujizuia na kuanza kucheua kabla yake mmmmmmmmmmmhhhh..............aaaaaaaaaaahhhh........... niliwaachia askari wangu waende kwenye kitumbua cha rose.huku rose akionyesha kufurahishwa kwa kitendo kile na kuanza kuzungusha kiuno chake kidogo kama nyigu nilipiga nje ndani kwa mwendo wa madaha na mtoto na yeye akatoa askari wake ili wakutane wafanye mazungumzo nakojooooooooooooooo........!!!! alishindwa kumalizia sentesi akabaki kimya huku speed ya kuzungusha kiuno ikiongezeka zaidi ya Mara ya kwanza kidume niliendelea na safari ya kulitafuta bao la pili kwa rose.mtoto alionekana kuchoka kutokana na mashine yangu kuonekana ipo imara rose alifulia kimya kama hayupo kwenye mechi nikaaanza kupampu haraka haraka ili kuuwai ute ute ulio kwepo mle ndani usikauke.alizidisha miguno baada ya mashine kwenda kwa speed aaaaaaah....... ooooooohhhh.... aiiiiiiiiiii...... yessssssa......aaaaaaahhhhh woooooww.......lugha zote zilikua zake nilijikakamua mpaka tukafika wote mlima Everest aaaaaaahhhhh......!!!!! “aaaaaaaaaaaaaammmmmmmmmmh,,,,aaaaaaaaaaaaaaashiiiiiiiiiiiiiiii,,,,oooooooooooouushiiiiiiiiiiiiiii,," mtoto alijinasua baada ya kuniona naendelea kumpampu wewe unataka uniue Mimi kesho inabidi niende shule.dudu lilikua bado limesimama linataka kula kitumbua.tulisikia sauti ya miguno pale mlangoni kuashiria kuna mtu alikua anatupia chabo.............. ... Read More
Story........ NI WEWE TU PENINA Sehemu ya kumi na mbili (12) By GIVAN IVAN Phone & whatsapp.... 0769673145 Ilipoishia.......... Penina na Frank walishangazwa Sana na maamuzi ya Nolan lakini hata hivyo Nolan hakutaka wamuulize swali lolote, alimwamuru dereva wa tax ile awashe gari na kuondoka. Kisha Nolan naye akaingia kwenye gari yake na kugeuza kuwafuata vijana wale wa the killer na wakati huo walikuwa tayari wameshaungana wote kwa maana ya kikosi kile cha kwanza kilichokuwa kikimtafuta Nolan na kile cha pili kilichokuwa kikimtafuta Frank. *********Endelea ********* Vikosi vile viwili ambavyo vilikuwa kwenye magari mawili viliweza kumuona Nolan akiwa anarudi kule alikotoka. Vikosi vile navyo haraka haraka vikageuza magari yao na kuanza kumfuata Nolan. Nolan aliweza kuwaona wakimfuatilia na ndio kitu ambacho Nolan alikitaka, lakini kilichomshangaza Nolan ni kwamba Sasa anafuatiliwa na magari mawili tofauti na mwanzo walipokuwa wakimfuatiliwa na gari moja. Lakini Nolan hakujali hilo, akaacha barabara na kukataa kushoto na kuingia kwenye njia moja ya vumbi ambayo haikuwa ikipita watu Mara kwa Mara. Nolan baada ya kuingia kwenye barabara ile akasimamisha gari na kushuka ndani ya gari lile. Na sekunde hiyo hiyo magari mawili ya vijana wale wa the killer wakawasili pale alipo Nolan na kusimamisha magari yao Kisha wote wakashuka kwenye magari yao ambao kwa pamoja walikuwa Nane. Vijana wale wa the killer walishaangaa baada ya kufika na kumkuta Nolan peke yake badala ya kuwakuta wote Nolan pamoja na Frank. Nolan alikuwa amesimama pembeni ya gari yake huku akiwatazama vijana wale waliokuwa wakimsogelea taratibu. "mwenzako yuko wapi?" kijana mmoja wa the killer akamuuliza Nolan huku akijaribu kumkamata Nolan kwenye shingo. Kijana yule alijikuta akipokea ngumi Nzito ya tumbo kutoka kwa Nolan ambayo ilimfanya adondoke chini kwa magoti. Wale vijana wengine walishtuka kuona mwenzao alivyotandikwa ngumi ya tumbo. Lakini hata hivyo bado vijana wale waliamini Nolan hawawezi kwasababu wako wengi na wote wana silaha. Vijana wale kwa pamoja wakaanza kumfuata Nolan, Nolan naye akapiga hatua kadhaa na kurudi nyuma na kuwasubiri. Vijana wale walipomkaribia Nolan kwa pamoja wakaanza kurusha ngumi na mateke kumvamia Nolan. Lakini Nolan alikuwa akiwakwepa tu bila kumgusa mtu yoyote, ndani ya dakika tano Nolan alikuwa akiwakwepa vijana wale waliokuwa wakimshambulia bila mafanikio. Lakini Nolan alizubaa kidogo na kujikuta akipokea ngumi Nzito ya uso kutoka kwa mmoja wa vijana wale. Lakini hata hivyo kijana yule aliyembahatisha Nolan ngumi ya uso ikawa ndio mwisho wake wa kuishi duniani, kwani Nolan alimkamata na kuanza kumshambulia kwa ngumi za haraka haraka na kummaliza kwa kumvunja shingo. Wale vijana wengine ndio walishtuka vibaya mno na kuona huyu mtu sio wa kawaida, wakaamua wamshambulie kwa silaha zao baada ya kuona hawatamuweza kwa mkono. Vijana wale walichomoa bunduki zao na kuziweka tayari kummaliza Nolan. Lakini Nolan alikuwa tayari ameshaingia kwenye gari na kuondoka kwa spidi kali na kuwaachia vumbi kali Vijana wale. Nolan aliamua kukimbia baada ya kuona vijana wale wakitoa bunduki zao, hivyo asingewaweza kwa sababu yeye hakuwa na silaha yoyote. Vijana wale nao hawakumuacha waliingia kwenye gari na kuanza kumfuatilia Nolan. Lakini mpaka pale Nolan alikuwa tayari ameshawapoteza vijana wale na yeye Sasa alikuwa ameshika njia ya kuelekea nyumbani. * Mzee Joel akiwa ameketi sebuleni kwake akisubiri majibu ya kuuwawa kwa Frank na Nolan simu yake ilianza kuita na alipoangalia mpigaji ni nani alikutana na Jina la Dickson, kijana ambaye mzee Joel ndio anataka amuoe mtoto wake Penina. Mara moja mzee Joel akaipokea simu ile. "mzee Joel habari yako?" akauliza Dick baada ya simu yake kupokelewa na mzee Joel. "salama kijana wangu habari ya huko"? Akajibu mzee Joel na kuuliza. " huku Safi tu, Sasa mimi nilikuwa nataka nije kumchukua Penina moja kwa moja nahitaji kuwa na familia Sasa. " akaongea Dick kumwambia mzee Joel. " kijana wangu usiwe na haraka tunaweka mambo Sawa na Muda wowote tutakuita uje umchukue mke wako. " akaongea mzee Joel kumpa moyo Dick. " unaweka mambo Sawa unaweka mpaka lini kama ni pesa nikekupa za kutosha mbona unanizungusha zungusha tu au nikuongezee pesa zingine? " akaongea Dick huku akionesha kuchoshwa na namna mzee Joel anavyomzungusha. "kijana wangu tafadhali naomba utulie Penina ni wako usiogope." mzee Joel akamwambia Dick. "nitulie nitulie mpaka lini nakuja Tanzania kujua Kwanini unanichelewesha kumuoa Penina na wakati nimeshakupa pesa nyingi Sana." akaongea Dick na kukataa simu. Mzee Joel alihisi kuchanganyikiwa hakujua afanye nini ili aweze kumuunganisha Penina na Dick. Na wakati huo huo mlango ulifunguliwa na akaingia Nolan huku akiwa amechafuka kwa vumbi. "Wewe mbwa mbona unaingia ndani kwangu bila hodi?" mzee Joel akamuuliza Nolan huku akiwa amevimba kwa hasira. "mzee tulia huu mchezo umeutaka mwenyewe lazima Frank amuoe Penina." akaongea Nolan maneno hayo ambayo yalizidi kumpandisha hasira mzee Joel na kujikuta akimrushia Nolan glass ya maji iliyokuwa kwenye Meza. Nolan aliigonga ngumi glass ile na kuipasua pasua. "ukiniletea upuuzi na wewe nitakupasua pasua kama hiyo glass." Nolan akamwambia baba yake mzee Joel na kuelekea chumbani kwake. * Frank na Penina baada ya kufika uwanja wa ndege walifuata taratibu zote na hatimaye wakafanikiwa kuingia ndani ya ndege na dakika chache baadae walikuwa angani wakielekea South Africa. "kama tukifanikiwa kufunga ndoa nitafurahi Sana yaani furaha nitakayokuwa nayo sidhani kama itaelezeka." aliongea Penina huku akiwa amejiegemeza kwenye kifua cha Frank. "usijali mpenzi kila kitu ambacho kinatokea kimepangwa na Mungu na vitakavyotokea mbele ni Mungu pia anajua, hakuna mwanadamu asiyependa furaha." akaongea Frank kwa upole kumuambia Penina. "ni kweli mpenzi wangu." akajibu Penina na safari ikaendelea kwa masaa kadhaa na hatimaye wakawasili South Africa Katika jiji la Johannesburg na kuchukua chumba Katika hoteli moja ya kifahari. Baada ya kupumzika kwa dakika kadhaa Penina na Frank waliwasiliana na Nolan na kumjulisha jinsi safari yao ilivyokuwa. Nolan aliwataka wakae kwa amani na wasiwe na hofu yoyote yeye anaweka mambo Sawa na yakiwa tayari bas atawajulisha. * Vijana wa the killer bado walikuwa wakimtafuta Nolan na Sasa waliwasili nyumbani kwa kina Nolan na kukutana na mzee Joel ambaye aliweza kuwaambia Nolan yupo ndani na akawaelekeza chumba chake wakammalizie huko. Vijana wale taratibu walianza kuelekea Katika chumba cha Nolan, lakini kwa bahati mbaya ama nzuri Nolan aliwaona. "mmeamua kunifuata mpaka nyumbani nyie mmeisha." akajisemea Nolan Kisha akatoka chumbani kwake akiwa kifua wazi na kukutana na vijana wale sebuleni. Kilikuwa kitendo cha kushtukiza vijana wale hawakutarajia kukutana na Nolan sehemu Ile. Kitambo waseme waweke silaha zao tayari Nolan alianza kuwashambulia, na baada ya dakika chache Nolan aliwaweka vijana wale wote chini kwa kuwavunja vunja sehemu za miili yao. Mzee Joel ndio hakuamini baada ya kuingia ndani na kukuta vijana wote wamelazwa chini alafu kidogo hivi akatokeza Nolan akiwa amepigilia suti nyeusi Kisha akamwambia baba yake ambaye ni mzee Joel, "naenda kwenye kikao cha harusi ya Penina na Frank na kama utahitaji kadi unijulishe nikuletee ya kwako." ....... Itaendelea. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: