AISHA SEHEMU YA SABA STORY NA @⁨Glory😘🥀💫⁩ Tatizo lilikuja baada ya Jasmini kujifungua mtoto wakike, yule mume wamtu mzee Nampo akakata mguu ghafla akuonekana tena kwa Jasmin, ilipita siku mala mwiki,bila kuonekana , ikawa kamtelekeza mazima, bila huduma yoyote bahati nzuri kipindi cha ujauzito, ambacho Jasmin alikuwa amehacha kazi, alikuwa ameanzisha urafiki na Jackline mke wa Emili, alikuwa akishinda nyumbani kwa Jackline nakusababisha azoweane sana na Jackline, kiasi wakawa marafiki wakubwa, na ndicho kipindi ambacho Jasmini walipiga picha ya pamoja, na kubakinayo Jackline, ata alipo jifungua nakutelekezwa likawa jukumu la kumhudumia Jasmini na mwanae ni laEmili na Jackline, na kwa luksa ya Jasmin walimpatia jina la Aisha, Jackline alimpenda sana mtoto Aisha, alimhudumia kama mwanae, alimpatia kila kitu ambacho mtoto alitakiwa kukipata, yani Aisha aliishi kama mtoto wakitajiri, Sikumoja Aisha akiwa ametimiza miezi sita, Jasmin aliamka mapema akagonga mlango nyumbani kwakina Jackline, akaomba awaachie mtoto maana yeye anaenda mjini malamoja, akiahidi kuwa atochelewa kurudi, Jackline akamchukuwa Aisha ambae alikuwa memzowea kuliko mama yake mzazi, baada ya Jasmin kuondoka, masaa yalianza kuyoyoma, masaa yalienda toka saa moja kasolo Jasmini alipoondoka mpaka saa tano asubui, Jasmini akuonekana, ikafikia kipindi mtoto Aisha alijisaidia Jackline ilkuwa kawaida yake kumbadilisha nepi mtoto pindi anapokuwa amejisaidia, sasa basi wakati anambadilisha nepi akaona kijikaratasi kikidondoka toka kwenye nepi ya Aisha, akakikunjua na kukisoma, “Dada samahani kwa uamuzi nilio uchukuwa, nimeona nikuachie mwanangu najuwa unaupendo nae mkubwa sana, mwanzo nilitaka nimtupe mtaani, lakini nikaona nikimwacha kwako atakuwa sehemu salama kabisa, mimi nasafiri mbali nje ya nchi ya Tanzania, sipajuwi napo kwenda, nipo nawenzangu nina namba yasimu yahapo kwenu, nitawajulisha nitapo fikia, Aisha akiwa mkubwa mumjulishe ukweli huu mwambieni nampenda sana, sikuwa na namna” Jackline alishindwa afanyaje alie afurahie auzunike au asikitike, akachukuwa kile kikaratasi na kukiifadhi, Maisha yakaendelea huku Aisha akizidi kukuwa, akielewa kuwa wale ni wazazi wake, atamajirani walitambua hivyo kuwa Aisha nimtoto wa familia hile, hapo wazo la mtoto likapunguwa vichwani mwao, miaka miwaili baadae Jasmini aliwapigia simu, kuwa yupo congo DRC zamani pakiitwa Zaire maeneo ya Ben baada ya miaka miwili tena, Aisha akiwa na miaka mine, akapiga simu kuwayupo Kenya nyumbani kwao, na ameamua kujiajili kama mjasiliamari, anatengeneza nakuuza sabuni kwaajili ya kusafishia vyoo na masinki, miaka ilizidi kusonga Aisha akanza shule ya hawali kisha msingi, sikuzote akipewa na kufanyiwa kila kitu na watu awa aliokuwa akizani ni wazazi wake, Aisha akiwa na miaka kumi na tatu uzuri wake ulianza kuonekana wazi wazi, alishaingia darasa la tano, ndipo Jackline ambae alimjuwa kama mama yake mzazi, alianza kuumwa tumbo kwamala nyingine tena, tumbo ambalo lilisababisha kifo chake, UNAJUWA KWANINI BABA AISHA AMEAMUA KUTEMBEA NA AISHA? , BASI ILIKUJUWA MENGI ZAIDI ENDELEA, BILA KUSAAU MAONI IN BOX ,

at 10:44 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top