Home → simulizi
→ NIFANYE NINI
Sehemu ya 01
Jina naitwa mariam mkazi wa morogoro mjini mitaa ya forest hii ni story ya kwel inayo
simuliwa na mimi mariam na kuandikwa na 🅱rayton
👉🏿Nnacmulia story ya maisha yngu
Mda wowote nnawweza nkafa kwaajil ya mawazo
Sijaandika na wala sio mwandish mimi.Kwa ufupi tyuu
Japo cwez maliza kwa
leo😭😭
Katika familia tulizaliwa watoto 7 wakike🚶🏻♀ tulikuwa 4 na wakiume🚶🏼 walikuwa 3 Mimi nilikuwa wa pili kuzaliwa pia ndo mtoto wa kwanza kwa upend wa watoto wa kike🚶🏻♀.
Siwezi sema nimemaliza kidato cha nne📚 wakati nilishia kidato cha pili maan shule niyokuwa na soma haikusajiliwa na serekali.Elimu yang ikawa ya kuungaunga
Nilipoteza miaka miwili bure bila upata chochote maan shule haikusajiliwa
Nikaaenda soma QT na maanisha Elimu ya watu wazima japokuwa nilikuwa sijafika miaka ya 18 Nilisoma mwaka moja kwa madarasa mawili pia nikafeli mtihan😭😭😭😭😭
Elimu ikanchoshaa sana nikaona kam nilipoteza muda tena kwenda QT
Pia nilivyokuwa nasoma QT nilijikuta naashisha mahusiona na mwanafunzi mwenzangu jina lake Bakari
Nilipata mimba niliumia sana tena san nilivyo mwambia Bakar alikataa katakata Niliamua kutoa bila wazazi kujua daah mungu nisamehee😭😭😭
Kwa sababu nilifeli nikaa nyumban bila kazi wal kuwa na chet cha elimu
Kama unavyojua mtoto wakike tofaut na wakiume nipokosa hela ya kujikimu nikaanza umalaya hil nipate pesa ya kujikimu 🤦🏽♀.
Nimekaa sana homee but nikaanza kutafuta kaz kulingana na elim yangu📚
Nilisota sana kupata kazi nikabahatika kupata kaz kweny kiwanda mazavaa kipo hapa hapa morogoro mjini
Ndo nilipo hadi sasa nakaona afadhaali kwangu coz ndo niliaanza maisha yngu japo nilikuwa bado nip nyumban namaanisha kwa baba na mama
Baada ya kupita miezi mitano nilipata rafiki wa kiume jina lake Steven
Pia Nkiwa kazin nikaanzisha mahusiano👫 ya kimapenz na kijana steven
Ni kijana wa kichaga ambae tulikutana kazin
Alinipenda sana yule kaka❤❤❤❤❤
Kwakua nilikua bado nipo kwa wazaza
Pia huyo kijana tulikua tunakaribiana mitaa namaanisha tulikuwa majiran
Baada ya mwaka kupita yule kijana🚶🏼akaachishwa kazi😭 kwasababu alikuwa mkorofi kweny kitengo chao maan walikuwa vijana weng katik kitengo icho km unavyojua kaz za viwandan
Pia nilikuwa mnyonge sana
Nikawa naenda kazin mwenyew asubuh na kurud pekee wakat awali tulikua tunaongoza
Sasa katka njia nliokua napita kwenda kazi kuna m baba alikua anafanyakaz pepsi
Ambapo sio mbal na kazin kwangu
Alikuwa naishi midaa ya juu kidogo na mahali nilipokuwa naishi mim.
Kukweli kazi palikuwa mbali sn na nyumba kwa watu wanaoish morogoro wanajua umbaliwa forest na mazavaa
Ni mwendo wa masaa 2 kwa haraka sana kwa mwendo wa kawaida ni masaa 4 naa
Yule baba akaanza kunipa lift wakat wa kwenda kazi
Nikiwa nalud kama kawaida yang kwa miguu hadi nyumbani
Muda mwingine nilikuwa nikipitia kwa boy wangu steve yule alieacha kaz
Baada ya muda Yule baba akaniomba no ya cm nkampatia sababu nilishazoeana nae
Tukaanza Kuwasiliana asubuh kabla hajatoka ananipigia. Ananikuta barbarn ananibebaa
Ikaendelea ivyo ivyo Saaa ikawa hadi rafki zangu wakawa wanapanda lile gar kwa niaba yangu
Yule baba akanitaka kimapenz coz familia yke ilikua dodoma
Yeye alikuja kikaz tu.Xo alitaka company
Na mimi bila kusita nikamkubalia kwasababu nilimzoea sana mpenzi❤ ya kaanza kwa huyu Baba❤❤
Baada ya muda nikapata tena ujauzito(mimba)Ya yule kaka mchagaa steven
Kwa yule baba haikuwa rahis coz nlikua natumia kinga pind tunapokutana
Yule kaka hakuwa na kaz kwa kipind kilee niliwaza sana😭😭😭😭😭😭
Pia Kazin cna mda mrefu napata mimba then yule kijana hana kaz ntafanyajeee 😭😭
Daah sikuwa na jinc nkaamua kuitoa tena ile mimbaa.Mungu anisamehe mimi😭😭😭😭.
(Najuta bray naumia)
Nataman kutubu kwa mungu wanguuu niliumia sana tena sana😢 Hadi wazaz wangu wakajua kama mimi nimetoa mimba🤰🏻Yule kaka alickitika sanaa yule alinipa mimba🤰🏻sababu hakuwa na mtoto na yeye alikuwa anapenda awe na familia👪 mimi niliogop kumpa majukum mazito wakat hanakazi.
Maisha yakaendelea na yule baba wa pepsi kwenye gari🚗Tukaendeleza mahusiano
Yule baba
Akanishawish nihame nyumban kwanu akanipangishie karibu na kazin. Kwel nkamckilizaa
Sikukaa muda san kam wiki nikaongea mama aniruhusu nikapange mam alikataa katakata
Hasiesikia la mkuu uvunjikata guu mm nikafosi pia mapenzi kwa yule kijana stev yalipungua sana💔 kwa sababu akuwa na msaada wowote kwangu
Ile siku naamisha vitu vyangu nkaanze maisha ndo cku ambayo yule baba kwenye gari🚗
Anapewa barua ya kuamishwa kikazi
Anarudi kwake dodoma
Unajua nini lilitokea tuonane kesho mida mibovu
_Mwandishi wako brayton_
Inaendelea.............
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: