Home → ushauri
→ Kijana Epuka Ndoa na Wanawake Wenye Kazi Hizi........

Mwalimu :
Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa, atapata wapi muda wa kuwaza vitu vipya huku bado hajasahihisha?? Unless atakua ni mtu unayemtumia kwa sex tu, ana madhara hata kwa akili ya watoto atakaowazaa yawezekana wakawa na akili mgando pia.
Askari :
Hawa watu siitaji kuwaelezea sana. Acha wachukuane wao kwa wao. Kama wewe ni raia wa kawaida ukitaka kuumia moyo kwa kupigiwa oa hawa watu. Mafunzo ya kijeshi kawaida yanaharibu saikolojia yao. Kauli mbiu ya huko mafunzoni kwao ni kwamba wanawake wapo jeshini kwa ajili ya kuburudisha mjeshi wa kiume na kumpa morali. Ko kiungo chake si mali yake. Achilia mbali kukuendesha.
Nurse / Wauguzi :
Kama una mpango wa familia yako kustawi kiuchumi, epuka hawa watu. Kazi zao zinawa train kutoa msaada ( kazi za kujitolea ). Mioyo na akili zao hubadilika kabisa na kuwa kimsaada na kuhurumia zaidi. Hii ni mbaya sana kwa maisha ya kibiashara/kiuchumi. Ingawa the first law of being rich is giving out but kwa hawa huwa ni too much. Wema usizidi uwezo.
Madactari :
Kutokana na nature ya kazi zao ni vigumu mno kwa ustawi wa familia. Kama una ndoto ya kuipeleka mbali kiuchumi familia yako waepuke. Muda wao mwingi hutumika kuwaza kazi zao na kutoa huduma. Ni rare sana kumkuta dactari yuko shap nje box. Unless umuweke kwa kukuzalia na huduma za kimwili, hata hivyo unahitaji uwe mvumilivu kwelikweli muda wowote anakurupushwa kazini.
Waajiriwa wa mabenki. ( Tellers & Accountants).
Kuishi mtoni haimaanishi wewe ni msafi. Kuna watoto mnajidanganya hawa watu wana pesa kutokana na kazi zao. Hawa hawana tofauti na kundi la kwanza hapo juu. Moja ya wanyonywaji wanaoongoza nchini ni hawa. Mikopo ya nyumba na vigari huwasahaulisha kabisa kama wananyonywa. Ma teller wanalipwa hadi laki 4, accountants wanapewa >1m for 12 hrs a day for 30 days. Ukiamua kuoa hawa hakikisha ana kubali kuacha kibarua chake, wanakuwaga wachakarikaji at least but wakiacha.
Wasaidizi maalumu wa watu binafsi :
Wasemaji wa mabosi fulani, makarani wa mabosi, na wengineo. Mara nyingi huwa ni nyama za hao mabosi, Lkn unaweza kuoa kama huna wivu wa mapenzi. Mara mia ukaoa muhudumu wa hoteli.
Msomi asiye na kazi :
Mara mia tatu kuoa mjinga asiye na kazi kuliko hawa nyumbu wamekula pesa ya serikali alafu wanapanga foleni kusubiri kuwa watumwa wa watu. Akili yao 80% wanawaza ngono vichwani. Mjinga asiye kazi unaweza bahatika kupata mwenye mwamko akawa wa faida kwako ila kwa sababu tu hakupata mwanga akaishia kubaki iddle.
USHAURI WA BURE ( option kuchukua):
Kuna kazi watu wake mnawadharau mno lakini kwa kutokana na uzoefu wangu maishani it's 100 better kuwachangamkia.
Wafanya biashara wadogo( haijalishi udogo wa level gani).
Akili za hawa wanawake zimechamka mno. Akili iliyochamka ina faida lukuki kwa mtumiaji. Ashajua ujanja wa kuingiza mkwanja, kuoa hawa ni kuwa na advantage ya goli la ugenini.
Waajiriwa wa secta binafsi department za accounts, Sells & Marketing & Project planning & Development.
Akili za hawa watu huwa ziko active muda wote kutokana na nature za kazi zao. Ni faida kwako uliye na ndoto za kufika mbali kiuchumi. Ukikosa wa secta binafsi oa hata wa serikalini. Mkishawaoa baada ya muda ni vizuri watoeni huko, wafanye mambo yanayohusu familia( kiuchumi).
Mnaweza kuongeza na wengineo...............................................!!
Samahanini sana kwa niliowagusa.....
Kijana Epuka Ndoa na Wanawake Wenye Kazi Hizi........  Mwalimu : Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa, atapata wapi muda wa kuwaza vitu vipya huku bado hajasahihisha?? Unless atakua ni mtu unayemtumia kwa sex tu, ana madhara hata kwa akili ya watoto atakaowazaa yawezekana wakawa na akili mgando pia. Askari : Hawa watu siitaji kuwaelezea sana. Acha wachukuane wao kwa wao. Kama wewe ni raia wa kawaida ukitaka kuumia moyo kwa kupigiwa oa hawa watu. Mafunzo ya kijeshi kawaida yanaharibu saikolojia yao. Kauli mbiu ya huko mafunzoni kwao ni kwamba wanawake wapo jeshini kwa ajili ya kuburudisha mjeshi wa kiume na kumpa morali. Ko kiungo chake si mali yake. Achilia mbali kukuendesha. Nurse / Wauguzi : Kama una mpango wa familia yako kustawi kiuchumi, epuka hawa watu. Kazi zao zinawa train kutoa msaada ( kazi za kujitolea ). Mioyo na akili zao hubadilika kabisa na kuwa kimsaada na kuhurumia zaidi. Hii ni mbaya sana kwa maisha ya kibiashara/kiuchumi. Ingawa the first law of being rich is giving out but kwa hawa huwa ni too much. Wema usizidi uwezo. Madactari : Kutokana na nature ya kazi zao ni vigumu mno kwa ustawi wa familia. Kama una ndoto ya kuipeleka mbali kiuchumi familia yako waepuke. Muda wao mwingi hutumika kuwaza kazi zao na kutoa huduma. Ni rare sana kumkuta dactari yuko shap nje box. Unless umuweke kwa kukuzalia na huduma za kimwili, hata hivyo unahitaji uwe mvumilivu kwelikweli muda wowote anakurupushwa kazini. Waajiriwa wa mabenki. ( Tellers & Accountants). Kuishi mtoni haimaanishi wewe ni msafi. Kuna watoto mnajidanganya hawa watu wana pesa kutokana na kazi zao. Hawa hawana tofauti na kundi la kwanza hapo juu. Moja ya wanyonywaji wanaoongoza nchini ni hawa. Mikopo ya nyumba na vigari huwasahaulisha kabisa kama wananyonywa. Ma teller wanalipwa hadi laki 4, accountants wanapewa >1m for 12 hrs a day for 30 days. Ukiamua kuoa hawa hakikisha ana kubali kuacha kibarua chake, wanakuwaga wachakarikaji at least but wakiacha. Wasaidizi maalumu wa watu binafsi : Wasemaji wa mabosi fulani, makarani wa mabosi, na wengineo. Mara nyingi huwa ni nyama za hao mabosi, Lkn unaweza kuoa kama huna wivu wa mapenzi. Mara mia ukaoa muhudumu wa hoteli. Msomi asiye na kazi : Mara mia tatu kuoa mjinga asiye na kazi kuliko hawa nyumbu wamekula pesa ya serikali alafu wanapanga foleni kusubiri kuwa watumwa wa watu. Akili yao 80% wanawaza ngono vichwani. Mjinga asiye kazi unaweza bahatika kupata mwenye mwamko akawa wa faida kwako ila kwa sababu tu hakupata mwanga akaishia kubaki iddle. USHAURI WA BURE ( option kuchukua): Kuna kazi watu wake mnawadharau mno lakini kwa kutokana na uzoefu wangu maishani it's 100 better kuwachangamkia. Wafanya biashara wadogo( haijalishi udogo wa level gani). Akili za hawa wanawake zimechamka mno. Akili iliyochamka ina faida lukuki kwa mtumiaji. Ashajua ujanja wa kuingiza mkwanja, kuoa hawa ni kuwa na advantage ya goli la ugenini. Waajiriwa wa secta binafsi department za accounts, Sells & Marketing & Project planning & Development. Akili za hawa watu huwa ziko active muda wote kutokana na nature za kazi zao. Ni faida kwako uliye na ndoto za kufika mbali kiuchumi. Ukikosa wa secta binafsi oa hata wa serikalini. Mkishawaoa baada ya muda ni vizuri watoeni huko, wafanye mambo yanayohusu familia( kiuchumi). Mnaweza kuongeza na wengineo...............................................!! Samahanini sana kwa niliowagusa.....
Artikel Terkait
Special kwa Wanawake: Dalili za mwanaume anayekupenda kwa Dhati ANAVYOKUTAZAMA Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50. Hii ina maana kwamba mwanaume anapotumia muda wake mwingi kumtazama msichana na kugeuka taratibu kuangalia vitu vingine kama mtu asiyependa kuacha kumwangalia, ujue anampenda. MIPANGO Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango yake hasa ya muda mrefu. Mfano akitaka kununua kiwanja, kujenga nyumba atakuambia na pengine kutaka mchango wako wa hali na mali katika kulifanikisha hilo. Ukiona mwanaume anakuficha mambo yake, tambua kuwa huyo ana walakini kwenye penzi la dhati na la muda mrefu. ATAONESHA HUZUNI Katika maisha ya mapenzi kuna wakati wa kuhuzunika. Mwanaume mwenye upendo wa dhati atashirikiana nawe wakati wa huzuni na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa unapata furaha. ATAKUAMINI Dalili nyingine ya kupendwa na mwanaume ni kuaminiwa kwenye maisha kwa ujumla. Yaani mwanaume anayekupenda hatakuficha kitu, mfano pesa zake, atakupa uhuru kwenye simu yake na kukuamini katika usimamizi wa miradi yake. ATAKUPA NAFASI Ninapozungumzia nafasi nina maana atakukaribisha kwake bila hofu na kukupa nafasi ya kuingia na kutoka bila mipaka, atakupa nafasi ya kuweka vitu vyako kwenye kabati na kuruhusu nguo, picha na vitu vyako kuonekana wakati wote chumbani kwake. UTAKUWA MWANAFAMILIA Mwanaume aliyefikia chaguo la mwisho kwa mwanamke humshirikisha mpenzi wake kwenye masuala yake ya kifamilia, mfano atamwalika kwenye vikao vya harusi, kipaimara, atatoa nafasi ya kuambatana naye kuona wagonjwa, kusalimia ndugu na atakuwa huru kukutambulisha kwao. ATAZUNGUMZA NAWE KUHUSU WATOTO Kwa kuwa wanaume wengi hufikiria kuwa na familia, mwanaume anayekupenda atazungumza nawe mipango ya kupata watoto kwa kuwa atakuwa amekuchagua wewe kuwa mama wa wanaye na atapenda mazungumzo hayo. ATAKUSAIDIA Kwa kuwa kukwama ni sehemu ya maisha yetu, mwanaume anayekupenda atakuwa tayari kukusaidia unapokwama. Kila mara atahakikisha kuwa unakuwa na mafanikio na yeye atakuwa tayari kukupunguzia usumbufu wa maisha, kwa kukufuata kazini, kukusaidia baadhi ya mambo na hata ya nyumbani. ATAJITOLEA Ninaposema kujitolea ninamaanisha atakuwa tayari kufanya mambo yako na kuyaweka yake nyuma. Kwa mfano akiwa anapenda mpira na siku hiyo kuna mechi, lakini muda huo ukamwambia akufuate kwa mjomba wako atakuwa tayari kuacha furaha yake na kukujali wewe. Huyu ni mwanaume anayekupenda kwa dhati. ATAAMBATANA NAWE Wapenzi wengi wasiokuwa na mapenzi ya dhati huona aibu kuambatana na wapenzi wao kwenye mikusanyiko ya watu, lakini mwanaume anayekupenda atafurahia kutoka moyoni kuongozana nawe kwenye halaiki ya watu na kufurahia uwepo wako bila kuona aibu. KAMA UMEIPENDA MADA NA KUKUSAIDIA, TUPIA BASI LIKE NIKUPAKULIE NYINGINE!!!! ... Read More
Kanuni Kumi '10' Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa....Ikizishindwa Imekula Kwako  UHALISI WA MAISHA: Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU: Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI: Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzunguka. Tabia ya upendo wa halisi ina thamani kubwa sana kuliko mali nyingi, pesa, elimu ya juu n.k. wewe unaweza kabisa kuwa na elimu ya juu sana na pesa nyingi sana lakini pasipo upendo wa halisi ni sawa na kusema kopo zuri kwa nje na ndani hamna kitu. Nguzo kuu ya maisha ya mwanamke shujaa ni Upendo wa dhati na uhalisia. UTII KWA KWA JAMII: Maisha halisi ya utii katika jamii inayokuzunguka ili kuweza kuyafanyia kazi yale yote uliyojifunza na pia kuyatenda kwa ufasaha pasipo kupita kona yoyote. Utii kwa jamii ni ufunguo mmoja wapo utakaokusaidia kufanikisha mambo yako na malengo yako kama mwanamke shujaa. UAMINIFU KATIKA JAMII: Kuishi maisha ya uaminifu wa kweli na uhalisia katika jamii inayomzunguka. Uaminifu wa kweli huonekana nyakati zote na siyo tu wakati mtu anapokuwa mbele za watu wanaomjua bali hata wale wasiomjua na hata anapokuwa mahali peke yake aweze kutunza uaminifu wake kwa faida ya jamii nzima. Mwanamke shujaa hujitahidi sana kutunza uaminifu wake katika sekta zote. UNYENYEKEVU WA KWELI: Kuishi maisha halisi kabisa ya unyenyekevu kwa jamii inayomzunguka, unyenyekevu ni kinyume kabisa na kiburi, majivuno, kujigamba, kujikweza, kujiinua, kujiona,na hata kjitanguliza mbele kwa kila jambo. Mwanamke shujaa huwa ni mnyenyekevu wakati wote na hana makuu daima. UWAJIBIKAJI WA DHATI: Maisha halisi ya uwajibikaji akiangalia majukumu yake yote yanayomkabili na kuhakikisha anafanya kwa moyo bila kuwa na tabia ya kusaidiwa majukumu yake. Mwanamke shujaa ni mfano wa kuigwa kutokana na uwajibikaji wake. USHIRIKIANO WA DHATI: Ushirikiano katika jamii inayomzunguka. Sisi wanawake mashujaa yatupasa kujua dhahiri kuwa kazi ya kubadili tabia na kufanya wengine wabadilike kwa lengo la kupata familia bora ni lazima kuwa na ushirikiano wa kweli ambao utajenga tabia ya kuaminiana na kunai mamoja katika harakati hizi za kuandaa/ kujenga familia bora. UTARATIBU WA KAZI/MPANGILIO: Katika utaratibu wa maisha yake, pamoja na mpangilio mzuri wa mambo yanayomzunguka hii itakusaidia kuwa na muda mzuri wa kufanya shughuli zako na pia kutekeleza majukumu yako ya kila siku kama mwanamke shujaa. Hakuna njia yoyote ya kukuwezesha kukua na kuendelea katika maisha yako bila kuwa na utaratibu na mpangilio wa mambo yako. KUFANYA TATHIMINI: Kuweza kufanya tathimini ya yale yote anayoyafanya katika maisha yake ya kila siku, pengine ni mfanyabiashara, mfanyakazi, mkulima n.k kama mwanamke shujaa yakupasa kutathimini shughuli zako kama zina leta faida/hasara kwa familia na jamii yako inayokuzunguka. Ukiona faida ni kubwa unaendelea na hiyo shughuli lakini kama hasara ni kubwa unajiweka katika nafasi ya kubadilisha aina ya shughuli mara moja bila kupoteza wakati. ... Read More
🎀MVUMBIKO WA KITUMBUWA 🎀 Mwanamke mvumbiko bibi 👌🏼 Unapomaliza period ukiosha ushapanga leo ni siku ya shoo unatakiwa kuvumbika KITUMBUA chako na Vitu Vya asili ili kuiweka k yko ktk mvuto wa hali Ya juu👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Matayarisho ya mvumbiko👇kwanza unatakiwa Usafishe k vzr kisha uwe na kitambaa cheupe kisafi kwa ajili ya kuekea mvumbiko wako👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Unatakiwa uwe na mpachor,mpompia,asmin,maward,sio miti mizima Mizima jmn hapana,kisha unachukua kitambaa Chako unaweka mchanganyiko wako kisha unavaa km pedi,lkn kabla ujaweka mchanganyiko wako kile kitambaa ukifukize vzr Ndio unaweka na kuvaa, 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Lkn kama shoo usiku unaweka mcha na ili harufu ikolee vzr,ikifika usiku unatoa unajitayarisha kwa shoo mtoto wa kike na mnukio wako wa kitumbuwa uone bwana anavoila nyama yako rahaaaaaaa thannaaaaa👌🏼 Mwanamke mvumbiko. Mpo hapo? 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 IMETOKA MWANAMKE NDOWA ... Read More
Mbinu za kufufua penzi lenu 1. Badilisha mavazi yako . Ikiwa bidhaa za kampuni unayoipenda zinabadilika baada ya miaka michache ili kupata umaruufu kwa wateja wake,pia wewe badilisha sura yako kwa kubadilisha mavazi na mfumo wa nywele ili umfurahishe mpenzi wako. Hata kama umekuwa ukipendeza kwa mavazi yako, mpenzi wako tayari amekuzoea hivyo. Nunua nguo mpya, chupi mpya, jaribu mtindo mwingine wa kutengeneza nywele ndiposa mpenzi wako akuone kama mgeni vile. 2. Hamia nyumba mpya Ukiwa umekuwa ukiishi katika mtaa mmoja kwa miaka mingi ,badilisha maeneo yako. Gura kwenda kwenye mtaa mpya, hili litakusaidia Kubadilisha mazingira na itaisisismua akili na kufurahia mukiwa pamoja. 3. Badilisha mfumo wa chumba chako cha kulala. Panga vitu upya,ondoa vitu za kitambo,nunua vitu vipya,paka rangi tofauti tofauti kwenye ukuta wako. Chumba cha kulalia kinapaswa kuwa cha kuvutia mno, badilisha mipangilio ya chumba chako mukiwa pamoja na mpenzi wako ndivyo nyiyi wote mumiliki mabadiliko hayo. 4. Omba msamaha nawe umsamehe. Ni vigumu kuwa na urafiki wakati masuala tata kati yenu hayajatatuliwa. Usipuuze maswala ambayo ni kawaida katika uhusianio,upendo wa dhati sio eti kwa sababu hamgombani wewe na mpenzi wako Upendo wa dhati ni uwezo wa kusuluhisha matatizo kati yenu. Omba msamaha wakati umekosea nawe msamehe wakati umekosewa. 5. Endeni mjivinjari kwa tarehe Endeni likizo au tokeni nje pamoja. Mkiwa nyote kwenye kwenye mazingira mapya inaweleta nyote pamoja. 6.Kataeni hamu ya kutizama picha za kujamiana. Watu wengi wanaohusiano hudhani kuwa kuangalia picha hizo za kujamiana ni kitu kizuri ilhali ni jambo hatari sana. Jiulize mbona watu huangalia picha hizi? Kwa ajili ya kusisimua hali yao ya ngono?. Kutegemea picha hizi kusisimua fataki kati yenu inamyang'anya mpenzi wako mamlaka ya kukusisimua mwenyewe. Je inammanisha kuwa mpenzi wako hawezi kukusisimua? Kama ni hivyo picha hizi hazisaidi kutengeneza hali zinaharibu. Picha hizi zinafanya mapenzi yawe duni ilhali ni mmoja wapo wa kuwa na mapenzi. Rudisha mapenzi na uwacha picha hizo mbaya ndiposa mpenzi wako aweze kujisalamisha kwako na ni jukumu lenu kusisimuana hisia kali za mahaba ile umruhusu awe spesheli kwako nawe kwake. 7. Jisalimishe upya Kama fataki katika yenu yamekuwa yakididimia tatizo ni lenu. Je unampenda kama awali? Je unanipenda kweli? Ondoa hofu hizo kwa kumhakikishia penzi lenu. Hii ndiyo sababu wapenzi husherekea penzi lao. 8. Weka mtoto mbali na maswala yenu ya Huba. Ni vizuri kuwa na watoto na kuwa karibu nao lakini wakti mwengine ni vyema watoto kuwa mbali na wazazi ili waweze kuwa na mda wao wa kipekee . Tunza watoto kutokana na penzi lenu, penzi lenu likiingiiliwa kati basi uwezo wenu kama wazazi utaadhirika. 9. Epuka kuumiza mwenzako Punguza visa vya kumuudhi na kumumiza mwenzako. Roho iliyoumizwa ni vigumu kupenda. 10. Mbusu mpenzi wako zaidi. Mabusu huleta watu pamoja. Unavyo mbusu zaidi ndivyo munavyo chochea penzi. 11. Omba Mungu anajali kuhusu penzi lenu na ndoa yenu. Ombeni kwa pamoja kuhusu shida za penzi lenu. 12. Tenga wakati wa Faragha Tenga wakati mahsusi kwa mpenzi wako. Wanandoa wengi huwa na wakati mgumu sana kutenga muda maalum kuwa na wapenzi wao kutokana na majukumu ya maisha kama vile kazi safari watoto na kadhalika lakini Jitahidi uweke kando muda maalum ambao utakaa karibu naye msemezane Mkumbatiane mkumbushane haswa mlikotoka na mnakokwenda . Ni muhimu sana. 13. Usilete majukumu yako ya kikazi nyumbani. Ni vyema kufanya kazi ili kujipatia riziki yako na familia yako lakini kazi hiyo isalie kule afisini wala isiletwe nyumbani kamwe. Usije na kazi yako ndani ya chumba chenyu cha kulala au ufanye mpenzi wako ahisi kuwa unamnyanyasa kwa sababu licha ya kuwa ulimuuowa mpenzi wako lakini umeoleka kwa kazi yako. 14. Weka teknolijia mbali Teknolojia ni nzuri maanake inakupasha yanayojiri papo hapo . Pia inawakutanisha hata mkiwa mbalimbali ,lakini ukiwa na mpenzi wako mbona usiiweke hiyo simu ama Kompyuta mbali ? Mpenzi wako anataka kuongea nawe,kukubusu,kukumbatia kuwa karibu yako anataka kuisikia sauti yako lakini macho yako yanijishughulisha na kuongea kwa simu,mtandao wa kijamii ama unachapisha ujumbe . Je nayeye akianza kuienzi kompyuta yake kuwasabahi jamaa na marafiki kwenye mitandao ya kijamii kutakuwepo na ndoa ? Ukiwa nyumbani na mpenzi wako jiepushe na Teknolojia . 15. Chezeni pamoja Kucheza pamoja kunaimarisha mahaba. Haijalishi kama mpenzi wako anajua kupiga densi zaidi yako au la , Mkiwa pamoja weka mziki anaoupenda kisha mwite aje mpige naye rhumba,salsa Bongo flava, reggae ,hip hop hata Chakacha kama ni mwenyeji wa pwani ! Chezeni miili yenu ikigusana! 16 Kaeni msemezane Mkiwa kitandani na mpenzi wako mnazungumza ? Unamwambia nini kitandani ? Unazungumzia kuhusu madeni yako? Usidhubutu ,mwambie kuhusu mahitaji yenu ya kimahaba ,mwambie unampenda na kuwa haujui ungelikuwa wapi bila yeye . 17. Andikianeni barua za kimapenzi. Mwandikie barua za kimapenzi na uiache kwenye gazeti au kwenye tarakilishi ,kitu ambayo itamfanya afurahie,kutoka kwa mwandiko wako. 18. Puuza watu ambao watakuvuruga amani kati yenu Hao watu wanaokutongoza kupitia kwenye mitandao ya kijamii ima ni Facebook,WhatsApp wazuie wasikutumie ujumbe wa moja kwa moja. Ni mahasidi hao,wala hawakupendi Ng'ooooo!!!! Wao wangalikupenda kweli hawangejaribu kukuletea huzuni kwa kuvunja penzi/ndoa yenu. Kujihusisha nao inapunguza makali ya penzi lenu ukidanganyika kuwa unapendwa ilhali ni Wanafiki tu 19.Nunua marashi mapya Mnunulia mpenzi wako marashi yanayonukia vyema yatakayo fanya mpenzi wako afurahie kuwa nawe. 20.Jiachilie Kuwa na uwazi wa mawazo ukiwa na mpenzio Jaribu njia tofauti za kufanya mapenzi Zungumzeni kama ambao mnaigiza sinema za mahaba Mchezee shere Mtanie mpenzi wako ... Read More
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA   HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha. Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha. Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia. Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili. Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe ‘out’, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah. Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone. MWELEZE UKWELI Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza ‘mizinga’ ili afaidi. JENGENI KUSAIDIANA Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake. Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi. ACHA UFUJALI Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo! Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu. BAKI NA HILI Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie. Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: