Home → simulizi
→ JAMANI BABA
Sehemu 15
ILIPOISHIA:
“Nitatumia baba ,” alisema Mwaija huku
akichanganya makiki ya karibukaribu mpaka
Masilinde akajikuta tayari mambo yako njiani . ..
“U .. .u .. .uta .. .a .. .nza li .. .li ?”
Maneno hayo ya Masilinde yalimshtua mama
Mwaija kule nje , akakimbilia mlangoni na kuzama
ndani. ..
SASA JIACHIE MWENYEWE .. .
“Haa! Mume wangu jamani ?!” alisema kwa
mshtuko mama Mwaija na kupiga mwereka .
Hakuamini macho yake kwani alimkuta mumewe
akiwa uwanjani kabisa na akicheza mechi
sawasawa. ..
“Mwaija ,” aliita Masilinde akitoka uwanjani .
“Baba , mama kafa. ..mama kafa,” alisema Mwaija
huku akitoka kitandani na kuanza kulia kwa
sauti.. .
“Nyamaza Mwaija , mama hajafa , amepoteza
fahamu tu na ataamka muda mfupi ujao, ”
alisema Masilinde akiwahi kumziba kinywa ili
asiendelee kulia.
“Kweli baba mama hajafa?” Mwaija alimwuliza
Masilinde baada ya mzee huyo mkware kutoa
mkono kinywani mwake . “Mwaija naomba
yaamini maneno yangu , mama yako hajafa!”
Masilinde alimwambia Mwaija .
“Kama hajafa itakuwa afadhali, ila sijui
nitamwambia kitu gani anielewe baada ya
kutufumania,” Mwaija alimwambia Masilinde
ambaye alimweleza asiwe na wasiwasi kwa hilo .
Kwa mbali , mama Mwaija alichezesha mguu wa
kulia kisha akakohoa, kidogo Mwaija akapata
amani ya moyo ...
“Lakini baba unadhani mama akiinuka atanifanya
nini mimi?”
“Usiwe na wasiwasi Mwaija, nitazungumza naye,
atakuelewa tu.”
“Mh ! Ataniua , mi namjua vizuri mama. ”
“Hawezi kukuua Mwaija, hata mimi namjua
vizuri mke wangu. ”
Wakati wote huo , si Mwaija wala Masilinde
aliyekuwa amevaa nguo. Hakuna aliyekumbuka
kwamba walikuwa kama walivyozaliwa. Mama
Mwaija alifumbua macho , akaangaza kulia ,
kushoto na kujishangaa. Aliinuka na kukaa kwa
muda kisha macho yake yakatua kwa Mwaija ...
“Mwaija mwanangu ,” aliita mwanamke huyo na
kuanza kulia huku akiendelea kusema ...
“Nimekukosea nini mimi mama yako mpaka
kunitenda vile mwanangu jamani ?”
“Mama nisamehe... ”
“Nikusemehe nini Mwaija , hukujua kama huyu ni
baba yako ? Hata kama hajakuzaa lakini ni baba
yako maana ni mume wa mama yako. ”“ Mke
wangu ungesimama kwanza twende chumbani
kwetu,” alisema Masilinde. ..
“Sitaki , kwanza naomba unipe talaka yangu.
Unatembea na mwanao Masilinde?”
“Twende tukaongee sasa mke wangu. ”
“Nimesema sitaki .”
“Mama msikilize baba, ” alisema Mwaija ...
“Mwaija tulia. ..kwanza nataka kukuuliza,
umeshatembea na baba yako hii leo mara ya
ngapi?”
“Ni leo tu mama.”
“Siyo kweli. Naanza kuhisi hata kule gesti
mlikuwa wote . Yule mwanaume wa gesti ni
wewe Masilinde.”
“Si mimi mke wangu. ”
“Ni wewe bwana, unabisha nini ? Huyu binti ni
mgeni kabisa mtaani, kusema amepata
mwanaume mara hii, mimi nakataa.”
Masilinde alibaki kimya. Aliona kimenuka. Alianza
kujutia kitendo chake cha kutembea na binti yake
huyo hali akijua ni mtoto wa mke wake .. .
“Masilinde,” aliita mama Mwaija.
“Naam.”
“Nini kimekuvutia kwa mtoto wako ? Hilo umbo au
uzuri wa sura ?”
Masilinde kimya!
“Nijibu Masilinde!”
“Ushetani tu mke wangu. ”
“Kwa hiyo shetani wako wewe ni mpaka kwa
mtoto wako ?”
“Ni bahati mbaya mke wangu .”
“Mh ! Mimi nataka talaka yangu... we unadhani
mimi nitaishi vipi na mwanangu kwenye nyumba
hii wakati umeshalala naye ?”
“Nitafanya kitu mke wangu .”
“Kitu cha ?”
“Kitu cha kukufanya uishi na amani.”
“Kitu gani ?”
“Nitampangia chumba huyu Mwaija nje ya hapa
nyumbani.”
“Ili upate nafasi ya kwenda kila siku kwake, si
ndiyo?”
“Sina maana hiyo.”
“Maana yako ni ipi Masilinde?”
Mara, mlango uligongwa, mzee mmoja anaitwa
Kimanama aliingia .. .
“Karibu mzee wangu ,” alikaribisha Masilinde
kutokea chumbani, akatoka na yeye kwenda
sebuleni.. .
“Bwana mi sikai, nina shida kidogo ,” alisema
mzee Kimanama huku akikaa japokuwa alisema
hakai. .!
“Nakusikiliza, ila hata mimi nafurahi umekuja
mzee wangu. Kuna tatizo hapa ... ”
“Lipi tena ?”
“Aaah ! Mke wangu amenifumania,” alisema
Masilinde bila woga , akili haikuwa yake. Moyoni
hakuwa tayari kumpoteza mama Mwaija ...
“Mke wako amekufumania ?”
“Ndiyo.”
“Na nani?”
“Na mtoto wake !”
“Na mtoto wake ?”
“Ndiyo.”
“Ambaye si wa kumzaa wewe?”
“Si wa kumzaa mimi. Nimemkuta naye .”
“Sasa ?”
“Anadai talaka, yuko ndani chumbani.”
“Hebu mwite. ”
Masilinde alikwenda kumwita mkewe , akamwita
na Mwaija , wote wakajaa sebuleni ...
“Mama pole sana ,” mzee Kimanama alimwambia
mama Mwaija .
“Asante , ila mimi nataka talaka yangu tu kama
amekwambia kuhusu kumfumania na
mwanangu. ”
“Ameniambia lakini unakumbuka mwaka huu ,
mwezi wa pili na wewe ulifumaniwa kule kwa
mzee Bakari na yule mzee wa genge la
mwembeni, ulimwambia mumeo ?”itaendeleaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: