Home → simulizi
→ JAMANI BABA
Sehemu 02
ILIPOISHIA
“Asante , shikamoo, ” alisalimia Mwaija huku
akikaa kwenye kochi kwa adabu .
“Marahaba, za safari?”
“Nzuri .”
“Karibu sana, karibu mwanangu, ” alisema
Masalanda huku akimkazia macho Mwaija na
kumshangaza mkewe kwani uchangamfu
ulikuwa mkubwa tofauti na alivyofikiria.
SASA ENDELEA ...
“Asante sana . Naamini wewe ndiyo baba
mdogo?” aliuliza Mwaija .
“Hapana! Huyo ni baba yako , mambo ya baba
mdogo yanatoka wapi saa hizi hapa ?” alikuja juu
mama Mwaija .
“Sawa , baba!”
“Ni mimi mwanangu .”
Mwaija alifurahia mapokezi hayo kiasi kwamba
alijikuta akifurahi sana tofauti na alivyotaka
kuamini hasa baada ya kushuka stendi Ubungo.
Mwaija alioneshwa chumba chake cha kulala.
Akaingiza mizigo yake ndani , akakiangalia
chumba hicho kisha akakipenda sana.
***
Ilikuwa usiku wa manane, Masalanda aliamka na
kuanza kumuwaza Mwaija . Aliwaza tangu
alipomwona jioni ile akitoka Tanga ...
“Asante , shikamoo. ”
“Marahaba , za safari?”
“Nzuri .”
“Karibu sana, karibu mwanangu. ”
“Asante sana . Naamini wewe ndiyo baba
mdogo?”
Masalanda akazinduka kutoka kwenye mawazo
ya jioni, akasema mwenyewe moyoni . ..
“Anaonekana binti mchangamfu halafu ana akili
kichwani. Ana heshima zake f’ lani. Yale mavazi
ndiyo ya watoto wetu wa siku hizi. ”
Wakati Masalanda akiwaza hayo , mkewe
alishtuka na kugundua kuwa mumewe hakuwa
amelala. Akajua ana mawazo kwani anamjua
vizuri ...
“Baba Mwaija ,” aliita mama Mwaija kwa kutumia
jina la binti yake.
“Naam.”
“Nahisi kama una mawazo sana ?”
“Hapana. Sina mawazo .”
“Kama unayo niambie tu. Unajua binti yetu kaja
kama ulivyomuona mavazi yake , nilimwambia
yale si mavazi ya kuvaa humu ndani , akasema
atajirekebisha kwa hiyo tumvumilie kidogo mume
wangu.”
“Sijayashangaa mavazi mimi , mabinti wetu mjini
siku hizi ndivyo wanavyovaa , sidhani kama kuna
namna.”
“Sasa mawazo ni ya nini ?”
“Nawaza biashara zangu naona kama haziendi
sawasawa kama zamani .”
“Mungu atakusaidia mume wangu, biashara
ndivyo zilivyo , leo nzuri kesho ni mbaya sana .”
“Sawa , nashukuru pia kwa dua zako .”
***
Kule chumbani, Mwaija alikuwa akichati na jamaa
yake wa Tanga mjini anaitwa Seif Mabanda ya
Papa. Licha ya kwamba ilikuwa usiku lakini yeye
hakuona tabu ...
“Mwenzio nimekuja kwa mama Dar , sipo Tanga ,
hajakwambia Mwanakombo?”
“Sijasikia. Unarudi lini ?”
“Mh ! Sijui kama nitarudi tena huko . Mama
hataki.”
“Kwa hiyo ina maana umenimwaga?”
“Jamani sijakumwaga , siku mojamoja we njoo
huku Dar . ”
“Mi sijawahi kufika Dar itakuaje?”
“Mi nitakuelekeza.”
***
Asubuhi Masalanda aliomba kupikiwa chai ili
anywe kabla ya kwenda kwenye biashara zake. ..
“We Mwaija ,” aliita mama.
“Abee mama. ”
“Hebu mpikie chai baba yako sasa hivi .”
Chai ilipikwa ingawa mama Mwaija alishangaa
sana kwani haikuwa kawaida kwa mumewe
kunywa chai asubuhi pale nyumbani.
Baada ya dakika kumi na tano tu, chai ilipelekwa
mezani. Mwaija alibeba kwenye sinia akiwa
ndani ya kanga moja. ..
“Loo !” alihamaki moyoni Masalanda lakini
Mwaija hakusikia.
“Shikamoo baba.”
“Marhaba Mwaija , hujambo mwanangu ?”
“Sijambo baba sijui wewe umeamkaje?”
“Mimi mzima wa afya, nakuhofia wewe na
uchovu wa safari.”
“Nimeamka sawa baba .”
“Haya tumshukuru Mungu wetu. ”
“Ni kweli baba.”
Wakati Mwaija anaondoka, ‘mzigo’ nyuma
ulionekana unavyosumbuliwa na kutembea hasa
ikizingatiwa ile kanga moja tu na umbo la Mwaija
sasa!
“Hivi huyu binti ndiyo nini hivi ?” alijiuliza
Masalanda huku macho yake yakimtoka pima
wakati Mwaija anafuata maji ya kunawa .
“Chai tayari wewe?” mama mtu aliuliza kutokea
uani ambako alikuwa akifagia.. .
“Tayari mama.”
“Weka na maji kama nilivyokuelekeza kila kitu
jana usiku .”
“Sawa mama .”
Baada ya mumewe kuondoka ndipo mama
Mwaija alibaini kuwa , mumewe alikuwa
akihudumiwa huku binti yake akiwa ndani ya
kanga moko , ilimuuma sana!
“We Mwaija .”
“Abee .”
“Wakati unamhudumia baba yako chai ulivaa
hivyo?”
“Ndiyo mama .”
“Ha ! Ha ! Haaa ! Yaani kweli unavaa hivyo mbele
ya baba yako Mwaija ? Hebu jiangalie kwanza.
Ona! Hii mikalio yako ulitaka aione siyo?”
“Hapana mama , ila ... ”
“Ila nini ? Au unataka baba yako aingiwe na ibilisi
juu yako siyo ?” ITAENDELEAAA.
JAMANI BABA Sehemu 02 ILIPOISHIA “Asante , shikamoo, ” alisalimia Mwaija huku akikaa kwenye kochi kwa adabu . “Marahaba, za safari?” “Nzuri .” “Karibu sana, karibu mwanangu, ” alisema Masalanda huku akimkazia macho Mwaija na kumshangaza mkewe kwani uchangamfu ulikuwa mkubwa tofauti na alivyofikiria. SASA ENDELEA ... “Asante sana . Naamini wewe ndiyo baba mdogo?” aliuliza Mwaija . “Hapana! Huyo ni baba yako , mambo ya baba mdogo yanatoka wapi saa hizi hapa ?” alikuja juu mama Mwaija . “Sawa , baba!” “Ni mimi mwanangu .” Mwaija alifurahia mapokezi hayo kiasi kwamba alijikuta akifurahi sana tofauti na alivyotaka kuamini hasa baada ya kushuka stendi Ubungo. Mwaija alioneshwa chumba chake cha kulala. Akaingiza mizigo yake ndani , akakiangalia chumba hicho kisha akakipenda sana. *** Ilikuwa usiku wa manane, Masalanda aliamka na kuanza kumuwaza Mwaija . Aliwaza tangu alipomwona jioni ile akitoka Tanga ... “Asante , shikamoo. ” “Marahaba , za safari?” “Nzuri .” “Karibu sana, karibu mwanangu. ” “Asante sana . Naamini wewe ndiyo baba mdogo?” Masalanda akazinduka kutoka kwenye mawazo ya jioni, akasema mwenyewe moyoni . .. “Anaonekana binti mchangamfu halafu ana akili kichwani. Ana heshima zake f’ lani. Yale mavazi ndiyo ya watoto wetu wa siku hizi. ” Wakati Masalanda akiwaza hayo , mkewe alishtuka na kugundua kuwa mumewe hakuwa amelala. Akajua ana mawazo kwani anamjua vizuri ... “Baba Mwaija ,” aliita mama Mwaija kwa kutumia jina la binti yake. “Naam.” “Nahisi kama una mawazo sana ?” “Hapana. Sina mawazo .” “Kama unayo niambie tu. Unajua binti yetu kaja kama ulivyomuona mavazi yake , nilimwambia yale si mavazi ya kuvaa humu ndani , akasema atajirekebisha kwa hiyo tumvumilie kidogo mume wangu.” “Sijayashangaa mavazi mimi , mabinti wetu mjini siku hizi ndivyo wanavyovaa , sidhani kama kuna namna.” “Sasa mawazo ni ya nini ?” “Nawaza biashara zangu naona kama haziendi sawasawa kama zamani .” “Mungu atakusaidia mume wangu, biashara ndivyo zilivyo , leo nzuri kesho ni mbaya sana .” “Sawa , nashukuru pia kwa dua zako .” *** Kule chumbani, Mwaija alikuwa akichati na jamaa yake wa Tanga mjini anaitwa Seif Mabanda ya Papa. Licha ya kwamba ilikuwa usiku lakini yeye hakuona tabu ... “Mwenzio nimekuja kwa mama Dar , sipo Tanga , hajakwambia Mwanakombo?” “Sijasikia. Unarudi lini ?” “Mh ! Sijui kama nitarudi tena huko . Mama hataki.” “Kwa hiyo ina maana umenimwaga?” “Jamani sijakumwaga , siku mojamoja we njoo huku Dar . ” “Mi sijawahi kufika Dar itakuaje?” “Mi nitakuelekeza.” *** Asubuhi Masalanda aliomba kupikiwa chai ili anywe kabla ya kwenda kwenye biashara zake. .. “We Mwaija ,” aliita mama. “Abee mama. ” “Hebu mpikie chai baba yako sasa hivi .” Chai ilipikwa ingawa mama Mwaija alishangaa sana kwani haikuwa kawaida kwa mumewe kunywa chai asubuhi pale nyumbani. Baada ya dakika kumi na tano tu, chai ilipelekwa mezani. Mwaija alibeba kwenye sinia akiwa ndani ya kanga moja. .. “Loo !” alihamaki moyoni Masalanda lakini Mwaija hakusikia. “Shikamoo baba.” “Marhaba Mwaija , hujambo mwanangu ?” “Sijambo baba sijui wewe umeamkaje?” “Mimi mzima wa afya, nakuhofia wewe na uchovu wa safari.” “Nimeamka sawa baba .” “Haya tumshukuru Mungu wetu. ” “Ni kweli baba.” Wakati Mwaija anaondoka, ‘mzigo’ nyuma ulionekana unavyosumbuliwa na kutembea hasa ikizingatiwa ile kanga moja tu na umbo la Mwaija sasa! “Hivi huyu binti ndiyo nini hivi ?” alijiuliza Masalanda huku macho yake yakimtoka pima wakati Mwaija anafuata maji ya kunawa . “Chai tayari wewe?” mama mtu aliuliza kutokea uani ambako alikuwa akifagia.. . “Tayari mama.” “Weka na maji kama nilivyokuelekeza kila kitu jana usiku .” “Sawa mama .” Baada ya mumewe kuondoka ndipo mama Mwaija alibaini kuwa , mumewe alikuwa akihudumiwa huku binti yake akiwa ndani ya kanga moko , ilimuuma sana! “We Mwaija .” “Abee .” “Wakati unamhudumia baba yako chai ulivaa hivyo?” “Ndiyo mama .” “Ha ! Ha ! Haaa ! Yaani kweli unavaa hivyo mbele ya baba yako Mwaija ? Hebu jiangalie kwanza. Ona! Hii mikalio yako ulitaka aione siyo?” “Hapana mama , ila ... ” “Ila nini ? Au unataka baba yako aingiwe na ibilisi juu yako siyo ?” ITAENDELEAAA.
Artikel Terkait
Story...... NI WEWE TU PENINA Sehemu ya kumi na tatu (13) Ilipoishia....... Mzee Joel ndio hakuamini baada ya kuingia ndani na kukuta vijana wote wamelazwa chini alafu kidogo hivi akatokeza Nolan akiwa amepigilia suti nyeusi Kisha akamwambia baba yake ambaye ni mzee Joel, "naenda kwenye kikao cha harusi ya Penina na Frank na kama utahitaji kadi unijulishe nikuletee ya kwako." ***********Endelea ********* Nolan baada ya kumuambia baba yake maneno hayo aliingia kwenye gari na kuondoka. Nolan alifikia sehemu ambayo ilikuwa maalumu kwa ajili ya kutengeneza kadi za harusi. Nolan alitengeneza kadi za harusi zisizopungua Mia moja hamsini kwa ajili ya harusi ya Penina na Frank. Kadi hizo hazikuwa za kuchangia harusi ya Frank na Penina bali kadi za mualiko. Nolan alijipanga kusimamia kila kitu Katika harusi ya Penina na Frank hivyo yeye alitengeneza kadi ambazo ni kama kiingilio cha kuhudhuria harusi hiyo bila kuchangia chochote. Nolan baada ya kukamilisha zoezi la kutengeneza kadi zile akaanza kutafuta ukumbi Mkubwa wenye hadhi ya kufanyia sherehe ya harusi ya Frank na Penina. Nolan alifanikiwa kuupata ukumbii ambao aliuhitaji na baada ya hapo Nolan akaanza kuzigawa kadi zile kwa watu mbali mbali ikiwemo na marafiki pia. Nolan moja kwa moja aliwasili nyumbani kwa kina Frank na kuwakuta Wazazi wake Frank ambao walimpokea kwa furaha Sana. "kikubwa kilichonileta hapa ni kuhusu harusi ya mtoto wenu Frank pamoja na mdogo wangu Penina, napenda kuwaafahamisha kuwa taratibu za harusi ya ndugu zetu hawa inaendelea vizuri na hapa nimewaletea kadi za mualiko." alianza kuongea Nolan baada ya kukaribishwa ndani na Wazazi wake Frank huku akiwakabidhi kadi zile Wazazi wake Frank. "Asante Sana kijana wetu na hongera Sana kwa hapa ulipofikia Mungu azidi kukusimamia zaidi na zaidi." wakaongea Wazazi wake Frank huku wakimshukuru Sana Nolan. "msijali Sana hii kazi ilikuwa lazima niifanye na lazima nitaitimiza, na kingine ninachotaka kukifanya kwa Sasa nataka niwahamishe hapa nyumbani kwenu niwapelekee sehemu mkakae hapo kwa siku kadhaa mpaka pale harusi ya mtoto wenu itakapokamilika, nafanya hivi kwa sababu ya usalama wenu kwasababu kuna vita kubwa inaendelea. " akaongea Nolan na kutoa maelezo hayo ambayo Wazazi wake Frank walikubaliana nayo bila wasi wasi wowote. Wazazi wake Frank pamoja na Mdogo wake Frank walijiandaa na kuondoka na Nolan ambaye aliwapeleka Katika hotel moja iliyopo nje kidogo ya jiji la dar es salam na kuwataka wakae hapo kwa wiki tatu kabla ya harusi ya Frank na Penina na gharama zote atazisimamia yeye Nolan. Nolan baada ya hapo alishika njia ya kurudi nyumbani kwa ajili ya kwenda kupumzika kidogo. * Dickson aliwasili Tanzania kwa Mara nyingine tena Ila awamu hii alikuwa na vijana wake wanne alioongozana nao. Baada ya kuwasili uwanja wa ndege moja kwa moja Dickson pamoja na vijana wake walichukua gari ndogo na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwa mzee Joel.* Mzee Joel alizidi kuchanganyikiwa baada ya kumaliza siku ya pili Sasa bila kumuona Penina na wala hajui ni wapi Penina alipo. Jambo hilo lilimvuruga Sana mzee Joel na kumfanya ashindwe hata kula chakula anachopikiwa na mkewe. Mzee Joel pia aliweza kuwasiliana na mkuu wa kikosi cha the killer na kumueleza jinsi vijana wake walivyoshindwa kuifanya kazi waliyoagizwa na kujikuta wakipokea kichapo kikali kutoka kwa Nolan. Mkuu yule wa kikosi cha the killer aliyejulikana kwa Jina la buffalo alipigwa na butwaa baada ya kupewa taarifa zile na mzee Joel. buffalo hajawahi kuamini kama kuna mtu yoyote anayeweza kupambana na vijana wake na akawaweza, hivyo taarifa zile zilimshangaza Sana. Buffalo akaamua ni lazima amjue huyo kijana ni nani aliyeweza kuwatandika vijana wake. "mzee hiyo kazi niachie mimi nitapambana nae mwanzo mwisho." akaongea buffalo kumwambia mzee Joel. Mzee Joel aliweza kumuelewa buffalo na kukataa simu na kumsubiri buffalo aingie kazini mwenyewe kwasababu yeye ndio mtu pekee Sasa aliyebaki wa kumtegemea. Dakika chache baada ya mzee Joel kuongea na buffalo, mzee Joel alipata taarifa kuwa kuna wageni nje wanahitaji kuonana na yeye. Mzee Joel alitoa ruhusa wageni hao wakaribishwe ndani. Kitendo bila kuchelewa wageni wale walifunguliwa geti na kukaribishwa mpaka ndani. Mzee Joel alishtuka baada ya kuona ugeni wenyewe ni wa Dickson pamoja na vijana wake wanne. "karibuni karibuni Sana." akaongea mzee Joel huku akijaribu kujichekesha japo hakuwa na amani hata kidogo. "hatuna haja ya kukaa mzee Joel, tumekuja kumchukua Penina nataka kujua kama inawezekana au haiwezekani?" akauliza Dick huku akionesha dhahiri kupandwa na hasira. "inawezekana kijana wangu tafadhali kaeni kidogo bas." akaongea mzee Joel kwa upole. "nimeshakuambia hatuna haja ya kukaa sisi tumekuja kumchukia Penina tu." akaongea Dick kwa msisitizo. "kijana wangu Dick naomba nipe muda wa siku mbili tu nitakuwa tayari nimeshakamilisha hili swala." akaongea mzee Joel kuwaambia wakina Dick. "Mzee umenipotezea Muda na umekula pesa zangu nyingi Sana, Sasa naondoka na kesho nitarudi unikabidhi Penina la sivyo pesa zangu utarudisha na utalipa Muda wangu nilioupoteza kwa ajili yako." akaongea Dick kwa jazba na kuondoka pamoja na vijana wake na kumuacha mzee Joel akitokwa na jasho jembamba. Baada ya dakika chache wakina Dick kuondoka Nolan naye aliwasili nyumbani na kumkuta baba yake akiwa na mawazo tele huku pembeni akiwa chupa ya pombe kali. "Baba shikamoo" akasilimia Nolan lakini alijua baba yake hataitikia salamu yake. Mzee Joel kweli hakuitikia salamu ya Nolan alibaki akimtizama tu kwa hasira. Nolan naye hakujali alitoa kadi tano za harusi ya Penina na Frank na kumwekea baba yake kwenye Meza iliyokuwa mbele yake. "karibu Sana Katika harusi ya Penina na mpenzi wake wa Muda mrefu Frank, wewe pamoja na rafiki Zako mnakaribishwa. " Nolan ndio alimwambia baba yake mzee Joel baada ya kumuwekea kadi zile kwenye Meza iliyokuwa mbele yake, Kisha akaondoka na kuelekea chumbani kwake. ............ Itaendelea ... Read More
CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA KUMI NA TANO (15) & (16) UMRI ±18 ilipo ishia sehemu iliyo pita "Potea" Vanessa alipoluhusiwa kutoka chumbani alikimbia huyo mpaka nikataka kucheka.nasma nae akaamka kitandani na kuelekea mlangoni kwa ajili ya kuondoka lakini alipofika mlangoni............ endelea sasa aligeuka na kuniludia kwa kasi ya ajabu. Nilimdaka na kumweka stairi ya mbuzi kagoma kwenda nilibinya binya mpododo wake taratibu Sophi alianza kutoa sauti fulani yaani zilizidi kuniongeza mzuka. Nikazidisha kumpampu mtoto nasma kwa udambwi dambwi wa hali ya juu. nasma aliaanza kutoa maneno ambayo hata mingine sikuyaelewa. Nilizidi kumpeleka moto moto, niliona ndio dawa ya wanawake wa aina hii wanao taka kunikomoa tena kibaya zaidi alinipa kidonge yeye mwenyewe. Niliendelea kujisemea kimoyo moyo wakati naendelea na zoezi langu nasna alizidi kulalamika. Ooh.. uhiiiiii… ahaaa! utamu utamu unakuja uwi… uwi.. ahaa! baby nasma aliita baby..baby! hata zisiokuwa na idadi nilimpelekea moto tu yaani bandika bandua Mtoto mwenyewe akaomba poo! Ooh… baby inatosha nilimsikia nasma akisema nikaona mmh! itakuwa imekolea hata rudi tena kunisumbua. “nasma nasma vipi mbona kimya? niliamua kumuuliza maana niliona yupo kimya kwa muda kidogo tangia twende mapumziko. “Hapana kenny yaani” “Yaani nini? nasma. “Raha zako tu zinanipagawisha” “Zinakupagawisha? “Ndio baby yaani umemzidi hata mjomba wako” “We.. Sophi acha zako” “kwa iyo umesha wai kulala ma mjomba ""kumbe hujui mjomba wako kalala na watu wote humu ndani"" unamaanisha kalala hadi na errycah......? "ndio tena ndo aliyetoa bikra lakini errycah hajui aliye mtoa bikra ni baba yake mzazi" mungu wangu ni laana ya aina gani mtu kulala na mtoto wake nilimuuliza nasna.kwaiyo na nyie amewalala niliiuliza jibu ambalo teali nilisha pewa. tuachane na hayo mambo yote yapo kwenye kile chumba cha siri ambacho funguo take hiii apa. alinikabidhi lakini hapo hapo nika muuliza. "umeipata vipi" akaniambia "mjomba wako wakati anaingia amesha zoea kunikumbatia. nikatumia mda huo huo kumchomolea ufunguo hakika sikuachi na kesho nakuja tena” “nasma usifanye hivyo mimi sihitaji kesi” “Kesi gani? tena” “Mimi nataka raha zako usinizingue” Alinitisha kidogo Nasma ila mtoto wa kiume kwa vile nishakutana na mabalaha yeye anaiga, nilichomjibu usijali nilimwambia tu awe makini asinifanye nikimbie mji.mana mjomba katika watu anao wakubali nasma namba moja Niliongea nae mengi nasma huku akiwa. kifuani anachezea chezea chezea garden love. Yaani sikuwa nyuma kwa namna vile alivyokuwa ananichezea. aliniamsha mpini wangu na ulishaanza kunyanyuka kutafuta shamba lililipo. Mmh… ahaaa! Nasma wewe ahaa.. niligumia kwa utamu nilio usikia kumwongeza nae hamu iliturudi tena uwanjani maana wangu mpini ulikuwa unatafuta pakulima tena. Mtoto alizidi kunichezea we nami sikubaki nyuma hata kidogo. nika chomeka dude langu kwenye kitumbua chake. "oooooh aaaah oooh tia yoteeee aaah shhhhhh oooh oopps."alizidi kutoa miguno ya raha. Nikaanza ingiza toa ingiza toa mchezo ulininoga hadi nasma akaanza kuropoka maneno ya ajabu kiswahili si kiswahili kingereza sio sijui lugha gani tu yote utamu wa dude, nilipenda uwajibikaji wa nasma alikiwa anakiuno kama cha verasidika anakizungusha kwa kunatana hali iliyo nipelekea kutoa wazungu wangu ooooooooooohh,,,,,,!!! mmmmmhhh oooooooosssshhhh ""****** niligugumia kwa utamu nilio upata. lakini nilishangaa kuona mjomba bado amesimama vile vile kumaanisha bado anahitaji mchezo...... isome simulizii hii mpaka mwisho kwa sh 2000 tu 0744204283 ni follow instagram @chas360tz tembelea mtandao wetu www.chas360tz.com SEHEMU YA 16 endelea sasa " kenny mi naenda kulala naona leo mjomba wako lazima aje chumbani kwetu.acha niwai mana hua ana tulala wote wawili" kitendo kile kiliniuma sana nika muuliza kwani kitu gani kinawafanya mpaka mdhalilike ivyo alinijibu mshahala wetu ni milioni 1 na laki tatu kwa mwezi sasa tutaachaje ukiangalia nyumbani kwetu hali ngumu tunasomesha wadogo zetu" nika mtwanga swali kwani wewe na husna ni ndugu "akasema ndio kwani hutuoni tulivyo fanana Mimi na yeye ni mapacha nadhani ndio sababu inayo tufanya mjomba wako atu ng'ang'anie hapa mana alianza kulala na sisi kipindi tuna miaka 13 alitutoa bikra zetu kwa siku moja hadi leo tuna miaka 18 na hulala na sisi kila ifikapo tarehe 6 mwezi wa 12 kila mwaka hata mkewake anatambua hilo" na kila tukilala nae tunapewa shi milioni 2 kila mtu tushazoea na saizi tunaona kawaida mana atafanya lakini haondoki nacho na hajawai kumwagia ndani na toka tulipo kuona tulivutika sana na wewe ndio mana tumekubali mimi na husna tu share penzi ila tunaomba usituache " alimaliza kutoa hayo maelezo huku machozi yakimlenga lenga naomba usije ukamwambia mtu juu ya hiki tulichokifanya nafikili umenielewa" " ndiyo nasma " nilimjibu huku nikiwa najifunika shuka vizuri " kuanzia leo sitaki uniite nasma tukiwa wa wili tu sawa" "Sawa nimekuelewa" tulipomaliza kuongea nasma alitokazake na kuondoka akiniacha Mimi kitandani na kwakuwa nilikuwa nimechoka sana sikuchukua muda mrefu nikapiwa na usingizi mpaka asubuhi nilipostuka baada ya kuamshwa na errycah " we we hamka mbona umelala sana " " daaaah mmmmh naaamka " nilijibu huku nikijifikicha macho" " unajua umelala sana Leo ila pole Jana ulifanya kazi kubwa sana!!! kuzunguka nusu nyumba mpaka mama " " aaaah!!! samahani sana nimeshindwa kutunzia penzi lako " kasema umechoka sana nyumba nzima wameondoka tumebaki sisi tu" " mmmh poa kwaiyo tumebaki wawili tu??" " ndiyo mana baba akisha maliza kulala na husna na nasma lazima watoke waende bank akawape hela zao na wanaenda kuwaona wazazi wao tanga" errycah alinijibu huku akitoka chumbani kwangu " poa nakuja tuongee vizuri ngoja nikaoge" niliaamka nikaelekea bafuni kuoga nilipomaliza nilivaa singlendi na kipensi cha jinzi nikatoka nikaelekea sebreni nilipomkuta errycah akiniandalia kifungua kinywa kilikuwa ni chapati na rosti ya maini bila kusahau na chai ya maziwa nikanywa chai pale mpaka nikashiba kabisa nikasema leo ndio leo lazima nijue siri ya kile chumba. lakini errycah alikuja na kunivamia pale pale kwenye sofa Alianza kunila denda na Mimi nikampa ushilikiano na kwajinsi alivyokuwa na mapaja mazuri na ngozi laini alizidi kunipa msisimko.nikawa namuangalia nione kama kaongeza ujuzi kama wengine akavua kitop chake akabaki na sidilia huku viziwa vyake vikiwa vimechongoka kama mshale nikaanza kuvinyonya hapohapo kwenye sofa " mmmmh aaashhiiiii oooooh taaamu" alikuwa akitoa kilio cha hisia.huku na Mimi nikiendelea kunyonya maziwa yake huku mkono wangu wa kulia ukiwa kwenye kitumbua chake ukisugua kiharage mpaka nikahisi majimaji yamoto yakitoka " iiiiiiiiiiishhhhh baby mmmmh kweeeeliii" " tulia baby " nimwambia huku nikiendelea kunyonya viziwa vyake nikienda mpaka shingoni nikamlaza kwenye sofa vizuri nilipomlaza akalishika dudu langu akaliingiza kwenye kitumbua chake huku akilikatikia miuno nikaanza kupampu mdogo mdogo sikutaka kuwa na papara nikiwa napampu kama sitaki. " baby ngoja nikae hivi"aliniambia huku akikaa mkao unaoitwa mbuzi kagoma kwenda na kiuo chake kakibinua kama nyigu nikashika dudu laku nikaliingiza kwenye kitumbia chake japo lilikuwa likiingia kwa ugumu kutokana lilikuwa kubwa lakini liliingia loooote. " mmmmh aaaaaah oooooshoiii" kilikuwa ni kilio cha mtoto wakike huku akikatika viuno vilivyokuwa vikinipa msisimko wa kuendelea kupampu huku wowowo lake likijipiga kwenye mapaja yangu nilimplekesha mpaka nikaona anatoa machozi " mmmmh baby ingiza yote kumbe tamuuuuuui oooooshhhhiiioo" " mmmh baby kumbe mtamu hivi" nilimwambia mtoto huyu huku nikichomoa na kuchomeka mtoto alikuwa mtamu kiasi kwamba sikuchukua hata muda nikapiga goli langu moja huku nayeye akitangaza ushindi tulimaliza wote kwa furaha. " asante baby kwa penzi lako" " asante pia " nilimwambia binamu huku nikimalizia kufunga zipu ya kipensi changu. " asante mana sasa nimekujua vizuri ulivyo" " kivipi "nilimuuliza " unajua Jana wakati mna sex na husna niliwasikia kila kitu na lijua vingi sana kumbe baba yangu ndie aliye nifanyia unyama wa kunitoa bikra yangu" " inamana jana ulisikia kila kitu" " ndiyo tena naomba kama ikiwezekana utuoe wote wa NNE mana sote tunakupenda." " mmmh jamani nitawezaje kuwaoa wote wanne?" " ndiyo hivyo mana leo asubuhi tume kutana wote tume kubaliana tupo teali tuolewe na wewe" "nilibaki kimya kwa mda nikamwambia twende basi kwenye chumba cha sili tujue mbivu na mbichi"............. je walifanikiwa kuingia chumba cha siri Mimi na wewe hatujui tukutane sehemu ya 17 like page yetu sasa share kama tupo pamoja....... ... Read More
*LOVE BITE EP 05* 🌹🌹🌹🌹🌹💞💞💞🌹🌹🌹 MWISHOOOOOOO “OOOOH MY GOD……..WHY ME?????” Alijikuta nguvu zinamuishia Jothan na kukaa chini. Aliiangalia nyumba yake aliyoijenga kwa gharama kubwa na machozi yalianza kummiminika kama maji. ITAENDELEA………… Alsimama na kuamua kwenda kwa rafiki yake John ambaye alikua anakaa magomeni. Alikaribishwa ndani na mke wa rafiki yake huyo na kukutana na rafiki yake sebuleni kwake. Walikumbatiana kwa kuwa siku nyingi walikuwa hawajaonana. Kwakua muda wa msosi ulikua unakaribia, mke wa John alipakua chakula na baada ya dakika kumi waliitwa kwenye meza ya chakula. Walikula huku kila mmoja akijaribu kumuhadithia mwenzake yaliyotokea nyuma kwa kipindi chote hicho cha takribani miezi nane. Jothan ndiye alikuwa wakwanza kumuhadithia mwenzake yaliyomkuta kuanzia safari yake ya Arusha hadi kufikia pale alipoenda kwenye nyumba yake na kukuta imeuzwa na mwanamke aliyekuwa anampenda na kumuamini kupita maelezo. John alisikitika sana kuisikia story ile iliyomuumiza hata yeye. “usijali rafiki yangu,. Kuhusu pa kukaa tu. Hapa umefika maana kuna vyumba vingi vya kutosha. Sasa vipi kuhusu docomments zako muhimu kama vyeti na vitambulisho vyako?” aliuliza John kwa kugundua umuhimu wa hivyo vitu. “ndio maana nikakwambia kuwa nimechanganyikiwa sana. Yaani sijui nianzie wapi?” aliongea Jothan huku akionyesha wazi kuwa akili yake imeeshia pale kimawazo. “usijali, vitapatikana tu.” Aliongea John na kuonyesha wazi nia yake thabiti ya kumsaidia rafiki yake huyo. “vipi kazini, wameshamuajiri mtu mwengine wa kukaa katika nafasi yangu?” aliuliza Jothan huku akionyesha wazi kuwa na wasi wasi na nafasi yake ya kazi. “mbona company imeuzwa kwa mzungu ambaye kaamua kuibomoa na kujenga hotel. We ukienda utaona tu mabati yamezunguka katika jengo la ofisi yetu. Sasa angalau ungekuwa na docoments zako zingekusaidia kupata malipo na mafao yako kutoka NSSF.” Aliongea John na kumfanya Jothan ashike kichwa kwakua alikua anaamini kuwa maisha yake yanaweza kunyanyuka tena kama akivipata vitu vyake muhimu. Kadi za benk, nyaraka mbali mbali na vyeti vyake alivyovihangaikia kuvipata ndivyo vilimnyima raha Jothan. “mimi hivi sasa nimeajiriwa na kampuni ya Fast jet. Hata wewe ungekuwa na vyeti vyako tungekuwa tunafanya kazi wote . Maana watu wenye sifa kama zako wanahitajika sana pale.” Aliongea John na kumfanya Jothan ajiinamie. Walikaa pamoja na baadae Jothan alielekezwa chumba atakachukuwa analala. Usiku baada ya kula chakula, alienda chumbani kwake Jothan na kulala. Asubuhi ilipofika, John alimgongea Jothan na kumuaga. Alitoka na kwenda zake kazini. Aliandaliwa chai Jothan na shemeji yake baada ya kuamka asubuhi na kutoka sebuleni. Alikunywa chai na kwenda chumbani kwake. Alioga na kubadilisha nguo. “shemeji.. natoka kidogo.” Aliaga Jothan na kuondoka. Alienda kinondoni ili kuangalia kuwa kama watu walionunua ile nyumba yake wameshahamia. Alikuta hali ile ile ya kama alivyoiacha. Alijitahidi kumuulizia Shani kwa majirani wa pale, lakini hakuna hata mmoja aliyempa majibu chanya juu ya kumpata Shani. Roho ilimuuma kila akiitazama nyumba yake. Alilia sana na kuamua kukubali yote kuwa hata kama atalia na kumaliza machozi yake, basi hawezi kuirudisha nyumba yake. Alirudi nyumbani kwa rafiki yake aliye muhifadhi na kwenda chumbani kwake. Alikaa huko na baaae aliitwa na shemeji yake wakati wa chakula cha mchana. Walikula pamoja na rafiki yake aliwasili pale baada ya nusu saa. “leo nimechelewa kurudi kwa sababu nilikuwa nashughulikia swala lako kwa kuvitangaza vyeti vyako kwenye magazeti mbali mbali yatokayo kesho.” Aliongea John na kumfanya Jothan afurahi kusikia hivyo. Alikaa pale kwa wiki mbili zilizokwenda kwa amani. bada ya hapo, alianza kupata mitihani midogo midogo kutoka kwa Shemeji yake huyo aliyekuwa anapenda kumuonyesha tabasamu kila wakati. Kadri siku zilivyozidi kusonga mbele, ndivyo majaribu kutoka kwa shemeji yake yalivyopamba moto hadi kufikia kuingia chumbani kwake akiwa na upande mmoja wa khanga nyepesi iliyoonyesha kila kitu alichokivaa ndani. Alimuonya mara kadhaa lakini bado msichana huyo aliyekumbwa na pepo wa ngono juu yake alizidi kumuandama. Kamwe hakupenda kuwa sehemu ya tatizo . Alipenda kuwa mtatuzi wa tatizo. Baada ya kuona visa vinazidi kutoka kwa mke wa rafiki yake. Aliamua kuihama nyumba bila kumuambia rafiki yake sababu iliyomuhamisha pale nyumbani kwake kwa kuhufia kuharibu ndoa ya watu waliodumu kwa takribani miaka kumi. Japokuwa hakua na pa kwenda, ila aliamini kuwa kufanya vile basi Mungu atamnyooshea njia yake.. Fedha kidogo alizokuwa nazo zilimuwezesha kujihudumia mwenyewe na kulala gesti kwa wiki moja tu. Baada ya hapo alikuwa choka mbaya. Hakuwa na hata senti tano. Siku hiyo aliamua kuuwa winga kwa kushinda na njaa hadi kiza kilipoingia. Hakuwa na mahali pa kulala, aliamua kwenda kukaa stendi ya daladala maeneo ya kinondoni huku akimuomba mungu usiku ule ukuche akiwa salama maeneo yale. Masaa yalisogea na usiku mnene ulianza kutokea baada ya idadi ya magari kupungua huku watu waishio maeneo hayo kutoonekana nje. Hata yeye mwenyewe hakujua alipataje usingizi. Ila alishtuka baada ya kuona mwanga mkali wa taa za gari ukimulika maeneo aliyokuwa yeye. Alishtuka na kuyazuia macho yake kwa mikono kutokana na ukali wa mwanga wa taa zile. Sekunde kadhaa baadae, zile taa zilizimwa , mara akaona mlango unafunguliwa wa ile gari aina ya Range na kiatu aina ya high hills kikionekana kikikanyaga ardhi. Hali hiyo ilimonyesha kuwa mtu ashukaye kwenye ile gari ni msichana. Uteke wa mguu ule pia ulimuwezesha Jothan kupima age ya mtu anayeshuka. Wakati anausumbua ubongo wake kufikiria na kuwaza lengo la yule mtu kupaki gari lenye thamani pale, yule mtu alishuka na kufunga mlango. Kutokana na mawenge ya taa, hakuweza kumuona mtu aliyekuwa akizihisabu hatua kuelekea pale alipo. Yule dada alimsogelea mpaka pale. Hakuamini alichokiona mbele yake, alikuwa msichana wa ndoto zake toka alipokuwa anasoma. Hakujua ni kitu gani kilichomsukuma mpaka kufika maeneo yale. Ila aliamini kuwa ni Mungu pekee ndio amekisikia kilo chake na kuamua kuwakutanisha tena pale. “PRISCA???”” Alinyaanyuka Jothan na kuita kwa mshangao mkuu huku akiwa haamini macho yake kuwa yule ndiye Prisca wake wa zamani. Bila kujibu chochote, yule dada alianguka kifuani mwa Jothan huku machozi yanamtoka. Hakuamini Jothan macho yake. Alimuangalia Prisca ambaye alikua anafuta machozi yake. “tuondoke eneo hili, sio salama Jothan.” Aliongea Prisca na kumchukua Jothan na kwenda naye kwenye gari. Safari ilianza huku kila mtu akiwa amenyamaza bila kuongea chochote. Jothan alishangaa kuona gari linaelekea mtaa aliokuwa anakaa yeye zamani kabla ya nyumba yake kuuzwa. Gari lilipiga honi kwenye geti la nyumba yake Jothan. Mlinzi alifungua mlango na Jothan hakuamini kuwa mmiliki wanyumba yake ni Prisca. “siamini Prisca kama ni wewe ndio umeinunua nyumba hii?” aliongea Jothan baada ya kuingia kwenye nyumba ile ambayo haikubadilishwa kitu chochote zaidi ya rangi tu. “siku zote huwa napenda kukuona ukiwa mwenye furaha. Ndio maana niliposikia nyumba hii inauzwa ndipo niliamua kuinunua kwa sababu sikupenda ipotee kwenye upeo wa macho yako. Sio nyumba tu, na kila kilichukuwa ndani pia nimevinunua. Hata gari lako pia ukilihitaji nitakupatia kwa sababu kwa sasa halipo hapa. Nimevinunua vitu vyote hivi kwa ajili yako Jothan.” Aliongea Prisca huku machozi yanamtoka. Jothan naye hakuweza kuyazuia machozi yake na kumfuata Prisca na kumkumbatia. “moyo wa mtu ni kichaka Prisca, sikuweza kufikiria kama ipo siku Shani angeweza kuyabadili maisha yangu na kunifanya niwe hivi… nashukuru sana kwa yote uliyoyafanya kwa ajili yangu Prisca.” Aliongea Jothan maneno yale na kumfanya Prisca azidi kulia. “kesho nitachukua begi langu na kuondoka. Maana kazi yangu ya kukutafuta wewe nimeshaimaliza Jothan.” Aliongea Prisca na kumuangalia Jothan ambaye wote walikuwa wanalia wakati huo. “hapana, hutakiwi kuondoka Prisca. Na kama utaondoka basi hii numba na kila kitu kilichomo humu ndani bado vitakuwa havitoshi kutimiza furaha yangu bila ya wewe kuwa karibu yangu.” Aliongea Jothan huku analia. “mimi sio chaguo lako Jothan, siwezi kukaa karibu na wewe. Nitakuwa naumia roho tu na sitaweza kuvumilia kukuona ukiwa na msichana mwengine mbele yangu.” Aliongea Prisca huku analia kwa uchungu. “nilikosea kuchagua kwakua sikujua upi ni mchele ni zipi ni pumba. Niliacha mchele kwakua pumba zilinivutia angi yake. Leo najuta kwakua pumba zimenilaza njaa. Wewe ndio mchele wa kunifanya nishibe na kunitoa njaa hii ya kufa inayonikabili. Nakupenda sana Prisca.” Aliongea Jothan na kujikuta ameeanguka kwa magoti mbele ya Prisca ambaye wakati huo na yeye alikuwa haoni vizuri kutokana na ukungu wa machozi ulikuwa kwenye macho yake. “toka siku uliyonikana Jothan kule Peacock hotel kuwa mimi sio chaguo lako. Moyo wangu uliingia ganzi na kuamua kuishi single Jothan. Sihitaji tena kupenda kwakua nina bahati mbaya ya kupenda nisipopendwa. Sipendi kuumizwa tena kwakua maumivu yake siwezi kuyastahimili. Nikuache tu na maisha yako na mimi naiche na maisha yangu” aliongea Prisca kwa uchungu maneno yalimchoma sana Jothan ambaye bado alikuwa analowanisha viatu vya Prisca kwa machozi yake pale chini. “nisamehe mimi, nimeshajifunza Prisca,” aliendelea kuomba Jothan huku sauti iliyojaa uchungu ikiendelea kumtoka mtoto wa kiume. Nguvu ya mapenzi inaweza kuhamisha milima, wahenga walisema hayo na mimi nawaunga mkono kwa kusadiki maneno hayo. Prisca alijikuta anamnyanyua Jothan na kumkumbatia. Wote walilia sana na kila mmoja kwa muda wake alimbembeleza mwenzake kwa mumfariji. Ukurasa mpya wa mapenzi kwa wapendanao hao walioanza mapenzi toka walipokuwa shuleni yalianza kwa kasi kubwa. Hakukua na sababu ya kuchunguzana wala kupeana muda. Walikubaliana kupima ukimwi kabla ya kufanya mapenzi. Zoezi hilo lilifanikiwa kwa asilimia mia moja. Wote walikuwa wazima na mipango ya ndoa ilifanyika haraka. Vitu vyote vilivyokuwa kabatini alivikuta vile vile. Kasoro hati ya nyumba tu ambayo alirudishiwa na mpenzi wake Prisca. Alifurahi sana na kwenda kupeleka cv zake kwenye kampuni ya Fast jet. Alipata kazi haraka na kuungana na rafiki yake kipenzi John. Ndoa ya aina yake ilifungwa kati ya Jothan na Prisca. Wageni wengi kutoka sehemu mbalimbali walihudhuria harusi ile. Kwenye Hight table walikwepo John na mkewe, Bahati na mumewe Saimon pamoja na mama yake. Hakika furaha ambayo ilipotea kwa muda mrefu kwa Jothan ilirudi alifurahia uwepo wa watu hao muhimu katika maisha yake kwa vipindi tofauti.. Miezi saba baadae, Jothan na mkewe Prisca walikuwa wanatoka kwenye matembezi yao usiku wa saa sita. Wailpofika msasani. Walilakuta wasichana wengi walikuwa wamejiremba na kuvaa nusu uchi wakiashiria kuwa walikuwa wanauza miili yao. Jothan hakuamini kumuona Shani akiwa amejiingiza kwenye kundi hilo. Alisikitika sana kumuona Shani akikimbilia magari na kuanza kujinadi kama wafanyavyo mada wengine wanaojiuza hapo. Alisimamisha gari lake na kumuangalia mkewe ambaye alimpa ishara ya kuondoka na kumuacha mwanamke huyo na maisha yake. Walirudi nyumbani na kumshukuru Mungu kwa kuwaunganisha tena na kuyahesabu yote yaliyotokea nyuma ni mitihani tu, na wao ndio couple iliyokubaliwa na Mungu. ***********MWISHO************** Maisha ni sahani iliyojaa mazuri na mabaya. Kuna wakati unaweza kukubali kuwa maisha ni jinsi unavyoishi. Ila wapo wanaoishi nje ya malengo waliojiwekea. Hakuna anayependa kupata hasara, ila kama una muamini Mungu basi utaamini kuwa kupata hasara katika jambo Fulani ni moja ya mitihani na huenda mungu amekuEpushia kitu Fulani katika jambo hilo. Kila hatua unayopitia ni moja ya changamoto katika mafanikio yako. Ukianguka jikaze na jaribu kuruka tena hata kama utasikia maumivu. Tochi ya mungu hummulkika kila mtu isipokuwa kwa atakayekataa mwenyewe. Ridhiki ya mtu ipo kwenye mikono yake mwenyewe ndio maana huwezi kuizuia. Mungu ametoa vitu vitatu vikubwa kuliko Mali. Kwanza Mungu katoa akili za kipekee. Nikisema akili za kipekee namaanisha kuwa kila mtu Mungu kampa akili lakini hawa wenye akili za kipekee huweza kufanya mambo makubwa na ya kushangaza hali ambayo mtu uliyepewa akili ya kawaida huwezi kufanya hata kama una pesa. Pili Mungu katoa vipaji. Mtu mwenye kipaji Fulani basi huweza kufanya mambo makubwa ikiwemo kufikisha ujumbe haraka kwa watu kutokana na kukubalika na watu wengi zaidi ya mtu wa kawaida. Kimfano matangazo, tangazo hilo akipewa mtu Fulani atangaze basi muitikio utakuwa mdogo kuliko akipewa tangazo hilo Diamond, Mrisho Mpoto na wengne wengi. Kipaji ni kitu cha pekee alichotoa mungu kama zawadi kwa mtu Fulani na kama kitathaminika na yeye kukiwekea mkazo basi hiyo ndio inaweza kuwa njia ya mafanikio yake kupitia kipaji hicho. Tatu mungu katoa Moyo wa pekee. Moyo huu amewapa watu wachache. Na cha ajabu kuwa mtu mwenye moyo wa kutoa basi hutoa kitu kikubwa bila kujali kubakiwa na kidogo. Humshinda mwenye mali ambaye akitoa hata kitu kidogo huhisi anapungukiwa. Mtu mwenye moyo wa pekee hupenda kutenda mambo yanayompendeza mwenzake hata kama yanaweza kuharibu furaha yake. Hapendi kumuona mtu akilia au akihuzunika wakati yeye anaweza kumfanya mtu huyo kuwa na furaha hata kwa kumuongopea. Hawezi kula yeye kabla ya kuangalia wenzake wenye njaa. Hayo na mengine mengi kajaaliwa mtu mwenye moyo wa pekee. Na huwashinda wenye vipaji na akili za pekee. Watu hawa mungu huwajaalia kwa kuendelea kuwapa na kutia Baraka mali zao hata kama ni kidogo. Nia na madhumuni ni kujifunza kupitia burudani hii iliyowaacha watu kwenye majonzi au kufurahia mwisha mzuri wa Jothan kuwa na mtu ampendaye. *****************************************MWISHO****************************************** ... Read More
Story......... NI WEWE TU PENINA Sehemu ya Nne (4) By GIVAN IVAN Phone & whatsapp... 0769673145 ilipoishia....... Kwa upande wa kina zaza usiku ule ule walianza kupanga mikakati ya kumteka Frank na kwenda kumtupa mbali kabisa na jiji la dar es salam. Lakini hii ilikuwa kazi ngumu Sana ambayo walihitaji pesa za kutosha na pia wachore ramani ya sehemu watakayoenda kumtupa Frank. .......... Endelea........... Zaza pamoja na wenzake waliumiza kichwa, na hatimaye mmoja wao akapata wazo ambalo moja kwa moja aliliweka hadharani kwa wenzake ili waweze kulifikiria kama ni wazo zuri. " mimi nina watu wangu nawafahamu, ni watu wazuri sana Katika kazi hizi hata kuua kwao ni kitu kidogo tu, hivyo naona tuwape hili dili warusaidie. " aliongea kijana huyo akiwasilisha Wazo Lake. " Wazo zuri Sana mi naungana na wewe moja kwa moja Sasa inabidi utueleze tunawapataje hao watu. " akaongea zaza kumuuga mkono kijana yule. " ninafahamu makao yao kama vip tuongozane mpaka kwao." akaongea kijana yule, na moja kwa moja zaza pamoja na wenzake wakanyanyuka na kuingia kwenye gari Lao na kuanza safari ya kuelekea kwa watu hao. Hapakuwa mbali Sana na sehemu waliyokuwepo, hivyo baada ya dakika chache waliwasili sehemu hiyo. Wakashuka kwenye gari na kubisha hodi kwenye nyumba kubwa iliyokuwa mbele yao. Hakuna mtu aliyewaitikia ndani ya dakika tano wakiwa bado wapo pale mlangoni, lakini ghafla walishtukia wamezungukwa kila sehemu na watu wasiopungua kumi huku wakiwa na bunduki kila mmoja. "mko chini ya ulinzi mikono juu na mjitambulishe nyie ni nani." ikasikika sauti ikiwaamuru wakina zaza. "zaza pamoja na wenzake walitiii na kuweka mikono juu, Kisha zaza akajitambulisha kwa niaba ya wenzake. Zaza pamoja na wenzake walieleweka vizuri Kisha wale watu wakashusha silaha zao chini na kuwakaribisha wakina zaza Katika jumba Lao. " Elezeni shida yenu hatuna muda wa kuangaliana hapa." ikasikika sauti ikiwaambia wakina zaza. Zaza bila kusita alianza kuelezea mipango ya kumteka Frank na kuwataka wao wakawasaidie tu kumtupa mbali na jiji la dar es salam. "hiyo ni kazi ndogo Sana lakini inahitaji pesa kiasi cha shilingi million kumi." ikasikika tena Ile sauti ikiwaambia wakina zaza. "pesa si tatizo pesa Zipo za kutosha." akajibu zaza. "bas vizuri Sana tutawaelekeza namna ya kutupatia hizo pesa alafu mtatuletea huyo kijana mtuachie tumfanyie kazi." ikasema sauti ile. "hamna shida." akajibu zaza. Na muda huo wakapewa maelekezo namna ya kuwaingizia pesa zao, na bila kupoteza muda. Zaza pamoja na wenzake waliondoka usiku ule ule na kuwasiliana mzee Joel na kuwajulisha kias cha pesa wanachohitaji kulitimiza zoezi la kumteka Frank. Mzee Joel wala hakujali kama pesa ile ni nyingi kias gani, yeye alichotaka ni kuwatenganisha Frank na mtoto wake Penina . Usiku ule ule mzee Joel aliweza kuwakabidhi wakina zaza pesa zile na kuwataka wakina zaza wampoteze kabisa Frank lakini wasijaribu kumuua. Zaza pamoja na wenzake nao walizifikisha pesa zile kwa kikosi kile ambacho waliwapa kazi ile ya kumpoteza Frank. Baada ya kuwakabidhi pesa zile, walikubaliana kuwa siku inayofuata wataifanya kazi hiyo kama ipasavyo.* Asubuhi na mapema siku iliyofuata Frank akiwa bado yupo kitandani alishtushwa na mlio wa simu yake ikiita. Frank aliichukua simu yake na alipoangalia mpigaji akakuta ni kipenzi chake Penina. Bila kusita Frank akaipokea simu ile. "my love umeamkaje?" ilisikika sauti nyororo ya Penina ikimuuliza Frank. "nimeamka salama mpenzi wangu sijui wewe?" akajibu Frank na kumuuliza Penina pia. "mimi pia nimeamka salama kabisa mpenzi, na nimekupigia simu asubuhi na mapema kwasababu nataka leo tukanywe Chai wawili." akajibu Penina na kumuambia Frank. "ooh usijali my dear nipo kwa ajili yako kwa lolote lile." akajibu Frank. "ok nakupitia sasa hivi." Penina akamwambia Frank na kukataa simu. Frank muda huo huo alitoka kitandani na kuanza kujiandaa haraka haraka. * Lakini wakati huo huo zaza akiwa na kikos chake walikuwa tayari wameshawasili nyumbani kwa kina Frank kwa ajili ya kutekeleza kazi waliyoagizwa. Frank akiwa tayari ameshajiandaa aliwaaga wazazi wake na kutoka nje ya kwa ajili ya kumsubiri mpenzi wake Penina. Baada ya Frank kutoka nje Bila kutarajia alijikuta anapigwa chuma ya kichwa na kudondoka chini na kuzimia. Na waliofanya kitendo kile hawakuwa wengine bali ni zaza pamoja na wenzake. Haraka haraka Frank alibebwa na kuwekwa kwenye gari yao Kisha gari likaondolewa sehemu ile kwa kasi ya ajabu. Na wakati huo huo Penina ndio alikuwa anawasili na akapishana na gari la kina zaza likiwa Katika mwendo mkali, lakini yeye Penina hakufahamu chochote kinachoendelea. Penina alipaki gari mbele ya nyumba ya kina Frank Kisha akashuka kwa mwendo wa madaha huku tabasumu tamu likiupamba uso wake na kuanza kuelekea ndani kwa kina Frank. "hodi hodi jamani mpaka ndani." ilisikika sauti ya Penina ikibisha hodi lakini muda huo akiwa tayari ameshaingia ndani. "baba na mama shikamooni." akasalimia Penina. "marahaba karibu uketi ." wakaitikia kwa pamoja wazazi wake Frank. "hata sikai jamani nimekuja kumchukua mtoto wenu." akajibu Penina. "yupo nje mbona anakusubiri hujamuona?" akauliza mama yake Frank kwa mshangao huku akitoka nje. "yupo nje mbona sijamuona?" Penina naye akauliza huku akiongozana na mama yake Frank mpaka nje. "mhhh yuko wapi Sasa hebu ngoja nimpigie simu." akasema Penina huku akitoa simu yake na kumpigia Frank. Simu ya Frank iliita bila kupokelewa na alipopiga Mara ya pili akakutana na sauti hii, "simu unayopiga haipatikana kwa sasa tafadhali jaribu tena baadae." Taratibu Penina alianza kunyongonyea na kupoteza tabasumu Lake zuri usoni mwake. "simu haipatikani mama hebu sikiliza." Penina akamwambia mama yake Frank huku akimuwekea simu sikion. "hee mbona makubwa jamani kaenda wapi Sasa huyu Mara hii tu katoka ndani? ." akauliza mama yake Frank huku akiwa ameshika kiuno. Penina naye alizidi kupiga simu bila mafanikio yoyote ya kumpata Frank. Ilibidi mama yake Frank amwite baba yake Frank pamoja na Angel mdogo wake Frank ili wamtafute Frank kwa pamoja. * Gari ya kina zaza ikiwaa Katika mwendo mkali, zaza pamoja na wenzake walimfunga Frank miguu pamoja na mikono Kisha wakachukua kitambaa cheusi na kumfunga Frank usoni ili hata atakapozinduka asiweze kufanya chochote na pia asiweze kugundua sehemu anayopelekwa. Na Kisha simu yake ilipasuliwa kule ndani ya gari pale tu waliposikia ikipigwa na Penina. Moja kwa moja gari ile iliyombeba Frank iliwasili Katika jumba la kikosi kile ambacho wakina zaza walikubaliana nao kwenda kumtupa Frank mbali kabisa na jiji la dar es salam na kamwe asiweze kurudi tena. Baada ya kufikishwa hapo Frank alitolewa kwenye gari la kina zaza na kuwekwa kwenye gari lingine la kikosi kile kingine huku ndani ya gari lile kukiwa na vijana wengine wanne. Na wakati huo huo taratibu Frank alianza kurudiwa na fahamu Zake. Milango ya gari Ile aliyowekwa Frank ilifungwa, na Kisha gari likaanza kuondoka kwenda kumtupa Frank sehemu ambayo kamwe hatoweza kuonana tena na Penina. ........ Itaendelea ... Read More
MUUZA MAZIW EP 07 “aaaaahh!! Jamani wifi wao!!” Aliongea kwa furaha baada ya kumuona mgeni aliyekuwa akigonga ni penina. “asante wifi , shikamoo!” Penina aliongea na kisha kumkumbatia wifi yake kwa furaha. “ marhaba wifi ,vipi masomo?” Aliongea huku akiipokea mizigo aliyo ibeba “naendelea vizuri tu wifi” “haya mungu akusaidie” Aliongea lisa na kuelakea sebuleni , aliiiweka mizigo pembeni ya kochi na kasha kuelekea sehemuk ilipo friji. Penina, penina akaamua kuichukua mizigo ili aipeleke chumbani. “hapana wifi, hapana , hiyo iache hapo hapo nitaiingiza mwenyewe,, wewe kwanza kunywa juisi upumzike.“ Aliongea lisa huku akiwa ameshikilia jagi lenye juisi pamoja na glasi, alifanya hivyo kwa sababu chumba anachotakiwa kulala penina ndicho chumba ambacho amemficha muuza maziwa. “usipate tabu wifi wangu kunywa juisi upumzike, nipo kwa ajili yako “ Aliongea lisa huku akiibeba mizigo na kuelekea chumbani na kumuacha penina akinywa juisi taratibu. Alipoingia chumbani alimshutua muuza maziwa na kumweleza hali halisi. “kwahiyo nitatoka saa ngapi humu?” “ itabidi uvumilie mpaka usiku wifi akilala , mlango wa nje nitauacha wazi leo” Aliongea lisa “Sawa lakini vipi kuhusu chakula manaake niana njaa” “ usijali nitakuletea utakula humu humu , jitahidi usitoke nitajaribu kufanya mpango hata kamakabla ya usiku ikiwezekana” “poa” Muuza maziwa aliitikia “alafu nitaa……” Lisa alikatiza kauli yakebaada ya kusikia mlio wa kitasa kikifunguliwa. Haraka haraka muuuza maziwa aliingia kabatini na kisha lisa aliufunga mlango wa kabati hiyo kabla hata hajauachia mlango huo alisikia sauti nyuma yake. “wifi mbona unagombana na hilo kabati!?” Swali hilotoka kwa penina lilimfanya lisa ashikwe na kigugumizi cha ghafla huku akitoa maelezo ya kujikanyagakanyaga. “ah, mh, a-, u-n-a-j-u-a hi-li ka-ba-ti ni bo-vu” “limeharibika , ooh, mungu wangu!” Penina aliongea huku akilisogelea kabati hiloili kuiangalia sehemu ilipoaribika. “ah, hapana wifi usiiguse hapa nimeitegesha , iache hivyo hivyo mpaka atakapokuja fundi kulirekebisha” Aliongea Lisa haraka haraka. “okey”[sawa] Aliongea Penina huku akitikisa kichwa kuonyesha kwamba ameelewa. “nataka kuoga wifi” “na kweli manaake umechoka kweli kweli wifi yangu” Aliitikia Lisa haraka haraka kwani alijua huo ndio upenyo wa kumtoa muuza maziwa. Na kweli penina alipoingia bafuni lisa aliufungua mlango wa kabati haraka na kumtoa muuza maziwa , akala chakula haraka na kuanza safari ya kutoka nje ya nyumba hiyo , walipofika kwenye mlango wa kutokea muuza maziwa alimbusu lisa kwa mara ya mwisho , alipomaliza kufanya hivyo alitoka ndani ya chumba hicho na kutokeza koridoni ili atoke nje kabisa ya nyumba hiyo lakini kabla ya kufanya hivyo alisikia muungurumo wa gari, halikuwa gari lingine bali gari la Jerry mume wa Lisa. Hofu iliwaingia kwa ghafla na haraka haraaka walirudi tena chumbani kwa penina , ambapo kama kawaida alimfungia muuza maziwa kabatini, hawakuwa na njia nyingine tena bali hile waliyoipanga awali, muuza maziwa asubiri mpaka usiku wa manane Penina atakapo lala ndipo atoke kwani Lisa atauacha mlango wa kutokea wazi. Lisa alipomaliza kumfungia muuza maziwa katika kabati alitoka nje ya chumba hicho,akiwa koridoni aligongana ana kwa ana macho na mumewe. Wote wawili waliinamisha vichwa vyao chini. Kwani kila mmoja aliona aibu kwa kumsaliti mwenzake. Lisa kwa muuza maziwa na Jerry kwa sekritari wake. “Ah, mmh, wifi amekuja , kakaribu!” Aliongea Lisa kwa kujiumauma huku akiwa na wasi wasi. “ asante amekuja saa ngapi?” “sio muda mrefu” “aah yuko wapi sasa nimsalimie?” “yuko bafuni anaoga” “Okey” [sawa] Aliitikia na kisha kuelekea chumbani kwake. Lisa nae alimfuata mumewe nyuma hukubado akiwa na hofu juu ya kugundulika kwa uwepo wa muuza maziwa ndani ya nyumba hiyo. “Pole na kazi dear” Aliongea Lisa huku akijibaraguza kwa kumvua tai mume wake, macho yake bado yalikuwa na aibu sababu bado alikuwa na wasi wasi kwamba labda mumewe amegundua chochote. “ah, asante mpenzi” Aliitikia Jerry huku akitabasamu, lakina nae pia tabasamu lake liliishia mdomoni tu moyoni nafsi ilimsuta . Maovu aliyoyafanya na sikritari wake ofisini kwake yalikuwa bado yakionekana katika kichwa chake. Akavua nguo na kuingia bafuni kuoga lisa nae alimfuata na kujumuika nae kuoga . Alifanya hivyo ili Jerry hasihisi chochote. Walioga huku kila mmoja akiwa hana habari na mwenzake. Kwani wote wawili walikuwa wamechoka, walipomaliza kuoga wakavaa na kasha kwenda sebuleni. Huko wakamkuta Penina akianga lia tv. “mdogo wangu huyo!” Jerry aliongea kwa furaha huku wakicheka. “kaka!” Penina aliitikia na kisha kumkimbilia kaka yake. “waoo!!!” Waliongea kwa pamoja na kisha kukumbatiana kwa furaha. “habari za masomo!?” ITAENDELEA.. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: