NENO (NAUMIA) WAKATI WA TENDO LA NDOA LANITATIZA  Kwakifupi nihivi:- Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo. Maswali:- Je, hulia kwa kupata maumivu? Je, hulia kwa kuhisi raha? Je, nawengine wanaliaga kama wangu? Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu? Naombeni ushauri wenu wakuu

at 2:18 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top