Home → ushauri
→ MWANAMKE FANYA MAZOEZI YA KUKAZA MISURI YA UKE
MWANAMKE FANYA MAZOEZI YA KUKAZA MISURI YA UKE

Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “Kuma” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.
Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendelea.
Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa una tatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa.
Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalumu kabisa yanayoitwa Kegel.
Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua.
Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kurudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa).
Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya haja kubwa(mkundu).
Unajua unapokunya (toa haja kubwa) ile ngumu au hata ya kawaida huwa huliachii mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo, ukilikata lile "javi " sehemu yako ya nyuma (mkundu) inakuwa kama vile ina "hema" au "inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa unatakiwa kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio wakati unakunya. Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya haraka-haraka ili uwahi kumaliza.
Hali hiyo ya mkundu na Kuma "kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia utamu wa kufanya mapenzi mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni pale unapofika.....hasa ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje.
Vilevile unaweza ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia mkojo usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha uachie na rudia tena mpaka mkojo wote uishe.
Zoezi hili halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengu tu bali na mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake.
Ikiwa unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi wako kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wake kila unapo ingia deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako na ikiwa wewe ni kati ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli yako hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako ambayo hajawahi kuipata toka umaji-maji ujitokeze.
Nitajuaje kama nimepatia?
Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa.
Fanya zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana.
Ikiwa wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza raha ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya zoezi hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia mbane-mwachie na kamua "cream" yote.
Pia Kegel inaweza ikafanywa kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku kisha ipumzishe kwenye sakafu alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na vikanyagio viwe sambamba kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako kwenda juu baki hapo juu (huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile unazuia mkojo usitoke) kwa muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri uwezavyo.
MWANAMKE FANYA MAZOEZI YA KUKAZA MISURI YA UKE MWANAMKE FANYA MAZOEZI YA KUKAZA MISURI YA UKE  Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “Kuma” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu. Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendelea. Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa una tatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa. Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalumu kabisa yanayoitwa Kegel. Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua. Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kurudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa). Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya haja kubwa(mkundu). Unajua unapokunya (toa haja kubwa) ile ngumu au hata ya kawaida huwa huliachii mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo, ukilikata lile "javi " sehemu yako ya nyuma (mkundu) inakuwa kama vile ina "hema" au "inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa unatakiwa kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio wakati unakunya. Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya haraka-haraka ili uwahi kumaliza. Hali hiyo ya mkundu na Kuma "kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia utamu wa kufanya mapenzi mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni pale unapofika.....hasa ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje. Vilevile unaweza ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia mkojo usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha uachie na rudia tena mpaka mkojo wote uishe. Zoezi hili halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengu tu bali na mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake. Ikiwa unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi wako kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wake kila unapo ingia deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako na ikiwa wewe ni kati ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli yako hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako ambayo hajawahi kuipata toka umaji-maji ujitokeze. Nitajuaje kama nimepatia? Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa. Fanya zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana. Ikiwa wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza raha ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya zoezi hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia mbane-mwachie na kamua "cream" yote. Pia Kegel inaweza ikafanywa kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku kisha ipumzishe kwenye sakafu alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na vikanyagio viwe sambamba kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako kwenda juu baki hapo juu (huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile unazuia mkojo usitoke) kwa muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri uwezavyo.
Artikel Terkait
Kwa Wanawake tu..Fahamu Mbinu Kuntu za Kummaliza Mumeo Ndani ya Sita kwa Sita Hadi Akapagawa   Weekend hii nimeona ni vyema tuzungumzie kidogo kuhusu masualaya mahusiano pia kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia katika maisha ya mwanadamu. Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita. Jambo la kwanza wanamke unapaswa kuwa jasari na mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu hiyo, Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko mkubwa. Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke)unaweza kutoa nguo zako kisha mkumbatie mmeo , huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi. Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja vyake na mapaja na nk. Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona akisisimka zaidi. Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi. Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi kwa haraka zaidi. Uwapo katikati ya tendo hakikisha unkuwa serious na zoezi hilo, huku ukijitahidi kuepuka kucheka kwa jambo lolote lile hata pale mwenzi wako anapotoa sauti za kufurahisha wakati wa katikati ya tendo. Pamoja na hayo, mwanamke uwapo katikati tendo hilo na mwenzi wako jitahii sana kujiachia maungo yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo hilo la ndoa huwa hakuna uheshimiwa hivyo ni vyema ukajiachia. Katika tendo la ndoa pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana wakati wa tendo la ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo. Baada ya kumaliza tendo hilo kumbuka kusema asante na mpe pole mwenzi wako kwa kazi pevu, kisha chukuwa kitambaa na mkaushe kijasho cha utamu wa penzi kwa taulo uliloandaa maalum. ... Read More
Utajuaje Kama Mahusiano Uliyonayo Yatadumu.  Dalili 8 zitakuonyesha kama upo kwenye mahusiano ya kudumu au hapana. Afya. Wote tunafikiria kuhusu hili. hasa kwa kadri tunavyoendelea kukua , tunatembelea madaktari, tunakula vizuri wakati mwingine. Tunatafuta dalili na wakati mwingine matokeo yake yanatuambia kuwa hali zetu sio nzuri. Lakini tunapofikiria afya, tunafanya hivyo katika miili yetu tu. mara nyingi tunasahau kufikiria kuhusu afya ya mahusiano na mapenzi. Tunaangalia zaidi afya ya mwili katika maisha ,lakini kuwa na afya nzuri katika mahusiano ni vitu vinavyoungana. Kwa kurahisisha , mahusiano mabaya hayadumu. au ingawa yanaweza kukaa kwa muda fulani.Na kama yakidumu , atakuwepo mtu wa kuumia. Lakini ni nini hasa afya ya mahusiano? Tutajuaje kama mahusiano yetu yatadumu? Utajuaje kama uko na mtu sio sahihi, mtu ambaye mtaishia kwenye kona fulani tu? Hakuna kipimo halisi cha kujua. Hakuna kipima joto kinaweza kupima kiasi cha muda wa mahusiano kuwa ni ya moto au baridi. Kwa bahati kuna hizi dalili 8 ambazo zinaweza kukusaidia kujua afya iliopo kwenye mahusiano yako. 1.Mchumba wako atakuwa na imani na wewe , na wewe utakuwa na imani naye.  Hataongea kwa ajili yake bali ataongea kwa ajili yenu wote. atakukumbusha pale unapokuwa umesahau au unapokuwa na mashaka kwa jinsi ulivyo. Ana maono ya wazi ya muhimu kwako. atalea hali hio na utaiona. Vilevile na upande wako utakuwa kama yeye. hutamsema vibaya kwa marafiki, hutalalamika kitu bali utaongea mbele yake. Utamwamini kuwa yuko kamili , mtu anayeweza kutatua matatizo na kusimama kwa miguu yake. Hata kama haujamsaidia kitu. 2.Unamwamini. Unamwamini katika ukweli wake wote. ahadi zake ni za kweli. utamkubali alivyo. Anahusika katika majukumu yake. 3.Unakubali mambo yake yaliopita na yeye anakubali ya kwako. Jinsi alivyokuwa, alikuwa na wanawake wangapi, wanaume wangapi. hutajali. utamkubali alivyo ili mkue pamoja. hutafikiria kitu chochote kilichopita, bali utakuwa na hamu ya kutaka kujua jinsi gani huyo mtu alivyo. Mahusiano yako yatakuwa yamekusanya, Msamaha na kuachilia yaliopita. 4.Unashukuru kwa vitu vizuri mlivyonavyo Unakubaliana na vitu vidogo vidogo anavyovifanya kwako. unakuwa na matumaini, husubiri kupata kazi, kwa ajili ya mshahara, kwa ajili ya mambo mengine. unashukuru kwa kile mlichonacho sasa na mwenza wako. Mnafuraha wakati huu. hana mchezo wa kijinga. anatengeneza pesa ya kutosha. anafanya kitu akipendacho. Utakuwa unalenga safari sio mwisho wa ndoa, mtoto, sherehe, vitu vinatokea kwa kawaida. 5.Mawasiliano ni ya wazi na ya kueleweka kwa kila mmoja. Hakuna wa kusubiri ni nani atamtafuta mwenzake. kila mtu anakuwa na jukumu la kufanya hivyo. Na kama itatokea mmoja hakuhusika , hakuna lawama, kwa kuwa mnaelewa . utavaa moyo wake. hutahangaika kuyatawala mahusiano kwa sababu hamfanyi mchezo wa kuigiza. 6.Maisha yenu ya sex yataendelea kuwa mazuri na ya kupendeza. Kwa sababu ya urafiki ambao mnao, maisha yenu ya mahusiano yatakuwa rahisi na ya kimapenzi. Ya ukaribu zaidi. sex itakuwa sio kipaumbele chenu bali ni matokeo ya upendo mlionao. mahitaji yenu ya kimwili yatatosheka kwa pamoja. 7.Utamuheshimu na yeye Atakuheshimu wewe. Kila mtu anaheshimu mipaka ya mwenzake na mnaweza kuhimizana katika kutimiza malengo yenu. kama unapenda kucheza , atakuhimiza kufanya hivyo. hutahitaji kukamilisha hisia zako zote. atakuwa na mahusiano mazuri na watu wengine pia. Ni mtu muhimu kwako. anakufanya ujisikie vizuri. 8.Malengo yenu yanafanana. Hutajaribu kumbadilisha. au kujaribu kuomba kuishi na yeye. hutahitaji awe mtu wa kutengeneza kitu chako. ni mtu ambaye ulimtaka awe wako. thamani yake ni muhimu katika maswali hata. Unataka watoto? Unapenda kusafiri? Una hamu ya kupata uzoefu fulani? unakubaliana katika mambo ya pesa? Una furaha unapokuwa naye? Unataka kuishi naye na kuwa naye chumba kimoja? Afya ya mahusiano yako ni muhimu katika maisha ya ndoa utakayoingia. Lakini hakuna kipimo cha kupimia uzima huo. Ni wewe tu na mwenza wako mnajua kama mahusiano yatadumu au yataishia kwenye kona. yatakuwa na matunda au hapana. Mttajua kama ni mazuri au sio. hizo dalili nane zikusaidie kufahamu kama ni ya afya au sio, yatadumu au hayatadumu. ... Read More
Special kwa Wanawake: Dalili za mwanaume anayekupenda kwa Dhati ANAVYOKUTAZAMA Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50. Hii ina maana kwamba mwanaume anapotumia muda wake mwingi kumtazama msichana na kugeuka taratibu kuangalia vitu vingine kama mtu asiyependa kuacha kumwangalia, ujue anampenda. MIPANGO Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango yake hasa ya muda mrefu. Mfano akitaka kununua kiwanja, kujenga nyumba atakuambia na pengine kutaka mchango wako wa hali na mali katika kulifanikisha hilo. Ukiona mwanaume anakuficha mambo yake, tambua kuwa huyo ana walakini kwenye penzi la dhati na la muda mrefu. ATAONESHA HUZUNI Katika maisha ya mapenzi kuna wakati wa kuhuzunika. Mwanaume mwenye upendo wa dhati atashirikiana nawe wakati wa huzuni na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa unapata furaha. ATAKUAMINI Dalili nyingine ya kupendwa na mwanaume ni kuaminiwa kwenye maisha kwa ujumla. Yaani mwanaume anayekupenda hatakuficha kitu, mfano pesa zake, atakupa uhuru kwenye simu yake na kukuamini katika usimamizi wa miradi yake. ATAKUPA NAFASI Ninapozungumzia nafasi nina maana atakukaribisha kwake bila hofu na kukupa nafasi ya kuingia na kutoka bila mipaka, atakupa nafasi ya kuweka vitu vyako kwenye kabati na kuruhusu nguo, picha na vitu vyako kuonekana wakati wote chumbani kwake. UTAKUWA MWANAFAMILIA Mwanaume aliyefikia chaguo la mwisho kwa mwanamke humshirikisha mpenzi wake kwenye masuala yake ya kifamilia, mfano atamwalika kwenye vikao vya harusi, kipaimara, atatoa nafasi ya kuambatana naye kuona wagonjwa, kusalimia ndugu na atakuwa huru kukutambulisha kwao. ATAZUNGUMZA NAWE KUHUSU WATOTO Kwa kuwa wanaume wengi hufikiria kuwa na familia, mwanaume anayekupenda atazungumza nawe mipango ya kupata watoto kwa kuwa atakuwa amekuchagua wewe kuwa mama wa wanaye na atapenda mazungumzo hayo. ATAKUSAIDIA Kwa kuwa kukwama ni sehemu ya maisha yetu, mwanaume anayekupenda atakuwa tayari kukusaidia unapokwama. Kila mara atahakikisha kuwa unakuwa na mafanikio na yeye atakuwa tayari kukupunguzia usumbufu wa maisha, kwa kukufuata kazini, kukusaidia baadhi ya mambo na hata ya nyumbani. ATAJITOLEA Ninaposema kujitolea ninamaanisha atakuwa tayari kufanya mambo yako na kuyaweka yake nyuma. Kwa mfano akiwa anapenda mpira na siku hiyo kuna mechi, lakini muda huo ukamwambia akufuate kwa mjomba wako atakuwa tayari kuacha furaha yake na kukujali wewe. Huyu ni mwanaume anayekupenda kwa dhati. ATAAMBATANA NAWE Wapenzi wengi wasiokuwa na mapenzi ya dhati huona aibu kuambatana na wapenzi wao kwenye mikusanyiko ya watu, lakini mwanaume anayekupenda atafurahia kutoka moyoni kuongozana nawe kwenye halaiki ya watu na kufurahia uwepo wako bila kuona aibu. KAMA UMEIPENDA MADA NA KUKUSAIDIA, TUPIA BASI LIKE NIKUPAKULIE NYINGINE!!!! ... Read More
Mimba kuharibika na Sababu zake  Tatizo la kuharibika kwa mimba limekuwa tatizo kubwa, na limekuwa likiwatesa wengi, kama we ni mongoni mwa watu hao nakusihi usome makala haya ili kuepukana na matatizo haya. Somo hili ni mahususi kwa sababu waawake wengi wamekuwa wakaiharibikiwa na mimba bila kujua sababu. Na zifuatazo ndizo sababu za kuharibika kwa mimba. 1.Mama anapokuwa na matatizo uvimbe (fibroid), huweza kuwa na madhara na kusababisha mimba kuharibika mara kwa mara. 2. Uzito mkubwa (unene) Nayo huweza kuchangia tatizo hilo kinachohitajika ni kuwa na uzito unastahili kulingana na mhusika mwenyewe. Pia inasadikika kuwa uwepo wa manyama uzembe tumboni ni chanzo pia kwa kuharibika kwa mimba kwani, mtoto hukaa kwa shinda. 3. Historia ya kuharibika mimba mara kwa mara Mama aliepata kukumbwa na hali hii ya kuharibika kwa mimba 'miscarriage' zaidi ya mara 2 anauwezo mkubwa wa kuharibika kwa mimba yake kila anaposhika. 4. Utoaji mimba Mwanamke anapotoa mimba mara kwa mara kizazi huweza kuchangia kizazi chake kushindwa kuhimili kubeba mimba zinazokuja mbeleni kwa miezi tisa, hivyo epuka kutoa mimba. 5. Matumizi ya Pombe,Sigara Wanawake wanaotumia vilevi hivyo nao huwa katika hatari ya k?kumbwa na tatizo hili, hivyo ni vyema kuepuka matumizi ya vitu hivyo. 6. Magonjwa sugu Mama anapokuwa anazongwa na magonjwa sugu kama kisukari , moyo nk huweza kuwa chanzo cha tatizo hili pia. ... Read More
HIVI UNAIJUA MAANA YA MAPENZI VIZURI AMA.......???  Jina mapenzi limeweza kupewa maana nyingi kulingana na maongezi yanayozunguka jina hilo. Mapenzi yaweza kusemwa kwamba ni jina linaloonyesha hisia za mtu iwe mahaba, pendo kwa mtu ama upendo wa Mungu. Mara nyingi watu wengi hukosea kwa kuchambua mapenzi katika mahaba pekee. Watu wengi hudhania mapenzi huwa yanahusisha moyo wa binadamu, lakini hakika ni kwamba huhusisha ubongo wa mwanadamu. Kuna aina nyingi za mapenzi ambazo binadamu huonyesha katika maisha yao wanapoendelea na shughuli zao za kila siku. Kama binadamu sisi husahau aina nyingine za mapenzi kwani wengi wetu hawajui neno mapenzi lina maana nyingi. Kwa kufafanua mapenzi yapo na aina zifuatazo Mapenzi ya kimwili (Eros) Aina hii ya mapenzi ni ya kimahaba. Kwa mfano mwanamume kumtamani mwanamke ama vile vile mwanamke kumtamani mwanamume kwa hamu ya ngono. Hapa mapenzi huwa yanayoendelezwa na hisia za kumtaka yule mwingine kimapenzi. Hii ndio aina ambayo watu wengi duniani hudhani ndio maelezo kamili ya mapenzi ill hali hii ni moja yapo ya zingine nyingi. Aina hii ya mapenzi ni muhimu kwa watu wanaoanza kutongozana ama watu wanaofikiri kuwa katika uhusiano. Mapenzi ya Urafiki (Philia) Aina hii ni ambayo inavutiwa na mtu kukufanyia kitendo kizuri ama kukusaidia ama ni mtu mzuri kwa ujumla. Mapenzi hapa yaweza kuwa kwa ndugu ama rafiki yako mzuri. Mapenzi haya huwa sana ambapo mtu wanashiriki maadili sawa na mwenzake na kwamba hisia zao sinaambatana ama mmoja anapokea matendo sawia na yale anamwelekezea yule mwenzake. Mapenzi ya aina hii yanaenziwa sana duniani. Wataaluma huamini kwamba mapenzi ya urafiki husaidia kutoa tamaa ya mwili na kuzingatia kufahamiana zaidi kwa marafiki na dunia kwa jumla. Mapenzi ya Familia(Storge) Aina hii ya mapenzi ni inayoonekana na wazazi kwa watoto wao na pia kutoka kwa watoto kwa wazazi. Aina hii hutofautiana na ya urafiki kwani haizingatii kile mtu anachokutendea bali uhusiano wa kidamu na vile wazazi na watoto wao wanavyotegemeana. Sifa za binafsi hazizingatiwi hapa ili wazazi waonyeshe wanao hisia hizi. Uhusiano wao huchangia kwa mapenzi haya. Mapenzi haya huhusishwa na mtu kujiskia yuko huru na salama. Mapenzi ya Kujitolea(Agape) Aina hii ya mapenzi inazingatia asili, mapenzi kwa Mungu au miungu na mapenzi kwa usiowajua. Hii ni mapenzi ya kujitolea kwa ubinafsi ama mapenzi ya ubinadamu. Aina hii inahusishwa na kuto tarajia malipo au kitu chochote kwa matendo unayoyafanya. Yaani ni mapenzi yakujitolea mhanga. Aina hii ya mapenzi hutusaidia kuwapenda watu tusiowajua na kusaidiana kibinadamu kwa hali yoyote ile. Dunia yastahili kuwa na aina hii kwa wingi ili tukaweza kukaa kwa amani na furaha. Mapenzi kwa Mungu ama niungu pia huwa katika aina hii. Kumwabudu Mungu aliye binguni ni mfano mmoja wa kueleza aina hii. Mapenzi Changamfu (Ludus) Aina hii ya mapenzi ni mapenzi yasio na dhamira yoyote na ma mzaha tu. Mapenzi haya hayana masharti hata kidogo. Mfano wa aina hii ya mapenzi ni kama mtu anovyomtongoza mwingine, kupinga densi na kucheza. Aina hii ya mapenzi haina mambo mengi kwani huwa ni kawaida tu. Aina hii huwa sawa kwa watu wanaojitosheleza kimaisha. Aina hii ya mapenzi huwa gumu wakati mtu mmoja hufasiri kwamba mwingine ana hamu ya kimwili. Inafaa watu waweze kuelewa kama wanahamu zaidi na raha na kufurahi tu. Mapenzi Madhubuti(Pragma) Aina hii ni mapenzi ambayo yako na msingi wa wajibu wako kwa mwingine na wa kuzingatia maslahi ya mwingine ya siku za usoni. Mfano mwema ni kwa wapenzi ambao wako katika ndoa. Aina hii inahusishwa na uvumulivu na maelewano kati ya walio katika ndoa. Aina hii ya mapenzi hukuzwa kwa muda wa miaka kadha na ndio maana yaitwa madhubuti ya ka kudumu. Mvuto wa kimwili sana hauzingatiwi katika aina hii ya mapenzi bali kujengana kimawazo na kufanya maisha yao kuwa bora zaidi. Kinyume na aina zingine za mapenzi mapenzi madhubuti huzingatia pande zote mbili za wapenzi wawili. Lazima wewe wanapendana ama kuwa na mafikira na dhamira sawia. Mapenzi ya Kibinafsi (Philautia) Mapenzi haya ni ya mtu binafsi. Aina hii ya mapenzi huwa ina matokeo mawili, yaweza kuwa nzuri ama ya kudhuru. Upande mbaya wa aina hii huwa kwa ile hali ya ubinafi, kutafuta umaarufu na kutafuta utajiri na hufanya mtu kujiona ana dhamana kuliko mtu mwingine yeyote. Upande huu hufanya mtu akajiona yuko mkubwa kuliko mungu. Pia kuna upande mzuri wa aina hii ya mapenzi ambao inahusiana na mtu kujijua, kwa kufahamu uwezo wako na kujidhamini kwa uzuri wako na unachoweza kufanya. Kwa uhusiano wowote, huwezi kumpenda mwingine kama wewe mwenyewe hauna mapezi ya kibinafsi. Kwa kujipenda kwanza ndio tunaweza kupenda wengine na kuwatunza vizuri maishani. Aina hii ni muhimu sana kwa maisha ya kila mwanadamu. Mapenzi ya kibinafi humsaidia mtu kujua mazuri na mabaya na kupanga maisha yake kwa nji inayostahili. Mapenzi ya kibinafsi humwongezea mtu hali ya kujiamini na kujidhamini. Watu waliyo na mapenzi ya kibinafsi huweza kuelewana sana na watu wengi kwa vile kwa kujidhamini watu pia hukudhamini. Hii husaidia kwa vile mnaelewana na watu kazini, nyumbani na mahali pengine ambapo mnapatana. Watu waliyo na mapenzi ya kibinafsi hawahitaji kujigamba ili watu wawajue ama kujionyesha kwa watu. Uzuriwao hujionyesha kwa wanayofanya na wanavyoongea. Watu wanaojipenda kibinafsi huwa wako huru kwa mambo mapya na uwazi. Uchambuzi na ufahamu wa mapenzi ni nini husaidia kila mwanadamu kutambua aina gani anafaa kuwapa watu kwa kila wakati na aina gani ya mapenzi kutupilia mbali. Mwanadamu anaweza penda ila kwa hiari yake. Haina maana lazima mtu akupende ndio umpende nawe. Kila mwanadamu anauwezo wa kumpenda mwingine ama kitu anachotaka hata kama yeye mwenyewe hajapatiwa mapenzi hayo. Lazima kama mwanadamu kufanya mapenzi kama kitu cha kawaida kwa kila tunachofanya maishani. Iweke iwe sehemu ya maisha yako na utu wako. Pia ni muhimu kuwa na aina hizi zote za mapenzi kwa uhusiano kwa kila siku na watu wengine ilituweze kuishi maisha marefu. Kama binadamu, mapenzi ya muhimu sana ni yale ya kujitolea na yale ya kibinafsi. Unapokuwa na mapenzi yasiyo tarajia kitu chochote na mapenzi yako mwenyewe ndio utaweza kuwapa watu mapenzi hayo mengine. Tukiweza kushikilia aina zote zingine za mapenzi kwa mahusiano yetu basi tutakuwa na maisha marefu na yenye kufana. Mapenzi ni kitu muhimu maishani na ni sharti yaenziwe na kila mwanadamu. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: