Home → ushauri
→ Jinsi Ya Kumtongoza Mwanamke Kwa Njia Ya Kirafiki
*🅱 professional love*

Wakati unapotongoza mwanamke huwa kuna vitu viwili; aidha unatongoza njia sawa ama unatongoza kwa kubahatisha.
Njia yeyote katika hizi mbili utakazozichukua, mwanamke atafahamu ya kuwa unajaribu kumpendeza na anajua unataka kutoka naye deti.
So matumaini yako hapo ni kuona ya kuwa mwanamke kama huyu anavutiwa na wewe bila kukukatiza tamaa.
Ok, unless huyu mwanamke anatafuta mchumba wa kudeti ama anatafuta mwanaume wa kujikeep naye buzy, kuna nafasi kuu akigundua ya kuwa unabahatisha kumtongoza, papo hapo atakuzima na kukuonyesha dalili za kuwa hakupendezwa na njia yako ya kujaribu kumuapproach.
Akikukataa najua unaweza kuingiwa na misongo ya mawazo kutaka kujua kwa nini amekukataa. Unaweza kusumbuliwa na jambo hili kwa muda mrefu.
Lakini kama kawaida, kutongoza mwanamke huwa ni bahati nasibu, anaweza kukukubali ama kukukataa.
Well, leo nimeamua kuja na mbinu tofauti ya kutongoza mwanamke. Hii mbinu itamfanya mwanamke kuingiwa na maswali ya kujiuliza iwapo unamtongoza au la. Mbinu hii utamvutia mwanamke bila hata kumwambia neno "NAKUPENDA".
Zama nami
Jinsi ya kumtongoza mwanamke kiurafiki
1. Kuwa mwanaume bora
Katika dunia tunayoiishi sahizi kila mwanaume anatamani kuwa na mwanamke bora zaidi. Hivyo kutaka kuwa na mwanamke unayempenda lazima uwe bora kuliko wengine. Hii ni kuanzia tabia zako, vile unavyohusiana na wengine, miondoko yako, unadhifu wako nk. Kuwa mwanaume bora hakuna njia ya mkato. Lazima ufuate mkondo ambao wengi hawaufahamu.
2. Msifu vile inavyotakikana
Leo amekuwa tofauti kimwonekano?, ama leo amebadilisha hairstyle yake? Kama umependezwa na mwanamke mara nyingi utakuwa unanotice mabadiliko yeyote ambayo ameyafanya hivyo chukua nafasi yako kumsifia vile inavyotakikana.
Well, sasa kama unataka kumvutia ili umuingize katika mipaka ya kudeti unafaa utumie maneno ambayo hatoyasahau. Usitumie maneno ya kawaida. Jaribu kutumia maneno ambayo hayatasahaulika kwake na ambayo ni ya kibinafsi bila kuvuka mipaka. Mfano wa maneno kutumia:
Hilo shati ulilovaa ni zuri - linakufanya unapendeza zaidi ya tausiMarashi mazuri - leo unanukia utamu ambao sijawahi kuunusa popote
Unaweza kumsifia mwanamke chochote kile ilimradi pindi utakapotamka tumia maneno ya kibinafsi. Hii itamfanya wakati mwingine atakapopaka marashi hayo atakumbuka maneno uliyoyasema. Kufanya hivi kunamvuta polepole na kukufanya wewe kuingia katika moyo wake.
Kutumia maneno kama "ngozi yako ni laini, hivi wakati wote unakuwa hivi?" ama "nimependa shati lako na vile jinsi limekubana katika mwili wako" hakufai. Kusifu kwa aina hii usithubutu kutumia kwa sasa kwani unaweza kuharibu mpango mzima.
3. Tafuta muda wa kuwa nyinyi peke yenu
Kumsuka mwanamke huwa ni bora zaidi wakati ambapo mko nyinyi wawili pekeenu. Kumsuka mwanamke mbele ya marafiki zako kutamfanya kukuona wewe hauko serious na mambo unayotamka hivyo ni bora wakati ambapo unachukua muda na kuwa na yeye pekeenu mnaongea.
Unaweza kumsuka kwa kutumia mizaha wakati ambapo mko na marafiki zenu. Lakini wakati ambapo mko nyinyi wawili, tumia maneno ambayo hatayasahau kiurahisi. Mfano unaweza kumwambia "wewe ndie unafanya siku yangu kuwa ya shangwe", "kukaa na wewe hapa najiskia niko huru" nk kutamfanya yeye kujiona spesho kwako.
Ujanja hapa ni kutumia maneno ambayo yatamfanya yeye kujiona spesho kuliko yeyote na amini usiamini mwanamke kama huyu atakuwa akifikiria mazungumzo yenu kwa muda mrefu.
4. Wanawake wanapenda ucheshi
Hivi wewe ni mcheshi? Kama jibu lako ni la basi usiendelee kusoma zaidi ya hapa mpaka uifahamu sanaa ya ucheshi.
Nadhani unafahamu ya kuwa njia ya kumvutia mwanamke lazima utumie lugha ya ucheshi mara kwa mara. Well, uzuri ni kuwa si lazima uwe na ustadi wa kuchekesha. Unaweza kuelezea matukio yako ya awali ambayo uliona yalikuchekesha. Kama mwanamke anaonyesha dalili za kukupenda, basi kila neno utakalolitoa kiutani atacheka.
5. Msumbue mara kwa mara
Wakati mwingine kumsuka mwanamke kunaweza kuonekana kuwa ni kazi ngumu, lakini kitu muhimu ni yale mambo madogo madogo ambayo mnafanya. Kumsuka mwanamke si kutumia maneno matamu ya kimapenzi pekee bali pia zile tabia ambazo mnafanya wakati mnapokuwa mnaongea. Hii ni kuanzia kucheka hadi migusano yenu ya mara kwa mara.
Kama nyote wawili mnakuwa na furaha wakati mnapoongea, hio tayari ni njia moja rahisi ya kuashiria unamsuka. So kuivuka mipaka ya urafiki, unafaa kuivuta miguu yake mara kwa mara upande wako wakati ambapo ameongea kitu cha kuchekesha ama mnapocheka.
6. Cheza na mazungumzo machafu
Hatua tano za awali ambazo tumezitaja ni za kujenga mazingira ambayo yanawaweka katika hali ya kuleta nafasi ya kusukana kiurafiki.
Wakati ambapo utachagua kuvuka hii hatua, nyote wawili mtakuwa mumeingia hatua ya kuanza kutongozana.
Wakati ambapo umepata nafasi ya faragha ama unapompigia simu, jifunze kuchanganya maneno yako. Kufikia sasa najua nyote wawili kuna tenshen flani ambayo itakuwa imejijenga kati yenu hivyo usiingiwe na wasiwasi kama utajaribu kuingiza maneno ambayo yamevuka mipaka. Mara moja au nyingine unaweza kuingiza maneno ya kimapenzi katika mazungumzo yenu. Hata kama atakwambia uachane na hayo maneno utakuwa umechukua hatua kubwa kuonyesha hisia zako kwake.
7. Leta hisia za mguso
Wakati unapomsuka mwanamke ni vizuri zaidi kama utatumia sanaa ya miguso. Mara kwa mara tafuta kisababu cha kumgusa. Aidha unaweza kumgusa viganja vyake, mikono, vipuli vyake nk. Na kila wakati ambapo utakuwa ukimgusa hakikisha unachukua muda wako kumgusa ili ahisi mkono wako kwa mwili wake. Kufanya hivi atakuwa akipenda kama utatumia mbinu ya kijanja.
8. Muombe mtoke out mara kwa mara
Mara moja wakati wa maongezi yenu unaweza kumuomba umtoe mwende mkahawani ama kumpeleka katika sinema siku ya pili. Wakati mzuri wa kumwambia haya ni wakati ambapo mmemaliza maongezi yenu ama wakati mnapokuwa mnatext. Kumuuliza hivi si lazima uonekane uko serious na vile unavyosema. Kumaliza maongezi yenu kwa ghafla kutamwacha mwanamke kama huyu kujiuliza maswali iwapo ulikuwa uko serious wakati wa kumwambia wataka mtoke out ama ilikuwa tu mizaha.
Siku ya pili mkumbushe tena kuhusu deti yenu lakini usionyeshe kama uko serious. Kama atacheka pia wewe cheka halafu ujeuze mada. Labda atakuwa hajui kama uko serious ama ni mzaha ama bado hajapenda wazo la kwako kutoka deti na wewe.
Kama atakubaliana na mwitikio wako, kila la heri kwako. Iwapo atakataa basi anza tena mikakati yako ya kumridhisha mpaka aingiliane.
NB: Mara nyingi kama utafuata hatua za awali vizuri, mwanamke kama huyu hawezi kukataa mwitikio wako.
9. Zile simu za usiku wa kiza
Usiku huwa na mbinu ya kufurahisha kuamsha hisia zetu za mapenzi.
Marafiki wowote wawili ambao wanaongea kwa muda mrefu nyakati hizi za kiza mara nyingi hufikia hatua hii. Kama wataka kujua jinsi ya kutongoza mwanamke ili akupende chukua nafasi ya kumpigia simu ama kumtext nyakati kama hizi. Hakikisha ya kuwa unamrushia maneno ya kumtongoza.
Wakati huu wa usiku ambao umetulia ukiwa unaendelea na maongezi yenu ni rahisi sana kwenu kuivuka mipaka ya kuwa marafiki na kuanza kuonyeshana hisia zenu za mapenzi.
10. Mwonyeshe kuwa wewe unaweza kuwa mwenza mzuri wa kudeti
Ok kufikia sasa utakuwa umeshamwonyesha hisia zako zote, umemvutia na kujenga kemia za kimapenzi kati yenu, lakini utakuwa bado hujafunga mchezo. Atakuwa labda amependezwa na maongezi yenu na pia kukupenda kisiri, lakini kumfanya mwanamke akuone wewe kama una nafasi nzuri ya kuwa mwenza wake lazima uonyeshe dalili.
Wakati wa mazungumzo yenu, unaweza kutoa fununu za kuwa unatafuta girlfiriend ama unatafuta mwanamke wa kutoka naye out. Kama yuko single ama katika mahusiano mabaya, kitu kitakachokuja akilini mwake ni wewe na yeye katika hali kama hio, mwanzo itakuwa bora kama utachukua nafasi ya kuongea haya yote nyakati hizi za kiza.
Pindi utakapojua kutumia mbinu hii ya kutongoza mwanamke kiurafiki, kazi yako itakuwa imerahisishwa ya kutongoza kwani utakuwa ukitumia mbinu ambayo si ya kubahatisha.
Jinsi Ya Kumtongoza Mwanamke Kwa Njia Ya Kirafiki *🅱 professional love*  Wakati unapotongoza mwanamke huwa kuna vitu viwili; aidha unatongoza njia sawa ama unatongoza kwa kubahatisha. Njia yeyote katika hizi mbili utakazozichukua, mwanamke atafahamu ya kuwa unajaribu kumpendeza na anajua unataka kutoka naye deti. So matumaini yako hapo ni kuona ya kuwa mwanamke kama huyu anavutiwa na wewe bila kukukatiza tamaa. Ok, unless huyu mwanamke anatafuta mchumba wa kudeti ama anatafuta mwanaume wa kujikeep naye buzy, kuna nafasi kuu akigundua ya kuwa unabahatisha kumtongoza, papo hapo atakuzima na kukuonyesha dalili za kuwa hakupendezwa na njia yako ya kujaribu kumuapproach. Akikukataa najua unaweza kuingiwa na misongo ya mawazo kutaka kujua kwa nini amekukataa. Unaweza kusumbuliwa na jambo hili kwa muda mrefu. Lakini kama kawaida, kutongoza mwanamke huwa ni bahati nasibu, anaweza kukukubali ama kukukataa. Well, leo nimeamua kuja na mbinu tofauti ya kutongoza mwanamke. Hii mbinu itamfanya mwanamke kuingiwa na maswali ya kujiuliza iwapo unamtongoza au la. Mbinu hii utamvutia mwanamke bila hata kumwambia neno "NAKUPENDA". Zama nami Jinsi ya kumtongoza mwanamke kiurafiki 1. Kuwa mwanaume bora Katika dunia tunayoiishi sahizi kila mwanaume anatamani kuwa na mwanamke bora zaidi. Hivyo kutaka kuwa na mwanamke unayempenda lazima uwe bora kuliko wengine. Hii ni kuanzia tabia zako, vile unavyohusiana na wengine, miondoko yako, unadhifu wako nk. Kuwa mwanaume bora hakuna njia ya mkato. Lazima ufuate mkondo ambao wengi hawaufahamu. 2. Msifu vile inavyotakikana Leo amekuwa tofauti kimwonekano?, ama leo amebadilisha hairstyle yake? Kama umependezwa na mwanamke mara nyingi utakuwa unanotice mabadiliko yeyote ambayo ameyafanya hivyo chukua nafasi yako kumsifia vile inavyotakikana. Well, sasa kama unataka kumvutia ili umuingize katika mipaka ya kudeti unafaa utumie maneno ambayo hatoyasahau. Usitumie maneno ya kawaida. Jaribu kutumia maneno ambayo hayatasahaulika kwake na ambayo ni ya kibinafsi bila kuvuka mipaka. Mfano wa maneno kutumia: Hilo shati ulilovaa ni zuri - linakufanya unapendeza zaidi ya tausiMarashi mazuri - leo unanukia utamu ambao sijawahi kuunusa popote Unaweza kumsifia mwanamke chochote kile ilimradi pindi utakapotamka tumia maneno ya kibinafsi. Hii itamfanya wakati mwingine atakapopaka marashi hayo atakumbuka maneno uliyoyasema. Kufanya hivi kunamvuta polepole na kukufanya wewe kuingia katika moyo wake. Kutumia maneno kama "ngozi yako ni laini, hivi wakati wote unakuwa hivi?" ama "nimependa shati lako na vile jinsi limekubana katika mwili wako" hakufai. Kusifu kwa aina hii usithubutu kutumia kwa sasa kwani unaweza kuharibu mpango mzima. 3. Tafuta muda wa kuwa nyinyi peke yenu Kumsuka mwanamke huwa ni bora zaidi wakati ambapo mko nyinyi wawili pekeenu. Kumsuka mwanamke mbele ya marafiki zako kutamfanya kukuona wewe hauko serious na mambo unayotamka hivyo ni bora wakati ambapo unachukua muda na kuwa na yeye pekeenu mnaongea. Unaweza kumsuka kwa kutumia mizaha wakati ambapo mko na marafiki zenu. Lakini wakati ambapo mko nyinyi wawili, tumia maneno ambayo hatayasahau kiurahisi. Mfano unaweza kumwambia "wewe ndie unafanya siku yangu kuwa ya shangwe", "kukaa na wewe hapa najiskia niko huru" nk kutamfanya yeye kujiona spesho kwako. Ujanja hapa ni kutumia maneno ambayo yatamfanya yeye kujiona spesho kuliko yeyote na amini usiamini mwanamke kama huyu atakuwa akifikiria mazungumzo yenu kwa muda mrefu. 4. Wanawake wanapenda ucheshi Hivi wewe ni mcheshi? Kama jibu lako ni la basi usiendelee kusoma zaidi ya hapa mpaka uifahamu sanaa ya ucheshi. Nadhani unafahamu ya kuwa njia ya kumvutia mwanamke lazima utumie lugha ya ucheshi mara kwa mara. Well, uzuri ni kuwa si lazima uwe na ustadi wa kuchekesha. Unaweza kuelezea matukio yako ya awali ambayo uliona yalikuchekesha. Kama mwanamke anaonyesha dalili za kukupenda, basi kila neno utakalolitoa kiutani atacheka. 5. Msumbue mara kwa mara Wakati mwingine kumsuka mwanamke kunaweza kuonekana kuwa ni kazi ngumu, lakini kitu muhimu ni yale mambo madogo madogo ambayo mnafanya. Kumsuka mwanamke si kutumia maneno matamu ya kimapenzi pekee bali pia zile tabia ambazo mnafanya wakati mnapokuwa mnaongea. Hii ni kuanzia kucheka hadi migusano yenu ya mara kwa mara. Kama nyote wawili mnakuwa na furaha wakati mnapoongea, hio tayari ni njia moja rahisi ya kuashiria unamsuka. So kuivuka mipaka ya urafiki, unafaa kuivuta miguu yake mara kwa mara upande wako wakati ambapo ameongea kitu cha kuchekesha ama mnapocheka. 6. Cheza na mazungumzo machafu Hatua tano za awali ambazo tumezitaja ni za kujenga mazingira ambayo yanawaweka katika hali ya kuleta nafasi ya kusukana kiurafiki. Wakati ambapo utachagua kuvuka hii hatua, nyote wawili mtakuwa mumeingia hatua ya kuanza kutongozana. Wakati ambapo umepata nafasi ya faragha ama unapompigia simu, jifunze kuchanganya maneno yako. Kufikia sasa najua nyote wawili kuna tenshen flani ambayo itakuwa imejijenga kati yenu hivyo usiingiwe na wasiwasi kama utajaribu kuingiza maneno ambayo yamevuka mipaka. Mara moja au nyingine unaweza kuingiza maneno ya kimapenzi katika mazungumzo yenu. Hata kama atakwambia uachane na hayo maneno utakuwa umechukua hatua kubwa kuonyesha hisia zako kwake. 7. Leta hisia za mguso Wakati unapomsuka mwanamke ni vizuri zaidi kama utatumia sanaa ya miguso. Mara kwa mara tafuta kisababu cha kumgusa. Aidha unaweza kumgusa viganja vyake, mikono, vipuli vyake nk. Na kila wakati ambapo utakuwa ukimgusa hakikisha unachukua muda wako kumgusa ili ahisi mkono wako kwa mwili wake. Kufanya hivi atakuwa akipenda kama utatumia mbinu ya kijanja. 8. Muombe mtoke out mara kwa mara Mara moja wakati wa maongezi yenu unaweza kumuomba umtoe mwende mkahawani ama kumpeleka katika sinema siku ya pili. Wakati mzuri wa kumwambia haya ni wakati ambapo mmemaliza maongezi yenu ama wakati mnapokuwa mnatext. Kumuuliza hivi si lazima uonekane uko serious na vile unavyosema. Kumaliza maongezi yenu kwa ghafla kutamwacha mwanamke kama huyu kujiuliza maswali iwapo ulikuwa uko serious wakati wa kumwambia wataka mtoke out ama ilikuwa tu mizaha. Siku ya pili mkumbushe tena kuhusu deti yenu lakini usionyeshe kama uko serious. Kama atacheka pia wewe cheka halafu ujeuze mada. Labda atakuwa hajui kama uko serious ama ni mzaha ama bado hajapenda wazo la kwako kutoka deti na wewe. Kama atakubaliana na mwitikio wako, kila la heri kwako. Iwapo atakataa basi anza tena mikakati yako ya kumridhisha mpaka aingiliane. NB: Mara nyingi kama utafuata hatua za awali vizuri, mwanamke kama huyu hawezi kukataa mwitikio wako. 9. Zile simu za usiku wa kiza Usiku huwa na mbinu ya kufurahisha kuamsha hisia zetu za mapenzi. Marafiki wowote wawili ambao wanaongea kwa muda mrefu nyakati hizi za kiza mara nyingi hufikia hatua hii. Kama wataka kujua jinsi ya kutongoza mwanamke ili akupende chukua nafasi ya kumpigia simu ama kumtext nyakati kama hizi. Hakikisha ya kuwa unamrushia maneno ya kumtongoza. Wakati huu wa usiku ambao umetulia ukiwa unaendelea na maongezi yenu ni rahisi sana kwenu kuivuka mipaka ya kuwa marafiki na kuanza kuonyeshana hisia zenu za mapenzi. 10. Mwonyeshe kuwa wewe unaweza kuwa mwenza mzuri wa kudeti Ok kufikia sasa utakuwa umeshamwonyesha hisia zako zote, umemvutia na kujenga kemia za kimapenzi kati yenu, lakini utakuwa bado hujafunga mchezo. Atakuwa labda amependezwa na maongezi yenu na pia kukupenda kisiri, lakini kumfanya mwanamke akuone wewe kama una nafasi nzuri ya kuwa mwenza wake lazima uonyeshe dalili. Wakati wa mazungumzo yenu, unaweza kutoa fununu za kuwa unatafuta girlfiriend ama unatafuta mwanamke wa kutoka naye out. Kama yuko single ama katika mahusiano mabaya, kitu kitakachokuja akilini mwake ni wewe na yeye katika hali kama hio, mwanzo itakuwa bora kama utachukua nafasi ya kuongea haya yote nyakati hizi za kiza. Pindi utakapojua kutumia mbinu hii ya kutongoza mwanamke kiurafiki, kazi yako itakuwa imerahisishwa ya kutongoza kwani utakuwa ukitumia mbinu ambayo si ya kubahatisha.
Artikel Terkait
NIFANYE NINI ILI MUME WANGU AWE NA HAMU NAMI?  Mume wangu anasema ananipenda sana, nami nampenda sana. Tuna watoto wawili wa kiume. Nimejaribu kila kitu cha kumfurahisha, kama vile kuvaa vizuri, kuandaa chakula kizuri akipendacho na kinywaji lakini Lakini mwenzangu haonekani kuridhishwa na jitihada zangu. Baada ya chakula cha usiku huwa tunakaa na kuangalia Luninga huku tukiwa na vinywaji. Lakini cha ajabu nikimsogelea na kutaka niwe karibu naye ananiepuka. Yaani HATAKI hata nimguse ni kama NINANUKA au ninamsumbua vile. Je, tatizo ni nini hasa, Je nanuka? Najiuliza na jibu sipati….Alimalizia kusema huyu mama huko chozi likimdondoka…...... Naam mara nyingi hivyo ndivyo inavyokuwa kwa sisi wanawake pale tukutanapo, si jambo geni sana kwa sisi wanawake kushirikiana kihisia. Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanamke akimsimulia shoga yake anayemuamini juu ya madhila yake. Yote hiyo ni katika kutafuta nafuu na kuondokana na msongo wa mawazo. Mara nyingi simulizi nyingi zinazowakutanisha wanawake ni zile zinazohusiana na mambo ya Ndoa, mahusiano, watoto au mambo ya kifamilia kwa ujumla, mara nyingi tunatamani kupata mahali pa kulinganishia, ili kutaka kujua kama tatizo nililo nalo lina ukubwa kiasi gani. Ni hivi majuzi nikiwa kazini na mfanyakazi mwenzangu ndipo aliponieleza kile kinachomsibu kwa muda mrefu sasa, inavyoonekana, ni jambo ambalo alikaa nalo muda mrefu akijaribu kupambana nalo kimya kimya huku likiendelea kumtafuna, dada huyu wa Kiswidish. Ili kujiridhisha na kutaka kujua ukweli halisi nikamuuliza kama amemuuliza mume wake jambo hili akajibu amefanya hivyo na jawabu alilolipata ni kwamba, mume wake huwa anachoka. Yaani kazi zake ni nyingi pia malezi ya watoto yanamchosha. Nikamuuliza kama hawawezi wakati wa wikiendi watoke ili kuwa peke yao? Hapo nikapata jibu ambalo sikutegemea. Alidai kwamba akisema hivyo mume wake anaona kama yeye anaamua nini wafanye. Huyu mama akaendelea kusema, mimi ni binadamu Yasinta.,,,,,,,,,, Na nahitaji tendo la ndoa na sitaki kutoka nje kwani nampenda sana mume wangu. Nami sikuachia hapo kama mnavyonifahamu na u-Kapulya wangu nikamuuliza kama tatizo hilo lina muda gani au limeanza siku za karibuni? Mama yule akashusha pumzi, akaniangalia kwa jicho la huzuni, kisha akajibu kuwa inatokea wanafanya tendo la ndoa mara moja kwa mwezi na hapo ni ile ya haraka haraka na halafu baada ya hapo mume wake anampa mgongo na kulala . Hapo….akasita kidogo …nikamuuliza ulitaka kusema nini? Akaendelea unajua Yasinta mwanamke anahitaji kuandaliwa kwanza, mimi huwa siandaliwi kabisa........ Mweh! Nikaona makubwa haya ......nilikosa Jawabu la kumpa kwa kweli, nikabaki kuguna tu. Hata hivyo nilijaribu kumshauri aende kwa washauri nasaha wa masuala ya Ndoa na mahusiano, lakini akadai kuwa mumewe ni mkaidi na hawezi kukubali. Mwenzenu swala hili limenishinda maana sijui nimsaidieje! Je Wewe kama msomaji unaweza kunisaidia ni ushauri gani nimpe mama huyu, ili awe na furaha katika Maisha ya ndoa yake? Ushauri tafadhali........... ... Read More
MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:  Mawasiliano hujenga mahusiano mazuri, bila hivyo kutakuwa na tofauti fulani kati ya wawili wapendanao .watu wengi wanaamini kuwasiliana kunajenga uhusiano mzuri, hebu fikiria kama una rafiki yako mnaopendana hakutafuti hata kama umekuwa mbali kwa muda mrefu , si inaboa sana? nikupe mfano mmoja , wanandoa wakiwa pamoja nyumbani , siku hiyo wameamua wasiende mahali popote, unafikiri wangekalia kufanya tendo la ndoa siku nzima? jibu ni hapana. lakini wanakuwa na mawasiliano ya aina yake , Hapa nakuletea maswali unayotakiwa kumuuliza mpenzi wako mkiwa mko mmekaa jioni , au katika mapumziko yenu, lakini uwe makini hapa kuna wengine hawapendi umdadisi, ile kuna wengine ni waelewa na watakuelewa. mwanaume mwenye kukupenda atakuelewa. MASWALI YA KUMUULIZA KIJANA UMPENDAE. 1.Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi kufanya? 2.kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani? 3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya kwako? 4.ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha yako? 5.kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu ungechagua watu wa jinsia gani wa kuwahudumia ? 6.umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike? 7.kabla ya mimi umewahi kuwa na nani? 8. je unaweza kukosa kitu unachokipenda kwa ajili yangu? 9.kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio siku wewe kama wewe? 10.wewe ni wangu? 11.unampenda nani? 12. unaamini kama kuna mungu? 13.unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli? 14.Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu? 15.je unweza kukaa na mtu usiempenda? 16.Unajisikiaje unapokuwa na mimi? 17. Utamjuaje mchumba wa kweli? 18.Unatafuta kitu gani kwa msichana? 19.Utajielezeaje wewe mwenyewe? 20.je, utaweza kunielezea mimi? 21.Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo? 22.ni mzuri au ni mbaya? 23.umewahi kumwacha msichana? 24.umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya? 25.busu la kwanza kabisa ulimbusu nani? 26.ulifanikiwa? 27. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani. 28. Tamthilia ipi unaipenda? 29.Unapenda chakula gani? 30.unapenda rangi gani? 31.unapenda mziki gani ? 32.ukiwa mtoto ulikulia wapi? 33.Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto? 34. unashangilia timu gani ya mpira? 35.mwigizaji gani unamkubali sana duniani? 36. tamthilia ipi ni nzuri? 37.unawafurahia marafiki zangu? 38.unaipenda kazi yako? 39.unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako? 40.Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia? MASWALI MENGINE YA KINDANI ZAIDI YA KUULIZA UNAPOKUWA NA MTU ANAYEKUTHAMINI. 41.Ukipoteza nguvu zako wakati wa usiku , je ni kitu kipi utanieleza ili niridhike? 42.Ni sehemu gani ya mwili wangu , macho yako yakiona utashangaa kama hujawahi kuniona nikiwa uchi? 43.Umewahi kusikia mwili wangu ukinuka? 44.kama nakuhitaji, natupo pamoja wakati huo, unawezaje kunielewa, wengine husema unawezaje kunisoma,je unafikiri utajua dalili? 45.umewahi kuota uko na mwanamke ukifanya mapenzi? 46.umewahi kucheza kama dactari wakati wa utoto? 47. ni aina gani ya mapenzi ungependa kuwa nayo katika maisha yako? 48.Umewahi kufumwa ukiwa uchi? 49.je una uzoefu gani katika mahusiano? 50.unaweza kuniambia vitu vya kuchekesha ulivyofanya wakati wa utoto? 51.Kama ungetaka kubadili jinsia ni sehemu ipi ungependelea,na kwa nini? 52.Kuna siri yeyote hujaniambia? 53.UTU. je unafikiri umbo la mtu lina tatizo katika mahusiano? 54.tukipata watotro mimi na wewe ungependa watoto wetu wafuate tabia zetu? 55.unapenda staili ipi ya chini au ya juu? 56. umewahi kumpiga mtu kofi? 57.je wewe ni mkweli? 58.kitu gani unachokipenda ambacho hujawahi kuniambia? 60 .Nikimwangalia mwanaume mwingine na kumsifia utaudhika?je kuna tabia yeyote ya udanganyifu ambayo hujaipenda kwangu?unaweza kuacha kitu unachokipenda kwa kumsaidia rafiki? fuatilia maswali mengine mengi yatakuja. toa maoni yako katika maswali haya. ... Read More
Tatizo la Ugumba kwa wanawake  Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa wanawake. Nini husababisha ugumba kwa wanawake? Mayai kutokomaa ipasavyo: Tatizo la mayai kutokukomaa vema ndilo chanzo na sababu kuu ya wanawake wengi kushindwa kushika ujauzito na hii inachukua karibu asilimia 30 ya wanawake wote wagumba. Habari njema ni kuwa tatizo hili linaweza kurekebishwa kirahisi ikiwa mwili utapewa vile viinilishe mhimu vinavyokosekana hadi kupelekea mayai kutokomaa vizuri. Vinavyosababisha mayai ya mwanamke kutokomaa vema: (1) Matatizo ya kihomoni Matatizo katika homoni ndicho chanzo kikuu cha mayai kutunga bila kukomaa vizuri. Hatua za ukomaaji wa mayai zinategemea uwiano mzuri wa homoni na namna zinavyotegemeana katika kufanya kazi. Jambo lolote linalovuruga homoni kubaki katika uwiano wake sawa na wa kutegemeana na wenye kufanya kazi ipasavyo linaweza kupelekea utungaji wa mayai ambayo hayajakomaa vizuri. Kuna sababu kuu mbili zinazosababisha matatizo katika homoni: Ufanyaji kazi usioridhisha wa hypothalamus Hypothalamus ni sehemu ya mbele ya ubongo ambayo ina jukumu la kutuma ishara (signals) kwenda katika tezi ya pituitari ambayo yenyewe tena hutuma uchochezi wa kihomoni kwenda kwenye ovari katika mfumo wa F.S.H na L.H ili kuanzisha ukomaaji wa mayai. Ikiwa hypothalamus inashindwa kufanya kazi zake vizuri kutungwa kwa mayai ambayo hayajakomaa ndiyo kutakuwa ni matokeo yake. Tatizo hili linachukuwa asilimia 20 katika kesi za mayai kushindwa kukomaa kiasi kinachohitajika. Ufanyaji kazi usioridhisha wa tezi ya pituitari Kazi kubwa ya tezi ya pituitari ni kuzarisha na kutoa homoni mbili maalumu kwa ajili ya mfumo wa uzarishaji kufanya kazi zake vizuri ambazo zinajulikana kitaalamu kama ‘Follicle-stimulating hormone (F.S.H)’ na ‘Luteinizing hormone (L.H)’. Mayai yatashindwa kukomaa vizuri ikiwa ama L.H au F.S.H zinatengenezwa chache sana au nyingi sana kuliko inavyohitajika. Hili linaweza kutokea kama sababu ya ajari, uvimbe au kama usawa usio sawa wa kikemikali katika pituitari. (2) Kovu katika Ovari Uharibifu au ajari katika ovari unaweza kupelekea kuzalishwa kwa mayai ambayo hayajakomaa. Kwa mfano, upasuaji mkubwa, uvamizi au upasuaji wa mara nyingi wa uvimbe katika ovari unaweza kusababisha kapsuli ya ovari kupata majeraha au makovu na hivyo kwa namna moja ama nyingine kuweza kuzuia utungwaji wa mayai ambayo hayajakomaa vema. Pia maambukizi katika njia ya uzazi yanaweza kupelekea tatizo hili. (3) Dalili za mwanzo za kukaribia kufunga kuzaa (Menopause) Hii huchangia kwa asilimia chache na kwa sasa halielezeki kisawasawa. Kwamba wanawake wengi wanapokaribia umri wa kuacha kuzaa kuanzia miaka 40 kwenda juu baadhi yao hutokewa na tatizo la kutunga mayai ambayo hayajakomaa vema. Baadhi ya wanawake wanaacha kupata siku zao mapema kabla ya umri uliozoeleka yaani miaka 40 kwenda juu. Kwa sababu hiyo inadhaniwa kwamba uwezo wao wa asili katika kuzalisha mayai unakuwa umepunguwa na wengi wao huwa ni wale walikuwa wakijihusisha zaidi na michezo ya kukimbia au wale wenye historia ya muda mrefu ya kuwa na uzito pungufu na wafanyaji sana wa mazoezi. Tatizo hili pia linaweza kuwa ni la kurithi. (4) Matatizo kwenye kijishimo yai (follicle) katika ovari: Ingawa kwa sasa bado hili nalo halielezeki, hiki kijishimo yai kwa kitaalamu kinajulikana kama ‘’follicle’’ ndicho hupasuka na yai kutoka. Kuna baadhi ya kina mama wanapata dalili za kijishimo yai kutokupasuka “unruptured follicle syndrome” na matokeo yake kila mwezi mama anazalisha yai kama kawaida lakini hiki kijishimo yai kinashindwa kupasuka. Hivyo yai linabaki ndani ya ovari na utungaji wa mimba unashindwa kufanyika. Kinachosababisha ufanyaji kazi dhaifu wa mirija ya uzazi (Fallopian Tubes): Magonjwa katika mirija ya uzazi yanahusika na ugumba kwa karibu ya asilimia 25 ya wanawake wote wagumba. Hali yenyewe inatofautiana toka kwa mmoja hadi kwa mwingine kutoka kugandana au kunatana kidogo hadi kuzibika kabisa kwa mirija. Matibabu ya mirija iliyozibika huhusisha upasuaji au usafishaji wa mwili kwa kula vyakula na vinywaji maalum kwa muda wa majuma kadhaa. Sababu kubwa zinazopelekea kuzibika au kunatana kwa mirija ya uzazi ni pamoja na zifuatazo: (A) Maaambukizi Maambukizi katika njia ya uzazi ambayo yamesababishwa ama na bakteria au virusi na ambayo kwa kawaida ni magonjwa ya kuambukizana kwa njia ya tendo la ndoa, maambukizi haya kwa kawaida husababisha muwasho au kuungua na kupelekea makovu na uharibifu. Magonjwa ya zinaa kama vile kisonono na mengineyo yanaweza kuwa chanzo cha ugumba kwa wanawake wengi hasa ikiwa hayatatibiwa mapema. (B) Magonjwa yasiyo ya kawaida Magonjwa yasiyo ya kawaida ni pamoja na ugonjwa wa kidole tumbo (appendicitis) na uvimbe katika utumbo mpana (colitis), magonjwa ambayo husababisha muwasho au kuungua chini ya uvungu wa utumbo mkubwa na kuiathiri mirija ya falopiani na kama matokeo yake makovu na kuzibika kwa mirija ya uzazi hutokea. (C) Upasuaji uliopita Upasuaji una chukua nafasi kubwa katika kusababisha ugumba kutokana na matokeo yake ya kusababisha magonjwa ya mirija ya uzazi na uharibifu utokanao na huo upasuaji. Upasuaji katika utumbo mkubwa unaweza kupelekea kunatana au kugandana kwa mirija ya uzazi kutakakopelekea mayai kushindwa kusafiri kirahisi katika mirija hiyo ya uzazi. (D) Mimba kutungwa nje ya mji wa uzazi: Hii ni wakati mimba inapotungwa katikati ya mirija ya uzazi yenyewe. Katika hali kama hii hata kama kutatokea bahati kiasi gani bado kunaweza kusababisha uharibifu katika mirija na hali hii ni moja ya hali mbaya sana kiafya na kimaisha. (E) Hali ya kurithi Kwa nadra au kwa asilimia fulani ndogo baadhi ya wanawake huzaliwa na hali ya kuwa na mirija isiyo ya kawaida kwa uzazi na kwa kawaida hali hii huambatana na mji wa uzazi usio wa kawaida pia. . (5) Sababu za kitabia: Inajulikana wazi kwamba baadhi ya tabia na namna tunavyoishi kunaweza kupelekea wanandoa wakashindwa kupata mtoto. Kwa bahati nzuri nyingi kama si zote ya hizo tabia zinaweza kurekebishika au kuachwa kabisa na kupelekea siyo tu kuwa na uwezo wa kuzaa bali pia kuwa na afya nzuri kwa ujumla. Sababu hizo za kitabia ni pamoja na zifuatazo: Lishe na mazoezi Ili mfumo wa uzazi uwe na uwezo mzuri unahitaji vitu viwili mhimu, lishe kamili na mazoezi. Wanawake wenye uzito uliozidi sana au wenye uzito pungufu sana wanaweza wakapatwa na tatizo la kutopata ujauzito kirahisi. Uvutaji sigara Uvutaji wa sigara una mchango mkubwa na ugumba. Uvutaji sigara husababisha uzarishwaji wa mbegu chache kwa mwanaume (lower sperm count) kwamba mwanaume anatoa mbegu chache sana ama pungufu wakati huo huo uvutaji sigara huchangia katika tatizo la kutoka kwa mimba, kuzaa kabla ya miezi 9 (njiti), na kuzaa mtoto mwenye uzito mdogo kwa wanawake. Unywaji pombe Unywaji pombe kupita kiasi una mchango mkubwa sana katika ugumba na hii hata ikitokea mama akapata ujauzito kama bado anaendelea kunywa pombe inaweza kupelekea matatizo hata kwa mtoto mtarajiwa. Unywaji pombe pia huchangia uzarishwaji wa mbegu chache kwa wanaume. Madawa ya kulevya Utumiaji a madawa ya kulevya kama bangi na mengine ya kujidunga kwa sindano kunaweza kuwa sababu ya kuzalisha mbegu chache kwa wanaume. Utumiaji wa dawa za kulevya kama ‘Cocaine’ kwa mama mjamzito kunaweza kusababisha mtindio wa ubongo na matatizo katika figo kwa mtoto mtarajiwa. Matumizi ya madawa ya kulevya inafaa yaepukwe wakati wa kutafuta ujauzito na wakati wa ujauzito. Utowaji mimba Utowaji mimba wa mara kwa mara pia unahusika sana na tatizo la ugumba kwa karibu ya asilimia 20. Utowaji mimba unaweza kusababisha makovu katika mji wa uzazi na hata kuharibika kabisa kwa mji wa uzazi ikiwa utowaji huo haukufanyika kitaalamu au unafanyika mara kwa mara. (6) Sababu za ugumba za kimazingira: Uwezo wa kushika ujauzito unaweza pia kuathiriwa kutokana na kuwa karibu na baadhi ya kemikali au sumu katika maeneo ya kazi au makazi. Vitu viwezavyo kusababisha mabadiliko, dosari za kuzaliwa, utokaji mimba, au utasa huitwa ‘Sumu kwa mfumo wa uzazi’. Kamikali zifuatazo zinahusishwa na ugumba au utasa: Risasi (Lead) Kuwa karibu na kemikali au sumu zinazounda risasi kunaweza kuwa sababu ya ugumba. Risasi hupelekea kuzalishwa kwa mbegu zisizo za kawaida kwa wanaume zijulikanazo kwa kitaalamu kama ‘teratospermias’ na inafikirika pia kuhusika na utokaji mimba kusiko kwa asili (artificial abortion). Baadhi ya matibabu na madawa ya hospitalini Kuwekwa kwenye matibabu yanayohusisha mionzi (x-rays), mionzi ya kawaida au hata ile ya kutibia kansa (chemotherapy), kunaweza kusababisha matatizo katika uzarishwaji wa mbegu kwa mwanaume na wakati huo huo kuchangia kwa sababu kadhaa zinazopelekea kutungwa kwa mayai ambayo hayajakomaa vizuri. Pia matumizi ya dawa za kuzuia ujauzito kwa muda mrefu yamekuwa yakihusishwa na ugumba kwa miaka ya hivi karibuni ingawa bado kuna mjadala mkubwa katika hili. Ethylene Oxide Hii ni kemikali inayotumika kusafishia vifaa vya upasuaji, pia hutumika katika kutengeneza baadhi ya sumu za kuua wadudu. Ethylene oxide inaweza kupelekea matatizo katika uzazi hasa katika miezi ya mwanzo mwanzo ya ujauzito na inahusishwa sana na tatizo la utokaji mimba katika miezi ya mwanzo ya ujauzito (early miscarriage). Dibromochloropropane (DBCP) Hii pia ni kemikali au dawa inayotumika katika kuua wadudu, ikiwa unafanya nayo kazi kila mara inaweza kusababisha kutungwa kwa mayai yasiyokomaa vizuri, kuelekea mapema kwa ukomo wa kutokuzaa kabla hata ya miaka 40 au 45 (early menopause) na kadharika. (7) Sababu zingine zinazoweza kusababisha ugumba kwa mwanamke: Karibu asilimia 10 ya ugumba kwa wanawake ni matokeo ya mji wa uzazi usio wa kawaida (abnormal uterus). Hali zingine ni pamoja na uvimbe katika kizazi, kugandana au kunatana kwa mji wa uzazi na mirija ya uzazi. Karibu asilimia 3 ya ugumba kwa wanawake ni matokeo ya matatizo ya ute usio wa kawaida katika mlango wa kizazi (femaleís cervical mucus). Ute ute huu unahitaji kuwa na hali fulani maalumu kwa mbegu za kiume kuweza kuogelea kirahisi katikati yake. Chanzo kikubwa cha tatizo hili ni usawa usio sawa wa homoni za kike ambapo homoni ya uzazi ya kike iitwayo ‘estrogen’ yaweza kuwa ni chache sana au homoni nyingine iitwayo ‘progesterone’ yaweza kuwa ni nyingi sana tofauti na inavyohitajika. Vitu vya kuepuka kwa mtu mwenye tatizo la ugumba: ChipsiVinywaji baridiKaffeinaNyama nyekunduVilevi ... Read More
UNAJUA KUMPAGAWISHA MPENZI WAKO????  Kama inavyoeleweka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu. So, katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la "Tantric Sex." Kama inavyoelewaka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu. So, katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la “Tantric Sex.” As if hii duinia, especially hii century haiko overloaded na information kuhusu mambo ya mapenzi, jinsi ya kufanya mapenzi and whats hot in the bedroom, whats in and whats not. So, lately nimeona a lot of tzmoms readers wamekuwa wakitembelea sana na kusoma page ya “mapenzi baada ya ujauzito” na “kufanyamapenzi wakati wa ujauzito.” And I thought well, writing about Tantric Sex will be nyongeza kwa kila mmoja, aliye mama na mbaye bado damu inachemka katika mambo ya mapenzi. Anyhu, kama “SEX/MAPENZI” yangekuwa yanaweza kuyu-nite the world/countries/makabila/people I think hii fani ingeshinda. Well, so kama umeshawahi kujifungua ama kama wewe ni mama, you definitely understand ni jinsi gani ni vigumu kuwa upbeat kuhusu mapenzi ama kumfurahisha mumeo/mpenzio everyday. Well, once in a while maybe but not everyday. Ila kama we ni mdada/binti ambaye hujazaa bado well, damu yako bado inachemka so energy bado ipo nyingi ya kukurupushana na mpenzio. Having said that, si maanishi mtu ukishazaa ndo fani ya kuenjoy mapenzi imekwisha but nguvu zinapungua for sure however, kuna vitu vingi tuu ambavyo vinaweza kusaidia kuleta nguvu ya kutaka kukurupushana chumbani lol. Kukosa nguvu/energy to wanna work it all the time its not because mwanamke ni mvivu but hutokana na kuwa na mambo mengi sana ya kutend nyumbani i.e. kuhakikisha watoto wako taken care of, labda kazini pia unahitajika, etc una kuta hupati muda wa kujifurahisha mwenyewe ama na mpenzi wako. Therefore, mara nyingi before you know mupenzi anaanza kulalamika or hata mwanamke mwenyewe unaweza kufeel like you are not doing enough so mambo ndo hivyo yanaanza kwenda south chumbani. Hivyo basi, lets dig in tuone Tantric Sex inatoa msaada wa aina gani ili kurevamp mapenzi. Kwanza kabisa, FYI tantric sex can be weird at the beginning ila nitajitahidi kutoingia so indepth ili kusave miyoyo ya watu wengine. Kwamaana hii ni soft porn “according to me.” Lol. so usishtuke ama kushangaa sana. Well, anythign “sex” can be unconfortable anyways. Okay, so, kwanza kabisa, with Tantric Sex, mtu na mpenziwe wanatakiwa kuwa; SPIRITUALLY CONNECTED (usishtuke sio kidini lol).. Hii inamaainisha kwamba wewe na patner wako kwa pamoja mnajua mnataka nini emotionally and physically. Kwa kufanya hivi inasaidia kuwafanya kwa pamoja kuwa “FREE” na kuondoa wasiwasi wa labda mwenzangu atanijudge kwamba labda mimi ni malaya ama fuska etc. In other words hii process inaitwa “Dropping the Veil, between “Self” and “Other/patner.” THE ENVIRONMENT/mazingira. Wakati mnapractice tantric sex of course, just like when you are in the bedroom unaweza ukavaa lingerie/kuo za ndani zinazovutia or “kuwa kama mlivyotoka tumboni mwa mama zenu” (you know what i mean). Tatu, wapenzi wanaanza kupapasana lol, but in a way kwamba you are feeling the energy of the other person. Na hii energy unaweza kuifeel kwasababu mko free hamna anayemjudge mwingine/there are no worries. You are just in your own created world. Nne, wakati wa kufeel energy ya mwingine lazima wapenzi wawe wana pumua heavely yaani just feeling every move made but the other person mpaka mnapofikia mahali were you are breathing so hard and you are feeling each other. then you start kissing the lips, and then deeper for minutes even hours. Then mengineyo yanaweza kuendelea. So, all this time kumbuka its not about going straight into sex with your partner rather its about getting high by touching and feeling connected with each other. hivyo basi, once in a while take that time and revamp your intimacy, dress good, feel sexy and heey have fun!!. By 🅱 ... Read More
Hatua 5 za kuzungumza na mpenzi wako aliyekasirika Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawada kipindi hiki huwa ni za hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha. Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. Msomaji wangu, hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefura kwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi na pengine mkaamua kuachana. Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasa yule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua za kuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafuko na kuleta amani kwenye mapenzi. Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika. MPUNGUZE MHEMKO Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi. MSOME SAIKOLOJIA YAKE Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira. Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. “J, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira. MRUHUSU AKUJIBU Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.” Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake. EPUKA MARUMBANO Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena. “Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano. MUOMBE MSAMAHA Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya kumazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. “Mpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane.” Bila shaka kwa haya machache msomaji wangu utakuwa umejifunza na kuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako. Leo niishie hapa, nikushukuu kwa kunisoma. Kaa mkao wa kura, kile kitabu bora cha mapenzi nchini TITANIC, TOLEO LA NNE, kitakuwa mtaani hivi karibuni. Usikose nakala yako. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: