Labels:
ushauri
at
11:34β―PM
Home β ushauri
β _*UKIAMBIWA "GOOD NIGHT" SAA MBILI UJUE KUNA MWENZAKO ANAAMBIWA HAYA "NIAMBIE"*_
_*Hapo ndo utajua Mapenzi safari na wewe huna Nauli*_
π£π£π£π£π£π£π£π£π£
βπβπβπβπβπ
_Wewe ndie nyota yangu,usiku wamulikia Uniachi peke yangu ukanacha ninalia Nikabaki peke yangu mbali ukanikimbia Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_
βπβπβπβπβπ
ππππππππππ
_Wewe ndie mwezi wangu,usiku waangazia Ewe ndie taa yangu mwanga wanimulikia Wewe ndie nuru yangu wewe ndo langu pazia Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_
ππππππππππ
π―ππ―ππ―ππ―ππ―π
_Wewe ni asali wangu nyuki sitowafukuza Kuvunja mzinga wangu ni jambo nisiloweza Nikabaki peke yangu,ulimwengu kuniweza Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_
π―ππ―ππ―ππ―ππ―π
πππππππππππ
_Ewe ndio shuka langu,lanilinda kwa baridi Wewe ndie koti langu daima sitokaidi Takulinda vazi langu,ili nije kufaidi Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_
ππππππππππ
*π
± professional love*
......β₯......................β₯...β₯
..........β₯.............β₯............β₯
..............β₯.....β₯...................β₯
...................β₯.....................β₯
................β₯......β₯..............β₯
..............β₯.............β₯....β₯
.............β₯
...........β₯
..........β₯
.........β₯
.........β₯
..........β₯
..............β₯
...................β₯
..........................β₯
...............................β₯
.................................β₯
.................................β₯
..............................β₯
.........................β₯
..................β₯
.............β₯
......β₯
...β₯
.β₯.............................β₯....β₯
β₯..........................β₯...........β₯
.β₯......................β₯................β₯
..β₯...................β₯..................β₯
...β₯....................................β₯
.....β₯................................β₯
........β₯..... ....................β₯
...........β₯...................β₯
..............β₯..............β₯
..................β₯.......β₯
.....................β₯..β₯
.......................β₯ ''''''''''''''''β€β€*
_*UKIAMBIWA "GOOD NIGHT" SAA MBILI UJUE KUNA MWENZAKO ANAAMBIWA HAYA "NIAMBIE"*_ _*Hapo ndo utajua Mapenzi safari na wewe huna Nauli*_ π£π£π£π£π£π£π£π£π£ βπβπβπβπβπ _Wewe ndie nyota yangu,usiku wamulikia Uniachi peke yangu ukanacha ninalia Nikabaki peke yangu mbali ukanikimbia Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_ βπβπβπβπβπ ππππππππππ _Wewe ndie mwezi wangu,usiku waangazia Ewe ndie taa yangu mwanga wanimulikia Wewe ndie nuru yangu wewe ndo langu pazia Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_ ππππππππππ π―ππ―ππ―ππ―ππ―π _Wewe ni asali wangu nyuki sitowafukuza Kuvunja mzinga wangu ni jambo nisiloweza Nikabaki peke yangu,ulimwengu kuniweza Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_ π―ππ―ππ―ππ―ππ―π πππππππππππ _Ewe ndio shuka langu,lanilinda kwa baridi Wewe ndie koti langu daima sitokaidi Takulinda vazi langu,ili nije kufaidi Nakupenda ewe wanguπkwengine siwezi kwenda_ ππππππππππ *π ± professional love* ......β₯......................β₯...β₯ ..........β₯.............β₯............β₯ ..............β₯.....β₯...................β₯ ...................β₯.....................β₯ ................β₯......β₯..............β₯ ..............β₯.............β₯....β₯ .............β₯ ...........β₯ ..........β₯ .........β₯ .........β₯ ..........β₯ ..............β₯ ...................β₯ ..........................β₯ ...............................β₯ .................................β₯ .................................β₯ ..............................β₯ .........................β₯ ..................β₯ .............β₯ ......β₯ ...β₯ .β₯.............................β₯....β₯ β₯..........................β₯...........β₯ .β₯......................β₯................β₯ ..β₯...................β₯..................β₯ ...β₯....................................β₯ .....β₯................................β₯ ........β₯..... ....................β₯ ...........β₯...................β₯ ..............β₯..............β₯ ..................β₯.......β₯ .....................β₯..β₯ .......................β₯ ''''''''''''''''β€β€*
Artikel Terkait
AINA 10 ZA WANAUME AMBAO WANAWAKE HUJUTIA WAKIWA NAO οΏΌ 1. Wanaojiona Kama Wafalme (King Husband). HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka waheshimiwe wao tu na mwanamke akikosea kidogo ni maneno au kipigo. Mwanamke hana kauli ndani na mume akiingia nyumbani ni kama bosi anavyoingia ofisini, wote kimya hakuna hata kuongea. 2. Wanaume Wanaojihisi Bado Hawajaoa (Bachelor Husband). Hii ni aina ya wanaume ambao hawawashirikishi wake zao kwa chochote. Hufanya mambo kama vile bado hawajaoa, hutumia muda wao mwingi na marafiki zao wakifanya mambo ambayo mke hata hayajui mke anaweza kustukizia tu mume kanunua gari bila kumshirikisha na mume haonyeshi hata kujali kuweza kumshirikisha. Hajali kama ana mke na mda mwingi huutumia akiwa na marafiki kufanya mambo yasiyo na msingi ambayo hayana mnanufaa yoyote katika ndoa yake. 3. Wanaume Wenye Gubu (Acidic Husband). Hawa hukasirika kila mara tena bila kua na sababu ya misngi, mambo hayaishi, kosa la mwaka juzi anaweza kukukasirikia leo. Wamemuudhi kazini hataki kusemeshwa na mnanuniwa nyinyi, mwanamke akiomba hela ya chakula ni shida ni kununa kutwa nzima, wanahasira na nirahisi kumpiga mke. 4. Mume Wa Kila Mtu (Genarel Husband). Hawa wanajifanya wasamaria wema, wanajali kila mwanamke, wanajali marafiki wakike wa mke na wakwao kuliko wanavyowajali wake zao. Mke anaweza kuwa na shida akasema hana hela lakini rafiki akampa. Wana marafiki wengi wakike na mara nyingi huwa hawaachani kabisa na ma X wao, wakiwalalamikia wanawasaidia kuliko hata wanavyowasidia wake zao wakati wakiwa na shida. 5. Wanaume Wanaojifanya Wagumu (Dry Husband). Hawa wanajifanya wagumu sana, hawana yale mambo ya kimahaba na wao hujua kuwa ndoa ni kuleta chakula tu na kushughulika kitandani. Hakuna kuongea na hawajali hata hisia za mke, mke akiongea kwao wala hawajali wanajifanya ni vidume sana na wanaona mambo kama vizawadi, kupiga simu, kutuma sms, kusema nakupenda, kununua maua ni mambo ya kike, yaani hawaonyeshi juhudi yoyote kuwafurahisha wekea zao. 6. Wanaume Wanaopenda Kutumia Wake Zao (Panadol Husband). Hawa huwa wanaume pale tu wanapokuwa na shida, wanakuwa na wake wazuri wanaowajali lakini wao wala hawajali. Wanapomhitaji mwanamke, wanapotaka mwanamke awafanyie kitu flani basi huja na maneno mazuri na hata kuleta vizawadi, wanajua udhauifu wa wake zao na huutumia kuwalaghai kuwatimizia mahitaji yao lakini wanapotimiziwa tu basi husahau hata kama wanawake, hawajali tena. 7. Wanaume Ambao Hawataki Kukua (Baby Husband). Bado wanatabia za kitoto, hawawezi kufanya maamuzi yao wenyewe mpaka kuuliza kwa ndugu zao, mtu kaoa lakini kila siku humpigia simu Mama yake kuuliza hiki na kile. Yaani wakiongea kitu na mke nilazima aulize ndugu kwanza ndiyo kipitishwa na mke akifanya kosaa kidogo kazi nikulinganisha mke na ndugu zake, mbona flani alifanya hivi, flani anaweza fanya zaidi na mambo kama hayo. Kwakifupi hawawezi kufanya maamuzi na mkewe, ndugu zake hasa Mama yake anakuwa kama shemeu ya ndoa. 8. Mume Mtalii (Visiting Husband). Hawa wanakuja nyumbani kama wageni vile, mume ataihudumia familia yake kwa kila kitu lakini hawezi kuipa muda wake. Akirudi mke na watoto wamelala ni kugonga na hana sababu za msingi za kuchelewa, hata mwisho wawiki hupenda kutumia na marafiki au ndugu lakini si na mke. Hakuna kitu cha pamoja ambacho anafanya na mkewe au watoto wake, kila akiingia tu anakua na safari ya kutoka yaani hata atoke akakae nnje tu lakini si kukaa na mke au watoto. 9. Wanaume Wanaofuatilia Kila Kitu (Stalking Husband). Hii ni aina ya wanaume ambao hufuatilia kila kitu, huchunguza kila kitu mwanamke anachofanya na hawampi pumzi. Akienda sehemu atachunguza anaenda na nani na alikutana na nani, huwa na wivu wa ajabu ajabu na kila saa huhisi wake zao ni wasaliti. Kila mtu mwanamke anayeongea naye wa jinsia tofauti huhisi ni mchepuko na hata marafiki wa mke wakike pia huhisi wanamkuwadia, kwakifupi hampi pumzi mwanamke. 10. Mwanaume Mbahili (Miserly Husband). Huyu anaweza kuwa na hela lakini mbahili ajabu. Akimpa mwanamke hela atafuatilia matumizi yake mpaka senti ya mwisho, anafuatilia mpaka mambo ya jikoni. Sukari ikiisha naataka ajue iliisha ishaje na kila mara huhisi mke anamuibia hela labda akajenge kwao, huwa msumbufu sana na mgumu kutoa hela. Mwanamke akifikiria mchakato wa kuomba hela kwa mume hukata tamaa na wakati mwingine kuamua tu kukaa kimya na matatizo yake. ... Read More
NIFANYE NINI ILI MUME WANGU AWE NA HAMU NAMI? οΏΌ Mume wangu anasema ananipenda sana, nami nampenda sana. Tuna watoto wawili wa kiume. Nimejaribu kila kitu cha kumfurahisha, kama vile kuvaa vizuri, kuandaa chakula kizuri akipendacho na kinywaji lakini Lakini mwenzangu haonekani kuridhishwa na jitihada zangu. Baada ya chakula cha usiku huwa tunakaa na kuangalia Luninga huku tukiwa na vinywaji. Lakini cha ajabu nikimsogelea na kutaka niwe karibu naye ananiepuka. Yaani HATAKI hata nimguse ni kama NINANUKA au ninamsumbua vile. Je, tatizo ni nini hasa, Je nanuka? Najiuliza na jibu sipatiβ¦.Alimalizia kusema huyu mama huko chozi likimdondokaβ¦...... Naam mara nyingi hivyo ndivyo inavyokuwa kwa sisi wanawake pale tukutanapo, si jambo geni sana kwa sisi wanawake kushirikiana kihisia. Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanamke akimsimulia shoga yake anayemuamini juu ya madhila yake. Yote hiyo ni katika kutafuta nafuu na kuondokana na msongo wa mawazo. Mara nyingi simulizi nyingi zinazowakutanisha wanawake ni zile zinazohusiana na mambo ya Ndoa, mahusiano, watoto au mambo ya kifamilia kwa ujumla, mara nyingi tunatamani kupata mahali pa kulinganishia, ili kutaka kujua kama tatizo nililo nalo lina ukubwa kiasi gani. Ni hivi majuzi nikiwa kazini na mfanyakazi mwenzangu ndipo aliponieleza kile kinachomsibu kwa muda mrefu sasa, inavyoonekana, ni jambo ambalo alikaa nalo muda mrefu akijaribu kupambana nalo kimya kimya huku likiendelea kumtafuna, dada huyu wa Kiswidish. Ili kujiridhisha na kutaka kujua ukweli halisi nikamuuliza kama amemuuliza mume wake jambo hili akajibu amefanya hivyo na jawabu alilolipata ni kwamba, mume wake huwa anachoka. Yaani kazi zake ni nyingi pia malezi ya watoto yanamchosha. Nikamuuliza kama hawawezi wakati wa wikiendi watoke ili kuwa peke yao? Hapo nikapata jibu ambalo sikutegemea. Alidai kwamba akisema hivyo mume wake anaona kama yeye anaamua nini wafanye. Huyu mama akaendelea kusema, mimi ni binadamu Yasinta.,,,,,,,,,, Na nahitaji tendo la ndoa na sitaki kutoka nje kwani nampenda sana mume wangu. Nami sikuachia hapo kama mnavyonifahamu na u-Kapulya wangu nikamuuliza kama tatizo hilo lina muda gani au limeanza siku za karibuni? Mama yule akashusha pumzi, akaniangalia kwa jicho la huzuni, kisha akajibu kuwa inatokea wanafanya tendo la ndoa mara moja kwa mwezi na hapo ni ile ya haraka haraka na halafu baada ya hapo mume wake anampa mgongo na kulala . Hapoβ¦.akasita kidogo β¦nikamuuliza ulitaka kusema nini? Akaendelea unajua Yasinta mwanamke anahitaji kuandaliwa kwanza, mimi huwa siandaliwi kabisa........ Mweh! Nikaona makubwa haya ......nilikosa Jawabu la kumpa kwa kweli, nikabaki kuguna tu. Hata hivyo nilijaribu kumshauri aende kwa washauri nasaha wa masuala ya Ndoa na mahusiano, lakini akadai kuwa mumewe ni mkaidi na hawezi kukubali. Mwenzenu swala hili limenishinda maana sijui nimsaidieje! Je Wewe kama msomaji unaweza kunisaidia ni ushauri gani nimpe mama huyu, ili awe na furaha katika Maisha ya ndoa yake? Ushauri tafadhali........... ... Read More
JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE KITANDANI KATIKA MAPENZI. οΏΌ Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi yeyote huko nje. Mfanye Mwanamke aanze kufika mlima kilimanjaro kabla hujaanza kumuingilia. Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo. Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi. Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo. Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke afike mlima Kilimanjaro na kutua mizigo yake kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la ndoa zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake. Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji tu kuingia kwa uume wako aweze kupiga bao la pili, na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro haraka sana. Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!! #2 β Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu. Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo hayo. Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa tayari anajua huyu ataanza hapa, ataishia pale na atapofika mlimani namna hii. Hili haliwezi kumsisimua mwanamke. Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16, ambayo yakichezewa au kuguswa kiufundi wa kimahaba, huweza hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla ya kuingiliwa. Wangapi tunajua kuhusu A-Spot? ..... ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla wakati wa kufanya mapenzi naye, na hakika utakuwa shujaa wake. Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke! #3 β Usiwe kama kuku Ndio, licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya mwanamke afike kileleni kabla ya kumuingilia, unamjengea mazingira ya kufika kileleni haraka pindi unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi, kwamba ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi isiyomithilika. Mwanaume kudumu kwenye tendo kwa muda wa kutosha, ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na kumuona kuwa yu shujaa. Sometimes, pumzi zako kitandani zinaweza pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za mtaani, na kama kitandani hauko nazo za kutosha, itakuwaje siku mmevamiwa mkiwa matembezini na watu unaotakiwa kupigana nao? Tofauti kubwa sana baina ya wanaume na wanawake ni kuwa, wanaume wengi hujamiiana kwa minajili ya kufika kileleni, ilhali wanawake hujamiiana kwa minajili ya kustarehe. So, usiifanye starehe hiyo kuwa ya dakika moja...lakini pia usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo wanaume wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke uchi hadi akahitaji barafu la kujikanda ili ipoe, ni ushujaa. Nusu saa hadi dakika 50 ni muda muafaka kabisa, na zaidi ya dakika 60, kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea sence ya starehe na wakajiona kama wanalipishwa walicholishwa. #4 β Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji Ndio, wapo wanaume wengi tu wanaoweza kujinadi kuwa wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya vi**mi, kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo. Kama ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia kubwa ya wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo la kuamsha hisia zao kwa ajili ya kujamiiana, bali kwa minajili ya kuwafanya wapate ule ute ambao utawarahisishia wao kuingia. Kitu kikubwa wanachopendelea wanawake, ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kumfanyia vimichezo vya kumtia hamu hadi ikiwezekana aanze kuulilia muhogo. Jidai kama unataka kumnyonya ki**mi, lakini usifanye hivyo, pumua usawa wa mdomo wa uke wake kiasi cha kumfanya ahisi pumzi yako, mlambe mapajani...sio lazima kila siku iwe kwenye tundu la uke....... Haya ni baadhi ya yatayomfanya aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti, na ukiamsha hisia zake kwa namna ya kipekee. Na hili basi ndilo lenye kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo ambalo wanawake hulihitaji....cheki namba 5 hapa chini Tumichezo kama hutu twa Manaiki Sanga tunasaidia... #5 β Faida ya ulimi/mdomo kunyonyanaInashangaza sana kwa kweli...wakati wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa kuwafanyia maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole vyao. Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake walisema kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya mwanaume akasimama vya kutosha kuwaingilia. Ukweli ni kwamba, hii sio sahihi kabisa. Umepewa viungo zaidi kwa ajili ya kumfanya mwenzako aweze kufurahia tendo la ndoa, na ikiwa unaweza kuvitumia, kwanini unavibania bania ?. Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni nini hasa? Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako unadhani ulimi huo unaweza kufika na ukamfanya aseme "Oh...am going crazy" #6 β Msisimue kwa kauli zakoWanaume wengi sana huwa mabubu wawapo kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao watawafikiria namna gani vipi wakisema sema wakati wanajamiiana nao... lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka kushusha mizigo yao? Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga kelele wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu matamu wakati unaendelea kumstarehesha? Nong'ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu....hata zile oooh....sss....mmmm zako, zifanye sikioni kwake..... wanawake huwa hawajisikii raha sana wanapokuwa wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa kujamiiana, ikiwa mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani dumwana ambalo linashangaa kilichoko mbele yake. Anakuwa hajui kama unaenjoy anachokifanya kwako au laa. Ni sawa na wewe mwanaume, unajisikiaje pale unapokuwa umemgusa mwanamke mahali fulani penye mzizi wa utamu na akaanza kukwambia kwa ile sauti ya kipekee akisema "hapo hapo...hapo hapo jamani raaaha".... Epuka tu sauti yako isiwe ambayo itamfanya anywee kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali alikuwa anakaribia kuanza kuelea angani. Unaweza kumsifia hata kabla gemu halijaanza.... #7 β Jenga mahusiano ya macho yenuHivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la kukojoa? Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye akiwa anakojoa? Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno. Mawasiliano ya macho wakati wa kujamiiana, huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu na ikiwa inatokea mwanamke uliye naye alishawahi kutokewa na mwanaume ambaye wakati wanajamiiana alikuwa akimtizama usoni moja kwa moja, basi si ajabu mtapomaliza akajitoa kimaso maso na kukuuliza "mbona ulifumba macho wakati unakojoa", na hapa atakuwa akimaanisha kuwa kuna ulichomnyima. Mwanaume, jitahidi kubadili utaratibu wa kila siku kuzima taa wakati mnajamiiana, acha taa ziwake wakati mwingine, na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo wa rangi zake, huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa, kumbe ni kwenye kitanda chenu kile kile ambacho kila siku mnakitumia. Mazoea ni mabaya, lakini haimaanishi kuwa hamuwezi kubadilika, na ikiwa unaweza kuongoza jahazi la mabadiliko haya, akizoea hakika atakuwa akikufurahia zaidi. #8 β Mzingatie baada ya kumaliza kujamiiana Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kujamiiana. Hawajui kuwa, huu ni muda ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza lolote na akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote ule. Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa haraka pindi wanapokuwa wamemaliza lile tendo la kuingiliwa. So, unaweza kuwa umemkojolesha na kumgusa kila angle ambayo unaijua, lakini kitendo cha kumkumbatia, ukampiga busu na kumwambia "asante", huku ukimruhusu alaze kichwa chake tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina maana kubwa sana, iliyo sawa au hata zaidi ya kitendo mnachokuwa mmetoka kukifanya. Huu ni wakati wa kummwagia kila aina ya sifa ambayo anaistahili, na ndio muda muafaka wa kumuandaa kuwa na hamu ya wewe safari nyingine utapomhitaji. #9 β Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba yako Wanaume wengi sana wameumbwa kutaka kuwa vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye kujamiiana, hupenda wao ndio waongoze kila move. Sio mbaya kwasababu wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka. Ni kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni anapopaota, lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu ya wanawake ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao kutawala dimba wakati wa mchezo. Sio suala la kumwambia, leo mie nitalala tu na kukuacha uhangaike na mhogo wangu unavyotaka, laa...atakuona mdhaifu, uliyechoka au unayemsusia tu. Kwa kutumia ile ile dhana ya wewe kuongoza jahazi, hakikisha unatengeneza mazingira ya yeye kuutawala mchezo na kuongoza mashambulizi kuelekea anakoona kuwa mshambuliaji atafunga goli la msimu. Wanawake wana-enjoy sana wanapoona kuwa wanaume wao wamewapa mamlaka ya kutawala dimba, kwani hiyo huwajengea fikra za kuwa wanaaminika kiuwezo, kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji. Wapo mfano wanawake ambao hupenda sana kunyonya muhogo ya wapenzi wao hadi kukojoa, lakini anapotaka kujaribu tu, unakuta janaume hilo, linamwambia aaah, mie sipendi hiyo....au anamuacha ila akikaribia anaanza kumwambia acha nitakojoa .... si umuache? Kwani unadhani yeye hajui kuwa akikunyonya utakojoa ?. Mpe nafasi, anyonye anavyotaka, hata kama ni kukojoa, mkojolee mdomoni tu, maana yu ajua kuwa ndio mwisho wake, lakini kwakuwa anataka umfanye, lazima atajua pia namna ya kukurejesha askari wako awe mkakamavu. Hata kama akitaka "akufanye" mruhusu tu...!!! 10 β Ondoa mazoea Wanaume ni watu wa ajabu sana. Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa naweza kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile, tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume, huwa hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa kujamiiana. Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali, lakini sio kwasababu mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo imetokea mwanamke alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea...kesho akijitega mbuzi kagoma kwenda, itaendelea hivyo hivyo. Uchunguzi ambao umethibitishwa na wataalamu ni kuwa, wanawake huwapenda sana wanaume ambao wana uwezo na courage ya kuwataka wabadili mikao wanapokuwa wakiendelea na game. Ni kama mchezaji wa football vile, anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza ku-invent mbinu za kubadili mchezo wakati mchezo ukiwa unaendelea. Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta msisimko wa kushangaza NYONGEZA AMBAYO NI KITU CHA MUHIMU SANA, Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea. Hivi, unadhani wale makahaba wanaouza miili yao kule huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao? Wanaambiwa sana tu, lakini mbona hawawakubali wale wote wenye kuwashukuru? Shukrani kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi. Ufanye mwili wako uonyeshe kuwa unashukuru kwa vile anavyokupa mwenzako, kabla hata ya kutamka kwa mdomo wako kumshukuru. Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa "gentle" wakati wa kujamiiana kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana kumsugua mwanamke wako utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia bia na vinywaji ulizomnywesha, au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi wake wakati wanakukabidhi (kama ni mkeo wa ndoa) ... Read More
Jinsi ya Kuomba Msamaha MACHAGUO YA UPAKUAJI Podikasti Makala Nyinginezo SOMA KATIKA Amkeni! | Septemba 2015 UNAWEZA KUWA NA FAMILIA YENYE FURAHA Fuata Mwongozo wa Mungu ili Uwe na Ndoa Yenye Furaha Kujiuliza maswali mawili rahisi kunaweza kuisaidia ndoa yako. AMKENI! Viwango Vinavyomfaa Kila Mtu, Nyakati ZoteβUpendo Upendo unaotajwa mara nyingi katika Biblia si ule wa kimahaba au kimapenzi. HABARI NJEMA KUTOKA KWA MUNGU! Kanuni za Biblia Zinatunufaishaje? Yesu alieleza kwa nini tunahitaji mwongozo na ni kanuni gani mbili za Biblia zina umuhimu mkubwa. Kuwafundisha Watoto Unyenyekevu Je, Inafaa Kujihatarisha Kwa Kusudi la Kujisisimua? Watoto Wanapoondoka Nyumbani Umuhimu wa Kazi za Nyumbani Kuomba msamaha kunaweza kuzuia ugomvi CHANGAMOTO Muda mfupi tu uliopita wewe na mwenzi wako mmetoka kubishana. Kisha unajiambia hivi: βSihitaji kumwomba msamaha. Kwa sababu si mimi niliyeanzisha ugomvi!β Mmeacha kuzungumzia jambo hilo, lakini hali si shwari. Unafikiria kuomba msamaha lakini unaona huwezi kusema, βsamahani.β KWA NINI HILO HUTUKIA Kiburi. βWakati mwingine si rahisi kusema βsamahaniβ kwa sababu sitaki kujishushia heshima,β anakiri mume anayeitwa Charles. * Kiburi kinaweza kukufanya uone aibu kukubali kwamba umechangia tatizo. Mtazamo. Unaweza kuhisi kwamba kuomba msamaha kunahitajika tu pale unapokosea. Mke anayeitwa Jill anasema hivi: βNi rahisi kwangu kusema βsamahaniβ ninapojua kwamba nimesababisha tatizo. Lakini, ikiwa sote tulisema mambo yasiyofaa, ni vigumu kufanya hivyo. Kwa nini niombe msamaha ikiwa sote tuna makosa?β Unaweza kujitetea ikiwa unahisi kwamba mwenzi wako ndiye mwenye makosa. βUnapoamini kabisa kwamba hujafanya kosa lolote, unaonyesha huna hatia kwa kukataa kuomba msamaha,β anasema mume anayeitwa Joseph. Malezi. Huenda ulilelewa katika familia ambayo halikuwa jambo la kawaida kuomba msamaha. Ikiwa ndivyo, huenda hukujifunza kukubali makosa yako. Kwa kuwa hukuzoea kufanya hivyo tangu utotoni, ni vigumu kwako kuomba msamaha ukiwa mtu mzima. MAMBO UNAYOWEZA KUFANYA Mfikirie mwenzi wako. Jaribu kukumbuka jinsi ulivyohisi vizuri ulipoombwa msamaha na mtu fulani. Kwa nini basi usimfanye mwenzi wako ahisi hivyo? Hata ikiwa huamini kwamba ulikosea, unaweza kuomba msamaha kwa ajili ya maumivu ambayo mwenzi wako amepata au kwa sababu ya usumbufu wowote uliotokana na matendo yako. Maneno hayo yanaweza kumsaidia mwenzi wako ahisi vizuri.β Kanuni ya Biblia: Luka 6:31 . Zingatia ndoa yako. Ona kuomba msamaha kuwa ushindi katika ndoa yako na si kushindwa. Zaidi ya yote, mtu anayeendelea kukasirika ni βmgumu kuliko mji wenye nguvu,β inasema Methali 18:19 . Inaweza kuwa vigumu kurudisha amani katika hali hiyo. Pia, unapoomba msamaha unazuia kosa kuwa kikwazo. Ukifanya hivyo, unatanguliza ndoa yako badala ya hisia zako.β Kanuni ya Biblia: Wafilipi 2:3 . Uwe mwepesi kuomba msamaha. Ni kweli kwamba ni vigumu kuomba msamaha ikiwa hujakosea. Lakini makosa ya mwenzi wako hayapaswi kuwa kisingizio cha kuendelea kuwa na tabia mbaya. Hivyo, usisite kuomba msamaha ukifikiri kwamba muda ukipita kosa hilo litasahaulika. Unapoomba msamaha unafanya iwe rahisi pia kwa mwenzi wako kuomba msamaha. Na kadiri unavyoomba msamaha ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kufanya hivyo tena wakati mwingine.β Kanuni ya Biblia: Mathayo 5:25 . Onyesha kwamba unajali hisia za mwenzi wako. Kutetea kosa lako si sawa na kuomba msamaha. Kusema kwa kejeli, βsamahani kwa kuwa naona unakwazika haraka kwa sababu ya jambo hili,β si njia ya kuomba msamaha hata kidogo! Kubali makosa yako na utambue kwamba umemuumiza mwenzi wako, hata kama unaona hakuwa na sababu ya kukwazika. Tambua ukweli. Kubali kwamba utafanya makosa. Kwa kweli, kila mtu hukosea! Hata kama unafikiri huna hatia, tambua kwamba kuna uwezekano umechangia jambo hilo. Biblia inasema hivi: βMtu wa kwanza katika kesi yake ni mwadilifu, mwenzake huingia naye hakika humchunguza kwa undani.β ( Methali 18:17 ) Itakuwa rahisi kwako kuomba msamaha ikiwa una maoni yaliyosawazika kuhusu mapungufu yako ... Read More
Majina Ya Watoto Wa Kiume (26) οΏΌ Katika tamaduni nyingi, majina ya watoto wa kiume hutokana na majira au matukio ya wakati wanapozaliwa. Kwa mfano, wakati mmoja, mwanamke Mwethiopia alijifungua mtoto wa kiume. Shangwe yake ikageuka kuwa majonzi alipoona mtoto wake akiwa amelala bila kusonga. Nyanya yake alipomchukua mtoto huyo ili amwoshe, kwa ghafla mtoto akaanza kusonga, kupumua na hata kulia. Hali hii ikawa chanzo cha jina la mtoto na hiyo wazazi wake wakaunganisha jina muujiza na neno linguine la Kiamhara na kumwita mvulana huyo Muujiza Umefanyika. Nchini Burundi, majina memgin yalitokana na wakati wa vita vilivyokuwemo mwanzo wa miaka ya tisini. Mtoto aliyezaliwa huku mzazi akijifichakutokana na machambulizi angepatiwa jina kama Manirakiza amabalo maana yake niβMungu Ndiye Anayeokoaβ. Majina mengine ya wakati ule ni kama Twagirimana na Mwana wa Imana ambayo pia humaanisha mwana wa Mungu au mtu aliyeponea vita kwa muujiza wa Mungu. Desturi hii ya majina ya watoto wa kiume imeenea kote ulimwenguni ambapo kuna majina mengi yaliyo na maana ya nyakati kam wakati wa vita, njaa, shjrehe, makumbusho au tukio amabalo watu hupenda kukumbuka kwa kuwapa watoto majina. Kuna majina kadhaa amabyo ni mashuhuri sana ulimwenguni ;Noah, Liam, Mason, Jacob, William, Ethan, Michael, Alexander, James, Daniel na mengine. MAANA MAJINA TUKIZINGATIA HERUFI YA JINA LA KWANZA (KIUME) HERUFI A Watoto wenye jina linaloanza kwa herufi hii hupenda mambo makubwa,hujiamini sana na huwa na uwezo wa kutimiza malengo yao. Ni watoto wenye tahadhari,wachangamfu na hupenda matukio. Kwa kawaida hupenda kuheshimiwa,hupenda mamlaka,na ana kiburi,watoto wapenda hasira.Kidesturi herufi hii huwakilisha nyota ya punda. HERUFI B Mwenye jina linaloanziana na herufi hii ni watoto wakarimu,waaminifu na hupenda kazi sana. Ni wajasiri, shujaa na wakatili katika vita au popote pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.Herufi hii huwakilisha nyota yangombe. HERUFI C Mwenye jina linaloanzia na herufi hii ni motto wa kubadilikana,ni washindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda.Ni watu wabunifu na wanapenda mawasiliano,herufi hii huwakilisha nyota ya mapacha. HERUFI D Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni anayependa usawa,biashara ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi.Ni wajeuri na wenye msimamo. Herufi hii huwakilisha nyota ya kaa. HERUFI E Mwenye jina linaloanza na herufi ni mtu mwenye roho nzuri,mwenye mapenzi na huruma,mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Ubaya wake ni mtu asiyetegemewa na ni kigeugeu.Herufi hii huwakilishwa na nyota ya samba. HERUFI F Mwenye jina linaloanza na herufi hii n mtu mwenye mapenzi,huruma,roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu,ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi.Herufi hii huwakilisha nyota ya mashuke. HERUFI G Mwenye jina linaloanzia na herufi hii ni mtu mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho,ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. Ni mtu mwenye hisia kali,msomi,mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri kutoka kwa watu.Herufi hii huwakilisha nyota ya mizani. HERUFI H Mwemye jina linaloanzia na herufi hii ni mtoto mwenye ubunifu na nguvu katika biashara,hupata faida kubwa katika anayopenda kutokana na bidii, ni mwenye mawazo mengi,mchoyo na mbinafsi.Herufi hii huwakilisha nge. HERUFI I Mwenye jina inayoanzia na herufi hii ni mtoto mwenye kupenda sharia,ana huruma na utu mzuri.Wakati mwingi ni mtoto mwenye kujiamini sana na mwenye hasira za haraka. Herufi hii huwakilisha nyota yam shale. HERUFI J Mwenye jina inayoanzia na herufi hii ni mtoto mwenye matamanio,mkweli,mkarimu na mwerevu.Huwa asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa,wakati mwingine anakuwa ni mtoto mvivu na anayekosa mwelekeo. Herufi hii huwakilisha nyota ya mbuzi. HERUFI K Mwenye jina linaloanza ha herufi hii ni mtoto mjeuri,mwenye msimamo thabiti,mpenda umashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu, ana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana,ni mtoto asiyeridhika. Herufi hii huwakilisha nyota ya ndoo. HERUFI L Mwenye jina linaloanza ha herufi hii ni mtoto wa vitendo,mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha,hupatwa na misiba mara kwa mara.Herufi hii huwakilisha nyota ya samaki. HERUFI M Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye kujiamini sana,mchapakazi na hupata mafanikio,ni mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi hii huwakilisha nyota ya punda. HERUFI N Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mbunifu, mwenye hisia kali,hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana.Herufi hii huwakilisha nyota ya ngombe. HERUFI O Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye subira,mvumilivu,na mwenye bidii ya kusoma.Ni mtoto mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia.Herufi hii huwakilisha nyota ya mapacha. HERUFI P Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye uwezo wa kuamuru na ana hekima kubwa.Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi hii huwakilisha nyota ya kaa. HERUFI Q Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtotto mwenye kupenda mambo ya asili,ni watu wasioelezeka,wako na uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana.Herufi hii huwakilisha nyota ya samba. HERUFI R Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mtulivu,mwenye huruma lakini mwenye hasira za haraka.Muda mwingi yeye ni mpenda amani. Herufi hii huwakilisha nyota ya mashuke. HERUFI S Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye mvuto kali wa kuleta utajiri,ni mtoto mwenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi hii huwakilisha nyota ya mizani. HERUFI T Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye kupenda ushauri wa kiroho,anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu, ni watoto wenye hisia kali na wepesi sana kushawishika.Herufi hii huwakilisha nyota ya nge. HERUFI U Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye bahati kwa ujumla,anapenda uhuru katika mapenzi,ni mbinafsi,mwenye tama na anayekosa maamuzi. Herufi hii huwakilisha nyota yam shale. HERUFI V Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mchapakazi,mwenye bidii asiye choka lakini ni watu wasiotabirika. Herufi hii huwakilisha nyota ya mbuzi. HERUFI W Mwemye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye mawazo sana,mchangamfu sana,mwenye uwezo wa kutambua watu wabaya na wema, ni wenye tama na hufanya mambo hatari sana.Herufi hii huwakilisha nyota ya ndoo. HERUFI X Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto asiyependa kuwekewa vizuizi hasa katika anasa na ni rahisi kwake kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi hii huwakilisha nyota ya punda. HERUFI Y Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mpenda uhuru na hapendi kupingwa katika jambo lolote,ni watoto wanaokosa uamuzi na husababisha kupoteza bahati katika maisha. Herufi hii huwakilisha nyota ya punda. HERUFI Z Mwenye jina linaloanza na herufi hii ni mtoto mwenye kupenda matumaini na amani,ni wenye msimamo mkali japo ni wenye kukubali ushauri . Herufi hii huwakiisha nyota ya ngombe. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: