Home → ushauri
→ TREVO NI NINI?
TREVO NI NINI?
1. Trévo ni mchanganyiko wa jumla ya virutubisho 174 ambavyo vinatokana na mimea, mboga mboga na matunda yaliyokusanywa toka sehemu mbalimbali duniani.
Mchanganyiko huo uliozaa kirutubisho cha Trévo umetengenezwa nchini Marekani na Billionaire aitwaye Mark Stevens na Mkewe Holli.
Ukweli ni kuwa Trévo ni zao la kazi ya utafiti wa zaidi ya miaka 4 na pia utafiti wa zaidi ya miaka 2 wa matumizi yake na kukifanya kuwa kimiminika cha virutubisho bora vilivyokusanywa toka mabara yote ya dunia hii. Trévo imejitanabaisha kuwa kirutubisho pekee duniani chenye mchanganyiko wa virutubisho vingi vya vitamins, madini muhimu ya mwili, matunda ya kutoa sumu mwilini (antioxidants), madini mbalimbali na mimea yenye uwezo wa kutibu magonjwa (herbs).
Trévo ina nguvu tatu inazofanya katika cell ya mwanadamu: kufanya upya (Renew), kufufua (Revive) na kurejesha uwezo (Restore).
2. Sifa nyingine kubwa ya Trévo ni kuwa imetengenezwa kwa vichembe chembe vidogo sana (micro ionized) vinavyoiwezesha Trévo kufyonzwa kwa urahisi na cell na kuanza kutumika hapo hapo mtu anapoinywa. Hii ina maana kwamba mtu anapokunywa Trévo inaanza kufyonzwa ndani ya cell sekunde kadhaa inapoingia mdomoni na inaingia tumboni huku ikiendelea kufyonzwa.
3. Trévo ina Amino Acids zinazohitajika katika mwili. Amino Acid ni muhimu kwa maisha, na huwa na majukumu mengi katika umetaboli (metabolism). Kazi moja muhimu hasa ni kutumika kama miundo msingi ya ujenzi wa protein. Sehemu kubwa ya cells za binadamu, misuli na tissue imejengwa na amino acids ambazo pia ndio zinazounda sehemu kubwa ya proteins.
4. Trévo ina mchanganyiko unaoifanya kuwa anti oxidant yenye nguvu sana. Seli za mwili huhitaji hewa ya oxygen ili ziweze kufanya kazi. Hewa ya oxygen hutumika kuunguza vyakula tunavyokula ili kuupatia mwili nguvu. Ili hewa ya oxygen isilete madhara mwilini ni lazima itumike yote kwa ufanisi kwani ikibaki mwilini inaweza sababisha kutengenezwa kwa free radicals zinazoweza kupelekea mtu kupata saratani (cancer), cell kufa (necrosis), watoto kuzaliwa na matatizo yasiyo ya kawaida (mutation), n.k.
Free radicals ni atoms zenye namba witiri za elektron ambazo zinauwezo wa kuungana na element kama mercury, shaba ( heavy metals ) pamoja na madawa mengine kutengeneza kemikali zinazoweza kusababisha madhara kwenye chembechembe za urithi ( DNA). Pamoja na uwezekano wa kupelekea saratani, atom hizi zinaweza zikasababisha: Uchovu wa mwili, Kuzeeka mapema, Matatizo ya akili, Ukosefu wa kumbukumbu, Kizunguzungu, Kichefuchefu, n.k.
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu. Ikumbukwe pia miili yetu inapata magonjwa mbalimbali tena kwa urahisi kukiwa na ukosefu wa virutubisho.
Trévo inasaidia magonjwa yafuatayo:
1. Kisukari
2. Kansa
3. Presha (BP)
4. Magonjwa ya Macho
5. Magonjwa ya Ngozi
6. Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
7. Matatizo yote ya kipindi cha Hedhi kwa wanawake
8. Kuongeza CD4 haraka kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi
9. Magonjwa ya Moyo
10. Kupooza (stroke)
11. Watoto wasiopenda kula
12. Asthma
13. Allergy
14. KUPUNGUZA UZITO
15. Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC (Oxygen Radical Absorbance Capacity) cha 373,000 antioxidant. Pia Trévo imegundulika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutoa sumu katika mwili kwa kutumia kipimo cha CAP-e (Cell-based Antioxidant Protection in Erythrocytes – njia ya kisasa ya kubaini uwezo wa kutoa sumu katika cell za mwili wa viini lishe vya asili).
16. Changamoto ya kubalance homoni (hormones) za mwili kwa wale wanawake wanaopata mimba bila mpangilio
17. Kuleta brain focus (kutoa stress)
18. Kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka amka na bila uchovu
19. Kuwapa umakini wa akili watoto katika ukuaji wao
20. Vidonda vya tumbo na kujaa gesi tumboni
21. Mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa
22. Matatizo ya mgongo
23. Viungo kupata ganzi
24. Kuimarisha na kukuepusha na maradhi kwa ujumla na mengine mengi sana ambayo hayajatajwa hapo juu.
Pia Trévo imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya duniani.
1. KOSHER. ni shirika la Waisraeli ambalo hutoa certificate na nembo ktk vyakula ambavyo ni sahihi kutumiwa na mtu mwenye imani ya Kikristo au Myahudi. Hii inamaana kirutubisho hiki kinafaa kuliwa na watu wa imani hizo kwa kuwa hakina mchanganyiko unao pingana na imani hii
2. ORAC- ni maabara kubwa inayotumika kupima uwezo wa utoaji sumu mwilini katika vyakula. Maabara hii iliipatia Trévo kiasi kikubwa sana cha antioxidant cha 373,000. Ni kiasi cha juu sana kulinganisha na virutubisho vingine vilivyopo au vilivyowahi kuwepo sokoni
3. HALAL ni shirika la Kiarabu kwa wale wenye imani za Kiislamu. Walithibitisha kuwa Trévo ni salama kwa mtumiaji mwenye imani hiyo na haina mchanganyiko wa kwenda kinyume na imani hiyo
4. VEGETARIAN . Ni shirika la watu wasio kula mazao ya mnyama bali wana kula mboga mboga, mimea, matunda na mizizi
5.TFDA- Shirika la Chakula na Dawa Tanzania. Shirika hili liliithibitisha Trévo kuwa ni sahihi kwa matumizi ya Mtanzania na hivyo wakaipa Certificate mnamo tarehe 11/11/2014
TREVO NI NINI? TREVO NI NINI? 1. Trévo ni mchanganyiko wa jumla ya virutubisho 174 ambavyo vinatokana na mimea, mboga mboga na matunda yaliyokusanywa toka sehemu mbalimbali duniani. Mchanganyiko huo uliozaa kirutubisho cha Trévo umetengenezwa nchini Marekani na Billionaire aitwaye Mark Stevens na Mkewe Holli. Ukweli ni kuwa Trévo ni zao la kazi ya utafiti wa zaidi ya miaka 4 na pia utafiti wa zaidi ya miaka 2 wa matumizi yake na kukifanya kuwa kimiminika cha virutubisho bora vilivyokusanywa toka mabara yote ya dunia hii. Trévo imejitanabaisha kuwa kirutubisho pekee duniani chenye mchanganyiko wa virutubisho vingi vya vitamins, madini muhimu ya mwili, matunda ya kutoa sumu mwilini (antioxidants), madini mbalimbali na mimea yenye uwezo wa kutibu magonjwa (herbs). Trévo ina nguvu tatu inazofanya katika cell ya mwanadamu: kufanya upya (Renew), kufufua (Revive) na kurejesha uwezo (Restore). 2. Sifa nyingine kubwa ya Trévo ni kuwa imetengenezwa kwa vichembe chembe vidogo sana (micro ionized) vinavyoiwezesha Trévo kufyonzwa kwa urahisi na cell na kuanza kutumika hapo hapo mtu anapoinywa. Hii ina maana kwamba mtu anapokunywa Trévo inaanza kufyonzwa ndani ya cell sekunde kadhaa inapoingia mdomoni na inaingia tumboni huku ikiendelea kufyonzwa. 3. Trévo ina Amino Acids zinazohitajika katika mwili. Amino Acid ni muhimu kwa maisha, na huwa na majukumu mengi katika umetaboli (metabolism). Kazi moja muhimu hasa ni kutumika kama miundo msingi ya ujenzi wa protein. Sehemu kubwa ya cells za binadamu, misuli na tissue imejengwa na amino acids ambazo pia ndio zinazounda sehemu kubwa ya proteins. 4. Trévo ina mchanganyiko unaoifanya kuwa anti oxidant yenye nguvu sana. Seli za mwili huhitaji hewa ya oxygen ili ziweze kufanya kazi. Hewa ya oxygen hutumika kuunguza vyakula tunavyokula ili kuupatia mwili nguvu. Ili hewa ya oxygen isilete madhara mwilini ni lazima itumike yote kwa ufanisi kwani ikibaki mwilini inaweza sababisha kutengenezwa kwa free radicals zinazoweza kupelekea mtu kupata saratani (cancer), cell kufa (necrosis), watoto kuzaliwa na matatizo yasiyo ya kawaida (mutation), n.k. Free radicals ni atoms zenye namba witiri za elektron ambazo zinauwezo wa kuungana na element kama mercury, shaba ( heavy metals ) pamoja na madawa mengine kutengeneza kemikali zinazoweza kusababisha madhara kwenye chembechembe za urithi ( DNA). Pamoja na uwezekano wa kupelekea saratani, atom hizi zinaweza zikasababisha: Uchovu wa mwili, Kuzeeka mapema, Matatizo ya akili, Ukosefu wa kumbukumbu, Kizunguzungu, Kichefuchefu, n.k. Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu. Ikumbukwe pia miili yetu inapata magonjwa mbalimbali tena kwa urahisi kukiwa na ukosefu wa virutubisho. Trévo inasaidia magonjwa yafuatayo: 1. Kisukari 2. Kansa 3. Presha (BP) 4. Magonjwa ya Macho 5. Magonjwa ya Ngozi 6. Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake 7. Matatizo yote ya kipindi cha Hedhi kwa wanawake 8. Kuongeza CD4 haraka kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi 9. Magonjwa ya Moyo 10. Kupooza (stroke) 11. Watoto wasiopenda kula 12. Asthma 13. Allergy 14. KUPUNGUZA UZITO 15. Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC (Oxygen Radical Absorbance Capacity) cha 373,000 antioxidant. Pia Trévo imegundulika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutoa sumu katika mwili kwa kutumia kipimo cha CAP-e (Cell-based Antioxidant Protection in Erythrocytes – njia ya kisasa ya kubaini uwezo wa kutoa sumu katika cell za mwili wa viini lishe vya asili). 16. Changamoto ya kubalance homoni (hormones) za mwili kwa wale wanawake wanaopata mimba bila mpangilio 17. Kuleta brain focus (kutoa stress) 18. Kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka amka na bila uchovu 19. Kuwapa umakini wa akili watoto katika ukuaji wao 20. Vidonda vya tumbo na kujaa gesi tumboni 21. Mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa 22. Matatizo ya mgongo 23. Viungo kupata ganzi 24. Kuimarisha na kukuepusha na maradhi kwa ujumla na mengine mengi sana ambayo hayajatajwa hapo juu. Pia Trévo imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya duniani. 1. KOSHER. ni shirika la Waisraeli ambalo hutoa certificate na nembo ktk vyakula ambavyo ni sahihi kutumiwa na mtu mwenye imani ya Kikristo au Myahudi. Hii inamaana kirutubisho hiki kinafaa kuliwa na watu wa imani hizo kwa kuwa hakina mchanganyiko unao pingana na imani hii 2. ORAC- ni maabara kubwa inayotumika kupima uwezo wa utoaji sumu mwilini katika vyakula. Maabara hii iliipatia Trévo kiasi kikubwa sana cha antioxidant cha 373,000. Ni kiasi cha juu sana kulinganisha na virutubisho vingine vilivyopo au vilivyowahi kuwepo sokoni 3. HALAL ni shirika la Kiarabu kwa wale wenye imani za Kiislamu. Walithibitisha kuwa Trévo ni salama kwa mtumiaji mwenye imani hiyo na haina mchanganyiko wa kwenda kinyume na imani hiyo 4. VEGETARIAN . Ni shirika la watu wasio kula mazao ya mnyama bali wana kula mboga mboga, mimea, matunda na mizizi 5.TFDA- Shirika la Chakula na Dawa Tanzania. Shirika hili liliithibitisha Trévo kuwa ni sahihi kwa matumizi ya Mtanzania na hivyo wakaipa Certificate mnamo tarehe 11/11/2014
Artikel Terkait
Wanawake: Mumeo akikukera usilale mpaka pakuche hamjasameheana  Usiku kama mumeo kakukera usilale mpaka pakuche hamjasameheana, hata malaika baraka hawawezi shuka kwenu. Huyo ulionae amezaliwa kwao kaja na tabia zake na wewe umezaliwa kwenu una tabia zako. Sasa ukitaka kila kitu kiwe wewe unavyotaka atakuwa mwanao tena huyo sio mumeo samehaneni kwa kila mnalofanyiana. Usiweke vinyongo tena ukajua unamkomoa mana unavyonuna ndo mchepuko unavopata chance ya kuwasiliana na si kila mwanaume anamchepuko wengine washkaji tu sasa ukijitia umenuna kisa umemuona kachat, sijui umekuta meseji sijui nini utakonda uzikwe na presha na unavyotiwa kaburini tu huku wenzio wanamtext pole kazi ya Mungu mpenzi. Gangamala mtoto wa kike sio kidogo kununa kama unga wa ngano ulokosa amira. Tabasamu njia nzuri na sahihi ya kumuua mtu akikosea ukatabasamu ataanza kutafuta mchawi kumbe mchawi mwenyewe, ataanza kutoka kujua kwanini hujakasirika atatulia tu akiamini anakuvizia kumbe anajivizia. ... Read More
Kufanya Mapenzi Kwa Wiki Mara 3 Kunapunguza Kupata Shambulio La Moyo (Heart Attack) Kwa Asilimia 50%  Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima bila kupiga mambo yetu. Pia utafiti huo unasisitiza ya kwamba mwenye Kufanya Mapenzi killa siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100% ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI Kiafya Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75. Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani. Kuongeza mwendo wa damu Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji. Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili. Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol) Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini. Kupunguza maumivu Wakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa. Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini. Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara. Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate. Kupunguza mfadhaiko wa moyo Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini. Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi. Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen) Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi. Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo. Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana Wakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka. Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular). Hupunguza baridi na mafua Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa. Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa. NB: Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa HAYA KWA WANA NDOA FANYENI MAPENZI JAPO KWA WIK MARA 3 MUPATE FAIDA ZA TENDO LA MAPENZI NDANI YA NDOA. KWA WALE WASIOWA HAWAPATI HIZI FAIDA SHAURI YENU MSIE OWA OWENI MUPATE FAIDA ZA TENDO LA NDOA ... Read More
Mbinu za kufufua penzi lenu 1. Badilisha mavazi yako . Ikiwa bidhaa za kampuni unayoipenda zinabadilika baada ya miaka michache ili kupata umaruufu kwa wateja wake,pia wewe badilisha sura yako kwa kubadilisha mavazi na mfumo wa nywele ili umfurahishe mpenzi wako. Hata kama umekuwa ukipendeza kwa mavazi yako, mpenzi wako tayari amekuzoea hivyo. Nunua nguo mpya, chupi mpya, jaribu mtindo mwingine wa kutengeneza nywele ndiposa mpenzi wako akuone kama mgeni vile. 2. Hamia nyumba mpya Ukiwa umekuwa ukiishi katika mtaa mmoja kwa miaka mingi ,badilisha maeneo yako. Gura kwenda kwenye mtaa mpya, hili litakusaidia Kubadilisha mazingira na itaisisismua akili na kufurahia mukiwa pamoja. 3. Badilisha mfumo wa chumba chako cha kulala. Panga vitu upya,ondoa vitu za kitambo,nunua vitu vipya,paka rangi tofauti tofauti kwenye ukuta wako. Chumba cha kulalia kinapaswa kuwa cha kuvutia mno, badilisha mipangilio ya chumba chako mukiwa pamoja na mpenzi wako ndivyo nyiyi wote mumiliki mabadiliko hayo. 4. Omba msamaha nawe umsamehe. Ni vigumu kuwa na urafiki wakati masuala tata kati yenu hayajatatuliwa. Usipuuze maswala ambayo ni kawaida katika uhusianio,upendo wa dhati sio eti kwa sababu hamgombani wewe na mpenzi wako Upendo wa dhati ni uwezo wa kusuluhisha matatizo kati yenu. Omba msamaha wakati umekosea nawe msamehe wakati umekosewa. 5. Endeni mjivinjari kwa tarehe Endeni likizo au tokeni nje pamoja. Mkiwa nyote kwenye kwenye mazingira mapya inaweleta nyote pamoja. 6.Kataeni hamu ya kutizama picha za kujamiana. Watu wengi wanaohusiano hudhani kuwa kuangalia picha hizo za kujamiana ni kitu kizuri ilhali ni jambo hatari sana. Jiulize mbona watu huangalia picha hizi? Kwa ajili ya kusisimua hali yao ya ngono?. Kutegemea picha hizi kusisimua fataki kati yenu inamyang'anya mpenzi wako mamlaka ya kukusisimua mwenyewe. Je inammanisha kuwa mpenzi wako hawezi kukusisimua? Kama ni hivyo picha hizi hazisaidi kutengeneza hali zinaharibu. Picha hizi zinafanya mapenzi yawe duni ilhali ni mmoja wapo wa kuwa na mapenzi. Rudisha mapenzi na uwacha picha hizo mbaya ndiposa mpenzi wako aweze kujisalamisha kwako na ni jukumu lenu kusisimuana hisia kali za mahaba ile umruhusu awe spesheli kwako nawe kwake. 7. Jisalimishe upya Kama fataki katika yenu yamekuwa yakididimia tatizo ni lenu. Je unampenda kama awali? Je unanipenda kweli? Ondoa hofu hizo kwa kumhakikishia penzi lenu. Hii ndiyo sababu wapenzi husherekea penzi lao. 8. Weka mtoto mbali na maswala yenu ya Huba. Ni vizuri kuwa na watoto na kuwa karibu nao lakini wakti mwengine ni vyema watoto kuwa mbali na wazazi ili waweze kuwa na mda wao wa kipekee . Tunza watoto kutokana na penzi lenu, penzi lenu likiingiiliwa kati basi uwezo wenu kama wazazi utaadhirika. 9. Epuka kuumiza mwenzako Punguza visa vya kumuudhi na kumumiza mwenzako. Roho iliyoumizwa ni vigumu kupenda. 10. Mbusu mpenzi wako zaidi. Mabusu huleta watu pamoja. Unavyo mbusu zaidi ndivyo munavyo chochea penzi. 11. Omba Mungu anajali kuhusu penzi lenu na ndoa yenu. Ombeni kwa pamoja kuhusu shida za penzi lenu. 12. Tenga wakati wa Faragha Tenga wakati mahsusi kwa mpenzi wako. Wanandoa wengi huwa na wakati mgumu sana kutenga muda maalum kuwa na wapenzi wao kutokana na majukumu ya maisha kama vile kazi safari watoto na kadhalika lakini Jitahidi uweke kando muda maalum ambao utakaa karibu naye msemezane Mkumbatiane mkumbushane haswa mlikotoka na mnakokwenda . Ni muhimu sana. 13. Usilete majukumu yako ya kikazi nyumbani. Ni vyema kufanya kazi ili kujipatia riziki yako na familia yako lakini kazi hiyo isalie kule afisini wala isiletwe nyumbani kamwe. Usije na kazi yako ndani ya chumba chenyu cha kulala au ufanye mpenzi wako ahisi kuwa unamnyanyasa kwa sababu licha ya kuwa ulimuuowa mpenzi wako lakini umeoleka kwa kazi yako. 14. Weka teknolijia mbali Teknolojia ni nzuri maanake inakupasha yanayojiri papo hapo . Pia inawakutanisha hata mkiwa mbalimbali ,lakini ukiwa na mpenzi wako mbona usiiweke hiyo simu ama Kompyuta mbali ? Mpenzi wako anataka kuongea nawe,kukubusu,kukumbatia kuwa karibu yako anataka kuisikia sauti yako lakini macho yako yanijishughulisha na kuongea kwa simu,mtandao wa kijamii ama unachapisha ujumbe . Je nayeye akianza kuienzi kompyuta yake kuwasabahi jamaa na marafiki kwenye mitandao ya kijamii kutakuwepo na ndoa ? Ukiwa nyumbani na mpenzi wako jiepushe na Teknolojia . 15. Chezeni pamoja Kucheza pamoja kunaimarisha mahaba. Haijalishi kama mpenzi wako anajua kupiga densi zaidi yako au la , Mkiwa pamoja weka mziki anaoupenda kisha mwite aje mpige naye rhumba,salsa Bongo flava, reggae ,hip hop hata Chakacha kama ni mwenyeji wa pwani ! Chezeni miili yenu ikigusana! 16 Kaeni msemezane Mkiwa kitandani na mpenzi wako mnazungumza ? Unamwambia nini kitandani ? Unazungumzia kuhusu madeni yako? Usidhubutu ,mwambie kuhusu mahitaji yenu ya kimahaba ,mwambie unampenda na kuwa haujui ungelikuwa wapi bila yeye . 17. Andikianeni barua za kimapenzi. Mwandikie barua za kimapenzi na uiache kwenye gazeti au kwenye tarakilishi ,kitu ambayo itamfanya afurahie,kutoka kwa mwandiko wako. 18. Puuza watu ambao watakuvuruga amani kati yenu Hao watu wanaokutongoza kupitia kwenye mitandao ya kijamii ima ni Facebook,WhatsApp wazuie wasikutumie ujumbe wa moja kwa moja. Ni mahasidi hao,wala hawakupendi Ng'ooooo!!!! Wao wangalikupenda kweli hawangejaribu kukuletea huzuni kwa kuvunja penzi/ndoa yenu. Kujihusisha nao inapunguza makali ya penzi lenu ukidanganyika kuwa unapendwa ilhali ni Wanafiki tu 19.Nunua marashi mapya Mnunulia mpenzi wako marashi yanayonukia vyema yatakayo fanya mpenzi wako afurahie kuwa nawe. 20.Jiachilie Kuwa na uwazi wa mawazo ukiwa na mpenzio Jaribu njia tofauti za kufanya mapenzi Zungumzeni kama ambao mnaigiza sinema za mahaba Mchezee shere Mtanie mpenzi wako ... Read More
Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke  Naomba kufahamishwa na wanawake jinsi ya kujisafisha kwenye papuchi(mwanaume atakaye shauri naomba awe doctor au mwenyewe experience ya kutosha kuhusu maumbile ya mwanamke) Mimi huwa nikienda kuoga natumia sabuni ya jamaa kusafisha juu kabisa ya papuchi yaani kwenye mapaja na pale juu kwenye nyw**le...then natumia maji mengi kujisuuza na kuingiza kidole ndani kidogo ya K kutoa uchafu either wa period kama niko P na sometimes nakuta kuna ule uchafu mweupe wanaita(utoko) but huo uchafu huwa ni mweupe kama barafu na pia haunuki kabisaa..... Sasa swali ni kwamba kuna watu wanadai hatupaswi kutoa huo uchafu eti ni bacteria wa kukinga K isipate madhra so hupaswi kuingiza kidole kabisa.... tuoshe juujuu tu...... Second wengine wanasema tusinawe na sabuni kabisaa(japo kama nilivyosema mimi sabuni napitisha kwa juu kabisa tena nikiwa nimesimama ili isiweze kuingia kwenye K coz siamin kama kujisafisha bila sabuni harufu ya mkojo, harufu ya P na jasho itaisha kwa kunawa na maji tu.....na situmii sabuni zenye chemical). Naomba wanake wenzangu mnipe experience zenu juu ya hili ... Read More
Jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa njia 10 muhimu  Mwanamke ni kiumbe anayependa kuonyeshwa mapenzi kila wakati. Kumtongoza mwanamke kunaweza kuwa kazi ngumu sana usipozingatia mambo kadhaa muhimu. Ukitaka kuweza kumtongoza mwanamke lazima ujue anachotaka yeye. Waweza kushangaa kwamba wanachotaka wanawake ni vitu vidogo ambavyo waweza timiza ili kuweza kumfanya akukubali hata kuzungumza na wewe. Waweza kumtongoza mwanamke ukizingatia mambo yafuatayo Msikilize mwanamke unayemtongoza Wanawake hupenda mtu ambaye anawasikiliza kwa kila jambo wanachosema. Ni muhimu unapopatana na mwanamke sharti uwe makini na anacho simulia. Kuwa mtu ambaye anauliza maswali na anaye taka kujua zaidi juu ya huyu mwanamke. Muulize kazi anayofanya, anakoishi, na mwonyeshe kwamba unamsikiliza kwa kuuliza swali unapotaka ufafanuzi. Mwanamke huskia ako huru kwa mwanamme ambaye anamsikiliza kwa maana hii huonyesha mwanamume anamdhamini huyo mwanamke. Kwa kumwonyesha kwamba wewe una nia ya kujua mahitaji yake, kwa matendo yako, si maneno yako, kutakusaidia kumwonyesha kwamba wewe ni mtu anayeweza kuwa naye maishani mwake. Kuweka kipaumbele mahitaji yake na kumsikiza kutakusaidia kwa kumtongoza mwanamke huyo. Mwanamke hupenda mtu mwenye kujiamini Unapomwongelesha mwanamke lazima uwe mtu mwenye kujiamini. Ujasiri na kujiamini ni kitengo kikubwa kinachofafanua mwanamume. Unapomwongelesha mwanamke lazimi uonyeshe ujasiri mbele yake. Kama Warren Farrell, Ph.D., anavyosema “Jambo linalomvutia mwanamke kwa mwanamume ni mwanamume mwenye ujasisiri”. Ujasiri utamvutia mwanamke kwa kujua mwanamume anazungumza na kujibeba kwa ujasiri. Mwanamke hupenda kuwa karibu na mwanamume anayevutia Kuvutia kwa mwanamume huja kwa njia kadhaa. Mwanamke hupenda mwanamume ambaye hachoshi kwa hadithi zake, ni mcheshi, anachangia kwa mazungumzo kati yao na anaye hakikisha kwamba mwanamke anajiskia huru kwa maongezi. Kama mwanamume, hakikisha unatoa mifano inayoendana na maongezi mliyo nayo. Hakikisha mnayoyaongelea yanachangiwa na nyinyi wawili. Mwanamume aliemcheshi na mwenye kumvutia mwanamke kwa anavyoendeleza mazungumzo ndie aliye na nafasi kubwa ya kumpata mwanamke anayetarajia ama aliye na hamu naye. Kumbuka kwamba usiwe ni wewe pekee unayeongea, mwachie pia mwanamke achangie pia. Ukizingatia haya, mwanamke hujiskia yuko huru nawe na anaweza ongelea chochote. Mwanamke hapendi mtu mwenye haraka Haraka hapa ina maana, kwa kutongoza mwanamke lazima uwe mtu mwenye subra sana. Kinachomfanya mtu awe na hamu ya kuwa na mwingine ni matarajio anayopata rohoni. Unapopatana na mwanamke kwa wakati wa kwanza, usimwonyeshe kwa umbele unachotaka, lakini taka kumsikiliza, mjue jina, anachofanya kazini, na mambo mengine kwanza. Kwa kufanya haya mwanamke ataona kwamba unahamu naye na kwamba atajiskia wa maana kwako. Jambo hili litakusaidia sana kwa kutongoza huyo mwanamke. Kitu cha muhimi ni kwanza upate kuwa marafiki na mwanamke yule ili uweze kupata nafasi nzuri ya kumtongoza. Ubinafsi wa kipekee Mwanamke hupenda vitu vya kipekee sio vitu vinavyoigwa kwingine. Usije ukafanya ama ukanena kama mwanamume mwingine ili kumshinda huyo binti. Kuwa na ubinafsi wako, fanya mambo yako kwa kipekee. Kuiga wengine hakutakusaidia kwani mwanamke atakuona kama mtu asiyejiamini. Mwanamke hupenda manamume ambaye ni tofauti na wanaume wengine ambao amewahi kutana nao hapo mwanzo. Ni vizuri kuwa na vitu ambavyo ni vya kipekee kwako. Kama sauti yako, vile wacheka vile wamtizama mwanamke yule, vile wavaa, vile umejipaka manukato mazuri. Upekee huu hukupa nafasi ya mbele kwa mpango wako wa kumtongoza mwanamke yule. Mavazi na usafi Mwanamke hupenda usafi sana. Ukitaka mwanamke aweze kuvutiwa nawe lazima uvae vizuri na uwe safi. Kuvaa vizuri, nguo zinazokufanya upendeze huwa njia moja ya kuvutia wanawake. Pia kuwa makini na usafi. Kuoga vizuri, kujipaka manukato yanayo vutia, kuweka nywele, nguo safi husaidia sana kwa kukupa ujasiri wa kumwendea mwanamke uliye na hamu naye. Sio lazima uvae mavazi ghali, lakini valia kwa kupendeza. Mwanamke hupenda mtu anayejiamini katika alichovalia. Muziki Kwa miaka mingi muziki umejulikana kuwa chombo cha kuonyesha mapenzi ama kama namna ya kumtongoza mwanamke. Mwanamke hupenda kuonyeshwa kwamba ni mtu wa thamani kwa mwanamume. Muziki waweza kukusaidia kuweka mazingira yenye utulivu na yenye riwaya ya mahaba. Kumbuka kumzingatia wakati unaweka muziki ule, jua mbeleni muziki anaopenda na fanya hima kwamba unamtumbuiza na aina hizo kwa kikamilifu. Ukifanya hivyo, mwanamke ataoona kwamba unathamini. Weka muziki wenye utulivu, wenye mahaba na wenye kumsifu mtu wa kike na uzuri wake kwa kumwonyesha mapenzi. Bidii ya kuwa makini kwa mwanamke na kumpa pongezi wakati wowote Mwanamke ni kiumbe anayependa kusifiwa na kupongezwa sana. Kwa mwanamume ni muhimu kwamba kwa kumtongoza mwanamke, kumbuka kila wakati kumpongeza kwa kuvaa kwake, nywele, viatu, anavyong’aa. Ni muhimu kumwonyesha kwamba umefurahia bidii yake ya kuvaa vyema na kuhakikisha anakaa vyema mnapokutana. Mwanamke hujiskia mwenye thamana sana kwa kujua kwamba kuna mwanamume amemwona anakaa sawa. Mwambie wapenda alivyosongwa, anavyotoa busu, anavyocheka, na kila kidogo anachofanya. Utashangaa kwamba yaweza onekana ni mambo madogo lakini huchangia katika kutongoza mwanamke. Mpikie chajio mwanamke unayemtongoza Kama mwanamume hakuna kitu cha muhimu kama kumpikia mwanamke uliye na macho kwake. Mwanamume ajuaye kupika huwa anawavutia wanawake sana. Unaweza kumwalika mwanamke kwako ka chajio. Fanya hima ukajua chakula anachopenda binti unaye mtarajia, ukahakikisha umepika chakula kitamu na kinachovutia kwa kuangalia na harufu tamu. Mwandalie mezani pamoja na kinyuaji. Kuwa umehakikisha kuna mazingira yenye utulivu na pia weka mziki wenye mahaba. Mwanamke hujihisi mwenye thamani sana. Hapa utakuwa umejiongezea pointi kadhaa kwa mpango wako wa kumtongoza binti yule. Zawadi Kila mwanamke hupenda kupata zawadi wakati wowote. Kama mwanamume itakusaidia pakubwa kwa mpango wako wa kumtogoza binti yeyote. Zawadi zaweza kuwa tofauti. Waweza mtumia maua ya waridi kazini, ukakumbuka kumtumia chokoleti wakati wa wapendanao, ukamtumania kahawa asubuhi akiingia kazini. Kwa kufanya vile, mwanamke hujiskia wa dhamana na anayependwa. Wanawake pia hupenda kupelekwa mahali pa zuri ambapo anaweza kujibinjari. Mpeleke densi, mpeleke mahali mkala chajio, mpeleke mbugani kwa wanyama ama kwa safari. Kufanya vile kutakupatia pointi nyingi kwa mtazamo wako wa kumtongoza mwanamke yule. Kama kawaida wanawake na wanaume huwa na hamu ya kujuana na kuishi maisha pamoja. Katika kumtongoza mwanamke lazima kwanza mwanamume afahamu nini mwanamke yule anachopenda. Pia inabidi mwanamume pia kumpa sikio binti yule wakati wowote wanapozungumza na kuuliza mwaswali asipoelewa kitu. Mpe wanamke pongezi wakati wowote mnapopatana, mpe pongezi kwa kusukwa vizuri, kupaka kucha vizuri, kuvaa nguo vizuri, tabasamu lake na anavyocheka. Mara kwa mara mpe zawadi za hapa na pale. La muhimu sana ni mwanamke huvutiwa na mwanamume anaye jiamini. Ukiwa mwanamume ambaye anajiamini, itamfanya mwanamke yule kujiskia huru kuwa karibu nawe na hio itakusaidia katika hali ya kumtongoza. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: