Home → ushauri
→ Matatizo ya matiti huwasumbua wanawake wengi na hata wanaume. Matatizo haya yapo ya aina nyingi, mfano uvimbe wa matiti, maumivu ya matiti au matiti kutoa maziwa au majimaji au damu.
Tatizo hili hutokea katika umri wote kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa hedhi.
Matatizo ya matiti katika umri mkubwa kuanzia miaka 35 mara nyingi huambatana na saratani ya matiti.
Jinsi tatizo linavyotokea
Uvimbe wa matiti upo wa aina mbili. Kwanza ni vivimbe vidogo katika matiti na pili ni uvimbe mmoja mkubwa.
Vivimbe vidogo au mkubwa vinaweza kuwa katika titi moja au yote mawili. Uvimbe huu unaweza kuwa na maumivu au usiwe na maumivu na huwa unazunguka kama utaupapasa, endapo uvimbe utakuwa mgumu na hautembei kuna uwezekano mkubwa wa uwepo wa saratani.
Maumivu ya matiti hutokana na uvimbe kuwa mkubwa, kuvimba mishipa ya damu (Fibrocystic Breast Disease) na maambukizi ya matiti. Maambukizi na matatizo ya mishipa ya damu huwatokea zaidi wanawake wanaonyonyesha ambapo matiti huvimba na huwa na maumivu makali.
Tatizo la matiti kutoa maziwa au maji maji huwatokea zaidi wanawake ambao wamekatisha kunyonyesha, mfano mtoto amefariki au mimba imeharibika.
Matiti yana maumbile tofauti kutokana na mtu na mtu, yanaweza kuwa makubwa au madogo, au makubwa wakati wa ujauzito au baada ya kujifungua.
Dalili za matatizo
Matatizo ya matiti huonyesha dalili tofauti tofauti kama tulivyoona hapo awali. Dalili hizi zinaweza kujitokeza kwa pamoja au mbili kwa pamoja au moja peke yake.
Mfano mtu anaweza kuwa na maumivu na uvimbe au uvimbe na matiti kutoa maziwa.
Pia unaweza kuwa na dalili mojawapo ya hizo nilizoelezea, mfano maziwa kutoka pekee.
Matatizo ya matiti huwa na uhusiano mkubwa na masuala ya uzazi, mfano mwanamke unaweza kuhisi matiti yanauma na yamejaa kipindi cha upevushaji mayai au unapokuwa mjamzito, pia endapo matiti yatakuwa yanatoa maziwa na huna mimba wala historia ya ujauzito, basi ni matatizo ya mfumo wa homoni na uwezekano wa kushika mimba hupotea au haupo.
Ni vema endapo una tatizo la matiti kutoa maziwa na unatafuta ujauzito hupati uwaone madaktari wa akina mama kwa uchunguzi wa kina.
Saratani ya matiti
Tatizo hili huanza taratibu kama kivimbe kwenye titi moja au yote mawili. Uvimbe huu huendelea kukua taratibu na huwa sehemu moja ya titi. Katika hatua za awali, uvimbe hutembea yaani ukibonyeza unasogea sehemu nyingine na hauna maumivu.
Baada ya kuendelea kukua, uvimbe huwa mgumu kama ubao na hutanuka zaidi na kusababisha ngozi ya juu ya uvimbe huo kuwa na matundu au kama ganda la chungwa, tezi huvimba kwapani na wakati mwingine chuchu huanza kutoa damu.
Uchunguzi
Matatizo ya matiti hufanyika katika vituo vya afya ambapo mgonjwa huchunguzwa kufuatana na jinsi tatizo linavyojitokeza.
Vipimo vya damu, Ultrasound, X-ray na vingine vitafanyika kadiri daktari atakavyoona inafaa.
Matibabu na ushauri
Tiba hutegemea na jinsi vipimo vinavyoonyesha. Mgonjwa atatibiwa kadiri daktari atakavyomchunguza.
Dawa za homoni na ufuatiliaji katika mfumo wa uzazi pia utafanyika. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba.
Afya Yetu NINI KINASABABISHA MATATIZO KATIKA MATITI...SOMA HAPA
Matatizo ya matiti huwasumbua wanawake wengi na hata wanaume. Matatizo haya yapo ya aina nyingi, mfano uvimbe wa matiti, maumivu ya matiti au matiti kutoa maziwa au majimaji au damu. Tatizo hili hutokea katika umri wote kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa hedhi. Matatizo ya matiti katika umri mkubwa kuanzia miaka 35 mara nyingi huambatana na saratani ya matiti. Jinsi tatizo linavyotokea Uvimbe wa matiti upo wa aina mbili. Kwanza ni vivimbe vidogo katika matiti na pili ni uvimbe mmoja mkubwa. Vivimbe vidogo au mkubwa vinaweza kuwa katika titi moja au yote mawili. Uvimbe huu unaweza kuwa na maumivu au usiwe na maumivu na huwa unazunguka kama utaupapasa, endapo uvimbe utakuwa mgumu na hautembei kuna uwezekano mkubwa wa uwepo wa saratani. Maumivu ya matiti hutokana na uvimbe kuwa mkubwa, kuvimba mishipa ya damu (Fibrocystic Breast Disease) na maambukizi ya matiti. Maambukizi na matatizo ya mishipa ya damu huwatokea zaidi wanawake wanaonyonyesha ambapo matiti huvimba na huwa na maumivu makali. Tatizo la matiti kutoa maziwa au maji maji huwatokea zaidi wanawake ambao wamekatisha kunyonyesha, mfano mtoto amefariki au mimba imeharibika. Matiti yana maumbile tofauti kutokana na mtu na mtu, yanaweza kuwa makubwa au madogo, au makubwa wakati wa ujauzito au baada ya kujifungua. Dalili za matatizo Matatizo ya matiti huonyesha dalili tofauti tofauti kama tulivyoona hapo awali. Dalili hizi zinaweza kujitokeza kwa pamoja au mbili kwa pamoja au moja peke yake. Mfano mtu anaweza kuwa na maumivu na uvimbe au uvimbe na matiti kutoa maziwa. Pia unaweza kuwa na dalili mojawapo ya hizo nilizoelezea, mfano maziwa kutoka pekee. Matatizo ya matiti huwa na uhusiano mkubwa na masuala ya uzazi, mfano mwanamke unaweza kuhisi matiti yanauma na yamejaa kipindi cha upevushaji mayai au unapokuwa mjamzito, pia endapo matiti yatakuwa yanatoa maziwa na huna mimba wala historia ya ujauzito, basi ni matatizo ya mfumo wa homoni na uwezekano wa kushika mimba hupotea au haupo. Ni vema endapo una tatizo la matiti kutoa maziwa na unatafuta ujauzito hupati uwaone madaktari wa akina mama kwa uchunguzi wa kina. Saratani ya matiti Tatizo hili huanza taratibu kama kivimbe kwenye titi moja au yote mawili. Uvimbe huu huendelea kukua taratibu na huwa sehemu moja ya titi. Katika hatua za awali, uvimbe hutembea yaani ukibonyeza unasogea sehemu nyingine na hauna maumivu. Baada ya kuendelea kukua, uvimbe huwa mgumu kama ubao na hutanuka zaidi na kusababisha ngozi ya juu ya uvimbe huo kuwa na matundu au kama ganda la chungwa, tezi huvimba kwapani na wakati mwingine chuchu huanza kutoa damu. Uchunguzi Matatizo ya matiti hufanyika katika vituo vya afya ambapo mgonjwa huchunguzwa kufuatana na jinsi tatizo linavyojitokeza. Vipimo vya damu, Ultrasound, X-ray na vingine vitafanyika kadiri daktari atakavyoona inafaa. Matibabu na ushauri Tiba hutegemea na jinsi vipimo vinavyoonyesha. Mgonjwa atatibiwa kadiri daktari atakavyomchunguza. Dawa za homoni na ufuatiliaji katika mfumo wa uzazi pia utafanyika. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba. Afya Yetu NINI KINASABABISHA MATATIZO KATIKA MATITI...SOMA HAPA
Artikel Terkait
Mimba kuharibika na Sababu zake  Tatizo la kuharibika kwa mimba limekuwa tatizo kubwa, na limekuwa likiwatesa wengi, kama we ni mongoni mwa watu hao nakusihi usome makala haya ili kuepukana na matatizo haya. Somo hili ni mahususi kwa sababu waawake wengi wamekuwa wakaiharibikiwa na mimba bila kujua sababu. Na zifuatazo ndizo sababu za kuharibika kwa mimba. 1.Mama anapokuwa na matatizo uvimbe (fibroid), huweza kuwa na madhara na kusababisha mimba kuharibika mara kwa mara. 2. Uzito mkubwa (unene) Nayo huweza kuchangia tatizo hilo kinachohitajika ni kuwa na uzito unastahili kulingana na mhusika mwenyewe. Pia inasadikika kuwa uwepo wa manyama uzembe tumboni ni chanzo pia kwa kuharibika kwa mimba kwani, mtoto hukaa kwa shinda. 3. Historia ya kuharibika mimba mara kwa mara Mama aliepata kukumbwa na hali hii ya kuharibika kwa mimba 'miscarriage' zaidi ya mara 2 anauwezo mkubwa wa kuharibika kwa mimba yake kila anaposhika. 4. Utoaji mimba Mwanamke anapotoa mimba mara kwa mara kizazi huweza kuchangia kizazi chake kushindwa kuhimili kubeba mimba zinazokuja mbeleni kwa miezi tisa, hivyo epuka kutoa mimba. 5. Matumizi ya Pombe,Sigara Wanawake wanaotumia vilevi hivyo nao huwa katika hatari ya k?kumbwa na tatizo hili, hivyo ni vyema kuepuka matumizi ya vitu hivyo. 6. Magonjwa sugu Mama anapokuwa anazongwa na magonjwa sugu kama kisukari , moyo nk huweza kuwa chanzo cha tatizo hili pia. ... Read More
ULISHAWAHI KUKUTANA NA MTU MWENYE UPENDO WA KWELI??? Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi ya kuongea kwao au kusema majina yao. Ni kwa sababu ya njia itakayo kufanya wewe ujisikie tofauti. hutaogopa kupenda na kupendwa. Siku moja utakutana na Upendo utakaoufurahia. Hutaweza kufikiria mara mbili. Hutaweza kuwa na wasiwasi kwamba anakupenda au hakupendi. ‘Utafahamu tu. Kwa mtu huyu hutaweza kuficha tabia yako. hutaficha madhaifu yako na usumbufu wako. hutakuwa na mawazo ya itakuwaje kama ata kupandia kichwani. hutakuwa na maswali ya kujua muhimu wake na hutakuwa na labda. Wakati ukikutana na mtu huyu hutaingiwa na woga. hutaweza kufikiri fikiri kitu chochote. hutaweza kufikiria upendo wake kwako. Na wakati anaposema hawezi kwenda mahali , utafahamu kuwa ni kweli. Wakati huo hutasikia kukosa kitu ndani ya moyo wako, hutasikia upweke, hutaweza kusikia chochote kinyume na upendo uliopo. Ipo siku , mtu fulani atabadilisha maisha yako. kwa sababu atakuonyesha upendo wa kweli ni upi na maana ya upendo ni nini, unaonekanaje. Atakuonyesha kuwa upendo hauna mwisho. na hutamkimbia , na hutaweza kutaka faida zaidi. hutapigwa na wala kupata maumivu yasio na msingi. Ipo siku Hutaogopa kupata maumivu. Hutaogopa kuacha tena. kwa kupoteza kipande cha moyo wako na roho yako. hutaogopa tena kutoa na kutoa upendo wako . Siku moja utapumua kwa urahisi kwa kufahamu kuwa huyo mtu hataondoka . Utapumua vizuri kwa kujua kwamba upendo huo utadumu. Huyo mtu hatakutelekeza na wala hataweza kukukimbia. Utafahamu toka moyoni mwako kwamba upendo huo hautakuumiza. Utaweza kuishi, kucheka, kulia na kupumua kwa urahisi ukiwa pembeni ya mtu huyo. Utajifahamu na kujiona vizuri. Utaweza kumuonyesha makovu, na vidonda ulivyonavyo na kwa kuwa vimepona. Utaweza kumuonyesha mtu huyo moyo wako wote kwa kujua kuwa hawezi kukuacha. Ipo siku utajikuta unaamka mikononi mwake, ukiwa karibu yake kwa upendo , katika maisha yako. hutakuwa na wasiwasi . hutaogopa. hutasikia uzito wa kupumua tena. Utahisi upendo ndani yako. mwisho utagundua Upendo halisi. Washirikishe wengi. ... Read More
UMESOMA HADITHI NYINGI ZA MAPENZI, LAKINI HII ITAKUSISIMUA KULIKO ZOTE, UTATUMIA DAKIKA 2 KUSOMA LAKINI...  1st year nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.I wanted to tell her,i want her to know that i don't want us to be just friends,i love her but i'm just to shy,and i don't know why 2nd year Simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn't want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu.Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida,hivyo akaamua kwenda kulala,before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu,i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. 3rd year Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku" kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "bestfriends".hivyo tukaenda. katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa,nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake,she saw me looking to her she smiled at me,i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo,then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.I want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Graduation Day siku,wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo,akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile,i wanted her to be mine,but she didn't notice me like that,and i knew it. kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali,na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana" i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Miaka michache baadae Nikiwa kanisani Yule Msichana akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life,kaolewa na mwanaume mwingine,i wanted her to be mine,but she didn't see me like that,and i knew it. but before she drove away,alikuja kwangu na kusema "asante sana" and kissed me on the cheek.I want to tell her to know that i dont us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Kwenye Mazishi Miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu,Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo' Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka hivi I stare at him napenda awe wangu,but he doesn't notice me like that,and i know it,i want to tell him,i want him to know that i dont want us to be just friends,i love him but i'm just to shy,and i dont know why.I wish he would tell me he loved me! Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli,nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried!! Vunja ukimya ... Read More
Zoezi lenye kuufanya uume usimame kwa muda mrefu na kuchelewa kukojoa wakati wa kufanya mapenzi  Misuli inayohusika na nguvu za kiume na kuwahi kumaliza wakati wa tendo la kufanya mapenzi huitwa ”puboccugeous Muscle” maarufu inajulikana kama Pelvic Muscle. Misuli hii inapokuwa dhaifu,uwezo wa kusimamisha uume kwa muda mrefu na kuchelewa kukojoa wakati wa kufanya mapenzi huwa mdogo. Zoezi lenye uwezo wa kuongeza nguvu ya misuli ya uume ,linaloweza kuufanya uume kusimama kwa muda mrefu,bila kusinyaa wala kuchoka,hili ni zoezi kama mfano wa zoezi lolote la kunyanyua vyuma vizito ambalo husaidia misuli kuinuka ,kukua na kuongezeka ukubwa na nguvu. ZOEZI LA KWANZA Wataalam wa mambo ya mapenzi wamethibitisha zoezi la misuli ya uume liitwalo ”physiotherapy”ndiyo hurudisha uwezo wa nguvu za kiume za asili,zoezi hili halina madahara yoyote kiafya na linaweza kufanyika wakati wowote. JINSI YA KUFANYA ZOEZI HILI Ukiwa umekaa popote fanya zoezi hili asubuhi na jioni na hali ya kuwa hauna mkojo kabisa(yaani kojoa kwanza) Ukiwa umekaa anza kujibinya kama mtu aliyebanwa na mkojo halafu choo kipo mbali,bana ili mkojo usikutoke kwa kukaza misuli hiyo ya sehemu nyeti,fanya mara 20>25 asubuhi na jioni kila unavyobana hesabu 3 mpaka 5 kisha unaachia,unabana tena hivyo hivyo. Endelea na zoezi hilo kiasi cha wiki,baada ya wiki mbili ongeza ubanaji zaidi kutoka mara 20 mpaka 70. Endelea kufanya zoezi hili kwa wiki 6 na matokeo mazuri huanza kuonekana wiki ya 4 mpaka 6 FAIDA YA ZOEZI HILI 1.Husaidia mzunguko wa damu kuingia kwenye uume na kuufanya uume utanuke na kuwa mgumu zaidi 2. Misuli ya uume itakuwa imara na kuweza kuzuia shahawa na hivyo kukuwezesha kumridhisha mwenza wako kila mara 3. Litakuwezesha kujibana kila unapotaka kukojoa huwapo kwenye tendo la ndoa(usingoje mpaka utamu umezidi utashindwa)jibane kama unajizuia kukojoa mkojo wa kawaida lakini usikate kiuno wakati mwenzio anaendelea kutingisha nyonga. Ikiwezekana hata fikra za utamu huo zihamishe kwa sekunde kadhaa mpaka hali hiyo ya kutaka kukojoa ikiondoka zirudishe fikra ili kuendelea na mwenzio kwa pamoja katika game hilo la kiutu uzima. Kasi iendelee na utaendelea hivyo mpaka uhakikishe mwenzio amekojoa ,na anaweza kukojoa hata mara 3,yaani ukiridhika kuwa mwenzio ameridhika au ukiskia ile sauti “”inatoosha” ndyo sasa nawe ukojoe hapo mwenzio atapata raha zaidi. ZOEZI LA PILI Uinue juu na kuushusha uume wako,uchezeshe juu chini,chini juu mara 5 mpaka 10,fanya mara mbili tatu huku unapumzika kidogo,uwe unaminyaminya kidogo wakati huohuo unavuta hewa kwa pua na kuitoa kwa mdomo. fanya zoezi hili mara kwa mara japo mara 3 kwa wiki linaweza kukusaidia kuimarisha misuli yako ya uume. ZOEZI LA TATU Ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara huimarisha moyo,ubongo na misuli ya uume ,wanasayansi wamelithibitisha hili kuwa ufanyaji wa mara kwa mara husaidia uume kupata nguvu(zipo tofauti kati ya uwezo wa mwanamme mwenye mke mmoja na mwenye wake wengi) Mwenye wake wengi anaongeza nguvu zaidi, Mwenyez Mungu anataka wanaume wa kiislam waimarishe misuli hii kwa kutoa fursa ya kufanya tendo la ndoa mara kwa mara pale alipowaamrisha waoe kuanzia wake wawili mpaka wanne wakiweza. Kadri unavyoongeza mke ndivyo unavyojiongezea uwezo kwa aliyeoa wake wawili na zaidi,pima uwezo uliokuwa nao ulipokuwa na mke mmoja kisha zitazame nguvu hizo baada ya kuongeza mke wa pili watatu na wanne Ndiyo maana utakuta mtu mwenye wake wawili akifiwa na mmoja huongeza mke ili kuziba pengo hilo. ... Read More
🎀MVUMBIKO WA KITUMBUWA 🎀 Mwanamke mvumbiko bibi 👌🏼 Unapomaliza period ukiosha ushapanga leo ni siku ya shoo unatakiwa kuvumbika KITUMBUA chako na Vitu Vya asili ili kuiweka k yko ktk mvuto wa hali Ya juu👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Matayarisho ya mvumbiko👇kwanza unatakiwa Usafishe k vzr kisha uwe na kitambaa cheupe kisafi kwa ajili ya kuekea mvumbiko wako👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Unatakiwa uwe na mpachor,mpompia,asmin,maward,sio miti mizima Mizima jmn hapana,kisha unachukua kitambaa Chako unaweka mchanganyiko wako kisha unavaa km pedi,lkn kabla ujaweka mchanganyiko wako kile kitambaa ukifukize vzr Ndio unaweka na kuvaa, 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Lkn kama shoo usiku unaweka mcha na ili harufu ikolee vzr,ikifika usiku unatoa unajitayarisha kwa shoo mtoto wa kike na mnukio wako wa kitumbuwa uone bwana anavoila nyama yako rahaaaaaaa thannaaaaa👌🏼 Mwanamke mvumbiko. Mpo hapo? 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 IMETOKA MWANAMKE NDOWA ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: