Home → ushauri
→ Kama umewahi kuumizwa kwenye mapenzi uenda hizi ndiyo sababu SOMAHAPA
kuvunjika moyo ni moja ya jambo zito na ambalo mtu hupitia na inahitaji sana moyo kwasababu ya kupitia wakati mgumu,fikra,mawazo,maumivu,kujiona huna thamani,jamani mtu kaamua kukuacha wa nini kumganda,let him or her go kama alivotaka,duniani hayuko pekeyake, mbona wamejaa kama yy ,na unaweza kupata mzuri zaid yake ,na ufurahie sana na kumshukur mungu mana mpaka anakuacha manake kajionesha ngozi yake asili kua not your type and he/she does not deserve to be wid u.kwaiyo never give up maisha yenyew mafupi,wacha aende utapata bora kuliko yeye.
jaribu kukaa na familia,marafiki na watu wako wa karibu ,cheka, furahia existence yako,io ni moja ya kuanza kumsahau na kutoa mawazo taratibu.
kua makini kwa kutokua muwazi,namaanisha kua sio kisa umeumizwa uko nyuma ,ndo usiwaamini ke/me wote ,binadamu hatufanani,unahis umependa for the second time achilia toa la moyoni kuliko kukaa nalo,kua free kufanya lolote unaloona its good for you.
baada ya kuumizwa sio unaenda na ww kufanya vitu vya kipuuzi.fanya vitu ambavo vitakavokufanya utoe mawazo na kukupungizia stress ,unafanya ili uwe na furaha na sio depression ukaja kufa bure siku sio zako ndugu.
jikite katika mazoez mfano kukimbia au jiweke busy na kazi yoyote ili kukuweka busy na kupoteza attention ktk kichwa ya yule aliekuumiza,usijiumize kabisa,unajiona maumiv yanazid ,zidisha kujiweka busy na jiweke kama hujawah kuumizwa na jipe moyo be u as u, kua duniani hayuko pekeake.
ukijiweka karibu sana na watu,kua na furaha cheka nao,nao watafurahia uwepo wako,nakuhakikishia unaweza kujipatia apoapo mwngn hahaha,just be u.
badala ya kuangalia mabaya ya kuvunjika uhusiano ,wewe tizama yale mazuri tu uloyafanya,usiseme labda nlifanya baya flani ndo mana nkatendwa,mana skuizi unaweza kutendwa kweupee na huna kosa ulilolifanya,unajishangaa unakaushiwa tu,usijitie mnyororo wa roho buree ukasema hata nkitongoza naweza nsikae nae sana kama wa mwanzo ,no no no,hamna kitu kama iko,ndo mana tukaambiwa binadamu tunatofautiana,just move one,kua huru na nafsi yako,fanya roho yako kitu kinachojiskia ipate faraja for the second time.
toka mitoko ya hapa na pale,tafuta marafiki zako wa karibu,kua na ile tabia ya kutoka out kuspend kuenjoy ,pia itakusaidia kutoa mawazo.
unajua ni bora kua single kuliko kua katika uhusiano m,baya.unaweza pia kupost story yako ktk jukwaa husika ili kupata msaada zaid wa kimawazo ,it ll help too.
Wanaume wameumbiwa wanawake,na wanawake wameumbiwa wanaume,so hata ukiumizwa haifai kusema sitopenda tena,ohh sjui stokuja kutafuta mwenza tena,inamaana utaweza kukaa ivo pekeako mpk uzeeni mpk kufa,mara ohh stopenda tena bali ntawachezea tu na kuwaacha kama nlivoachwa mm,jamani jamani jamani,we chezeaaa mwisho wake uchezewe,chezea wee mwisho wake unajikuta umekondeana kwenda kupima ngoma unayo,utamlaumu aliekuacha au utajilaumu na nafsi yako.
Nmemaliza.love u ol.
Kama umewahi kuumizwa kwenye mapenzi uenda hizi ndiyo sababu SOMAHAPA kuvunjika moyo ni moja ya jambo zito na ambalo mtu hupitia na inahitaji sana moyo kwasababu ya kupitia wakati mgumu,fikra,mawazo,maumivu,kujiona huna thamani,jamani mtu kaamua kukuacha wa nini kumganda,let him or her go kama alivotaka,duniani hayuko pekeyake, mbona wamejaa kama yy ,na unaweza kupata mzuri zaid yake ,na ufurahie sana na kumshukur mungu mana mpaka anakuacha manake kajionesha ngozi yake asili kua not your type and he/she does not deserve to be wid u.kwaiyo never give up maisha yenyew mafupi,wacha aende utapata bora kuliko yeye. jaribu kukaa na familia,marafiki na watu wako wa karibu ,cheka, furahia existence yako,io ni moja ya kuanza kumsahau na kutoa mawazo taratibu. kua makini kwa kutokua muwazi,namaanisha kua sio kisa umeumizwa uko nyuma ,ndo usiwaamini ke/me wote ,binadamu hatufanani,unahis umependa for the second time achilia toa la moyoni kuliko kukaa nalo,kua free kufanya lolote unaloona its good for you. baada ya kuumizwa sio unaenda na ww kufanya vitu vya kipuuzi.fanya vitu ambavo vitakavokufanya utoe mawazo na kukupungizia stress ,unafanya ili uwe na furaha na sio depression ukaja kufa bure siku sio zako ndugu. jikite katika mazoez mfano kukimbia au jiweke busy na kazi yoyote ili kukuweka busy na kupoteza attention ktk kichwa ya yule aliekuumiza,usijiumize kabisa,unajiona maumiv yanazid ,zidisha kujiweka busy na jiweke kama hujawah kuumizwa na jipe moyo be u as u, kua duniani hayuko pekeake. ukijiweka karibu sana na watu,kua na furaha cheka nao,nao watafurahia uwepo wako,nakuhakikishia unaweza kujipatia apoapo mwngn hahaha,just be u. badala ya kuangalia mabaya ya kuvunjika uhusiano ,wewe tizama yale mazuri tu uloyafanya,usiseme labda nlifanya baya flani ndo mana nkatendwa,mana skuizi unaweza kutendwa kweupee na huna kosa ulilolifanya,unajishangaa unakaushiwa tu,usijitie mnyororo wa roho buree ukasema hata nkitongoza naweza nsikae nae sana kama wa mwanzo ,no no no,hamna kitu kama iko,ndo mana tukaambiwa binadamu tunatofautiana,just move one,kua huru na nafsi yako,fanya roho yako kitu kinachojiskia ipate faraja for the second time. toka mitoko ya hapa na pale,tafuta marafiki zako wa karibu,kua na ile tabia ya kutoka out kuspend kuenjoy ,pia itakusaidia kutoa mawazo. unajua ni bora kua single kuliko kua katika uhusiano m,baya.unaweza pia kupost story yako ktk jukwaa husika ili kupata msaada zaid wa kimawazo ,it ll help too. Wanaume wameumbiwa wanawake,na wanawake wameumbiwa wanaume,so hata ukiumizwa haifai kusema sitopenda tena,ohh sjui stokuja kutafuta mwenza tena,inamaana utaweza kukaa ivo pekeako mpk uzeeni mpk kufa,mara ohh stopenda tena bali ntawachezea tu na kuwaacha kama nlivoachwa mm,jamani jamani jamani,we chezeaaa mwisho wake uchezewe,chezea wee mwisho wake unajikuta umekondeana kwenda kupima ngoma unayo,utamlaumu aliekuacha au utajilaumu na nafsi yako. Nmemaliza.love u ol.
Artikel Terkait
MWANAUME ANAPOSEMA HATAKI KUKUOA: MWAMINI  Naandika hii makala kwa sababu nimekutana na maswali mengi ambayo yanaumiza wanawake wengi. Swali linakuwa hivi. Nimekuwa na huyu mwanaume kwa muda mrefu na tumekuwa tukishirikiana mambo mengi. Sijawahi kuwa na hisia kama nilizo nazo kwa mwanaume huyu kwa mtu yeyote. Na nilijua tutakuwa pamoja maisha yetu yote. Tatizo ni kwamba anasema hataki kunioa? Nitafanyaje ili aweze kujua kuwa nampenda na tunaendana vizuri pamoja na tunatakiwa tuoane? Wanaume wengi huwa wanaogopa kuweka ahadi kama hawana uhakika na upendo walio nao kwa mwanamke. Semeni ukweli wanaume. Je ameongelea kuhusu maisha ya baadae? Kuna mpango gani? Ni rahisi kubadilisha mwanaume? Unawezaje kumlazimisha akuoe? Kitu gani cha kufanya kama amesema hawezi kukuoa? Kama amesema hatakuoa, Mwamini . Elewa. Najua tayari jibu umepata kwenye maandiko yangu ya juu, lakini napenda kurudia, huwezi kumlazimisha mwanaume akuoe kama amesema hataki kukuoa. Hataweza. Sasa basi sisemi kama haiwezekani kweli. Kuna wanaume ambao husema hawatakuoa na hubadili mawazo yao na kuamua kuoa mwanamke ambaye alikuwa hapendi kumuoa. Lipo hilo. Mwanaume anayesema hatakuoa na wakati anaishi na wewe, mara nyingi anakupotezea muda na atakwenda kuoa mtu mwingine anayempenda kuliko wewe. Tuangalie kwa nini iko hivyo. Ina maana gani anapokuwa anaongea kuhusu kuchukia ndoa Aina ya mwanaume ambaye atakuambia hatakuoa ni yule ambaye anachukizwa na taasisi ya ndoa au sheria yake. Mwanaume huyo hafikirii kama wazo la kuoa ni zuri kwa kila mtu- anaona hata wanandoa ambao wako pamoja hawaonyeshi kama wana upendo wa kutosha, hawana upendo wa kweli ( anaweza kuwa haamini hata kama kuna upendo) Anafikiria hata kama ataona, mbona ndoa nyingi hazifiki mwisho, au mbona ugomvi ndani ya ndoa hauishi. Vyovyote vile , kwa sababu zozote zile, lakini mwanaume huyu anaonyesha kuchukia taasisi ya ndoa, na hataki kuingia huko, ndio maana hataki kuoa. Kama utasikia akisema hivyo mwamini. Haonyeshi kama atatafuta mwingine ambaye ataweza kubadili mawazo yake kuhusu kuoa.hata kama mnakaa pamoja na mnapendana sana , lakini hatafunga ndoa. Ina Maana Gani Anaposema Muda Wa kuoa Bado. Huyu ni aina nyingine tena.Anasema muda bado, anakuwa na sababu nyingi.Kama hali yake ya maisha haijakaa sawa, hajajenga nyumba, hana gari, na sababu kibao. Mwanaume huyu hana tatizo katika kuoa , Ila wakati bado , hataweza kuoa wakati unaotaka wewe, hata kwa sababu zipi hataweza. Unachotakiwa kufanya ni kumwamini anachokisema. Sababu zake hazina msingi. Kitu cha msingi ni Ukweli anaokuambia.Inaumiza lakini ndio ukweli.Inavunja moyo lakini ndio ukweli, Amini hilo na itaokoa muda wa kwako kusubiri.Na wakati huo huo utakuwa unafanya maamuzi ya kusubiri, kukubali jinsi ilivyo. Lakini kumbuka kuwa ndoa ni kitu cha muhimu sana. Wanaume wanaosema hawataoa huongea ukweli.Kama anakuambia hatakuoa Amini tu. Wanaume wanajua ni mwanamke wa aina gani atakayeishi nae maisha yake yote, uwe makini asije akawa anakutumia huku ana mipango yake .Yapo mambo wanaume huyapenda kwa mwanamke, vile vile yapo mambo ambayo wanawake wanapenda kwa mwanaume. Kama unaona unamlazimisha jambo fulani hataki , kuwa makini. ... Read More
NI JINSI GANI UNAMWOMBA MPENZIO MSAMAHA, JE NI KWA KUMPA ZAWADI? Msamaha una nafasi kubwa sana katika mapenzi. Hamna mtu aliyemkamilifu ndiyo maana neno samahani lipo. Ila neno hili linaweza kutumika sahihi au isiwe sahihi. Hivyo ni vizuri ukawa makini katika matumizi ya neno hili. Kuna baadhi ya watu hawawezi kabisa kutamka hilo neno na badala yake hutumia maneno yafuatayo (mbadala) kama ; yaishe,basi samahani,umeshinda,sorry(kama njia yakupunguza makali na wakati lugha iliyokua ikitumika ni kiswahili). Jinsi yakutumia samahani kiusahihi Unapotoa samahani kutoka katika kilindi cha moyo wako ina maana sana zaidi ya chochote. Samahani itumike tu pale unapotenda kosa moja kwa mara ya kwanza, hapo ni rahisi kusamehewa na kuaminiwa zaidi.Heshima, pendo na mapenzi yatakuwa kama awali na utaheshimika nakuonekana unajali. Hakikisha hauombi samahani zaidi ya mara moja kwa kosa moja ndo mana wanasema, “kosa sio kosa ila ukirudia kosa ndio kosa’’. Kama ulikua haufahamu ni vizuri ujifunze na ikiwezekana rudisha kumbukumbu zako katika matukio yanayohitaji msamaha kwenda kwa mpenzi wako na ulinganishe na hatua ulizozifanya. Kiri kosa ndiyo msamaha wako uweze kukubalika.Usiombe msamaha huku unasema lakinii…… ila……. Siamini kama haya yangetoa……… aina hizi za midokezo inapotumika katika kuomba msamaha ujue unataka kuonesha ulichokifanya sio kosa… Its simple, admit your mistake for the heartest forgiviness .Utapelekea upande wa pili (uliokosewa kukuamini tena na ni rahisi kusamehe na kusahau) tofauti na kuwa na maneno meeengi yakujitetea ilihali umetenda kosa. Sasa nije kwenye suala la zawadi, Jamani zawadi isiwe ndiyo silaha ya kudai msamaha. Zawadi inatumika wakati wowote kuimarisha mapenzi kwa kuonesha unamjali mwenzi wako nakumfanya ahisi faraja wakati wote na uwepo wake katika maisha yako. Epuka tabia ya kutoa sana zawadi wakati unamplease mpenzi wako.Kwa wakati mwingine utamjengea fikra za kosa pindi tu unapomletea zawadi. Hivyo asiifurahie ile zawadi na badala yake atakua na shauku kufahamu msamaha wa siku hiyo ni wa kitu gani au umetenda kosa gani tena. Wakati mwingine zawadi inapotumika katika kuomba msamaha itakua ni kama KUMBUKUMBU YA KOSA ulilomfanyia mwenzi wako, hivyo kumfanya akumbuke mara kwa mara kosa ulilolifanya. Kuwa makini sana katika njia za kuomba msamaha. Njia nzuri ya kuomba msamaha na ukubaliwe kwa upesi Kubali kosa pale ambapo umetenda,(note; Usikiri kosa kwa sababu tu unampenda na hutaki kumpoteza ,au hutaki malumbano. Ukifanya hivo ndo unaweza haribu uhusiano wako kabisa) Badili mazingira ya maongezi yaani tofauti na eneo la nyumbani/mlilozoea kukaa Omba msamaha wakati hasira zimepungua na ukiwa sio mlevi (hasa kwa wale wenye hasira au wanywaji wa pombe) Usilazimishe kusamehewa ,yaani mwenzako anapokua haridhii tumia njia nyingine mfano kumshirikisha mtu wenu wa karibu saana (kwa wote wawili) ila hapa uwe makini kwa sababu sio wote wanapenda siri zao za uhusiano kujulikana na wengine.Hapa itategemea na jinsi mlivyo Anayeomba msamaha ahakikishe sio mtu wa kukumbuka makosa ya mwenzie yaliyofanyika kipindi cha nyuma.Hapa na maanisha wale wenye tabia yakusamehe wenzao ila niwakukumbuka, endapo atakosewa kwa kitu kingine hata kwa bahati mbaya.Mfano akikosewa huwa ni mtu wakusema; ''hiyo ni kawaida yako'' that means anashikilia vitu moyoni.Itamuwia vigumu mwenzako kukubalia msamaha kwa urahisi, kutokana na tabia yakumshikilia bango kwa kumkumbusha yaliyopita endapo yeye atakukosea. Ni vizuri kujitahidi katika kufanya mambo mazuri kwenye uhusiano wako.Usitegemee zawadi kuwa ni kitu kizuri katika kuomba msamaha. Timiza malengo yako,jiheshimu,kuwa mwaminifu na kumthamini mwenzio na kumpenda kwa dhati. Bila kusahau kusikilizana na kufanya maamuzi kwa pamoja. ... Read More
Kwa Wanawake tu..Fahamu Mbinu Kuntu za Kummaliza Mumeo Ndani ya Sita kwa Sita Hadi Akapagawa   Weekend hii nimeona ni vyema tuzungumzie kidogo kuhusu masualaya mahusiano pia kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia katika maisha ya mwanadamu. Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita. Jambo la kwanza wanamke unapaswa kuwa jasari na mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu hiyo, Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko mkubwa. Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke)unaweza kutoa nguo zako kisha mkumbatie mmeo , huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi. Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja vyake na mapaja na nk. Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona akisisimka zaidi. Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi. Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi kwa haraka zaidi. Uwapo katikati ya tendo hakikisha unkuwa serious na zoezi hilo, huku ukijitahidi kuepuka kucheka kwa jambo lolote lile hata pale mwenzi wako anapotoa sauti za kufurahisha wakati wa katikati ya tendo. Pamoja na hayo, mwanamke uwapo katikati tendo hilo na mwenzi wako jitahii sana kujiachia maungo yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo hilo la ndoa huwa hakuna uheshimiwa hivyo ni vyema ukajiachia. Katika tendo la ndoa pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana wakati wa tendo la ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo. Baada ya kumaliza tendo hilo kumbuka kusema asante na mpe pole mwenzi wako kwa kazi pevu, kisha chukuwa kitambaa na mkaushe kijasho cha utamu wa penzi kwa taulo uliloandaa maalum. ... Read More
HIVI UNAIJUA MAANA YA MAPENZI VIZURI AMA.......???  Jina mapenzi limeweza kupewa maana nyingi kulingana na maongezi yanayozunguka jina hilo. Mapenzi yaweza kusemwa kwamba ni jina linaloonyesha hisia za mtu iwe mahaba, pendo kwa mtu ama upendo wa Mungu. Mara nyingi watu wengi hukosea kwa kuchambua mapenzi katika mahaba pekee. Watu wengi hudhania mapenzi huwa yanahusisha moyo wa binadamu, lakini hakika ni kwamba huhusisha ubongo wa mwanadamu. Kuna aina nyingi za mapenzi ambazo binadamu huonyesha katika maisha yao wanapoendelea na shughuli zao za kila siku. Kama binadamu sisi husahau aina nyingine za mapenzi kwani wengi wetu hawajui neno mapenzi lina maana nyingi. Kwa kufafanua mapenzi yapo na aina zifuatazo Mapenzi ya kimwili (Eros) Aina hii ya mapenzi ni ya kimahaba. Kwa mfano mwanamume kumtamani mwanamke ama vile vile mwanamke kumtamani mwanamume kwa hamu ya ngono. Hapa mapenzi huwa yanayoendelezwa na hisia za kumtaka yule mwingine kimapenzi. Hii ndio aina ambayo watu wengi duniani hudhani ndio maelezo kamili ya mapenzi ill hali hii ni moja yapo ya zingine nyingi. Aina hii ya mapenzi ni muhimu kwa watu wanaoanza kutongozana ama watu wanaofikiri kuwa katika uhusiano. Mapenzi ya Urafiki (Philia) Aina hii ni ambayo inavutiwa na mtu kukufanyia kitendo kizuri ama kukusaidia ama ni mtu mzuri kwa ujumla. Mapenzi hapa yaweza kuwa kwa ndugu ama rafiki yako mzuri. Mapenzi haya huwa sana ambapo mtu wanashiriki maadili sawa na mwenzake na kwamba hisia zao sinaambatana ama mmoja anapokea matendo sawia na yale anamwelekezea yule mwenzake. Mapenzi ya aina hii yanaenziwa sana duniani. Wataaluma huamini kwamba mapenzi ya urafiki husaidia kutoa tamaa ya mwili na kuzingatia kufahamiana zaidi kwa marafiki na dunia kwa jumla. Mapenzi ya Familia(Storge) Aina hii ya mapenzi ni inayoonekana na wazazi kwa watoto wao na pia kutoka kwa watoto kwa wazazi. Aina hii hutofautiana na ya urafiki kwani haizingatii kile mtu anachokutendea bali uhusiano wa kidamu na vile wazazi na watoto wao wanavyotegemeana. Sifa za binafsi hazizingatiwi hapa ili wazazi waonyeshe wanao hisia hizi. Uhusiano wao huchangia kwa mapenzi haya. Mapenzi haya huhusishwa na mtu kujiskia yuko huru na salama. Mapenzi ya Kujitolea(Agape) Aina hii ya mapenzi inazingatia asili, mapenzi kwa Mungu au miungu na mapenzi kwa usiowajua. Hii ni mapenzi ya kujitolea kwa ubinafsi ama mapenzi ya ubinadamu. Aina hii inahusishwa na kuto tarajia malipo au kitu chochote kwa matendo unayoyafanya. Yaani ni mapenzi yakujitolea mhanga. Aina hii ya mapenzi hutusaidia kuwapenda watu tusiowajua na kusaidiana kibinadamu kwa hali yoyote ile. Dunia yastahili kuwa na aina hii kwa wingi ili tukaweza kukaa kwa amani na furaha. Mapenzi kwa Mungu ama niungu pia huwa katika aina hii. Kumwabudu Mungu aliye binguni ni mfano mmoja wa kueleza aina hii. Mapenzi Changamfu (Ludus) Aina hii ya mapenzi ni mapenzi yasio na dhamira yoyote na ma mzaha tu. Mapenzi haya hayana masharti hata kidogo. Mfano wa aina hii ya mapenzi ni kama mtu anovyomtongoza mwingine, kupinga densi na kucheza. Aina hii ya mapenzi haina mambo mengi kwani huwa ni kawaida tu. Aina hii huwa sawa kwa watu wanaojitosheleza kimaisha. Aina hii ya mapenzi huwa gumu wakati mtu mmoja hufasiri kwamba mwingine ana hamu ya kimwili. Inafaa watu waweze kuelewa kama wanahamu zaidi na raha na kufurahi tu. Mapenzi Madhubuti(Pragma) Aina hii ni mapenzi ambayo yako na msingi wa wajibu wako kwa mwingine na wa kuzingatia maslahi ya mwingine ya siku za usoni. Mfano mwema ni kwa wapenzi ambao wako katika ndoa. Aina hii inahusishwa na uvumulivu na maelewano kati ya walio katika ndoa. Aina hii ya mapenzi hukuzwa kwa muda wa miaka kadha na ndio maana yaitwa madhubuti ya ka kudumu. Mvuto wa kimwili sana hauzingatiwi katika aina hii ya mapenzi bali kujengana kimawazo na kufanya maisha yao kuwa bora zaidi. Kinyume na aina zingine za mapenzi mapenzi madhubuti huzingatia pande zote mbili za wapenzi wawili. Lazima wewe wanapendana ama kuwa na mafikira na dhamira sawia. Mapenzi ya Kibinafsi (Philautia) Mapenzi haya ni ya mtu binafsi. Aina hii ya mapenzi huwa ina matokeo mawili, yaweza kuwa nzuri ama ya kudhuru. Upande mbaya wa aina hii huwa kwa ile hali ya ubinafi, kutafuta umaarufu na kutafuta utajiri na hufanya mtu kujiona ana dhamana kuliko mtu mwingine yeyote. Upande huu hufanya mtu akajiona yuko mkubwa kuliko mungu. Pia kuna upande mzuri wa aina hii ya mapenzi ambao inahusiana na mtu kujijua, kwa kufahamu uwezo wako na kujidhamini kwa uzuri wako na unachoweza kufanya. Kwa uhusiano wowote, huwezi kumpenda mwingine kama wewe mwenyewe hauna mapezi ya kibinafsi. Kwa kujipenda kwanza ndio tunaweza kupenda wengine na kuwatunza vizuri maishani. Aina hii ni muhimu sana kwa maisha ya kila mwanadamu. Mapenzi ya kibinafi humsaidia mtu kujua mazuri na mabaya na kupanga maisha yake kwa nji inayostahili. Mapenzi ya kibinafsi humwongezea mtu hali ya kujiamini na kujidhamini. Watu waliyo na mapenzi ya kibinafsi huweza kuelewana sana na watu wengi kwa vile kwa kujidhamini watu pia hukudhamini. Hii husaidia kwa vile mnaelewana na watu kazini, nyumbani na mahali pengine ambapo mnapatana. Watu waliyo na mapenzi ya kibinafsi hawahitaji kujigamba ili watu wawajue ama kujionyesha kwa watu. Uzuriwao hujionyesha kwa wanayofanya na wanavyoongea. Watu wanaojipenda kibinafsi huwa wako huru kwa mambo mapya na uwazi. Uchambuzi na ufahamu wa mapenzi ni nini husaidia kila mwanadamu kutambua aina gani anafaa kuwapa watu kwa kila wakati na aina gani ya mapenzi kutupilia mbali. Mwanadamu anaweza penda ila kwa hiari yake. Haina maana lazima mtu akupende ndio umpende nawe. Kila mwanadamu anauwezo wa kumpenda mwingine ama kitu anachotaka hata kama yeye mwenyewe hajapatiwa mapenzi hayo. Lazima kama mwanadamu kufanya mapenzi kama kitu cha kawaida kwa kila tunachofanya maishani. Iweke iwe sehemu ya maisha yako na utu wako. Pia ni muhimu kuwa na aina hizi zote za mapenzi kwa uhusiano kwa kila siku na watu wengine ilituweze kuishi maisha marefu. Kama binadamu, mapenzi ya muhimu sana ni yale ya kujitolea na yale ya kibinafsi. Unapokuwa na mapenzi yasiyo tarajia kitu chochote na mapenzi yako mwenyewe ndio utaweza kuwapa watu mapenzi hayo mengine. Tukiweza kushikilia aina zote zingine za mapenzi kwa mahusiano yetu basi tutakuwa na maisha marefu na yenye kufana. Mapenzi ni kitu muhimu maishani na ni sharti yaenziwe na kila mwanadamu. ... Read More
KWA WANAWAKE TU! NJIA 14 ZA KUJIWEKA ILI WANAUME WATAMANI KUKUTONGOZA  Je umekuwa ukijiuliza kwa nini haukuwi approached na wanawaume kama unavyotaka? Mtandao wa Sayari ya Mapenzi umeamua kukuandalia mbinu na maujanja ya kutumia ili uonekane mwanamke ambaye anaweza kufukuziwa na mwanaume kwa urahisi. Owk.... Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee. Na pia kando na itikadi nyingi za wanawake wanazozifikia, si lazima ufanye kitendo kikubwa ama cha inadi ili mwanaume aweze kukutongoza. Ukweli ni kuwa, kama unaielewa akili ya mwanaume na jinsi inavyofanya kazi kabla ya kuapproach mwanamke, unaweza kumfanya mwanaume yeyote kutaka kuongea na wewe dakika tano atakapokuja katika himaya yako. So mbinu zenyewe ndizo zipi? Zama nami... Njia za kujiweka ili mwanaume apate nafasi rahisi ya kukutongoza Kwanza jiweke nadhifu Hii ni muhimu katika yote kama wataka mwanaume akutambue. Mwanaume kitu cha kwanza anachokiangalia huwa ni mwonekano wa mwanamke. Mwanaume anapoingia katika chumba, inamchukua sekunde ndogo zana kuamua iwapo anataka kuapproach mwanamke mfani au la. Kama umevalia vizuri na unapendeza, itarahisisha kazi yako sana. Pili usionekane kama una shughli Usijishughlishe sana na simu yako, ama kitabu chako, ama kitu kingine. Unaweza kuwa umeboeka na unajaribu kujiweka buzy, lakini fursa iweza kuwa hivi, kufanya hivyo kunaweza kumfanya mwanaume anayetaka kukuapproach kuona ya kuwa uko buzy sana kiasi cha kuwa atashindwa kukufuata kwanu unaweza usiwe interested na maongezi yake. Tatu ni kuwa mko ligi moja? Hii inakinzana na hatua ya kwanza, lakini inaweza kuwa na tatizo iwapo unaoneka kama uko ligi tofauti na mwanaume. Kama utaoneka amakujiweka mtu wa hadhi ya juu wanawake watapenda kukuangalia lakini hawatakuaproach. Hii ni kwa sababu wanaume wengi hawapendi kudhalilishwa wakati wanapoamua kukuapproach....kiufupi ni kuwa ukiwa unavutia kupindukia wanaume watakuogopa. Lakini tena, kuna wale wanaume ambao wanajiamini kupindukia ambao wanajua thamani ya kukuapproach, nao ni wanaume alfa, wanaume diriki, na pia wale wanaume mapleya. Kama wataka kuteka atenshen ya mwanaume mzuri wa kawaida lakini anayeogopa kukuapproach, jaribu kutumia mbinu ya kuwa jamili na watu wanaokuzunguka. Huwa inasaidia. Ujanja wa kumfanya mwanaume aweze kukuakuaproach 1. Jinsi utakavyovalia Usivalie kana kwamba huna kitu cha kuficha. Utapata atenshen ya kila mtu lakini wanaume ambao wataamua kukuapproach ni wale ambao wanataka kulala nawe kwa usiku mmoja pekee. Enyewe kuvalia kwa kutamanisha kunasaidia kuteka atenshen ya mwanaume, lakini usivuke mipaka ya kawaida. Kumbuka kuwa si lazima uonyeshe viungo vyako vyote vya mwili ili uweze kuteka macho ya mwanaume. Kama unavutia inatosha kumfanya mwanaume akugundue. 2. Unavyomuangalia Mchungulie mara moja na nyingine, halafu mwangalie mara kwa mara. Hakikisha ya kuwa haujisahau ukamwangalia sana kupindukia ama atakuona kama wewe ni rahisi wa kuapproach na anaweza kukupuuza. 3. Mitindo ya kumwangalia Kuna mitindo miwili mikuu ya kumwangalia mwanaume ili kumuonyesha ya kuwa umevutiwa naye. Unaweza kutumia mbinu zote mbili kulingana na vile unataka. i) Kumwangalia polepole - wakati ambapo unaangalia pande zote, angalia upande wake na uyaangalie macho yake kwa sekunde kadhaa huku ukiweka tabasamu. Halafu pole pole zungusha kichwa chako uangalie kwingine. Mbinu hii ni ya kijasiri ya kumwonyesha mwanaume umevutiwa kwake. ii) Kumwangalia kwa uharaka - hii ni mbinu ya kumwangalia kwa uharaka. Anza kumuangalia, ukiona kama anataka kukuangalia, ghafla angalia kando halafu utoe tabasamu ukiangalia chini. Mbinu hii inampa confidence na kukuona wewe ukipendeza. 4.Mfanyie kazi iwe rahisi Inakuwa vigumu kwa mwanaume kumuapproach mwanamke sehemu ambapo yuko kundini na marafiki zake. Kama mawazo yako ni kufuatwa na mwanaume, hakikisha ya kuwa wakati mwingine unajipa time ukiwa pekeako ama zaidi uwe na rafiki yako wa kike mmoja. 5. Sehemu zifaazo Si kila sehemu ni nzuri kufanya maongezi na mtu. Kama unataka mwanaume akuapproach, chagua sehemu ambayo si kila mtu ataanza kujeuza kichwa chake kutaka kujua ni nini kinachoendelea kati yenu. Sehemu za mkawahawa, supermarket, ama bookshop ni sehemu nzuri zaidi za kukutana na mwanaume kupiga stori. 6. Mpatie nafasi aongee na wewe Hata kama uko katika group na marafiki zako halafu mwanaume akakugundua, mwonyeshe interest kwa kumuangalia kwa madakika. Ukiona kama yuko tayari kuongea na wewe, unaweza kujitenga na marafiki zako kwa muda. Aidha unaweza kuanza kuzunguka hio sehemu kiasi ama unaweza kujipeleka mahali ambapo itakuwa rahisi kwa mwanaume huyu kuzungumza na wewe. 7. Tabasamu Onekana jamili, na nafasi ya wewe kufuatwa na wanaume itaongezeka mara dufu. Kupendwa kwa mwonekano wa kwanza ni kama baraka kwa mwanamke yeyote yule ambaye anataka macho ya mwanaume yamwone. 8. Usiboe Kuwa mwanamke mwenye furaha na mwenye hisia chanya mahali popote pale utakapokua. Mwanamke mwenye shangwe huvutia mwanaume yeyote yule. Kama utaonyesha chembechembe za kuboeka, mwanaume anayetaka kukuapproach anaweza kuwa na maswali mengi ya kujiuliza kwani ataona ya kuwa maisha yako huboesha na yasiyo na mwanga. 9. Usiwe mjeuri Kama wewe ni mjeuri kwa yeyote, aidha weita ama mmoja wa rafiki yako, inaweza kutokea kuwa mwanaume ambaye anapania kukuapproach kusimamisha ari yake. Hakuna mtu anapenda mtu mjeuri, na hakuna mwanaume angependa kuapproach mwanamke ambaye anaweza kumpuuzia ama kumkataa. 10. Usitangamane na wanaume Hii ni muhimu kwa mwanamke yeyote aelewe. Usiwahi kamwe kutangamana na marafiki zako wa kiume kama unataka kukuwa approached na mwanaume. Haitafanya kazi kamwe. 11. Mwoneshe kuwa uko intrested Mwonyeshe kuwa uko interested kwake kwa kutaka kumjulia hali zaidi. Hata kama uko na marafiki zako mnaongea halafu amekaa karibu na wewe, mwangalie iwapo anakuangalia hata kama unawajibu rafiki zako. 12. Onyesha uanawake wako Mwangalie mara kwa mara, halafu ukishika macho yake, peta nywele zako nyuma ya sikio lako. Inaweza kuonekana kama jambo dogo kwako, lakini kwa mwanaume ni kama kugonga ndipo. 13. Mtege Pita mbele yake halafu mwangalie machoni mwake wakati unapompita. Mtese kihisia, ataipenda kuona atenshen yake. 14. Usilazimishe Utakuwa unajiaibisha iwapo unalazimisha mambo. Wanaume si mabubwi, hivyo ukiwaangalia mara moja na nyingine ama kuwatabamia, wanajua kuwa uko tayari kuapprochiwa. Ok hizi ni mbinu ambazo unafaa kuzitumia kama unataka mwanaume yeyote yule akunotice ama akufukuzie. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: