Home → ushauri
→ Kama na wewe ni waina hii huu mchambo unakuhusu.
HUU MCHAMBO UTAWAHUSU WENGI AMBAO HAWAJAOLEWA NA WACHACHE WALIOOLEWA WENYE TABIA ZA AINA HII
MWANAMKE UMEKUA NA MWANAUME KWANZIA MWAKA MMOJA MPAKA MIAKA KUMI UBOYFRIEND TUUUUU HATA BARUA HUJATOLEWA, WALA KUTAMBULISHWA RASMI HUJATAMBULISHWA HATA KUONYESHWA GETI LA NYUMBA YAO HUJAWAHI UMEKAA KABISA UNARIDHIKA ETI SIKU TU ATANIOA
HIVI HUSHTUKI WEWE, MWANAUME MIAKA YOTE HIYO HATA HAJAKUTAMKIA KUHUSU NDOA, AMA KAMA UNAPENDEZA KUA MKEWE AMA HATA KAMA UNACHEMBE TU KIDOGO CHA KUMFANYA ABADILISHE MAWAZO YAKE YA KUTOKA UBACHELA KUJA KWENYE KUOA
MARA GHAFLA ANAKUJA KUKWAMBIA NIMEAMUA KUOA KWASABABU WAZAZI WANGU WANATAKA NIOE KABILA LETU, AU WANATAKA NIOE FAMILIA FULANI, KWAHIYO NIACHE NIOE LAKINI MIMI NA WEWE TUTAENDELEA NA WEWE KWA UJINGA WAKO UNAKUBALI ETI CHA MUHIMU MMEJUANA SIKU NYINGI UMESHALIZOEA DYUDYU LAKE UNAWAZIMU NINI WEWE, MBONA YEYE HAJAZOEA KIFUU CHAKO AKAAMUA ATAFUTE DAFU TEKETEKE...MFYUUUU
ULIVYOKUA HUNA AIBU WALA ADABU UNAENDA KABISA KWENYE HARUSI YA HUYO BWANA YAKO ANAYEOA UMEKAA HAPO KWENYE KITI UNAMNYALI MTOTO WA WATU ALIYEOLEWA, HUNAA AIBU WEWE WAKATI MWANAUME ANAKUNYALI WEWE ULIVYOKUWA MJINGA ANAKUTUMIA NA KUKUCHAKAZA, WAKATI KAOA MTOTO MZURI WEWE GUUMEGUME LA KUTUMIKA UPO TU KILA MWANAUME AKITAKA KIFUU UNAKIPANUA TU JAMAA ANACHUKA NAZI ANAITUMIA UNAMPA NGUVU YA KUMFIKISHA MKEWE KILELENI KWAKO ANATANGULIZA KWA MKEWE ANAMALIZA...
UNAMSEMA MSICHANA WA WATU MKE WAKE MWENYEWE HATA SIO MZURI KAMA MIMI KAMA WANAUME WANAFWATA SURA NA WEWE MZURI MBONA MPAKA LEO UMEKUA MAHARAGE YA MBEA UMELIWA UMEACHWA
MARA BAADA YA KUOA MWANAUME SIKU ANAKUTAFUTA OOHH MPENZI LEO NIMEKUMISS SANA TUONANE, SHOGA TENA UKISIKIA TU YALE MANENO KIFUU CHOTE KINALOA, SAWA MPENZI HATA MIMI NILIKUMISS HUJIULIZI KWANINI KAOA NA BADO ANAKUTAFUTA, HUJIULIZI KABAKISHA NINI KWANGU LEO ANACHOKIONA CHA MAANA NA SIO CHA MKEWE, HUYOOO UNAENDA MPAKA GESTI AMA SEHEMU MLIPOPANGA MKUTANE, UKIFIKA PALE ANAKICHOKONOAAA WEWEEE KIFUU KINABAKI CHEUPE KIMEVIMBA KAMA KALIMATI WEWE MOYONI UNAWAZA LEO NIMEMPA HUYU NA MKOMOA MKEWE WAKATI MWENZIO MOYONI MWAKE ANAWAZA NGOJA NIPITIE SEHEMU NIKWANYWE SUPU YA PWEZA MAANA MKE WANGU AKITAKA LEO NIKISHINDWA KUMPA SIJUI ITAKUWAJE
YANI KWAKO ANAKUTAKA KWA TAMAA, MOYONI BADO ANAMTAKA MKEWE KWA HAMU NA KUMUWAZIA ASIPOWEZA KUMTIMIZIA HAMU YAKE SIJUI ITAKUWAJE..
OOHHH TUKUTANE TENA SIKU NYENGINE MPENZI BASI UKIONDOKA NAKWAMBIA UNAENDA KUJIFUNZA KILA AINA YA CHEJO UTAMPA CHEJO GANI WEWE MUME WA MTU ASILOMPA MKEWE HIVI UNAJUA KAMA KULALA NA MTU SIKU 365 NDANI YA KILA MWAKA WALIOPO PAMOJA SIO MCHEZO KAMA NI STYLE KASHAMPA ZOTE ZIMEISHA SASA HIVI BABA ANABUNI STYLE MPYA TU ZA KUMPA RAHA MKEWE KWAHIYO SHOGA WEWE UKIJA NA MPYA USIDHANI UNAMKOMOA MKEWE KAMA MUME KANOGEWA NAYO ATAENDA KUMFUNDISHA NA MKEWE, NA KWATAARIFA YAKO WAKE SIKU HIZI SIO KAMA KAZAMANI WANAJIFUNZA KILA KUKICHA KILA UKISIKIA KUNAFUNDWA AMA SEMINA ZA NDOA WAKE WAPO KIBAO NA PETE ZAO MKONONI KWAHIYO SHOGA UTAHANGAIKA SANAAAAAA.....
ULIVYOKUA HUNA HAYA WALA ADABU KILA KUKICHA OOHHH MIMI MUME WA MTU SIWEZI KUMUACHA, NA LAANA YA MKEWE NA MAOMBI YOTE ANAYOYAFANYA MKEWE KWA MWANAMKE ANAYELALA NA MUMEWE NJE YA NDOA UJUWE HAZIWEZI KUKUACHA KILA SIKU UTAKUA NA MIKOSI, HUTAKAA NA FURAHA KILA SIKU WEWE UTAKUWA WA OVYOOVYO TU, UTADHARAULIKA NA WATU WA KARIBU NA WANAOKUSIKIA..UNAMJUA FATUMA NDIO SI YULE MLA WAUME ZA WATU YANI WAUME ZA WATU NDIO WANAMUWEKA MJINI, SHOGA KWAKO UNAJIONA SIFA NZURI WAKATI HAMNA SIFA MBAYA KAMA MWANAMKE ANAYESHINDWA KUWA NA MWANAUME WAKE AKAMLEA AKAWEKWA NDANI KWA HESHIMA NA KUTUNZWA...UTABAKI KUWA JALALA HIVYOHIVYO WAKUTUPIWA KILA TAKA NYEPESI, NGUMU ZOTE ZAKO SURA MPAKA INAKUFUBAAA UNAZEEKA KWA KUBEMBELEA VYA WATU..
MTOTO WA KIKE NYEGRYEEEE HAZIKUISHI KILA SIKU, UNACHEKACHEKA TU KILA SAA UKIONA WANAUME HUISHI KUSHOBOKA, UKITEKENYWA KIDOGO TU HATA KAMA UNATANIWA UNAJIPELEKA MPAKA GESTI, NYEGRYEEE ZITAKUISHAJE WEWE WAKATI MWANAUME WAKO HUNA HATA WA KUZUGIA UNAGANDANA NA WA WATU TU, WATAKUMALIZAJE NA UNAWINDA UNASUBIRI LEO NA MKEWE HAVIELEWEKI UKAPEWE JAPO CHA JUU JUU, AMA MKEWE KASAFIRI NDIO PONEPONEA YAKO UTAMBANA MWANAUME MPAKA SAA SABA USIKU..POLE SANA
MIMI NAKASIRIKA SANA KUONA WANAWAKE WANAOJIRAHISISHA KWA WAME ZA WATU YANI NAKASIRIKA, TENA WANANIJUA MARAFIKI ZANGU IKIFIKA HIZO ISHU HATA KAMA WEWE SHOGA YANGU USHOGA UNAISHIA HAPO SIPENDI KABISA UJINGA, KAMA WEWE UNAJIONA MZURI SANA SIUNGEMUDU WA KWAKO PEKE YAKO KWANINI UDANDIE GARI UMEKUA KONDA???
YANI KWA HIZI SIKU MUNGU ALIZONIPA HUMU DUNIANI, SHOGA UTAISOMA NAMBA YANGU JAPO KWA KUZIPAPASA NITAKUCHAMBAA NA TABIA ZAKO ZOTE, NITAKUA BEGA KWA BEGA KUIMARISHA NDOA ZOTE ZA WATU KAMA NYIE MNAOTAKA KUZIBOMAOA, HAZIBOMOKI NA HATA KAMA KWA TALAKA ATATOA MOJA YA KUPEANA NAFASI TATU KWA ANEYEPITA HUMU HAKUNA.. NA HATA KAMA ULIACHIKA KABLA YA KUNIJUA BIBI UTAPATA PENGINE UTADUMU, NA HATAKAMA HUJAPATA UTADUMU NA USINGLE MAMA WAKO, HUTAKUWA CHAMBO LA KUPITIWA KULIWA URODA OVYOOOO...
KAMA HILI LAKO LINYWE, KAMA LA SHOGA YAKO MPELEKEE HABARI ZAKE, KAMA LA WIFI YAKO HATA KWA SIMU FANYA KAMA UMEKOSEA NAMBA ZIMFIKIE, UKISHAKUNYWA LIKUSUKUTUE MWILI UKALIKOJOE CHOONI...NUNA LIA PASUKA HABARI NDIO HIYO, SEMA, CHAMBA, TUKANA, LIA, NYALI..UJUMBEE UKUFIKIE MAHALI ULIPO.
HAHAHAHA HALOOOO NGOJA NITEME MATE JUU MIYE CHINI YATAKAUKA UPATE KUYASIGIDA..
****END*****
Kama na wewe ni waina hii huu mchambo unakuhusu. HUU MCHAMBO UTAWAHUSU WENGI AMBAO HAWAJAOLEWA NA WACHACHE WALIOOLEWA WENYE TABIA ZA AINA HII MWANAMKE UMEKUA NA MWANAUME KWANZIA MWAKA MMOJA MPAKA MIAKA KUMI UBOYFRIEND TUUUUU HATA BARUA HUJATOLEWA, WALA KUTAMBULISHWA RASMI HUJATAMBULISHWA HATA KUONYESHWA GETI LA NYUMBA YAO HUJAWAHI UMEKAA KABISA UNARIDHIKA ETI SIKU TU ATANIOA HIVI HUSHTUKI WEWE, MWANAUME MIAKA YOTE HIYO HATA HAJAKUTAMKIA KUHUSU NDOA, AMA KAMA UNAPENDEZA KUA MKEWE AMA HATA KAMA UNACHEMBE TU KIDOGO CHA KUMFANYA ABADILISHE MAWAZO YAKE YA KUTOKA UBACHELA KUJA KWENYE KUOA MARA GHAFLA ANAKUJA KUKWAMBIA NIMEAMUA KUOA KWASABABU WAZAZI WANGU WANATAKA NIOE KABILA LETU, AU WANATAKA NIOE FAMILIA FULANI, KWAHIYO NIACHE NIOE LAKINI MIMI NA WEWE TUTAENDELEA NA WEWE KWA UJINGA WAKO UNAKUBALI ETI CHA MUHIMU MMEJUANA SIKU NYINGI UMESHALIZOEA DYUDYU LAKE UNAWAZIMU NINI WEWE, MBONA YEYE HAJAZOEA KIFUU CHAKO AKAAMUA ATAFUTE DAFU TEKETEKE...MFYUUUU ULIVYOKUA HUNA AIBU WALA ADABU UNAENDA KABISA KWENYE HARUSI YA HUYO BWANA YAKO ANAYEOA UMEKAA HAPO KWENYE KITI UNAMNYALI MTOTO WA WATU ALIYEOLEWA, HUNAA AIBU WEWE WAKATI MWANAUME ANAKUNYALI WEWE ULIVYOKUWA MJINGA ANAKUTUMIA NA KUKUCHAKAZA, WAKATI KAOA MTOTO MZURI WEWE GUUMEGUME LA KUTUMIKA UPO TU KILA MWANAUME AKITAKA KIFUU UNAKIPANUA TU JAMAA ANACHUKA NAZI ANAITUMIA UNAMPA NGUVU YA KUMFIKISHA MKEWE KILELENI KWAKO ANATANGULIZA KWA MKEWE ANAMALIZA... UNAMSEMA MSICHANA WA WATU MKE WAKE MWENYEWE HATA SIO MZURI KAMA MIMI KAMA WANAUME WANAFWATA SURA NA WEWE MZURI MBONA MPAKA LEO UMEKUA MAHARAGE YA MBEA UMELIWA UMEACHWA MARA BAADA YA KUOA MWANAUME SIKU ANAKUTAFUTA OOHH MPENZI LEO NIMEKUMISS SANA TUONANE, SHOGA TENA UKISIKIA TU YALE MANENO KIFUU CHOTE KINALOA, SAWA MPENZI HATA MIMI NILIKUMISS HUJIULIZI KWANINI KAOA NA BADO ANAKUTAFUTA, HUJIULIZI KABAKISHA NINI KWANGU LEO ANACHOKIONA CHA MAANA NA SIO CHA MKEWE, HUYOOO UNAENDA MPAKA GESTI AMA SEHEMU MLIPOPANGA MKUTANE, UKIFIKA PALE ANAKICHOKONOAAA WEWEEE KIFUU KINABAKI CHEUPE KIMEVIMBA KAMA KALIMATI WEWE MOYONI UNAWAZA LEO NIMEMPA HUYU NA MKOMOA MKEWE WAKATI MWENZIO MOYONI MWAKE ANAWAZA NGOJA NIPITIE SEHEMU NIKWANYWE SUPU YA PWEZA MAANA MKE WANGU AKITAKA LEO NIKISHINDWA KUMPA SIJUI ITAKUWAJE YANI KWAKO ANAKUTAKA KWA TAMAA, MOYONI BADO ANAMTAKA MKEWE KWA HAMU NA KUMUWAZIA ASIPOWEZA KUMTIMIZIA HAMU YAKE SIJUI ITAKUWAJE.. OOHHH TUKUTANE TENA SIKU NYENGINE MPENZI BASI UKIONDOKA NAKWAMBIA UNAENDA KUJIFUNZA KILA AINA YA CHEJO UTAMPA CHEJO GANI WEWE MUME WA MTU ASILOMPA MKEWE HIVI UNAJUA KAMA KULALA NA MTU SIKU 365 NDANI YA KILA MWAKA WALIOPO PAMOJA SIO MCHEZO KAMA NI STYLE KASHAMPA ZOTE ZIMEISHA SASA HIVI BABA ANABUNI STYLE MPYA TU ZA KUMPA RAHA MKEWE KWAHIYO SHOGA WEWE UKIJA NA MPYA USIDHANI UNAMKOMOA MKEWE KAMA MUME KANOGEWA NAYO ATAENDA KUMFUNDISHA NA MKEWE, NA KWATAARIFA YAKO WAKE SIKU HIZI SIO KAMA KAZAMANI WANAJIFUNZA KILA KUKICHA KILA UKISIKIA KUNAFUNDWA AMA SEMINA ZA NDOA WAKE WAPO KIBAO NA PETE ZAO MKONONI KWAHIYO SHOGA UTAHANGAIKA SANAAAAAA..... ULIVYOKUA HUNA HAYA WALA ADABU KILA KUKICHA OOHHH MIMI MUME WA MTU SIWEZI KUMUACHA, NA LAANA YA MKEWE NA MAOMBI YOTE ANAYOYAFANYA MKEWE KWA MWANAMKE ANAYELALA NA MUMEWE NJE YA NDOA UJUWE HAZIWEZI KUKUACHA KILA SIKU UTAKUA NA MIKOSI, HUTAKAA NA FURAHA KILA SIKU WEWE UTAKUWA WA OVYOOVYO TU, UTADHARAULIKA NA WATU WA KARIBU NA WANAOKUSIKIA..UNAMJUA FATUMA NDIO SI YULE MLA WAUME ZA WATU YANI WAUME ZA WATU NDIO WANAMUWEKA MJINI, SHOGA KWAKO UNAJIONA SIFA NZURI WAKATI HAMNA SIFA MBAYA KAMA MWANAMKE ANAYESHINDWA KUWA NA MWANAUME WAKE AKAMLEA AKAWEKWA NDANI KWA HESHIMA NA KUTUNZWA...UTABAKI KUWA JALALA HIVYOHIVYO WAKUTUPIWA KILA TAKA NYEPESI, NGUMU ZOTE ZAKO SURA MPAKA INAKUFUBAAA UNAZEEKA KWA KUBEMBELEA VYA WATU.. MTOTO WA KIKE NYEGRYEEEE HAZIKUISHI KILA SIKU, UNACHEKACHEKA TU KILA SAA UKIONA WANAUME HUISHI KUSHOBOKA, UKITEKENYWA KIDOGO TU HATA KAMA UNATANIWA UNAJIPELEKA MPAKA GESTI, NYEGRYEEE ZITAKUISHAJE WEWE WAKATI MWANAUME WAKO HUNA HATA WA KUZUGIA UNAGANDANA NA WA WATU TU, WATAKUMALIZAJE NA UNAWINDA UNASUBIRI LEO NA MKEWE HAVIELEWEKI UKAPEWE JAPO CHA JUU JUU, AMA MKEWE KASAFIRI NDIO PONEPONEA YAKO UTAMBANA MWANAUME MPAKA SAA SABA USIKU..POLE SANA MIMI NAKASIRIKA SANA KUONA WANAWAKE WANAOJIRAHISISHA KWA WAME ZA WATU YANI NAKASIRIKA, TENA WANANIJUA MARAFIKI ZANGU IKIFIKA HIZO ISHU HATA KAMA WEWE SHOGA YANGU USHOGA UNAISHIA HAPO SIPENDI KABISA UJINGA, KAMA WEWE UNAJIONA MZURI SANA SIUNGEMUDU WA KWAKO PEKE YAKO KWANINI UDANDIE GARI UMEKUA KONDA??? YANI KWA HIZI SIKU MUNGU ALIZONIPA HUMU DUNIANI, SHOGA UTAISOMA NAMBA YANGU JAPO KWA KUZIPAPASA NITAKUCHAMBAA NA TABIA ZAKO ZOTE, NITAKUA BEGA KWA BEGA KUIMARISHA NDOA ZOTE ZA WATU KAMA NYIE MNAOTAKA KUZIBOMAOA, HAZIBOMOKI NA HATA KAMA KWA TALAKA ATATOA MOJA YA KUPEANA NAFASI TATU KWA ANEYEPITA HUMU HAKUNA.. NA HATA KAMA ULIACHIKA KABLA YA KUNIJUA BIBI UTAPATA PENGINE UTADUMU, NA HATAKAMA HUJAPATA UTADUMU NA USINGLE MAMA WAKO, HUTAKUWA CHAMBO LA KUPITIWA KULIWA URODA OVYOOOO... KAMA HILI LAKO LINYWE, KAMA LA SHOGA YAKO MPELEKEE HABARI ZAKE, KAMA LA WIFI YAKO HATA KWA SIMU FANYA KAMA UMEKOSEA NAMBA ZIMFIKIE, UKISHAKUNYWA LIKUSUKUTUE MWILI UKALIKOJOE CHOONI...NUNA LIA PASUKA HABARI NDIO HIYO, SEMA, CHAMBA, TUKANA, LIA, NYALI..UJUMBEE UKUFIKIE MAHALI ULIPO. HAHAHAHA HALOOOO NGOJA NITEME MATE JUU MIYE CHINI YATAKAUKA UPATE KUYASIGIDA.. ****END*****
Artikel Terkait
VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:  Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu.Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka,Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza . Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza. sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele. 1.Macho yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama. 2,Unanifanya niwe mwanaume bora , kwa hio nastahili mapenzi yako. 3.Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu. 4.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua. 5.Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha. 6.Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi. 7.Hapana.wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo. 8.Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti. 9.Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu. 10.Siamini , maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi. 11.kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife. 12.Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja. 13.Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia. 14.Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea. 15.Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia , hapo hupotea kabisaaa. 16.Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi. 17.Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda. 18.Napata furaha nikiwa na wewe. 19. Napenda kutumia muda na wewe. 20.Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa. 21.Natamani maishsa yangu yote nikuone ukiwa na furaha. 22.Usibadilike nakupenda jinsi ulivyo. 23.Nikiwa na wewe nafurahi kama mtoto. 24.Napenda nywele zako. 25.Napenda nikukumbatie ninapokuaga. 26.Natamani kukubusu kila sehemu ya mwili wako. 27.Naanza siku na wewe ndani ya mawazo yangu, na ninamaliza siku na wewe kwenye ndoto zangu. 28. ukiwa na mimi huwa natamani kusimamisha muda, maana muda unakwenda haraka. 29.Nikisikia sauti yako asubuhi , siku nzima ni mtu wa furaha. 30.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke. 31.Unaponiaga napata shida kukuruhusu uende. 32. Umenielewa vizuri, ni kama unasoma mawazo yangu. 33.Mungu alikupendelea kukuumba, akili na kila ulichonacho. 34.Najivunia kuwa na wewe na ninafurahia. 35.Napenda unavyosema unanipenda. 36.Mapenzi yetu ni kama mawimbi ya bahari, wakati mwingi hutulia, na wakati mwingine huvuma,lakini yanarudi palepale. 37.mapenzi yetu yawe kama ua rose ambalo halina miiba. 38.Najua kwa nini watu wanatutazama , ni kwa sababu wewe ni mzuri kuliko mwezi. 39.Muda utakuwa hauna thamani endapo sitatumia na wewe. 40.kama siku yangu ingeanza na busu lako, nisingehitaji kahawa. 41.Kama ningeambiwa nielezee rangi, basi ningeenda kwenye rangi za rainbow, kwa sababu wewe ni mzuri.ni wa muujiza. 42.Mimi bila wewe ni mbaya, lakini ni mzuri nikiwa na wewe. 43.Tukishikana mikono na mioyo yetu inashikana,na nafsi zetu zinapatana . 44.Siku ya kwanza tulipokutana, nilijua ipo siku tutakutana tena, na nafurahi imetokea. 45.Nafurahi tumekua pamoja, sina cha kukosa hata kidogo. 46.Moyo wangu unapumua kama ndege, kila unapotabasamu. 47.Kila ninapokuwa nimeshuka moyo, nikikusikia wewe moyo wangu unapata nguvu. 48.Shika mikono yangu nami nitashika moyo wako, tunza kwa maisha yote. 49.Maisha yote , milele yote,isio na mwisho, toka nimekutana na wewe maneno yote yana maana. 50.Siku naona kama mwaka, na siku inapita kama sekunde. 51.Natamani ningekuwa kama pweza mwenye mikono mingi ili nikukumbatie na mikono myote. 52.Siamini katika nafsi mpya, lakini baada ya kukutana na wewe nimeamini, natamani kama ningeweza kurudi nyuma na kutengeneza kitu. 53.Sitaweza kukutoa kwenye mawazo yangu , kwa maana nakuhitaji uwepo. 54.Kuna wakati nahisi upweke, kwa wakati huo, basi huamua kukupigia simu na kusikia sauti yako. 55.Ninapokutizama namuona mungu jinsi alivyokuumba na kukubariki. 56.Unanifanya niwe wa muhimu . 57.Ni siri ambayo inanifanya nikutazame zaidi kwa kila siku. 58.Kuongea na wewe kila siku unanifanya nikufahamu zaidi na zaidi. 59.Moyo wangu nakupa,nipe moyo wako ili tuifungie kwa pamoja, na tutupe ufunguo mbali. 60.Nakuhitaji muda wote, siku , mwaka na hata milele. ... Read More
Kufanya Mapenzi Kwa Wiki Mara 3 Kunapunguza Kupata Shambulio La Moyo (Heart Attack) Kwa Asilimia 50%  Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima bila kupiga mambo yetu. Pia utafiti huo unasisitiza ya kwamba mwenye Kufanya Mapenzi killa siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100% ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI Kiafya Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75. Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani. Kuongeza mwendo wa damu Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji. Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili. Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol) Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini. Kupunguza maumivu Wakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa. Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini. Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara. Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate. Kupunguza mfadhaiko wa moyo Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini. Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi. Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen) Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi. Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo. Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana Wakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka. Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular). Hupunguza baridi na mafua Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa. Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa. NB: Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa HAYA KWA WANA NDOA FANYENI MAPENZI JAPO KWA WIK MARA 3 MUPATE FAIDA ZA TENDO LA MAPENZI NDANI YA NDOA. KWA WALE WASIOWA HAWAPATI HIZI FAIDA SHAURI YENU MSIE OWA OWENI MUPATE FAIDA ZA TENDO LA NDOA ... Read More
NAOMBA MSIJE KWENYE SHEREHE YA MIAKA 10 YA NDOA YANGU, NJOONI KWENYE MSIBA WANGU. Baada ya kukaa kwenye ndoa takriban miaka 10 kasoro miezi miwili wakafanikiwa kupata watoto wawili wa kwanza angel na wa pili baraka. jamaa akakaa na mkewe wakapanga mipango mizito sana kuhusiana na tukio lingine zito baada ya tukio lao la harusi.yaani kusheherekea miaka 10 ya ndoa yao. Lakini akajisemea, ngoja nipime kiwango cha uaminifu alichonacho mke wangu kabla ya hiyo sherehe haiwezekani kwamba kuna usalama kabisa maana ktk miaka yote nimekuwa MTU wa kazini,safarini in short sina muda mwingi wa kukaa na familia yangu....na kama atavuka hili jaribu basi naweka nadhiri mbele za mbingu nitamtafutia zawadi nzuri ambayo hajawahi kuona na hatokuja kuisahau Akawaambia marafiki zake nataka nifanye party ya kusheherekea miaka kumi ya ndoa yangu nahitaji kampani yenu,walifurahi sana marafiki zake hususani wafanyakazi wenzake. Kamati zikaundwa mara moja,lakini baba angel aliendelea na upelelezi wa kumjaribu mkewe pasipo kujua huyo mkewe aitwaye Elizabeth. Mama angel aliendelea kualika marafiki zake,wazazi wake wakawa wanasubiria kwa hamu kubwa hilo tukio wakimbariki mwenyezi Mungu kwa kuendelea kustawisha ndoa ya mtoto wao.huku asijue mmewe ana nini ndani ya moyo wake. Baba angel akafanya usajili wa line mpya ya tigo asiyoijua mkewe. Akasajili kwa kubuni jina la #Asajile_mwasilu ambaye alikuwa anahisi anatembea na mkewe maana mara kadhaa alishazikuta msg za ajabu kwenye simu ya mkewe kama za mtu na mpenzi wake na alipoichunguza kwenye tigo pesa usajili ukaonyesha jina la Asajile mwasilu. akawa akichat na mkewe mara kwa Mara, kupitia hiyo namba mpya...... siku moja mkewe akaangalia hiyo namba kwenye usajili akaona jina la "Asajile mwasilu" waooooo ooh my dear,akafurahi basi mwenyewe! Akaamua kupiga simu,mumewe hakupokea akakata akamwambia nitext niko mahali hatutaweza kuelewana. Kumbuka Wakati huo mumewe yupo kazini........akamwambia tuendelee kuchat My nikupendae uko wapi mpenzi wangu nikufuate sasa hivi,maana nilivyofrahi kuona SMS yako mungu anajua!namba zako zote baba angel alifuta kwenye simu yangu,na wewe ndio hujanitafuta tena..... baba angel akajibu, we taratibu,si unajua umeolewa wewe unifuate wapi? mumeo alinipigiaga simu kwamba angenifanya kitu kibaya Sana iwapo ningeendelea kuwa na mawasiliano na wewe basi nikaogopa mwenyewe ndio maana nikajikaliaga kimya. Ooh pole my sweet, ndio walivyo wanaume wasiojitambua hawa,yaani yeye anadhani anaweza kunichunga eti! Anasahau kwamba uanaume sio kuchunga mke uanaume ni kumhudumia vzur mkeo kitandani huo ndio ulinzi tosha. Yaani kusema ule ukweli,sijawahi kupata mwanaume wa kunihudumia vile nitakavyo zaidi yako,uko wapii? Mama angel akaendelea kufunguka. Mh!baba angel akajikuta anaishiwa pozi vibaya mno huku mapigo ya moyo yanayoambatana na ghadhabu yakikitesa kifua chake ambacho hata pumzi ilikuwa ni shida kutoka hakuamini kwamba huyo anaechat naye ni mkewe.......akamjibu kwa kicheko cha uongo Hahaaaaaa ina maana unataka kusema jamaa hayuko vzur kitandani?? Na vipi angel hajambo??? Ndio maana nakuuliza uko wapi this time nikufate?maana umelandisha mtoto mpaka sio vizuri,wewe mwanaume una damu kali,wakati mwingine mpaka naona aibu kumwita mume wangu baba angel maana ukweli Mimi ndio naujua....ila yeye hajui kitu anajua ni wake. Baba angel akawazaa wee huku mipango ya sherehe akiona ikiyeyuka taratibu kadri alivyokuwa akiendelea kuchati na mkewe... Akakaa katibu dakika 10 bila kusema chochote akiwaza je ni kweli angel sio wangu???mh! Hawa wanawake vipii?? akatazama saa yake akaona ni saa 8 za mchana akajisemea pale ofsini "hivi mke wangu ana roho mbaya kiasi hiki Kumbe nalea mtoto asie wangu?? Akafungua kwenye gallery akatazama picha za mtoto wake huyo mzur akaendelea kujipa moyo......... Akamrudia mkewe akamwambia Wacha buana uko naye angel hapo?? Mama angel akajibu yes, jamaa akajibu tena "Mi mwenyewe nimekumiss sana na nimemmis sana mwanangu natamani nimwone tu lakini naangalia usawa wa mfuko hauko sawa sana...... Mkewe akajibu hebu ngoja nipe dakika sifuri......... Haraka haraka mama angel akampigia simu mumewe kwa namba yake ya siku zote. "Samahani baby unamkumbuka neema msimamizi wa send off yangu?? Jamaa kwa unyonge huku akijikaza kusikiliza uongo wa mkewe akajibu ndio namkumbuka amefanya nini? Nilikuwa nampa taarifa ya party yetu kumbe alipata ajar yuko nyumbani, sasa nimeona wacha nikamwangalie kabisa sasa hivi naomba hela kidogo..........jamaa akamtumia tsh. laki moja na nusu na msg juu akimhimiza kuwahi kurudi. Vipi uko na angel hapo?? Mama akajibu ndio nikupe uongee naye?? basi akampa simu wakaongea na baba yake...... Akachukua simu mama yake akamwambia mumewe " halafu naenda nae angel mara moja! Jamaa akajibu hamna shida. Upesi mama angel akamwandikia sms anaedhani ni Asajile mchepuko wake kumbe ni mumewe huyo huyo akamtext sasa enda mahali tafuta guest nzur nakutumia elfu 80 sasa hivi Jamaa akajibu waooo ndio maana sijawahi kuacha kukupenda Elizabeth wangu.....basi ntakwambia nikipata. Ila uje na angel Baada ya dakika kama 30 Elizabeth akawa amejiandaa na kumuandaa mwanaye huku akimuahidi house girl kana kwamba atarudi saa 2 usiku....... Jamaa mida kama ya saa 10 jioni akamtext wife njoo hapa...........kuna Lodge inaitwa shelisheli unaijua?wife akaitikia yes.....basi njoo ni chumba namba 6 ghorofa ya 6 ila usimwache mtoto pls. Muda wote huo baba angel alikuwa ameshika kitambaa mkononi maana haipiti sekunde asipojifuta machozi machoni alikuwa akilia tu kwa jinsi alivyokuwa akimpenda mkewe.akajifikiria kuwa ,kwanini Mungu alimficha hilo jambo lililo moyoni mwa mkewe??kwanini Mungu ameruhusu alee mtoto asiye wake?? Kufika hapo Ni kama mwendo wa dakika 20 kwa toyo,basi Mama angel akaona achukue hiyo bodaboda awahi na kweli akawa amewahi.......akaingia hiyo hotel akaenda sehemu ya lift akafika chumba gorofa ya 6 akaenda chumba namba 6 Taratibu akafungua mlango mgongoni akiwa na angel akakuta hakuna mtu kumbe jamaa kaingia kidogo uani Dakika mbili hivi jamaa akawa anatokea kutoka uani Ile kufungua mlango Mama angel hakuamini alichokikuta maana tayari kwenye ubongo wake alikuwa amemtengeneza Asajile.....lakini sio Asajile aliyemkuta........ aligongana USO kwa USO na mumewe wanaetarajia kufanya sherehe ya ndoa yao wiki kama mbili zijazo. Mama angel alipiga yowe yesuuuuu huku akitaka kukimbia kutoka nje........mumewe akamkamata mkono wake akamtuliza na kumwambia "usiogope uko kwenye mikono salama ya baba wa watoto wako kaa utulie! Ooh my god sijui nimefanya nini Mimi!?mkewe alijisemea huku akionyesha kuchanganyikiwa. Wakati huo angel yuko kwa baba yake akistaajabu kuhusu kinachoendelea......... Ilimchukua kama dakika 20 mpaka kutulia mama angel Mumewe akaongea maneno mafupi tu..... MKE WANGU, USIJE UKADHANI MIMI NIPO GIZANI KABISA NISIJUE HATA HATA KIDOGO ULICHONACHO MOYONI MWAKO. AKAONGEA KILUGHA KUMKWEPESHA MTOTO ASIELEWE......LAKINI AKIWA NA MAANA KWAMBA TANGU HUYU MTOTO AMEZALIWA,MOYONI MWANGU NILIJUA SIO MTOTO WANGU,HATA WIFI ZAKO, shemeji zako WAZAZI WANGU WALINIAMBIA HILI JAMBO,NA LISEMWALO LIPO.......mama angel akazidi kupigwa butwaa Akaendelea kumsimulia mkewe....... SIKU MOJA NILIOTA NDOTO MTOTO ANAUMWA,NA TULIPOENDA HOSPITALI ETI KATIKA VIPIMO IKAONYESHA WANAPIMA DNA NIKAKASIRIKA,MBONA MNAMPIMA DNA WAKATI HUYU NI MGONJWA ANAHITAJI VIPIMO VINGINE? YULE DR AKANIAMBIA NITULIE KWANI ANAJUA AFANYACHO NIIKAMKA,NILIPOMPIGIA SIMU MTUMISHI WA MUNGU MMOJA AKANIAMBIA MTOTO SI WANGU LAKINI NISICHUKUE UAMUZI WOWOTE MBAYA BADALA YAKE NIENDELEE KULEA MAANA MALIPO NI KWA MUNGU. Elizabeth, umenitonesha tena kidonda mke wangu, Asante umemleta angel kwa baba yake Asajile lakini hayupo,bado nabaki Mimi ndiye baba yake Mungu atanilipa kwa uaminifu wangu......nashkur kwa uongo wako,asante kwa hela uliyonitumia ya chumba, nataka nikwambie nimefanya kama ulivyonipa maelekezo....... Wakati huo mama angel analia tu hakuna mfano,anaona hata aibu kusema nisamehe,alichojibu ktk kulia kwake ni "Naona nafsi yangu inahukumiwa mno kuliko maneno unayoniambia.....najua mwisho wa ndoa yangu ni hapa hakuna jinsi,siwezi kujitetea mume wangu!naiona jehanamu hii hapa,ninauona ubaya wa kufuga dhambi sasa,hapa ndio naamini hakuna siri duniani,haiwezekani ukafanya kitu ukajua haitajulikana. Niko tayari uniambie chochote na sitapinga,nimeaibika mbeke ya mwanangu Mwanangu nimeaibika mbele ya mume wangu anipendaye na nimeaibika mbele za mbingu na dunia..........nitaficha wapi USO wangu mie?? Jamaa akamwambia mkewe najuta kukujaribu mke wangu najuta kuupima uaminifu wako,ila namshukuru Mungu amenipa kifua kikubwa cha kukabiliana na mambo MAZITO. Lakini wakati mwingine namshukuru Mungu tu maana kila jambo lina makusudi....... Wakatoka pale hotelini wakaingia ndani ya gari ambayo baba angel alikuja nayo wakarudi nyumbani. Usiku mzima mwanamke hakulala usingizi akidhani labda mumewe angemuua hata mtoto........asubuhi kulipokucha jamaa alipowahi kazini mwanamke akaanza kupitia message walizokuwa wanachat na mmewe akaona ni kama yupo uchi tu.......akaenda kununua vidonge duka la dawa baridi akameza akafa huku akiacha ujumbe usemao KUHUSU KUFA KWANGU ASILAUMIWE MTU YEYOTE ILA NILAUMIWE MIMI NAPENDA NIWEKE HADHARANI KILA KITU,KUHUSU MTOTO WANGU ANGEL SIO WA MUME WANGU,JAPO KWA KIPINDI CHOTE ALIKUWA ANAJUA NI WAKE.......BABA YAKE ANAITWA ASAJILE MWASILU......ALINIPA MIMBA NIKIWA NDANI YA NDOA YANGU....... NATUBU KWA WAZAZI WANGU NA WAZAZI WA MUME WANGU MNIOMBEE NIENDAKO NIPUNGUZIWE ADHABU YA KABURI,MWISHO NAWAOMBA MSIJE KWENYE SHEREHE YA MIAKA 10 YA NDOA YANGU,NJOONI MSIBANI. Mwisho sitaki kueleza nini kilitokea kwenye mazishi na msiba kwa ujumla wake Lakini jamaa anaendelea kulea mtoto asiye wake na mtoto wake. Kwenye mazishi alisikika akilia akisema najuta kwanini nilipima uaminifu na msimamo wa mke wangu,yamkini mpaka leo angekuwa hai............... BAADA YA MAZISHI MAKABURINI BABA ANGEL ALIMPELEKEA KARATASI KAKA YAKE AMBAYE NDIYO ANGETOA SHUKRANI KWA WATU NA MATANGAZO MACHACHE YA NINI KINGEENDELEA BAADA YA PALE,BASI AKASOMA ILE KARATASI KWAMBA "TUNAPENDA KUWATAARIFU KWAMBA ILE SHEREHE YA MIAKA 10 YA NDOA YA BABA ANGEL PAMOJA NA MKEWE AMBAYE NI MAREHEMU SASA ILE TAREHE IPO PALEPALE ATAFANYA NA WATOTO WAKE ITAAMBATANA NA KUMSHUKURU MUNGU KATIKA YOTE MAANA IMEANDIKWA "SHUKURUNI KWA KILA JAMBO"........... Siku ya sherehe yenyewe watu walifika kwa wingi sana hamna mfano na miongoni mwao ni baba angel original yaani Asajile....... Itaendelea next time Ila jueni kuwa shetani yuko kaz ... Read More
Je Wajua Kwanini Wanawake Hula Vyakula vya Ajabu Ajabu Wakiwa Wajawazito?  Tabia hii inayojulikana kwa Kiingereza kama “Pica” inatokana na mtu kutamani kula vitu vyenye virutubisho kidogo sana au visivyo na virutubisho vya aina yoyote kwa mwili. Tamaa hizi huwa zinawapata watoto au mama mjamzito kutafuna vitu ambavyo kimsingi si chakula – kama udongo au chaki. Jina hili la pica ni aina ya ndege ambaye anajulikana kwakuwa anakula kitu chochote, hana anachochagua. Ni kweli kwamba wajawazito wengi hupata hamu ya kula vitu ambavyo si vyakula walivyozoea kula mara kwa mara wakiwa si wajawazito; wengi wao ni rahisi kuwaelewa kwa sababu hukimbilia mchele, barafu na vinginevyo ambavyo si vitu vibaya kula. Kwa watoto, hii ni tabia iliyozoelekakwakuwa inawatokea watoto wengi ambao ni kati ya asilimia 25 na 30% ya watoto wote; lakini kwa wanawake wajawazito, inatakiwa iwe kwa kiwango cha chini zaidi. Nini kinasababisha tabia hii kwa wajawazito? Sababu ya baadhi ya wanawake kuwa na tabia hii wakati wa ujauzito haijulikani hasa. Kwa sasa hakuna sababu maalumu, lakini kwa mujibu wa Jarida la Chama cha Watu Wanaoishi na Ugonjwa wa Kisukari nchini Marekani, tabia hii yawezekana ikasababishwa na upungufu wa madini ya chuma mwilini. Baadhi wanadai kwamba hali hii inaashiria kwamba mwili unajaribu kupata vitamini na madini mengine yanayokosekana kwenye chakula cha kawaida ambacho mtu anakula. Muda wingine tabia hii yawezaikatokana na kuumwa viungo au akili kwa muda mrefu. Baadhi ya vitu vya ajabu ambavyo wajawazito hupenda kula Vitu vinavyopendwa zaidi na wajawazito wengi ni udongo, uchafu. Vitu vingine ni njiti za kiberiti zilizochomwa, mawe, mkaa, barafu, dawa ya meno, sabuni na mchanga. Mjamzito anapokula vitu hivi hujisikii raha kana kwamba amekula chakula chenye faida kubwa kwake na kwa mtoto aliye tumboni. Kuna hatari yoyote kwa mtoto aliye tumboni? Kula vitu ambavyo si vyakula kimsingi ni jambo linaloweza kusababisha madhara kwa mjamzito mwenyewe na mtoto aliye tumboni. Kula vitu hivi kunaweza kuharibu mfumo wa kawaida wa kunyonya virutubisho kutoka kwenye vyakula na kusababisha mwili wako upungukiwe na madini muhimu unayoyahitaji kwa afya yako na ya ukuaji wa mtoto vilevile. Tabia hii ni hatarishi sana kwakuwa vitu ambavyo si vyakula vinaweza kuwa na viambata ambavyo ni sumu au vyenye vijidudu vinavyoathiri mwili. Kudhibiti tabia hii Usihamaki unapojikuta unatamani vitu vya ajabu ajabu wakati wa ujauzito: inatokea sana na si jambo la kushangaza kwako pia. Jambo la muhimu ni kumjulisha muuguzi wako au wahudumu wa kliniki unayohudhuria kujua maendeleo yako ya mtoto tumboni ili akuelimishe na ahakikishe kwamba una uelewa kuhusu hatari zinazoambatana na tabia hiyo. Baadhi ya mbinu za kutumia kushinda tamaa hizo Mtaarifu mhudumu wako wa afya kwenye kliniki unayohudhuria na muangalie kumbukumbu za ukuaji wa mtoto tumboni pamoja na hali yako ya kiafyaFatilia kiwango chako cha madini ya chuma mwilini pamoja na kiwango cha vitamini na madini mengine unayotakiwa kulaOmba ushauri kuhusu kitu gani uwe unakula ili kubadili ili kuepuka vitu vya ajabu (waweza kumung’unya/ kutafuna vitu kama pipi au ‘big g’ isiyo na sukariMwambie hata rafiki yako mmoja kuhusu hamu hizi na umtake awe anakukataza unapokula vitu vya ajabu ... Read More
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA   HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha. Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha. Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia. Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili. Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe ‘out’, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah. Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone. MWELEZE UKWELI Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza ‘mizinga’ ili afaidi. JENGENI KUSAIDIANA Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake. Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi. ACHA UFUJALI Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo! Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu. BAKI NA HILI Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie. Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: