Home → ushauri
→ JINSI WANAWAKE WANAVYOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME ZAO

1: KAULI
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaumewakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu.
Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa nguvu za kiume kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!”
2 : UJUZI
Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.
Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.
Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.
3:USAFI
Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Sote tunafahamu umuhimu wa usafi wa mwili na kero za uchafu wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. Unadhifu wa mavazi na mwili ni muhimu sana katika mapenzi.
4:GUBU
Jambo lingine linaloweza kumsababishia mwanaume upungufu wa nguvu za kiume ni gubu au karaha za maneno ya uchokozi yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Uchokonozi wa mambo, ugomvi, usaliti na hali ya kutokuwa na staha ni mambo yanayosababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Mwanamke anapokuwa mwingi wa maneno ya kashfa, dharau na matusi huweza kumfanya mume amchukie na kutopenda kushiriki naye tendo. Uchunguzi unaonesha kwamba wanawake walioolewa wenye tabia hii, huwafanya waume zao wawe na msisimko wa kimapenzi kwa wanawake wa nje kuliko wake zao hao.
5:USALITI
Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapoona, kuhisi au kubaini kuwa anasalitiwa, huumia sana moyoni, maumivu ambayo hatimaye humfanya muhusika kuwa na mawazo mengi ambayo humuondolea hamu ya tendo.
JINSI WANAWAKE WANAVYOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME ZAO  1: KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaumewakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu. Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa nguvu za kiume kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!” 2 : UJUZI Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake. Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo. Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu. 3:USAFI Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Sote tunafahamu umuhimu wa usafi wa mwili na kero za uchafu wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. Unadhifu wa mavazi na mwili ni muhimu sana katika mapenzi. 4:GUBU Jambo lingine linaloweza kumsababishia mwanaume upungufu wa nguvu za kiume ni gubu au karaha za maneno ya uchokozi yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Uchokonozi wa mambo, ugomvi, usaliti na hali ya kutokuwa na staha ni mambo yanayosababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanamke anapokuwa mwingi wa maneno ya kashfa, dharau na matusi huweza kumfanya mume amchukie na kutopenda kushiriki naye tendo. Uchunguzi unaonesha kwamba wanawake walioolewa wenye tabia hii, huwafanya waume zao wawe na msisimko wa kimapenzi kwa wanawake wa nje kuliko wake zao hao. 5:USALITI Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapoona, kuhisi au kubaini kuwa anasalitiwa, huumia sana moyoni, maumivu ambayo hatimaye humfanya muhusika kuwa na mawazo mengi ambayo humuondolea hamu ya tendo.
Artikel Terkait
UMESOMA HADITHI NYINGI ZA MAPENZI, LAKINI HII ITAKUSISIMUA KULIKO ZOTE, UTATUMIA DAKIKA 2 KUSOMA LAKINI...  1st year nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.I wanted to tell her,i want her to know that i don't want us to be just friends,i love her but i'm just to shy,and i don't know why 2nd year Simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn't want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu.Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida,hivyo akaamua kwenda kulala,before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu,i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. 3rd year Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku" kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "bestfriends".hivyo tukaenda. katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa,nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake,she saw me looking to her she smiled at me,i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo,then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.I want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Graduation Day siku,wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo,akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile,i wanted her to be mine,but she didn't notice me like that,and i knew it. kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali,na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana" i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Miaka michache baadae Nikiwa kanisani Yule Msichana akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life,kaolewa na mwanaume mwingine,i wanted her to be mine,but she didn't see me like that,and i knew it. but before she drove away,alikuja kwangu na kusema "asante sana" and kissed me on the cheek.I want to tell her to know that i dont us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Kwenye Mazishi Miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu,Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo' Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka hivi I stare at him napenda awe wangu,but he doesn't notice me like that,and i know it,i want to tell him,i want him to know that i dont want us to be just friends,i love him but i'm just to shy,and i dont know why.I wish he would tell me he loved me! Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli,nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried!! Vunja ukimya ... Read More
Jinsi Ya Kufanya Mapenzi Na Mwanamke Bikra  Ubikra ni hali ya binadamu kuwa hajafanya mapenzi maishani mwake. Mwanamume au mwanamke ambaye hajawahi fanya ngono wote ni bikra. Imekuwa desturi kwamba wanawake ndio huwa mabikra pekee, ilhali pia wanaume. Umwagaji wa damu mara ya kwanza wa kushiriki ngono hutofaitiana kwa wanawake tofauti. Wanawake wengine huwa hawatoki damu kulingana na umbile la kizinda chao. ufanya mapenzi na mwanamke bikra kunaweza kuwa na matokeo mawili. Kuna wanawake ambao husikia uchungu kwa mara yao ya kwanza kushiriki ngono na kuna wale ambao huwa hawaiskii uchungu. Kupata uchungu ama kukosa kunalingana na mwanamume ambaye huyu mwanamke anatolewa ubikra naye. Mwanamume ambaye ni mtulivu na anazingatia ama anafanya mapenzi na huyu mwanamke kwa utaratibu huwa anamsaidia yule mwanamke kufurahia wakati wake wa kwanza katika ngono na anapotolewa ubikra. Mwanamke pia anajukumu upande wake la kufanya ili asipate maumivu ama yawe madogo wakati wa kutolewa ubikra. Kama unataka kumtoa mwanamke ubikra bila maumivu kuna mambo muhimu unafaa kuzingatia ili kufanya nyote muwe na wakati wenye raha na utamu; Mwanamke lazima ajiamini Hakikisha mwanamke yule bikra anajiamini na ashki yake. Wanawake wengi mabikra huwa hawana maelezo ama elimu ya ngono. Wengi wao huwa wana aibu sana wakati jambo la kujamiiana linapozungumziwa. Kwa sababu hii mwanamke anaweza kuwa na uoga kwa kufikiri vile mara ya kwanza itakuwa. Uoga ni jambo ambalo huchangia kwa mwanamke bikra kupata uchungu wakati wa kwanza. Uoga kumdhuru kisaikolojia na hufanya misuli yake ya uuke kukaza na husababisha uchungu mwingi wakati wa kujamiiana na mwanamume. Kama mwanamume, ni muhimu kumfanya mwanamke yule bikra kujiskia huru na kutulia ili kujamiiana kuwe kwenye raha na utamu. Kuamiiana Kuaminiana ni jambo pia linaloweza kuwasaidia wawili wanaojamiiana kupata raha na utamu katika tendo lile. Fanya hima kujua kama mwanamke yule bikra ako na wasiwasi wowote ama kuna kitu kinachomtatiza. Fanya kujua kama kuna jambo analotaka kufanya wakati mnapohusiana katika ngono. Kujali hisia na matarajio ya mwanamke yule utafanya akuamini na itamsaidia pia kutulia wakati unapomtoa ubikra na hatakuwa na uchungu. Fahamu kwamba nyote mwahitaji kupeana raha mnapojamiiana, kwa hivyo zingatia pia mwanamke anafaa kujifurahisha wakati wa ngono. Papasa mwanamke Mwili wa mwanamke uko na sehemu nyingi ambazo zinaweza kupandisha hamu yake ya ngono. Mwanamume anafaa kufahamu jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa kumpapasa. Jaribu kumpiga busu na kumpapasa shingoni, mdomoni, ili kuweza kumtuliza. Kujua sehemu ambayo unaweza kumpapasa mwanamke yule bikra utamsaidia mwanaume wakati wanapofanya mapenzi. Hamu ya mwanamke ya kufanya mapenzi hufanya uuke wake kutulia na mwanamke yule kuwa katika hali ya utulivu. Utulivu huu humsaidia kuwa tayari kwa kufanya mapenzi na pia kwa ubikra wako kutolewa. Pia utulivu huu utamsaidia kwamba hatapata kuskia uchungu wakati wa kujamiiana. Kusisimua uuke Wakati mnapofanya mapenzi na mwanamke bikra, jaribu kusisima uuke wake na mafuta nyororo. Kusisima uuke wake kutakusaidia wakati unapoingiza uume wako kwa uuke wake. Pia hii husaidia kupunguza uchungu wakati unapenya uuke wake. Unataka uzoefu wake wa kwanza uwe kitu ambacho atakumbuka, kwa hivyo kusisima uuke wake husaidia asiwe na uchungu unapompenya uuke wake. Kuwa mpole katika ngono Unapofanya mapenzi na mwanamke bikra, lazima uwe tayari kwenda pole pole na kuwacha kufanya mapenzi mwanamke anaposema hajiskii tena. Ni jambo la busara kutilia maanani kile mwanamke yule anachotaka kufanya. Akisema hayuko tayari, mpe wakati hadi atakapo sema ana hamu ya kufanya mapenzi. Usikasirike mwanamke anapokwambia uwache mnapoendelea kufanya mapenzi. Mwanamke hutaka kujua kwamba wampenda ili aweze kukubali kukupa ubikra wake. Kwa hivyo kutulia anaposema hajiskii kunaweza kuwa jambo linalo weza kumwonyesha kwamba wampenda. Kwa kufanya vile, utakuta mwanamke yule bikra atajitoa kwako kwa moyo wake wote na mnapofanya mapenzi nyote mtapata raha na utamu. Chukua usukani kama mwanamume Kwa vile wewe ndiye mwanamume wa kwanza ambaye unamuingiza kwa ngono kwa mara ya kwanza, unataka kufanya iwe kitu ambacho atakumbuka maishani. Kama mwanamume ni muhimu kuchukuwa usukani wakati mnataka kujamiiana. Mwanamke hupenda mwanamume anayejiamini kitandani. Hata unapochukuwa usukani zingatia anachotaka yeye na umwelekeze pole pole. Usije ukafa moyo kwa vile hana uzoefu lakini mfunze kile anachoweza kufanya ili ukipenya uuke wake aweze kusikia utamu na uchungu usiwe mwingi. Unataka kumfanya awe na nyege ya kufanya mapenzi na awe tayari kwa uume wako. Kinga katika ngono Kulala na mwanamke bikra hakumaanishi kwamba usahau kujikinga na kushika mimba ambao hakukutarajiwa na kueneza kwa magonjwa yanayotokana na kufanya mapenzi. Ni muhimu kama mwanaume kijikinga na kuchukuwa tahathari wakati wote wa kufanya mapenzi. Hakikisha unatumia mipira wakati wa kufanya mapenzi na madawa ya kukinga uzazi. Hii itawasaidia nyote wawili kupunguza majuto baada ya kufanya mapenzi. Kuwa mwepesi kwenye matarajio Kwa mwanamume, usije ukawa na tatumaini makubwa sana wakati wa kujamiiana na mwamake bikra kwa mara ya kwanza. Kitendo hicho kinaweza tokea kinyume na ulivyo tarajia. Unaweza fikiri utapata wakati rahisi kupandisha hamu yake na pia kupata wakati rahisi wakati wa kumpenya uuke wake. Unafaa kuweka matarajio yako wazi kwamba kitu chochote chaweza tokea. Kuweka wazi matarajio kutakusaidia kwa tukio lolote lile. Waweza pata kujifurahisha ama kupata raha unapofanya mapenzi na mwanamke yule bikra na pia unaweza kupata kuwa nyote hamkufurahia wakati ule. Kuwa tayari kwa uhusiano wa kimapenzi Mwanamume lazima awe tiyari kuwa katika mahusiano na yuel mwanamke bikra unayefanya mapenzi naye. Kila mtu hukumbuka wakati wake wa kwanza kufanya mapenzi, kwa hivyo ni muhimu kuifanya iwe ya dhamani. Kumbuka mnaenda kuwa katika uhusiano wa karibu, kuwa tayari kukuwa kwa uhuisano wa kimaisha kwani hisia zake zaweza kubadilika mnapofanya mapenzi. Kwa hivyo kama hutaki kuumiza mpenzi wako usifanye mapenzi naye kama huko tayari kuwa katika uhusiano naye kimaisha. Kufanya mapenzi ni kitu ambacho mwanamume na mwanamke hupenda. Cha muhimu kwanza ni kujikinga kutokana na magonjwa, na mimba ambazo hamkutarajia. Kwa kufanya mapenzi wawili hao huwa wameamua hupeanza uchi wao kwa mahaba. Kwa mwanamke bikra, yataka uwe mtu makini sana. Mwanamke bikra hana uzoefu wa funyanya ngono kwa hivyo unafaa kumpeleka pole pole na ukamfunza anachofaa kufanya wakati mnafanya mapenzi. Mwanamke bikra anafaa kufanywa ajiskie yuko huru na kuwachiwa kusema wanachotaka kufanya kwani ni wakati wao wa kwanza. Mwanamume lazima aweze kumweka mwanamke yule katika hanjam ya kufanya mapenzi naye, kwa kupapasa, kumpiga busu. Asiwe mtu mwenye kuharakisha kumpenya mwanamke bikra ila awe mtulivu. Mwanamke bikra akiona kwamba unazingatia masilahi yake atakuwa huru nawe na atakubali kukupa ubikra wake. Mwanamke aliyetulia na anayejua mwanamume anaujasiri na kujiamini kitandani atafanya tendo la kufanya mapenzi liwe la kufana sana kwa wote wawili. ... Read More
Mbinu za kufufua penzi lenu 1. Badilisha mavazi yako . Ikiwa bidhaa za kampuni unayoipenda zinabadilika baada ya miaka michache ili kupata umaruufu kwa wateja wake,pia wewe badilisha sura yako kwa kubadilisha mavazi na mfumo wa nywele ili umfurahishe mpenzi wako. Hata kama umekuwa ukipendeza kwa mavazi yako, mpenzi wako tayari amekuzoea hivyo. Nunua nguo mpya, chupi mpya, jaribu mtindo mwingine wa kutengeneza nywele ndiposa mpenzi wako akuone kama mgeni vile. 2. Hamia nyumba mpya Ukiwa umekuwa ukiishi katika mtaa mmoja kwa miaka mingi ,badilisha maeneo yako. Gura kwenda kwenye mtaa mpya, hili litakusaidia Kubadilisha mazingira na itaisisismua akili na kufurahia mukiwa pamoja. 3. Badilisha mfumo wa chumba chako cha kulala. Panga vitu upya,ondoa vitu za kitambo,nunua vitu vipya,paka rangi tofauti tofauti kwenye ukuta wako. Chumba cha kulalia kinapaswa kuwa cha kuvutia mno, badilisha mipangilio ya chumba chako mukiwa pamoja na mpenzi wako ndivyo nyiyi wote mumiliki mabadiliko hayo. 4. Omba msamaha nawe umsamehe. Ni vigumu kuwa na urafiki wakati masuala tata kati yenu hayajatatuliwa. Usipuuze maswala ambayo ni kawaida katika uhusianio,upendo wa dhati sio eti kwa sababu hamgombani wewe na mpenzi wako Upendo wa dhati ni uwezo wa kusuluhisha matatizo kati yenu. Omba msamaha wakati umekosea nawe msamehe wakati umekosewa. 5. Endeni mjivinjari kwa tarehe Endeni likizo au tokeni nje pamoja. Mkiwa nyote kwenye kwenye mazingira mapya inaweleta nyote pamoja. 6.Kataeni hamu ya kutizama picha za kujamiana. Watu wengi wanaohusiano hudhani kuwa kuangalia picha hizo za kujamiana ni kitu kizuri ilhali ni jambo hatari sana. Jiulize mbona watu huangalia picha hizi? Kwa ajili ya kusisimua hali yao ya ngono?. Kutegemea picha hizi kusisimua fataki kati yenu inamyang'anya mpenzi wako mamlaka ya kukusisimua mwenyewe. Je inammanisha kuwa mpenzi wako hawezi kukusisimua? Kama ni hivyo picha hizi hazisaidi kutengeneza hali zinaharibu. Picha hizi zinafanya mapenzi yawe duni ilhali ni mmoja wapo wa kuwa na mapenzi. Rudisha mapenzi na uwacha picha hizo mbaya ndiposa mpenzi wako aweze kujisalamisha kwako na ni jukumu lenu kusisimuana hisia kali za mahaba ile umruhusu awe spesheli kwako nawe kwake. 7. Jisalimishe upya Kama fataki katika yenu yamekuwa yakididimia tatizo ni lenu. Je unampenda kama awali? Je unanipenda kweli? Ondoa hofu hizo kwa kumhakikishia penzi lenu. Hii ndiyo sababu wapenzi husherekea penzi lao. 8. Weka mtoto mbali na maswala yenu ya Huba. Ni vizuri kuwa na watoto na kuwa karibu nao lakini wakti mwengine ni vyema watoto kuwa mbali na wazazi ili waweze kuwa na mda wao wa kipekee . Tunza watoto kutokana na penzi lenu, penzi lenu likiingiiliwa kati basi uwezo wenu kama wazazi utaadhirika. 9. Epuka kuumiza mwenzako Punguza visa vya kumuudhi na kumumiza mwenzako. Roho iliyoumizwa ni vigumu kupenda. 10. Mbusu mpenzi wako zaidi. Mabusu huleta watu pamoja. Unavyo mbusu zaidi ndivyo munavyo chochea penzi. 11. Omba Mungu anajali kuhusu penzi lenu na ndoa yenu. Ombeni kwa pamoja kuhusu shida za penzi lenu. 12. Tenga wakati wa Faragha Tenga wakati mahsusi kwa mpenzi wako. Wanandoa wengi huwa na wakati mgumu sana kutenga muda maalum kuwa na wapenzi wao kutokana na majukumu ya maisha kama vile kazi safari watoto na kadhalika lakini Jitahidi uweke kando muda maalum ambao utakaa karibu naye msemezane Mkumbatiane mkumbushane haswa mlikotoka na mnakokwenda . Ni muhimu sana. 13. Usilete majukumu yako ya kikazi nyumbani. Ni vyema kufanya kazi ili kujipatia riziki yako na familia yako lakini kazi hiyo isalie kule afisini wala isiletwe nyumbani kamwe. Usije na kazi yako ndani ya chumba chenyu cha kulala au ufanye mpenzi wako ahisi kuwa unamnyanyasa kwa sababu licha ya kuwa ulimuuowa mpenzi wako lakini umeoleka kwa kazi yako. 14. Weka teknolijia mbali Teknolojia ni nzuri maanake inakupasha yanayojiri papo hapo . Pia inawakutanisha hata mkiwa mbalimbali ,lakini ukiwa na mpenzi wako mbona usiiweke hiyo simu ama Kompyuta mbali ? Mpenzi wako anataka kuongea nawe,kukubusu,kukumbatia kuwa karibu yako anataka kuisikia sauti yako lakini macho yako yanijishughulisha na kuongea kwa simu,mtandao wa kijamii ama unachapisha ujumbe . Je nayeye akianza kuienzi kompyuta yake kuwasabahi jamaa na marafiki kwenye mitandao ya kijamii kutakuwepo na ndoa ? Ukiwa nyumbani na mpenzi wako jiepushe na Teknolojia . 15. Chezeni pamoja Kucheza pamoja kunaimarisha mahaba. Haijalishi kama mpenzi wako anajua kupiga densi zaidi yako au la , Mkiwa pamoja weka mziki anaoupenda kisha mwite aje mpige naye rhumba,salsa Bongo flava, reggae ,hip hop hata Chakacha kama ni mwenyeji wa pwani ! Chezeni miili yenu ikigusana! 16 Kaeni msemezane Mkiwa kitandani na mpenzi wako mnazungumza ? Unamwambia nini kitandani ? Unazungumzia kuhusu madeni yako? Usidhubutu ,mwambie kuhusu mahitaji yenu ya kimahaba ,mwambie unampenda na kuwa haujui ungelikuwa wapi bila yeye . 17. Andikianeni barua za kimapenzi. Mwandikie barua za kimapenzi na uiache kwenye gazeti au kwenye tarakilishi ,kitu ambayo itamfanya afurahie,kutoka kwa mwandiko wako. 18. Puuza watu ambao watakuvuruga amani kati yenu Hao watu wanaokutongoza kupitia kwenye mitandao ya kijamii ima ni Facebook,WhatsApp wazuie wasikutumie ujumbe wa moja kwa moja. Ni mahasidi hao,wala hawakupendi Ng'ooooo!!!! Wao wangalikupenda kweli hawangejaribu kukuletea huzuni kwa kuvunja penzi/ndoa yenu. Kujihusisha nao inapunguza makali ya penzi lenu ukidanganyika kuwa unapendwa ilhali ni Wanafiki tu 19.Nunua marashi mapya Mnunulia mpenzi wako marashi yanayonukia vyema yatakayo fanya mpenzi wako afurahie kuwa nawe. 20.Jiachilie Kuwa na uwazi wa mawazo ukiwa na mpenzio Jaribu njia tofauti za kufanya mapenzi Zungumzeni kama ambao mnaigiza sinema za mahaba Mchezee shere Mtanie mpenzi wako ... Read More
Wanawake: Mumeo akikukera usilale mpaka pakuche hamjasameheana  Usiku kama mumeo kakukera usilale mpaka pakuche hamjasameheana, hata malaika baraka hawawezi shuka kwenu. Huyo ulionae amezaliwa kwao kaja na tabia zake na wewe umezaliwa kwenu una tabia zako. Sasa ukitaka kila kitu kiwe wewe unavyotaka atakuwa mwanao tena huyo sio mumeo samehaneni kwa kila mnalofanyiana. Usiweke vinyongo tena ukajua unamkomoa mana unavyonuna ndo mchepuko unavopata chance ya kuwasiliana na si kila mwanaume anamchepuko wengine washkaji tu sasa ukijitia umenuna kisa umemuona kachat, sijui umekuta meseji sijui nini utakonda uzikwe na presha na unavyotiwa kaburini tu huku wenzio wanamtext pole kazi ya Mungu mpenzi. Gangamala mtoto wa kike sio kidogo kununa kama unga wa ngano ulokosa amira. Tabasamu njia nzuri na sahihi ya kumuua mtu akikosea ukatabasamu ataanza kutafuta mchawi kumbe mchawi mwenyewe, ataanza kutoka kujua kwanini hujakasirika atatulia tu akiamini anakuvizia kumbe anajivizia. ... Read More
KAMA NI MUOGA WA KUKUTANA NA MWANAMKE MPYA SOMA HAPA  1. Zifahamu sehemu nzuri za kukutana na wanawake Sehemu za kujivinjari kama vilabu na baa ni sehemu nzuri za kukutana na wanawake lakini kama unataka mahusiano marefu na mwanamke basi sehemu hizo si nzuri kwako. Iwapo unataka mchepuko wa haraka basi unaweza kuenda kutafuta katika hizo sehemu. Iwapo wewe ndio umeingia katika dunia ya kutongoza kwa sasa, basi ningekushauri utafute sehemu mbadala kwa sababu kutakufungua macho na ufahamu mpango mzima kuhusiana na maswala ya mahusiano na mapenzi. Sehemu nzuri za kukutana na wanawake ni: Supermarket Mkahawa Bustani Vituo vya mabasi Chuoni 2. Jaribu mitandao ya kutafuta wachumba, wapenzi Hii inaweza kuonekana kama utata kwako lakini kulingana na utafiti ni kuwa wanaume wengi hupata wachumba wao kupitia mitandao ya kutafuta wachumba. Uzuri wa mitandao hii ni kuwa haina stress ya kujisumbua kuzunguka, unatafuta mchumba ukiwa nyumbani kwako ukiwa umetulia. Pia mitandao hii inakupa fursa ya kupata mchumba ambaye mnagawa maslahi na tabia moja. Lakini chunga iwapo utatafuta mchumba kwa mtandao kwa sababu kuna wengi wamefanyiwa ufidhuli huko na kuporwa pesa zao. Unaweza kuangalia mitandao ya kutafuta wachumba bora zaidi Afrika ambayo tumekuchagulia. 3.Usishushe hadhi yako Iwapo unataka kutongoza mwanamke sehemu yeyote ile, usijaribu kushusha hadhi yako. Iwapo unaamini ya kuwa wewe ni mzuri zaidi kwa mwanamke basi pia yeye ataamini hivyo hivyo. Pia iwapo unaona hauna uwezo wa kumvutia mwanamke, elewa ya kuwa vivyo hivyo wanawake watakuona kama mwanaume usiyejiamini ambaye huna confidence ya kuwaaproach ama kuwatongoza. Wanawake hupenda wanaume ambao wana confidence na wanaopenda kuchukua misimamo ya haraka. 4. Kuwa na mipango Kama iwapo unataka kukutana na mwanamke mara ya kwanza ama wakati mwingine, hakikisha ya kuwa unaweka mpango unaoeleweka ili usipate tatizo mbeleni. Mfano unamtoa out mwanamke, hakikisha ya kuwa unaifahamu vyema sehemu unapanga kumtoa out ili usianze kupapatika kuhusu wapi na nini la kufanya wakati mmetoka sehemu hizo. Wanawake hupenda wanaume ambao huwa na mwongozo wa mambo ambayo hufanya. Sehemu nzuri za kukutana na mwanamke ni katika mkahawa, gym, na baa. Hakikisha ya kuwa sehemu unayoichagua inapendeza. 5. Uwe unapendeza kila wakati Iwapo unataka kuwa na mahusiano mazuri na wanawake basi unafaa uwe unapendeza kimuonekano. Hakikisha ya kuwa unauboresha mwonekano wako na pia umaintain kila wakati. Kuvalia nguo nzuri mara kwa mara ni muhimu lakini usivuke mipaka. Ni muhimu kufanya hivi kwa sababu huwezi kujua lini ama wapi unaweza ukakutana na mwanamke utakaye mzimia. 6. Fanya mazoezi ya ujamiifu wako Ujamiifu ni socialization na wengine. Iwapo unataka kukutana na wanawake wengi katika maisha yako, basi kigezo cha kujamiiana na wengine ni muhimu. Kutembea sehemu za vilabu, baa, sehemu ambazo kuna matukio flani ni muhimu ili kunoa kipawa chako cha kutangamana na wengine. Tumia fujo wakati ambapo unatangamana na wanawake ili uboreshe ubabe wako. Kama ni kuenda kwa kilabu, hakikisha ya kuwa unadensi na wanawake tofauti tofauti. Hii inakupa confidence kwa mwanamke. Pia hakikisha ya kuwa unaenda wakati ufaao sehemu kama hizi. Mfano nenda kwa klabu wakati watu wamekuwa wengi. Pia usijifiche wala kuogopa yeyote yule. 7. Usibabaikie kutemwa Kila mtu katika maisha yake ashapitia wakati flani ambapo amekataliwa na mtu flani, so kukataliwa ni jambo la kawaida na halifai kusumbua mtu akili. Kando na hivyo, kukataliwa hakumaanishi ya kuwa unafanya makosa. Wakati mwingine huwa ni kuwa wanawake wengine hawataki kuwa katika mahusiano, washachumbiwa ama sababu nyingine kama hizi. Kumalizia ni kuwa kuna mbinu tofauti tofauti na sehemu tofati za kutafuta mchumba hivyo woga la kutemwa halifai kuwa swala kuu. 8. Pata ujuzi kutoka kwa wanaume wengine Ukweli usemwe, hakuna mwanaume hapa duniani yuko sawa asilimia 100. Hivyo ni vizuri kupata ujuzi kwa kuwauliza wenzako ni vipi waliweza kutongoza ama kupata windo fulani. Ingawa ni vizuri kupata ushauri kutoka kwa marafiki zako, mimi naona ushauri wa mtu huwa tofauti na mwingine hivyo mara nyingi ushauri kutoka kwa mwanaume mwingine unaweza kukupotosha ama kuegemea upande mmoja. Hapa NESIMAPENZI tumekulekea post tofauti tofauti za kukufunza wewe na hatujaegemea upande wowote. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: