Home → ushauri
→ Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje. Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada. Siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la mamilioni ya wanawake wanaopenda Sana pesa kuliko kitu chochote. Jambo hili lilianza Kama mzaha lakini kwa sasa hakuna wakuuzima moto huu. Kupenda pesa sio vibaya Bali kuipenda Sana kiasi kwamba mtu yupo radhi auze utu wake na kuudharau kabisa uanamke wake. Kama hiyo haitoshi wanawake wengi wanaopenda pesa ndio huwa chanzo cha maangamizi katika familia. Zifuatazo ni sifa bainifu za wanawake wanaopenda Sana pesa;- 1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu nyingine kubwa wakati akiwa bado na simu mpya. Katika maisha ni bora uingie jehanam kuliko kukutana na mwanamke mpenda pesa kwani utateseka Sana kwa ajili yake na bado hata ona msaada wako. Sio rahisi kujenga familia bora na mwanamke mpenda pesa. 2. Wengi hutoka familia masikini. Wanawake wengi Kama sio wote ambao hupenda pesa kuliko utu wao hutoka familia kame Sana. Ukame wa kiuchumi mpaka kiakili. Wengi wao huweza kutoa hata rushwa ya ngono ili tuu wapate pesa wasijue miili yao inathamani zaidi ya zile karatasi. Hata humu jukwaani wapo wengi Sana na comments zao zinajulikana. Wengi huweka matamanio yao hapa jamvini matamanio waliyoyakosa. Mtu ni masikini unandoto za kuwa na mwanaume mwenye pesa nani alikuambia wenye pesa wanataka masikini. Umasikini wako usikufanye ujidharau au mtu akudharau. Ndio maana wanawake pamoja na mchango wenu katika dunia hii lakini bado mpaka wanyama hawawaheshimu. Lipo kundi dogo la wanawake wanaojitahidi kutetea thamani ya jinsia yao lakini wengi wao ni wakuonewa huruma tuu. 3. Wengi wao hawana elimu ya kutosha. Mwanamke aliesoma akaelimika hawezi hangaika na pesa ya mtu. Ndio maana wanawake wachache huhangaika kwajili ya kujitegemea na sio kumtegemea mwanaume. Wanawake wengi wenye elimu na vipato vizuri huwezi msikie akiongelea pesa Kama kigezo muhimu kwa mwanaume anayemuhitaji awe mume wake. Wengi wa wanawake humu jamvini ambao hujipa matumaini na comments zao za kujiliwaza iwe wanakazi zenye mishahara duni au elimu ndogo sambamba la kutelekezwa na wanaume kwa ukame wao wa akili. 4. Ni wavivu na wasio na mawazo. Wanawake wote wanaopenda pesa ni wavivu kupita kiasi. Uvivu wao umeanzia akilini kiasi kwamba hawana mawazo ya maendelo. Utakuta mwanamke anawaza mambo mepesi kabisa Kama urembo, nguo, mtoko, n.k. Wanawake wapenda pesa ni hatari kwa ustawi wa familia. Huwezi kuwa na familia kubwa ukiingia katika bahari ya viumbe hawa. 5. Hawana shukrani wala uvumilivu. Wanawake wapenda pesa huwezi msikia akikushukuru zaidi ya kujichekesha tuu na kubinua makalio. Kwa mfano amekuomba milioni moja then ukampa laki tano basi utamsikia akisema sasa hii nitafanyia nini, au niongezee tena mume wangu huku akikushika kifua au ndevu. Wanawake wenye hekima hushukuru mpaka mwanaume anasikia aibu. Suala la uvumilivu halipo kwa hawa viumbe. Shida ikitokea ukishindwa kuitatua kwa wakati huo basi hesabu umeliwa. Yaani kwao kukusaliti ni jambo lisilo na mashaka. Babu aliwahi kunambia; Usimpe mwanamke pesa yote aombayo. Wenye wake mmenielewa.
3 days ago

Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo :
Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ERECTION
JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za mwili.
N.B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili. .
Mishipa ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja.
JINSI UUME UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume
Jinsi Uume unavyo simama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari.
Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya uume uendelee kusimama.
Mwanaume unapo patwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.
Taarifa ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume ku-relax na mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo makuu mawili;
i. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana kuingia kwenye mishipa ya uume
( Mishipa ya ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri imara na yenye afya, damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama )
ii. Pili huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Kumbuka ,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Kadri damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa mgumu na kukakamaa.
Na kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo endelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida (inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida ( Flaccid ).
Hali hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.
Mambo Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Ili uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo.
1. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
2. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.
3. Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4. Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: