Home → ushauri
→ Fahamu Sifa za Wanawake Wanaopenda Sana Pesa
Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje.
Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada.
Siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la mamilioni ya wanawake wanaopenda Sana pesa kuliko kitu chochote. Jambo hili lilianza Kama mzaha lakini kwa sasa hakuna wakuuzima moto huu.
Kupenda pesa sio vibaya Bali kuipenda Sana kiasi kwamba mtu yupo radhi auze utu wake na kuudharau kabisa uanamke wake. Kama hiyo haitoshi wanawake wengi wanaopenda pesa ndio huwa chanzo cha maangamizi katika familia.
Zifuatazo ni sifa bainifu za wanawake wanaopenda Sana pesa;-
1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima.
Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu nyingine kubwa wakati akiwa bado na simu mpya.
Katika maisha ni bora uingie jehanam kuliko kukutana na mwanamke mpenda pesa kwani utateseka Sana kwa ajili yake na bado hata ona msaada wako.
Sio rahisi kujenga familia bora na mwanamke mpenda pesa.
2. Wengi hutoka familia masikini.
Wanawake wengi Kama sio wote ambao hupenda pesa kuliko utu wao hutoka familia kame Sana. Ukame wa kiuchumi mpaka kiakili. Wengi wao huweza kutoa hata rushwa ya ngono ili tuu wapate pesa wasijue miili yao inathamani zaidi ya zile karatasi.
Hata humu jukwaani wapo wengi Sana na comments zao zinajulikana.
Wengi huweka matamanio yao hapa jamvini matamanio waliyoyakosa. Mtu ni masikini unandoto za kuwa na mwanaume mwenye pesa nani alikuambia wenye pesa wanataka masikini.
Umasikini wako usikufanye ujidharau au mtu akudharau. Ndio maana wanawake pamoja na mchango wenu katika dunia hii lakini bado mpaka wanyama hawawaheshimu.
Lipo kundi dogo la wanawake wanaojitahidi kutetea thamani ya jinsia yao lakini wengi wao ni wakuonewa huruma tuu.
3. Wengi wao hawana elimu ya kutosha.
Mwanamke aliesoma akaelimika hawezi hangaika na pesa ya mtu. Ndio maana wanawake wachache huhangaika kwajili ya kujitegemea na sio kumtegemea mwanaume. Wanawake wengi wenye elimu na vipato vizuri huwezi msikie akiongelea pesa Kama kigezo muhimu kwa mwanaume anayemuhitaji awe mume wake. Wengi wa wanawake humu jamvini ambao hujipa matumaini na comments zao za kujiliwaza iwe wanakazi zenye mishahara duni au elimu ndogo sambamba la kutelekezwa na wanaume kwa ukame wao wa akili.
4. Ni wavivu na wasio na mawazo.
Wanawake wote wanaopenda pesa ni wavivu kupita kiasi. Uvivu wao umeanzia akilini kiasi kwamba hawana mawazo ya maendelo. Utakuta mwanamke anawaza mambo mepesi kabisa Kama urembo, nguo, mtoko, n.k.
Wanawake wapenda pesa ni hatari kwa ustawi wa familia.
Huwezi kuwa na familia kubwa ukiingia katika bahari ya viumbe hawa.
5. Hawana shukrani wala uvumilivu.
Wanawake wapenda pesa huwezi msikia akikushukuru zaidi ya kujichekesha tuu na kubinua makalio.
Kwa mfano amekuomba milioni moja then ukampa laki tano basi utamsikia akisema sasa hii nitafanyia nini, au niongezee tena mume wangu huku akikushika kifua au ndevu. Wanawake wenye hekima hushukuru mpaka mwanaume anasikia aibu.
Suala la uvumilivu halipo kwa hawa viumbe. Shida ikitokea ukishindwa kuitatua kwa wakati huo basi hesabu umeliwa. Yaani kwao kukusaliti ni jambo lisilo na mashaka.
Babu aliwahi kunambia;
Usimpe mwanamke pesa yote aombayo.
Wenye wake mmenielewa.
Fahamu Sifa za Wanawake Wanaopenda Sana Pesa Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje. Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada. Siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la mamilioni ya wanawake wanaopenda Sana pesa kuliko kitu chochote. Jambo hili lilianza Kama mzaha lakini kwa sasa hakuna wakuuzima moto huu. Kupenda pesa sio vibaya Bali kuipenda Sana kiasi kwamba mtu yupo radhi auze utu wake na kuudharau kabisa uanamke wake. Kama hiyo haitoshi wanawake wengi wanaopenda pesa ndio huwa chanzo cha maangamizi katika familia. Zifuatazo ni sifa bainifu za wanawake wanaopenda Sana pesa;- 1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu nyingine kubwa wakati akiwa bado na simu mpya. Katika maisha ni bora uingie jehanam kuliko kukutana na mwanamke mpenda pesa kwani utateseka Sana kwa ajili yake na bado hata ona msaada wako. Sio rahisi kujenga familia bora na mwanamke mpenda pesa. 2. Wengi hutoka familia masikini. Wanawake wengi Kama sio wote ambao hupenda pesa kuliko utu wao hutoka familia kame Sana. Ukame wa kiuchumi mpaka kiakili. Wengi wao huweza kutoa hata rushwa ya ngono ili tuu wapate pesa wasijue miili yao inathamani zaidi ya zile karatasi. Hata humu jukwaani wapo wengi Sana na comments zao zinajulikana. Wengi huweka matamanio yao hapa jamvini matamanio waliyoyakosa. Mtu ni masikini unandoto za kuwa na mwanaume mwenye pesa nani alikuambia wenye pesa wanataka masikini. Umasikini wako usikufanye ujidharau au mtu akudharau. Ndio maana wanawake pamoja na mchango wenu katika dunia hii lakini bado mpaka wanyama hawawaheshimu. Lipo kundi dogo la wanawake wanaojitahidi kutetea thamani ya jinsia yao lakini wengi wao ni wakuonewa huruma tuu. 3. Wengi wao hawana elimu ya kutosha. Mwanamke aliesoma akaelimika hawezi hangaika na pesa ya mtu. Ndio maana wanawake wachache huhangaika kwajili ya kujitegemea na sio kumtegemea mwanaume. Wanawake wengi wenye elimu na vipato vizuri huwezi msikie akiongelea pesa Kama kigezo muhimu kwa mwanaume anayemuhitaji awe mume wake. Wengi wa wanawake humu jamvini ambao hujipa matumaini na comments zao za kujiliwaza iwe wanakazi zenye mishahara duni au elimu ndogo sambamba la kutelekezwa na wanaume kwa ukame wao wa akili. 4. Ni wavivu na wasio na mawazo. Wanawake wote wanaopenda pesa ni wavivu kupita kiasi. Uvivu wao umeanzia akilini kiasi kwamba hawana mawazo ya maendelo. Utakuta mwanamke anawaza mambo mepesi kabisa Kama urembo, nguo, mtoko, n.k. Wanawake wapenda pesa ni hatari kwa ustawi wa familia. Huwezi kuwa na familia kubwa ukiingia katika bahari ya viumbe hawa. 5. Hawana shukrani wala uvumilivu. Wanawake wapenda pesa huwezi msikia akikushukuru zaidi ya kujichekesha tuu na kubinua makalio. Kwa mfano amekuomba milioni moja then ukampa laki tano basi utamsikia akisema sasa hii nitafanyia nini, au niongezee tena mume wangu huku akikushika kifua au ndevu. Wanawake wenye hekima hushukuru mpaka mwanaume anasikia aibu. Suala la uvumilivu halipo kwa hawa viumbe. Shida ikitokea ukishindwa kuitatua kwa wakati huo basi hesabu umeliwa. Yaani kwao kukusaliti ni jambo lisilo na mashaka. Babu aliwahi kunambia; Usimpe mwanamke pesa yote aombayo. Wenye wake mmenielewa.
Artikel Terkait
UNAJUA KUMPAGAWISHA MPENZI WAKO????  Kama inavyoeleweka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu. So, katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la "Tantric Sex." Kama inavyoelewaka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu. So, katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la “Tantric Sex.” As if hii duinia, especially hii century haiko overloaded na information kuhusu mambo ya mapenzi, jinsi ya kufanya mapenzi and whats hot in the bedroom, whats in and whats not. So, lately nimeona a lot of tzmoms readers wamekuwa wakitembelea sana na kusoma page ya “mapenzi baada ya ujauzito” na “kufanyamapenzi wakati wa ujauzito.” And I thought well, writing about Tantric Sex will be nyongeza kwa kila mmoja, aliye mama na mbaye bado damu inachemka katika mambo ya mapenzi. Anyhu, kama “SEX/MAPENZI” yangekuwa yanaweza kuyu-nite the world/countries/makabila/people I think hii fani ingeshinda. Well, so kama umeshawahi kujifungua ama kama wewe ni mama, you definitely understand ni jinsi gani ni vigumu kuwa upbeat kuhusu mapenzi ama kumfurahisha mumeo/mpenzio everyday. Well, once in a while maybe but not everyday. Ila kama we ni mdada/binti ambaye hujazaa bado well, damu yako bado inachemka so energy bado ipo nyingi ya kukurupushana na mpenzio. Having said that, si maanishi mtu ukishazaa ndo fani ya kuenjoy mapenzi imekwisha but nguvu zinapungua for sure however, kuna vitu vingi tuu ambavyo vinaweza kusaidia kuleta nguvu ya kutaka kukurupushana chumbani lol. Kukosa nguvu/energy to wanna work it all the time its not because mwanamke ni mvivu but hutokana na kuwa na mambo mengi sana ya kutend nyumbani i.e. kuhakikisha watoto wako taken care of, labda kazini pia unahitajika, etc una kuta hupati muda wa kujifurahisha mwenyewe ama na mpenzi wako. Therefore, mara nyingi before you know mupenzi anaanza kulalamika or hata mwanamke mwenyewe unaweza kufeel like you are not doing enough so mambo ndo hivyo yanaanza kwenda south chumbani. Hivyo basi, lets dig in tuone Tantric Sex inatoa msaada wa aina gani ili kurevamp mapenzi. Kwanza kabisa, FYI tantric sex can be weird at the beginning ila nitajitahidi kutoingia so indepth ili kusave miyoyo ya watu wengine. Kwamaana hii ni soft porn “according to me.” Lol. so usishtuke ama kushangaa sana. Well, anythign “sex” can be unconfortable anyways. Okay, so, kwanza kabisa, with Tantric Sex, mtu na mpenziwe wanatakiwa kuwa; SPIRITUALLY CONNECTED (usishtuke sio kidini lol).. Hii inamaainisha kwamba wewe na patner wako kwa pamoja mnajua mnataka nini emotionally and physically. Kwa kufanya hivi inasaidia kuwafanya kwa pamoja kuwa “FREE” na kuondoa wasiwasi wa labda mwenzangu atanijudge kwamba labda mimi ni malaya ama fuska etc. In other words hii process inaitwa “Dropping the Veil, between “Self” and “Other/patner.” THE ENVIRONMENT/mazingira. Wakati mnapractice tantric sex of course, just like when you are in the bedroom unaweza ukavaa lingerie/kuo za ndani zinazovutia or “kuwa kama mlivyotoka tumboni mwa mama zenu” (you know what i mean). Tatu, wapenzi wanaanza kupapasana lol, but in a way kwamba you are feeling the energy of the other person. Na hii energy unaweza kuifeel kwasababu mko free hamna anayemjudge mwingine/there are no worries. You are just in your own created world. Nne, wakati wa kufeel energy ya mwingine lazima wapenzi wawe wana pumua heavely yaani just feeling every move made but the other person mpaka mnapofikia mahali were you are breathing so hard and you are feeling each other. then you start kissing the lips, and then deeper for minutes even hours. Then mengineyo yanaweza kuendelea. So, all this time kumbuka its not about going straight into sex with your partner rather its about getting high by touching and feeling connected with each other. hivyo basi, once in a while take that time and revamp your intimacy, dress good, feel sexy and heey have fun!!. By 🅱 ... Read More
ULISHAWAHI KUKUTANA NA MTU MWENYE UPENDO WA KWELI??? Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi ya kuongea kwao au kusema majina yao. Ni kwa sababu ya njia itakayo kufanya wewe ujisikie tofauti. hutaogopa kupenda na kupendwa. Siku moja utakutana na Upendo utakaoufurahia. Hutaweza kufikiria mara mbili. Hutaweza kuwa na wasiwasi kwamba anakupenda au hakupendi. ‘Utafahamu tu. Kwa mtu huyu hutaweza kuficha tabia yako. hutaficha madhaifu yako na usumbufu wako. hutakuwa na mawazo ya itakuwaje kama ata kupandia kichwani. hutakuwa na maswali ya kujua muhimu wake na hutakuwa na labda. Wakati ukikutana na mtu huyu hutaingiwa na woga. hutaweza kufikiri fikiri kitu chochote. hutaweza kufikiria upendo wake kwako. Na wakati anaposema hawezi kwenda mahali , utafahamu kuwa ni kweli. Wakati huo hutasikia kukosa kitu ndani ya moyo wako, hutasikia upweke, hutaweza kusikia chochote kinyume na upendo uliopo. Ipo siku , mtu fulani atabadilisha maisha yako. kwa sababu atakuonyesha upendo wa kweli ni upi na maana ya upendo ni nini, unaonekanaje. Atakuonyesha kuwa upendo hauna mwisho. na hutamkimbia , na hutaweza kutaka faida zaidi. hutapigwa na wala kupata maumivu yasio na msingi. Ipo siku Hutaogopa kupata maumivu. Hutaogopa kuacha tena. kwa kupoteza kipande cha moyo wako na roho yako. hutaogopa tena kutoa na kutoa upendo wako . Siku moja utapumua kwa urahisi kwa kufahamu kuwa huyo mtu hataondoka . Utapumua vizuri kwa kujua kwamba upendo huo utadumu. Huyo mtu hatakutelekeza na wala hataweza kukukimbia. Utafahamu toka moyoni mwako kwamba upendo huo hautakuumiza. Utaweza kuishi, kucheka, kulia na kupumua kwa urahisi ukiwa pembeni ya mtu huyo. Utajifahamu na kujiona vizuri. Utaweza kumuonyesha makovu, na vidonda ulivyonavyo na kwa kuwa vimepona. Utaweza kumuonyesha mtu huyo moyo wako wote kwa kujua kuwa hawezi kukuacha. Ipo siku utajikuta unaamka mikononi mwake, ukiwa karibu yake kwa upendo , katika maisha yako. hutakuwa na wasiwasi . hutaogopa. hutasikia uzito wa kupumua tena. Utahisi upendo ndani yako. mwisho utagundua Upendo halisi. Washirikishe wengi. ... Read More
Kuto0Ombana Ukiwa Na Mimba  Kufanya mapenzi wakati wa mwanamke kuwa mja mzito ni jambo la kawaida. Mambo mengi yamesemwa kulingana na swala la kukula uroda wakati mwanamke yupo mja mzito. Mwanamke pia hujiskia hajiamani kwa umbo lake na hujiskia hapendizi machoni mwa bwanake ama mpeziwe. Hii haina maana kwamba mwanamke aliye na mimba hawezi kujifurahisha kwa ngono kama wanawake wenzake. Kwa kusema hivyo, wanandoa wanaweza kufanya mapenzi wakati mwanamke mwenyewe yupo na mimba. Kufanya mapenzi wakati mwanamke yupo na mimba hakuwezi kumdhuru mtoto. Mfuko wa uzazi humkinga mtoto kutokana na madhara yoyote yanayoweza kutokana na kufanya mapenzi mwanamke akiwa mja mzito. Hata kama kufanya mapenzi huwa kitu kinachopendwa kwa utamu wake, wataalamu wanahimiza mwanamke mja mzito asifanye mapenzi kama amewahi kuwa na mambo yafuatayo; Kuvuja damu. Kama mwanamke amewahi kuvuja damu wakati akiwa mja mzito, ni muhimu asijaribu kufanya mapenzi hata kidogo. Kufanya ngono kunaweza kuzidisha uvujaji wa damu ambayo sio nzuri kwa hali ambayo yupo.Kama mwanamke ako na historia ya kuwa na mfuko wa uzazi dhaifuKama pia mwanamume ako na malengelenge sehemu za siri.Kama mwanamke amewahi poteza mtoto wakati wa kuzaa. Kama mwanamke ana historia ya kupoteza mimba, ni muhimu kukosa kujaamiana na mwanamume wake.Kama mwanamke hana hali nzuri ya kiafya ama ni mdhaifu.Kama maji ya uzazi yamepasuka Kufanya ngono na mwanamke wakati yupo na mimba huwa na umuhimu wake pia. Baadhi ya umuhimu wa kukula uroda wakati mwanamk yupo mja mzito ni kama; Kufanya ngono humsaidia mwanamke kulala vizuri. Wanawake huwa na uchovu mwingi wakati wa uja uzito na hutaka kupumzika sana. Kufanya mapenzi humsaidia yeye kulala usingizi mnono.Kutombana wakati wa uja uzito pia husaidia kupunguza uchungu wakati wa kuzaa. Kukula uroda husaidia kuongeza kiasi cha uuke na huongeza maji ya uuke ambayo husaidia wakati wa kuzaa.Kufanya mapenzi wakati wa uja uzito husaidia kuongeza mahaba kati ya wapenzi hao. Mapenzi huongezeka kwa kufanya ngono wakati huu.Utamu wa ngono hukaa kwa mda mrefu wakati mwanamke yupo na mimba. Mwanamume anapompenya mwanamke, na wanapokula uroda, utamu huwa tele kuliko wakati mwingine.Kufanya mapenzi wakati mwanamke yupo na mimba huongeza kinga ya mwili kutokana na magonjwa. Kwa kuongeza kinga ya mwili, mwanamke yule atakuwa hawezi kuambukiwa magonjwa haraka.Kutombana wakati wa uja uzito hupa mama na mtoto wake furaha na kuwafanya wawe wametulia na kupumzika.Kufanya mapenzi husaidia pia kupunguza kalori mwilini. Kwa kupunguza kalori, mwanamke huwa katika hali nzuri ya kinga kutokana na magonjwa.Kufanya mapenzi pia husaidia kwa uzazi. Wakati mwanamke anatarajia kupata mtoto huwa ako na maumivu ambayo hukaa sana. Ngono wakati wa uja uzito husaidia kupunguza wakati huo wa uzazi. Kama mwanamume ukitaka kumtomba mwanamke wako aliye na mimba na kumfanya afurahie unaweza fanya mitindo ifuatayo; 1- Mwanamke akiwa juu Mtindo mmoja ambao ni mzuri wa kufanya mapenzi na mwanamke aliye na mimba ni kama yuko juu ya mwanamume. Mwanamume anafaa kulala kwa mgogo wake na amwachie mwanamke kukaa juu ili aweze kupenya uuke wake. Hii husaidia ili mwanamume asimfinye mwanamke tumbo. Mwanamke pia atafurahia kwa vile atakuwa hatachoka sana. 2- Kuto0mbana kama mmelala na upande Mtindo mwingine wa kufanya mapenzi na mwanamke mwenye mimba ni kama mmelala kwa upande. Hapa mwanamume huwa nyuma ya mwanamke. Mwanamume huweza kupenya uuke wa mwanamke yule kutoka nyuma karibu na tako. Mtindo huu ni mzuri kwani huhakikisha kwamba mwanamume anapenya mwanamke ule kidogo tu sio kwa sana. 3- Kut00ombana kama wapenzi wamelala pande kwa pande wakiangaliana Wapenzi wale wanaweza lala upande kwa upande wakiangaliana naye mwanamume akampenya mwanamke uuke wake. Mtindo huu itabidi mwanamume awe mwangalify aije akamfinya mwanamke tumbo. 4- Kuto00mbana kama mmeketi Kufanya mapenzi kama mmeketi pia ni aina ya mtindo ambao wapendanao wanaweza tumia. Hii aina husaidia mfuko wa uzazi usifinywe wakati wa ngono. Mwanamume ataketi kitini naye mwanamke atamkalia na kumwezesha mwanamume kupenya uuke wake. Mwanamke hapa atachukua usukani ili aweze kuzingatia kiasi cha uume unaompenya. 5- Kuto00mbana kama wapenzi wamelala pande kwa pande wakiangaliana Wapenzi wale wanaweza lala upande kwa upande wakiangaliana naye mwanamume akampenya mwanamke uuke wake. Mtindo huu itabidi mwanamume awe mwangalify aije akamfinya mwanamke tumbo. 6- Kwa kutumia mikono kwa uuke wa mwanamke Mwanamke anaweza kuwa na uoga wa uume wa mwanamume kumpenya. Kwa sababu hii mwanamume anaweza kutumia vidole vyake na kwa taratibu akasungua na kuupapasa uuke wa mwanamke wake. Anaweza pia kupapasa kinembe cha mwanamke yule pole pole na kuzidi kasi mwanamke anapopata hamu. 7- Kwa kutumia midoli ya kufanya mapenzi Mwanamume pia anaweza kutumia midoli ya mapenzi kwa kufanya mapenzi na mwanamke wake aliye na mimba. Kwa kutumia midoli hii, mwanamume anaweza mpenya mwanamke kwa utaratibu na kwa kupapasa kinembe cha mwanamke yule na kumpa raha zaidi. Kutumia midoli itamsaidia mwanamke ambaye ako na uoga wa mwanawe kuadhiriwa wakati wa ngono. 8- Kwa kupeana punyeto Wapenzi wanaweza kupeana punyeto kama njia yao ya kufanya mapenzi. Mwanamke anaweza kupapasa uume wa mwanamume wake naye mwanamume akampapa uuke wake. Kwa kufanya hivi wote watapeana raha na wataridhika katika kukula uroda. Hii husaidia kama mwanamke ako na tashwishi kutokana na mwamanume kumtomba na uume wake. Kufanya mapenzi ama kutombana kunafaa kuchukuliwe kama kitu muhimu hususan wakati mwanamke yupo na uja uzito. Kufanya ngono katika uja uzito ni kitu cha kawaida na wapenzi wanafaa kufanya hima kuhakikisha wanajaribu ngono kwani ina manufaa makubwa kwao wawili, kwa mtoto na kwa mwanamke mwenyewe. Ngono husaidia kwa uzazi, kwa kuongeza mapenzi kati ya wapenzi wawili, kupanuua uuke kati ya mengineo. Hata ingawa kukula uroda wakati mwanamke yupo mja mzito ni jambo la manufaa, tahadhari inafaa ichukuliwe pia. Mwanamke ambaye anavuja damu, ambaye ana historia ya kupoteza mimba na ambaye mfuko wake wa uzazi ni hafifu, hafai kujihusisha katika kutombana hata kidogo. Kwani kwa kujihusisha katika kutombana huwa anadhuru mimba yake. Pia cha muhimu kuzingatia ni mitindo ambayo wapenzi wale watatumia katika kushiriki ngono ili pia wasije wakadhuru mimba ama hali ya mtoto na pia mwanamke asiweze kuchoka wakati wa ngono. Kwa yote tisa, kumi ni kuhakikisha kwamba mwanamume anavalia mpira wakati wa ngono ili pia kuzuia maambukizi. Kumbukumbu ... Read More
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA   HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha. Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha. Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia. Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili. Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe ‘out’, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah. Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone. MWELEZE UKWELI Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza ‘mizinga’ ili afaidi. JENGENI KUSAIDIANA Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake. Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi. ACHA UFUJALI Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo! Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu. BAKI NA HILI Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie. Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo. ... Read More
Mbinu za kufufua penzi lenu 1. Badilisha mavazi yako . Ikiwa bidhaa za kampuni unayoipenda zinabadilika baada ya miaka michache ili kupata umaruufu kwa wateja wake,pia wewe badilisha sura yako kwa kubadilisha mavazi na mfumo wa nywele ili umfurahishe mpenzi wako. Hata kama umekuwa ukipendeza kwa mavazi yako, mpenzi wako tayari amekuzoea hivyo. Nunua nguo mpya, chupi mpya, jaribu mtindo mwingine wa kutengeneza nywele ndiposa mpenzi wako akuone kama mgeni vile. 2. Hamia nyumba mpya Ukiwa umekuwa ukiishi katika mtaa mmoja kwa miaka mingi ,badilisha maeneo yako. Gura kwenda kwenye mtaa mpya, hili litakusaidia Kubadilisha mazingira na itaisisismua akili na kufurahia mukiwa pamoja. 3. Badilisha mfumo wa chumba chako cha kulala. Panga vitu upya,ondoa vitu za kitambo,nunua vitu vipya,paka rangi tofauti tofauti kwenye ukuta wako. Chumba cha kulalia kinapaswa kuwa cha kuvutia mno, badilisha mipangilio ya chumba chako mukiwa pamoja na mpenzi wako ndivyo nyiyi wote mumiliki mabadiliko hayo. 4. Omba msamaha nawe umsamehe. Ni vigumu kuwa na urafiki wakati masuala tata kati yenu hayajatatuliwa. Usipuuze maswala ambayo ni kawaida katika uhusianio,upendo wa dhati sio eti kwa sababu hamgombani wewe na mpenzi wako Upendo wa dhati ni uwezo wa kusuluhisha matatizo kati yenu. Omba msamaha wakati umekosea nawe msamehe wakati umekosewa. 5. Endeni mjivinjari kwa tarehe Endeni likizo au tokeni nje pamoja. Mkiwa nyote kwenye kwenye mazingira mapya inaweleta nyote pamoja. 6.Kataeni hamu ya kutizama picha za kujamiana. Watu wengi wanaohusiano hudhani kuwa kuangalia picha hizo za kujamiana ni kitu kizuri ilhali ni jambo hatari sana. Jiulize mbona watu huangalia picha hizi? Kwa ajili ya kusisimua hali yao ya ngono?. Kutegemea picha hizi kusisimua fataki kati yenu inamyang'anya mpenzi wako mamlaka ya kukusisimua mwenyewe. Je inammanisha kuwa mpenzi wako hawezi kukusisimua? Kama ni hivyo picha hizi hazisaidi kutengeneza hali zinaharibu. Picha hizi zinafanya mapenzi yawe duni ilhali ni mmoja wapo wa kuwa na mapenzi. Rudisha mapenzi na uwacha picha hizo mbaya ndiposa mpenzi wako aweze kujisalamisha kwako na ni jukumu lenu kusisimuana hisia kali za mahaba ile umruhusu awe spesheli kwako nawe kwake. 7. Jisalimishe upya Kama fataki katika yenu yamekuwa yakididimia tatizo ni lenu. Je unampenda kama awali? Je unanipenda kweli? Ondoa hofu hizo kwa kumhakikishia penzi lenu. Hii ndiyo sababu wapenzi husherekea penzi lao. 8. Weka mtoto mbali na maswala yenu ya Huba. Ni vizuri kuwa na watoto na kuwa karibu nao lakini wakti mwengine ni vyema watoto kuwa mbali na wazazi ili waweze kuwa na mda wao wa kipekee . Tunza watoto kutokana na penzi lenu, penzi lenu likiingiiliwa kati basi uwezo wenu kama wazazi utaadhirika. 9. Epuka kuumiza mwenzako Punguza visa vya kumuudhi na kumumiza mwenzako. Roho iliyoumizwa ni vigumu kupenda. 10. Mbusu mpenzi wako zaidi. Mabusu huleta watu pamoja. Unavyo mbusu zaidi ndivyo munavyo chochea penzi. 11. Omba Mungu anajali kuhusu penzi lenu na ndoa yenu. Ombeni kwa pamoja kuhusu shida za penzi lenu. 12. Tenga wakati wa Faragha Tenga wakati mahsusi kwa mpenzi wako. Wanandoa wengi huwa na wakati mgumu sana kutenga muda maalum kuwa na wapenzi wao kutokana na majukumu ya maisha kama vile kazi safari watoto na kadhalika lakini Jitahidi uweke kando muda maalum ambao utakaa karibu naye msemezane Mkumbatiane mkumbushane haswa mlikotoka na mnakokwenda . Ni muhimu sana. 13. Usilete majukumu yako ya kikazi nyumbani. Ni vyema kufanya kazi ili kujipatia riziki yako na familia yako lakini kazi hiyo isalie kule afisini wala isiletwe nyumbani kamwe. Usije na kazi yako ndani ya chumba chenyu cha kulala au ufanye mpenzi wako ahisi kuwa unamnyanyasa kwa sababu licha ya kuwa ulimuuowa mpenzi wako lakini umeoleka kwa kazi yako. 14. Weka teknolijia mbali Teknolojia ni nzuri maanake inakupasha yanayojiri papo hapo . Pia inawakutanisha hata mkiwa mbalimbali ,lakini ukiwa na mpenzi wako mbona usiiweke hiyo simu ama Kompyuta mbali ? Mpenzi wako anataka kuongea nawe,kukubusu,kukumbatia kuwa karibu yako anataka kuisikia sauti yako lakini macho yako yanijishughulisha na kuongea kwa simu,mtandao wa kijamii ama unachapisha ujumbe . Je nayeye akianza kuienzi kompyuta yake kuwasabahi jamaa na marafiki kwenye mitandao ya kijamii kutakuwepo na ndoa ? Ukiwa nyumbani na mpenzi wako jiepushe na Teknolojia . 15. Chezeni pamoja Kucheza pamoja kunaimarisha mahaba. Haijalishi kama mpenzi wako anajua kupiga densi zaidi yako au la , Mkiwa pamoja weka mziki anaoupenda kisha mwite aje mpige naye rhumba,salsa Bongo flava, reggae ,hip hop hata Chakacha kama ni mwenyeji wa pwani ! Chezeni miili yenu ikigusana! 16 Kaeni msemezane Mkiwa kitandani na mpenzi wako mnazungumza ? Unamwambia nini kitandani ? Unazungumzia kuhusu madeni yako? Usidhubutu ,mwambie kuhusu mahitaji yenu ya kimahaba ,mwambie unampenda na kuwa haujui ungelikuwa wapi bila yeye . 17. Andikianeni barua za kimapenzi. Mwandikie barua za kimapenzi na uiache kwenye gazeti au kwenye tarakilishi ,kitu ambayo itamfanya afurahie,kutoka kwa mwandiko wako. 18. Puuza watu ambao watakuvuruga amani kati yenu Hao watu wanaokutongoza kupitia kwenye mitandao ya kijamii ima ni Facebook,WhatsApp wazuie wasikutumie ujumbe wa moja kwa moja. Ni mahasidi hao,wala hawakupendi Ng'ooooo!!!! Wao wangalikupenda kweli hawangejaribu kukuletea huzuni kwa kuvunja penzi/ndoa yenu. Kujihusisha nao inapunguza makali ya penzi lenu ukidanganyika kuwa unapendwa ilhali ni Wanafiki tu 19.Nunua marashi mapya Mnunulia mpenzi wako marashi yanayonukia vyema yatakayo fanya mpenzi wako afurahie kuwa nawe. 20.Jiachilie Kuwa na uwazi wa mawazo ukiwa na mpenzio Jaribu njia tofauti za kufanya mapenzi Zungumzeni kama ambao mnaigiza sinema za mahaba Mchezee shere Mtanie mpenzi wako ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: